ABOUT THE SPEAKER
Alaa Murabit - Peace expert
Alaa Murabit champions women’s participation in peace processes and conflict mediation.

Why you should listen

Alaa Murabit's family moved from Canada to Libya when she was 15. Brought up in a Muslim household where she was equal to her brothers, she was shocked to see how women were viewed and treated in her new country. She enrolled in medical school, but felt frustrated by the gender discrimination she experienced. 

During her fifth year in med school, the Libyan Revolution broke out. Murabit was invigorated by how women were embraced as decision-makers in the movement. She founded The Voice of Libyan Women (VLW) to focus on challenging societal and cultural norms to make that the case all the time. Many VLW programs -- like the Noor Campaign, which uses Islamic teaching to combat violence against women -- have been replicated internationally.

Murabit is an advisor to many international security boards, think tanks and organizations, including the UN Women Global Civil Society Advisory Group and Harvard’s Everywoman Everywhere Coalition. An Ashoka Fellow, Murabit was a Trust Women Hero Award Winner in 2013.

More profile about the speaker
Alaa Murabit | Speaker | TED.com
TEDWomen 2015

Alaa Murabit: What my religion really says about women

Alaa Murabit: Je dini yangu inasema nini hasa kuhusu wanawake?

Filmed:
3,804,611 views

Familia ya Alaa Murabit ilihamia Canada kutoka Libya alipokuwa na miaka 15. Kabala alijiona yuko sawa na kaka zake, lakini katika mazingira haya mapya alihisi vizuizi kuhusu yale mafanikio anayoweza kuyapata. Kama mwanamke wa Kiislam , alijiuliza kama haya kweli ni mafundisho ya dini? Kwa namna ya kuchangamsha anatushirikisha ugunduzi wa mifano ya viongozi wanawake katika historia ya imani yake - Na jinsi alivyoanzisha kampeni ya kupigania haki za wanawake kwa kutumia mistari ya Korani.
- Peace expert
Alaa Murabit champions women’s participation in peace processes and conflict mediation. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
So on my way here,
0
785
3055
Njiani kufika hapa,
00:15
the passengerabiria nextijayo to me and I
had a very interestingkuvutia conversationmazungumzo
1
3840
3702
nilikuwa na mazungumzo mazuri na
mtu aliyekuwa anakaa pembeni yangu kwenye
00:19
duringwakati my flightkukimbia.
2
7542
2043
ndege. Alinambia
00:21
He told me, "It seemsinaonekana like
the UnitedMuungano StatesMarekani has runkukimbia out of jobskazi,
3
9585
4528
"Hamna kazi tena USA,
yaani sasa wamebuni kazi mpya:
00:26
because they're just makingkufanya some up:
4
14113
2368
mwanasaikolojia wa paka,
mzungumzaji wa mbwa,msasi wa kimbunga."
00:28
catpaka psychologistmwanasaikolojia, dogmbwa whispererwanao amrisha,
tornadokimbunga chaserchaser."
5
16481
6262
Punde, aliniuliza,
00:34
A couplewanandoa of secondssekunde laterbaadae, he askedaliuliza me,
6
22743
2817
"Kwani wewe unafanya kazi gani?"
00:37
"So what do you do?"
7
25560
2252
Nikamjibu, "Mjenzi wa usalama?"
00:39
And I was like, "PeacebuilderPeacebuilder?"
8
27812
2693
(Vicheko)
00:42
(LaughterKicheko)
9
30505
2480
Kila siku, nafanya bidii
kuwazidishia wanawake sauti
00:46
EveryKila day, I work to amplifyinahusu
the voicessauti of womenwanawake
10
34925
4427
00:51
and to highlightDhulisha theirwao experiencesuzoefu
11
39352
3098
na kuoneysha maisha yao na michango yao
00:54
and theirwao participationushiriki in peaceamani
processesmichakato and conflictmigogoro resolutionazimio,
12
42450
5059
katika hatua za kutafuta usalama
na kutatua migogoro,
00:59
and because of my work,
13
47509
2779
na kwa sababu ya kazi zangu,
natambua kwamba njia ya pekee
01:02
I recognizekutambua that the only way to ensurekuhakikisha
the fullkamili participationushiriki of womenwanawake globallyduniani kote
14
50288
6176
kwa kuhakikisha ushirikiano kamili
wa wanawake duniani
ni kuchukua tena dini mikononi mwetu.
01:08
is by reclaimingujenzi religiondini.
15
56464
2866
01:11
Now, this matterjambo is vitallysana
importantmuhimu to me.
16
59330
4064
Sasa, jambo hilo ni muhimu sana kwangu.
Kama muislamu na mwanamke kijana,
ninaijali dini yangu sana.
01:15
As a youngvijana MuslimWaislamu womanmwanamke,
I am very proudkiburi of my faithimani.
17
63394
4411
01:19
It givesanatoa me the strengthnguvu and convictionuthibitisho
to do my work everykila day.
18
67805
4735
Inanipa nguvu na msimamo katika
kazi zangu kila siku.
Ndiyo sababu inayoniwezesha
kusimama hapa leo mbele yenu.
01:24
It's the reasonsababu I can be here
in frontmbele of you.
19
72540
2759
01:27
But I can't overlookwaache the damageuharibifu that has
been donekufanyika in the namejina of religiondini,
20
75909
5224
Lakini siwezi kutojali hasara kubwa
zilizofanyika kwa kutumia jina la dini,
01:33
not just my ownmwenyewe, but all
of the world'sulimwengu majorkubwa faithsimani.
21
81133
4528
si dini yangu tu, lakini
dini zote kubwa za dunia.
Kuyatumia vibaya na
kuyageuza maandiko ya kidini
01:37
The misrepresentationupotoshaji and misusematumizi mabaya
and manipulationkudanganywa of religiouskidini scripturemaandiko
22
85661
4504
01:42
has influencedimesababishwa our socialkijamii
and culturalutamaduni normskanuni,
23
90165
3529
kumebadilisha desturi zetu
za kijamii na kitamaduni,
01:45
our lawssheria, our dailykila siku livesanaishi,
24
93694
2926
sheria zetu, kila siku zetu,
hadi kumefikia tusipoweza
kupagundua.
01:48
to a pointuhakika where we sometimesmara nyingine
don't recognizekutambua it.
25
96620
3854
Wazazi wangu walihama Libya,
Afrika ya Kaskazini kwenda Kanada
01:52
My parentswazazi movedwakiongozwa from LibyaLibya,
NorthKaskazini AfricaAfrika, to CanadaKanada
26
100804
4686
mwanzoni mwa miaka 1980,
01:57
in the earlymapema 1980s,
27
105490
1764
01:59
and I am the middlekatikati childmtoto of 11 childrenwatoto.
28
107254
3846
na mimi niko katikati ya watoto 11.
02:03
Yes, 11.
29
111100
1331
Ehee, 11.
02:05
But growingkukua up, I saw my parentswazazi,
30
113431
2158
Lakini katika kukulia kwangu,
niliwaona wazazi wangu, wote wacha Mungu
na waumini wa Akhera, wakisali na
02:07
bothwote wawili religiouslyimeruhusiwa devoutmcha Mungu
and spiritualkiroho people,
31
115589
3576
02:11
praykuomba and praisesifa God for theirwao blessingsbaraka,
32
119165
2740
kumshukuru kwa baraka zao,
02:13
namelyyaani me of coursebila shaka, but amongmiongoni mwa otherswengine.
(LaughterKicheko)
33
121905
4759
kama mimi, lakini zinginezo pia.
(Vicheko)
02:18
They were kindaina and funnyfunny and patientsubira,
34
126664
3158
Walikuwa na huruma, wenye kuchekesha,
na wenye subira,
02:21
limitlesslylimitlessly patientsubira, the kindaina of patienceuvumilivu
that havingkuwa na 11 kidswatoto forcesmajeshi you to have.
35
129822
6339
subira kubwa, aina inayofunzwa
kwa kuwalea watoto 11.
Pia walifanya haki.
02:28
And they were fairhaki.
36
136161
2020
02:30
I was never subjectedilitiwa to religiondini
throughkupitia a culturalutamaduni lenslens.
37
138181
4714
Sikuwahi kupaswa kuijua dini kwa
mtazamo wa kitamaduni tu.
Nilitendewa sawasawa na kaka zangu,
na sisi sote
02:34
I was treatedkutibiwa the samesawa,
38
142895
2066
02:36
the samesawa was expectedinatarajiwa of me.
39
144961
2449
tulikuwa tunatarijiwa
kufanya sawasawa.
Sikuwahi kuambiwa kwamba Mungu
huhukumu tofauti kwa jinsia.
02:39
I was never taughtalifundishwa that God
judgedkuhukumiwa differentlytofauti basedmsingi on genderjinsia.
40
147740
4437
02:44
And my parents'wazazi understandinguelewa of God
as a mercifulmwenye huruma and beneficialmanufaa friendrafiki
41
152647
5642
Wazazi wangu walimwona Mungu kuwa
Mwingi wa Rehema, Fadhila na rizki
02:50
and providermtoa huduma shapedumbo the way
I lookedilionekana at the worldulimwengu.
42
158289
3854
na mimi nilichukulia
msimamo wao.
02:54
Now, of coursebila shaka, my upbringingmalezi
had additionalziada benefitsfaida.
43
162143
4827
Kwa uhakika, malezi yangu yalikuwa
na faida zake.
kuwa katikati ya watoto 11
ni kama Diplomasia 101. (Vicheko)
02:58
BeingKuwa one of 11 childrenwatoto is DiplomacyDiplomasia 101.
(LaughterKicheko)
44
166970
4752
Mpaka leo, watu huniuliza wapi
nilipokwenda skule,
03:04
To this day, I am askedaliuliza
where I wentakaenda to schoolshule,
45
172592
2577
03:07
like, "Did you go to
KennedyKennedy SchoolShule of GovernmentSerikali?"
46
175169
2483
kama, “Ulienda Skule ya
Kennedy ya Serikali?"
na mimi huwatazama na
kuwambia, “Hapana,
03:09
and I look at them and I'm like, "No,
47
177652
1906
Nimeenda Skule ya Murabit ya
Mambo ya Kimataifa.”
03:11
I wentakaenda to the MurabitMurabit SchoolShule
of InternationalKimataifa AffairsMambo."
48
179558
2809
03:14
It's extremelysana exclusivekipekee. You would have
to talk to my mommama to get in.
49
182367
5828
Ni maalum sana. Ungeongea na
Mamangu kwa kujipatia nafasi
Lakini kwa bahati yenu, yupo leo.
03:20
LuckyBahati for you, she's here.
50
188195
2136
03:23
But beingkuwa one of 11 childrenwatoto
and havingkuwa na 10 siblingsndugu
51
191879
4489
Lakini kuwa miongoni wa watoto 11,
na kuwa na ndugu 10,
kunafundisha mengi kama
mifumo ya mamlaka na muungano.
03:28
teachesfundisha you a lot about
powernguvu structuresmiundo and alliancesMuungano.
52
196368
4232
Kama kuzingatia lengo;
useme haraka au
03:32
It teachesfundisha you focustazama; you have
to talk fastharaka or say lesschini,
53
200600
2803
usiseme sana, kwa sababu
utadakiwa mazungumzo kila mara.
03:35
because you will always get cutkata off.
54
203403
2508
Kunafundisha umuhimu wa kuwa
mjumbe mzuri.
03:37
It teachesfundisha you the importanceumuhimu
of messagingujumbe.
55
205911
2856
03:40
You have to askkuuliza questionsmaswali in the right way
to get the answersmajibu you know you want,
56
208767
4226
Uyaulize maswali kwa mpango kwa
kupata jibu unalolitaka, na
ujue kusema 'la' kwa mpango pia
kwa kufuliza usalama.
03:44
and you have to say no
in the right way to keep the peaceamani.
57
212993
4179
03:49
But the mostwengi importantmuhimu lessonsomo
I learnedkujifunza growingkukua up
58
217172
4272
Lakini funzo muhimu sana
nililolipata kutoka utoto wangu
lilikuwa umuhimu wa kuwa na nafasi kwenye
meza.
03:53
was the importanceumuhimu of beingkuwa at the tablemeza.
59
221444
3530
Taa yake ndogo mamangu ilipovunjika,
alivyoipenda sana, ilinilazimu niwepo
03:56
When my mom'smama favoritefavorite lamptaa brokekuvunja,
I had to be there when she was tryingkujaribu
60
224974
3831
wakati alipochunguza ilikuwaje,
ili nijitetee,
04:00
to find out how and by who,
because I had to defendkulinda myselfMimi mwenyewe,
61
228805
4529
04:05
because if you're not,
then the fingerkidole is pointedalisema at you,
62
233334
3783
kwa sababu kama hupo,
lawama inakuangukia kwako,
04:09
and before you know it,
you will be groundedimara.
63
237117
2624
na kabla hujagundua, utakuwa umeadhibiwa.
04:11
I am not speakingakizungumza
from experienceuzoefu, of coursebila shaka.
64
239741
3277
Kwa uhahika, sijapewa
adhabu mimi mwenyewe.
Nilipokuwa na miaka 15 mwakani 2005,
nikatimiza skule ya sekondari nikahamia
04:16
When I was 15 in 2005,
I completedkukamilika highjuu schoolshule and I movedwakiongozwa
65
244338
5412
Kanada-- Saskatoon --
04:21
from CanadaKanada -- SaskatoonSaskatoon --
66
249750
2490
Ila Zawiya, Libya,
mji wa nyumbani wa wazazi wangu,
04:24
to ZawiyaZawiya, my parents'wazazi hometownmji in LibyaLibya,
67
252240
4079
mji wa kidesturi sana.
04:28
a very traditionaljadi cityjiji.
68
256319
2392
Fikiri, muda huo niliwahi kufika
Libya kwa ajili ya matembezi tu,
04:30
MindAkili you, I had only ever been
to LibyaLibya before on vacationlikizo,
69
258711
4819
na kama msichana wa miaka 7,
ilipendeza sana.
04:35
and as a seven-year-oldmwenye umri wa miaka saba girlmsichana,
it was magicuchawi.
70
263530
4376
Ilikuwa aiskrimu na pwani na jamaa
wenye furaha.
04:39
It was icebarafu creamcream and tripssafari to the beachpwani
and really excitedmsisimko relativesjamaa.
71
267906
4992
04:45
TurnsZamu out it's not the samesawa
as a 15-year-oldmwenye umri wa miaka youngvijana ladymwanamke.
72
273468
5002
niligundua haiko vilevile kama
msichana wa miaka 15.
Nikakutana upesi na mambo ya dini ya
kiutamaduni.
04:50
I very quicklyharaka becameikawa introducedilianzisha
to the culturalutamaduni aspectkipengele of religiondini.
73
278470
5968
04:56
The wordsmaneno "haramHaram" --
meaningmaana religiouslyimeruhusiwa prohibitedimekatazwa --
74
284438
4458
Maneno ya "haramu" --
lenye maana ya kukatazwa kidini --
05:00
and "aibaib" -- meaningmaana
culturallykiutamaduni inappropriatehaifai --
75
288896
3506
na "aibu" -- lenye maana ya kutofaa
kimaadili --
05:04
were exchangedkubadilishana carelesslybila kujali,
76
292402
2716
yalibadilishanwa bila mpango.
05:07
as if they meantmaana yake the samesawa thing
and had the samesawa consequencesmatokeo.
77
295118
4319
kama yalikuwa na maana moja na
adhabu moja vilevile.
05:11
And I foundkupatikana myselfMimi mwenyewe in conversationmazungumzo
after conversationmazungumzo with classmateswanafunzi wenzake
78
299437
4737
Nikajikuta sana katika mazungumzo na
wenzangu wa skule
05:16
and colleagueswenzake, professorsprofesa,
friendsmarafiki, even relativesjamaa,
79
304174
3436
na wa kazi, profesa, rafiki zangu na hata
jamaa zangu,
nikaanza kujiuliza kuhusu desturi zangu
na malengo yangu.
05:19
beginningmwanzo to questionswali my ownmwenyewe ruleutawala
and my ownmwenyewe aspirationsmatarajio.
80
307610
4783
Na hata na msingi mzuri niliopokea
kutoka wazazi wangu,
05:24
And even with the foundationmsingi
my parentswazazi had providedzinazotolewa for me,
81
312393
3530
05:27
I foundkupatikana myselfMimi mwenyewe questioningkuhoji
the rolejukumu of womenwanawake in my faithimani.
82
315923
4295
Nilijikuta nikajiuliza kuhusu nafasi
ya mwanamke katika dini yangu.
05:32
So at the MurabitMurabit SchoolShule
of InternationalKimataifa AffairsMambo,
83
320218
4179
Kule kwenye Skule ya Murabit ya Mambo
ya Kimataifa,
05:36
we go very heavynzito on the debatemjadala,
84
324397
2740
tunapenda sana kufanya mjadala,
05:39
and ruleutawala numbernambari one is do your researchutafiti,
so that's what I did,
85
327137
5495
na sheria ya kwanza ni fanya utafiti wako,
na hivyo ndivyo nilivyofanya mimi,
05:44
and it surprisedkushangaa me how easyrahisi it was
86
332640
3785
Ikanishangaza sana vipi ilikuwa rahisi
kuwagundua wanawake katika Uislamu
waliokuwa viongozi,
05:48
to find womenwanawake in my faithimani
who were leadersviongozi,
87
336425
4017
wavumbuzi, wenye nguvu --
05:52
who were innovativeubunifu, who were strongnguvu --
88
340442
3552
za kisiasa, za kiuchumi hata za kijeshi.
05:55
politicallykisiasa, economicallykiuchumi,
even militarilykijeshi.
89
343994
3366
Khadija aliziendesha fedha za
harakati za Kiislamu
05:59
KhadijaKhadija financedfedha the IslamicKiislamu movementmwendo
90
347360
3391
06:02
in its infancyutoto.
91
350751
1661
katika siku zake za mwanzo.
06:04
We wouldn'thakutaka be here if it weren'thawakuwa for her.
92
352562
2445
Tusingekuwepo hapa leo bila michango yake.
06:07
So why weren'thawakuwa we learningkujifunza about her?
93
355627
2647
Kwa nini tusifundishwe kisa chake?
Kwa nini tusifundishwe
visa vya hao wanawake?
06:10
Why weren'thawakuwa we learningkujifunza about these womenwanawake?
94
358274
2921
06:13
Why were womenwanawake beingkuwa relegatedimeshindwa
to positionsnafasi whichambayo predatedpredated
95
361195
2791
Kwa nini wanawake wapewe vyeo
vilivyotoka
zama zilizotangulia mafunzo ya dini yetu?
06:15
the teachingsmafundisho of our faithimani?
96
363986
2670
Na kwa nini, kama sisi sote tuko sawasawa
machoni mwa Mungu,
06:18
And why, if we are equalsawa
in the eyesmacho of God,
97
366656
2275
06:20
are we not equalsawa in the eyesmacho of menwatu?
98
368931
3102
hatuko sawasawa machoni mwa binadamu?
06:24
To me, it all camealikuja back to the lessonsmasomo
I had learnedkujifunza as a childmtoto.
99
372623
5067
Hayo yalinipeleka kufikiria mafunzo
yangu ya utotoni.
Anayeamua, na kuwa na mamlaka
juu ya ujumbe,
06:30
The decisionuamuzi makermtengenezaji, the personmtu
who getshupata to controlkudhibiti the messageujumbe,
100
378350
3672
06:34
is sittingameketi at the tablemeza,
101
382022
2582
anayo nafasi kwenye meza,
06:36
and unfortunatelykwa bahati mbaya,
in everykila singlemoja worldulimwengu faithimani,
102
384604
4900
na kwa bahati mbaya, katika dini zote
za kidunia,
hao si wanawake.
06:41
they are not womenwanawake.
103
389504
2646
06:44
ReligiousKidini institutionstaasisi
are dominatediliongozwa by menwatu
104
392150
3042
Taasisi za kidini
zinatawaliwa na wanaume
06:47
and driveninaendeshwa by malekiume leadershipuongozi,
105
395192
1951
na kuendeshwa na viongozi vya kiume,
06:49
and they createkuunda policiessera
in theirwao likenessmfano,
106
397143
3436
na wanabuni sera zinazowafaa wanaume tu,
06:52
and untilmpaka we can changemabadiliko
the systemmfumo entirelykabisa,
107
400579
4093
na ila tunaweza kubadilisha mfumo huo
kabisa, kwa kweli hatuwezi
06:56
then we can't realisticallykwa kweli
expectwanatarajia to have fullkamili economickiuchumi
108
404672
3267
kutarajia wanawake kushiriki
kwa ukamilifu
katika uchumi au siasa.
06:59
and politicalkisiasa participationushiriki of womenwanawake.
109
407939
3576
07:03
Our foundationmsingi is brokenkuvunjwa.
110
411515
3111
Msingi wetu umevunjika.
Mamangu husema, "huwezi kujenga nyumba
nzima juu ya msingi mbovu".
07:07
My mommama actuallykwa kweli saysanasema, you can't buildjenga
a straightsawa housenyumba on a crookedkupotoka foundationmsingi.
111
415786
4992
07:14
In 2011, the LibyanLibya revolutionmapinduzi brokekuvunja out,
and my familyfamilia was on the frontmbele linesmistari.
112
422521
6609
Mwakani 2011, Mapinduzi ya Libya yaliripuka
na aila yangu walikuwepo mistari ya mbele.
Kuna jambo moja la kushangaza
linalojitokeza katika vita,
07:21
And there's this amazingajabu thing
that happenshutokea in warvita,
113
429580
3064
07:24
a culturalutamaduni shiftkuhama almostkaribu, very temporarymuda mfupi.
114
432644
3129
kama mageuzo ya kiutamaduni,
kwa muda mfupi tu.
07:27
And it was the first time that I feltwalihisi
it was not only acceptablekukubalika
115
435773
3071
Kwa mara ya kwanza nilijisikia
ilikubaliwa, au hata
ilisisitizwa kwa mimi kujihusisha
na mambo.
07:30
for me to be involvedhusika,
but it was encouragedmoyo.
116
438844
2972
Ilihitajika.
07:33
It was demandedalidai.
117
441816
2345
07:36
MyselfMwenyewe and other womenwanawake
had a seatkiti at the tablemeza.
118
444161
3009
Mimi na wanawake wengine walipewa nafasi
kwenye meza.
07:39
We weren'thawakuwa holdingkushikilia handsmikono or a mediumkati.
119
447170
3399
Hatukuwa wasaidizi wa wanaume tu.
07:42
We were partsehemu of decisionuamuzi makingkufanya.
120
450569
1858
Tulichangia katika uamuzi.
07:44
We were informationhabari sharingkugawana.
We were crucialmuhimu.
121
452427
3413
Tulichangia katika kutoa taarifa.
Tulikuwa muhimu sana.
07:47
And I wanted and neededinahitajika
for that changemabadiliko to be permanentya kudumu.
122
455840
5050
Na mimi nilitaka, nilihitaji mageuzo hayo
kutoondoka.
07:54
TurnsZamu out, that's not that easyrahisi.
123
462342
2786
Lakini niligundua si rahisi
kuwa nilivyotaka.
07:57
It only tookalichukua a fewwachache weekswiki before the womenwanawake
that I had previouslyawali workedkazi with
124
465128
4372
Ilichukua wiki chache tu kabla hao
wanawake niliowafanya nao kazi
walikuwa wanarejea katika kazi zao za
zamani,
08:01
were returningkurudi back
to theirwao previousuliopita rolesmajukumu,
125
469500
2970
na wengi walipewa maneno ya
kusisitizwa
08:04
and mostwengi of them were driveninaendeshwa
by wordsmaneno of encouragementkutia moyo
126
472470
2805
08:07
from religiouskidini and politicalkisiasa leadersviongozi,
127
475275
2902
kutoka kwa viongozi wa kidini na
vya kisiasa, wengi wao
08:10
mostwengi of whomambaye citedalinukuu religiouskidini scripturemaandiko
as theirwao defenseulinzi.
128
478177
3994
walijaribu kuthibitisha hoja
zao kwa maandishi ya kidini.
Ndivyo walivyojipatia mikono ya
watu katika hoja zao.
08:14
It's how they gainedalipata popularmaarufu supportmsaada
for theirwao opinionsmaoni.
129
482449
3551
Mwanzoni, nilizingatia kuwapa
wanawake nguvu katika siasa na uchumi.
08:19
So initiallyawali, I focusedililenga on the economickiuchumi
and politicalkisiasa empowermentuwezeshaji of womenwanawake.
130
487080
5237
Nikafikiri ingeliongoza
mabadiliko ya kiutamaduni na kijamii.
08:24
I thought that would leadkuongoza
to culturalutamaduni and socialkijamii changemabadiliko.
131
492317
3506
Niligundua, ilifanikiwa kidogo tu, lakini
sio sana.
08:27
It turnsinageuka out, it does a little,
but not a lot.
132
495823
4342
08:32
I decidedaliamua to use
theirwao defenseulinzi as my offenseKosa,
133
500165
4365
Nikaamua kuitumia njia yao wale
viongozi wa kidini
nikaanza kuthibitisha hoja zangu kwa
maandishi ya kiislamu pia.
08:36
and I beganilianza to citetaja and highlightDhulisha
IslamicKiislamu scripturemaandiko as well.
134
504530
4644
08:41
In 2012 and 2013, my organizationshirika
led the singlemoja largestkubwa
135
509174
4562
Katika miaka 2012 na 2013, shirika langu
liliongoza kampeni ya pekee iliyokuwa
kubwa na pana kuliko zote Libya.
08:45
and mostwengi widespreadkuenea
campaignkampeni in LibyaLibya.
136
513736
2485
08:48
We enteredimeingia homesnyumba and schoolsshule
and universitiesvyuo vikuu, even mosquesmisikiti.
137
516221
4776
Tulipenyeza nyumbani, skuleni na
vyuoni, hata misikitni.
08:52
We spokealizungumza to 50,000 people directlymoja kwa moja,
138
520997
2282
Tulizungumza na watu 50,000
uso kwa uso, na mamia ya maelfu zaidi
08:55
and hundredsmamia of thousandsmaelfu more throughkupitia
billboardsmabango and televisiontelevisheni commercialsmatangazo,
139
523279
4064
kwa njia za
matangazo ya kubandika,
matangazo kwenye tv na kwenye radio.
08:59
radioredio commercialsmatangazo and postersmabango.
140
527343
2787
09:02
And you're probablylabda wonderingwanashangaa how
a women'swanawake rightshaki organizationshirika
141
530130
3064
Labda mnajiuliza, shirika la
haki za wanawake
09:05
was ableinaweza to do this in communitiesjamii
whichambayo had previouslyawali opposedkinyume
142
533194
2972
waliweza kufanya hivyo vipi katika jamii
ilyopingana na sisi
09:08
our sheersherehe existencekuwepo.
143
536166
2995
kabisa mwanzoni.
Niliyatumia maandishi ya kiislamu.
09:11
I used scripturemaandiko.
144
539701
2469
Nilitumia aya za Korani na misemo ya
Mtume Mohammed,
09:14
I used versesMistari from the QuranQuran
and sayingsmisemo of the ProphetNabii,
145
542170
5390
Hadithi zake, misemo yake ambayo ni,
kwa mfano,
09:19
HadithsHadithi, his sayingsmisemo whichambayo
are, for examplemfano,
146
547560
3965
09:23
"The bestbora of you is the bestbora
to theirwao familyfamilia."
147
551525
3436
"Mtu bora ndiye anayefanya
wema kwa familia yake."
"Usimruhusu mtu kumdhulumu mwingine."
09:26
"Do not let your brotherndugu oppresskusumbua anothermwingine."
148
554961
4017
09:30
For the first time, FridayIjumaa sermonsmahubiri
led by localmitaa communityjumuiya imamsMaimamu
149
558978
5015
Kwa mara ya kwanza, hotuba za Ijumaa
kutoka kwa imamu wa kienyeji
09:35
promotedkukuzwa the rightshaki of womenwanawake.
150
563993
2485
zilitangaza haki za wanawake.
zilizungumzia masuala yasiyo kawaida, kama
vurugu ya nyumbani.
09:38
They discussedkujadiliwa taboomwiko issuesmambo,
like domesticndani violencevurugu.
151
566478
3598
09:42
PoliciesSera were changediliyopita.
152
570656
2964
Sera zilibadilishwa.
09:46
In certainfulani communitiesjamii,
we actuallykwa kweli had to go as farmbali
153
574080
3125
Katika jamii fulani, ilitubidi
kusema lile Azimio
09:49
as sayingkusema the InternationalKimataifa
HumanBinadamu RightsHaki za DeclarationTamko,
154
577205
3901
la Kimataifa la Haki ya Wanadamu
mlilopingana nayo
09:53
whichambayo you opposedkinyume because it wasn'thaikuwa
writtenimeandikwa by religiouskidini scholarswasomi,
155
581106
4086
kwa sababu haikuandikwi na watalaamu
wa kidini,
eti, misingi yote ile imo kitabu chetu.
09:57
well, those samesawa principleskanuni
are in our bookkitabu.
156
585192
4783
10:01
So really, the UnitedMuungano NationsMataifa
just copiedkunakiliwa us.
157
589975
3771
Yaani, Shirika la Umoja wa Mataifa
lilituiga tu.
10:07
By changingkubadilisha the messageujumbe,
we were ableinaweza to providekutoa
158
595931
2843
Kwa kuubadilisha ujumbe wenyewe,
tuliweza kuitoa
10:10
an alternativembadala narrativemaelezo whichambayo promotedkukuzwa
the rightshaki of womenwanawake in LibyaLibya.
159
598774
4125
sura mpya iliyotangaza haki za wanawake
Libya.
10:15
It's something that has now
been replicatedkuigwa internationallykimataifa,
160
603349
4852
Ni jambo ambalo sasa limeigwa duniani,
10:20
and while I am not sayingkusema it's easyrahisi --
believe me, it's not.
161
608201
4389
na sisemi ni rahisi--- niamini,
si rahisi kabisa.
10:24
LiberalsLiberals will say you're usingkutumia religiondini
and call you a badmbaya conservativekihafidhina.
162
612590
3831
'Liberals' watasema unaitumia dini
na kukuita 'conservative' mbaya.
10:28
ConservativesWasiopenda mabadiliko will call you
a lot of colorfulrangi things.
163
616421
3483
na 'conservatives' watakupa
matusi mengi.
10:31
I've heardkusikia everything from, "Your parentswazazi
mustlazima be extremelysana ashamedaibu of you" --
164
619904
4086
Mimi mwenyewe nimeyapata mengi, kama
"Wazazi wako hawaaibiki na wewe?" --
10:35
falseuongo; they're my biggestkubwa fansmashabiki --
165
623990
2110
sio kweli;
wao wananipenda kuliko wote --
10:38
to "You will not make it
to your nextijayo birthdaysiku ya kuzaliwa" --
166
626100
2511
au "Hutoishi kuona siku
yako ya kuzaliwa tena" --
10:40
again wrongsi sawa, because I did.
167
628611
3693
tena sio kweli, nimeshaiona.
10:44
And I remainkubaki
168
632674
2136
Na bado, ninaamini kabisa
10:46
a very strongnguvu believermuumini that women'swanawake rightshaki
and religiondini are not mutuallykwa pande zote exclusivekipekee.
169
634810
6421
kwamba haki za wanawake
na dini zinaweza kuendana.
10:54
But we have to be at the tablemeza.
170
642291
2742
Lakini lazima tupewe nafasi kwenye meza.
10:57
We have to stop givingkutoa up our positionnafasi,
because by remainingiliyobaki silentkimya,
171
645723
4133
Tusiache kupigania
nafasi yetu, kwa sababu
kwa kukaa kimya, tunaruhusu mateso na
dhuluma za wanawake duniani kuendelea.
11:01
we allowkuruhusu for the continuediliendelea persecutionmateso
and abuseunyanyasaji of womenwanawake worldwideduniani kote.
172
649856
5531
11:07
By sayingkusema that we're going
to fightkupigana for women'swanawake rightshaki
173
655837
3005
Kwa kudai tutapigania haki za wanawake
11:10
and fightkupigana extremismsiasa kali
with bombsmabomu and warfarevita,
174
658842
3785
na kupigania ugaidi kwa kutumia
mabomu na vita,
11:14
we completelykabisa cripplevilema localmitaa societiesjamii
whichambayo need to addressanwani these issuesmambo
175
662627
4249
tunaharibu jamii za kienyeji zinazohitaji
kuyashughulikia masuala hayo
11:18
so that they're sustainableendelevu.
176
666876
2229
ili yawezekane kuendelea.
11:23
It is not easyrahisi, challengingchangamoto
distortedpotofu religiouskidini messagingujumbe.
177
671496
5074
Sio rahisi, kushindana na taarifa za dini
za kupotosha.
11:28
You will have your fairhaki sharekushiriki
of insultsmatusi and ridiculekejeli and threatsvitisho vya.
178
676930
4840
Utapata vyako vya matusi na dhihaka na
vitisho.
Lakini ni lazima ifanyike.
11:34
But we have to do it.
179
682380
1836
Hatuna budi ila kuuchukua tena
ujumbe wa haki za binadamu,
11:36
We have no other optionchaguo than to reclaimrejesha tena
the messageujumbe of humanbinadamu rightshaki,
180
684216
4741
11:40
the principleskanuni of our faithimani,
181
688957
2647
maadili ya dini yetu, si kwa ajili yetu,
11:43
not for us, not for
the womenwanawake in your familiesfamilia,
182
691604
2763
na si kwa ajili ya
wanawake wenu tu,
11:46
not for the womenwanawake in this roomchumba,
183
694367
1950
si kwa ajili ya
wanawake humu leo,
hata si kwa ajili ya
wanawake kule nje,
11:48
not even for the womenwanawake out there,
184
696317
3174
11:51
but for societiesjamii
that would be transformedkubadilishwa
185
699491
3506
bali kwa ajili ya jamii ambazo
zingebadilika kuwa nzuri
11:54
with the participationushiriki of womenwanawake.
186
702997
2317
kwa mashirikiano ya wanawake.
11:57
And the only way we can do that,
187
705884
2507
Na jinsi ya pekee sisi tunavyoweza
kufanya hivyo,
12:00
our only optionchaguo,
188
708391
1788
njia yetu moja tu,
12:02
is to be, and remainkubaki, at the tablemeza.
189
710179
3530
ni kupata nafasi na kukaa daima,
kwenye meza.
Asante.
12:05
Thank you.
190
713709
2623
(Makofi)
12:08
(ApplauseMakofi)
191
716332
3579
Translated by Hope Melody Crick
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Alaa Murabit - Peace expert
Alaa Murabit champions women’s participation in peace processes and conflict mediation.

Why you should listen

Alaa Murabit's family moved from Canada to Libya when she was 15. Brought up in a Muslim household where she was equal to her brothers, she was shocked to see how women were viewed and treated in her new country. She enrolled in medical school, but felt frustrated by the gender discrimination she experienced. 

During her fifth year in med school, the Libyan Revolution broke out. Murabit was invigorated by how women were embraced as decision-makers in the movement. She founded The Voice of Libyan Women (VLW) to focus on challenging societal and cultural norms to make that the case all the time. Many VLW programs -- like the Noor Campaign, which uses Islamic teaching to combat violence against women -- have been replicated internationally.

Murabit is an advisor to many international security boards, think tanks and organizations, including the UN Women Global Civil Society Advisory Group and Harvard’s Everywoman Everywhere Coalition. An Ashoka Fellow, Murabit was a Trust Women Hero Award Winner in 2013.

More profile about the speaker
Alaa Murabit | Speaker | TED.com