ABOUT THE SPEAKER
Nighat Dad - Lawyer, human rights activist
TED Fellow Nighat Dad heads the Digital Rights Foundation, Pakistan -- a researched based advocacy not-for-profit geared towards ICT to support human rights, democratic processes, and digital governance.

Why you should listen

Nighat Dad is an accomplished lawyer and a human rights activist. She is one of the pioneers who have been campaigning around access to open internet in Pakistan and globally. She is the only Pakistani fellow for Young Global Leaders 2018 supported by World Economic Forum and TEDGlobal Fellows for 2017. She has been listed as a Next Generation Leader by TIME and is the recipient of Atlantic Council Freedom Award and Human Rights Tulip Award.

Dad has been fighting against online gender-based violence, making the internet safe and inclusive for everyone to use. She's been referred to as the "Pakistani lawyer trolling the trolls" by BBC for her valor in calling out the harassers online. She has been actively advocating for increased participation of women in public spaces through national and international platforms. She tweets at @nighatdad.

More profile about the speaker
Nighat Dad | Speaker | TED.com
TEDGlobal 2017

Nighat Dad: How Pakistani women are taking the internet back

Nighat Dad: Jinsi Wanawake wa Pakistani Wanavyoregesha Mtandao

Filmed:
1,184,008 views

MwanaTED Nighat Dad anasomea unyanyasaji wa mtandao, hasa inavyolingana na utamaduni kama ule wa kijiji chake cha Pakistani. Anahadithia vile alivyoanzisha laini ya kwanza ya msaada wa kwanza wa Pakistani wa unyanyasaji wa mtandao, unaowasaidia wanawake wanaokabiliana na ukandazamizaji katika mtandao, "Utumizi salama wa mtandao ndipo ujuzi unapopatikana, na ujuzi ni haki," anasema.
- Lawyer, human rights activist
TED Fellow Nighat Dad heads the Digital Rights Foundation, Pakistan -- a researched based advocacy not-for-profit geared towards ICT to support human rights, democratic processes, and digital governance. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
ImagineKufikiria wakinginaamsha up to a strangermgeni --
0
1122
2541
Fikiria kuamka ukapata mgeni usiyemfahamu
00:15
sometimesmara nyingine multiplenyingi strangerswageni --
1
3687
2446
wakati mwingine wageni wengi usiowafahamu
00:18
questioningkuhoji your right to existencekuwepo
2
6939
2838
wanaohoji haki yako ya kuishi
00:21
for something that you wrotealiandika onlineonline,
3
9801
2320
kwa kitu ulichoandika kwa mtandao
00:25
wakinginaamsha up to an angryhasira messageujumbe,
4
13480
3321
kuamkia ujumbe wa hasira
00:28
scaredhofu and worriedwasiwasi for your safetyusalama.
5
16825
2187
ukiogopa na kuhofia usalama wako.
00:31
WelcomeKaribu to the worldulimwengu of cyberharassmentcyberharassment.
6
19975
2683
Karibu katika ulimwengu
wa unyanyasaji wa mtandaoni.
00:35
The kindaina of harassmentunyanyasaji that womenwanawake
faceuso in PakistanPakistan is very seriousmbaya
7
23344
3931
Aina ya unyanyasaji ambao wanawake
wanakabiliana nao Pakistani ni mbaya sana
00:39
and leadsinaongoza to sometimesmara nyingine deadlymauti outcomesmatokeo.
8
27299
3028
na wakati mwengine
unasababisha maafa makali.
00:43
This kindaina of harassmentunyanyasaji keepshuendelea womenwanawake
from accessingupatikanaji the internetinternet --
9
31066
3324
Unyanyasaji wa aina hii
unawazuia wanawake kutumia mtandao
00:46
essentiallykimsingi, knowledgeujuzi.
10
34414
1777
hasa ujuzi.
00:48
It's a formfomu of oppressionukandamizaji.
11
36926
2291
Ni aina ya ukandamizaji
00:52
PakistanPakistan is the sixthsita mostwengi populousvile
countrynchi in the worldulimwengu,
12
40819
3689
Pakistani ni taifa la sita
ulimwenguni kwa wingi wa idadi ya watu
00:56
with 140 millionmilioni people havingkuwa na accessupatikanaji
to mobilerununu technologiesteknolojia,
13
44532
3824
na watu milioni 140 wenye uwezo
wa kutumia teknolojia ya simu,
01:00
and 15 percentasilimia internetinternet penetrationkupenya.
14
48380
3590
na asilimia 15 ya upenyo wa mtandao.
01:05
And this numbernambari doesn't seemkuonekana to go down
with the risekupanda of newmpya technologiesteknolojia.
15
53256
4223
Na idadi hii haionekani kukpunguka
na mwamko wa teknolojia.
01:10
PakistanPakistan is alsopia the birthplaceDass
of the youngestmdogo zaidi NobelTuzo PeaceAmani PrizeTuzo winnermshindi,
16
58270
5289
Pakistani pia ndilo taifa la kuzaliwa kwa
mtu kijana kabisa kuwahi kushinda tuzo
01:15
MalalaMalala YousafzaiYousafzai.
17
63583
1359
la Nobel
Malala Yousafzai
01:18
But that's just one aspectkipengele of PakistanPakistan.
18
66438
2583
Lakini hicho ni kipengele
kimoja tu cha Pakistani.
01:21
AnotherMwingine aspectkipengele is where
the twistedinaendelea conceptdhana of honorheshima
19
69961
4163
Kipengle kingine ni dhana iliyopotoka
ya heshima
01:26
is linkedimeunganishwa to womenwanawake and theirwao bodiesmiili;
20
74148
2892
inayohusishwa na wanawake na miili yao;
01:29
where menwatu are allowedruhusiwa to disrespectkutoheshimu womenwanawake
21
77924
3235
pahali ambapo wanaume wanakubaliwa
kutowaheshimu wanawake
01:33
and even killkuua them sometimesmara nyingine
22
81183
1817
na wakati mwingi ata kuwaua
01:35
in the namejina of so-calledkinachojulikana "familyfamilia honorheshima";
23
83024
2629
wakisinzia ni "heshima ya familia";
01:38
where womenwanawake are left to diekufa
right outsidenje theirwao housesnyumba
24
86522
4549
pahali ambapo wanawake wanaachwa wafe
nje ya manyumba yao
01:43
for speakingakizungumza to a man on a mobilerununu phonesimu,
25
91095
2588
kwa sababu ya kuzungumza na mwanaume
kwa rununu
01:45
in the namejina of "familyfamilia honorheshima."
26
93707
1870
wakisinzia ni "heshima ya familia."
01:48
Let me say this very clearlywazi:
27
96158
1771
Wacha niseme hivi bayana:
01:50
it's not honorheshima;
28
98681
1465
siyo heshima;
01:52
it's a cold-bloodedbaridi-blooded murdermauaji.
29
100170
2356
hayo ni mauaji.
01:57
I come from a very smallndogo villagekijiji
in PunjabPunjab, PakistanPakistan,
30
105551
4151
Mimi natokea kijiji kidogo
sana pale Punjab, Pakistani
02:01
where womenwanawake are not allowedruhusiwa
to pursuekufuata theirwao higherjuu educationelimu.
31
109726
4874
pahali ambapo wanawake hawaruhusiwi
kuendelea na masomo ya juu.
02:07
The elderswazee of my extendedkupanuliwa familyfamilia
didn't allowkuruhusu theirwao womenwanawake
32
115308
3714
Wakubwa wa jamaa yangu
hawakuwaruhusu wanawake wao
02:11
to pursuekufuata theirwao higherjuu educationelimu
or theirwao professionalmtaalamu careerskazi.
33
119046
3862
waendelee na masomo ya juu
ama taaluma zao.
02:14
HoweverHata hivyo, unliketofauti the other
malekiume guardianswalezi of my familyfamilia,
34
122932
4126
Hata hivyo, tofauti na walezi waume
wengine wa familia yangu,
02:19
my fatherbaba was one who really
supportedimesaidiwa my ambitionsmatarajio.
35
127082
5484
baba yangu ndiye aliye aliniunga mkono
katika jitihada zangu
02:25
To get my lawsheria degreeshahada,
36
133941
1686
za kupata shahada ya uana sheria.
02:28
of coursebila shaka, it was really difficultvigumu,
37
136344
3913
Bila shaka ilikuwa vigumu
02:32
and [there were] frownsfrowns of disapprovalkutokubali.
38
140281
4213
na kulikuwa na manunguniko ya kutoridhika.
02:37
But in the endmwisho, I knewalijua
it's eitherama me or them,
39
145373
3494
Lakini mwishowe nilijua ni mimi ama wao,
02:40
and I chosealichagua myselfMimi mwenyewe.
40
148891
1378
na nikachagua mimi
02:44
(ApplauseMakofi)
41
152446
4561
(Makofi)
02:50
My family'sfamilia traditionsmila
and expectationsmatarajio for a womanmwanamke
42
158673
3159
Mila ya familia yangu
na matarajio ya mwanamke
02:53
wouldn'thakutaka allowkuruhusu me to ownmwenyewe a mobilerununu
phonesimu untilmpaka I was marriedndoa.
43
161856
2921
hayangeniruhusu nimiliki
rununu mpaka kuolewa.
02:57
And even when I was marriedndoa,
44
165544
2083
Na ata nilpoolewa,
02:59
this toolchombo becameikawa a toolchombo
for my ownmwenyewe surveillanceufuatiliaji.
45
167651
4087
kifaa hiki kikawa kifaa
cha ufuatiliaji wangu.
03:04
When I resistedalikataa this ideawazo
of beingkuwa surveilledsurveilled by my ex-husbandex-mume,
46
172923
4430
Nilipokataa haya mafikira
ya kufuatiliwa na mume wangu wa zamani,
03:09
he really didn't approvekupitisha of this
47
177377
1689
hakukubalina na wazo hilo
03:11
and threwkukatupa me out of his housenyumba,
48
179090
2084
na akanifurusha kutoka nyumbani,
03:13
alongkando with my six-month-oldmwenye umri wa miezi sita
sonmwana, AbdullahAbdullah.
49
181198
3372
pamoja na mtoto wangu wa kiume
wa miezi sita, Abdullah.
03:17
And that was the time
when I first askedaliuliza myselfMimi mwenyewe, "Why?
50
185436
4319
Na hapo ndipo nilipojiuliza
mara ya kwanza, "Mbona?
03:21
Why are womenwanawake not allowedruhusiwa
to enjoykufurahia the samesawa equalsawa rightshaki
51
189779
3746
Mbona wanawake hawaruhusiwi
kufurahia haki sawa na wanaume
03:25
enshrinediliyowekwa in our ConstitutionKatiba?
52
193549
1976
kama ilivyo katika katiba yetu?
03:28
While the lawsheria statesinasema that a womanmwanamke
has the samesawa equalsawa accessupatikanaji
53
196631
3950
Ilhali sheria inasema ya kuwa
mwanamke ana haki sawia
03:32
to the informationhabari,
54
200605
1429
kwa taarifa
03:34
why is it always menwatu -- brothersndugu,
fathersbaba and husbandswaume --
55
202058
3779
mbona huwa ni wanaume
mandugu, mababa na
mabwana, ndio
wanaoturuzukia haki hizi
03:37
who are grantingkumpa these rightshaki to us,
56
205861
2039
kwa hiyo kuifanya sheria kuwa bila maana?"
03:39
effectivelykwa ufanisi makingkufanya the lawsheria irrelevantsio maana?"
57
207924
2848
Kwa hiyo nikaamua kuchukua hatua,
03:44
So I decidedaliamua to take a stephatua,
58
212801
1757
badala ya kuendelea kunungunikia
03:46
insteadbadala yake of keep questioningkuhoji
these patriarchalza baba mkuu structuresmiundo
59
214582
2967
hizi misingi na tamaduni
03:49
and societaljamii normskanuni.
60
217573
1319
Na nikaanzisha mwaka 2012
03:51
And I foundedilianzishwa the DigitalTarakimu RightsHaki za
FoundationMsingi in 2012
61
219656
3980
Digital Rights Foundation
ili kushughulikia matatizo yanayowakumba
03:55
to addressanwani all the issuesmambo
and women'swanawake experiencesuzoefu in onlineonline spacesnafasi
62
223660
6452
wanawake katika mtandao
na unyanyasaji katika mtandao.
04:02
and cyberharassmentcyberharassment.
63
230136
1464
Kutoka kushawishia mtandao
04:04
From lobbyingushawishi for freebure and safesalama internetinternet
64
232990
3927
bure na salama
kuwashawishi wanawake
04:08
to convincingkushawishi youngvijana womenwanawake
65
236941
1463
utumizi wa mtandao salama
ni haki yao ya kimsingi
04:10
that accessupatikanaji to the safesalama internetinternet
is theirwao fundamentalmsingi, basicmsingi, humanbinadamu right,
66
238428
5226
Najaribu tetekeleza majumu yangu
kwa kuanzisha msuko
04:15
I'm tryingkujaribu to playkucheza my partsehemu
in ignitingkuwaka the sparkcheche
67
243678
2930
ili kuyajibu maswali
ambayo yamekuwa yakinitatiza hii miaka yote
04:18
to addressanwani the questionsmaswali
that have botheredwasiwasi me all these yearsmiaka.
68
246632
3615
Na matumaini moyoni mwangu,
04:22
With a hopetumaini in my heartmoyo,
69
250955
1853
na kupeana suluhisho katika janga hili,
04:24
and to offerkutoa a solutionsuluhisho to this menacehatari,
70
252832
2566
nilianzisha msaada wa usaidizi wa kwanza Pakistani na katika eneo
04:27
I startedilianza Pakistan'sYa Pakistan and the region'sya mkoa
first cyberharassmentcyberharassment help linemstari
71
255422
4382
Decemba 2016--
04:31
in DecemberDesemba 2016 --
72
259828
1816
(Makofi)
04:33
(ApplauseMakofi)
73
261668
5741
kunyosha mkona wa usaidizi kwa wanawake wasiojua wamkimbilie nani
04:40
to extendkupanua my supportmsaada to the womenwanawake
who do not know who to turnkugeuka to
74
268038
4273
wanapokabiliana na tishio kkubwa mtandaoni.
04:44
when they faceuso seriousmbaya threatsvitisho vya onlineonline.
75
272335
2683
Nawafikiria wanawake wasiokuwa na usaidizi unaohitajika
04:47
I think of the womenwanawake who do not have
the necessarymuhimu supportmsaada
76
275757
4010
kukabiliana na shida ya kili wanapojihisi hawako salama katika mtandao,
04:51
to dealtoa with the mentalakili traumakiwewe
when they feel unsafesalama in onlineonline spacesnafasi,
77
279791
5554
na wakiendelea na shughuli zao za kila siku,
04:57
and they go about theirwao dailykila siku activitiesshughuli,
78
285369
2083
wakidhani kuwa kuna tishio la ubakaji katika ujumbe wao.
04:59
thinkingkufikiri that there is
a rapekubaka threattishio in theirwao in-boxkatika kisanduku.
79
287476
3243
Kuweza
05:03
SafeSalama accessupatikanaji to the internetinternet
is an accessupatikanaji to knowledgeujuzi,
80
291329
4162
na elimu ni uhuru.
05:07
and knowledgeujuzi is freedomuhuru.
81
295515
1828
Ninapopigania haki z
05:09
When I fightkupigana for women'swanawake digitaldigital rightshaki,
82
297367
2118
Ninapopigania maslahi ya wanawake ya kidijitali
05:11
I'm fightingmapigano for equalityusawa.
83
299509
1872
Ninaapigania usawa
05:13
Thank you.
84
301405
1151
Asanteni
05:14
(ApplauseMakofi)
85
302580
1943
(Makofi)
Translated by Brian Bosire
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Nighat Dad - Lawyer, human rights activist
TED Fellow Nighat Dad heads the Digital Rights Foundation, Pakistan -- a researched based advocacy not-for-profit geared towards ICT to support human rights, democratic processes, and digital governance.

Why you should listen

Nighat Dad is an accomplished lawyer and a human rights activist. She is one of the pioneers who have been campaigning around access to open internet in Pakistan and globally. She is the only Pakistani fellow for Young Global Leaders 2018 supported by World Economic Forum and TEDGlobal Fellows for 2017. She has been listed as a Next Generation Leader by TIME and is the recipient of Atlantic Council Freedom Award and Human Rights Tulip Award.

Dad has been fighting against online gender-based violence, making the internet safe and inclusive for everyone to use. She's been referred to as the "Pakistani lawyer trolling the trolls" by BBC for her valor in calling out the harassers online. She has been actively advocating for increased participation of women in public spaces through national and international platforms. She tweets at @nighatdad.

More profile about the speaker
Nighat Dad | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee