ABOUT THE SPEAKER
David Miliband - Refugee advocate
As president of the International Rescue Committee, David Miliband enlists his expert statesmanship in the fight against the greatest global refugee crisis since World War II.

Why you should listen

As the son of refugees, David Miliband has first-hand experience with those fleeing conflict and disaster. In 2013, he abandoned a long political career to take the helm of the International Rescue Committee, an NGO committed to emergency and long-term assistance to refugees (and founded at the call of Albert Einstein in 1933).

As a former UK Secretary of State for Foreign Affairs, Miliband is no stranger to cross-border politics. He is a leading voice against recent anti-refugee and immigration measures in the US, where the IRC currently runs resettlement programs in 29 cities.

More profile about the speaker
David Miliband | Speaker | TED.com
TED2017

David Miliband: The refugee crisis is a test of our character

David Miliband: Mgogoro wa wakimbizi ni kipimo cha utu wetu

Filmed:
1,454,444 views

Watu millioni sitini na tano walitolewa katika makazi yao na migogoro na majanga katika mwaka 2016. Huu sio tu ni mgogoro; lakini pia ni kipimo cha kuwa sisi ni nani na tunasimamia nini, anasema David Miliband - kila moja wetu ana jukumu binafsi kutatua hali hii. Katika mazungumzo haya yenye umuhimu wa kipekee kuyaangalia , Miliband anatupa njia za dhahiri za kuwasaidia wakimbizi na kugeuza huruma na kuwawazia wengine kuwa vitendo.
- Refugee advocate
As president of the International Rescue Committee, David Miliband enlists his expert statesmanship in the fight against the greatest global refugee crisis since World War II. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

Ninaenda kuongea nanyi kuhusu janga la kidunia la wakimbizi
00:12
I'm going to speaksema to you
about the globalkimataifa refugeewakimbizi crisismgogoro
0
560
3776
00:16
and my aimlengo is to showonyesha you that this crisismgogoro
1
4360
3816
na lengo langu ni kuwaonyesha kwamba janga hili
00:20
is manageablekugawika, not unsolvableunsolvable,
2
8200
2600
Linaweza kusimamiwa, halishindikani kutatuliwa,
00:23
but alsopia showonyesha you that this is
as much about us and who we are
3
11960
5296
lakini pia kuwaonyesha kwamba hili jambo ni zaidi kuhusu sisi na vile tulivyo
00:29
as it is a trialjaribio of the refugeeswakimbizi
on the frontmbele linemstari.
4
17280
3240
kama lilivyo ni jaribu kwa wakimbizi waliopo mstari wa mbele.
00:33
For me, this is not
just a professionalmtaalamu obligationwajibu,
5
21320
2816
Kwangu mimi, hili sio jukumu la kikazi tu,
00:36
because I runkukimbia an NGONGO supportingkusaidia refugeeswakimbizi
and displacedwalihamishwa people around the worldulimwengu.
6
24160
4936
kwa vile ninaendesha taasisi isiyo ya kiserikali inayoshughululika na wakimbuzi duniani kote.
00:41
It's personalbinafsi.
7
29120
1200
nachukulia kama jukumu la kibinafsi.
00:43
I love this picturepicha.
8
31320
1800
Naipenda picha hii.
00:45
That really handsomenzuri guy on the right,
9
33920
2096
Yule kijana mtanashati sana upande wa kulia,
00:48
that's not me.
10
36040
1200
yule sio mimi.
00:49
That's my dadbaba, RalphRalph, in LondonLondon, in 1940
11
37760
3576
Ni baba yangu, Ralph, akiwa London, mwaka 1940
00:53
with his fatherbaba SamuelSamweli.
12
41360
1800
akiwa na baba yake Samwel.
00:55
They were JewishWayahudi refugeeswakimbizi from BelgiumUbelgiji.
13
43920
2496
Walikuwa wakimbizi wa Kiyahudi tokea Ubelgiji.
00:58
They fledwalikimbia the day the NazisNazis invadedwalivamia.
14
46440
3320
Walikimbia siku ambazo Nazi wa Ujerumani walivamia.
01:02
And I love this picturepicha, too.
15
50600
1434
Na naipenda picha hii, pia.
01:04
It's a groupkikundi of refugeewakimbizi childrenwatoto
16
52640
2160
Ni kundi la watoto wakimbizi
01:07
arrivingkuwasili in EnglandUingereza in 1946 from PolandPolandi.
17
55480
2680
walipowasili Uingereza mwaka 1946 kutokea Poland.
01:11
And in the middlekatikati is my mothermama, MarionMarion.
18
59000
3080
Na katikati ni mama yangu, Marion.
01:14
She was sentalitumwa to startkuanza a newmpya life
19
62640
3016
Alitumwa kwenda kuanza maisha mapya
01:17
in a newmpya countrynchi
20
65680
1496
katika nchi mpya
01:19
on her ownmwenyewe
21
67200
1256
yeye mwenyewe
01:20
at the ageumri of 12.
22
68480
1440
akiwa na miaka 12.
01:22
I know this:
23
70920
1616
Najua hili;
01:24
if BritainUingereza had not admittedalikiri refugeeswakimbizi
24
72560
3256
Kama Waingereza wasingeruhusu wakimbizi
01:27
in the 1940s,
25
75840
1200
mwaka 1940,
01:29
I certainlyhakika would not be here todayleo.
26
77800
3080
Nina uhakika nisingekuwa hapa leo.
01:34
YetBado 70 yearsmiaka on,
the wheelgurudumu has come fullkamili circlemzunguko.
27
82240
4120
Bado katika miaka 70, gurudumu limezunguka kuwa kamili.
01:38
The soundsauti is of wallskuta beingkuwa builtkujengwa,
28
86840
3016
Sauti za kuta ambazo zimejengwa,
01:41
vengefulkulipa kisasi politicalkisiasa rhetorichamaki,
29
89880
2496
siasa za visasi,
01:44
humanitariankibinadamu valuesmaadili and principleskanuni on firemoto
30
92400
3680
thamani ya ubinadamu na misingi katika moto
01:48
in the very countriesnchi
that 70 yearsmiaka agoiliyopita said never again
31
96760
3896
katika nchi ambazo miaka 70 iliyopita zilisema hakuna tena kamwe
01:52
to statelessnesskutokandamizwa and hopelessnesswatu wamekata tamaa.
for the victimswaathirika of warvita.
32
100680
4640
wataokuwa bila mataifa na matumaini ambao ni wahanga wa vita.
01:58
Last yearmwaka, everykila minutedakika,
33
106600
2680
Mwaka uliopita, kila dakika,
02:02
24 more people were displacedwalihamishwa
from theirwao homesnyumba
34
110320
3336
zaidi ya watu 24 walikuwa wakiondolewa kutoka majumbani mwao
02:05
by conflictmigogoro, violencevurugu and persecutionmateso:
35
113680
2520
kwa mafarakano, machafuko na unyanyapaa wa kibaguzi:
02:09
anothermwingine chemicalkemikali weaponsilaha attackkushambulia in SyriaSyria,
36
117160
2696
shambulio lingine la silaha za kemikali nchini Syria,
02:11
the TalibanTaliban on the rampageghasia in AfghanistanAfghanistani,
37
119880
3456
Watalibani na machafuko nchini Afghanistan,
02:15
girlswasichana driveninaendeshwa from theirwao schoolshule
in northeastKaskazini Mashariki NigeriaNigeria by BokoBoko HaramHaram.
38
123360
5279
wasichana waliotekwa na Boko Haram wakiwa shule Kaskazini- Mashariki mwa Nigeria.
02:21
These are not people
movingkusonga to anothermwingine countrynchi
39
129800
3496
Hawa sio watu ambao wanahamia nchi nyingine
02:25
to get a better life.
40
133320
1240
kupata maisha bora.
02:27
They're fleeingkukimbia for theirwao livesanaishi.
41
135280
1680
Wanahama kwa kuokoa maisha yao.
02:31
It's a realhalisi tragedyjanga
42
139080
1200
Ni jambo la kuhuzunisha mno
02:33
that the world'sulimwengu mostwengi famousmaarufu refugeewakimbizi
can't come to speaksema to you here todayleo.
43
141520
5160
kwamba mkimbizi maarufu duniani hawezi kuja kuongea hapa leo hii.
02:39
ManyWengi of you will know this picturepicha.
44
147240
1720
Wengi wenu mtaitambua picha hii.
02:41
It showsinaonyesha the lifelessunaoishi bodymwili
45
149800
2616
Inaonyesha mwili usio na maisha
02:44
of five-year-oldmwenye umri wa miaka mitano AlanAlan KurdiKurdi,
46
152440
2096
mwa mvulana wa miaka mitano aitwaye Alan Kurdi,
02:46
a SyrianSyria refugeewakimbizi who diedalikufa
in the MediterraneanMediterranean in 2015.
47
154560
4456
mkimbizi wa Syria aliyefariki Mediterenian mwaka 2015.
02:51
He diedalikufa alongsidesambamba na 3,700 otherswengine
tryingkujaribu to get to EuropeEurope.
48
159040
4400
Alifariki na wengine 3700 wakati wakijaribu kuingia Ulaya.
02:56
The nextijayo yearmwaka, 2016,
49
164440
1560
Mwaka uliofata, 2016,
02:58
5,000 people diedalikufa.
50
166720
2360
Watu 5000 walifariki.
03:02
It's too latekuchelewa for them,
51
170840
1200
Walikuwa wamechelewa mno,
03:05
but it's not too latekuchelewa
for millionsmamilioni of otherswengine.
52
173240
2736
lakini ni mapema kwa wengine mamilioni.
03:08
It's not too latekuchelewa
for people like FrederickFrederick.
53
176000
2048
Bado ni mapema kwa watu kama Frederick.
03:10
I metalikutana him in the NyarugusuNyarugusu
refugeewakimbizi campkambi in TanzaniaTanzania.
54
178640
3496
Nilikutana nae katika kambi ya wakimbizi inayofahamika kama Nyarugusu nchini Tanzania.
03:14
He's from BurundiBurundi.
55
182160
1200
Anatokea Burundi.
03:15
He wanted to know
where could he completekamili his studiestafiti.
56
183720
2576
Alitaka kujua ni wapi angeweza kumaliza masomo yake.
03:18
He'dAtafanya donekufanyika 11 yearsmiaka of schoolingshule.
He wanted a 12tht yearmwaka.
57
186320
3096
Amesoma madarasa 11, na alitaka malizia mwaka wa 12.
03:21
He said to me, "I praykuomba
that my dayssiku do not endmwisho here
58
189440
4616
Aliniambia, "Ninaomba kwa Mungu siku zangu zisiiishie hapa
03:26
in this refugeewakimbizi campkambi."
59
194080
1200
katika kambi hii ya wakimbizi."
03:28
And it's not too latekuchelewa for HaludHalud.
60
196200
2280
Na bado ni mapema kwa Halud.
03:31
Her parentswazazi were PalestinianPalestina refugeeswakimbizi
61
199480
2696
Wazazi wake walikuwa ni wakimbizi wa Kipalestina
03:34
livingwanaishi in the YarmoukLinn refugeewakimbizi campkambi
outsidenje DamascusDameski.
62
202200
2800
wanaoishi katika kambi ya Yarmouk nje ya mji mkuu wa Damascus.
03:37
She was bornalizaliwa to refugeewakimbizi parentswazazi,
63
205480
1526
Alizaliwa wazazi wakimbizi,
03:39
and now she's a refugeewakimbizi
herselfmwenyewe in LebanonLebanoni.
64
207040
2760
na sasa ni mkimbizi akiwa peke yake nchini Lebanon.
03:42
She's workingkufanya kazi for the InternationalKimataifa
RescueUokoaji CommitteeKamati to help other refugeeswakimbizi,
65
210520
3640
Anafanya kazi katika kamati ya kimataifa ya kusaidia wakimbizi wengine,
03:46
but she has no certaintyuhakika at all
66
214840
2976
lakini hana uhakika wowote
03:49
about her futurebaadaye,
67
217840
2136
kuhusu maisha yake ya baadaye,
03:52
where it is or what it holdsinashikilia.
68
220000
1680
yapo wapi na yana ahadi gani.
03:54
This talk is about FrederickFrederick, about HaludHalud
69
222400
3896
Hotuba hii ni kuhusu Frederick, na kuhusu Halud
03:58
and about millionsmamilioni like them:
70
226320
1400
na kuhusu mamilioni ya wengine;
04:00
why they're displacedwalihamishwa,
71
228320
1936
na walikuwa wameondolewa,
04:02
how they survivekuishi, what help they need
and what our responsibilitiesmajukumu are.
72
230280
4440
wanaishi vipi, msaada gani wanahitaji na majukumu yetu ni yapi.
04:07
I trulykweli believe this,
73
235600
1640
Ninaamini katika hili,
04:10
that the biggestkubwa questionswali
in the 21stst centurykarne
74
238440
2560
kwamba swali kubwa katika karne ya 21
04:13
concernswasiwasi our dutywajibu to strangerswageni.
75
241760
3040
linahusu majukumu yetu kwa watu tusiowafahamu.
04:17
The futurebaadaye "you" is about your dutiesmajukumu
76
245320
3256
Kesho yako inahusu majukumu yako
04:20
to strangerswageni.
77
248600
1200
kwa usiowafahamu.
04:22
You know better than anyoneyeyote,
78
250440
1376
Unajua vyema kuliko mwingine yoyote,
04:23
the worldulimwengu is more connectedimeunganishwa
than ever before,
79
251840
3800
dunia imeunganishwa kirahisi sana kuliko miaka ya nyuma,
04:28
yetbado the great dangerhatari
80
256519
1897
lakini hatari kubwa
04:30
is that we're consumedzinazotumiwa by our divisionsmgawanyiko.
81
258440
2519
ni kwamba tunatumia muda mwingi katika utengano wetu.
04:34
And there is no better testmtihani of that
82
262000
2256
Na hakuna jaribio bora kwa hilo
04:36
than how we treatkutibu refugeeswakimbizi.
83
264280
1960
kuliko jinsi tunavyowajali wakimbizi.
04:38
Here are the factsukweli: 65 millionmilioni people
84
266840
2936
Huu ni ukweli: watu milioni 65
04:41
displacedwalihamishwa from theirwao homesnyumba
by violencevurugu and persecutionmateso last yearmwaka.
85
269800
3216
waliondolewa kutoka majumbani mwao kwa machafuko mwaka uliopita.
04:45
If it was a countrynchi,
86
273040
1736
Kama ingekuwa ni nchi,
04:46
that would be the 21stst
largestkubwa countrynchi in the worldulimwengu.
87
274800
3280
ingekuwa ni nchi kubwa kuliko zote duniani katika karne ya 21.
04:50
MostWengi of those people, about 40 millionmilioni,
staykaa withinndani theirwao ownmwenyewe home countrynchi,
88
278880
4896
Wengi ya hawa watu, takribani milioni 40, wanaishi katika nchi zao,
04:55
but 25 millionmilioni are refugeeswakimbizi.
89
283800
1576
lakini milioni 25 ni wakimbizi.
04:57
That meansina maana they crossmsalaba a bordermpaka
into a neighboringjirani statehali.
90
285400
3000
Hii inamaanisha wanavuka mpaka kwenda nchi jirani.
05:01
MostWengi of them are livingwanaishi in poormaskini countriesnchi,
91
289120
4016
Wengi wao wanaishi katika nchi masikini,
05:05
relativelykiasi poormaskini or lower-middle-incomechini-kati-mapato
countriesnchi, like LebanonLebanoni,
92
293160
3016
nchi za umasikini wa ulinganifu au zilizo na kipato cha chini cha kati, kama Lebanon,
05:08
where HaludHalud is livingwanaishi.
93
296200
1280
ambapo Halud anaishi.
05:10
In LebanonLebanoni, one
in fournne people is a refugeewakimbizi,
94
298880
3960
Nchini Lebanon, mtu mmoja kati ya wanne ni mkimbizi,
05:15
a quarterrobo of the wholeyote populationidadi ya watu.
95
303560
3256
robo ya watu wote.
05:18
And refugeeswakimbizi staykaa for a long time.
96
306840
2096
Na wakimbizi hukaa kwa muda mrefu.
05:20
The averagewastani lengthurefu of displacementmakazi yao
97
308960
2096
Muda wa wastani wa kukimbia
05:23
is 10 yearsmiaka.
98
311080
1200
ni miaka kumi.
05:25
I wentakaenda to what was the world'sulimwengu
largestkubwa refugeewakimbizi campkambi, in easternmashariki KenyaKenya.
99
313320
4360
Nilikwenda katika kambi kubwa ya wakimbizi duniani, mashariki ya Kenya.
05:30
It's calledaitwaye DadaabDadaab.
100
318080
1216
Inafahamika kama Dadaab.
05:31
It was builtkujengwa in 1991-92
101
319320
2136
Ilijengwa kati mwaka 1991 hadi 92
05:33
as a "temporarymuda mfupi campkambi"
for SomalisWasomali fleeingkukimbia the civilkiraia warvita.
102
321480
3920
kama kambi ya muda kwa Wasomali waliokimbia kutokana na vita ya kisiasa.
05:37
I metalikutana SiloSilo.
103
325920
1200
Nilikutana na Silo.
05:39
And naRangiïvelyvely I said to SiloSilo,
104
327720
2816
Na nikajisemea kwa Silo,
05:42
"Do you think you'llutasikia ever
go home to SomaliaSomalia?"
105
330560
2200
"Unadhani utaweza kurudi nyumbani Somalia?"
05:45
And she said, "What do you mean, go home?
106
333880
1960
Na alisema, "Unamaanisha nini, kurudi nyumbani?
05:48
I was bornalizaliwa here."
107
336320
1200
Nimezaliwa hapa."
05:50
And then when I askedaliuliza the campkambi managementusimamizi
108
338720
2096
Na kisha nilipouliza utawala wa kambi ile
05:52
how manywengi of the 330,000 people
in that campkambi were bornalizaliwa there,
109
340840
4056
ni wangapi kati ya watu 330,000 walizaliwa palepale kambini,
05:56
they gavealitoa me the answerjibu:
110
344920
1200
Walinipa jibu;
05:59
100,000.
111
347160
1520
100,000
06:01
That's what long-termmuda mrefu displacementmakazi yao meansina maana.
112
349840
2400
Hii ndiyo maana ya ukimbizi wa muda mrefu.
06:05
Now, the causessababu of this are deepkina:
113
353440
2456
Sasa, chanzo cha haya matatizo kina kina kirefu;
06:07
weakdhaifu statesinasema that can't
supportmsaada theirwao ownmwenyewe people,
114
355920
2239
mataifa dhaifu ambayo hayawezi kujali watu wao,
06:10
an internationalkimataifa politicalkisiasa systemmfumo
115
358840
2416
mfumo wa kimataifa wa siasa
06:13
weakerdhaifu than at any time sincetangu 1945
116
361280
2280
dhaifu kuliko muda wowote kuanzia 1945
06:16
and differencestofauti over theologyteolojia, governanceutawala,
engagementushiriki with the outsidenje worldulimwengu
117
364320
4096
na tofauti za imani za kidini, utawala, mahusiano na dunia ya nje
06:20
in significantmuhimu partssehemu of the MuslimWaislamu worldulimwengu.
118
368440
2160
katika sehemu muhimu ya dunia ya Kiislamu
06:24
Now, those are long-termmuda mrefu,
generationalutundu challengeschangamoto.
119
372680
3176
Sasa, hizi ni changamoto za vizazi ambazo ni za muda mrefu.
06:27
That's why I say that this refugeewakimbizi crisismgogoro
is a trendmwenendo and not a blipblip.
120
375880
3480
Ndiyo maana ninasema hili janga la wakimbizi ni jambo ambalo ni muendelezo na sio la kushtukiza.
06:32
And it's complextata, and when you have
bigkubwa, largekubwa, long-termmuda mrefu, complextata problemsmatatizo,
121
380360
4536
Ni tata, na pale unapokuwa na matatizo ambayo ni makubwa, ya muda mrefu,
06:36
people think nothing can be donekufanyika.
122
384920
1880
watu hufikiri hamna jambo linaloweza fanyika.
06:40
When PopePapa FrancisFrancis wentakaenda to LampedusaLampedusa,
123
388120
2120
Wakati Papa Francis alipokwenda Lampedusa,
06:43
off the coastpwani of ItalyUitalia, in 2014,
124
391360
1576
katika pwani za Italia, mwaka 2014,
06:44
he accusedmtuhumiwa all of us
and the globalkimataifa populationidadi ya watu
125
392960
3296
alitushutumu sisi sote na dunia nzima
06:48
of what he calledaitwaye
"the globalizationutandawazi of indifferencekutojali."
126
396280
3440
ambapo aliita ni dunia ya "utandawazi wa wasiojali."
06:52
It's a hauntingkutuandama phrasemaneno.
127
400760
1216
Ni msemo ambao upo nasi mara zote.
06:54
It meansina maana that our heartsmioyo
have turnedakageuka to stonejiwe.
128
402000
3440
Ina maana kwamba mioyo yetu imegeuka kuwa ya mawe.
06:58
Now, I don't know, you tell me.
129
406560
1816
Sasa, sifahamu, uniambie.
07:00
Are you allowedruhusiwa to arguewanasema with the PopePapa,
even at a TEDTED conferencemkutano?
130
408400
3880
Unatakiwa kulumbana na Papa, hata katika mkutano wa TED?
07:04
But I think it's not right.
131
412880
1416
Lakini nafikiri si sahihi.
07:06
I think people do want
to make a differencetofauti,
132
414320
2096
Nadhani watu wanataka kufanya mabadiliko,
07:08
but they just don't know whetherkama
there are any solutionsufumbuzi to this crisismgogoro.
133
416440
3696
lakini hawajui kama kuna utatuzi wowote wa hili janga.
07:12
And what I want to tell you todayleo
134
420160
1816
Na ninachotaka kuwaambia leo
07:14
is that thoughingawa the problemsmatatizo are realhalisi,
the solutionsufumbuzi are realhalisi, too.
135
422000
3108
Ni kwamba ingawa matatizo ni makubwa, na ufumbuzi wake ni mkubwa pia
07:17
SolutionUfumbuzi one:
136
425800
1336
Ufumbuzi wa kwanza:
07:19
these refugeeswakimbizi need to get into work
in the countriesnchi where they're livingwanaishi,
137
427160
3576
wakimbizi hawa wanatakiwa wajishughulishe katika nchi wanazoishi.
07:22
and the countriesnchi where they're livingwanaishi
need massivekubwa economickiuchumi supportmsaada.
138
430760
3256
na nchi ambazo wanaishi zinatakiwa kupewa msaada mkubwa wa kiuchumi.
07:26
In UgandaUganda in 2014, they did a studykujifunza:
139
434040
1880
Mwaka 2014 nchini Uganda, walifanya utafiti:
07:28
80 percentasilimia of refugeeswakimbizi
in the capitalmji mkuu cityjiji KampalaKampala
140
436680
2896
Asilimia 80 ya wakimbizi katika mji mkuu wa Kampala
07:31
neededinahitajika no humanitariankibinadamu aidmisaada
because they were workingkufanya kazi.
141
439600
2736
hawakuhitaji msaada wa kibinadamu kwa sababu walikuwa wakifanya kazi.
07:34
They were supportedimesaidiwa into work.
142
442360
1429
Walikuwa wakisaidiwa katika kazi.
07:36
SolutionUfumbuzi numbernambari two:
143
444400
1776
Ufumbuzi namba mbili:
07:38
educationelimu for kidswatoto
is a lifelineLifeline, not a luxuryanasa,
144
446200
4056
elimu kwa watoto ni msingi wa maisha, sio starehe,
07:42
when you're displacedwalihamishwa for so long.
145
450280
1640
Unapokuwa umekimbia kwa muda mrefu.
07:45
KidsWatoto can bounceDuta back when they're givenalipewa
the propersahihi socialkijamii, emotionalkihisia supportmsaada
146
453480
4096
Watoto wanaweza shindwa pale wanapopewa msaada sahihi wa kijamii na kihisia
07:49
alongsidesambamba na literacykusoma na kuandika and numeracykuhesabu.
147
457600
1736
pamoja na maarifa
07:51
I've seenkuonekana it for myselfMimi mwenyewe.
148
459360
1200
Nimejionea mwenyewe.
07:54
But halfnusu of the world'sulimwengu refugeewakimbizi childrenwatoto
of primarymsingi schoolshule ageumri
149
462680
3336
Lakini nusu wa wakimbizi watoto duniani walio katika umri wa elimu ya msingi
07:58
get no educationelimu at all,
150
466040
1976
hawapati elimu kabisa,
08:00
and threetatu quartersrobo of secondarysekondari schoolshule ageumri
get no educationelimu at all.
151
468040
3376
na robo tatu ya umri wa shule ya sekondari hawapati elimu kabisa.
08:03
That's crazywazimu.
152
471440
1200
Inachanganya akili sana!
08:05
SolutionUfumbuzi numbernambari threetatu:
153
473760
2496
Ufumbuzi namba tatu:
08:08
mostwengi refugeeswakimbizi are in urbanmijini areasmaeneo,
in citiesmiji, not in campsmakambi.
154
476280
3456
wakimbizi wengi wapo katika maeneo ya mijini, katika majiji, na sio katika makambi.
08:11
What would you or I want
if we were a refugeewakimbizi in a cityjiji?
155
479760
2656
Ni kipi utachotaka au nitachotaka kama tungekuwa wakimbizi katika jiji?
08:14
We would want moneyfedha
to paykulipa rentkukodisha or buykununua clothesnguo.
156
482440
3000
Tungehitaji fedha kwa ajili ya kulipa kodi na kununua nguo.
08:18
That is the futurebaadaye
of the humanitariankibinadamu systemmfumo,
157
486600
2176
Hiyo ni kesho ya mfumo wa kibinadamu,
08:20
or a significantmuhimu partsehemu of it:
158
488800
1376
au nyanja muhimu:
08:22
give people cashfedha so that
you boostkuongeza the powernguvu of refugeeswakimbizi
159
490200
2656
wape watu fedha ili uongeze nguvu ya wakimbizi
08:24
and you'llutasikia help the localmitaa economyuchumi.
160
492880
1976
na utasaidia uchumi wa eneo husika.
08:26
And there's a fourthnne solutionsuluhisho, too,
161
494880
1976
Na kuna ufumbuzi wa nne, pia,
08:28
that's controversialutata
but needsmahitaji to be talkedaliongea about.
162
496880
2736
unatatiza lakini unatakiwa kuongelewa.
08:31
The mostwengi vulnerablehatari refugeeswakimbizi
need to be givenalipewa a newmpya startkuanza
163
499640
3496
Wale wakimbizi ambao wapo katika mazingira hatarishi wanatakiwa kupewa mwanzo mpya
08:35
and a newmpya life in a newmpya countrynchi,
164
503160
2080
na maisha mapya katika nchi mpya,
08:38
includingikiwa ni pamoja na in the WestMagharibi.
165
506120
1200
ukijumuisha na nchi za Magharibi.
08:40
The numbersnambari are relativelykiasi smallndogo,
hundredsmamia of thousandsmaelfu, not millionsmamilioni,
166
508080
3560
Takwimu ni ndogo sana ukilinganisha, mamia ya maelfu, na sio mamilioni,
08:44
but the symbolismmfano is hugekubwa.
167
512320
2680
lakini ubaguzi ni mkubwa.
08:47
Now is not the time
to be banningkupiga marufuku refugeeswakimbizi,
168
515880
2696
Sasa sio muda wa kukataa wakimbizi,
08:50
as the TrumpParapanda administrationutawala proposesinapendekeza.
169
518600
1816
kama vile utawala wa Trump unavyohimiza.
08:52
It's a time to be embracingkukumbatia people
who are victimswaathirika of terrorhofu.
170
520440
3200
Ni muda wa kuwapa msaada wale ambao ni wahanga wa machafuko.
08:56
And rememberkumbuka --
171
524159
1217
Na kumbuka --
08:57
(ApplauseMakofi)
172
525400
2560
(Makofi)
09:04
RememberKumbuka, anyoneyeyote who asksanauliza you,
"Are they properlyvizuri vettedilichunguza?"
173
532480
3736
Kumbuka, kila anayekuuliza, "Wamechunguzwa vyema?"
09:08
that's a really sensiblebusara
and good questionswali to askkuuliza.
174
536240
3200
hilo ni swali muhimu mno kuuliza.
09:12
The truthukweli is, refugeeswakimbizi
arrivingkuwasili for resettlementupataji wa makazi mapya
175
540280
4136
Ukweli ni kwamba, wakimbizi wanaowasili kutokana na machafuko
09:16
are more vettedilichunguza than any other populationidadi ya watu
arrivingkuwasili in our countriesnchi.
176
544440
3656
huchunguzwa kuliko wakimbizi wengine wote wanaoingia katika nchi.
09:20
So while it's reasonablenzuri
to askkuuliza the questionswali,
177
548120
2136
Kwa hiyo pale ambapo ina maana kuuliza swali,
09:22
it's not reasonablenzuri to say that refugeewakimbizi
is anothermwingine wordneno for terroristugaidi.
178
550280
3880
si sahihi kusema kwamba mkimbizi ni neno lingine linalomaanisha gaidi.
09:27
Now, what happenshutokea --
179
555120
1216
Sasa, kipi kinatokea --
09:28
(ApplauseMakofi)
180
556360
3376
(Makofi)
09:31
What happenshutokea when refugeeswakimbizi can't get work,
181
559760
3136
Kipi kinatokea kama wakimbizi hawawezi kupata kazi,
09:34
they can't get theirwao kidswatoto into schoolshule,
182
562920
1856
hawawezi peleka watoto wao shuleni,
09:36
they can't get cashfedha,
they can't get a legalkisheria routenjia to hopetumaini?
183
564800
3056
hawawezi kupata fedha, hawawezi kupata njia halali ya matumaini?
09:39
What happenshutokea is they take riskyhatari journeyssafari.
184
567880
2080
Kinachotokea ni kwamba wanaamua kufanya njia hatarishi.
09:42
I wentakaenda to LesbosLesbos, this beautifulnzuri
GreekKigiriki islandkisiwa, two yearsmiaka agoiliyopita.
185
570440
4736
Nilikwenda Lesbos, kisiwa kizuri kilichopo Ugiriki, miaka miwili iliyopita.
09:47
It's a home to 90,000 people.
186
575200
1856
Kina wakazi 90,000.
09:49
In one yearmwaka, 500,000 refugeeswakimbizi
wentakaenda acrosskote the islandkisiwa.
187
577080
3480
Katika mwaka mmoja, wakimbizi 500,000 walikwenda katika kisiwa hiki.
09:53
And I want to showonyesha you what I saw
188
581240
1816
Na ninataka kuwaonyesha nilichoshuhudia
09:55
when I drovealimfukuza acrosskote
to the northkaskazini of the islandkisiwa:
189
583080
3336
Nilipokuwa nikiendesha kuelekea kaskazini ya kisiwa:
09:58
a pilepiga of life jacketsjackets
of those who had madealifanya it to shorepwani.
190
586440
3480
mrundikano wa makoti ya kuokoa maisha ya wale waliofankiwa kufika katika kile kisiwa.
10:02
And when I lookedilionekana closerkaribu,
191
590840
1576
Na nilipoangalia kwa ukaribu,
10:04
there were smallndogo
life jacketsjackets for childrenwatoto,
192
592440
2456
kulikuwa na makoti madogo ya kuokoa maisha ya watoto,
10:06
yellownjano oneswale.
193
594920
1376
ya rangi ya njano.
10:08
And I tookalichukua this picturepicha.
194
596320
1240
Na nikachukua picha hii.
10:10
You probablylabda can't see the writingkuandika,
but I want to readsoma it for you.
195
598480
3136
Huwezi kuona maandishi, lakini nataka nikusomee.
10:13
"WarningTahadhari: will not
protectkulinda againstdhidi drowningkuzama."
196
601640
3070
"Ilani: haitakukinga na dhidi za kuzama."
10:17
So in the 21stst centurykarne,
197
605920
1560
Katika katika karne ya 21,
10:20
childrenwatoto are beingkuwa givenalipewa life jacketsjackets
198
608440
2256
watoto wanapewa makoti ya kuokoa maisha
10:22
to reachfikia safetyusalama in EuropeEurope
199
610720
2136
ili kufika salama Ulaya
10:24
even thoughingawa those jacketsjackets
will not savesalama theirwao livesanaishi
200
612880
3336
hata kama yale makoti hayawezi kuokoa maisha yao
10:28
if they fallkuanguka out of the boatmashua
that is takingkuchukua them there.
201
616240
2600
kama wataanguka kutoka katika mtumbwi ambao unawavusha.
10:32
This is not just a crisismgogoro, it's a testmtihani.
202
620800
3400
Hili sio janga, ni jaribio.
10:37
It's a testmtihani that civilizationsustaarabu
have facedwanakabiliwa down the agesumri.
203
625760
2920
Ni jaribio kwamba ustaarabu unaangalia chini.
10:41
It's a testmtihani of our humanityubinadamu.
204
629560
1560
Ni jaribio la ubinadamu wetu.
10:44
It's a testmtihani of us in the WesternMagharibi worldulimwengu
205
632000
2296
Ni jaribio la sisi tuliopo dunia ya Magharibi
10:46
of who we are and what we standsimama for.
206
634320
2200
ya jinsi tulivyo na msimamo wetu.
10:51
It's a testmtihani of our charactertabia,
not just our policiessera.
207
639160
2640
Ni jaribio la tabia zetu, sio sera zetu.
10:54
And refugeeswakimbizi are a hardngumu casekesi.
208
642960
2176
Na wakimbizi ni kesi ngumu.
10:57
They do come from farawayalama za vielelezo zinazoonekana
partssehemu of the worldulimwengu.
209
645160
2320
Wanatokea mbali katika pande za dunia.
11:00
They have been throughkupitia traumakiwewe.
210
648160
1440
Wamepitia magumu.
11:02
They're oftenmara nyingi of a differenttofauti religiondini.
211
650080
2096
Wengi wao ni wa dini tofauti.
11:04
Those are preciselyusahihi the reasonssababu
we should be helpingkusaidia refugeeswakimbizi,
212
652200
3176
Hizi ni sababu sahihi ambazo zinatupasa kuwasaidia wakimbizi,
11:07
not a reasonsababu not to help them.
213
655400
1440
na sio sababu za kutowasaidia.
11:09
And it's a reasonsababu to help them
because of what it saysanasema about us.
214
657400
3200
Na ni sababu ya kuwasaidia kwa sababu ya vile inavyosema kuhusu sisi.
11:14
It's revealingakifunua of our valuesmaadili.
215
662480
1840
Inaonyesha thamani yetu.
11:17
EmpathyHuruma and altruismupuuzi are two
of the foundationsmisingi of civilizationustaarabu.
216
665120
4960
Uelewa na kujali ni misingi miwili ya ustaarabu.
11:23
TurnKugeuka that empathyhuruma and altruismupuuzi into actionhatua
217
671320
2416
Badili uelewa na kujali katika vitendo
11:25
and we livekuishi out a basicmsingi moralmaadili credocredo.
218
673760
2240
na tutaishi katika mila ya kistaarabu.
11:28
And in the modernkisasa worldulimwengu,
we have no excuseudhuru.
219
676960
2256
Na katika dunia ya sasa, hatuwezi toa sababu.
11:31
We can't say we don't know
what's happeningkinachotokea in JubaJuba, SouthKusini SudanSudan,
220
679240
4096
Hatuwezi sema hatufahamu kinachotokea Juba, Sudani Kusini
11:35
or AleppoAleppo, SyriaSyria.
221
683360
1576
au Aleppo, Syria.
11:36
It's there, in our smartphonesmartphone
222
684960
2896
Kipo hapa, katika simujanja zetu
11:39
in our handmkono.
223
687880
1376
zilizopo mikononi mwetu.
11:41
IgnoranceUjinga is no excuseudhuru at all.
224
689280
2576
Ukosefu wa maarifa sio sababu kabisa.
11:43
FailKushindwa to help, and we showonyesha
we have no moralmaadili compassdira at all.
225
691880
4400
Kushindwa kusaidia, tutaonyesha hatuna dira ya ustaarabu kabisa.
11:49
It's alsopia revealingakifunua about
whetherkama we know our ownmwenyewe historyhistoria.
226
697080
3080
Na pia inaonyesha kuhusu pengine kama tunatambua historia yetu.
11:52
The reasonsababu that refugeeswakimbizi
have rightshaki around the worldulimwengu
227
700960
2496
Sababu ya kwamba wakimbizi wana haki duniani kote.
11:55
is because of extraordinaryajabu
WesternMagharibi leadershipuongozi
228
703480
2776
ni kwa sababu ya uongozi usio wa kawaida ya Magharibi
11:58
by statesmenvizuri and womenwanawake
after the SecondPili WorldUlimwengu WarVita
229
706280
2336
wa viongozi wake kwa waume baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia
12:00
that becameikawa universalzima rightshaki.
230
708640
1960
ikaja kuwa haki ya wote.
12:03
TrashTakataka the protectionsulinzi of refugeeswakimbizi,
and we trashtakataka our ownmwenyewe historyhistoria.
231
711640
3640
Ukitupa jalalani ulinzi wa wakimbizi, unatupa historia yetu pia.
12:08
This is --
232
716400
1216
Hii ni --
12:09
(ApplauseMakofi)
233
717640
1696
(Makofi)
12:11
This is alsopia revealingakifunua
about the powernguvu of democracydemokrasia
234
719360
4016
Hii inadhihirisha nguvu ya demokrasia
12:15
as a refugekimbilio from dictatorshipudikteta.
235
723400
2256
kama kimbilio kutokana na udikteta.
12:17
How manywengi politicianswanasiasa have you heardkusikia say,
236
725680
2200
Ni wanasiasa wangapi umewahi kuwasikia wakisema,
12:20
"We believe in the powernguvu of our examplemfano,
not the examplemfano of our powernguvu."
237
728760
4320
"Tunaamini katika nguvu ya mifano yetu, na sio mifano ya nguvu yetu."
12:25
What they mean is what we standsimama for
is more importantmuhimu than the bombsmabomu we droptone.
238
733600
3680
Wanachomaanisha ndicho tunachoamini ni muhimu sana kuliko mabomu tunayodondosha.
12:30
RefugeesWakimbizi seekingkutafuta sanctuarymahali patakatifu
239
738360
1800
Wakimbizi wanaotafuta utakatifu
12:32
have seenkuonekana the WestMagharibi as a sourcechanzo
of hopetumaini and a placemahali of havenkimbilio la.
240
740800
3840
wameona Magharibi ndiyo chanzo cha matumaini na bandari salama.
12:38
RussiansWarusi, IraniansWairani,
241
746720
1920
Warusi, Wairan,
12:41
ChineseKichina, EritreansMasaibu, CubansCubans,
242
749480
2296
Wachina, Waeritrea, Wakyuba,
12:43
they'vewameweza come to the WestMagharibi for safetyusalama.
243
751800
2600
wamekuja magharibi kwa ajili ya usalama.
12:47
We throwkutupa that away at our perilhatari.
244
755480
1680
Hatujali ili kuepuka maafa.
12:50
And there's one other thing
it revealsyaonyesha about us:
245
758120
2256
Na kuna kitu kimoja kingine kinachodhihirisha kuhusu sisi:
12:52
whetherkama we have any humilityunyenyekevu
for our ownmwenyewe mistakesmakosa.
246
760400
2334
kama tuna unyenyekevu wowote kutokana na makosa yetu.
12:55
I'm not one of these people
247
763320
1856
Mimi sio mmoja ya watu hawa
12:57
who believesanaamini that all the problemsmatatizo
in the worldulimwengu are causedunasababishwa by the WestMagharibi.
248
765200
3336
ambae naamini kwamba matatizo yote ya dunia yanasababishwa na nchi za Magharibi.
13:00
They're not.
249
768560
1216
Hapana.
13:01
But when we make mistakesmakosa,
we should recognizekutambua it.
250
769800
2360
Lakini tunapofanya makosa, lazima tuyatambue.
13:04
It's not an accidentajali
that the countrynchi whichambayo has takenkuchukuliwa
251
772880
2496
Sio ajali kwamba nchi ambayo imechukua
13:07
more refugeeswakimbizi than any other,
the UnitedMuungano StatesMarekani,
252
775400
2256
wakimbizi wengi zaidi kuliko nchi nyingine, Marekani,
13:09
has takenkuchukuliwa more refugeeswakimbizi from VietnamVietnam
than any other countrynchi.
253
777680
3280
imechukua wakimbizi wengi zaidi kutoka Vietnam kuliko nchi yoyote ile.
13:13
It speaksanasema to the historyhistoria.
254
781960
1200
Inaongea katika historia.
13:16
But there's more recenthivi karibuni historyhistoria,
in IraqIraki and AfghanistanAfghanistani.
255
784200
2680
Lakini kuna historia ya hivi karibuni, nchini Iraq na Afghanistan.
13:19
You can't make up
for foreignkigeni policysera errorsmakosa
256
787560
3736
Huwezi rekebisha makosa ya siasa za nje
13:23
by humanitariankibinadamu actionhatua,
257
791320
1576
kwa kutumia hatua za kibinadamu,
13:24
but when you breakkuvunja something,
you have a dutywajibu to try to help repairukarabati it,
258
792920
3896
lakini unapovunja kitu fulani, una jukumu la kusaidia katika kujaribu kukiunga tena,
13:28
and that's our dutywajibu now.
259
796840
2280
na ni jukumu letu sasa.
13:33
Do you rememberkumbuka
at the beginningmwanzo of the talk,
260
801520
2136
Unakumbuka mwanzo wa hii hotuba yangu,
13:35
I said I wanted to explainkuelezea
that the refugeewakimbizi crisismgogoro
261
803680
2496
Nilisema nataka kueleza kwamba janga la wakimbizi
13:38
was manageablekugawika, not insolublekisichoweza?
262
806200
1640
linaweza kusimamiwa, na sio lisiloshindikana?
13:41
That's truekweli. I want you
to think in a newmpya way,
263
809040
2616
Ni ukweli, Nataka muwaze katika namna mpya,
13:43
but I alsopia want you to do things.
264
811680
2720
lakini pia nataka mfanye vitu.
13:47
If you're an employermwajiri,
265
815680
2176
Kama wewe ni mwajiri,
13:49
hirekukodisha refugeeswakimbizi.
266
817880
1200
ajiri mkimbizi.
13:52
If you're persuadedkushawishiwa by the argumentshoja,
267
820440
2816
Kama unapitishwa katika malumbano,
13:55
take on the mythshadithi
268
823280
1496
waza mambo ya nyuma
13:56
when familyfamilia or friendsmarafiki
or workmatesworkmates repeatkurudia them.
269
824800
2240
pale familia au marafiki au wafanyakazi wenzio wanaporudia.
14:00
If you've got moneyfedha, give it to charitiestunakazia
270
828440
2256
Kama una hela, toa kama msaada
14:02
that make a differencetofauti
for refugeeswakimbizi around the worldulimwengu.
271
830720
2776
inaleta utofauti kwa wakimbizi wote duniani.
14:05
If you're a citizenraia,
272
833520
1200
Kama wewe ni mwananchi,
14:08
votekupiga kura for politicianswanasiasa
273
836040
2336
mpigie kura mwanasiasa
14:10
who will put into practicemazoezi
the solutionsufumbuzi that I've talkedaliongea about.
274
838400
3616
ambaye atafanyia kazi utatuzi wa haya niliyoongelea.
14:14
(ApplauseMakofi)
275
842040
4216
(Makofi)
14:18
The dutywajibu to strangerswageni
276
846280
2176
Jukumu la asiyejulikana
14:20
showsinaonyesha itselfyenyewe
277
848480
1976
hujionyesha
14:22
in smallndogo waysnjia and bigkubwa,
278
850480
2536
katika njia ndogo na kubwa,
14:25
prosaicprosaic and heroickishujaa.
279
853040
1720
kawaida na kishujaa.
14:27
In 1942,
280
855800
1400
Mwaka 1942,
14:30
my auntshangazi and my grandmotherbibi
were livingwanaishi in BrusselsBrussels
281
858600
2376
shangazi yangu na bibi yangu walikuwa wakiishi Brussels
14:33
underchini GermanKijerumani occupationkazi.
282
861000
1280
chini ya utawala wa Ujerumani.
14:36
They receivedalipokea a summonswito
283
864000
1600
Walipokea wito
14:38
from the NaziNazi authoritiesmamlaka
to go to BrusselsBrussels RailwayReli StationKituo cha.
284
866360
3840
kutoka katika mamlaka ya Nazi, kwenda katika stesheni ya reli ya Brussels.
14:44
My grandmotherbibi immediatelymara moja thought
something was amisstumekosea.
285
872280
3080
Bibi yangu mara moja alitambua kwamba kuna kitu hakipo.
14:48
She pleadedaliomba with her relativesjamaa
286
876720
2496
Aliwasihi ndugu zake
14:51
not to go to BrusselsBrussels RailwayReli StationKituo cha.
287
879240
2120
wasiende stesheni ya reli ya Brussels.
14:54
Her relativesjamaa said to her,
288
882240
1560
Ndugu zake walimwambia,
14:57
"If we don't go,
if we don't do what we're told,
289
885440
2776
"Kama hatutakwenda, kama hatutafanya tulichoambiwa,
15:00
then we're going to be in troubleshida."
290
888240
1667
tutakuwa katika hatari kubwa."
15:02
You can guessnadhani what happenedkilichotokea
291
890760
1936
Unaweza tabiri nini kilitokea
15:04
to the relativesjamaa who wentakaenda
to BrusselsBrussels RailwayReli StationKituo cha.
292
892720
2524
kwa wale ndugu waliokwenda stesheni ya reli ya Brussels.
15:08
They were never seenkuonekana again.
293
896160
1286
Hawakuonekana tena.
15:10
But my grandmotherbibi and my auntshangazi,
294
898160
1640
Lakini bibi yangu na shangazi yangu,
15:12
they wentakaenda to a smallndogo villagekijiji
295
900720
2536
walikwenda katika kijiji kidogo
15:15
southkusini of BrusselsBrussels
296
903280
1360
kusini mwa Brussels
15:17
where they'dwangeweza been on holidaySikukuu
in the decademiaka kumi before,
297
905720
3536
ambapo walishawahi kwenda likizo muongo mmoja uliopita,
15:21
and they presentediliyotolewa themselveswenyewe
at the housenyumba of the localmitaa farmermkulima,
298
909280
3656
na walifikia katika nyumba ya mwanakijiji ambaye ni mkulima,
15:24
a CatholicKatoliki farmermkulima calledaitwaye MonsieurMonsieur MauriceMaurice,
299
912960
2080
wa Kikatoliki aliyeitwa Monsieur Maurice,
15:27
and they askedaliuliza him to take them in.
300
915840
2040
na waliomba kuishi pale.
15:30
And he did,
301
918880
1656
na aliwakubalia,
15:32
and by the endmwisho of the warvita,
302
920560
1720
na baada ya vita kuisha,
15:34
17 JewsWayahudi, I was told,
were livingwanaishi in that villagekijiji.
303
922920
3600
Wayahudi 17, niliambiwa, walikuwa wakiishi katika kijiji kile.
15:40
And when I was teenagerkijana, I askedaliuliza my auntshangazi,
304
928360
1976
Na nilipokuwa kijana, nilimuuliza shangazi yangu,
15:42
"Can you take me to meetkukutana
MonsieurMonsieur MauriceMaurice?"
305
930360
2040
"Unaweza nipeleka nikamuone Monsieur Maurice?"
15:45
And she said, "Yeah, I can.
He's still alivehai. Let's go and see him."
306
933400
3216
Na alisema, "Ndiyo, ninaweza. Bado yupo hai. Twende ukamuone."
15:48
And so, it mustlazima have been '83, '84,
307
936640
1800
Hivyo, ilikuwa ni mwaka '83,'84
15:51
we wentakaenda to see him.
308
939320
1376
tulikwenda kumuona.
15:52
And I supposetuseme, like only a teenagerkijana could,
309
940720
2816
Na tuseme, kama kijana tu ningeweza,
15:55
when I metalikutana him,
310
943560
1256
pale nilipoonana nae,
15:56
he was this white-hairednyeupe-haired gentlemanmuungwana,
311
944840
3456
alikuwa ni mwanaume mstaarabu aliye na mvi,
16:00
I said to him,
312
948320
1200
Nikamwambia,
16:03
"Why did you do it?
313
951160
1200
"Kwanini ulifanya vile?
16:05
Why did you take that riskhatari?"
314
953400
2760
Kwanini ulikubali kuingia katika hatari?"
16:09
And he lookedilionekana at me and he shruggedshrugged,
315
957240
1736
Aliniangalia
16:11
and he said, in FrenchKifaransa,
316
959000
1520
na akasema, katika lugha ya Kifaransa,
16:13
"On doitdoit."
317
961240
1336
"On doit."
16:14
"One mustlazima."
318
962600
1200
ikimaanisha "Yatupasa."
16:16
It was innateinnate in him.
319
964280
2240
Ilikuwa ndani yake.
16:19
It was naturalasili.
320
967120
1256
Ni asili.
16:20
And my pointuhakika to you is it should be
naturalasili and innateinnate in us, too.
321
968400
4216
Na hoja yangu kwenu inatakiwa halisi na asili ndani yetu, pia.
16:24
Tell yourselfwewe mwenyewe,
322
972640
1200
Iambie nafsi yako,
16:27
this refugeewakimbizi crisismgogoro is manageablekugawika,
323
975080
2496
hili janga la wakimbizi linaweza simamiwa,
16:29
not unsolvableunsolvable,
324
977600
1576
lina ufumbuzi,
16:31
and eachkila mmoja one of us
325
979200
1320
na kila mmoja wetu
16:33
has a personalbinafsi responsibilitywajibu
to help make it so.
326
981320
3896
ana jukumu binafsi la kuhakikisha jambo hili linafanikiwa.
16:37
Because this is about the rescuekuokoa
of us and our valuesmaadili
327
985240
4176
Kwa sababu hili jambo ni kuhusu wokozi wetu na thamani yetu
16:41
as well as the rescuekuokoa
of refugeeswakimbizi and theirwao livesanaishi.
328
989440
2856
vile vile na wokozi wa wakimbizi na maisha yao.
16:44
Thank you very much indeedkwa hakika.
329
992320
1296
Asante sana.
16:45
(ApplauseMakofi)
330
993640
3120
(Makofi)
16:57
BrunoBruno GiussaniGiussani: DavidDaudi, thank you.
DavidDaudi MilibandMiliband: Thank you.
331
1005120
2856
Bruno Giussani: David, asante. David Miliband: Asante.
17:00
BGBG: Those are strongnguvu suggestionsmapendekezo
332
1008000
1576
BG: Haya ni mapendekezo yenye nguvu
17:01
and your call for individualmtu binafsi
responsibilitywajibu is very strongnguvu as well,
333
1009600
3176
na wito wako kwa kila mmoja ni wenye nguvu pia,
17:04
but I'm troubledwasiwasi
by one thought, and it's this:
334
1012800
2216
lakini ninatatizwa na wazo moja, ni hili hapa:
17:07
you mentionedzilizotajwa, and these are your wordsmaneno,
"extraordinaryajabu WesternMagharibi leadershipuongozi"
335
1015040
4016
umetaja, na haya ni maneno yako,"utawala usio wa kawaida wa Magharibi"
17:11
whichambayo led 60-something-kitu yearsmiaka agoiliyopita
336
1019080
1856
ambao umeongoza kwa miaka 60 hivi iliyopita
17:12
to the wholeyote discussionmajadiliano
about humanbinadamu rightshaki,
337
1020960
2056
kuhusu majadiliano mazima kuhusu haki za binadamu,
17:15
to the conventionsmikataba on refugeeswakimbizi, etcna kadhalika. etcna kadhalika.
338
1023040
2720
hadi kwenye makongamano kuhusu wakimbizi, kadhalika na kadhalika.
17:19
That leadershipuongozi
happenedkilichotokea after a bigkubwa traumakiwewe
339
1027240
2376
Uongozi huu ulitokea baada ya mkanganyiko mkubwa
17:21
and happenedkilichotokea in
a consensualconsensual politicalkisiasa spacenafasi,
340
1029640
3976
na ulitokea katika nafasi ya makubaliano ya kisiasa,
17:25
and now we are
in a divisivemgawanyiko politicalkisiasa spacenafasi.
341
1033640
2136
na sasa tupo mgawanyiko wa kisiasa.
17:27
ActuallyKweli, refugeeswakimbizi have becomekuwa
one of the divisivemgawanyiko issuesmambo.
342
1035800
2736
Kiuhalisia, wakimbizi wamekuwa moja ya jambo la mgawanyiko.
17:30
So where will leadershipuongozi come from todayleo?
343
1038560
1960
Kwa hiyo ni wapi uongozi utatokea leo hii?
17:33
DMDM: Well, I think that you're right to say
344
1041160
2456
DM: Ninadhani upo sahihi kusema
17:35
that the leadershipuongozi forgedimefungwa in warvita
345
1043640
2400
uongozi uliozua vita
17:38
has a differenttofauti temperhasira
and a differenttofauti tempotempo
346
1046760
2256
una hasira tofauti na mwendo tofauti
17:41
and a differenttofauti outlookmtazamo
347
1049040
1256
na muonekano tofauti pia
17:42
than leadershipuongozi forgedimefungwa in peaceamani.
348
1050320
2680
kuliko uongozi uliozua amani.
17:45
And so my answerjibu would be
the leadershipuongozi has got to come from belowchini,
349
1053560
3736
Na kwa hiyo jibu langu litakuwa kwamba uongozi unatakiwa kutokea chini,
17:49
not from abovehapo juu.
350
1057320
1456
na sio juu.
17:50
I mean, a recurringkujirudia thememandhari
of the conferencemkutano this weekwiki
351
1058800
3336
Ninamaanisha, maudhui yanayojirudia ya mkutano wiki hii
17:54
has been about
the democratizationamechangia of powernguvu.
352
1062160
3816
yamekuwa kuhusu kuleta demokrasia katika nguvu.
17:58
And we'vetumekuwa got to preservekuhifadhi
our ownmwenyewe democraciesdemokrasia,
353
1066000
2176
Na tunatakiwa kulinda demokrasia yetu,
18:00
but we'vetumekuwa got to alsopia activatekuamilisha
our ownmwenyewe democraciesdemokrasia.
354
1068200
2496
lakini pia tunatakiwa amsha demokrasia yetu wenyewe.
18:02
And when people say to me,
355
1070720
1816
Na pale watu wanaponiambia,
18:04
"There's a backlashinapokabiliwa na upinzani againstdhidi refugeeswakimbizi,"
356
1072560
1856
"Kuna upinzani katika suala la wakimbizi,"
18:06
what I say to them is,
357
1074440
1256
ninachowaambia ni hiki,
18:07
"No, there's a polarizationpolarization,
358
1075720
2096
"Hapana, kuna matabaka,
18:09
and at the momentwakati,
359
1077840
1216
na kwa wakati huu,
18:11
those who are fearfulhofu
are makingkufanya more noisekelele
360
1079080
2000
wale ambao wanaogofya wanapiga kelele zaidi
18:13
than those who are proudkiburi."
361
1081104
1512
kuliko wale ambao wenye fahari."
18:14
And so my answerjibu to your questionswali
is that we will sponsormdhamini and encouragekuhimiza
362
1082640
3976
Kwa hiyo jibu langu kuhusu swali lako ni kwamba tutadhamini na kuhamasisha
18:18
and give confidencekujiamini to leadershipuongozi
363
1086640
1776
na kutoa ujasiri katika uongozi
18:20
when we mobilizekuhamasisha ourselvessisi wenyewe.
364
1088440
1776
pale tunapoungana.
18:22
And I think that when you are
in a positionnafasi of looking for leadershipuongozi,
365
1090240
3296
Na ninadhani pale pale ambapo unakuwa katika nafasi ya kutafuta uongozi,
18:25
you have to look insidendani
366
1093560
1336
unatakiwa kuangalia ndani
18:26
and mobilizekuhamasisha in your ownmwenyewe communityjumuiya
367
1094920
1696
na kuunganisha jamii yako
18:28
to try to createkuunda conditionshali
for a differenttofauti kindaina of settlementmakazi.
368
1096640
3216
kujaribu kutengeneza mazingira ya tofauti kwa makazi.
18:31
BGBG: Thank you, DavidDaudi.
ThanksShukrani for comingkuja to TEDTED.
369
1099880
2216
BG: Asante, David. Asante kwa kuja TED.
18:34
(ApplauseMakofi)
370
1102120
3400
(Makofi)

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
David Miliband - Refugee advocate
As president of the International Rescue Committee, David Miliband enlists his expert statesmanship in the fight against the greatest global refugee crisis since World War II.

Why you should listen

As the son of refugees, David Miliband has first-hand experience with those fleeing conflict and disaster. In 2013, he abandoned a long political career to take the helm of the International Rescue Committee, an NGO committed to emergency and long-term assistance to refugees (and founded at the call of Albert Einstein in 1933).

As a former UK Secretary of State for Foreign Affairs, Miliband is no stranger to cross-border politics. He is a leading voice against recent anti-refugee and immigration measures in the US, where the IRC currently runs resettlement programs in 29 cities.

More profile about the speaker
David Miliband | Speaker | TED.com