ABOUT THE SPEAKER
Clint Smith - Poet, educator
Clint Smith's work blends art and activism.

Why you should listen

Clint Smith is a writer, teacher and doctoral candidate at Harvard University studying education, incarceration and inequality. Previously, he taught high school English in Prince George’s County, Maryland where, in 2013, he was named the Christine D. Sarbanes Teacher of the Year by the Maryland Humanities Council.

Clint is a 2014 National Poetry Slam champion, an Individual World Poetry Slam Finalist, and author of the poetry collection Counting Descent. He has received fellowships from the National Science Foundation, Cave Canem and the Callaloo Creative Writing Workshop. His writing has appeared in The New Yorker, The Guardian, Boston Review, American Poetry Review, Harvard Educational Review and elsewhere. He was born and raised in New Orleans, LA.

More profile about the speaker
Clint Smith | Speaker | TED.com
TED@NYC

Clint Smith: The danger of silence

Filmed:
5,033,082 views

"We spend so much time listening to the things people are saying that we rarely pay attention to the things they don't," says poet and teacher Clint Smith. A short, powerful piece from the heart, about finding the courage to speak up against ignorance and injustice.
- Poet, educator
Clint Smith's work blends art and activism. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
DrDr. MartinMartin LutherLuther KingMfalme, JrJr.,
0
1100
1650
Dokta. Martin Luther King Jr.
00:14
in a 1968 speechhotuba where he reflectsHuonyesha
uponjuu the CivilAsasi za kijamii RightsHaki za MovementHarakati,
1
2750
3886
mnamo mwaka 1968 katika hotuba yake akiongelea haki za kiraia
00:18
statesinasema, "In the endmwisho,
2
6636
2694
alisema," Wakati wa mwisho,
00:21
we will rememberkumbuka not the wordsmaneno of our enemiesmaadui
3
9330
3083
hatutakumbuka maneno ya adui zetu
00:24
but the silencekimya of our friendsmarafiki."
4
12413
2867
bali tutakumbuka ukimya wa marafiki zetu"
00:27
As a teachermwalimu, I've internalizedzimeeleka this messageujumbe.
5
15280
2520
Kama mwalimu, nimetazama ujumbe huu kiundani.
00:30
EveryKila day, all around us,
6
17800
1980
Kila,miongoni mwetu,
00:31
we see the consequencesmatokeo of silencekimya
7
19780
1676
tunayaona madhara ya ukimya
00:33
manifestonyesha themselveswenyewe in the formfomu of discriminationubaguzi,
8
21456
2437
yakijionyesha katika hali ya kutengwa,
00:36
violencevurugu, genocidemauaji ya halaiki and warvita.
9
23893
3808
vurugu,mauaji ya kimbari na vita.
00:39
In the classroomdarasa, I challengechangamoto my studentswanafunzi
10
27701
2196
Darasani, huwa nawapa changamoto wanafunzi wangu
00:42
to explorekuchunguza the silencesukimya in theirwao ownmwenyewe livesanaishi
11
29897
2431
kuchunguza ukimya uliopo katika maisha yao
00:44
throughkupitia poetrymashairi.
12
32328
1850
kupitia ushairi
00:46
We work togetherpamoja to fillkujaza those spacesnafasi,
13
34178
1852
Tunafanya kazi pamoja kuziba mapengo,
00:48
to recognizekutambua them, to namejina them,
14
36030
3278
kuweza kutambua,kupatia majina,
00:51
to understandkuelewa that they don't
have to be sourcesvyanzo of shameaibu.
15
39308
3432
kuelewa kwamba hawahitaji kuwa chanzo cha aibu.
00:54
In an effortjuhudi to createkuunda a cultureutamaduni withinndani my classroomdarasa
16
42740
2463
Katika juhudi za kutengeneza utamaduni katika darasa langu
00:57
where studentswanafunzi feel safesalama sharingkugawana the intimaciesintimacies
17
45203
2098
ambapo wanafunzi hujisikia salama kusema yale yaliyo ndani ya mioyo yao
00:59
of theirwao ownmwenyewe silencesukimya,
18
47301
1834
katika ukimya wao
01:01
I have fournne coremsingi principleskanuni postedimewekwa on the boardbodi
19
49135
2081
Nina kanuni nne kuu nilizozibandika ukutani
01:03
that sitsanakaa in the frontmbele of my classdarasa,
20
51216
2093
mbele ya darasa langu,
01:05
whichambayo everykila studentmwanafunzi signsishara
at the beginningmwanzo of the yearmwaka:
21
53309
3061
ambapo kila mwanafunzi hutia saini mwanzo wa mwaka.
01:08
readsoma criticallykwa kiasi kikubwa, writeandika consciouslykwa uangalifu,
22
56370
2173
kusoma kwa makini,kuandika kwa utambuzi,
01:10
speaksema clearlywazi, tell your truthukweli.
23
58543
3865
kuongea kwa ufasaha,kusema ukweli.
01:14
And I find myselfMimi mwenyewe thinkingkufikiri a lot about that last pointuhakika,
24
62408
2564
Ninajikuta ninawaza sana kuhusu pointi ya mwisho,
01:17
tell your truthukweli.
25
64972
1899
kusema ukweli wako.
01:19
And I realizedgundua that
26
66871
1794
Nikatambua ya kwamba
01:20
if I was going to askkuuliza my studentswanafunzi to speaksema up,
27
68665
2211
kama ningewaambia wanafunzi wangu waongee,
01:23
I was going to have to tell my truthukweli
28
70876
2138
Nilitakiwa kusema ukweli wangu
01:25
and be honestwaaminifu with them about the timesnyakati
29
73014
2266
na kuwa mkweli kuhusu nyakati
01:27
where I failedimeshindwa to do so.
30
75280
1568
nilizowahi shindwa kufanya hivyo.
01:29
So I tell them that growingkukua up,
31
76848
2060
Huwa nawaambia kwamba kukua,
01:31
as a kidmtoto in a CatholicKatoliki familyfamilia in NewMpya OrleansOrleans,
32
78908
2668
katika familia ya Kikatoliki jiji la New Orleans,
01:33
duringwakati LentKwaresima I was always taughtalifundishwa
33
81576
2862
wakati wa majivu nilikuwa siku zote nikifundishwa
01:36
that the mostwengi meaningfulmaana thing one could do
34
84438
1808
kwamba kitu cha maaana ambacho mtu anaweza kufanya
01:38
was to give something up,
35
86246
1542
ni kutoa kitu kwa wengine,
01:39
sacrificedhabihu something you typicallykawaida indulgekujiingiza in
36
87788
2292
kutoa sadaka kwa kile unachokijali sana
01:42
to provekuthibitisha to God you understandkuelewa his sanctityutakatifu.
37
90080
2399
kudhihirisha kwa Mungu kwamba unaelewa wema wake.
01:44
I've givenalipewa up sodasoda, McDonald'sNakili maelezo kuhusu, FrenchKifaransa friesfries,
38
92479
2802
Nimetoa soda,McDonald's,French fries,
01:47
FrenchKifaransa kissesbusu, and everything in betweenkati.
39
95281
2902
Busu, na kila kitu.
01:50
But one yearmwaka, I gavealitoa up speakingakizungumza.
40
98183
3888
Lakini mwaka fulani, nilitoa sauti yangu.
01:54
I figuredimeonekana the mostwengi valuablethamani thing I could sacrificedhabihu
41
102071
2603
Nilitambua ya kuwa kitu pekee cha maana sana ambacho ningetoa kama sadaka
01:56
was my ownmwenyewe voicesauti, but it was like I hadn'thakuwa na realizedgundua
42
104674
3701
ilikuwa ni sauti yangu,lakini ilikuwa kama sijatambua
02:00
that I had givenalipewa that up a long time agoiliyopita.
43
108375
2911
kama nilishawahi kutoa muda mrefu sana uliopita.
02:03
I spentalitumia so much of my life
44
111286
1819
Nimetumia muda wangu mwingi katika maisha
02:05
tellingkuwaambia people the things they wanted to hearkusikia
45
113105
2177
kuwaambia watu vitu walivyotaka kusikia
02:07
insteadbadala yake of the things they neededinahitajika to,
46
115282
1476
badala ya vitu walivyovihitaji,
02:08
told myselfMimi mwenyewe I wasn'thaikuwa meantmaana yake to be anyone'sya mtu yeyote consciencedhamira
47
116758
2416
nikaiambia nafsi yangu sikuhitajika kuwa dhamira ya mtu yoyote
02:11
because I still had to figuretakwimu out beingkuwa my ownmwenyewe,
48
119174
2295
kwa sababu natakiwa kutambua kuwa mwenyewe,
02:13
so sometimesmara nyingine I just wouldn'thakutaka say anything,
49
121469
3232
kwa hivyo muda mwingine siwezi sema chochote,
02:16
appeasinganayefuatia ignoranceujinga with my silencekimya,
50
124701
2449
kuukubali ujinga kwa ukimya wangu,
02:19
unawarehawajui that validationuhakikishi doesn't need wordsmaneno
51
127150
2397
bila kujua ya kwamba ukweli hauhitaji maneno
02:21
to endorsekuidhinisha its existencekuwepo.
52
129547
1620
ili kusaidia uwepo wake.
02:23
When ChristianKikristo was beatpiga up for beingkuwa gaymashoga,
53
131167
1788
Wakistro walipopigwa kwa kuwa mashoga,
02:25
I put my handsmikono in my pocketmfukoni
54
132955
1268
Niliweka mikono yangu mfukoni
02:26
and walkedkutembea with my headkichwa
down as if I didn't even noticetazama.
55
134223
2777
na nikaondoka kichwa chini kama vile sijaona kilichotokea.
02:29
I couldn'thaikuweza use my lockerlocker for weekswiki
because the boltbolt on the lockfunga
56
137000
2535
Sikutumia kabati langu kwa wiki kadhaa kwa sababu bolt katika kufuli
02:31
remindedalikumbushwa me of the one I had put on my lipsmidomo
57
139535
2261
inanikumbusha kama ile niliyoweka katika mdomo wangu
02:33
when the homelesswasio na makazi man on the cornerkona
58
141796
1744
wakati mwanaume mmoja asiye na sehemu ya kuishi
02:35
lookedilionekana at me with eyesmacho up merelytu searchingkutafuta
59
143540
1780
aliponiangalia kwa macho ya kuonyesha ya kuashiria
02:37
for an affirmationuthibitisho that he was worththamani seeingkuona.
60
145320
2182
anahitaji nimuangalie.
02:39
I was more concernedwasiwasi with
touchingkugusa the screenskrini on my AppleApple
61
147502
2105
Nilijali sana kutumia kifaa changu cha kielectroniki cha Apple
02:41
than actuallykwa kweli feedingulishaji him one.
62
149607
1563
kuliko kumlisha mtu yule asiye na makazi.
02:43
When the womanmwanamke at the fundraisingkutafuta fedha galaGala
63
151170
1687
Pale mwanamke mmoja katika tafrija ya kuchangisha harambee
02:45
said "I'm so proudkiburi of you.
64
152857
1192
aliposema"Ninajisikia fahari sana kwako"
02:46
It mustlazima be so hardngumu teachingkufundisha
those poormaskini, unintelligentvinavyotokana kidswatoto,"
65
154049
3071
Itakuwa ngumu sana kufundisha
02:49
I bitkidogo my lipmdomo, because apparentlyinaonekana
we neededinahitajika her moneyfedha
66
157120
2599
Niling'ata mdomo wangu,kwa sababu muda huo tulikuwa tukihitaji mchango wake
02:51
more than my studentswanafunzi neededinahitajika theirwao dignityheshima.
67
159719
1980
zaidi ya wanafunzi wanavyohitaji heshima yao.
02:53
We spendtumia so much time
68
161699
1941
Tunatumia muda mwingi
02:55
listeningkusikiliza to the things people are sayingkusema
69
163640
3900
kusikiliza vitu ambavyo watu wanasema
02:59
that we rarelymara chache paykulipa attentiontazama to the things they don't.
70
167540
3338
lakini hatutilii maanani katika vitu ambavyo hawasemi.
03:03
SilenceUkimya is the residuemabaki of fearhofu.
71
170878
3261
Ukimya ni mabaki ya uoga.
03:06
It is feelinghisia your flawsdosari
72
174139
1550
Ni hali ya kuhisi mapungufu yako
03:07
gut-wrenchgut-bisibisi guillotineguillotine your tongueulimi.
73
175689
1926
yakinyonga ulimi wako.
03:09
It is the airhewa retreatingwakiondoka from your chestkifua
74
177615
1822
Hewa inatoka katika kifua chako
03:11
because it doesn't feel safesalama in your lungsmapafu.
75
179437
1992
kwa sababu inahisi haipo salama katika mapafu yako.
03:13
SilenceUkimya is RwandanRwanda genocidemauaji ya halaiki. SilenceUkimya is KatrinaKatrina.
76
181429
3124
Ukimya ni sawa na mauaji ya kimbari ya Rwanda. Ukimya ni kimbunga cha Katrina.
03:16
It is what you hearkusikia when there
aren'tsio enoughkutosha bodymwili bagsmifuko left.
77
184553
3108
Ni kile unachosikia pale mifuko ya maiti inapokuwa imeisha.
03:19
It is the soundsauti after the noosekitanzi is alreadytayari tiedamefungwa.
78
187661
2401
Ni sauti unayosikia pale kamba inapokazwa.
03:22
It is charringcharring. It is chainsminyororo. It is privilegeupendeleo. It is painmaumivu.
79
190062
3347
Ni minyororo,kipaumbele na maumivu.
03:25
There is no time to pickpick your battlesvita
80
193409
1755
Hakuna muda wa kuchagua mpambano wako
03:27
when your battlesvita have alreadytayari pickedilichukua you.
81
195164
1733
wakati ambapo mpambano umeisha kuchagua
03:29
I will not let silencekimya wrapfunika itselfyenyewe around my indecisionkutokuwa.
82
196897
3063
Sitaruhusu ukimya unizunguke pale ambapo ninakosa kipi cha kuamua.
03:32
I will tell ChristianKikristo that he is a lionsimba,
83
199960
1967
Nitamuambia mkristo kwamba yeye ni simba,
03:34
a sanctuarymahali patakatifu of braveryushujaa and brillianceuzuri.
84
201927
2360
hifadhi takatifu ya ushujaa na makini.
03:36
I will askkuuliza that homelesswasio na makazi man what his namejina is
85
204287
2396
Nitamuuliza yule mtu asiye na makazi jina lake ni nani
03:38
and how his day was, because sometimesmara nyingine
86
206683
1710
na siku yake ilikuwaje, kwa sababu nyakati zingine
03:40
all people want to be is humanbinadamu.
87
208393
1947
watu wote wanataka kuwa wanadamu.
03:42
I will tell that womanmwanamke that my studentswanafunzi can talk about
88
210340
2486
Nitamwambia yule mwanamke kwamba wanafunzi wangu wanaweza kuongelea
03:45
transcendentalismtranscendentalism like theirwao last namejina was ThoreauThoreau,
89
212826
2565
kwenda mbali zaidi kama vile jina lao la mwisho ni Thoreau,
03:47
and just because you watchedaliangalia
one episodetukio of "The WireWaya"
90
215391
2035
na kwa sababu umeangalia sehemu moja ya kipindi cha "The Wire"
03:49
doesn't mean you know anything about my kidswatoto.
91
217426
2239
haimaanishi kwamba unajua chochote kuhusu watoto wangu.
03:51
So this yearmwaka,
92
219665
1673
Mwaka huu,
03:53
insteadbadala yake of givingkutoa something up,
93
221338
2147
badala ya kutoa kitu,
03:55
I will livekuishi everykila day as if there were a microphonekipaza sauti
94
223485
2412
Nitaishi kila siku kama vile kuna kipaza sauti
03:58
tuckedkimaridadi underchini my tongueulimi,
95
225897
1923
kilichofungwa chini ya ulimi wangu,
04:00
a stagehatua on the undersideunderside of my inhibitionkuzuia.
96
227820
4005
jukwaa chini ya nilipo.
04:04
Because who has to have a soapboxsoapbox
97
231825
2143
Nani anatakiwa kuwa juu
04:06
when all you've ever neededinahitajika is your voicesauti?
98
233968
4239
wakati mnachohitaji ni sauti zenu?
04:10
Thank you.
99
238207
2505
Asante.
04:12
(ApplauseMakofi)
100
240712
4000
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Clint Smith - Poet, educator
Clint Smith's work blends art and activism.

Why you should listen

Clint Smith is a writer, teacher and doctoral candidate at Harvard University studying education, incarceration and inequality. Previously, he taught high school English in Prince George’s County, Maryland where, in 2013, he was named the Christine D. Sarbanes Teacher of the Year by the Maryland Humanities Council.

Clint is a 2014 National Poetry Slam champion, an Individual World Poetry Slam Finalist, and author of the poetry collection Counting Descent. He has received fellowships from the National Science Foundation, Cave Canem and the Callaloo Creative Writing Workshop. His writing has appeared in The New Yorker, The Guardian, Boston Review, American Poetry Review, Harvard Educational Review and elsewhere. He was born and raised in New Orleans, LA.

More profile about the speaker
Clint Smith | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee