ABOUT THE SPEAKER
Eldra Jackson III - Educator
Eldra Jackson III works daily to connect to his most authentic self -- and his calling is to support others in doing the same.

Why you should listen

Eldra Jackson III is a spiritual warrior who lives a passion of "saving lives one circle at a time." After living most of his life devoid of emotions and coming face-to-face with the reality of dying behind bars, he came to a point of self-inquiry, seeking answers as to how his life had spiraled into a mass of destruction set upon self and others. From this point, the space was made to save his life.

Today, Jackson works to bring his spiritual medicine into the world while simultaneously guiding others to tap into their own internal salve and help identify wounds. Through his intensive awareness work, he is on a mission to show the world what's possible as each person does their own internal examination to begin the path towards emotional and psychic health. Learn more about him in the documentary The Work.

More profile about the speaker
Eldra Jackson III | Speaker | TED.com
TEDWomen 2018

Eldra Jackson: How I unlearned dangerous lessons about masculinity

Eldra Jackson: Jinsi ya kuvunja mzunguko wa uwanaume wa sumu

Filmed:
1,574,463 views

Kwenye mazungumzo yenye nguvu, mkalimu Eldra Jackson III anatushirikisha jinsi alivyotelekeza mafunzo hatarishi kuhusu uwanaume kupitia Duara la Ndani, shirika linaloongoza tiba ya kikundi kwa wanaume waliokizuizini. Sasa anasaidia wengine kupona kwa kujenga taswira mpya ya kinachomaanisha kua mwanaume kamili na mzima. "Changamoto ni kutokomeza huu mzunguko wa ujinga wa hisia na mawazokundi," anasema.
- Educator
Eldra Jackson III works daily to connect to his most authentic self -- and his calling is to support others in doing the same. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:14
BigKubwa boyswavulana don't crykilio.
0
2135
1738
Wavulana wakubwa hawalii.
00:17
SuckKunyonya it up.
1
5217
1187
Imezee.
00:19
ShutKufunga up and rubkusugua some dirtuchafu on it.
2
7558
1674
Kaa kimya na ufutie vumbi juu yake.
00:22
Stop cryingkilio before I give you
something to crykilio about.
3
10462
2674
Acha kulia kabla sijakupa
kitu cha kulilia.
00:26
These are just a fewwachache of the phrasesvishazi
4
14258
1858
Hizi ni baadhi tu ya vishazi
00:28
that contributekuchangia
to a diseaseugonjwa in our societyjamii,
5
16140
3174
vinavyochangia kwenye
ugonjwa ndani ya jamii yetu,
00:31
and more specificallyhasa, in our menwatu.
6
19338
1959
na hasa zaidi, kwa wanaume wetu.
00:34
It's a diseaseugonjwa that has come
to be knowninayojulikana as "toxicsumu masculinitykiume."
7
22595
4074
Ni ugonjwa uliokuja
kujulikana kama "sumu ya uwanaume."
00:40
It's one I sufferedwaliteseka a chronicsugu casekesi of,
8
28044
2547
Ni moja niliyoteseka kwa kesi sugu,
00:42
so much so that I spentalitumia 24 yearsmiaka
of a life sentencesentensi in prisonjela
9
30615
4659
kiasi kwamba nilitumia miaka 24
ya kifungo cha maisha gerezani
00:47
for kidnappingutekaji nyara, robberywizi,
and attemptedalijaribu murdermauaji.
10
35298
3045
kwa utekaji nyara, wizi,
na jaribio la mauaji.
00:52
YetBado I'm here to tell you todayleo
that there's a solutionsuluhisho for this epidemicjanga.
11
40298
3801
Bado nipo hapa kuwaambia leo
kuwa kuna suluhisho la hili janga.
00:57
I know for a factukweli the solutionsuluhisho worksinafanya kazi,
because I was a partsehemu of humanbinadamu trialsmajaribio.
12
45494
4015
Najua suluhisho linafanya kazi kwa sababu
nilikua kwenye majaribio ya binadamu.
01:03
The solutionsuluhisho is a mixturemchanganyiko of elementsvipengele.
13
51239
2357
Suluhisho ni mchanganyiko wa mambo.
01:06
It beginshuanza with the willingnessutayari
to look at your beliefimani systemmfumo
14
54496
3667
Inaanza na nia ya
kuangalia mfumo wa imani yako
01:10
and how out of alignmentMpangilio it is
15
58187
2250
na jinsi imetoka nje ya mpangilio
01:12
and how your actionsVitendo
negativelyathari hasi impactathari not just yourselfwewe mwenyewe,
16
60461
3291
na jinsi matendo yako
yana athari za hasi sio tu kwako,
01:15
but the people around you.
17
63776
1304
na pia watu wanaokuzunguka.
01:18
The nextijayo ingredientkiambato is the willingnessutayari
to be vulnerablehatari with people
18
66349
4040
Sehemu inayofuata ni nia ya
kukabiliwa na watu
01:23
who would not just supportmsaada you,
but holdkushikilia you accountablekuwajibika.
19
71522
3523
ambao hawatakusaidia tu,
bali watakufanya uwajibike.
01:28
But before I tell you about this,
20
76839
1642
Ila kabla sijakuambia kuhusu hili,
01:30
I need to let you know
that in orderamri to sharekushiriki this,
21
78505
3302
Ninahitaji kukujulisha
kua ili niwashirikishe hili,
01:34
I have to barewazi my soulnafsi in fullkamili.
22
82846
2626
ninatakiwa kufunua roho yangu kikamilifu.
01:38
And as I standsimama here,
23
86267
2047
Na ninaposimama hapa,
01:40
with so manywengi eyesmacho fixedimara on me,
24
88338
1809
na macho mengi yakiniangalia,
01:43
I feel rawghafi and nakeduchi.
25
91238
2401
najisikia mbichi na mtupu.
01:48
When this feelinghisia is presentsasa,
26
96046
1644
Pale hisia hii inapokuwepo,
01:49
I'm confidentujasiri that the nextijayo phaseawamu
of healingkuponya is on the horizonupeo wa macho,
27
97714
3840
ninajiamini kua hatua ijayo
ya uponyaji inawadia,
01:55
and that allowsinaruhusu me
to sharekushiriki my storyhadithi in fullkamili.
28
103422
2277
na inaniruhusu
kushirikisha hadithi kikamilifu.
01:59
For all appearances'mechi sakekwa sababu,
I was bornalizaliwa into the idealbora familyfamilia dynamicnguvu:
29
107362
4927
Kwa ajili ya muonekano wote,
nilizaliwa kwenye familia ya hali bora:
02:04
mothermama, fatherbaba, sisterdada, brotherndugu.
30
112805
2134
mama, baba, dada, kaka.
02:07
BerthaBertha, EldraEldra JrJr., TaydamaTaydama and EldraEldra IIIIII.
31
115671
4952
Bertha, Eldra mdogo, Taydama na
Eldra wa tatu.
02:12
That's me.
32
120647
1150
Huyo ni mimi.
02:14
My fatherbaba was a VietnamVietnam veteranmkongwe
who earnedalipata a PurpleZambarau HeartMoyo
33
122978
3009
Baba yangu alikua mwanajeshi wa Vietnam
mwenye Moyo wa Zambarau
02:18
and madealifanya it home to find love,
marrykuoa, and beginkuanza his ownmwenyewe broodvyake.
34
126011
4032
na kurudi nyumbani kupata upendo,
kuoa, na kuanzisha kizazi chake.
02:23
So how did I windupepo up servingkutumikia life
in the CaliforniaCalifornia prisonjela systemmfumo?
35
131273
3253
Sasa niliishiaje kutumikia maisha
kwenye gereza la California?
02:28
KeepingKuweka secretssiri,
36
136066
1270
Kutunza siri,
02:30
believingkuamini the mantramantra
that bigkubwa boyswavulana don't crykilio,
37
138527
2635
kuamini mantra
kua wavulana wakubwa hawalii,
02:34
not knowingkujua how to displaykuonyesha any emotionhisia
confidentlykwa ujasiri other than angerhasira,
38
142594
4111
kutokujua jinsi ya kuonyesha hisia yoyote
kwa ujasiri zaidi ya hasira,
02:41
participatingkushiriki in athleticsMichezo ya riadha
39
149199
1476
kushiriki kwenye riadha
02:42
and learningkujifunza that the greaterzaidi
the performanceutendaji on the fieldshamba,
40
150699
2853
na kujifunza kua ukubwa wa
utendaji uwanjani,
02:45
the lesschini the need to worrywasiwasi
about the ruleskanuni off it.
41
153576
2538
udogo wa hitaji la kua na wasiwasi
juu ya kanuni zake.
02:48
It's hardngumu to pinpini down
any one specificz zara ingredientkiambato
42
156486
2826
Ni ngumu kuwekea msumari
sehemu moja maalumu
02:51
of the manywengi symptomsdalili that ailedailed me.
43
159336
2506
ya dalili nyingi zilizoniuguza.
Nikikua kama kijana mweusi wa kiume
Sacramento, California miaka ya 1980.
02:55
GrowingKuongezeka up as a youngvijana blacknyeusi malekiume
in SacramentoSacramento, CaliforniaCalifornia in the 1980s,
44
163613
4102
02:59
there were two groupsvikundi
I identifiedkutambuliwa as havingkuwa na respectheshima:
45
167739
2857
kulikua na makundi mawili
niliyoyatambua kua na heshima:
03:03
athleteswanariadha and gangstersmajambazi.
46
171555
2438
wanamichezo na majambazi.
03:07
I excelledfora in sportsmichezo,
47
175463
1513
Nilishinda kwenye michezo,
03:10
that is untilmpaka a friendrafiki and I chosealichagua to take
his mom'smama cargari for a joyridejoyride and wreckikaanguka it.
48
178210
4531
mpaka rafiki yangu alipouchukua gari la
mama yake na kuliendesha na kuliharibu.
03:16
With my parentswazazi havingkuwa na to splitkupasuliwa
the costgharama of a totaledilifikia vehiclegari,
49
184502
3171
Na wazazi wangu wakigawanya
gharama za gari lililoharibika,
03:20
I was relegatedimeshindwa to a summermajira ya joto
of householdkaya choreskazi and no sportsmichezo.
50
188555
4873
nilitelekezwa kwenye likizo
ya kazi za nyumbani na bila michezo.
03:26
No sportsmichezo meantmaana yake no respectheshima.
51
194873
2222
Bila michezo ilimaanisha bila heshima.
03:30
No respectheshima equaledequaled no powernguvu.
52
198592
2400
Bila heshima ni sawa na bila nguvu.
03:34
PowerNguvu was vitalmuhimu to feedkulisha my illnessugonjwa.
53
202103
3365
Nguvu ilikua muhimu kulisha ugonjwa wangu.
03:38
It was at that pointuhakika the decisionuamuzi
to transitionmpito from athletemwanamichezo to gangsterGangster
54
206129
6223
Ilikua kwenye hatua hiyo uamuzi wa
kubadilika kutoka mwanamichezo kuwa jambazi
03:44
was madealifanya and donekufanyika so easilykwa urahisi.
55
212376
2417
ulifanywa na kukamilika kirahisi sana.
03:48
EarlyMapema life experiencesuzoefu had setkuweka the stagehatua
for me to be well-suitedinafaa vizuri
56
216199
4190
Uzoefu wa maisha wa mapema uliweka jukwaa
kwa mimi kufaa sana
03:54
to objectifyobjectify otherswengine,
57
222080
1643
kushusha hadhi za wengine,
03:57
acttenda in a sociallykijamii detachedimetengwa mannernamna,
58
225635
2323
kuwa na tabia inayojitenga kijamii,
03:59
and abovehapo juu all elsemwingine, seektafuta to be viewedkutazamwa
as in a positionnafasi of powernguvu.
59
227982
3817
na zaidi ya yote, kutafuta kuonekana
kwenye sehemu ya nguvu.
04:05
A sensehisia of powernguvu
60
233721
1296
Hisia ya nguvu
04:07
(SighsKuangalia)
61
235499
2880
(Akiguna)
04:11
equaledequaled strengthnguvu in my environmentmazingira,
62
239331
2501
nguvu sawa kwenye mazingira yangu,
04:13
but more importantlymuhimu,
it did so in my mindakili.
63
241856
2173
muhimu zaidi, ilifanya hivyo
kweye akili yangu.
04:16
My mindakili dictatedaliamuru my choicesuchaguzi.
64
244916
1991
Akili yangu iliamuru maamuzi yangu.
04:20
My subsequentbaadae choicesuchaguzi put me
on the fastharaka trackkufuatilia to prisonjela life.
65
248138
3507
Maamuzi ya baadae yaliniweka
kwenye njia ya haraka ya maisha gerezani.
04:25
And even oncemara moja in prisonjela,
I continuediliendelea my historyhistoria
66
253278
2794
Na hata nilivyokuwa gerezani,
niliendelea na historia yangu
04:28
of runningKimbia over the rightshaki of otherswengine,
67
256096
2078
ya kuponda haki za wengine,
04:32
even knowingkujua that that
was the placemahali that I would diekufa.
68
260220
3320
hata kujua kua hiyo ni sehemu
ambayo ningeweza kufa.
04:35
OnceMara moja again, I woundjeraha up
in solitaryFaragha confinementUfunguaji
69
263564
3295
Mara nyingine, nikaishia
kwenye kifungo cha upweke
04:39
for stabbingkuuawa kwa kuchomwa kisu anothermwingine prisonermfungwa
nearlykaribu 30 timesnyakati.
70
267748
2770
kwa kumchoma mfungwa mwingine
karibia mara 30.
04:44
I'd gottenimepata to a placemahali where I didn't carehuduma
how I livedaliishi or if I diedalikufa.
71
272403
3349
Nilifikia sehemu ambapo sikujali
jinsi nilivyoishi au kama ningekufa.
04:49
But then, things changediliyopita.
72
277946
1385
Lakini, vitu vikabadilika.
04:52
One of the bestbora things
that happenedkilichotokea in my life to that pointuhakika
73
280340
2858
Moja ya vitu bora vilivyotokea
kwa hatua hiyo ya maisha yangu
04:55
was beingkuwa sentalitumwa to NewMpya FolsomFolsom PrisonGereza.
74
283222
1853
ilikuwa kupelekwa kwenye gereza la
New Folsom.
04:57
OnceMara moja there, I was approachedilikaribia
to joinkujiunga a groupkikundi calledaitwaye InsideNdani CircleDuara.
75
285789
4453
Nilipokua pale, nilifatwa kujiunga
kikundi kiitwacho Duara la Ndani.
05:03
InitiallyAwali, I was hesitantanayesita to joinkujiunga a groupkikundi
referredinajulikana to around the yardyadi
76
291693
3969
Mwanzoni nilisita kujiunga na kundi
linalojulikana maeneno ya uga
05:07
as "hug-a-thugkumbatio ni jambazi."
77
295686
1789
kama "mkumbatie-mhuni."
05:09
(LaughterKicheko)
78
297499
3236
(Kicheko)
05:12
InitiallyAwali, yeah, that was a little much,
79
300759
4712
Mwanzoni, kweli, ilikuwa imezidi kidogo,
05:17
but eventuallyhatimaye, I overcamealishinda my hesitancyhesitancy.
80
305495
2478
lakini hatimaye, nikashinda usitaji wangu.
05:20
As it turnedakageuka out, the circlemzunguko was
the visionmaono of a man namedjina lake PatrickPatrick NolanNolan,
81
308803
5707
Kama ilivyoonekana, duara lilikuwa
ndoto ya mtu mmoja aitwae Patrick Nolan,
05:26
who was alsopia servingkutumikia life
82
314534
1934
ambae pia alikuwa anatumikia maisha
05:28
and who had grownmzima sickmgonjwa and tiredamechoka
of beingkuwa sickmgonjwa and tiredamechoka
83
316492
4346
na ambae alikuwa amechoshwa
na kuchoka
05:32
of watchingkuangalia us killkuua one anothermwingine
84
320862
1776
kutuona sisi tukiuana wenyewe
05:35
over skinngozi colorrangi,
85
323598
1293
juu ya rangi ya ngozi,
05:37
ragragi colorrangi,
86
325931
1159
rangi ya tambara,
05:40
beingkuwa from NorthernKaskazini
or SouthernKusini CaliforniaCalifornia,
87
328870
2818
kutokea Kaskazini au
Kusini mwa California,
05:44
or just plainwazi breathingkupumua
in the wrongsi sawa directionmwelekeo on a windyupepo day.
88
332878
3182
au tu kuhema kwa wazi kwenye
muelekeo mbaya siku yenye upepo.
05:49
CircleDuara time is menwatu sittingameketi with menwatu
89
337416
2729
Muda wa duara ni wanaume kukaa na wanaume
05:52
and cuttingkukata throughkupitia the bullshitng'ombe,
90
340169
1635
na kukata kati kwenye upuuzi,
05:55
challengingchangamoto structuralmiundo waysnjia of thinkingkufikiri.
91
343287
2389
kushindanisha njia za mifumo ya kufikiri.
05:58
I think the way that I think
92
346346
1834
Ninafikiri jinsi ninavyofikiri
06:00
and I acttenda the way that I acttenda
93
348204
1575
na ninatenda jinsi ninavyotenda
06:02
because I hadn'thakuwa na questionedwalihoji that.
94
350874
1666
kwa sababu sijajiuliza hilo.
06:06
Like, who said I should see a womanmwanamke
walkingkutembea down the streetbarabara,
95
354104
2919
Kama, nani kasema ninapomuona mwanamke
akitembea mtaani,
06:10
turnkugeuka around and checkangalia out her backsidenyuma?
96
358555
1992
nigeuke na kuangalia makalio yake?
06:13
Where did that come from?
97
361531
1230
Hiyo imetokea wapi?
06:15
If I don't questionswali that,
I'll just go alongkando with the crowdumati.
98
363864
3238
Kama nisipouliza hilo,
nitafuata tu mkumbo.
06:21
The locker-roomlocker-Room talk.
99
369706
1364
Misemo ya chumba
cha kubadilisha.
06:23
In circlemzunguko, we sitkukaa
and we questionswali these things.
100
371896
2953
Kwenye duara, tunakaa
na kuuliza haya mambo.
06:26
Why do I think the way that I think?
101
374873
1868
Kwanini ninafikiri jinsi ninavyofikiri?
06:28
Why do I acttenda the way that I acttenda?
102
376765
1710
Kwanini ninatenda jinsi ninavyotenda?
06:31
Because when I get down to it,
I'm not thinkingkufikiri,
103
379087
2539
Kwa sababu ninapoangalia kwa umakini,
sifikirii,
06:34
I'm not beingkuwa an individualmtu binafsi,
104
382340
1570
siwi kama mtu binafsi,
06:35
I'm not takingkuchukua responsibilitywajibu for who I am
105
383934
2642
sichukui wajibu wa mimi ni nani
06:38
and what it is I put into this worldulimwengu.
106
386600
1913
na ni nini ninachoweka kwenye hii dunia.
06:42
It was in a circlemzunguko sessionkikao
that my life tookalichukua a turnkugeuka.
107
390233
2951
Ilikua kwenye kipindi cha duara
ambapo maisha yangu yaligeuka.
06:45
I rememberkumbuka beingkuwa askedaliuliza who I was,
108
393208
2357
Nakumbuka kuulizwa mimi ni nani,
06:47
and I didn't have an answerjibu,
109
395589
1421
na sikuwa najibu,
06:49
at leastangalau not one that feltwalihisi honestwaaminifu
110
397913
1858
angalau hata moja lililokuwa kweli
06:51
in a roomchumba fullkamili of menwatu
who were seekingkutafuta truthukweli.
111
399795
3042
kwenye chumba kilichojaa wanaume
waliokuwa wakitafuta ukweli.
06:54
It would have been easyrahisi to say,
112
402861
1743
Ingekua rahisi kusema,
06:56
"I'm a BloodDamu,"
113
404628
1712
"Mimi ni Mwanakundi,"
06:58
or, "My namejina is VegasVegas,"
114
406364
2232
au, "Jina langu ni Vegas,"
07:01
or any numbernambari of facadesfacades
I had manufacturedviwandani to hidekujificha behindnyuma.
115
409396
3388
au idadi yeyote ya ngao
nilizotengeneza kujifichia.
07:05
It was in that momentwakati and in that venueukumbi
that the jigjig was up.
116
413651
4111
Ilikua kwenye huo muda na hiyo sehemu
ambapo ngoma ilipoisha.
07:11
I realizedgundua that as sharpmkali
as I believedaliamini I was,
117
419362
2413
Niligundua kuwa kadri nilivyoamini
nilikua mkali,
07:13
I didn't even know who I was
118
421799
2085
nilikua hata sijui nilikua nani
07:15
or why I actedalitenda the way that I actedalitenda.
119
423908
1985
au kwanini nilitenda jinsi nilivyotenda.
07:21
I couldn'thaikuweza standsimama in a roomchumba fullkamili of menwatu
who were seekingkutafuta to servetumikia and supportmsaada
120
429007
4095
Sikuweza kusimama kwenye chumba kilichojaa
wanaume waliotaka kuhudumia na kusaidia
07:25
and presentsasa an authentichalisi me.
121
433126
1944
na kuwasilisha mimi niliye halisi.
07:29
It was in that momentwakati
that I graduatedalihitimu to a placemahali withinndani
122
437825
3315
Ilikuwa kwenye huo mda
nilipohitimu kwenye sehemu ya ndani
07:33
that was readytayari for transformationmabadiliko.
123
441164
1780
ambayo ilikua tayari kwa mabadiliko.
07:36
For decadesmiongo,
124
444317
1724
Kwa miongo,
07:38
I keptimehifadhiwa beingkuwa the victimmwathirika of molestationmolestation
at the handsmikono of a babysitteryaya a secretsiri.
125
446065
4090
niliweka kuwa muathirika wa ubakaji
kwenye mikono ya yaya kama siri.
07:43
I submittedkuwasilishwa to this underchini the threattishio
of my youngermdogo sisterdada beingkuwa harmedkuharibiwa.
126
451277
3675
Nilitii kwa hili chini ya tishio la
mdogo wangu wa kike kuumizwa.
07:46
I was sevensaba, she was threetatu.
127
454976
1967
Nilikua na miaka saba, alikua na mitatu.
07:50
I believedaliamini it was my responsibilitywajibu
to keep her safesalama.
128
458281
3111
Ninaamini ilikua wajibu wangu
kumweka salama.
07:56
It was in that instantpapo
129
464620
2166
Ilikuwa papo hapo
07:58
that the seedsmbegu were sownkupandwa
for a long careerkazi of hurtingkuumiza otherswengine,
130
466810
4222
kuwa mbegu zilipopandwa kwa
kazi ndefu ya kuumiza wengine
08:03
be it physicalkimwili, mentalakili or emotionalkihisia.
131
471056
2833
iwe kimwili, kiakili au kihisia.
08:07
I developedmaendeleo, in that instantpapo,
132
475604
3039
Nilitengeneza kwa mara moja,
08:11
at sevensaba yearsmiaka oldzamani,
133
479707
1591
katika miaka saba,
08:13
the beliefimani that going forwardmbele in life,
134
481322
1871
imani ya kuendelea mbele na maisha,
08:15
if a situationhali presentediliyotolewa itselfyenyewe
where someonemtu was going to get hurtkuumiza,
135
483217
4479
kama hali ilijiwasilisha yenyewe
ambapo mtu angeenda kuumia,
08:19
I would be the one doing the hurtingkuumiza.
136
487720
1809
ingekua ni mimi wa kuumiza.
08:22
I alsopia formulatedyaliyoandaliwa the beliefimani
that lovingupendo put me in harm'swa madhara way.
137
490520
4350
Niliunda pia imani kuwa
kupenda kuliniweka kwenye njia ya madhara.
08:27
I alsopia learnedkujifunza that caringkujali
about anothermwingine personmtu madealifanya me weakdhaifu.
138
495874
3960
Nilijifunza pia kujali kuhusu
mtu mwingine kulinifanya niwe dhaifu.
08:33
So not caringkujali, that mustlazima equalsawa strengthnguvu.
139
501376
2746
Hivyo kutokujali, lazima iwe sawa
na nguvu.
08:38
The greatestkubwa zaidi way to maskmask
a shakydhaifu yanayoundwa sensehisia of selfbinafsi
140
506110
2745
Njia kuu ya kufunika
hisia binafsi zisizo imara
08:40
is to hidekujificha behindnyuma a falseuongo airhewa of respectheshima.
141
508879
2143
ni kuwa nyuma ya hewa ya uongo
ya heshima.
08:44
SittingAmeketi in circlemzunguko
resemblesinafanana sittingameketi in a firemoto.
142
512480
2579
Kukaa kwenye duara
kunafanana na kukaa kwenye moto.
08:47
It is a cruciblehali fulani ya utawala that can and does breakkuvunja.
143
515654
2826
Ni chombo ambacho kinaweza na kinavunjika.
08:52
It brokekuvunja my oldzamani sensehisia of selfbinafsi,
144
520542
2126
Ilivunja hisia zangu binafsi za zamani,
08:55
diseasedwagonjwa valuethamani systemmfumo
145
523573
3211
mfumo wa thamani wenye ugonjwa
08:58
and way of looking at otherswengine.
146
526808
1699
na namna ya kuangalia wengine.
09:02
My oldzamani stalestale modesmodes of thinkingkufikiri
were invitedwalioalikwa into the openkufungua
147
530245
4710
Njia zangu za kizamani na zilizokauka za kufikiri
zilikaribishwa kwenye uwazi
09:06
to see if this
is who I wanted to be in life.
148
534979
2182
kuona kama hivi ndivyo
nilivyotaka kuwa maishani.
09:10
I was accompaniedkusindikizwa by skilledwenye ujuzi facilitatorsWawezeshaji
149
538112
2526
Nilifuatana na wawezeshaji wenye ujuzi
09:12
on a journeysafari into the depthskina of myselfMimi mwenyewe
150
540662
2729
kwenye safari ya kina cha mimi mwenyewe
09:15
to find those woundedwalijeruhiwa partssehemu
that not only festeredfestered
151
543415
4636
kutafuta hizo sehemu zilizojeruhiwa
ambazo hazikuweka tu jipu
09:20
but seepedseeped out to createkuunda
unsafesalama spacenafasi for otherswengine.
152
548075
3293
ila pia zilitiririka nje kuumba
sehemu isiyo salama kwa wengine.
09:25
At timesnyakati, it resembledalifanana an exorcismexorcism,
153
553957
3024
Mara nyingine, ilifanana kama zinguo,
09:29
and in essencekiini, it was.
154
557005
1941
na kimsingi, ilikuwa hivyo.
09:30
There was an extractionuchimbaji
of oldzamani, diseasedwagonjwa waysnjia of thinkingkufikiri,
155
558970
4352
Kulikua na utoaji wa njia za
zamani, zenye ugonjwa wa kufikiri,
09:35
beingkuwa and reactingkuitikia
156
563346
2634
kuwa na kuguswa
09:38
and an infusioninfusion of purposekusudi.
157
566004
1672
na upenyezaji wa madhumuni.
09:40
SittingAmeketi in those circlesmiduara savedimehifadhiwa my life.
158
568775
2134
Kuwa kwenye duara kuliokoa maisha yangu.
09:44
I standsimama here todayleo as a testamentagano
to the factukweli of the powernguvu of the work.
159
572749
4477
Nasimama hapa leo kama ushahidi
wa ukweli wa nguvu ya hiyo kazi.
09:53
I was paroledparoled in JuneJuni 2014,
160
581241
2833
Nilitoka gerezani kwa masharti Juni 2014,
09:56
followingzifuatazo my thirdtatu hearingkusikia before a paneljopo
of formerzamani law-enforcementutekelezaji wa sheria officialsmaafisa wa
161
584098
4064
kufuatia usikilizaji kesi wa tatu na jopo
la maafisa wa utekelezaji sheria wa zamani
10:00
who were taskedjukumu la with determiningkuamua
my currentsasa threattishio levelngazi to societyjamii.
162
588186
3682
ambao walikua na kazi ya kuamua
kiwango changu cha tishio kwenye jamii.
10:05
I standsimama here todayleo for the first time
sincetangu I was 14 yearsmiaka oldzamani
163
593079
5135
Nasimama hapa leo kwa mara ya kwanza
tangu nilivyokuwa miaka 14
10:10
not underchini any formfomu of statehali supervisionusimamizi.
164
598238
2475
nikiwa sipo chini ya namna yoyote ya
usimamizi wa nchi
10:13
I'm marriedndoa to a tremendouskubwa
womanmwanamke namedjina lake HollyHolly,
165
601211
2239
Nimemuoa mwanamke mkubwa
aitwae Holly,
10:15
and togetherpamoja, we are raisingkuinua two sonswana
166
603474
2173
na kwa pamoja, tunalea wavulana wawili
10:17
who I encouragekuhimiza to experienceuzoefu
emotionshisia in a safesalama way.
167
605671
5151
ambao ninawahamasisha kupata uzoefu wa
hisia kwa njia salama.
10:24
I let them holdkushikilia me when I crykilio.
168
612053
2771
Ninawaruhusu wanishike ninapolia.
10:26
They get to witnessshahidi me
not have all the answersmajibu.
169
614848
3293
Wanapata kunishuhudia mimi
nisipokua na majibu yote.
10:30
My desirehamu is for them to understandkuelewa
170
618165
2245
Nina tamani kwa wao kuelewa
10:32
that beingkuwa a man is not
some machismomachismo caricaturecaricature,
171
620434
3532
kuwa kua mwanaume sio
namna ya ugumu wa kibonzo.
10:36
and that characteristicssifa
usuallykwa kawaida definedinafafanuliwa as weaknessesudhaifu
172
624990
4199
na kua tabia mara nyingi
zinazofafanuliwa kama udhaifu
10:41
are partssehemu of the wholeyote healthyafya man.
173
629213
2007
ni sehemu za mwanaume mzima mwenye afya.
10:44
So todayleo, I continueendelea to work
not just on myselfMimi mwenyewe,
174
632066
3142
Hivyo leo, naendelea kufanya kazi
sio tu kwangu mwenyewe,
10:47
but in supportmsaada of youngvijana maleswanaume
in my communityjumuiya.
175
635232
2667
ila kwenye kusaidia vijana wa kiume
kwenye jamii yangu.
10:51
The challengechangamoto is to eradicatekuondosha this cyclemzunguko
176
639225
3111
Changamoto ni kutokomeza huu mzunguko
10:56
of emotionalkihisia illiteracykutojua kusoma na kuandika and groupthinkgroupthink
177
644986
2529
wa ujinga wa hisia na wazokundi
10:59
that allowsinaruhusu our maleswanaume to continueendelea
to victimizeAidha otherswengine as well as themselveswenyewe.
178
647539
5285
unaoruhusu vijana wetu kuendelea
kuathiri wengine pamoja na wenyewe.
11:05
As a resultmatokeo of this,
179
653475
2148
Matokeo ya haya,
11:07
they developkuendeleza newmpya waysnjia
of how they want to showonyesha up in the worldulimwengu
180
655647
3950
wanaendeleza njia mpya za jinsi
wanataka kutokea kwenye dunia
11:11
and how they expectwanatarajia this worldulimwengu
to showonyesha up on theirwao behalfkwa niaba.
181
659621
2769
na jinsi wanategemea hii dunia
kutokea kwa niaba yao.
11:15
Thank you.
182
663303
1151
Asanteni.
11:16
(ApplauseMakofi)
183
664478
4180
(Makofi)
Translated by Doris Mangalu
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Eldra Jackson III - Educator
Eldra Jackson III works daily to connect to his most authentic self -- and his calling is to support others in doing the same.

Why you should listen

Eldra Jackson III is a spiritual warrior who lives a passion of "saving lives one circle at a time." After living most of his life devoid of emotions and coming face-to-face with the reality of dying behind bars, he came to a point of self-inquiry, seeking answers as to how his life had spiraled into a mass of destruction set upon self and others. From this point, the space was made to save his life.

Today, Jackson works to bring his spiritual medicine into the world while simultaneously guiding others to tap into their own internal salve and help identify wounds. Through his intensive awareness work, he is on a mission to show the world what's possible as each person does their own internal examination to begin the path towards emotional and psychic health. Learn more about him in the documentary The Work.

More profile about the speaker
Eldra Jackson III | Speaker | TED.com