ABOUT THE SPEAKER
Aditi Gupta - Social entrepreneur, co-founder of Menstrupedia
Aditi Gupta uses storytelling and art to educate young girls about menstruation.

Why you should listen

Aditi Gupta is a social entrepreneur and co-founder of Menstrupedia, working towards spreading awareness about menstruation. While studying at the National Institute of Design as a Ford Foundation research scholar, she has conducted extensive research in understanding the scenario of menstrual unawareness in India and its impact on a girl's life. She has designed effective educational tools for girls and schools using storytelling and sequential art for educating young girls about periods in a society where the subject is a major taboo.

Menstrupedia Comic is a complete guide on periods designed by Menstrupedia team being used by more than 30 schools across India. The books are being distributed in other countries like Nepal, South America and Nigeria.

Gupta is a World Economic Forum Global Shaper and made it to the achiever's list of Forbes India 30 under 30 in 2014 for her work towards breaking the taboo around menstruation. She is a International Visitor Leadership Program (IVLP) alumni. Her work has been featured in The Wall Street Journal, Reuters, CNBC and BBC. She aspires to create a future where menstruation is not a taboo but a welcoming change in a girl's life.

More profile about the speaker
Aditi Gupta | Speaker | TED.com
TEDxGatewayWomen

Aditi Gupta: A taboo-free way to talk about periods

Aditi Gupta: Njia isiyo na mwiko kuongelea kuhusu siku za hedhi

Filmed:
1,676,262 views

Ni kweli: kuongelea kuhusu hedhi kunafanya watu wengi wakose raha. Na mwiko huo una matokeo yake: nchini India, wasichana watatu kati ya 10 hawajui hata hedhi ni nini wakati wa siku zao za kwanza, na masharti ya mila yanayohusiana na siku za hedhi yanaleta uharibifu kisaikolojia kwa wasichana. Kukua katika mwiko huu mwenyewe, Aditi Gupta alijua anataka kusaidia wasichana, wazazi, waalimu kuzungumzia kuhusu siku za hedhi kwa raha bila aibu. Anatushirikisha alivyofanya.
- Social entrepreneur, co-founder of Menstrupedia
Aditi Gupta uses storytelling and art to educate young girls about menstruation. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
PeriodsVipindi.
0
520
1576
Siku.
00:14
BloodDamu.
1
2120
1376
Damu.
00:15
MenstruationHedhi.
2
3520
1200
Hedhi.
00:17
GrossJumla.
3
5440
1576
Uchafu.
00:19
SecretSiri.
4
7040
1616
Siri.
00:20
HiddenSiri.
5
8680
1200
Kuficha.
00:22
Why?
6
10400
1200
Kwanini?
00:24
A naturalasili biologicalbiolojia processmchakato
7
12760
1896
Utaratibu asilia kibaolojia
00:26
that everykila girlmsichana and womanmwanamke
goeshuenda throughkupitia everykila monthmwezi
8
14680
3816
ambao kila msichana na mwanamke
anapitia kila mwezi
00:30
for about halfnusu of her life.
9
18520
2176
kwa karibia nusu ya maisha yake.
00:32
A phenomenonuzushi that is so significantmuhimu
10
20720
2696
Jambo ambalo ni la umuhimu mkubwa sana
00:35
that the survivalkuishi and propagationuenezi
of our speciesaina dependsinategemea on it.
11
23440
4200
kiasi kwamba kupona na uenezwaji
wa spishi zetu unautegemea.
00:40
YetBado we considerfikiria it a taboomwiko.
12
28480
1840
Bado tunauchukulia kama mwiko.
00:43
We feel awkwardkufedheheshwa
and shamefulaibu talkingkuzungumza about it.
13
31160
2880
Tunajisikia ugumu
na fedheha kuliongelea.
00:47
When I got my first periodsvipindi,
14
35840
1816
Nilipopata siku zangu mara ya kwanza,
00:49
I was told to keep it
a secretsiri from otherswengine --
15
37680
2360
Niliambiwa nifanye iwe
siri nisiwaambie wengine--
00:52
even from my fatherbaba and brotherndugu.
16
40760
1880
hata kwa baba yangu au kaka.
00:55
LaterBaadaye when this chaptersura
appearedalionekana in our textbooksvitabu,
17
43640
2616
Baadaye wakati hili somo
limejitokeza vitabuni mwetu,
00:58
our biologybiolojia teachermwalimu skippedimeruka the subjectsomo.
18
46280
2336
mwalimu wetu wa baolojia aliiruka mada.
01:00
(LaughterKicheko)
19
48640
2680
(Kicheko)
01:04
You know what I learnedkujifunza from it?
20
52000
1680
Nilijifunza nini kutokana na hili?
01:06
I learnedkujifunza that it is really
shamefulaibu to talk about it.
21
54360
3160
Nilijifunza kwamba
ni fedheha mno kuongelea jambo hili.
01:10
I learnedkujifunza to be ashamedaibu of my bodymwili.
22
58080
2656
Nilijifunza kufedheshwa na mwili wangu.
01:12
I learnedkujifunza to staykaa unawarehawajui of periodsvipindi
23
60760
3056
Nilijifunza kutokufahamu siku zangu
01:15
in orderamri to staykaa decentheshima.
24
63840
1960
ili kuweza kubaki na heshima.
01:18
ResearchUtafiti in variousmbalimbali partssehemu of IndiaIndia
25
66440
1816
Utafiti katika sehemu mbalimbali India
01:20
showsinaonyesha that threetatu out of everykila 10 girlswasichana
are not awarekufahamu of menstruationhedhi
26
68280
4736
waonyesha wasichana watatu kati ya kumi
hawafahamu kuhusu hedhi
01:25
at the time of theirwao first periodsvipindi.
27
73040
1760
wakati wa siku zao za kwanza.
01:27
And in some partssehemu of RajasthanRajasthan
28
75400
1616
Na baadhi ya sehemu za Rajasthan
01:29
this numbernambari is as highjuu as ninetisa
out of 10 girlswasichana beingkuwa unawarehawajui of it.
29
77040
4840
hii namba ni kubwa kama wasichana tisa
kati ya kumi kutokufahamu
01:34
You'dWewe ungekuwa be surprisedkushangaa to know
30
82800
1656
Unaweza kushangazwa kujua
01:36
that mostwengi of the girlswasichana
that I have spokenamesema to,
31
84480
2216
kwamba wasichana wengi
nilioongea nao,
01:38
who did not know about periodsvipindi
at the time of theirwao first menstruationhedhi
32
86720
3816
waliokuwa hawajui kuhusu siku zao
wakati wa hedhi zao za kwanza
01:42
thought that they have got blooddamu cancerkansa
33
90560
2376
walifikiria kuwa wana saratani ya damu
01:44
and they're going to diekufa soonhivi karibuni.
34
92960
1600
na watakufa muda sio mrefu.
01:48
MenstrualHedhi hygieneusafi
is a very importantmuhimu riskhatari factorsababu
35
96760
2936
Usafi wa hedhi
ni kipengele muhimu cha hatari
01:51
for reproductiveuzazi tractnjia infectionsmaambukizi.
36
99720
2560
kwa maambukizi wa mfumo wa via vya uzazi.
01:55
But in IndiaIndia, only 12 percentasilimia
of girlswasichana and womenwanawake
37
103040
3176
Lakini India, ni asilimia 12 tu
ya wasichana na wanawake
01:58
have accessupatikanaji to hygienicusafi waysnjia
of managingkusimamia theirwao periodsvipindi.
38
106240
3760
wanaweza kupata njia za usafi
wa kumudu siku zao.
02:02
If you do the mathmath,
39
110840
1496
Ukifanya mahesabu,
02:04
88 percentasilimia of girlswasichana and womenwanawake use
unhygienicyasiyokuwa ya afya waysnjia to managekusimamia theirwao periodsvipindi.
40
112360
5096
asilimia 88 ya wasichana na wanawake
hutumia njia zisizo salama kwa siku zao.
02:09
I was one of them.
41
117480
1200
Nilikuwa mmoja wao.
02:11
I grewilikua up in a smallndogo townmji
calledaitwaye GarhwaGarhwa, in JharkhandJharkhand,
42
119880
2936
Nilikulia kwenye mji mdogo
uitwao Garhwa, jimbo la Jharkhand,
02:14
where even buyingkununua a sanitaryusafi napkinkitambaa cha mkono
is consideredkuchukuliwa shamefulaibu.
43
122840
3120
ambako hata kununua pedi
ilichukuliwa kama fedheha.
02:18
So when I startedilianza gettingkupata my periodsvipindi,
44
126840
2055
Sasa nilipoanza kupata siku zangu,
02:20
I beganilianza with usingkutumia ragsmatambara.
45
128919
1761
Nilianza kutumia matambara.
02:24
After everykila use
I would washsafisha and reusetumia tena them.
46
132560
2656
Baada ya kila matumizi
niliyafua na kuyatumia tena.
02:27
But to storekuhifadhi them,
47
135240
1256
Lakini kuyahifadhi,
02:28
I would hidekujificha and keep it
in a darkgiza, dampuchafu placemahali
48
136520
2616
Niliyaficha na kuyaweka
sehemu yenye giza na unyevu
02:31
so that nobodyhakuna findshupata out
that I'm menstruatinghedhi.
49
139160
2600
ilikwamba mtu asijue
kuwa niko kwenye hedhi.
02:34
DueUkomo to repeatedimerudiwa washingkuosha
the ragsmatambara would becomekuwa coarsecoarse,
50
142520
2616
Kwa kuyarudia kufua
matambara yalikuja kuwa magumu,
02:37
and I would oftenmara nyingi get rashesvipele
and infectionsmaambukizi usingkutumia them.
51
145160
3000
na mara nyingi nilipata upele
na maambukizi kwa kuyatumia.
02:40
I worewalivaa these alreadytayari for fivetano yearsmiaka
untilmpaka I movedwakiongozwa out of that townmji.
52
148880
4280
Niliyavaa kwa muda wa miaka mitano
hadi nilipohama ule mji.
02:47
AnotherMwingine issuesuala
that periodsvipindi broughtkuletwa in my life
53
155640
2336
Suala lingine
ambalo siku zilileta maishani mwangu
02:50
those of the socialkijamii restrictionsvikwazo
54
158000
2296
lile la kuwekewa mipaka kijamii
02:52
that are imposedzilizowekwa uponjuu our girlswasichana
and womenwanawake when they're on theirwao periodsvipindi.
55
160320
4336
iliyowekwa kwa wasichana wetu
na wanawake wakiwa kwenye siku zao.
02:56
I think you all mustlazima be awarekufahamu of it,
56
164680
2296
Nafikiri wote lazma mtakuwa mnajua,
02:59
but I'll still listorodha it
for the fewwachache who don't.
57
167000
2960
lakini bado nitaelezea
kwa wale wachache wasiojua.
03:02
I was not allowedruhusiwa to touchkugusa or eatkula picklespickles.
58
170720
2480
Sikuruhusiwa kula au kugusa vitu vichachu.
03:05
I was not allowedruhusiwa to sitkukaa on the sofainama
or some other familyfamilia member'smwanachama wa bedkitanda.
59
173840
4856
Sikuruhusiwa kukaa kwenye sofa
au kitandani mwa ndugu wa familia.
03:10
I had to washsafisha my bedkitanda sheetkaratasi
after everykila periodkipindi,
60
178720
2456
Nilitakiwa kufua mashuka
kila baada ya siku zangu,
03:13
even if it was not stainedkubadilika.
61
181200
1936
hata kama hazikuchafuka kwa madoa.
03:15
I was consideredkuchukuliwa impurechafu
62
183160
1816
Nilichukuliwa kama najisi
03:17
and forbiddenhalali from worshippingkuabudu or touchingkugusa
any objectkitu of religiouskidini importanceumuhimu.
63
185000
4800
na kukatazwa kuabudu au kugusa
kitu chochote chenye umuhimu kidini.
03:22
You'llWewe utakuwa find signpostssignposts outsidenje templesmahekalu
64
190880
2216
Ulikutana na matangazo nje ya misikiti
03:25
denyingkukataa the entrykuingia
of menstruatinghedhi girlswasichana and womenwanawake.
65
193120
2440
kukataza wasichana
na wanawake walio kwenye hedhi.
03:29
IronicallySuala,
66
197080
1376
Chakuchekesha,
03:30
mostwengi of the time it is the olderwakubwa womanmwanamke
67
198480
2816
wakati wote ni wanawake watu wazima
03:33
who imposesinatia suchvile restrictionsvikwazo
on youngermdogo girlswasichana in a familyfamilia.
68
201320
4440
ndio walioweka vizuizi hivyo
kwa wasichana wadogo katika familia.
03:38
After all, they have grownmzima up
acceptingkukubali suchvile restrictionsvikwazo as normskanuni.
69
206360
4176
hata hivyo, wamekua
wakikubali vizuizi hivyo kama desturi.
03:42
And in the absencekutokuwepo of any interventionkuingilia kati,
70
210560
3016
Na katika kukosekana kwa kuingiliwa,
03:45
it is the mythhadithi and misconceptionmisconception
71
213600
2016
ni imani potofu na kutoeleweka
03:47
that propagatekueneza
from generationkizazi to generationkizazi.
72
215640
2600
kunakoenezwa
kizazi hata kizazi.
03:51
DuringWakati my yearsmiaka of work in this fieldshamba,
73
219240
1856
Kwa miaka nilyofanyia kazi
taaluma hii,
03:53
I have even come acrosskote storieshadithi
74
221120
1496
Nimeshakutana na hadithi
03:54
where girlswasichana have to eatkula
and washsafisha theirwao dishessahani separatelytofauti.
75
222640
3616
ambapo wasichana walitakiwa kula
na kuosha vyombo vyao kwa kutengwa.
03:58
They're not allowedruhusiwa
to take bathsbathi duringwakati periodsvipindi,
76
226280
2336
Hawakuruhusiwa
kuoga wakati wa siku zao,
04:00
and in some householdskaya they are even
secludedsecluded from other familyfamilia memberswanachama.
77
228640
4080
na katika nyumba nyingine walitengwa
hata na ndugu wengine wa familia.
04:05
About 85 percentasilimia of girlswasichana
and womenwanawake in IndiaIndia
78
233720
3536
Kiasi cha asilimia 85 za wasichana
na wanawake India
04:09
would followFuata one or more restrictivezinazodhibiti
customsforodha on theirwao periodsvipindi everykila monthmwezi.
79
237280
5320
walifuata moja au zaidi ya masharti
ya mila kwenye siku zao kila mwezi.
04:15
Can you imaginefikiria what this does
80
243320
1536
Unafikiria hii inafanya nini
04:16
to the self-esteemkujithamini
and self-confidencekujiamini of a youngvijana girlmsichana?
81
244880
2960
katika kujithamini
na kujiamini kwa msichana mdogo?
04:20
The psychologicalkisaikolojia traumakiwewe
that this inflictsinflicts,
82
248720
2736
Kiwewe cha kisaikolojia
ambacho hili huumiza,
04:23
affectinginayoathiri her personalityutu,
83
251480
2576
kuathiri haiba yake,
04:26
her academickitaaluma performanceutendaji
84
254080
1736
utendaji wake kimasomo
04:27
and everykila singlemoja aspectkipengele of growingkukua up
duringwakati her earlymapema formativemajaliwa yearsmiaka?
85
255840
4640
na kila kipengele cha ukuaji
katika miaka ya awali ya uumbaji wake?
04:33
I religiouslyimeruhusiwa followedikifuatiwa all these
restrictivezinazodhibiti customsforodha for 13 yearsmiaka,
86
261760
4040
Nilifuata kwa bidii masharti haya yote
ya kimila kwa miaka 13,
04:38
untilmpaka a discussionmajadiliano with my partnermpenzi, TuhinTuhin,
87
266400
2376
hadi mjadala na mshirika mwenzangu, Tuhin,
04:40
changediliyopita my perceptionmtazamo
about menstruationhedhi forevermilele.
88
268800
2560
ulipobadilisha mtazamo wangu
kuhusu hedhi milele.
04:44
In 2009, TuhinTuhin and I were pursuingkutafuta
our postgraduationpostgraduation in designkubuni.
89
272280
5456
Mwaka 2009, mimi na Tuhin tulikuwa
tunasoma stashada katika ubunifu.
04:49
We fellakaanguka in love with eachkila mmoja other
90
277760
1656
Tukapendana
04:51
and I was at easeurahisi
discussingkujadili periodsvipindi with him.
91
279440
2440
na nilikuwa huru
kujadiliana naye kuhusu siku zangu.
04:54
TuhinTuhin knewalijua little about periodsvipindi.
92
282640
1920
Tuhin alijua kidogo kuhusu siku.
04:57
(LaughterKicheko)
93
285520
2280
(Kicheko)
05:03
He was astonishedalishangaa to know
that girlswasichana get painfulchungu crampskuuma
94
291800
3616
Alishangazwa kujua kwamba
wasichana hupata maumivu makali
05:07
and we bleednitokwe damu sehemu everykila monthmwezi.
95
295440
1416
na hutokwa damu kila mwezi.
05:08
(LaughterKicheko)
96
296880
2096
(Kicheko)
05:11
Yeah.
97
299000
1496
Ndio.
05:12
He was completelykabisa shockedalishtuka to know
98
300520
1776
Alishtushwa kabisa kujua
05:14
about the restrictionsvikwazo that are imposedzilizowekwa
uponjuu menstruatinghedhi girlswasichana and womenwanawake
99
302320
5176
kuhusu vizuizi vinavyowekwa kwa
wasichana na wanawake walio kwenye hedhi
05:19
by theirwao ownmwenyewe familiesfamilia and theirwao societyjamii.
100
307520
2576
na familia pamoja na jamii zao wenyewe.
05:22
In orderamri to help me with my crampskuuma,
101
310120
2056
Ili kuweza kunisaidia na maumivu yangu,
05:24
he would go on the InternetTovuti
and learnkujifunza more about menstruationhedhi.
102
312200
3800
alikwenda kwenye mtandao wa intaneti
kujifunza kuhusu hedhi.
05:28
When he sharedimeshirikiwa his findingsmatokeo with me,
103
316600
1736
Aliponielezea alichojifunza,
05:30
I realizedgundua how little I knewalijua
about menstruationhedhi myselfMimi mwenyewe.
104
318360
3000
Niligundua ufahamu mdogo
nilionao kuhusu hedhi,
05:33
And manywengi of my beliefsimani
actuallykwa kweli turnedakageuka out to be mythshadithi.
105
321960
3120
na vitu vingi nilivyoamini
vilikuja kuwa ni imani potofu,
05:38
That's when we wonderedalijiuliza:
106
326360
1536
Ndipo nilipojiuliza:
05:39
if we, beingkuwa so well educatedelimu,
107
327920
2336
kama sisi, tumesoma vizuri hivi,
05:42
were so ill-informedaliyefunzwa about menstruationhedhi,
108
330280
2096
tumefundishwa vibaya kuhusu hedhi,
05:44
there would be millionsmamilioni of girlswasichana out there
who would be ill-informedaliyefunzwa, too.
109
332400
4000
kutakuwa na mamilioni ya wasichana huko
nje waliofundishwa vibaya, pia.
05:49
To studykujifunza --
110
337760
1216
Kusoma--
05:51
to understandkuelewa the problemtatizo better,
111
339000
1776
kuelewa tatizo vizuri,
05:52
I undertookilianza a year-longmwaka-mrefu researchutafiti to studykujifunza
the lackukosefu of awarenessufahamu about menstruationhedhi
112
340800
4616
Nilifanya utafiti wa mwaka mmoja kujifunza
ukosefu wa ufahamu kuhusu hedhi
05:57
and the rootmizizi causekusababisha behindnyuma it.
113
345440
1600
na chanzo chake nyuma yake.
05:59
While it is generallykwa ujumla believedaliamini
114
347960
1736
Wakati kiujumla inaaminika
06:01
that menstrualhedhi unawarenessunawareness
and misconceptionmisconception is a ruralvijijini phenomenonuzushi,
115
349720
5976
kwamba kutokufahamu hedhi na
kuelewa vibaya ni tatizo la vijijini,
06:07
duringwakati my researchutafiti,
116
355720
1216
katika utafiti wangu,
06:08
I foundkupatikana that it is as much
an urbanmijini phenomenonuzushi as well.
117
356960
2976
Niligundua kwamba
ni tatizo la mijini pia.
06:11
And it existsipo with the educatedelimu
urbanmijini classdarasa, alsopia.
118
359960
4360
Na lipo kwa daraja la walioelimika
mijini, pia.
06:17
While talkingkuzungumza to manywengi
parentswazazi and teacherswalimu,
119
365280
2496
Wakati naongea na wazazi wengi
pamoja na waalimu,
06:19
I foundkupatikana that manywengi of them actuallykwa kweli
wanted to educatekuelimisha girlswasichana about periodsvipindi
120
367800
5296
Niligundua kuwa wengi wao walitaka
kuelimisha wasichana kuhusu siku zao
06:25
before they have startedilianza
gettingkupata theirwao menstrualhedhi cyclemzunguko.
121
373120
2640
kabla hawajaanza
kupata mzunguko wao wa hedhi.
06:28
And --
122
376840
1216
Na--
06:30
but they lackedalipungukiwa na
the propersahihi meansina maana themselveswenyewe.
123
378080
3536
lakini wenyewe walikosa
njia stahiki.
06:33
And sincetangu it is a taboomwiko,
124
381640
1256
Na kwavile ni mwiko,
06:34
they feel inhibitionkuzuia
and shamefulaibu in talkingkuzungumza about it.
125
382920
3040
wanajisikia kusita
na fedheha kuongelea jambo hilo.
06:38
GirlsWasichana nowadayssiku hizi get theirwao periodsvipindi
in classesmadarasa sixsita and sevensaba,
126
386840
4616
Wasichana siku hizi hupata siku zao
wakiwa darasa la sita na la saba,
06:43
but our educationalelimu curriculummtaala
127
391480
1616
lakini mtaala wetu wa elimu
06:45
teachesfundisha girlswasichana about periodsvipindi
only in standardkiwango eightnane and ninetisa.
128
393120
3800
hufundisha wasichana kuhusu siku zao
darasa la nane na la tisa tu.
06:49
And sincetangu it is a taboomwiko,
129
397800
1560
na kwa vile ni mwiko,
06:52
teacherswalimu still
skipruka the subjectsomo altogetherkabisa.
130
400000
3440
waalimu bado
wanairuka mada.
06:56
So schoolshule does not
teachkufundisha girlswasichana about periodsvipindi,
131
404840
4256
Hivyo shule haziwafundishi
wasichana kuhusu siku zao,
07:01
parentswazazi don't talk about it.
132
409120
2136
wazazi hawazungumzii jambo hilo.
07:03
Where do the girlswasichana go?
133
411280
1400
Wasichana wanaenda wapi?
07:05
Two decadesmiongo agoiliyopita and now --
134
413680
2840
Miongo miwili iliyopita na sasa--
07:09
nothing has changediliyopita.
135
417120
1280
hakuna kilichobadilika.
07:12
I sharedimeshirikiwa these findingkutafuta with TuhinTuhin
and we wonderedalijiuliza:
136
420120
2820
Nilimshirikisha Tuhin matokeo yangu
na tulijiuliza
07:14
What if we could createkuunda something
137
422960
1616
Itakuwaje tukianzisha kitu
07:16
that would help girlswasichana understandkuelewa
about menstruationhedhi on theirwao ownmwenyewe --
138
424600
4576
ambacho kitasaidia wasichana kuelewa
kuhusu hedhi wao wenyewe --
07:21
something that would help
parentswazazi and teacherswalimu
139
429200
4216
Kitu ambacho kitawasaidia
wazazi na waalimu
07:25
talk about periodsvipindi
comfortablykwa raha to youngvijana girlswasichana?
140
433440
2920
kuongelea kuhusu siku za hedhi
kwa raha kwa wasichana wadogo?
07:29
DuringWakati my researchutafiti,
141
437840
1616
Wakati wa utafiti wangu,
07:31
I was collectingKusanya a lot of storieshadithi.
142
439480
1976
Nilikuwa nakusanya hadithi nyingi.
07:33
These were storieshadithi of experiencesuzoefu
of girlswasichana duringwakati theirwao periodsvipindi.
143
441480
4680
Hizi ni hadithi za mambo waliyopitia
wasichana kipindi cha siku zao.
07:38
These storieshadithi would make girlswasichana
curiouscurious and interestednia
144
446800
3256
Hadithi hizi zitawafanya wasichana
wawe wadadisi na kuvutiwa
07:42
in talkingkuzungumza about menstruationhedhi
in theirwao closekaribu circlemzunguko.
145
450080
3936
katika kuongea kuhusu hedhi
ndani ya watu wao wa karibu.
07:46
That's what we wanted.
146
454040
1456
Hicho ndio tulichotaka.
07:47
We wanted something
that would make the girlswasichana curiouscurious
147
455520
3336
Tulitaka kitu ambacho
kingewafanya wasichana wawe wadadisi
07:50
and drivekuendesha them to learnkujifunza about it.
148
458880
2176
na kuwasukuma kujifunza.
07:53
We wanted to use these storieshadithi
to teachkufundisha girlswasichana about periodsvipindi.
149
461080
3160
Tulitaka kutumia hadithi hizi
kufundisha wasichana kuhusu siku zao.
07:57
So we decidedaliamua to createkuunda a comiccomic bookkitabu,
150
465360
3096
Hivyo tukaamua kutengeneza kitabu
cha vikatuni
08:00
where the cartooncartoon characterswahusika
would enactkutunga these storieshadithi
151
468480
3256
ambapo wahusika wa katuni
wataigiza hadithi hizi
08:03
and educatekuelimisha girlswasichana about menstruationhedhi
in a funfuraha and engagingkushiriki way.
152
471760
3880
na kuwaelimisha wasichana kuhusu hedhi
kwa njia ya kufurahisha na kuwashirikisha.
08:08
To representkuwakilisha girlswasichana
in theirwao differenttofauti phasesawamu of pubertyujira,
153
476360
3016
Kuwasilisha wasichana
katika hatua zao tofauti za kubalehe,
08:11
we have threetatu characterswahusika.
154
479400
1640
tunao wahusika watatu.
08:13
PinkiPinki, who has not gottenimepata her periodkipindi yetbado,
155
481560
3176
Pinki, ambaye hajapata siku zake bado,
08:16
JiyaJiya who getshupata her periodkipindi
duringwakati the narrativemaelezo of the bookkitabu
156
484760
3496
Jiya anayepata siku zake
wakati wa simulizi za kitabu
08:20
and MiraProspekt who has alreadytayari
been gettingkupata her periodkipindi.
157
488280
3256
na Mira ambaye tayari
amekuwa akipata siku zake.
08:23
There is a fourthnne charactertabia, PriyaPriya DidiDidi.
158
491560
2416
Kuna mhusika wa nne, Priya Didi.
08:26
ThroughKupitia her, girlswasichana come to know
about the variousmbalimbali aspectsmambo of growingkukua up
159
494000
3536
Kupitia yeye, wasichana wanakuja kujua
kuhusu vipengele kadhaa vya ukuaji
08:29
and menstrualhedhi hygieneusafi managementusimamizi.
160
497560
1800
na kusimamia usafi wa hedhi.
08:32
While makingkufanya the bookkitabu, we tookalichukua great carehuduma
161
500455
1943
Utengenezaji kitabu,
ulitumia umakini
08:34
that nonehakuna of the illustrationsvielelezo
were objectionableHatuwajibiki in any way
162
502423
3953
hakuna katika vielelezo ambavyo
vilikuwa na pingamizi lolote
08:38
and that it is culturallykiutamaduni sensitivenyeti.
163
506400
1960
na hiyo ni nyeti kitamaduni.
08:41
DuringWakati our prototypemfano testingkupima,
we foundkupatikana that the girlswasichana lovedkupendwa the bookkitabu.
164
509200
3856
Wakati wa majaribio ya sampuli ya awali
tuligundua wasichana wakilipenda kitabu.
08:45
They were keennia on readingkusoma it
165
513080
1376
Walikuwa na hamu ya kukisoma
08:46
and knowingkujua more and more
about periodsvipindi on theirwao ownmwenyewe.
166
514480
2760
na kujua zaidi na zaidi
kuhusu siku zao wao wenyewe.
08:50
ParentsWazazi and teacherswalimu were
comfortablevizuri in talkingkuzungumza about periodsvipindi
167
518039
3017
Wazazi na waalimu walikuwa
hawaoni shida kuongea kuhusu siku
08:53
to youngvijana girlswasichana usingkutumia the bookkitabu,
168
521080
1695
kwa wasichana wadogo kutumia kitabu
08:54
and sometimesmara nyingine even boyswavulana
were interestednia in readingkusoma it.
169
522799
2977
na wakati mwingine hata wavulana
walivutiwa kukisoma.
08:57
(LaughterKicheko)
170
525800
2136
(Kicheko)
08:59
(ApplauseMakofi)
171
527960
1760
(Makofi)
09:03
The comiccomic bookkitabu helpedimesaidia
in creatingkujenga an environmentmazingira
172
531840
3816
Kitabu cha vikatu kilisaidia
katika kujenga mazingira
09:07
where menstruationhedhi ceasedtulia to be a taboomwiko.
173
535680
2440
ambapo itasimamisha hedhi kuwa mwiko.
09:10
ManyWengi of the volunteerswajitolea tookalichukua this prototypemfano
themselveswenyewe to educatekuelimisha girlswasichana
174
538720
4056
Wengi wa waliojitolea walichukua hii
sampuli ya awali kuelimisha wasichana
09:14
and take menstrualhedhi awarenessufahamu workshopswarsha
in fivetano differenttofauti statesinasema in IndiaIndia.
175
542800
3936
na kufanya warsha za kuelimisha hedhi
katika majimbo matano tofauti India.
09:18
And one of the volunteerswajitolea
tookalichukua this prototypemfano to educatekuelimisha youngvijana monkswatawa
176
546760
3376
na mmoja wa waliojitolea alitumia
sampuli hii kuelimisha watawa vijana
09:22
and tookalichukua it to this monasterymonasteri in LadakhLadakh.
177
550160
2216
na aliipeleka kwenye nyumba ya utawa
Ladakh.
09:24
We madealifanya the finalmwisho versiontoleo of the bookkitabu,
calledaitwaye "MenstrupediaMenstrupedia ComicComic"
178
552400
3336
Tulitengeneza toleo la mwisho la kitabu,
tukakiita "Menstrupedia Comic"
09:27
and launchedilizinduliwa in SeptemberSeptemba last yearmwaka.
179
555760
2760
na kukizindua Septemba mwaka jana.
09:31
And so farmbali,
180
559120
1376
Na mpaka sasa,
09:32
more than 4,000 girlswasichana have been
educatedelimu by usingkutumia the bookkitabu in IndiaIndia and --
181
560520
4336
zaidi ya wasichana 4,000 wameelimika
kwa kutumia kitabu India na --
09:36
(ApplauseMakofi)
182
564880
2656
(Makofi)
09:39
Thank you.
183
567560
1216
Asanteni.
09:40
(ApplauseMakofi)
184
568800
2320
(Makofi)
09:46
And 10 differenttofauti countriesnchi.
185
574240
1800
na nchi nyingine 10.
09:49
We are constantlydaima translatingkutafsiri the bookkitabu
into differenttofauti languageslugha
186
577160
3016
Mara kwa mara tunakitafsiri kitabu
katika lugha tofauti
09:52
and collaboratingkushirikiana with localmitaa organizationsmashirika
187
580200
2736
Na kushirikiana na mashirika ya ndani
nchi
09:54
to make this bookkitabu availableinapatikana
in differenttofauti countriesnchi.
188
582960
2656
na kufanya hiki kitabu kipatikane
katika nchi tofauti.
09:57
15 schoolsshule in differenttofauti partssehemu of IndiaIndia
189
585640
2936
Mashule 15 katika sehemu tofauti India
10:00
have madealifanya this bookkitabu
a partsehemu of theirwao schoolshule curriculummtaala
190
588600
3416
yamekifanya kitabu hiki
kuwa sehemu ya mtaala wa shule zao
10:04
to teachkufundisha girlswasichana about menstruationhedhi.
191
592040
1776
kufundisha wasichana kuhusu hedhi.
10:05
(ApplauseMakofi)
192
593840
2400
(Makofi)
10:12
I am amazedalishangaa to see how volunteerswajitolea,
193
600440
5336
Nafurahishwa kuona jinsi wanaojitolea,
10:17
individualswatu binafsi, parentswazazi,
teacherswalimu, schoolshule principalswakuu wa,
194
605800
4136
watu binafsi, wazazi
waalimu, wakuu wa mashule
10:21
have come togetherpamoja
195
609960
1496
wamekutana pamoja
10:23
and takenkuchukuliwa this menstrualhedhi awarenessufahamu
drivekuendesha to theirwao ownmwenyewe communitiesjamii,
196
611480
4256
na kufanya msukumo huu wa ufahamishaji
wa hedhi kwa jamii zao,
10:27
have madealifanya sure that the girlswasichana
learnkujifunza about periodsvipindi at the right ageumri
197
615760
3696
wamehakikisha wasichana wanajifunza
kuhusu siku zao katika umri sahihi
10:31
and helpedimesaidia in breakingkuvunja this taboomwiko.
198
619480
2160
na kusaidia katika kuvunja mwiko huu
10:35
I dreamndoto of a futurebaadaye
where menstruationhedhi is not a curselaana,
199
623040
4296
Ninaota maisha ya mbele
ambapo hedhi sio laana,
10:39
not a diseaseugonjwa,
200
627360
1536
sio ugonjwa,
10:40
but a welcomingkukaribisha changemabadiliko in a girl'smsichana huyo life.
201
628920
2440
ila ni mabadiliko katika
maisha ya msichana.
10:44
And I would --
202
632120
1216
Na ninge --
10:45
(ApplauseMakofi)
203
633360
2120
(Makofi)
10:49
And I would like to endmwisho this
204
637960
1376
Na ningependa kumalizia hii
10:51
with a smallndogo requestombi la
to all the parentswazazi here.
205
639360
3896
kwa ombi dogo
kwa wazazi wote hapa.
10:55
DearWapendwa parentswazazi,
206
643280
1200
Wapendwa wazazi,
10:57
if you would be ashamedaibu of periodsvipindi,
207
645240
2216
kama mtakuwa mnafedheheshwa na hedhi
10:59
your daughtersbinti would be, too.
208
647480
2216
na mabinti zenu watafedheheshwa, pia.
11:01
So please be periodkipindi positivechanya.
209
649720
2456
Hivyo tafadhali muwe na mtazamo chanya
katika siku.
11:04
(LaughterKicheko)
210
652200
1216
(Kicheko)
11:05
Thank you.
211
653440
1216
Asanteni.
11:06
(ApplauseMakofi)
212
654680
2723
(Makofi)
Translated by Leah Ligate
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Aditi Gupta - Social entrepreneur, co-founder of Menstrupedia
Aditi Gupta uses storytelling and art to educate young girls about menstruation.

Why you should listen

Aditi Gupta is a social entrepreneur and co-founder of Menstrupedia, working towards spreading awareness about menstruation. While studying at the National Institute of Design as a Ford Foundation research scholar, she has conducted extensive research in understanding the scenario of menstrual unawareness in India and its impact on a girl's life. She has designed effective educational tools for girls and schools using storytelling and sequential art for educating young girls about periods in a society where the subject is a major taboo.

Menstrupedia Comic is a complete guide on periods designed by Menstrupedia team being used by more than 30 schools across India. The books are being distributed in other countries like Nepal, South America and Nigeria.

Gupta is a World Economic Forum Global Shaper and made it to the achiever's list of Forbes India 30 under 30 in 2014 for her work towards breaking the taboo around menstruation. She is a International Visitor Leadership Program (IVLP) alumni. Her work has been featured in The Wall Street Journal, Reuters, CNBC and BBC. She aspires to create a future where menstruation is not a taboo but a welcoming change in a girl's life.

More profile about the speaker
Aditi Gupta | Speaker | TED.com