ABOUT THE SPEAKER
Gus Casely-Hayford - Cultural historian
Gus Casely-Hayford writes, lectures, curates and broadcasts about African culture.

Why you should listen

Dr. Gus Casely-Hayford is a curator and cultural historian who focuses on African culture. He has presented two series of The Lost Kingdoms of Africa for the BBC and has lectured widely on African art and culture, advising national and international bodies (including the United Nations and the Canadian, Dutch and Norwegian Arts Councils) on heritage and culture.

In 2005, Casely-Hayford deployed his leadership, curatorial, fundraising and communications skills to organize the biggest celebration of Africa that Britain has ever hosted; more than 150 organizations put on more than 1,000 exhibitions and events to showcase African culture. Now, he is developing a National Portrait Gallery exhibition that will tell the story of abolition of slavery through 18th- and 19th-century portraits -- an opportunity to bring many of the most important paintings of black figures together in Britain for the first time.

More profile about the speaker
Gus Casely-Hayford | Speaker | TED.com
TEDGlobal 2017

Gus Casely-Hayford: The powerful stories that shaped Africa

Gus Casely-Hayford: Hadithi hodari zilizoitengeneza Afrika.

Filmed:
1,248,246 views

Katika ufutaji mkubwa wa historia, hata dola inaweza kusahaulika. Katika hotuba hii pana, Gus Casely-Hayford anaelezea hadithi halisi za Afrika ambazo mara nyingi huwa haziandikwi, zimepotea, hazijasambazwa. Akisafiri kuelekea Zimbabwe kuu, jiji kongwe ambalo chimbuko lake la kustaajabisha na usanifu majengo wa hali ya juu unawaumiza vichwa wana-akiolojia. Au nyakati za Mansa Musa, mtawala wa dola ya Mali ambaye utajiri wake mkubwa ulijenga maktaba za Timbuktu. Na pia fikiri mafunzo yapi mengine ya historia tunaweza kuyadharau kwa bahati mbaya.
- Cultural historian
Gus Casely-Hayford writes, lectures, curates and broadcasts about African culture. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
Now, HegelHegel -- he very famouslymaarufu said
0
1007
2985
Sasa, Hegel -- alikuwa na usemi maarufu
00:16
that AfricaAfrika was a placemahali withoutbila historyhistoria,
1
4016
2807
kuwa Afrika ilikuwa ni sehemu
bila historia,
00:18
withoutbila pastzilizopita, withoutbila narrativemaelezo.
2
6847
2088
bila nyakati za kale, bila hadithi.
00:20
YetBado, I'd arguewanasema that no other continentbara
has nurturedkulishwa, has foughtwalipigana for,
3
8959
5828
Bado, nitasema kwamba hakuna bara
ambalo limekuza, limepigania,
00:26
has celebratedsherehe its historyhistoria
more concertedlyconcertedly.
4
14811
3468
limesherehekea historia yake kwa vifijo.
00:30
The strugglemapambano to keep
AfricanAfrika narrativemaelezo alivehai
5
18303
3069
Harakati za kuhakikisha
simulizi za Afrika zinabaki hai
00:33
has been one of the mostwengi consistentthabiti
6
21396
2091
zimekuwa ni mojawapo ya harakati endelevu
00:35
and hard-foughtngumu walipigana endeavorsjitihada
of AfricanAfrika peopleswatu,
7
23511
2909
na zilizopiganiwa kwa juhudi
za watu wa Afrika,
00:38
and it continuesinaendelea to be so.
8
26444
1973
na inaendelea kuwa hivyo.
00:40
The strugglesmapambano enduredalivumilia and the sacrificesdhabihu
madealifanya to holdkushikilia ontokuingia narrativemaelezo
9
28441
4711
Harakati zilizofanyika na kujitoa mhanga
kutunza hadithi hizi
00:45
in the faceuso of enslavementutumwa, colonialismukoloni,
racismubaguzi wa rangi, warsvita and so much elsemwingine
10
33176
6049
kwa mtazamo wa ukoloni wa kitumwa
, ubaguzi wa rangi, vita na vingine vingi
00:51
has been the underpinningkuyaita narrativemaelezo
11
39249
2011
vimekuwa uthibitisho wa hadithi hizi
00:53
of our historyhistoria.
12
41284
1269
katika historia yetu.
00:55
And our narrativemaelezo has not just
survivedalinusurika the assaultsmashambulizi
13
43434
3161
Na simulizi zetu bado hazijaweza
kushinda mateso
00:58
that historyhistoria has thrownkutupwa at it.
14
46619
1795
ambayo historia imesababisha.
01:00
We'veTumekuwa left a bodymwili of materialvifaa cultureutamaduni,
15
48438
3722
Tumeacha mwili wa nyenzo ya utamaduni,
01:04
artistickisanii magisterymagistery
and intellectualkiakili outputpato.
16
52184
3893
mamlaka ya sanaa, na matokeo ya weledi.
01:08
We'veTumekuwa mappedRamani and we'vetumekuwa chartedCharted
and we'vetumekuwa capturedalitekwa our historieshistoria
17
56101
4636
Tumeweka ramani na chati
na tumeweza kuinasa historia yetu
01:12
in waysnjia that are the measurekupima
of anywherepopote elsemwingine on earthdunia.
18
60761
3782
katika namna ambazo ni kipimo
cha popote pengine duniani.
01:17
Long before the meaningfulmaana
arrivalkuwasili of EuropeansWazungu --
19
65063
4556
Zamani sana kabla ya
kuwasili kwa watu wa Ulaya --
01:21
indeedkwa hakika, whilstwakati EuropeEurope was still
miredlimekumbwa na in its DarkGiza AgeUmri --
20
69643
3540
hakika, wakati Ulaya ilikuwa bado
katika dimbwi wakati wa Zama za Giza --
01:25
AfricansWaafrika were pioneeringupainia techniquesmbinu
in recordingkurekodi, in nurturingkuwalea historyhistoria,
21
73207
5384
Waafrika walikuwa wakivumbua
njia za kurekodi, na kukuza historia,
01:31
forgingforging revolutionarymapinduzi methodsnjia
for keepingkuweka theirwao storyhadithi alivehai.
22
79287
4773
kuunda njia za mapinduzi kwa ajili ya
kutunza hidithi zao iendelee kuwa hai.
01:36
And livingwanaishi historyhistoria, dynamicnguvu heritageurithi --
23
84823
2962
Na historia inayoishi, urithi unaokua --
01:39
it remainsbado importantmuhimu to us.
24
87809
2312
inabaki kuwa muhimu kwetu.
01:42
We see that manifestonyesha in so manywengi waysnjia.
25
90145
3720
Tunaona hili likijidhihirisha
katika njia nyingi.
01:46
I'm remindedalikumbushwa of how, just last yearmwaka --
you mightnguvu rememberkumbuka it --
26
94576
4848
Inanikumbusha jinsi, mwaka jana tu --
mnaweza kukumbuka --
01:51
the first memberswanachama
27
99448
1171
wanachama wa kwanza
01:52
of the alal Qaeda-affiliatedMfungamano na Qaeda AnsarAnsar DineDine
28
100643
2425
wa kundi linalohusiana na al Qaeda l
a Ansar Dine
01:55
were indictedulimfuta for warvita crimesuhalifu
and sentalitumwa to the HagueHague.
29
103092
3222
walishtakiwa kwa makosa ya kivita
na kupelekwa the Hague
01:58
And one of the mostwengi notorioussifa mbaya
was AhmadAhmad al-Faqial-Faqi,
30
106338
4558
Na mmojwapo mwenye sifa mbaya
alikuwa Ahmad al-Faqi,
02:02
who was a youngvijana MalianVunjeni,
31
110920
1444
aliyekuwa ni kijana
raia wa Mali
02:04
and he was chargedkushtakiwa, not with genocidemauaji ya halaiki,
32
112388
2126
na alishtakiwa kwa mauaji ya kimbari
02:06
not with ethnickikabila cleansingkutakasa,
33
114538
1916
na sio utakaso wa kikabila,
02:08
but with beingkuwa one
of the instigatorswachochezi of a campaignkampeni
34
116478
3815
lakini pamoja na kuwa mchochezi wa kampeni
02:12
to destroykuharibu some of Mali'sYa mali mostwengi
importantmuhimu culturalutamaduni heritageurithi.
35
120317
4421
ya kuharibu moja ya urithi muhimu
wa utamaduni nchini Mali.
02:16
This wasn'thaikuwa vandalismuharibifu;
36
124762
1798
Huu haukuwa uharibifu;
02:18
these weren'thawakuwa thoughtlesswasio na mawazo actsvitendo.
37
126584
2197
hayakuwa matendo yasiyo ya kufikiri.
02:21
One of the things that al-Faqial-Faqi said
38
129389
1829
Moja ya vitu ambavyo al-Faqi alisema
02:23
when he was askedaliuliza
to identifytambua himselfmwenyewe in courtmahakama
39
131242
2933
alipoulizwa kujitambulisha mahakamani
02:26
was that he was a graduateHitimu,
that he was a teachermwalimu.
40
134199
2863
alisema kwamba yeye ni mhitimu wa chuo,
alikuwa ni mwalimu.
02:29
Over the coursebila shaka of 2012,
they engagedkushiriki in a systematicutaratibu campaignkampeni
41
137661
5633
Katika kipindi cha mwaka 2012,
walishiriki katika kampeni ya
02:35
to destroykuharibu Mali'sYa mali culturalutamaduni heritageurithi.
42
143318
3239
kuharibu urithi wa utamaduni wa Mali.
02:39
This was a deeplykwa undani consideredkuchukuliwa wagingwakipiga of warvita
43
147142
4325
Hii ilichukuliwa kama kuanzisha vita
02:43
in the mostwengi powerfulnguvu way
that could be envisagedzilizotajwa:
44
151491
2683
katika njia yenye nguvu sana
ingeweza kutanabahika:
02:46
in destroyingkuharibu narrativemaelezo,
in destroyingkuharibu storieshadithi.
45
154198
3362
katika kuharibu simulizi,
katika kuharibu hadithi.
02:50
The attemptedalijaribu destructionuharibifu of ninetisa shrinesmakaburi,
46
158210
3363
Walijaribu kuharibu hekalu tisa,
02:53
the centralkati mosquemsikiti
47
161597
1494
za msikiti wa kati
02:55
and perhapslabda as manywengi as 4,000 manuscriptsmaandishi
48
163115
3493
na labda maandiko mengi zaidi ya 4000
02:58
was a consideredkuchukuliwa acttenda.
49
166632
2343
ilipangwa kufanyika hivyo.
03:01
They understoodkueleweka the powernguvu of narrativemaelezo
to holdkushikilia communitiesjamii togetherpamoja,
50
169729
5352
Walielewa nguvu ya simulizi
katika kufanya jamii kuishi pamoja,
03:07
and they converselykinyume chake understoodkueleweka
that in destroyingkuharibu storieshadithi,
51
175105
4218
na walielewa fika kwamba
kwa kuharibu hadithi,
03:11
they hopedmatumaini they would destroykuharibu a people.
52
179347
2915
walikuwa na matumaini wataharibu na watu.
03:14
But just as AnsarAnsar DineDine
and theirwao insurgencywaasi
53
182286
3497
Lakini kama ilivyo kwa Ansar Dine
na uasi wao
03:17
were driveninaendeshwa by powerfulnguvu narrativeshadithi,
54
185807
3216
waliendeshwa na simulizi zenye nguvu,
03:21
so was the localmitaa population'sidadi ya watu defenseulinzi
of TimbuktuTimbuktu and its librariesmaktaba.
55
189047
4357
kama ilivyo kwa wakazi wa Timbuktu
walivyolinda maktaba zao.
03:25
These were communitiesjamii who'veambao wame grownmzima up
with storieshadithi of the MaliMali EmpireDola;
56
193428
4230
Hizi ni jamii ambazo zimekulia
katika hadithi za dola ya Mali;
03:29
livedaliishi in the shadowKivuli
of Timbuktu'sWa Timbuktu great librariesmaktaba.
57
197682
3161
waliishi katika kivuli cha
maktaba kuu za Timbuktu.
03:32
They'dWangeweza listenedkusikiliza to songsNyimbo
of its originasili from theirwao childhoodutoto,
58
200867
3857
Wamesikiliza nyimbo asilia
kuanzia utotoni,
03:36
and they weren'thawakuwa about to give up on that
59
204748
2742
na hawakuwa tayari kukata tamaa
katika hilo
03:39
withoutbila a fightkupigana.
60
207514
1582
bila kupambana.
03:41
Over difficultvigumu monthsmiezi of 2012,
61
209120
3212
Katika miezi migumu ya 2012,
03:44
duringwakati the AnsarAnsar DineDine invasionuvamizi,
62
212356
3952
wakati wa uvamizi wa Ansar Dine,
03:48
MaliansZa, ordinarykawaida people,
riskedwalihatarishi theirwao livesanaishi
63
216332
3826
Watu wa Mali, wakazi wa kawaida,
walihatarisha maisha yao
03:52
to secretehutoa and smugglemagendo
documentsnyaraka to safetyusalama,
64
220182
3469
kwa kuficha nyaraka katika
sehemu iliyo salama,
03:56
doing what they could
to protectkulinda historickihistoria buildingsmajengo
65
224628
3306
kufanya lile linalowezekana
kulinda majengo ya kihistoria
03:59
and defendkulinda theirwao ancientkale librariesmaktaba.
66
227958
2300
na kulinda maktaba zao za kale.
04:02
And althoughingawa they weren'thawakuwa
always successfulimefanikiwa,
67
230282
2654
Na ingawa si muda wote walifanikiwa,
04:04
manywengi of the mostwengi importantmuhimu manuscriptsmaandishi
were thankfullykwa shukrani savedimehifadhiwa,
68
232960
3683
maandiko mengi muhimu
yaliwezwa kutunzwa salama,
04:08
and todayleo eachkila mmoja one of the shrinesmakaburi
that was damagedkuharibiwa duringwakati that uprisingupigano
69
236667
4905
na leo kila moja ya hekalu ambalo
liliharibiwa nyakati za machafuko
04:13
have been rebuiltupya,
70
241596
1792
limekarabatiwa tena,
04:15
includingikiwa ni pamoja na the 14th-centurykarne ya tarehe mosquemsikiti
that is the symbolicishara heartmoyo of the cityjiji.
71
243412
5218
ukijumuisha na msikiti wa karne ya 14
ambao ndiyo alama ya kitovu cha jiji.
04:20
It's been fullykikamilifu restoredkurejeshwa.
72
248654
1816
Umekarabatiwa kikamilifu.
04:22
But even in the bleakestbleakest periodsvipindi
of the occupationkazi,
73
250494
4405
Lakini hata katika nyakati za
machafuko ya utekaji,
04:26
enoughkutosha of the populationidadi ya watu of TimbuktuTimbuktu
simplytu would not bowupinde
74
254923
5393
idadi kubwa ya watu wa Timbuktu
hawakusalimu amri
04:32
to menwatu like al-Faqial-Faqi.
75
260340
1867
kwa watu kama al-Faqi.
04:34
They wouldn'thakutaka allowkuruhusu theirwao historyhistoria
to be wipedkufutwa away,
76
262231
3063
Hawakuweza kuruhusu historia yao ifutike,
04:37
and anyoneyeyote who has visitedalitembelea
that partsehemu of the worldulimwengu,
77
265318
3267
na yoyote ambaye amewahi kuzuru
sehemu hiyo ya dunia,
04:40
they will understandkuelewa why,
78
268609
1828
ataweza kuelewa ni kwanini,
04:42
why storieshadithi, why narrativemaelezo, why historieshistoria
are of suchvile importanceumuhimu.
79
270461
5133
kwanini hadithi, kwanini simulizi
zina umuhimu huo mkubwa.
04:47
HistoryHistoria mattersmambo.
80
275618
2336
Historia ina umuhimu.
04:49
HistoryHistoria really mattersmambo.
81
277978
2738
Historia ina muhimu sana.
04:53
And for peopleswatu of AfricanAfrika descentkushuka,
82
281227
2236
Na kwa walio na nasaba ya Afrika,
04:55
who have seenkuonekana theirwao narrativemaelezo
systematicallykiutaratibu assaultedashambuliwa over centurieskarne,
83
283487
5618
ambao wameshuhudia simulizi zao
zikinyanyaswa katika karne,
05:01
this is criticallykwa kiasi kikubwa importantmuhimu.
84
289129
2527
Hii ni muhimu sana.
05:04
This is partsehemu of a recurrentkawaida echoecho
acrosskote our historyhistoria
85
292131
4048
Hii ni sehemu inayojirudia
katika katika historia yetu
05:08
of ordinarykawaida people makingkufanya a standsimama
for theirwao storyhadithi, for theirwao historyhistoria.
86
296203
5307
ya watu wa kawaida kusimama
kwa ajili ya hadithi zao, historia yao.
05:14
Just as in the 19tht centurykarne,
87
302385
1669
Ilipofika karne ya 19,
05:16
enslavedmteka peopleswatu of AfricanAfrika
descentkushuka in the CaribbeanKaribbeani
88
304078
3969
Waafrika waliofanywa watumwa
katika visiwa vya Caribbean
05:20
foughtwalipigana underchini threattishio of punishmentadhabu,
89
308071
2314
walipambana chini ya tishio la adhabu,
05:22
foughtwalipigana to practicemazoezi theirwao religionsdini,
to celebratekusherehekea CarnivalCarnival,
90
310409
4151
walipambana kuamini katika dini zao,
kusherehekea,
05:26
to keep theirwao historyhistoria alivehai.
91
314584
2735
kuweka historia yao hai.
05:29
OrdinaryKawaida people were preparedtayari
to make great sacrificesdhabihu,
92
317343
3880
Watu wa kawaida walijiandaa
kujitoa mhanga kwa kiasi kikubwa,
05:33
some even the ultimatemwisho sacrificedhabihu,
93
321247
3226
wengine hata kufanya sadaka za juu kabisa,
05:36
for theirwao historyhistoria.
94
324497
1390
kwa ajili ya historia yao.
05:38
And it was throughkupitia controlkudhibiti of narrativemaelezo
95
326965
2445
Na ilikuwa kupitia udhibiti wa simulizi
05:41
that some of the mostwengi devastatinguharibifu
colonialkikoloni campaignskampeni were crystallizedcrystallized.
96
329434
4336
ambapo baadhi ya kampeni za kutisha
za ukoloni zilitatuliwa.
05:45
It was throughkupitia the dominanceutawala
of one narrativemaelezo over anothermwingine
97
333794
3855
Ilikuwa kupitia utawala wa simulizi
moja dhidi ya nyingine
05:49
that the worstmbaya zaidi manifestationsmaonyesho
of colonialismukoloni becameikawa palpablehalali.
98
337673
4555
kwamba uovu uliotokana
na ukoloni ukawa dhahiri.
05:54
When, in 1874, the BritishUingereza
attackedalishambuliwa the AshantiAshanti,
99
342795
3893
Ambapo, mwaka 1874, Waingereza
waliwashambulia watu wa dola ya Ashanti,
05:58
they overranaliongoza KumasiKumasi
and capturedalitekwa the AsanteheneAsantehene.
100
346712
3628
Walitawala Kumasi
na kukamata watu wa Asantehene.
06:02
They knewalijua that controllingkudhibiti territoryeneo
and subjugatingsubjugating the headkichwa of statehali --
101
350364
4773
Walijua kwamba kudhibiti mipaka
na kumsumbua kiongozi wao --
06:07
it wasn'thaikuwa enoughkutosha.
102
355161
1557
haikuwa inatosha.
06:08
They recognizedkutambuliwa that
the emotionalkihisia authoritymamlaka of statehali
103
356742
3524
Walitambua kwamba
hisia za mamlaka ya taifa
06:12
laykuweka in its narrativemaelezo
104
360290
1823
zipo katika simulizi zake
06:15
and the symbolsalama that representedkuwakilishwa it,
105
363118
2562
na alama ambazo inawakilisha,
06:17
like the GoldenDhahabu StoolKinyesi.
106
365704
1362
kama Kigoda cha Dhahabu.
06:19
They understoodkueleweka that controlkudhibiti of storyhadithi
was absolutelykabisa criticalmuhimu
107
367706
5467
Walielewa kwamba udhibiti wa hadithi
ulikuwa muhimu sana
06:25
to trulykweli controllingkudhibiti a people.
108
373197
2247
katika kuwadhibiti watu.
06:27
And the AshantiAshanti understoodkueleweka, too,
109
375468
2079
Na watu wa Ashanti walielewa, pia,
06:29
and they never were to relinquishkuachia
the preciousthamani GoldenDhahabu StoolKinyesi,
110
377571
4410
na hawakuwa tayari hata kidogo kuachia
Kigoda cha Dhahabu cha thamani,
06:34
never to completelykabisa
capitulatecapitulate to the BritishUingereza.
111
382005
4585
kusalimu amri kwa Waingereza.
06:39
NarrativeHadithi mattersmambo.
112
387289
2344
Hadithi ni muhimu.
06:41
In 1871, KarlKarl MauchMauch, a GermanKijerumani geologistmaabara ya Mwanajiolojia
workingkufanya kazi in SouthernKusini AfricaAfrika,
113
389657
5658
Mwaka 1871, Karl Mauch, mwanajeolojia
aliyefanya kazi zake Afrika Kusini,
06:47
he stumbledkuanguka acrosskote
an extraordinaryajabu complextata,
114
395339
4057
alikutana na jengo lisilo la kawaida
06:51
a complextata of abandonedkutelekezwa stonejiwe buildingsmajengo.
115
399420
2726
jengo la mawe lililokuwa limetelekezwa.
06:54
And he never quitekabisa recoveredwalipata
from what he saw:
116
402170
3316
Na hakuweza kuunda upya ambacho aliona:
06:57
a graniteItale, drystonedrystone cityjiji,
117
405510
3233
mwamba, jiji la jiwekavu,
07:00
strandedwamekwama on an outcropoutcrop
abovehapo juu an emptytupu savannahSavannah:
118
408767
3801
likiwa limekwama na kuchomoza
juu ya uwanda usio na kitu:
07:04
Great ZimbabweZimbabwe.
119
412592
1728
Zimbabwe Kuu.
07:07
And MauchMauch had no ideawazo who was responsiblewajibu
120
415073
3492
Na Mauch hakutambua nani aliyehusika
07:10
for what was obviouslywazi
an astonishingkushangaza feathali of architectureusanifu,
121
418589
5066
na usanifu wa jengo ulio dhahiri
kuwa maridadi,
07:15
but he feltwalihisi sure of one singlemoja thing:
122
423679
3543
lakini alikuwa na uhakika wa jambo moja:
07:19
this narrativemaelezo neededinahitajika to be claimedalidai.
123
427246
3790
hizi hadithi zilitakiwa kuelezwa.
07:23
He laterbaadae wrotealiandika that the wroughtakifanya
architectureusanifu of Great ZimbabweZimbabwe
124
431060
3844
Baadaye aliandika kuhusu usanifu wa
mabaki ya Zimbabwe Kuu
07:26
was simplytu too sophisticatedkisasa,
125
434928
2739
liliokuwa na ustadi wa hali ya juu,
07:29
too specialMaalum to have
been builtkujengwa by AfricansWaafrika.
126
437691
3533
mahususi mno kuweza kujengwa na Waafrika.
07:33
MauchMauch, like dozenskadhaa of EuropeansWazungu
that followedikifuatiwa in his footstepsnyayo,
127
441248
4527
Mauch, kama ilivyo kwa Wazungu wengi
ambao walifata nyayo zake,
07:37
speculatedbora kuwa na dhana on who
mightnguvu have builtkujengwa the cityjiji.
128
445799
2780
walikisia ni nani ambaye
alikuwa amejenga jiji lile.
07:40
And one wentakaenda as farmbali as to positposit,
129
448603
3214
Na mmoja alienda mbali hadi kufikia kudai,
07:43
"I do not think that I am farmbali wrongsi sawa
if I supposetuseme that that ruinuharibifu on the hillkilima
130
451841
5725
"Sidhani kama nitakuwa nakosea sana
kama nikiwaza kwamba mabaki ya kilima kile
07:49
is a copynakala of KingMfalme Solomon'sSolomoni TempleHekalu."
131
457590
2551
yameiga hekalu ya Mfalme Suleimani."
07:52
And as I'm sure you know, MauchMauch,
132
460165
1731
Na nina uhakika mnafahamu, Mauch,
07:53
he hadn'thakuwa na stumbledkuanguka uponjuu
KingMfalme Solomon'sSolomoni TempleHekalu,
133
461920
2944
hajawahi kwea hekalu ya Mfalme Suleimani,
07:56
but uponjuu a purelykwa usahihi AfricanAfrika
complextata of buildingsmajengo
134
464888
3546
lakini ameona jengo mahususi
na maridadi la Kiafrika
08:00
constructediliyojengwa by a purelykwa usahihi
AfricanAfrika civilizationustaarabu
135
468458
3627
liliojengwa na uungwana wa Kiafrika
08:04
from the 11tht centurykarne onwardkuendelea.
136
472109
1956
kuanzia karne ya 11 na kuendelea.
08:06
But like LeoLeo FrobeniusFrobenius,
a fellowwenzake GermanKijerumani anthropologistmtaalam
137
474089
4151
Lakini kama ilivyo kwa Leo Frobenius,
mwanaanthrolojia kutoka Ujerumani
08:10
who speculatedbora kuwa na dhana some yearsmiaka laterbaadae,
138
478264
2345
ambaye aliyekisia miaka kadhaa baadaye,
08:12
uponjuu seeingkuona the NigerianNigeria IfeIfe HeadsVichwa
for the very first time,
139
480633
4007
baada ya kuona Vichwa vya kabila la Ife
Nigeria kwa mara ya kwanza,
08:16
that they mustlazima have been artifactsmwanaadamu
from the long-lostkupotea kwa muda mrefu kingdomufalme of AtlantisAtlantis.
140
484664
5407
alisema vinyago hivi lazima vitakuwa vya
falme za kale za Atlantis.
08:22
He feltwalihisi, just like HegelHegel,
141
490095
2577
Alihisi, kama vile ilivyokuwa kwa Hegel,
08:24
an almostkaribu instinctiveinstinctive need
to robuibike AfricaAfrika of its historyhistoria.
142
492696
5739
mazoea ya kuhitaji wa kupotosha
historia ya Afrika.
08:31
These ideasmawazo are so irrationalzisizofaa,
143
499216
2406
Haya mawazo ni ya upuuzi,
08:33
so deeplykwa undani helduliofanyika,
144
501646
1813
yaliyoshikiliwa,
08:35
that even when facedwanakabiliwa
with the physicalkimwili archaeologyakiolojia,
145
503483
3199
kana kwamba yanapokutana na akiolojia,
08:38
they couldn'thaikuweza think rationallyrationally.
146
506706
2009
hayawezi kuwa na maana.
08:40
They could no longertena see.
147
508739
1998
Hawakuweza kuona.
08:42
And like so much of Africa'sWa Afrika relationshipuhusiano
with EnlightenmentUelimishaji EuropeEurope,
148
510761
4181
Na kama ilivyo kwa mahusiano ya Kiafrika
katika Ulaya iliyopevuka,
08:46
it involvedhusika appropriationtambiko, denigrationudhalilishaji
and controlkudhibiti of the continentbara.
149
514966
5783
ilijumuisha ugawaji, bughudha
na udhibitu wa bara.
08:52
It involvedhusika an attemptjaribio
to bendpiga narrativemaelezo to Europe'sUlaya endshuisha.
150
520773
4740
Ilijumuisha jaribio la kupindisha simulizi
kukidhi makusudi ya Ulaya.
08:57
And if MauchMauch had really wanted
to find an answerjibu to his questionswali,
151
525955
4193
Na kama Mauch alivyotaka
kutafuta jibu la swali lake,
09:02
"Where did Great ZimbabweZimbabwe
or that great stonejiwe buildingkujenga come from?"
152
530172
4654
"Wapi ambapo Zimbabwe Kuu
au lile jengo kubwa la jiwe lilitokea?"
09:06
he would have neededinahitajika to beginkuanza his questjitihada
153
534850
2200
hakuwa na budi kuanza kutafuta jibu lake
09:09
a thousandelfu milesmaili away from Great ZimbabweZimbabwe,
154
537074
2689
maili elfu moja kutokea Zimbabwe Kuu,
09:11
at the easternmashariki edgemakali of the continentbara,
where AfricaAfrika meetshukutana the IndianHindi OceanBahari.
155
539787
3819
mwishoni mashariki ya bara, ambapo Afrika
inakutana na Bahari ya Hindi.
09:15
He would have neededinahitajika to tracetazama
the golddhahabu and the goodsbidhaa
156
543630
3208
Alitakiwa kufatilia dhahabu na bidhaa
09:18
from some of the great tradingBiashara emporiaemporia
of the SwahiliKiswahili coastpwani to Great ZimbabweZimbabwe,
157
546862
4815
kutoka baadhi ya dola maarufu za biashara
za pwani ya Waswahili hadi Zimbabwe kuu,
09:23
to gainkupata a sensehisia of the scalekiwango and influenceushawishi
158
551701
3459
kupata uhalisia wa kiwango na ushawishi
09:27
of that mysteriousajabu cultureutamaduni,
159
555184
1880
wa huo utamaduni wa kistaajabisha,
09:29
to get a picturepicha of Great ZimbabweZimbabwe
as a politicalkisiasa, culturalutamaduni entitychombo
160
557088
5182
kupata picha ya Zimbwabwe Kuu
kama utambulisho wa kisiasa na kitamaduni
09:34
throughkupitia the kingdomsfalme and the civilizationsustaarabu
161
562294
3441
kupitia falme na ustaarabu
09:37
that were drawninayotolewa underchini its controlkudhibiti.
162
565759
2459
ambao ulitokana na mamlaka yake.
09:40
For centurieskarne, traderswafanyabiashara have been drawninayotolewa
to that bitkidogo of the coastpwani
163
568242
5035
Kwa karne, wafanyabiashara wamekuwa
wakivutiwa kuja pwani
09:46
from as farmbali away as IndiaIndia
and ChinaChina and the MiddleKati EastMashariki.
164
574463
4746
kutokea mbali sehemu kama India
na China na Mashariki ya Kati.
09:51
And it mightnguvu be temptingkumjaribu to interpretkutafsiri,
165
579233
2687
Na inatamanisha kutafsiri ya kwamba,
09:53
because it's exquisitelyIkiwa
beautifulnzuri, that buildingkujenga,
166
581944
3110
kwa sababu ya umaridadi wake, lile jengo,
09:57
it mightnguvu be temptingkumjaribu to interpretkutafsiri it
167
585078
2988
inatamanisha kulitafsiri
10:00
as just an exquisitekuyavumilia, symbolicishara jeweljewel,
168
588090
3528
kama kito maridadi, kinachoashiri,
10:03
a vastkubwa ceremonialsherehe sculptureuchongaji in stonejiwe.
169
591642
2888
kinyago kikubwa cha sherehe katika jiwe.
10:07
But the sitetovuti mustlazima have been a complextata
170
595022
3157
Lakini eneo hilo lilikuwa tata
10:10
at the centerkituo of a significantmuhimu
nexusdhana of economiesuchumi
171
598203
4555
katikati ya kiungo muhimu cha uchumi
10:14
that definedinafafanuliwa this regionkanda for a millenniumMilenia.
172
602782
3081
ambapo imeelezea eneo hili kwa milenia
10:18
This mattersmambo.
173
606395
1716
Hii inajalisha.
10:20
These narrativeshadithi matterjambo.
174
608135
2039
Hizi simulizi ni muhimu.
10:22
Even todayleo, the fightkupigana to tell our storyhadithi
is not just againstdhidi time.
175
610198
5041
Hata leo, mapigano ya kueleza hadithi zetu
hayapingani na muda.
10:27
It's not just againstdhidi
organizationsmashirika like AnsarAnsar DineDine.
176
615263
3723
Hayapingani na taasisi kama Ansar Dine.
10:31
It's alsopia in establishingkuanzisha
a trulykweli AfricanAfrika voicesauti
177
619010
4074
Ni katika kuanzisha
sauti ya kweli ya Waafrika
10:35
after centurieskarne of imposedzilizowekwa historieshistoria.
178
623108
2848
baada ya karne ya historia za kuwekwa.
10:38
We don't just have
to recolonizerecolonize our historyhistoria,
179
626775
3431
Hatuna haja ya kuitawala
kikoloni historia yetu,
10:42
but we have to find waysnjia to buildjenga back
the intellectualkiakili underpinningkuyaita
180
630230
4874
bali kutafuta njia za kujenga upya
ugunduzi wa utaalamu
10:47
that HegelHegel deniedalikanusha was there at all.
181
635128
2185
ambao Hegel alikataa uwepo wake.
10:49
We have to rediscoverkufufua AfricanAfrika philosophyfalsafa,
182
637866
2720
Tunatakiwa kuitambua upya
filosophia ya Kiafrika,
10:52
AfricanAfrika perspectivesmitazamo, AfricanAfrika historyhistoria.
183
640610
4002
Mtazamo wa Kiafrika, historia ya Kiafrika.
10:57
The floweringmaua of Great ZimbabweZimbabwe --
it wasn'thaikuwa a freakkituko momentwakati.
184
645651
3510
Kuchanua kwa Zimbabwe Kuu --
haukuwa muujiza.
11:01
It was partsehemu of a burgeoningwanavyouawa kusaidia kustawi changemabadiliko
acrosskote the wholeyote of the continentbara.
185
649185
3973
Ilikuwa ni ya sehemu ya mabadiliko
yanayokua barani kote.
11:05
PerhapsLabda the great exemplificationexemplification of that
was SundiataSundiata KeitaKeïta,
186
653182
4326
Pengine kielelezo kikubwa cha hili
ilikwa ni Sundiata Keita,
11:09
the foundermwanzilishi of the MaliMali EmpireDola,
187
657532
2193
muanzilishi wa dola ya Mali,
11:11
probablylabda the greatestkubwa zaidi empireUfalme
that WestMagharibi AfricaAfrika has ever seenkuonekana.
188
659749
3940
pengine ni dola yenye nguvu kuliko zote
ambayo Afrika Magharibi imeshuhudia.
11:15
SundiataSundiata KeitaKeïta was bornalizaliwa about 1235,
189
663713
3098
Sundiata Keita alizaliwa mwaka 1235 ,
11:18
growingkukua up in a time of profoundkina fluxFlux.
190
666835
3457
alikulia katika nyakati kuu.
11:22
He was seeingkuona the transitionmpito
betweenkati the BerberBerber lina dynastiesOrodha ya nasaba to the northkaskazini,
191
670928
3848
Alishuhudia mpito kati ya utawala
wa kiukoo wa Berber hadi kaskazini,
11:26
he mayinaweza have heardkusikia about the risekupanda
of the IfeIfe to the southkusini
192
674800
3270
atakuwa aliwahi sikia kuhusu kukua
kwa dola ya Ife upande wa kusini
11:30
and perhapslabda even the dominanceutawala
of the SolomaicSolomaic DynastyNasaba ya
193
678094
5117
na pengine hata utawala wa
dola ya kikukoo ya Solomaic
11:35
in EthiopiaEthiopia to the eastmashariki.
194
683235
1703
huko Ethiopia upande wa mashariki.
11:37
And he mustlazima have been awarekufahamu
that he was livingwanaishi throughkupitia a momentwakati
195
685516
3636
Na lazima alikuwa akitambua
kwamba alikuwa akiishi katika nyakati
11:41
of quickeningkuhuisha changemabadiliko,
196
689176
1695
za mabadiliko yanayokwenda haraka,
11:42
of growingkukua confidencekujiamini in our continentbara.
197
690895
2760
za kukua kwa ujasiri katika bara letu.
11:46
He mustlazima have been awarekufahamu of newmpya statesinasema
198
694370
3165
Lazima alitambua kuhusu mataifa mapya
11:49
that were buildingkujenga theirwao influenceushawishi
199
697559
2464
ambao walikuwa wakijenga ushawishi wao
11:52
from as farmbali afieldafield as Great ZimbabweZimbabwe
and the SwahiliKiswahili sultanatessultanates,
200
700047
5268
kutokea mbali kama Zimbabwe Kuu
na Masultani wa Kiswahili,
11:57
eachkila mmoja engagedkushiriki directlymoja kwa moja or indirectlymoja kwa moja
beyondzaidi the continentbara itselfyenyewe,
201
705339
6247
kila mmoja alichangia barani moja kwa moja
au pasipo moja kwa moja,
12:03
eachkila mmoja driveninaendeshwa alsopia to investwekeza in securingkupata
theirwao intellectualkiakili and culturalutamaduni legacyurithi.
202
711610
5430
kila mmoja aliwekeza katika kulinda
maarifa yao na urithi wa utamaduni.
12:09
He probablylabda would have engagedkushiriki
in tradebiashara with these peerrika nationsmataifa
203
717794
3428
Pengine alikuwa akifanya biashara
na haya mataifa ya wenzake
12:13
as partsehemu of a massivekubwa continentalbara nexusdhana
204
721246
3503
katika muda wa muunganiko wa bara
12:16
of great medievalmedieval AfricanAfrika economiesuchumi.
205
724773
2234
nyakati za uchumi mkubwa wa Afrika.
12:19
And like all of those great empiresmamlaka,
206
727608
3599
Na kama ilivyo kwa hizi dola zote kubwa,
12:23
SundiataSundiata KeitaKeïta investedimewekeza in securingkupata
his legacyurithi throughkupitia historyhistoria
207
731231
5601
Sundiata Keita aliwekeza katika kulinda
urithi wake kupitia historia
12:28
by usingkutumia storyhadithi --
208
736856
1602
katika kutumia hadithi --
12:31
not just formalizingKurasimisha
the ideawazo of storytellinghadithi,
209
739744
5693
si katika kuweka rasmi
wazo ya kuhadithia,
12:37
but in buildingkujenga a wholeyote conventionmkataba
210
745461
2677
lakini katika kujenga kanuni nzima
12:40
of tellingkuwaambia and retellingretelling his storyhadithi
211
748162
3361
kuhadithia na kuhadithia tena hadithi zake
12:43
as a keyufunguo to foundingkuanzisha a narrativemaelezo
212
751547
2417
kama ufunguo wa kutambua hadithi
12:45
for his empireUfalme.
213
753988
1595
za dola yake.
12:47
And these storieshadithi, in musicalmuziki formfomu,
214
755607
3345
Na hizi hadithi, katika mfumo wa muziki,
12:50
are still sungkuimba todayleo.
215
758976
3355
mpaka leo zinaimbwa.
12:55
Now, severalkadhaa decadesmiongo
after the deathkifo of SundiataSundiata,
216
763371
3304
Sasa, miongo kadhaa
baada ya kifo cha Sundiata,
12:58
a newmpya kingmfalme ascendedkupaa the thronekiti cha enzi,
217
766699
2399
mfalme mpya alichukua dola,
13:01
MansaMansa MusaMusa, its mostwengi famousmaarufu emperorMfalme.
218
769122
4163
Mansa Musa, mfalme maarufu wa dola hiyo.
13:05
Now, MansaMansa MusaMusa is famedmaarufu
for his vastkubwa golddhahabu reserveshifadhi
219
773309
3157
Sasa, Mansa Musa ni maarufu
kwa dhahabu nyingi aliyojilimbikizia
13:08
and for sendingkutuma envoyswajumbe to the courtsmahakama
of EuropeEurope and the MiddleKati EastMashariki.
220
776490
4017
na kwa kutuma wajumbe kwenye mahakama
za Ulaya na Mashariki ya Kati.
13:13
He was everykila bitkidogo as ambitiouskabambe
as his predecessorswatangulizi,
221
781238
4023
Alikuwa ni mtu mwenye malengo na imara
kama waliomtangulia,
13:17
but saw a differenttofauti kindaina of routenjia
of securingkupata his placemahali in historyhistoria.
222
785285
4267
lakini aliona njia tofauti ya
kulinda nafasi yake katika historia.
13:21
In 1324, MansaMansa MusaMusa
wentakaenda on pilgrimageHija to MeccaMakka,
223
789576
4007
Mwaka 1324, Mansa Musa
alikwenda kwenye hija mjini Mecca,
13:25
and he traveledalisafiri
with a retinuekurudia tena of thousandsmaelfu.
224
793607
3331
na alisafiri na maelfu ya wafuasi.
13:28
It's been said that 100 camelsngamia
eachkila mmoja carriedkufanyika 100 poundspounds of golddhahabu.
225
796962
6658
Inasemekana kwamba ngamia 100
kila mmoja alibeba ratili 100 za dhababu.
13:35
It's been recordedkumbukumbu that he builtkujengwa
a fullykikamilifu functioningkazi mosquemsikiti
226
803644
3516
Imeandikwa kwamba alijenga
msikiti ulio kamili
13:39
everykila FridayIjumaa of his tripsafari,
227
807184
2167
kila ijumaa katika safari yake,
13:41
and performedalifanya so manywengi actsvitendo of kindnesswema,
228
809375
3121
na kufanya matendo mengi ya kikarimu,
13:44
that the great BerberBerber lina chroniclerwry,
IbnIbn BattutaBattuta, wrotealiandika,
229
812520
3839
kwamba bohari mkuu wa dola ya Berber,
Ibn Battuta, aliandika,
13:48
"He floodedmafuriko CairoCairo with kindnesswema,
230
816383
2959
"Aliifurika Cairo kwa ukarimu,
13:51
spendingmatumizi so much in the marketsmasoko
of NorthKaskazini AfricaAfrika and the MiddleKati EastMashariki
231
819366
3537
alitumia sana katika masoko ya
Afrika ya Kaskazini na Mashariki ya Kati
13:54
that it affectedwalioathirika the pricebei of golddhahabu
into the nextijayo decademiaka kumi."
232
822927
4188
kiasi kwamba iliathiri bei ya dhahabu
katika muongo uliofatia."
14:00
And on his returnkurudi,
233
828081
1547
Na wakati anarudi,
14:01
MansaMansa MusaMusa memorializedmemorialized his journeysafari
234
829652
3446
Mansa Musa aliacha historia ya safari yake
14:05
by buildingkujenga a mosquemsikiti
at the heartmoyo of his empireUfalme.
235
833885
5257
kwa kujenga msikiti
kwenye kitivo cha dola yake.
14:11
And the legacyurithi of what he left behindnyuma,
236
839792
2646
Na urithi wa alioacha nyuma,
14:14
TimbuktuTimbuktu,
237
842462
1677
Timbuktu,
14:16
it representsinawakilisha one of the great bodiesmiili
of writtenimeandikwa historicalkihistoria materialvifaa
238
844163
5260
inawakilisha moja ya mihimili
muhimu ya historia iliyoandikwa
14:21
producedzinazozalishwa by AfricanAfrika scholarswasomi:
239
849447
2183
iliyoandaliwa na wanazuoni wa Kiafrika:
14:23
about 700,000 medievalmedieval documentsnyaraka,
240
851654
3222
zapata nyaraka 700,000 za kale,
14:26
rangingkuanzia from scholarlykitaalamu worksinafanya kazi to lettersbarua,
241
854900
3199
kuanzia kazi za wanazuoni hadi barua,
14:30
whichambayo have been preservedkuhifadhiwa
oftenmara nyingi by privatePrivat householdskaya.
242
858123
3048
ambazo zimetunzwa mara nyingi
na nyumba za watu binafsi.
14:33
And at its peakkilele,
in the 15tht and 16tht centurieskarne,
243
861195
3483
Na katika kilele chake,
mnamo karne ya 15 na ya 16,
14:36
the universitychuo kikuu there was as influentialushawishi mkubwa
244
864702
3988
chuo kule kilikuwa na ushawishi
14:40
as any educationalelimu
establishmentkuanzishwa in EuropeEurope,
245
868714
3046
kama taasisi nyingine yoyote barani Ulaya,
14:43
attractingkuvutia about 25,000 studentswanafunzi.
246
871784
2994
kuvutia yapata wanafunzi 25,000.
14:46
This was in a cityjiji
of around 100,000 people.
247
874802
3566
Hii ilitokea katika jiji
la watu wapatao 100,000.
14:50
It cementedcemented TimbuktuTimbuktu
as a worldulimwengu centerkituo of learningkujifunza.
248
878392
5178
Iliweka msingi wa kuifanya Timbuktu
kuwa kituo cha dunia cha mafunzo.
14:55
But this was a very particularhasa
kindaina of learningkujifunza
249
883594
4207
Lakini huu ulikuwa
mfumo mahususi wa kujifunza
14:59
that was focusedililenga and driveninaendeshwa by IslamUislamu.
250
887825
3228
ambao ulilenga na kuendeshwa kwa Kiislam.
15:03
And sincetangu I first visitedalitembelea TimbuktuTimbuktu,
251
891594
2243
Na tangu mara ya kwanza
nitembelee Timbuktu,
15:05
I've visitedalitembelea manywengi other
librariesmaktaba acrosskote AfricaAfrika,
252
893861
2861
Nimetembelea maktaba nyingi barani Afrika,
15:08
and despitelicha ya Hegel'sYa Hegel viewmtazamo
that AfricaAfrika has no historyhistoria,
253
896746
5295
na licha ya mtazamo wa Hegel
kusema Afrika haina historia,
15:14
not only is it a continentbara
with an embarrassmentaibu of historyhistoria,
254
902065
4213
sio tu kwamba ni bara
lenye historia ya kuaibisha,
15:18
it has developedmaendeleo unrivaledhabari recordable systemsmifumo
for collectingKusanya and promotingkukuza it.
255
906302
4830
limeweza kutengeneza mifumo ya kipekee ya
kukusanya na kuistawisha.
15:23
There are thousandsmaelfu of smallndogo archiveskumbukumbu,
256
911634
2821
Kuna maelfu ya hifadhi ndogo za nyaraka,
15:26
textilenguo drumngoma storesmaduka,
257
914479
1898
ghala za malighafi za vitambaa,
15:28
that have becomekuwa more than repositorieskigeni kinachopendeza
of manuscriptsmaandishi and materialvifaa cultureutamaduni.
258
916401
4871
ambazo zimekuwa zikitunza
nyaraka na malighafi za utamaduni.
15:33
They have becomekuwa fontsFonti
of communaljumuiya narrativemaelezo,
259
921296
3139
Zimekuwa herufi za
simulizi za jamii,
15:36
symbolsalama of continuitymwendelezo,
260
924459
2260
alama ya muendelezo,
15:38
and I'm prettynzuri sure that manywengi
of those EuropeanUlaya philosopherswanafalsafa
261
926743
3126
na nina uhakika kwamba wengi
wa wanafilosofia wa Ulaya
15:41
who questionedwalihoji an AfricanAfrika
intellectualkiakili traditionmila
262
929893
3497
ambao walihoji utamaduni wa Kiafrika
15:45
mustlazima have, beneathchini theirwao prejudiceschuki zipate,
263
933414
2877
lazima, chini ya ubaguzi wao,
15:48
been awarekufahamu of the contributionmchango
of Africa'sWa Afrika intellectualswasomi
264
936315
5191
watakuwa wanatambua mchango
wa maarifa ya Kiafrika
15:53
to WesternMagharibi learningkujifunza.
265
941530
1333
kwa kujifunza Kimagharibi.
15:54
They mustlazima have knowninayojulikana
266
942887
1238
Lazima walitambua
15:56
of the great NorthKaskazini AfricanAfrika
medievalmedieval philosopherswanafalsafa
267
944149
2828
kuhusu wanafilosophia wa kale
wa Afrika ya Kaskazini
15:59
who had driveninaendeshwa the MediterraneanMediterranean.
268
947001
2492
ambao waliongoza Mediterranian.
16:01
They mustlazima have knowninayojulikana about
and been awarekufahamu of
269
949517
3111
Watakuwa wanatambua na kujua kuhusu
16:04
that traditionmila that is partsehemu
of ChristianityUkristo, of the threetatu wisehekima menwatu.
270
952940
5029
utamaduni ambao ni sehemu ya Ukristo,
kuhusu mabwana watatu wenye hekima.
16:09
And in the medievalmedieval periodkipindi,
BalthazarBalthazar, that thirdtatu wisehekima man,
271
957993
3989
na katika zama za kati,
Balthazar, bwana wa tatu,
16:14
was representedkuwakilishwa as an AfricanAfrika kingmfalme.
272
962006
2703
aliwakilishwa kama mfalme wa Kiafrika.
16:16
And he becameikawa hugelysana popularmaarufu
273
964733
2604
Na alikuja kuwa maarufu sana
16:19
as the thirdtatu intellectualkiakili legmguu
of OldZamani WorldUlimwengu learningkujifunza,
274
967361
3985
kama mguu wa tatu wa kisomi
wa mafunzo ya Dunia ya Zamani,
16:23
alongsidesambamba na EuropeEurope and AsiaAsia, as a peerrika.
275
971370
3498
pamoja na Ulaya na Asia, kama wenzake.
16:27
These things were well-knownmaalumu.
276
975652
3876
Haya yalikuwa yakifahamika fika.
16:31
These communitiesjamii
did not growkukua up in isolationkutengwa.
277
979552
3624
Hizi jamii hazikukulia katika kutengwa.
16:35
Timbuktu'sWa Timbuktu wealthutajiri and powernguvu developedmaendeleo
because the cityjiji becameikawa
278
983200
4109
Utajiri na nguvu ya Timbuktu ulikua
kwa sababu jiji lilikuja kuwa
16:39
a hubkitovu of lucrativefaida
intercontinentalkimabara tradebiashara routesnjia.
279
987333
4080
kitovu cha misafara ya biashara
iliyo na faida kati ya mabara.
16:43
This was one centerkituo
280
991437
2166
Hiki kilikuwa kituo kimoja
16:45
in a borderlessborderless, transcontinentalkimabara,
281
993627
2550
katika bara lisilo na mipaka,
kwa safari za mabara,
16:48
ambitiouskabambe, outwardlyMyahudi focusedililenga,
confidentujasiri continentbara.
282
996201
3887
lililo na malengo, lenye mtazamo
dhahiri na kujiamini.
16:52
BerberBerber lina merchantswafanyabiashara,
they carriedkufanyika saltchumvi and textilesnguo
283
1000874
3922
Wafanyabiashara wa dola ya Berber
, walibeba chumvi na vitambaa
16:56
and newmpya preciousthamani goodsbidhaa and learningkujifunza
down into WestMagharibi AfricaAfrika
284
1004820
3800
na bidhaa mpya zenye thamani
na kuelekea Afrika ya Magharibi
17:00
from acrosskote the desertjangwa.
285
1008644
2556
kupitia katika jangwa.
17:03
But as you can see from this mapramani
286
1011224
3471
Lakini kama unavyoona katika ramani hii
17:06
that was producedzinazozalishwa a little time
after the life of MansaMansa MusaMusa,
287
1014719
4245
ambayo ilitengenezwa muda mfupi
baada ya maisha ya Mansa Musa,
17:10
there was alsopia a nexusdhana
of sub-SaharanSahara tradebiashara routesnjia,
288
1018988
4602
kulikuwa pia na muunganiko wa njia za
biashara kusini mwa jangwa la Sahara,
17:15
alongkando whichambayo AfricanAfrika ideasmawazo and traditionsmila
289
1023614
3260
ambapo mawazo ya Waafrika na tamaduni
17:18
addedaliongeza to the intellectualkiakili
worththamani of TimbuktuTimbuktu
290
1026898
3623
ziliongezea katika maarifa ya
thamani ya Timbuktu
17:22
and indeedkwa hakika acrosskote the desertjangwa to EuropeEurope.
291
1030545
2980
na hakika katika jangwa kuelekea Ulaya.
17:26
ManuscriptsMiswada and materialvifaa cultureutamaduni,
292
1034420
3730
Nyaraka na malighafi za utamaduni,
17:30
they have becomekuwa fontsFonti
of communaljumuiya narrativemaelezo,
293
1038174
4927
zimekuja kuwa maandishi
ya simulizi za jamii,
17:35
symbolsalama of continuitymwendelezo.
294
1043125
2043
alama ya muendelezo.
17:37
And I'm prettynzuri sure that
those EuropeanUlaya intellectualswasomi
295
1045192
4711
Na nina uhakika kuwa wale wasomi wa Ulaya
17:41
who castkutupwa aspersionsaspersions on our historyhistoria,
296
1049927
3734
ambao wanasengenya historia yetu,
17:45
they knewalijua fundamentallykimsingi
about our traditionsmila.
297
1053685
3915
walijua kiundani kuhusu utamaduni wetu.
17:50
And todayleo, as stridentYarudie.Yakariri forcesmajeshi
like AnsarAnsar DineDine and BokoBoko HaramHaram
298
1058155
4710
Na leo, majeshi kama
Ansar Dine na Boko Haram
17:54
growkukua popularmaarufu in WestMagharibi AfricaAfrika,
299
1062889
1913
yanapata nguvu Afrika ya Magharibi,
17:56
it's that spiritroho of trulykweli indigenousasili,
dynamicnguvu, intellectualkiakili defiancedharau
300
1064826
5610
ni uzalendo wa kutoka moyoni, ulio na
msukumo, upinzani wa kisomi
18:02
that holdsinashikilia ancientkale
traditionsmila in good steadbadala.
301
1070460
2954
ambao unashikilia
utamaduni wa kale katika hali njema.
18:05
When MansaMansa MusaMusa madealifanya TimbuktuTimbuktu his capitalmji mkuu,
302
1073438
3199
Wakati Mansa Musa alipoifanya Timbuktu
kuwa mji wake mkuu,
18:08
he lookedilionekana uponjuu the cityjiji
as a MediciMedici lookedilionekana uponjuu FlorenceFlorence:
303
1076661
3978
aliangalia jiji hili kama familia ya
Medici ilivyo kwa jiji la Florence:
18:12
as the centerkituo of an openkufungua, intellectualkiakili,
entrepreneurialujasiriamali empireUfalme
304
1080663
5059
kama kitovu kilicho wazi, cha kisomi,
kwa dola ya kijasiriamali
18:17
that thrivedwalisitawi on great ideasmawazo
whereverpopote they camealikuja from.
305
1085746
3317
ambayo ilifanikiwa kwa mawazo
makuu popote pale yalipotokea.
18:21
The cityjiji, the cultureutamaduni,
306
1089087
2249
Jiji,utamaduni,
18:23
the very intellectualkiakili DNADNA of this regionkanda
307
1091360
3118
vinasaba vya maarifa ya eneo hili
18:26
remainsbado so beautifullykwa uzuri
complextata and diversetofauti,
308
1094502
3693
vinabaki kuwa maridadi mno
na vilivyo vya kila aina,
18:30
that it will always remainkubaki, in partsehemu,
309
1098219
2669
kwamba siku zote itabaki, katika nafasi,
18:32
locatediko in storytellinghadithi traditionsmila
that derivehupata from indigenousasili,
310
1100912
4312
iliyopo katika utamaduni wa kusimulia
hadithi uliotoka kwa wenyeji,
18:37
pre-Islamickabla ya Kiislamu traditionsmila.
311
1105248
1765
tamaduni za kabla ya Uislamu.
18:39
The highlysana successfulimefanikiwa formfomu of IslamUislamu
that developedmaendeleo in MaliMali becameikawa popularmaarufu
312
1107037
5607
Mfumo wa Uislamu uliopata mafanikio sana
uliochipuka Mali ulipata maarufu
18:44
because it acceptedkukubalika those freedomsuhuru
313
1112668
2049
kwa sababu ulikubali uhuru
18:46
and that inherentasili culturalutamaduni diversityutofauti.
314
1114741
2482
na unadhifu wa mchanganyiko wa tamaduni.
18:49
And the celebrationsherehe of that complexityutata,
315
1117247
2427
Na seherehe za aina ya mfumo huo,
18:51
that love of rigorouslyrigorously
contestedya kugombea discoursemajadiliano,
316
1119698
4025
ule upendo halisi wa maongezi ya ushidani,
18:55
that appreciationshukrani of narrativemaelezo,
317
1123747
1844
heshima ya simulizi,
18:57
was and remainsbado, in spitekinyume chake of everything,
318
1125615
3274
ulikuwa na unabaki kuwa, japokuwa na yote,
19:00
the very heartmoyo of WestMagharibi AfricaAfrika.
319
1128913
3410
kuwa ndiyo moyo wa Afrika Magharibi.
19:04
And todayleo, as the shrinesmakaburi and the mosquemsikiti
vandalizedkupotezwa by AnsarAnsar DineDine
320
1132347
4582
Na leo, mahekalu na misikiti
iliyohujumiwa na Ansar Dine
19:08
have been rebuiltupya,
321
1136953
1157
imejengwa upya,
19:10
manywengi of the instigatorswachochezi
of theirwao destructionuharibifu have been jailedjela.
322
1138134
3827
wengi walioshiriki katika uharibifu huu
wamefungwa gerezani.
19:13
And we are left with powerfulnguvu lessonsmasomo,
323
1141985
2902
Na tumebaki na somo kubwa la kujifunza,
19:16
remindedalikumbushwa oncemara moja again
of how our historyhistoria and narrativemaelezo
324
1144911
4356
linalokumbusha tena
jinsi gani historia yetu na simulizi
19:21
have helduliofanyika communitiesjamii
togetherpamoja for millenniaMilenia,
325
1149291
3907
imeunganisha jamii pamoja kwa milenia,
19:25
how they remainkubaki vitalmuhimu
in makingkufanya sensehisia of modernkisasa AfricaAfrika.
326
1153222
3726
jinsi gani inabaki kuwa muhimu
katika kuleta maana ya Afrika ya kisasa.
19:29
And we're alsopia remindedalikumbushwa
327
1157906
1510
Na tunakumbushwa
19:31
of how the rootsmizizi of this confidentujasiri,
intellectualkiakili, entrepreneurialujasiriamali,
328
1159440
5024
ni jinsi gani mizizi ya ujasiri huu,
wa kisomi, wa kijasiriamali
19:36
outward-facingwazi zinazoonyesha-ta, culturallykiutamaduni porousporous,
tariff-freeushuru-bure AfricaAfrika
329
1164488
4784
inayotazama nje, iliyo na tamaduni pole,
Afrika isiyotoza chochote
19:41
was oncemara moja the envywivu of the worldulimwengu.
330
1169296
2466
hapo zamani ilionewa wivu na dunia.
19:44
But those rootsmizizi, they remainkubaki.
331
1172181
2570
Lakini mizizi hiyo, bado ipo.
19:46
Thank you very much.
332
1174775
1213
Asante sana.
19:48
(ApplauseMakofi)
333
1176012
4150
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Leah Ligate

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Gus Casely-Hayford - Cultural historian
Gus Casely-Hayford writes, lectures, curates and broadcasts about African culture.

Why you should listen

Dr. Gus Casely-Hayford is a curator and cultural historian who focuses on African culture. He has presented two series of The Lost Kingdoms of Africa for the BBC and has lectured widely on African art and culture, advising national and international bodies (including the United Nations and the Canadian, Dutch and Norwegian Arts Councils) on heritage and culture.

In 2005, Casely-Hayford deployed his leadership, curatorial, fundraising and communications skills to organize the biggest celebration of Africa that Britain has ever hosted; more than 150 organizations put on more than 1,000 exhibitions and events to showcase African culture. Now, he is developing a National Portrait Gallery exhibition that will tell the story of abolition of slavery through 18th- and 19th-century portraits -- an opportunity to bring many of the most important paintings of black figures together in Britain for the first time.

More profile about the speaker
Gus Casely-Hayford | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee