ABOUT THE SPEAKER
Kaitlyn Sadtler - Regenerative tissue engineer
Kaitlyn Sadtler researches how our body can regenerate tissue through instructions from our immune system.

Why you should listen

Kaitlyn Sadtler is a postdoctoral fellow at MIT and received her Ph.D. from the Johns Hopkins University School of Medicine, where she discovered a certain type of immune cell -- the T cell -- was critical for muscle regeneration. This work was published in Science Magazine and has led to more findings in how our immune system responds to materials used in tissue engineering.

More profile about the speaker
Kaitlyn Sadtler | Speaker | TED.com
TED2018

Kaitlyn Sadtler: How we could teach our bodies to heal faster

Kaitlyn Sadtler: Jinsi tunaweza fundisha miili yetu kupona haraka

Filmed:
2,315,538 views

Itakuaje kama tutaweza saidia miili yetu kupona haraka bila makovu, kama Wolverine kwenye X-Men? Mshiriki wa TED Kaitlyn Sadtler anafanya kazi ili ndoto hii iwe kweli kwa kutengeneza vifaa vya biolojia vipya vinavyoweza kubadili jinsi mfumo wetu wa kinga unavyojibu majeraha. Kwenye mazungumzo haya mafupi, anaonyesha njia tofauti ambazo bidhaa hizi zinaweza kusaidia mwili ukajijenga upya.
- Regenerative tissue engineer
Kaitlyn Sadtler researches how our body can regenerate tissue through instructions from our immune system. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

Je kama unaweza kuchukua kidonge
au chanjo
00:13
What if you could take a pillkidonge or a vaccinechanjo
0
1404
3508
na kama ukawa unapona mafua,
00:16
and, just like gettingkupata over a coldbaridi,
1
4936
1730
00:18
you could healkuponya your woundsmajeraha fasterharaka?
2
6690
2095
unaweza kuponya jeraha kwa urahisi?
00:20
TodayLeo, if we have
an operationoperesheni or an accidentajali,
3
8809
3522
Leo, kama tukiwa na upasuaji au ajali,
00:24
we're in the hospitalhospitali for weekswiki,
4
12355
1621
tunakaa hospitalini kwa wiki,
00:26
and oftenmara nyingi left with scarsmakovu
and painfulchungu sideupande effectsathari
5
14000
2626
na mara nyingi tunabaki na makovu
na madhara ya uchungu
00:28
of our inabilitykukosa uwezo wa to regeneraterejea
or regrowrejea healthyafya, uninjureduninjured organsvyombo vya.
6
16650
5135
kwa uwezo wetu wa kutengeneza au
kukuza afya, na viungo visivyo na jeraha.
00:34
I work to createkuunda materialsvifaa
7
22436
2026
Nafanya kazi kujenga vifaa
00:36
that instructkuwafundisha our immunekinga systemmfumo to give us
the signalsishara to growkukua newmpya tissuestishu.
8
24486
4203
vinavyofundisha mfumo wetu wa kinga ili
utupe alama za kukuza tishu mpya.
00:41
Just like vaccineschanjo instructkuwafundisha
our bodymwili to fightkupigana diseaseugonjwa,
9
29497
3074
Kama tu chanjo inavyofundisha
mwili wetu kupigana na magonjwa,
00:44
we could insteadbadala yake instructkuwafundisha
our immunekinga systemmfumo
10
32595
2728
badala yake tunaweza fundisha
mfumo wetu wa kinga
00:47
to buildjenga tissuestishu
and more quicklyharaka healkuponya woundsmajeraha.
11
35347
2864
kujenga tishu
na kuponya majeraha kwa urahisi.
00:50
Now, regrowingregrowing bodymwili partssehemu out of nowheremahali popote
mightnguvu seemkuonekana like magicuchawi,
12
38886
3778
Sasa, kukuza sehemu za mwili kutoka
popote inaweza kuonekana kama uchawi,
00:54
but there are severalkadhaa organismsviumbe
that can achievekufikia this feathali.
13
42688
3191
lakini kuna viumbe kadhaa
vinavyoweza kutimiza mafanikio haya.
00:57
Some lizardsmijusi can regrowrejea theirwao tailsmikia,
14
45903
2443
Baadhi ya mijusi inaweza kukuza mikia yao,
01:00
the humblewanyenyekevu salamandersalamander
can completelykabisa regeneraterejea theirwao armmkono,
15
48370
3945
yule salamanda mnyenyekevu
anaweza kukuza kabisa mkono wake,
01:04
and even us meretu humansbinadamu
can regrowrejea our liverini
16
52339
2889
na hata binadamu tu
wanaweza kukuza ini lao
01:07
after losingkupoteza more than halfnusu
of its originalawali masswingi.
17
55252
2571
baada ya kupoteza zaidi ya nusu
ya uzito wao wa awali.
01:10
To make this magicuchawi
a bitkidogo closerkaribu to realityukweli,
18
58615
2635
Ili kufanya uchawi huu
kuwa karibu zaidi na ukweli,
01:13
I'm investigatingkuchunguza how our bodymwili
can healkuponya woundsmajeraha and buildjenga tissuetishu
19
61274
4095
nina fanya uchunguzi wa jinsi mwili wetu
unaweza kuponya majeraha na kujenga tishu
01:17
throughkupitia instructionsmaelekezo
from the immunekinga systemmfumo.
20
65393
2129
kupitia maelekezo kutoka mfumo
wa kinga.
01:20
From a scrapescrape on your kneegoti
to that annoyinghasira sinussinus infectionmaambukizi,
21
68387
3525
Kutoka kwenye mkato wa goti lako
mpaka maambukizi ya sinus yanayoboa,
01:23
our immunekinga systemmfumo defendsaitetea
our bodymwili from dangerhatari.
22
71936
2681
mfumo wetu wa kinga unalinda
mwili wetu na hatari.
01:27
I'm an immunologistimmunologist,
23
75199
1461
Mimi ni immunolojisti
01:28
and by usingkutumia what I know
about our body'sya mwili defenseulinzi systemmfumo,
24
76684
3030
na kwa kutumia ninachojua
kuhusu mfumo wa ulinzi wa mwili wetu,
01:31
I was ableinaweza to identifytambua keyufunguo playerswachezaji
25
79738
2176
niliweza kutambua wachezaji wakuu
01:33
in our fightkupigana to buildjenga back
our cutskupunguzwa and bruisesmarufuku.
26
81938
2688
kwenye mapambano ya kujenga
mikato na michubuko yetu.
01:37
When looking at materialsvifaa
that are currentlysasa beingkuwa testedkupimwa
27
85436
2669
Tunapoangalia vifaa
vinavyojaribiwa kwa sasa
01:40
for theirwao abilitiesuwezo to help regrowrejea musclemisuli,
28
88129
2198
kwa uwezo wao wa kusaidia kukuza misuli,
01:42
our teamtimu noticedniliona that after treatingkutibu
an injuredkujeruhiwa musclemisuli with these materialsvifaa,
29
90351
4159
timu yetu imeona kua baada ya kutibu
msuli uliojeruhiwa na vifaa hivi,
01:46
there was a largekubwa numbernambari of immunekinga cellsseli
30
94534
2323
kulikua na idadi kubwa ya seli za kinga
01:48
in that materialvifaa
and the surroundingjirani musclemisuli.
31
96881
2557
ndani ya kifaa
na inayozunguka msuli.
01:52
So in this casekesi,
32
100010
1158
Hivyo kwa sababu hii,
01:53
insteadbadala yake of the immunekinga cellsseli rushingkukimbilia off
towardskuelekea infectionmaambukizi to fightkupigana bacteriabakteria,
33
101192
4214
badala ya seli za kinga kukimbilia
kwenye maambukizi kupigana na bakteria,
01:57
they're rushingkukimbilia towardkuelekea an injurykuumia.
34
105430
2087
zinakimbilia kuelekea kwenye jeraha.
01:59
I discoveredaligundua a specificz zara
typeaina of immunekinga cellkiini,
35
107922
2833
Nimegundua aina maalum
ya seli za kinga,
02:02
the helperMsaidizi T cellkiini,
36
110779
1294
ni msaidizi T kiini,
02:04
was presentsasa insidendani
that materialvifaa that I implantedimewekwa
37
112097
2729
ilikua inapatikana ndani ya
kile kifaa nilichokipanda
02:06
and absolutelykabisa criticalmuhimu for woundjeraha healingkuponya.
38
114850
2397
na ni muhimu kabisa kwa ajili ya uponyaji
jeraha.
02:10
Now, just like when you were a kidmtoto
and you'dungependa breakkuvunja your pencilpenseli
39
118325
3442
Sasa, kama tu ulivyokua mdogo na
ukavunja penseli yako
02:13
and try and tapemkanda it back togetherpamoja again,
40
121791
2538
na kujaribu kugundisha kwa pamoja tena,
02:16
we can healkuponya,
41
124353
1154
tunaweza kupona,
02:17
but it mightnguvu not be
in the mostwengi functionalkazi way,
42
125531
2245
lakini inaweza isiwe
njia inayofanya kazi zaidi,
02:19
and we'llvizuri get a scarkovu.
43
127800
1373
na tutapata kovu.
02:21
So if we don't have these helperMsaidizi T cellsseli,
44
129515
2984
Hivyo kama hatuna hizi msaidizi T kiini,
02:24
insteadbadala yake of healthyafya musclemisuli,
45
132523
1587
badala ya misuli yenye afya,
02:26
our musclemisuli developshuendelea
fatmafuta cellsseli insidendani of it,
46
134134
2611
misuli yetu inatengeneza
seli za mafuta ndani yake,
02:28
and if there's fatmafuta in our musclemisuli,
it isn't as strongnguvu.
47
136769
2477
na kama kuna mafuta kwenye misuli yetu,
haina nguvu.
02:32
Now, usingkutumia our immunekinga systemmfumo,
48
140033
2400
Sasa, kutumia mfumo wetu wa kinga,
02:34
our bodymwili could growkukua back
withoutbila these scarsmakovu
49
142457
2497
miili yetu inaweza kukua tena
bila haya makovu
02:36
and look like what it was
before we were even injuredkujeruhiwa.
50
144978
2912
na kuonekana kama ilivyokua
kabla hata hatujajeruhiwa.
02:41
I'm workingkufanya kazi to createkuunda materialsvifaa
51
149128
2560
Nina fanya kazi kutengeneza vifaa
02:43
that give us the signalsishara
to buildjenga newmpya tissuetishu
52
151712
2279
vinavyotuma alama
za kujenga tishu mpya
02:46
by changingkubadilisha the immunekinga responsejibu.
53
154015
1840
kwa kubadilisha mwitikio wa kinga.
02:48
We know that any time
a materialvifaa is implantedimewekwa in our bodymwili,
54
156840
4215
Tunajua kua muda wowote
kifaa kinapopandwa mwilini mwetu,
02:53
the immunekinga systemmfumo will respondjibu to it.
55
161079
2055
mfumo wa kinga utaitikia kwake.
02:55
This rangesMasafa from pacemakersvinaruhusiwa
to insulininsulini pumpspampu
56
163158
4509
Hii hutofautiana kwanzia kipima mapigo ya
moyo mpaka pampu za insulini
02:59
to the materialsvifaa that engineerswahandisi are usingkutumia
to try and buildjenga newmpya tissuetishu.
57
167691
3666
mpaka vifaa ambavyo wanatumia wahandisi
ili kujaribu kujenga tishu mpya.
03:03
So when I placemahali that materialvifaa,
or scaffoldmimbari, in the bodymwili,
58
171932
4065
Hivyo ninapoweka hicho kifaa,
au kiguzo, ndani ya mwili,
03:08
the immunekinga systemmfumo createshujenga
a smallndogo environmentmazingira of cellsseli and proteinsprotini
59
176021
4405
mfumo wa kinga hutengeneza
mazingira madogo ya seli na protini
03:12
that can changemabadiliko the way
that our stemshina cellsseli behavetenda.
60
180450
2872
ambazo zinaweza badili jinsi
seli shina zetu zinavyoishi.
03:15
Now, just like the weatherhali ya hewa
affectshuathiri our dailykila siku activitiesshughuli,
61
183817
3898
Sasa, kama hali ya hewa
inavyoathiri shughuli zetu za siku,
03:19
like going for a runkukimbia
62
187739
1325
kama kwenda kukimbia
03:21
or stayingkukaa insidendani and binge-watchingkuangalia binge
an entirenzima TVTV showonyesha on NetflixNetflix,
63
189088
4485
au kukaa ndani na kutazama
kipindi kizima cha TV kwenye Netflix,
03:25
the immunekinga environmentmazingira of a scaffoldmimbari
64
193597
1968
mazingira ya kinga ya kiguzo
03:27
affectshuathiri the way that
our stemshina cellsseli growkukua and developkuendeleza.
65
195589
2825
inaathiri jinsi seli shina zetu
zinavyokua na kuendelea.
03:30
If we have the wrongsi sawa signalsishara,
66
198883
2016
Kama tunakua na ishara za mbovu,
03:32
say the NetflixNetflix signalsishara,
67
200923
1675
tuseme kama ishara za Netflix,
03:34
we get fatmafuta cellsseli insteadbadala yake of musclemisuli.
68
202622
2864
tunapata seli za mafuta badala ya misuli.
03:38
These scaffoldsscaffolds are madealifanya
of a varietytofauti of differenttofauti things,
69
206790
3127
Viguzo hivi vimetengenezwa na
aina nyingi tofauti ya vitu,
03:41
from plasticsplastiki to naturallykawaida
derivedinayotokana materialsvifaa,
70
209941
3365
kwanzia plastiki mpaka vitu
vinavyopatikana kiasili,
03:45
nanofibersnanofibers of varyingtofauti thicknessesthicknesses,
71
213330
2751
nyuzi ndogo zinazotofautiana unene,
03:48
spongessponges that are more or lesschini porousporous,
72
216105
2413
sifongo ambazo zina matundu makubwa
au madogo,
03:50
gelsgels of differenttofauti stiffnessesstiffnesses.
73
218542
2119
jeli zenye ugumu unaotofautiana.
03:52
And researcherswatafiti
can even make the materialsvifaa
74
220685
2110
Na watafiti wanaweza hata
kutengeneza vifaa
03:54
releasekutolewa differenttofauti signalsishara over time.
75
222819
2039
kutoa ishara tofauti na mda.
03:57
So in other wordsmaneno, we can orchestrateweka
this BroadwayUstadi showonyesha of cellsseli
76
225473
5246
Hivyo kwa maneno mengine, tunaweza kupanga
maonyesho hayaya Broadway ya seli
04:02
by givingkutoa them the correctsahihi
stagehatua, cuesishara and propsprops
77
230743
3858
kwa kuzipa jukwaa, sehemu
na heshima sahihi
04:06
that can be changediliyopita for differenttofauti tissuestishu,
78
234625
2221
inayoweza kubadilishwa kwa tishu tofauti,
04:08
just like a producermtayarishaji would changemabadiliko the setkuweka
79
236870
2196
kama tu mtengenezaji anavyobadilisha
jukwaa
04:11
for "LesLes MisSiku" versusdhidi
"Little ShopDuka of HorrorsHofu."
80
239090
2923
kwa "Les Mis" dhidi ya
"Little Shop of Horrors."
04:14
I'm combiningkuchanganya specificz zara typesaina of signalsishara
81
242398
2684
Nina changanya aina maalum za ishara
04:17
that mimicmimic how our bodymwili respondsanajibu to injurykuumia
to help us regeneraterejea.
82
245106
4708
ambazo zinaiga jinsi miili yetu inavyojibu
maumivu kutusaidia kua wapya.
04:22
In the futurebaadaye, we could see
a scar-proofuthibitisho wa kovu band-aidelasto,
83
250283
3528
Huko mbeleni, tutaona bandi ya misaada
ambayo ni kizuia kovu,
04:25
a moldablemoldable musclemisuli fillerFiller
or even a wound-healinguponyaji wa jeraha vaccinechanjo.
84
253835
3978
kijazo cha msuli kinachofinyangika
au hata chanjo inayoponya jeraha.
04:29
Now, we aren'tsio going to wakewake up tomorrowkesho
and be ableinaweza to healkuponya like WolverineWolverini.
85
257837
3577
Sasa, hatutaweza kuamka kesho na
kuweza kuponywa kama Wolverine.
04:33
ProbablyPengine not nextijayo TuesdayJumanne, eitherama.
86
261438
1866
Pengine hata sio Jumanne ijayo pia.
04:35
But with these advancesmaendeleo,
87
263328
1184
Ila na haya maednelelo,
04:36
and workingkufanya kazi with our immunekinga systemmfumo
to help buildjenga tissuetishu and healkuponya woundsmajeraha,
88
264536
4205
na kufanya kazi na mfumo wetu wa kinga
kusaidia kuunda tishu na kutibu majeraha,
04:40
we could beginkuanza seeingkuona
productsbidhaa on the marketsoko
89
268765
2229
tunaweza kuanza kuona
bidhaa kwenye soko
04:43
that work with our body'sya mwili defenseulinzi systemmfumo
to help us regeneraterejea,
90
271018
3866
zinazofanya kazi na mfumo wa ulinzi
mwilini kusaidia kutengeneza upya,
04:46
and maybe one day be ableinaweza
to keep pacekasi with a salamandersalamander.
91
274908
4055
na labda siku moja tutaweza
kua sambamba na salamander.
04:51
Thank you.
92
279876
1151
Asante.
04:53
(ApplauseMakofi)
93
281051
3639
(Makofi)
Translated by Doris Mangalu
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Kaitlyn Sadtler - Regenerative tissue engineer
Kaitlyn Sadtler researches how our body can regenerate tissue through instructions from our immune system.

Why you should listen

Kaitlyn Sadtler is a postdoctoral fellow at MIT and received her Ph.D. from the Johns Hopkins University School of Medicine, where she discovered a certain type of immune cell -- the T cell -- was critical for muscle regeneration. This work was published in Science Magazine and has led to more findings in how our immune system responds to materials used in tissue engineering.

More profile about the speaker
Kaitlyn Sadtler | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee