ABOUT THE SPEAKER
Will Potter - Investigative journalist
Award-winning journalist and author, Will Potter focuses on the animal rights and environmental movements, and civil liberties in the post-9/11 era.

Why you should listen

Independent journalist and TED Fellow Will Potter is based in Washington, D.C.; his current work examines how whistleblowers and non-violent protesters are being treated as terrorists.

The author of Green Is The New Red: An Insider's Account of a Social Movement Under Siege, Potter has extensively documented how non-violent protest is slowly being criminalized. His reporting and commentary have been featured in the world's top media outlets, including the Washington Post, NPR, Rolling Stone, El Pais, and Le Monde. He has testified before the U.S. Congress about his reporting, as the only witness opposing the Animal Enterprise Terrorism Act -- and he is a plaintiff in the first lawsuits challenging so-called "ag-gag" laws as unconstitutional.

Will has also lectured at many universities and public forums about his work, including Georgetown University, Harvard Law School, and the House of Democracy and Human Rights in Berlin. International speaking tours have included Germany, Austria, Switzerland, New Zealand, and Spain, and he was the international guest lecturer for Australia's 2014 animal law lecture series.

His reporting has overturned criminal prosecutions, and it has both been praised in Congressional reports and monitored by the Counter-Terrorism Unit.

More profile about the speaker
Will Potter | Speaker | TED.com
TED2014

Will Potter: The shocking move to criminalize nonviolent protest

Will Potter: Mpango wa Kustua wa kufanya maandamano na upinzani wa amani kuwa kosa la jinai.

Filmed:
1,127,722 views

Mwaka 2002, Mwandishi wa habari za uchunguzi na TED Fellow Will Potter aliamua kupumzika kazi yake ya mara kwa mara ya kuandika kuhusu mauaji kwa ajili ya gazeti la Chicago Tribune. Alienda kulisaidia kundi linalofanya kampeni kinyume na matumizi ya wanyama katika majaribio ya kisayansi. "Nilifikiri itakuwa ni njia salama ya kufanya jambo jema," anasema . Lakini kinyume chake ,alikamatwa, na hapo ikaanza safari yake kwenye dunia ambayo maandamano ya amani yanaitwa ugaidi.
- Investigative journalist
Award-winning journalist and author, Will Potter focuses on the animal rights and environmental movements, and civil liberties in the post-9/11 era. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
It was lesschini than a yearmwaka after SeptemberSeptemba 11,
0
531
2576
Ilikuwa ni chini ya mwaka mmoja baada ya Septemba 11,
00:15
and I was at the ChicagoChicago TribuneTribune
1
3107
1675
Na nilikuwa katika ofisi ya gazeti la Chicago Tribune
00:16
writingkuandika about shootingsmilio ya risasi and murdersmauaji,
2
4782
1874
Nikiandika kuhusu mauaji,
00:18
and it was leavingkuondoka me feelinghisia
3
6656
1462
ilinisababisha nijihisi
00:20
prettynzuri darkgiza and depressedwamesimama.
4
8118
1782
Katika hali ya giza na kuelemewa
00:21
I had donekufanyika some activismuanaharakati wa kupinga in collegechuo,
5
9900
1582
Nilikuwa mwanaharakati nilipokuwa chuoni,
00:23
so I decidedaliamua to help a localmitaa groupkikundi
6
11482
1647
Nikaamua kulisaidia kundi la maeneo ya kwetu
00:25
hangpanga doormlango knockersknockers againstdhidi animalmnyama testingkupima.
7
13129
2709
Kuweka mabango kinyume na kuwafanyia wanyama majaribio ya kisayansi.
00:27
I thought it would be a safesalama way
8
15838
1507
Nilifikiri itakuwa ni njia salama
00:29
to do something positivechanya,
9
17345
1882
kufanya kitu kizuri
00:31
but of coursebila shaka I have the absolutekabisa worstmbaya zaidi luckbahati ever,
10
19227
2566
Lakini nina bahati mbaya hasa
00:33
and we were all arrestedwalikamatwa.
11
21793
2325
tulikamatwa wote.
00:36
PolicePolisi tookalichukua this blurryfuru photopicha of me
12
24118
2212
Polisi wakanipiga picha hii isiyoonekana vizuri
00:38
holdingkushikilia leafletsvipeperushi as evidenceushahidi.
13
26330
3226
Nikiwa nimeshika vipeperushi kama ushahidi.
00:41
My chargesmashtaka were dismissedkufukuzwa kazi,
14
29556
1864
Mashtaka kinyume nami yalifutwa,
00:43
but a fewwachache weekswiki laterbaadae,
15
31420
1136
lakini wiki chache baadae,
00:44
two FBIFBI agentsmawakala knockedknocked on my doormlango,
16
32556
2037
wanausalama wawili kutoka FBI wakaja nyumbani,
00:46
and they told me that unlessisipokuwa I helpedimesaidia them
17
34593
1761
wakaniambia kama sitawasaidia
00:48
by spyingujasusi on protestmaandamano groupsvikundi,
18
36354
2101
kwa kufanya upelelezi katika makundi ya waandamanaji
00:50
they would put me on a domesticndani terroristugaidi listorodha.
19
38455
3817
Wataniweka katika orodha ya magaidi wa nyumbani
00:54
I'd love to tell you that I didn't flinchflinch,
20
42272
2036
Napenda nikwambie kuwa sikuogopa,
00:56
but I was terrifiedhofu,
21
44308
1991
lakini nilishtuka,
00:58
and when my fearhofu subsidedruzuku,
22
46299
1884
Mshtuko wangu ulipoisha,
01:00
I becameikawa obsessedwamejitokeza with findingkutafuta out
23
48183
1917
Nilipata hamu ya kutaka kujua
01:02
how this happenedkilichotokea,
24
50100
1117
,hali hii imefikaje hapa
01:03
how animalmnyama rightshaki and environmentalmazingira activistswanaharakati
25
51217
2178
Jinsi wanaharakati wa haki za jamii na mazingira
01:05
who have never injuredkujeruhiwa anyoneyeyote
26
53395
2214
ambao hawajawahi kumjeruhi mtu yeyote
01:07
could becomekuwa the FBI'sWa FBI numbernambari one
27
55609
1913
wanaweza kuwa watu wa kwanza kwa shirika la FBI
01:09
domesticndani terrorismugaidi threattishio.
28
57522
3204
kuwafanya kuwa ni tishio kubwa la kiadui la nyumbani
01:12
A fewwachache yearsmiaka laterbaadae, I was invitedwalioalikwa to testifyShuhudia
29
60726
1970
miaka michache baadae, niliitwa kutoa ushahidi
01:14
before CongressCongress about my reportingtaarifa,
30
62696
2504
mbele ya bunge kuhusu ripoti yangu,
01:17
and I told lawmakersWabunge that, while everybodykila mtu
31
65200
1358
na nikawaambia wabunge , kuwa wakati kila mtu
01:18
is talkingkuzungumza about going greenkijani,
32
66558
1725
anaongelea mapinduzi ya kijani,
01:20
some people are riskingkuhatarisha theirwao livesanaishi
33
68283
1538
watu wengine wanatoa maisha yao
01:21
to defendkulinda forestsmisitu and to stop oilmafuta pipelinesmabomba.
34
69821
3512
kuilinda misitu na kuzuia mabomba ya mafuta.
01:25
They're physicallykimwili puttingkuweka theirwao bodiesmiili on the linemstari
35
73333
2049
Wanaweka miili yao kati ya
01:27
betweenkati the whalers'whalers' harpoonsharpoons and the whalesnyangumi.
36
75382
3425
mitego ya nyangumi na nyangumi.
01:30
These are everydaykila siku people,
37
78807
1689
Hawa ni watu wa kawaida,
01:32
like these protesterswaandamanaji in ItalyUitalia
38
80496
2086
Kama waandamanaji hawa wa Italia
01:34
who spontaneouslypapo hapo climbedakapanda over
39
82582
2062
ambao walipanda
01:36
barbedletu wireWaya fencesuzio to rescuekuokoa beaglesbeagles
40
84644
2301
uzio wa waya kuwaokoa wanyama
01:38
from animalmnyama testingkupima.
41
86945
2161
wasitumika katika majaribio ya kisayansi.
01:41
And these movementsharakati have been incrediblyincredibly effectiveufanisi
42
89106
2676
na wimbi hili limekuwa la mafanikio sana
01:43
and popularmaarufu,
43
91782
1938
na maarufu,
01:45
so in 1985, theirwao opponentswapinzani madealifanya up a newmpya wordneno,
44
93720
3861
Kwa hiyo mwaka 1985, wapinzani wao wakatengeneza neno jipya
01:49
eco-terroristeco-ugaidi,
45
97581
1564
Gaidi wa mazingira,
01:51
to shiftkuhama how we viewmtazamo them.
46
99145
2124
Ili kubadilisha jinsi tunavyowaona.
01:53
They just madealifanya it up.
47
101269
1887
walitengeneza tuu.
01:55
Now these companiesmakampuni have backedkuungwa mkono newmpya lawssheria
48
103156
2537
sasa kampuni hizi zimesaidia sheria mpya
01:57
like the AnimalMnyama EnterpriseBiashara TerrorismUgaidi ActSheria,
49
105693
2739
Kama Animal Enterprise Terrorism Act,
02:00
whichambayo turnsinageuka activismuanaharakati wa kupinga into terrorismugaidi
50
108432
2119
ambayo inabadilisha uanaharakati kuwa ugaidi
02:02
if it causessababu a losskupoteza of profitsfaida.
51
110551
2768
Kama itasababisha ukosefu wa faida.
02:05
Now mostwengi people never even heardkusikia about this lawsheria,
52
113319
2999
watu wengi hawajawahi hata kuisikia sheria hii,
02:08
includingikiwa ni pamoja na memberswanachama of CongressCongress.
53
116318
2126
wakiwemo wabunge,
02:10
LessChini than one percentasilimia were in the roomchumba
54
118444
1911
Chini ya asilimia moja walikuwa bungeni
02:12
when it passedilipita the HouseNyumba.
55
120355
2460
ilipopitishwa
02:14
The restpumzika were outsidenje at a newmpya memorialkumbukumbu.
56
122815
2903
Wengine walikuwa katika kumbukumbu
02:17
They were praisingkumsifu DrDr. KingMfalme
57
125718
1661
wakimsifu Dr . King
02:19
as his stylemtindo of activismuanaharakati wa kupinga was brandedasili as terrorismugaidi
58
127379
3426
ambaye aina yake ya uanaharakati ingeitwa ugaidi
02:22
if donekufanyika in the namejina of animalswanyama or the environmentmazingira.
59
130805
3651
kama ingefanywa kwa wanyama au mazingira.
02:26
SupportersWafuasi say lawssheria like this are neededinahitajika
60
134456
1937
Waungaji mkono wanasema sheria hizi zinahitajika
02:28
for the extremistswenye nguvu:
61
136393
1849
Kwa ajili ya wale wenye msimamo mkali
02:30
the vandalsWavandali, the arsonistskuyachoma, the radicalswenye msimamo mkali.
62
138242
2949
wahuni na wanaoharibu mali.
02:33
But right now, companiesmakampuni like TransCanadaTransCanada
63
141191
2262
Lakini kwa sasa, kampuni kama TransCanada
02:35
are briefingmkutano policepolisi in presentationsmawasilisho like this one
64
143453
3325
wanawaelekeza polisi
02:38
about how to prosecutekushitaki nonviolentnonviolent protesterswaandamanaji
65
146778
2689
jinsi ya kuwashtaki waandamanaji wa amani
02:41
as terroristsmagaidi.
66
149467
2138
kama magaidi.
02:43
The FBI'sWa FBI trainingmafunzo documentsnyaraka on eco-terrorismeco-ugaidi
67
151605
3623
Mafunzo ya FBI kuhusu ugaidi wa mazingira
02:47
are not about violencevurugu,
68
155228
1551
sio kwa ajili ya kuzuia vurugu
02:48
they're about publicumma relationsmahusiano.
69
156779
2713
ni kwa ajili ya mahusiano ya umma
02:51
TodayLeo, in multiplenyingi countriesnchi,
70
159492
1973
leo, katika nchi nyingi ,
02:53
corporationsmashirika are pushingkusukuma newmpya lawssheria
71
161465
1488
mashirika makubwa yanalazimisha sheria mpya
02:54
that make it illegalkinyume cha sheria to photographpicha
72
162953
1714
ambazo zinafanya kuwa kinyume na sheria upigaji picha
02:56
animalmnyama crueltyukatili on theirwao farmsmashamba.
73
164667
3260
wa ukatili wa wanyama katika mashamba yao.
02:59
The latestkaribuni was in IdahoIdaho just two weekswiki agoiliyopita,
74
167927
2527
Habari ya karibuni kabisa ni huko idaho ,wiki mbili zilizopita,
03:02
and todayleo we releasediliyotolewa a lawsuitmashtaka
75
170454
1773
na leo tumefungua kesi
03:04
challengingchangamoto it as unconstitutionalkinyume na katiba
76
172227
1727
tukisema ni kinyume na katiba
03:05
as a threattishio to journalismuandishi wa habari.
77
173954
2573
na pia kama kitisho kwa uandishi wa habari
03:08
The first of these ag-gagAG-gag prosecutionsmashtaka,
78
176527
2338
Mwanzo wa sheria hizi
03:10
as they're calledaitwaye,
79
178865
1435
kufanya kazi
03:12
was a youngvijana womanmwanamke namedjina lake AmyAmy MeyerMeyer,
80
180300
1652
ilikuwa ni pale binti aitwaye Amy Meyer,
03:13
and AmyAmy saw a sickmgonjwa cowng'ombe beingkuwa movedwakiongozwa
81
181952
1613
alipoona ng'ombe mgonjwa akiwa anahamishwa
03:15
by a bulldozerTinga outsidenje of a slaughterhousemachinjio
82
183565
2549
na tingatinga nje ya nyumba ya kuchinjia
03:18
as she was on the publicumma streetbarabara.
83
186114
2414
alipokuwa mtaani
03:20
And AmyAmy did what any of us would:
84
188528
2211
amy alifanya kile ambacho wengi wetu wangefanya:
03:22
She filmediliyofanyika it.
85
190739
1775
alipiga video.
03:24
When I foundkupatikana out about her storyhadithi, I wrotealiandika about it,
86
192514
3049
Nilipogundua habari,niliiandika
03:27
and withinndani 24 hoursmasaa, it createdimeundwa suchvile an uproarvyakasirishwa na
87
195563
2925
Ndani ya masaa 24, ikaleta rabsha
03:30
that the prosecutorswaendesha mashtaka just droppedimeshuka all the chargesmashtaka.
88
198488
3250
iliyosababisha mashtaka yote kufutwa.
03:33
But apparentlyinaonekana, even exposingkuhatarisha stuffvitu like that
89
201738
2018
Lakini, hata kufichua mambo kama hayo
03:35
is a threattishio.
90
203756
1820
ni tishio.
03:37
ThroughKupitia the FreedomUhuru of InformationTaarifa ActSheria,
91
205576
1664
Kupitia sheria ya uhuru wa mawasiliano
03:39
I learnedkujifunza that the counter-terrorismkupambana na ugaidi unitkitengo
92
207240
1860
Niligundua kuwa kitengo cha kudhibiti ugaidi
03:41
has been monitoringufuatiliaji my articlesmakala
93
209100
2077
kimekuwa kikifuatilia makala zangu
03:43
and speecheshotuba like this one.
94
211177
2286
Na hotuba kama hii.
03:45
They even includedni pamoja this nicenzuri
little write-upAndika of my bookkitabu.
95
213463
2226
Hata wametoa maelezo haya kuhusu kitabu changu
03:47
They describedilivyoelezwa it as "compellingkulazimisha and well-writtenimeandikwa kwa."
96
215689
3115
Wanaeleza kuwa "inavutia na imeandikwa vizuri"
03:50
(ApplauseMakofi)
97
218804
4721
(Makofi)
03:55
BlurbBlurb on the nextijayo bookkitabu, right?
98
223525
3235
Muhtsari kuhusu kitabu kifuatacho, si ndio?
03:58
The pointuhakika of all of this is to make us afraidhofu,
99
226760
3640
Haya yote ni kutufanya tuogope,
04:02
but as a journalistmwandishi wa habari, I have an unwaveringusioyumba faithimani
100
230400
1889
Lakini kama mwandishi wa habari,nina imani thabiti
04:04
in the powernguvu of educationelimu.
101
232289
1831
kuhusu nguvu ya elimu.
04:06
Our bestbora weaponsilaha is sunlightjua.
102
234120
3567
Silaha yetu nzuri ni mwanga wa jua
04:09
DostoevskyDostoevsky wrotealiandika that the wholeyote work of man
103
237687
1887
Dostoevsky aliandika kuwa kazi yote ya mtu
04:11
is to provekuthibitisha he's a man and not a pianopiano keyufunguo.
104
239574
3325
ni kuthibitisha kuwa ni mtu na sio sehemu ya kinanda
04:14
Over and over throughoutkote historyhistoria,
105
242899
1562
Mara nyingi katika historia
04:16
people in powernguvu have used fearhofu
106
244461
1988
Watawala wametumia uoga
04:18
to silencekimya the truthukweli and to silencekimya dissentupinzani.
107
246449
3799
Kunyamazisha ukweli na upinzani
04:22
It's time we strikemgomo a newmpya noteKumbuka.
108
250248
2039
Ni wakati wa kuanzisha kitu kipya
04:24
Thank you.
109
252287
1975
Asante Sana
04:26
(ApplauseMakofi)
110
254262
1854
(Makofi)
Translated by Joachim Mangilima
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Will Potter - Investigative journalist
Award-winning journalist and author, Will Potter focuses on the animal rights and environmental movements, and civil liberties in the post-9/11 era.

Why you should listen

Independent journalist and TED Fellow Will Potter is based in Washington, D.C.; his current work examines how whistleblowers and non-violent protesters are being treated as terrorists.

The author of Green Is The New Red: An Insider's Account of a Social Movement Under Siege, Potter has extensively documented how non-violent protest is slowly being criminalized. His reporting and commentary have been featured in the world's top media outlets, including the Washington Post, NPR, Rolling Stone, El Pais, and Le Monde. He has testified before the U.S. Congress about his reporting, as the only witness opposing the Animal Enterprise Terrorism Act -- and he is a plaintiff in the first lawsuits challenging so-called "ag-gag" laws as unconstitutional.

Will has also lectured at many universities and public forums about his work, including Georgetown University, Harvard Law School, and the House of Democracy and Human Rights in Berlin. International speaking tours have included Germany, Austria, Switzerland, New Zealand, and Spain, and he was the international guest lecturer for Australia's 2014 animal law lecture series.

His reporting has overturned criminal prosecutions, and it has both been praised in Congressional reports and monitored by the Counter-Terrorism Unit.

More profile about the speaker
Will Potter | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee