ABOUT THE SPEAKER
AJ Jacobs - Author
Immersing himself in alternate lifestyles and long, hilarious experiments (usually with himself the guinea pig), writer AJ Jacobs tests the limits of behavior, customs, culture, knowledge -- and his wife's sense of humor.

Why you should listen

AJ Jacobs' writings stand at the intersection of philosophy, Gonzo journalism and performance art. Stubbornly curious and slyly perceptive, he takes immersive learning to its irrational and profoundly amusing extreme -- extracting wisdom and meaning after long stints as a self-styled guinea pig. For his widely circulated Esquire article "My Outsourced Life," he explored the phenomenon of outsourcing by hiring a team in Bangalore to take care of every part of his life -- from reading his emails to arguing with his wife to reading bedtime stories to his own son. A previous article, "I Think You're Fat," chronicled a brief, cringe-inducing attempt to live his life in Radical Honesty, telling all the truth, all the time.

Jacobs is author of The Know-It-All, which documents the year he spent reading the Encyclopedia Britannica from A to Z, uncovering both funny and surprising factoids but also poignant insight into history and human nature. In 2007 he released The Year of Living Biblically, in which he attempted to follow every single rule in the Bible as literally as possible for an entire year. His recent book The Guinea Pig Diaries: My Life as an Experiment is a collection of numerous personal experiments. including living according to George Washington's rules of conduct, outsourcing every single task to India, and posing as a woman on an online dating site. 

More profile about the speaker
AJ Jacobs | Speaker | TED.com
EG 2007

AJ Jacobs: My year of living biblically

Mwaka wa kuishi Kibiblia wa A.J. Jacobs.

Filmed:
2,923,764 views

Akiongea katika mkutano wa hivi karibuni wa EG, mwandishi wa vitabu na habari na mwanafilosofia A.J. Jacobs anaongelea mwaka ambao aliishi akifuata maagizo ya Biblia katika kila eneo kadiri alivyoweza.
- Author
Immersing himself in alternate lifestyles and long, hilarious experiments (usually with himself the guinea pig), writer AJ Jacobs tests the limits of behavior, customs, culture, knowledge -- and his wife's sense of humor. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:16
I thought I'd tell you a little about what I like to writeandika.
0
0
4000
Nimeona niwaeleze kidogo kuhusu kile ninachopenda kuandika
00:20
And I like to immersekuzama myselfMimi mwenyewe in my topicsmada.
1
4000
4000
Napenda kujikita hasa katika mada zangu.
00:24
I just like to divekupiga mbizi right in and becomekuwa sortfanya of a humanbinadamu guineaGuinea pignguruwe.
2
8000
5000
Napenda kuzamia humo na kuwa kama nguruwe.
00:29
And I see my life as a seriesmfululizo of experimentsmajaribio.
3
13000
5000
ninaona maisha yangu kama mkusanyiko wa majaribio
00:34
So, I work for EsquireEsquire magazinegazeti, and a couplewanandoa of yearsmiaka agoiliyopita,
4
18000
4000
Nafanya kazi na Jarida la Esquire, na miaka michache iliyopita
00:38
I wrotealiandika an articlemakala calledaitwaye "My OutsourcedLililetwa Life,"
5
22000
3000
Niliandika makala iliyoitwa "Maisha yangu kwenda kwa wengine"
00:41
where I hiredaliyeajiriwa a teamtimu of people in BangaloreBangalore, IndiaIndia,
6
25000
4000
ambapo niliajiri watu katika mji wa Bangalore, India
00:45
to livekuishi my life for me.
7
29000
2000
Kuyaishi kwa niaba yangu
00:47
So, they answeredakajibu my emailsbarua pepe.
8
31000
2000
Kwa hiyo walikuwa wanajibu barua pepe zangu
00:49
They answeredakajibu my phonesimu.
9
33000
2000
walijibu simu zangu
00:51
They arguedalisema with my wifemke for me, and they readsoma my sonmwana bedtimekwenda kulala storieshadithi.
10
35000
7000
Waligombana na mke wangu kwa niaba yangu,na kumsomea hadithi mtoto wangu wa kiume
00:58
It was the bestbora monthmwezi of my life,
11
42000
2000
ulikuwa ni mwezi mzuri sana wa maisha yangu
01:00
because I just satameketi back and I readsoma booksvitabu and watchedaliangalia moviessinema.
12
44000
5000
Kwa sababu nilikaa tu nikisoma vitabu na kuangalia filamu
01:05
It was a wonderfulajabu experienceuzoefu.
13
49000
2000
Hii ilikuwa hali nzuri sana
01:07
More recentlyhivi karibuni, I wrotealiandika an articlemakala for EsquireEsquire calledaitwaye --
14
51000
3000
Hivi karibuni, nimeandika makala kwa ajili ya jarida la Esquire
01:10
about radicalradical honestyuaminifu.
15
54000
3000
Kuhusu kuwa mwaminifu hasa
01:13
And this is a movementmwendo where --
16
57000
2000
Na huu ni muunganiko wa watu
01:15
this is startedilianza by a psychologistmwanasaikolojia in VirginiaVirginia,
17
59000
4000
ulioanzishwa na mwanasaikolojia katika mji wa Virginia
01:19
who saysanasema that you should never, ever lieuongo,
18
63000
3000
Ambaye anasema usiseme uongo kabisa.
01:22
exceptisipokuwa maybe duringwakati pokerpoker and golfgolf, his only exceptionsisipokuwa.
19
66000
5000
labda tu wakati unacheza kamari au mchezo wa golf.
01:27
And, more than that, whateverVyovyote is on your brainubongo
20
71000
2000
Na zaidi ya hapo, chochote kilicho katika ubongo wako
01:29
should come out of your mouthkinywa.
21
73000
2000
kinatakiwa kitoke katika mdomo wako
01:31
So, I decidedaliamua I would try this for a monthmwezi.
22
75000
3000
Niliamua kuwa nitajaribu kwa mwezi mmoja.
01:34
This was the worstmbaya zaidi monthmwezi of my life.
23
78000
3000
Huu ulikuwa ni mwezi mbaya sana wa maisha yangu
01:37
(LaughterKicheko)
24
81000
1000
(Vicheko)
01:38
I do not recommendkupendekeza this at all.
25
82000
2000
Sipendekezi hatua hii kwa mtu yeyote
01:40
To give you a sensehisia of the experienceuzoefu,
26
84000
2000
Kukujulisha jinsi hali inavyokuwa,
01:42
the articlemakala was calledaitwaye, "I Think You're FatMafuta."
27
86000
4000
Makala iliitwa "Nafikiri wewe ni mnene"
01:46
(LaughterKicheko)
28
90000
2000
(Vicheko)
01:48
So, that was hardngumu.
29
92000
1000
Kwa hiyo,ilikuwa ngumu
01:50
My mostwengi recenthivi karibuni bookkitabu -- my previousuliopita bookkitabu was calledaitwaye "The Know-It-AllKnow-It-All,"
30
94000
4000
Kitabu cha karibuni, kitabu cha zamani kinaitwa "kujua yote"
01:55
and it was about the yearmwaka I spentalitumia readingkusoma the EncyclopediaElezo BritannicaBritannica
31
99000
4000
Ulikuwa ni mwaka niliosoma kitabu cha Encyclopedia Britannica.
01:59
from A to Z in my questjitihada to learnkujifunza everything in the worldulimwengu,
32
103000
3000
Kutokea mwanzo mpaka mwisho, katika nia yangu ya kujifunza kila kitu katika Dunia
02:03
or more preciselyusahihi from AakAlyoom, whichambayo is a typeaina of EastMashariki AsianAsia musicmuziki,
33
107000
5000
au pia kutoka A-ak ambao ni aina ya muziki kutoka Mashariki ya Asia.
02:08
all the way to ZwyiecZwyiec, whichambayo is -- well, I don't want to ruinuharibifu the endingkuishia.
34
112000
4000
Mpaka Zwyiec,ambayo ni -- sitaki kuharibu mwisho wake.
02:12
(LaughterKicheko)
35
116000
1000
(Vicheko)
02:13
It's a very excitingkusisimua twisttwist endingkuishia, like an O. HenryHenry novelriwaya, so I won'thaitakuwa ruinuharibifu it.
36
117000
4000
Ina mabadiliko ya ajabu mwishoni kama kitabu cha hadithi cha Henry, kwa hiyo sitaki kuharibu.
02:17
But I love that one,
37
121000
2000
lakini naipenda hiyo
02:19
because that was an experimentjaribio about how much informationhabari
38
123000
4000
Kwa sababu hili lilikuwa ni zoezi kuhusu taarifa kiasi gani.
02:23
one humanbinadamu brainubongo could absorbpata.
39
127000
2000
ubongo mmoja unaweza kuchukua,
02:25
AlthoughIngawa, listeningkusikiliza to KevinKevin KellyKelly, you don't have to rememberkumbuka anything.
40
129000
4000
ingawa ukimsikiliza Kevin Kelly, hauhitaji kukumbuka chochote.
02:29
You can just GoogleGoogle it.
41
133000
2000
unaweza ukaitafuta katika mtandao wa Google
02:31
So, I wastedkupita some time there.
42
135000
2000
kwa hiyo nilipoteza muda kidogo hapo
02:33
I love those experimentsmajaribio,
43
137000
3000
nayapenda majaribio kama hayo
02:36
but I think that the mostwengi profoundkina
44
140000
2000
lakini nadhani jaribio muhimu zaidi
02:38
and life-changingmabadiliko ya maisha experimentjaribio that I've donekufanyika
45
142000
4000
na lililobadilisha maisha yangu
02:42
is my mostwengi recenthivi karibuni experimentjaribio, where I spentalitumia a yearmwaka
46
146000
4000
ni hili la karibuni, ambapo nilikaa mwaka moja
02:46
tryingkujaribu to followFuata all of the ruleskanuni of the BibleBiblia,
47
150000
3000
nikijitahidi kufuata maelekezo ya Biblia
02:49
"The YearMwaka of LivingHai BiblicallyKibiblia."
48
153000
2000
"Mwaka wa kuishi Kibiblia"
02:52
And I undertookilianza this for two reasonssababu.
49
156000
3000
na nilifanya hivi kwa sababu mbili
02:55
The first was that I grewilikua up with no religiondini at all.
50
159000
4000
Kwanza, ni kwa sababu nilikua bila dini kabisa
02:59
As I say in my bookkitabu, I'm JewishWayahudi in the samesawa way
51
163000
4000
Kama navyosema katika kitabu changu, ni Myahudi kama vile
03:03
the OliveOlive GardenBustani is ItalianKiitaliano.
52
167000
2000
Kama vile bustani ya mizeituni ilivyo ya kiitaliano
03:05
(LaughterKicheko)
53
169000
2000
(vicheko)
03:07
So, not very.
54
171000
2000
Kwa hiyo sio sana
03:09
But I've becomekuwa increasinglyinazidi interestednia in religiondini.
55
173000
3000
Lakini nimevutiwa sana na dini
03:12
I do think it's the definingkufafanua issuesuala of our time,
56
176000
2000
Na amini ni jambo muhimu sana kwa kipindi hiki
03:14
or one of the mainKuu oneswale.
57
178000
2000
moja muhimu kati ya mengi
03:16
And I have a sonmwana. I want to know what to teachkufundisha him.
58
180000
3000
Na nina mtoto wa kiume na nataka nijue jinsi ya kumfundisha.
03:19
So, I decidedaliamua to divekupiga mbizi in headkichwa first, and try to livekuishi the BibleBiblia.
59
183000
4000
kwa hiyo nikaamua kuishi kwa kufuata Biblia
03:24
The secondpili reasonsababu I undertookilianza this is because
60
188000
3000
Sababu ya pili ni kuwa
03:27
I'm concernedwasiwasi about the risekupanda of fundamentalismsiasa kali,
61
191000
3000
ninaguswa na mwongezeko wa uhafidhina
03:30
religiouskidini fundamentalismsiasa kali, and people who say
62
194000
3000
uhafidhina wa kidini, na watu wanaosema
03:33
they take the BibleBiblia literallyhalisi, whichambayo is, accordingkulingana to some pollsvituo vya kupigia kura,
63
197000
3000
Wanaifuata Biblia kama ilivyo, na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali
03:36
as highjuu as 45 or 50 percentasilimia of AmericaAmerika.
64
200000
3000
Asilimia karibu 45 au 50 ya wamarekani
03:40
So I decidedaliamua, what if you really did take the BibleBiblia literallyhalisi?
65
204000
4000
Kwa hiyo nikaamua, itakuwaje kama utaifuata Biblia kama ilivyo?
03:44
I decidedaliamua to take it to its logicalmantiki conclusionhitimisho
66
208000
4000
nikaamua kuifuata
03:48
and take everything in the BibleBiblia literallyhalisi,
67
212000
2000
kufuata kila kama kilivyo
03:50
withoutbila pickingkuokota and choosingkuchagua.
68
214000
3000
bila kuchuja wala kubagua
03:53
The first thing I did was I got a stackstack of biblesBiblia.
69
217000
3000
Kitu cha kwanza nilichofanya ilikuwa ni kutafuta Biblia nyingi
03:56
I had ChristianKikristo biblesBiblia.
70
220000
2000
Nilikuwa na Biblia ya Kikristo
03:58
I had JewishWayahudi biblesBiblia.
71
222000
2000
Nilikuwa na Biblia ya Kiyahudi
04:00
A friendrafiki of minemgodi sentalitumwa me something calledaitwaye a hip-hophip-hop bibleBiblia,
72
224000
3000
Rafiki yangu alinitumia Biblia ya kufoka foka,
04:03
where the twenty-thirdishirini na tatu PsalmZaburi is renderedinayotolewa as, "The LordBwana is all that,"
73
227000
4000
Ambayo Zaburi ya 23, inasema "Bwana ndiye kila kitu",
04:07
as opposedkinyume to what I knewalijua it as, "The LordBwana is my shepherdmchungaji."
74
231000
4000
Badala ya "Bwana ndiye mchungaji wangu" kama ninavyojua
04:11
Then I wentakaenda down and I readsoma severalkadhaa versionsmatoleo,
75
235000
4000
Na nikaendelea na kusoma tafsiri mbalimbali
04:15
and I wrotealiandika down everykila singlemoja lawsheria that I could find.
76
239000
3000
Na nikaandika kila agizo ambalo niliweza kuliona
04:18
And this was a very long listorodha -- over 700 ruleskanuni.
77
242000
4000
hii ilikuwa orodha ndefu -- zaidi ya maagizo 700
04:23
And they rangembalimbali from the famousmaarufu oneswale that I had heardkusikia of --
78
247000
3000
Kuanzia yale maarufu ambayo niliwahi kuyasikia
04:26
The TenKumi CommandmentsAmri, love your neighborjirani, be fruitfulmatunda and multiplyongeze.
79
250000
3000
Amri kumi, mpende jirani yako,enendeni mkaijaze nchi.
04:29
So I wanted to followFuata those.
80
253000
2000
Kwa hiyo nikataka kuzifuata
04:31
And actuallykwa kweli, I take my projectsmiradi very seriouslykwa uzito,
81
255000
3000
Na kwa kweli nilichukulia jambo kwa uzito sana
04:34
because I had twinsmapacha duringwakati my yearmwaka,
82
258000
2000
Kwa sababu nilipata watoto mapacha katika mwaka huo
04:36
so I definitelydhahiri take my projectsmiradi seriouslykwa uzito.
83
260000
3000
kwa hiyo nilichukulia jambo hili kwa uzito unaostahili
04:39
But I alsopia wanted to followFuata the hundredsmamia
84
263000
3000
lakini pia nilitaka kufuata mamia
04:42
of arcanearcane and obscureObscure lawssheria that are in the BibleBiblia.
85
266000
3000
ya maagizo ambayo hayajulikani na wengi ndani ya Biblia
04:45
There is the lawsheria in LeviticusMambo ya Walawi,
86
269000
2000
Kuna agizo katika Walawi
04:47
"You cannothaiwezi shavekunyoa the cornerspembe of your beardndevu."
87
271000
2000
Linalosema hauwezi kunyoa kona ya masharubu yako
04:49
I didn't know where my cornerspembe were,
88
273000
2000
sikujua kona yangu itakuwa wapi,
04:51
so I decidedaliamua to let the wholeyote thing growkukua,
89
275000
3000
kwa hiyo nikaacha ziendelee kukua
04:54
and this is what I lookedilionekana like by the endmwisho.
90
278000
2000
na hivi ndivyo nilivyokuwa mwishowe
04:57
As you can imaginefikiria, I spentalitumia a lot of time at airportuwanja wa ndege securityusalama.
91
281000
4000
Na kama unavyoweza kufikiri, nilikuwa nasimamishwa sana na watu wa usalama katika viwanja vya ndege
05:01
(LaughterKicheko)
92
285000
2000
(Vicheko)
05:03
My wifemke wouldn'thakutaka kissbusu me for the last two monthsmiezi.
93
287000
3000
Mke wangu hakutaka kunibusu katika miezi miwili ya mwisho
05:06
So, certainlyhakika the challengechangamoto was there.
94
290000
2000
Kwa kweli,ilikuwa ni changamoto
05:08
The BibleBiblia saysanasema you cannothaiwezi wearkuvaa clothesnguo madealifanya of mixedmchanganyiko fibersnyuzi,
95
292000
5000
Biblia inasema hauwezi kuvaa nguo zinazotokana na mchanganyiko wa nyuzi
05:13
so I thought, "SoundsSauti strangeajabu, but I'll try it."
96
297000
2000
kwa hiyo nikaona kuwa ni kitu kigeni lakini nikasema nitajaribu
05:15
You only know if you try it.
97
299000
2000
hauwezi kujua bila kujaribu
05:17
I got ridOndoa of all my poly-cottonnyingi-pamba T-shirtsT-shirt.
98
301000
3000
nikaachana na fulana zangu za mchanganyiko mbalimbali
05:20
The BibleBiblia saysanasema that if two menwatu are in a fightkupigana,
99
304000
4000
Biblia inasema kama wanaume wawili wanapigana
05:24
and the wifemke of one of those menwatu grabsUnyakuzi the testiclesmakodo of the other man,
100
308000
6000
na mke wa mmoja wao akashika sehemu za siri za mwingine
05:30
then her handmkono shallitakuwa be cutkata off.
101
314000
2000
mkono wake unatakiwa ukatwe
05:32
So, I wanted to followFuata that ruleutawala.
102
316000
2000
kwa hiyo nikataka nifuate agizo hilo
05:34
(LaughterKicheko)
103
318000
1000
(Vicheko)
05:35
That one I followedikifuatiwa by defaultChaguo-msingi,
104
319000
3000
kwa hiyo nikalifuata bila kutaka
05:38
by not gettingkupata in a fightkupigana with a man whoseambaye wifemke was standingmsimamo nearbykaribu,
105
322000
4000
kwa kutopigana na mwanaume ambaye mke wake alikuwa anasimama karibu,
05:42
looking like she had a strongnguvu gripushike.
106
326000
2000
ambaye alionekana kama anaweza akanishika vizuri
05:45
(LaughterKicheko)
107
329000
2000
(Vicheko)
05:48
So -- oh, there's anothermwingine shotrisasi of my beardndevu.
108
332000
3000
na hii pia ni picha yangu nyingine ya sharubu zangu
05:52
I will say it was an amazingajabu yearmwaka
109
336000
2000
ulikuwa ni mwaka wa ajabu
05:54
because it really was life changingkubadilisha, and incrediblyincredibly challengingchangamoto.
110
338000
3000
kwa kuwa nilibadilishwa na pia ilikuwa ni changamoto ya ajabu
05:57
And there were two typesaina of lawssheria that were particularlyhasa challengingchangamoto.
111
341000
3000
kulikuwa na maagizo mawili ambayo yalinipa changamoto za kipekee
06:00
The first was avoidingkuepuka the little sinsdhambi that we all commitfanya everykila day.
112
344000
4000
Kwanza ilikuwa ni kujiepusha na dhambi ndogo tunazozifanya kila siku
06:04
You know, I could spendtumia a yearmwaka not killingkuua,
113
348000
2000
Ninaweza kukaa mwaka mzima bila kuua
06:06
but spendingmatumizi a yearmwaka not gossipingubukuzi, not covetingkutamani kunapelekea kufunja, not lyingkusema uongo --
114
350000
5000
Lakini kukaa mwaka mzima bila kusengenya,bila kutamani,au kudanganya--
06:11
you know, I livekuishi in NewMpya YorkYork, and I work as a journalistmwandishi wa habari,
115
355000
3000
Ninaishi New York, na nafanya kazi kama mwandishi wa habari
06:14
so this was 75, 80 percentasilimia of my day I had to do it.
116
358000
5000
kwa hiyo asilimia 75, 80 ya siku ilibidi nifanye
06:19
But it was really interestingkuvutia, because I was ableinaweza to make some progressmaendeleo,
117
363000
5000
lakini ilikuwa ni ya kupendekeza, na nilifanikiwa kupiga hatua
06:24
because I couldn'thaikuweza believe how much
118
368000
2000
kwa kuwa sikuamini kwa kiasi gani
06:26
my behaviortabia changediliyopita my thoughtsmawazo.
119
370000
3000
matendo yangu yalibadilisha mawazo yangu
06:29
This was one of the hugekubwa lessonsmasomo of the yearmwaka,
120
373000
2000
ili lilikuwa ni somo kubwa sana kwa mwaka huo,
06:31
is that I almostkaribu pretendedalijifanya to be a better personmtu,
121
375000
3000
ni kwamba nilijifanya kuwa mtu mzuri
06:34
and I becameikawa a little bitkidogo of a better personmtu.
122
378000
3000
na nikafanikiwa kuwa mtu mzuri kidogo
06:37
So I had always thought, you know, "You changemabadiliko your mindakili,
123
381000
5000
nimekuwa kila wakati nikifikiri, "Badilisha mawazo yako,
06:42
and you changemabadiliko your behaviortabia," but it's oftenmara nyingi the other way around.
124
386000
3000
na utabadilisha pia matendo yako, lakini mara nyingi inakuwa ni kinyume.
06:45
You changemabadiliko your behaviortabia, and you changemabadiliko your mindakili.
125
389000
5000
Unabadilisha matendo yako, na pia unabadilisha mawazo yako.
06:50
So, you know, if you want to becomekuwa more compassionatejivikeni rehema,
126
394000
3000
Kwa hiyo kama unataka kuwa mwema
06:53
you visittembelea sickmgonjwa people in the hospitalhospitali,
127
397000
2000
unatembelea wagonjwa hospitalini
06:55
and you will becomekuwa more compassionatejivikeni rehema.
128
399000
2000
na utakuwa mwema
06:57
You donatekuchangia moneyfedha to a causekusababisha,
129
401000
2000
unachangia pesa katika jambo fulani,
06:59
and you becomekuwa emotionallykihisia involvedhusika in that causekusababisha.
130
403000
3000
na unajihusisha na jambo hilo
07:02
So, it really was cognitiveutambuzi psychologysaikolojia --
131
406000
2000
kwa hiyo ilikuwa ni fikra za kisaikolojia
07:05
you know, cognitiveutambuzi dissonancekulegea katika kujistahi -- that I was experiencinginakabiliwa.
132
409000
3000
unajua ilikuwa ni hali kutojisikia vizuri ambayo ilinikumba
07:08
The BibleBiblia actuallykwa kweli talksmazungumzo about cognitiveutambuzi psychologysaikolojia,
133
412000
3000
Biblia inaongelea kuhusu fikra za kisaikolojia
07:11
very primitiveprimitive cognitiveutambuzi psychologysaikolojia.
134
415000
2000
fikra za kisaikolojia za kizamani sana
07:13
In the ProverbsMithali, it saysanasema that if you smiletabasamu, you will becomekuwa happierfuraha,
135
417000
4000
Katika Mithali, inasema kama ukitabasamu,utakuwa na furaha.
07:17
whichambayo, as we know, is actuallykwa kweli truekweli.
136
421000
3000
Ambavyo kama tunavyojua ni kweli
07:20
The secondpili typeaina of ruleutawala that was difficultvigumu to obeytitii
137
424000
4000
Aina ya pili ya agizo ambayo ilikuwa ngumu kufuata,
07:24
was the ruleskanuni that will get you into a little troubleshida
138
428000
3000
Ilikuwa ni agizo ambalo litakuingiza katika matatizo kidogo
07:27
in twenty-first-centurykarne ya kwanza ishirini AmericaAmerika.
139
431000
2000
Katika Marekani ya karne ya 21.
07:30
And perhapslabda the clearestclearest examplemfano of this is stoningkupigwa mawe adultererswazinzi.
140
434000
5000
Na mfano mzuri wa hii ni kuwapiga mawe wazinzi
07:35
(LaughterKicheko)
141
439000
1000
(Vicheko)
07:36
But it's a bigkubwa partsehemu of the BibleBiblia,
142
440000
4000
Lakini ni sehemu kubwa ya Biblia
07:40
so I figuredimeonekana I had to addressanwani it.
143
444000
2000
Kwa hiyo nikaona ni vizuri niiongelee
07:43
So, I was ableinaweza to stonejiwe one adulterermzinzi.
144
447000
2000
Kwa hiyo niliweza kumpiga mawe mzinzi mmoja
07:45
It happenedkilichotokea -- I was in the parkHifadhi, and I was dressedwamevaa in my biblicalBiblia clothingnguo,
145
449000
5000
ilitokea, nilikuwa katika bustani, na nilikuwa nimevaa mavazi yangu ya kibiblia
07:50
so sandalsviatu and sortfanya of a whitenyeupe robevazi,
146
454000
3000
sandoz na kanzu nyeupe
07:53
you know, because again, the outernje affectshuathiri the innerndani.
147
457000
2000
kama unavyojua tena, nje kunaathiri ndani.
07:55
I wanted to see how dressingdressing biblicallykibiblia affectedwalioathirika my mindakili.
148
459000
3000
Nilitaka kuona uvaaji wa kibiblia utaathiri vipi mawazo yangu
07:59
And this man camealikuja up to me and he said,
149
463000
2000
na mtu mmoja akaja akaniambia
08:01
"Why are you dressedwamevaa like that?"
150
465000
2000
Kwa nini umevaa hivyo?
08:03
And I explainedalielezea my projectmradi,
151
467000
2000
Nikamweleza kuhusu zoezi langu,
08:05
and he said, "Well, I am an adulterermzinzi, are you going to stonejiwe me?"
152
469000
3000
Na akasema mimi ni mzinzi je utanipiga mawe?
08:08
And I said, "Well, that would be great!"
153
472000
3000
Nikasema, "nadhani hiyo itakuwa nzuri"
08:11
(LaughterKicheko)
154
475000
4000
(Vicheko)
08:16
And I actuallykwa kweli tookalichukua out a handfulwachache of stonesmawe from my pocketmfukoni
155
480000
5000
Nikachukua mawe kadhaa kutoka katika mfuko wangu
08:21
that I had been carryingkubeba around for weekswiki,
156
485000
2000
ambayo nilikuwa nimeyabeba kwa wiki kadhaa
08:23
hopingmatumaini for just this interactionmwingiliano -- and, you know, they were pebblesukipungua --
157
487000
4000
nikitumaini kupata nafasi kama hii, na yalikuwa mawe madogo tu
08:27
but he grabbedumechukua them out of my handmkono.
158
491000
3000
lakini aliyachukua kutoka katika mkono wangu
08:30
He was actuallykwa kweli an elderlywazee man, mid-mid-70s, just so you know.
159
494000
3000
alikuwa ni mtu mzima,katikati ya miaka sabini.
08:33
But he's still an adulterermzinzi, and still quitekabisa angryhasira.
160
497000
2000
lakini bado alikuwa ni mzinzi, na mwenye hasira
08:35
He grabbedumechukua them out of my handmkono
161
499000
2000
aliyachukua kutoka mkononi mwangu
08:37
and threwkukatupa them at my faceuso, and I feltwalihisi that I could --
162
501000
3000
akanirushia usoni, na nikahisi kuwa
08:40
eyejicho for an eyejicho -- I could retaliatekulipiza kisasi, and throwkutupa one back at him.
163
504000
4000
jicho kwa jicho, ningeweza kumrudishia, nikamrushia moja.
08:44
So that was my experienceuzoefu stoningkupigwa mawe, and it did allowkuruhusu me
164
508000
3000
Kwa hiyo,huo ndio ulikuwa uzoefu wangu,kuhusu kupiga mawe,na uliniruhusu
08:47
to talk about, in a more seriousmbaya way, these bigkubwa issuesmambo.
165
511000
5000
kuongelea kwa uzito zaidi mambo mazito haya
08:52
How can the BibleBiblia be so barbarickishenzi in some placesmaeneo,
166
516000
4000
Kwa nini Biblia ni ya kikatili katika sehemu nyingine,
08:56
and yetbado so incrediblyincredibly wisehekima in otherswengine?
167
520000
2000
Na papo hapo imejaa hekima kupindukia katika maeneo mengine
08:59
How should we viewmtazamo the BibleBiblia?
168
523000
2000
Tuiangalieje Biblia?
09:01
Should we viewmtazamo it, you know, as originalawali intentnia,
169
525000
2000
Je tuiangalie katika dhumuni lake halisi
09:03
like a sortfanya of a ScaliaScalia versiontoleo of the BibleBiblia?
170
527000
4000
Kama tafsiri ya Scalia ya Biblia?
09:08
How was the BibleBiblia writtenimeandikwa?
171
532000
2000
Je Biblia iliandikwaje?
09:10
And actuallykwa kweli, sincetangu this is a techtech crowdumati,
172
534000
2000
Na kwa kuwa hii ni hadhara ya watu wa teknolojia
09:12
I talk in the bookkitabu about how the BibleBiblia actuallykwa kweli remindshukumbusha me
173
536000
4000
Ninaongelea katika kitabu jinsi Biblia ambavyo inanikumbusha,
09:16
of the WikipediaWikipedia, because it has all of these authorswaandishi and editorswahariri
174
540000
3000
Kuhusu Wikipedia wa sababu ina waandishi na wahariri
09:19
over hundredsmamia of yearsmiaka.
175
543000
2000
mbalimbali kwa zaidi ya mamia ya miaka
09:21
And it's sortfanya of evolvedilibadilishwa.
176
545000
2000
Na imeendela kubadilika
09:23
It's not a bookkitabu that was writtenimeandikwa and camealikuja down from on highjuu.
177
547000
3000
Sio kitabu kilichoandikwa na kushuka kutoka juu
09:28
So I thought I would endmwisho by tellingkuwaambia you
178
552000
4000
Nafikiri nimalizie kwa kuwaeleza
09:32
just a couplewanandoa of the take-awayskuchukua-aways, the biggerkubwa zaidi lessonsmasomo
179
556000
3000
kuhusu mambo makubwa
09:35
that I learnedkujifunza from my yearmwaka.
180
559000
2000
niliyojifunza katika mwaka huu
09:38
The first is, thouwewe shaltnawe not take the BibleBiblia literallyhalisi.
181
562000
4000
Cha kwanza, Usichukue neno katika Biblia bila kulielewa
09:42
This becameikawa very, very clearwazi, earlymapema on.
182
566000
3000
Hii ilikuwa dhahiri kwangu mwanzoni kabisa
09:45
Because if you do, then you endmwisho up actingkaimu like a crazywazimu personmtu,
183
569000
3000
Kwa sababu kama ukifanya hivyo,utakuwa kama mtu aliyechanganyikiwa
09:48
and stoningkupigwa mawe adultererswazinzi, or -- here'shapa anothermwingine examplemfano.
184
572000
3000
kuwapiga mawe wazinzi au mfano mwingine
09:51
Well, that's anothermwingine. I did spendtumia some time shepherdinguchungaji.
185
575000
5000
nilikaa nikichunga kondoo
09:56
(LaughterKicheko)
186
580000
1000
(Vicheko)
09:57
It's a very relaxingkufurahi vocationwito. I recommendkupendekeza it.
187
581000
3000
ni kazi nzuri, napendekeza kwa wengine
10:01
But this one is -- the BibleBiblia saysanasema that you cannothaiwezi touchkugusa womenwanawake
188
585000
4000
Lakini pia Biblia inasema hauwezi kumshika mwanamke
10:05
duringwakati certainfulani timesnyakati of the monthmwezi, and more than that,
189
589000
3000
akiwa katika siku zake za hedhi
10:08
you cannothaiwezi sitkukaa on a seatkiti where a menstruatinghedhi womanmwanamke has satameketi.
190
592000
3000
Hauruhusiwi kukaa katika kiti ambacho mwanamke aliye katika hedhi alikaa
10:12
And my wifemke thought this was very offensivehasira,
191
596000
2000
Mke wangu hakuipenda hii
10:14
so she satameketi in everykila seatkiti in our apartmentghorofa,
192
598000
2000
kwa hiyo akawa anakaa katika kila kiti katika nyumba yetu
10:16
and I had to spendtumia much of the yearmwaka standingmsimamo
193
600000
3000
ilibidi niishi karibia mwaka wote nikiwa nasimama
10:19
untilmpaka I boughtkununuliwa my ownmwenyewe seatkiti and carriedkufanyika it around.
194
603000
6000
mpaka niliponunua kiti changu na kuwa nakibeba
10:25
So, you know, I metalikutana with creationistswaumbaji.
195
609000
4000
nilikutana na watu wanaoamini kuhusu uumbaji
10:29
I wentakaenda to the creationists'creationists' museummakumbusho.
196
613000
2000
nikaenda katika makumbusho ya watu hawa
10:31
And these are the ultimatemwisho literalistsliteralists.
197
615000
2000
hawa ni wale wanaochukua maneno kama yalivyo
10:33
And it was fascinatingkuvutia, because they were not stupidwajinga people at all.
198
617000
3000
ilipendeza sana, kwa kuwa hawakuwa wajinga kabisa.
10:36
I would wagerwager that theirwao IQIQ is exactlyhasa the samesawa as the averagewastani evolutionistwanamageuzi.
199
620000
3000
ufahamu wao ulikuwa ni sawa sawa na wale wasioamini juu ya uumbaji
10:39
It's just that theirwao faithimani is so strongnguvu
200
623000
3000
Tofauti ni kuwa imani ni kubwa sana
10:42
in this literalhalisi interpretationTafsiri of the BibleBiblia
201
626000
2000
Katika tafsiri hii ya Biblia
10:44
that they distortkupotosha all the datadata to fitinafaa theirwao modelmfano.
202
628000
4000
ambayo imebadilishwa ili kwendana na mawazo yao
10:49
And they go throughkupitia these amazingajabu mentalakili gymnasticsgymnastics to accomplishfidia this.
203
633000
4000
Na wanabadilisha vitu ili kufanikisha hii.
10:53
And I will say, thoughingawa, the museummakumbusho is gorgeousnzuri.
204
637000
5000
Ingawa nitasema kuwa makumbusho ni nzuri sana.
10:58
They really did a fantasticfantastic jobkazi.
205
642000
2000
walifanya kazi nzuri sana
11:00
If you're ever in KentuckyKentucky,
206
644000
1000
kama itatokea kuwa Kentucky,
11:01
there's, you can see a moviemovie of the floodmafuriko,
207
645000
3000
Pale -- unaweza kuona filamu ya gharika,
11:04
and they have sprinklerssprinklers in the ceilingdari
208
648000
2000
na wana vibomba vidogo vidogo katika dari
11:06
that will sprinkleNyunyiza on you duringwakati the floodmafuriko scenesscenes.
209
650000
4000
ambavyo vitakumwagia maji katika sehemu ambayo filamu inaonyesha mafuriko
11:10
So, whateverVyovyote you think of creationismcreationism -- and I think it's crazywazimu --
210
654000
3000
Kwa hiyo vyovyote unavyofikiri kuhusu uumbaji
11:13
they did a great jobkazi.
211
657000
2000
walifanya kazi nzuri
11:16
(LaughterKicheko)
212
660000
2000
(Vicheko)
11:18
AnotherMwingine lessonsomo is that thouwewe shaltnawe give thanksshukrani.
213
662000
4000
Somo jingine ni kuwa unatakiwa uwe ni mtu wa shukrani
11:22
And this one was a bigkubwa lessonsomo because I was prayingkuomba,
214
666000
4000
na hili lilikuwa ni somo kubwa kwa kuwa nilikuwa ninaomba
11:26
givingkutoa these prayerssala of thanksgivingshukrani, whichambayo was oddisiyo ya kawaida for an agnosticAgnostiki.
215
670000
4000
nikitoa maombi ya shukrani,
11:30
But I was sayingkusema thanksshukrani all the time, everykila day,
216
674000
4000
Nilikuwa nasema asante wakati wote, kila siku,
11:34
and I startedilianza to changemabadiliko my perspectivemtazamo.
217
678000
3000
nikaanza kubadilisha mtazamo wangu
11:37
And I startedilianza to realizekutambua the hundredsmamia of little things
218
681000
3000
nikaanza kutambua vitu vidogo vidogo vingi
11:40
that go right everykila day, that I didn't even noticetazama,
219
684000
4000
ambavyo vinatokea kila siku, ambavyo sikuweza hata kuvijua
11:44
that I tookalichukua for grantedimepewa, as opposedkinyume to focusingkuzingatia
220
688000
2000
ambavyo sikuvizingatia, toauti na kutiliaa maanani
11:46
on the threetatu or fournne that wentakaenda wrongsi sawa.
221
690000
3000
kati ya vitatu au vinne ambavyo havikwenda vizuri
11:50
So, this is actuallykwa kweli a keyufunguo to happinessfuraha for me,
222
694000
2000
kwa huu ndiyo ufunguo wa furaha kwangu mimi
11:53
is to just rememberkumbuka when I camealikuja over here,
223
697000
2000
ni kukumbuka kuwa nilipokuja hapa
11:55
the cargari didn't flipflip over, and I didn't tripsafari comingkuja up the stairsngazi.
224
699000
4000
gari halikupinduka, na sikuteleza wakati napanda ngazi
11:59
It's a remarkableajabu thing.
225
703000
2000
ni kitu cha ajabu sana
12:03
ThirdTatu, that thouwewe shallitakuwa have reverenceheshima.
226
707000
2000
Tatu,unatakiwa uwe na hofu ya Mungu
12:05
This one was unexpectedzisizotarajiwa because I startedilianza the yearmwaka
227
709000
3000
Hii sikuitegemea, kwa sababu nilianza mwaka
12:08
as an agnosticAgnostiki, and by the endmwisho of the yearmwaka,
228
712000
2000
Kama mtu asiye na hakika na uwepo wa Mungu, lakini mwishoni mwa mwaka
12:10
I becameikawa what a friendrafiki of minemgodi callswito a reverentstaha agnosticAgnostiki, whichambayo I love.
229
714000
5000
Nikawa kama rafiki yangu anavyopenda kusema,asiyeamini mwenye hofu ya Mungu,kitu ambacho nakipenda
12:15
And I'm tryingkujaribu to startkuanza it as a movementmwendo.
230
719000
2000
Na nataka nianzishe muungano wa watu wa namna hii
12:17
So, if anyoneyeyote wants to joinkujiunga,
231
721000
2000
kama mtu yoyote anataka kujiunga
12:19
the basicmsingi ideawazo is, whetherkama or not there is a God,
232
723000
3000
wazo kuu ni, kama Mungu yupo au la,
12:22
there's something importantmuhimu and beautifulnzuri about the ideawazo of sacrednessutakatifu,
233
726000
4000
Kuna kitu muhimu na kizuri kuhusu utakatifu
12:26
and that our ritualsmila can be sacredtakatifu.
234
730000
2000
na mambo yetu ya kila siku yanaweza yakawa matakatifu
12:28
The SabbathSabato can be sacredtakatifu.
235
732000
3000
Sabato inaweza ikawa takatifu
12:31
This was one of the great things about my yearmwaka, doing the SabbathSabato,
236
735000
3000
Hiki kile ni kitu kizuri sana katika mwaka huu kwa kuifuata Sabato
12:34
because I am a workaholicworkaholic, so havingkuwa na this one day
237
738000
4000
Kwa sababu napenda sana kufanya kazi,kwa hiyo kupata hii siku moja
12:38
where you cannothaiwezi work, it really, that changediliyopita my life.
238
742000
3000
ambayo haufanyi kazi ,ilibadilisha maisha yangu.
12:42
So, this ideawazo of sacrednessutakatifu, whetherkama or not there is a God.
239
746000
4000
Kwa hiyo wazo hili la utakatifu,bila kujali kama Mungu yupo au la,
12:47
ThouWewe shallitakuwa not stereotypeyafufuka.
240
751000
2000
Usilidharau
12:49
This one happenedkilichotokea because
241
753000
2000
Hii imetokea kwa sababu
12:51
I spentalitumia a lot of time with variousmbalimbali religiouskidini communitiesjamii
242
755000
3000
kwa sababu natumia muda mwingi na jamii za dini mbalimbali
12:54
throughoutkote AmericaAmerika because I wanted it to be more
243
758000
2000
katika maeneo mengi ya Marekani, na nilitaka pia
12:56
than about my journeysafari.
244
760000
2000
iwe zaidi tu ya safari yangu
12:58
I wanted it to be about religiondini in AmericaAmerika.
245
762000
3000
Nilitaka iwe ni kuhusu dini nchini Marekani
13:01
So, I spentalitumia time with evangelicalkiinjili ChristiansWakristo, and HasidicHasidic JewsWayahudi, and the AmishAmish.
246
765000
4000
Kwa nakaa na wakristo waliookoka, na wayahudi.
13:05
I'm very proudkiburi because
247
769000
2000
Ninajivunia kwa kuwa
13:07
I think I'm the only personmtu in AmericaAmerika
248
771000
2000
nadhani ni mtu pekee Marekani yote
13:09
to out Bible-talkMajadiliano ya Biblia a Jehovah'sYehova WitnessShahidi.
249
773000
3000
Kuongelea Biblia kumshinda Shahidi wa Yehova
13:12
(LaughterKicheko)
250
776000
1000
(Vicheko)
13:13
After threetatu and a halfnusu hoursmasaa, he lookedilionekana at his watch,
251
777000
3000
Baada ya masaa matatu aliangalia saa yake,
13:16
he's like, "I gottagotta go."
252
780000
2000
na akasema,"inabidi niondoke"
13:18
(LaughterKicheko)
253
782000
2000
(Vicheko)
13:20
Oh, thank you very much.
254
784000
1000
Asante sana
13:25
Thank you. BlessKubariki you, blessbaraka you.
255
789000
1000
Asante sana. mbarikiwe
13:27
But it was interestingkuvutia
256
791000
2000
lakini pia cha kuvutia
13:29
because I had some very preconceivedkuiharibu misukumo notionsmawazo about, for instancemfano,
257
793000
3000
ni kwa sababu nilikuwa na mawazo yangu mwenyewe kuhusu kwa mfano,
13:32
evangelicalkiinjili ChristianityUkristo, and I foundkupatikana that
258
796000
4000
Ukristo wa kuokoka, na nilikuja kujua
13:36
it's suchvile a widepana and variedtofauti movementmwendo
259
800000
2000
Ni eneo pana na lenye tofauti mbalimbali
13:38
that it is difficultvigumu to make generalizationsgeneralizations about it.
260
802000
5000
Na hauwezi ukawa na maelezo ya jumla juu ya kundi hili
13:44
There's a groupkikundi I metalikutana with calledaitwaye the RedNyekundu LetterBarua ChristiansWakristo,
261
808000
3000
Kuna nikundi nilikutana nacho kiitwacho Wakristo wa Barua nyekundu,
13:47
and they focustazama on the rednyekundu wordsmaneno in the BibleBiblia,
262
811000
3000
Na wao wanaangalia maneno mekundu katika Biblia,
13:50
whichambayo are the oneswale that JesusYesu spokealizungumza.
263
814000
2000
Ambayo ndiyo yale yaliyotamkwa na Yesu
13:52
That's how they printedkuchapishwa them in the oldzamani BiblesBiblia.
264
816000
2000
ambayo ndivyo yalivyochapishwa katika Biblia za zamani.
13:54
And theirwao argumenthoja is that JesusYesu never talkedaliongea about homosexualityushoga.
265
818000
5000
Na wao wanasema kuwa Yesu hakusema chochote kuhusu ushoga na usagaji.
13:59
They have a pamphletKijitabu that saysanasema,
266
823000
2000
Wana kijarida ambacho kinasema,
14:01
"Here'sHapa ni what JesusYesu said about homosexualityushoga,"
267
825000
2000
"hivi Ndivyo Yesu alivyosema kuhusu Usagaji na Ushoga"
14:03
and you openkufungua it up, and there's nothing in it.
268
827000
2000
Na ukifungua,Hautakuta kitu chochote.
14:06
So, they say JesusYesu did talk a lot about helpingkusaidia the outcastswatu waliotengwa,
269
830000
6000
Kwa hiyo wanasema Yesu aliongelea sana kuhusu kuwasaidia watu waliotengwa,
14:12
helpingkusaidia poormaskini people.
270
836000
3000
Kuwasaidia maskini.
14:15
So, this was very inspiringyenye kuchochea to me.
271
839000
3000
Kwa hiyo ilikuwa changamoto kubwa kwangu.
14:19
I recommendkupendekeza JimJim WallisWallis and TonyTony CampoloCampolo.
272
843000
4000
Ninawapendekeza kwenu Jim Wallace na Tony Campolo.
14:24
They're very inspiringyenye kuchochea leadersviongozi, even thoughingawa I disagreehawakubaliani
273
848000
4000
Ni viongozi wanaotoa hamasa sana,ingawa sikubaliana,
14:28
with much of what they say.
274
852000
2000
Na mengi wanayoyasema.
14:30
AlsoPia, thouwewe shaltnawe not disregardkupuuza the irrationalzisizofaa.
275
854000
3000
Pia hautakiwi kudharau kitu kisichoeleweka
14:33
This one was very unexpectedzisizotarajiwa because, you know,
276
857000
4000
Hii sikuitegemea kwa kuwa
14:37
I grewilikua up with the scientifickisayansi worldviewmtazamo wa ulimwengu,
277
861000
3000
Nimekulia katika ulimwengu wa sayansi,
14:40
and I was shockedalishtuka learningkujifunza how much of my life
278
864000
7000
na nilishangaa kuona jinsi maisha yangu
14:47
is governediliongozwa by irrationalzisizofaa forcesmajeshi.
279
871000
3000
yanavyoongozwa na nguvu zisizoeleweka.
14:50
And the thing is, if they're not harmfulhatari,
280
874000
3000
Na kama kitu hakiumizi,
14:54
they're not to be completelykabisa dismissedkufukuzwa kazi.
281
878000
2000
si kitu cha kudharau moja kwa moja.
14:56
Because I learnedkujifunza that -- I was thinkingkufikiri, I was
282
880000
4000
Kwa sababu nimejifunza kuwa-- nilikuwa nafikiri
15:00
doing all these ritualsmila, these biblicalBiblia ritualsmila,
283
884000
3000
kufanya mambo yote haya, ya Kibiblia,
15:03
separatingkujitenga my woolpamba and linenkitani, and I would askkuuliza these religiouskidini people
284
887000
3000
kutenganisha nguo zangu,na nilikuwa nikiwauliza watu wa dini,
15:07
"Why would the BibleBiblia possiblylabda tell us to do this? Why would God carehuduma?"
285
891000
4000
Kwa nini Biblia itueleze hivi?Kwa nini Mungu ajali?
15:11
And they said, "We don't know,
286
895000
2000
Na wakasema,"Hatujui,
15:13
but it's just ritualsmila that give us meaningmaana."
287
897000
4000
lakini ni mambo ambayo yanatupa sisi maana"
15:17
And I would say, "But that's crazywazimu."
288
901000
2000
Na nikawa nasema, "Lakini huu ni ujinga."
15:19
And they would say, "Well, what about you?
289
903000
2000
na wao wakasema,"je vipi kuhusu wewe?
15:21
You blowpigo out candlesmishumaa on topjuu of a birthdaysiku ya kuzaliwa cakekeki.
290
905000
4000
unapuliza mishumaa iliyo juu ya keki ya siku ya kuzaliwa.
15:26
If a guy from MarsMars camealikuja down and saw, here'shapa one guy
291
910000
4000
Kama mtu kutoka sayari ya Mars akija na kuona mtu
15:30
blowingkupiga out the firemoto on topjuu of a cakekeki
292
914000
4000
anapuliza moto juu ya keki
15:34
versusdhidi anothermwingine guy not wearingkuvaa clothesnguo of mixedmchanganyiko fabricsvitambaa,
293
918000
4000
na mtu mwingine ambaye havai mavazi ya vitambaa mchanganyiko
15:38
would the MartiansMartians say, 'Well' Vizuri, that guy, he makeshufanya sensehisia,
294
922000
4000
Je watu hawa kutoka sayari ya Mars unafikiri watasema, "mtu huyu anafanya kitu cha kueleweka
15:42
but that guy'sguy's crazywazimu?'"
295
926000
2000
Lakini huyu anafanya ujinga?"
15:44
So no, I think that ritualsmila are, by natureasili, irrationalzisizofaa.
296
928000
5000
Kwa hiyo nafikiri mapokeo mengi ni vitu visivyoeleweka.
15:49
So the keyufunguo is to choosechagua the right ritualsmila,
297
933000
3000
Kwa hiyo muhimu ni kuchagua mapokeo mazuri,
15:52
the oneswale that are not harmfulhatari -- but ritualsmila by themselveswenyewe
298
936000
6000
yale ambayo hayakuumizi, lakini mapokeo yenyewe
15:58
are not to be dismissedkufukuzwa kazi.
299
942000
2000
hayatakiwi kudharauliwa
16:01
And finallyhatimaye I learnedkujifunza that thouwewe shallitakuwa pickpick and choosechagua.
300
945000
4000
Na pia nilijifunza pia kuwa unatakiwa kuangalia vizuri na kuchagua.
16:05
And this one I learnedkujifunza because
301
949000
2000
Na hii nilijifunza kwa sababu
16:07
I triedwalijaribu to followFuata everything in the BibleBiblia.
302
951000
2000
Nilijaribu kufuata kila kitu katika Biblia.
16:09
And I failedimeshindwa miserablykwa kusikitisha.
303
953000
2000
Na nikashindwa vibaya sana
16:11
Because you can't.
304
955000
2000
Kwa kuwa haiwezekani.
16:13
You have to pickpick and choosechagua. And anyoneyeyote who followsifuatavyo the BibleBiblia
305
957000
3000
inabidi uchague, na yoyote anayeifuata Biblia
16:16
is going to be pickingkuokota and choosingkuchagua.
306
960000
2000
atakuwa anachagua.
16:18
The keyufunguo is to pickpick and choosechagua the right partssehemu.
307
962000
5000
Muhimu ni kuchagua sehemu muhimu.
16:23
There's the phrasemaneno calledaitwaye cafeteriaTaiifa religiondini,
308
967000
4000
kuna msemo unaosema Dini ya mgahawa,
16:27
and the fundamentalistsyanayowekwa will use it in a denigratingdenigrating way,
309
971000
4000
watu wanaofuata sana dini wataisema katika hali ya kumshusha mtu,
16:31
and they'llwatakuja say, "Oh, it's just cafeteriaTaiifa religiondini.
310
975000
2000
Kuwa ni " Dini ya mgahawa.
16:33
You're just pickingkuokota and choosingkuchagua."
311
977000
1000
Unachagua tu"
16:34
But my argumenthoja is, "What's wrongsi sawa with cafeteriascafeterias?"
312
978000
4000
lakini msimamo ni kuwa, " Kuna tatizo gani na migahawa?"
16:38
I've had some great mealsmilo at cafeteriascafeterias.
313
982000
2000
Nimefanikiwa kula vyakula vizuri sana katika migahawa.
16:40
I've alsopia had some mealsmilo that make me want to drykavu heavekuinuliwa.
314
984000
4000
lakini pia nimekula vyakula ambavyo vilinifanya nitake kutapika.
16:44
So, it's about choosingkuchagua the partssehemu of the BibleBiblia about compassionhuruma,
315
988000
3000
Kwa hiyo, ni kuchagua sehemu za Biblia zinazohusu huruma,
16:48
about toleranceuvumilivu, about lovingupendo your neighborjirani,
316
992000
2000
ma uvumilivu,kuhusu kuwapenda jirani zako,
16:51
as opposedkinyume to the partssehemu about homosexualityushoga is a sindhambi,
317
995000
5000
badala ya sehemu za ushoga na usagaji kuwa ni dhambi,
16:56
or intolerancekutokuwa na uvumilivu, or violencevurugu,
318
1000000
2000
au kukosa uvumilivu na machafuko.
16:58
whichambayo are very much in the BibleBiblia as well.
319
1002000
2000
ambavyo vipo katika Biblia pia.
17:00
So if we are to find any meaningmaana in this bookkitabu,
320
1004000
4000
Kama tunataka kupata maana katika kitabu hiki,
17:04
then we have to really engagekushiriki it, and wrestlekushindana with it.
321
1008000
4000
tunahitaji kukitafakari hasa,
17:08
And I thought I'd endmwisho with just a couplewanandoa more.
322
1012000
3000
Na nafikiri nimalizie na vitu vichache.
17:11
There's me readingkusoma the BibleBiblia.
323
1015000
2000
hapa ni mimi nikisoma Biblia.
17:13
That's how I hailedumepokewa taxicabstaxicabs.
324
1017000
2000
Hivi ndivyo nilivyoziita teksi.
17:15
(LaughterKicheko)
325
1019000
3000
(Vicheko)
17:18
SeriouslyUmakini, and it workedkazi. And yes,
326
1022000
2000
na ilifanya kazi
17:20
that was actuallykwa kweli a rentedkukodishwa sheepkondoo,
327
1024000
3000
huyo alikuwa ni kondoo wa kukodiwa,
17:23
so I had to returnkurudi that in the morningasubuhi, but it servedaliwahi well for a day.
328
1027000
4000
kwa hiyo ilibidi nimrudishe asubuhi, lakini ilinisaidia kwa siku moja,
17:28
So, anywayhata hivyo, thank you so much for lettingkuruhusu me speaksema.
329
1032000
3000
Kwa hiyo nashukuru sana kwa kuniruhusu kuongea nanyi.
Translated by Joachim Mangilima
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
AJ Jacobs - Author
Immersing himself in alternate lifestyles and long, hilarious experiments (usually with himself the guinea pig), writer AJ Jacobs tests the limits of behavior, customs, culture, knowledge -- and his wife's sense of humor.

Why you should listen

AJ Jacobs' writings stand at the intersection of philosophy, Gonzo journalism and performance art. Stubbornly curious and slyly perceptive, he takes immersive learning to its irrational and profoundly amusing extreme -- extracting wisdom and meaning after long stints as a self-styled guinea pig. For his widely circulated Esquire article "My Outsourced Life," he explored the phenomenon of outsourcing by hiring a team in Bangalore to take care of every part of his life -- from reading his emails to arguing with his wife to reading bedtime stories to his own son. A previous article, "I Think You're Fat," chronicled a brief, cringe-inducing attempt to live his life in Radical Honesty, telling all the truth, all the time.

Jacobs is author of The Know-It-All, which documents the year he spent reading the Encyclopedia Britannica from A to Z, uncovering both funny and surprising factoids but also poignant insight into history and human nature. In 2007 he released The Year of Living Biblically, in which he attempted to follow every single rule in the Bible as literally as possible for an entire year. His recent book The Guinea Pig Diaries: My Life as an Experiment is a collection of numerous personal experiments. including living according to George Washington's rules of conduct, outsourcing every single task to India, and posing as a woman on an online dating site. 

More profile about the speaker
AJ Jacobs | Speaker | TED.com