ABOUT THE SPEAKER
Renzo Vitale - Sound geneticist, musician, acoustic engineer
Renzo Vitale explores the narrative between music, science and human perception -- envisioning sonic spaces for music to evolve, for cities to sing, for people to transcend.

Why you should listen

Renzo Vitale is an Italian pianist, composer, sound designer, acoustic engineer and artist. His creative process involves an interrogation of the relation between music, science and human perception.

As a musician, Vitale has composed a wide spectrum of works ranging from dance theater to performative installation pieces and virtual reality experiences. His solo works focus on vulnerable states of human condition, such as the sublimity of emotional gravities and the irrational nature of disorders. As a scientist, his research encompasses architectural acoustics, psychoacoustics, vehicle acoustics and music communication.

Vitale holds a PhD in Acoustics from RWTH Aachen University, two master's degrees in electronic engineering and in piano performance as well as further studies in electronic music, composition and conducting. Previously he has been a research scholar at the Institute of Technical Acoustics in Aachen, Pratt Institute in New York and KTH in Stockholm. 

In 2015, Vitale joined the Research and Innovation Center of BMW Group as a Noise, Vibration and Harshness (NVH) engineer. Since 2017 he designs the sounds of electric vehicles. He conceived a new generation of sounds through a novel approach that he calls "sound genetics," which defines the aesthetic space of sounds in order to generate soundscapes to enable us to envision abstract worlds and make them tangible and audible.

More profile about the speaker
Renzo Vitale | Speaker | TED.com
TED@Merck KGaA, Darmstadt, Germany

Renzo Vitale: What should electric cars sound like?

Renzo Vitale: Namna gani gari za umeme zinatakiwa kutoa sauti?

Filmed:
1,783,959 views

Magari ya umeme yapo kimya sana, huleta ukimya mzuri katika majiji yetu. Lakini pia huleta hatari mpya, kutokana na kwamba yanaweza kumgonga kirahisi mtembea kwa miguu. Sauti gani yanatakiwa kutoa ili kufanya watembeaji kuwa salama? Pata maelezo ya namna gani sauti ya kesho itavyokuwa pale mhandisi wa sauti na mwanamuziki Renzo Vitale akionyesha namna anavyotengeneza sauti kwa ajili ya gari za umeme.
- Sound geneticist, musician, acoustic engineer
Renzo Vitale explores the narrative between music, science and human perception -- envisioning sonic spaces for music to evolve, for cities to sing, for people to transcend. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
Let's startkuanza with silencekimya.
0
1289
2084
Tuanze na ukimya.
00:23
SilenceUkimya is one of the mostwengi
preciousthamani conditionshali for humansbinadamu,
1
11028
4485
Ukimya ni hali yenye thamani kwa wanadamu,
00:27
because it allowsinaruhusu us to feel
the depthkina of our presenceuwepo.
2
15537
3364
kwa sababu inatufanya kuhisi
kina cha uwepo wetu.
00:32
This is one of the reasonssababu
why the adventMajilio of electricumeme carsmagari
3
20072
3238
Hii ni moja ya sababu kwanini
ujio wa gari za umeme
00:35
has generatedyanayotokana lots
of enthusiasmshauku amongmiongoni mwa people.
4
23334
2873
umetengeneza hamasa kubwa kwa watu.
00:38
For the first time, we could associatemshiriki
the conceptdhana of carsmagari
5
26679
4377
Kwa mara ya kwanza, tuliweza
husisha muundo wa gari
00:43
with the experienceuzoefu of silencekimya.
6
31080
1761
na mazoea ya ukimya.
00:45
CarsMagari can finallyhatimaye be quietutulivu:
7
33824
2025
Magari hatimaye yanaweza kuwa kimya:
00:48
peaceamani in the streetsmitaa,
8
36770
1453
amani katika mitaa,
00:50
a silentkimya revolutionmapinduzi in the citiesmiji.
9
38247
2412
mapinduzi ya ukimya katika majiji.
00:56
(HumHum)
10
44762
6381
(Hum)
01:05
But silencekimya can alsopia be a problemtatizo.
11
53659
2167
Lakini unaweza pia kuwa tatizo.
01:08
The absencekutokuwepo of soundsauti, in factukweli,
when it comesinakuja to carsmagari,
12
56801
3978
Ukosefu wa sauti, kwa hakika,
unapokuja katika gari,
01:12
it can be quitekabisa dangeroushatari.
13
60803
1285
inaweza kuwa hatari sana.
01:14
Think of blindkipofu people,
14
62907
2039
Fikiria watu wasiiona,
01:16
who can't see a cargari whichambayo is approachinginakaribia.
15
64970
2183
wasioweza kuona gari linalowasogelea.
01:20
And now, if it's electricumeme,
they can't even hearkusikia it.
16
68666
2629
Na sasa, kama ni la umeme,
hawawezi kabisa kulisikia.
01:24
Or think of everykila one of us
as we are walkingkutembea around the cityjiji,
17
72038
3360
Au fikiria kuhusu kila mmoja
wetu tunapotembea katika jiji,
01:27
we are absorbedkufyonzwa in our thoughtsmawazo,
and we detachkutengana from the surroundingsmazingira.
18
75422
3901
tumezama katika mawazo yetu,
na tumeachana na mazingira.
01:32
In these situationshali, soundsauti can becomekuwa
our preciousthamani companionrafiki.
19
80630
4397
Katika hali hii, sauti inaweza kuwa
mshiriki mwenye thamani.
01:38
SoundSauti is one of the mostwengi
wonderfulajabu giftszawadi of our universeulimwengu.
20
86552
4532
Sauti ni moja ya zawadi murua
katika ulimwengu.
01:43
SoundSauti is emotionhisia
21
91108
1198
Sauti ni hisia
01:45
and soundsauti is sublimeheshima,
22
93259
1563
na sauti ni utukufu,
01:48
and when it comesinakuja to carsmagari,
soundsauti is alsopia informationhabari.
23
96329
3319
na inapokuja kwenye gari,
sauti pia ni taarifa.
01:53
In orderamri to protectkulinda pedestrianswatembea kwa miguu
24
101606
1930
Ili kuweza kuwalinda watembea kwa miguu
01:55
and to give acousticacoustic
feedbackmaoni to the driversmadereva,
25
103560
2975
na kutoa mrejesho wa sauti kwa madereva,
01:58
governmentsserikali around the worldulimwengu
have introducedilianzisha severalkadhaa regulationskanuni
26
106559
4212
serikali dunia kote wameunda
namna baadhi za udhibiti
02:02
whichambayo prescribeanashauri/anaagiza the presenceuwepo of a soundsauti
for electricumeme vehiclesmagari.
27
110795
3809
ambazo zinawajibisha uwepo wa sauti
katika magari ya umeme.
02:07
In particularhasa, they requireinahitaji
minimumchini soundsauti levelsviwango
28
115454
3794
Katika uhalisia, zinahitaji
sauti kiasi kidogo
02:11
at specificz zara frequencymzunguko bandsbendi
29
119272
2169
katika mrudio wa mawimbu mahususi
02:13
up to the speedkasi of 30 kilometerskilomita perkwa kila hoursaa.
30
121465
2539
hadi kilomita 30 kwa saa.
02:17
BesidesMbali na hilo this speedkasi,
31
125798
1231
Ukiachana na kasi,
02:19
the naturalasili noisekelele of the cargari
is consideredkuchukuliwa as sufficientkutosha.
32
127053
3657
sauti halisi ya gari huchukiliwa
kama ya kutosha.
02:24
These regulationskanuni
have generatedyanayotokana differenttofauti reactionsathari
33
132999
3587
Sheria hizi zimetengeneza maoni tofauti
02:28
amongmiongoni mwa those who favorneema soundssauti
and those who fearhofu the presenceuwepo
34
136610
3977
kati ya wale ambao wanahitaji sauti
na wale walio na hofu ya uwepo
02:32
of too much noisekelele in the cityjiji.
35
140611
1673
wa kelele nyingi katika jiji.
02:35
HoweverHata hivyo, I don't see it
as the noisekelele of the cargari.
36
143739
4690
Hata hivyo, Sioni kwamba
ni kelele ya gari.
02:41
I ratherbadala see it as the voicesauti of the cargari.
37
149792
3248
Naona kwamba ni sauti ya gari.
02:46
And this is one of my biggestkubwa challengeschangamoto,
and privilegesupendeleo wa, at the samesawa time.
38
154422
3587
Na hii ndiyo changamoto yangu kubwa,
na kipaumbele, kwa wakati mmoja.
02:50
I designkubuni the voicesauti of electricumeme carsmagari.
39
158954
2396
Ninarasimu sauti ya gari za umeme.
02:55
We all know how a combustionmwako
engineinjini soundssauti like,
40
163800
3479
Tunaelewa namna gani injini
za moto zinavyotoa mlio,
02:59
and we do actuallykwa kweli alsopia know
how an electricumeme engineinjini soundssauti like.
41
167303
3322
na pia tunaelewa namna gani gari
za umeme zinavyotoa mlio.
03:03
Think of the electricumeme tramwaytramway.
42
171276
2159
Fikiria kuhusu mkokoteni wa umeme.
03:05
As soonhivi karibuni as it moveshuenda,
43
173459
1214
Pale unapotembea,
03:06
it createshujenga this ascendinga-z
high-frequencyjuu-marudio pitchlami soundsauti,
44
174697
3799
hutengeneza sauti inayopanda
ambayo ni kali,
03:10
whichambayo we calledaitwaye "whistlingwhistling" soundsauti.
45
178520
1867
ambayo tunaita sauti ya "filimbi".
03:13
HoweverHata hivyo, if we would
just amplifyinahusu this soundsauti,
46
181907
3342
Hata hivyo, kama tutaweza
kuongeza sauti hii,
03:17
we would still not be ableinaweza to fulfillkutimiza
the legalkisheria requirementsmahitaji.
47
185273
3786
hatutaweza kufikia kanuni zilizowekwa.
03:21
That's alsopia why we need
to composetunga newmpya soundsauti.
48
189083
3365
Ndiyo maana tunahitaji
kutengeneza sauti mpya.
03:25
So how do we go after it?
49
193481
2070
Sasa tunafanyaje?
03:29
In manywengi citiesmiji, the traffictrafiki
is alreadytayari very chaoticmachafuko,
50
197178
3538
Katika majiji mengi, msongamano
wa magari una vurugu sana,
03:32
and we don't need more chaosmachafuko.
51
200740
1612
na hatuhitaji vurugu nyingine.
03:35
But the streetsmitaa of the 21stst centurykarne
are a great casekesi studykujifunza
52
203221
5077
Lakini mitaa ya karne ya 21
hutupa somo zuri sana
03:40
teemingamejiunga with transiencetransience,
crossmsalaba purposesmadhumuni and disarraywachanganyikiwa.
53
208322
3730
zikitiririka kutangatanga, na mvurugiko.
03:45
And this landscapemazingira
offersinatoa a great opportunitynafasi
54
213337
3255
Na uwanda huu unatoa nafasi nzuri
03:48
for developingkuendeleza newmpya solutionsufumbuzi
on how to reducekupunguza this chaosmachafuko.
55
216616
4190
ya kutengeneza fumbuzi mpya za
namna ya kuondoa hizi vurugu.
03:54
I have conceivedmimba a newmpya approachmbinu
that trieshujaribu to reducekupunguza the chaosmachafuko
56
222663
4470
Nimeunda namna mpya ya kujaribu
kupunguza huu mvurugano
03:59
by introducingkuanzisha harmonymaelewano.
57
227157
1767
kwa kuleta mlingano.
04:02
SinceTangu manywengi people don't know
how an electricumeme cargari could soundsauti like,
58
230898
4143
Vile kwamba watu wengi hawafahamu namna
ambavyo gari la umeme linatoa sauti,
04:07
I have to definekufafanua, first of all,
a newmpya soundsauti worldulimwengu,
59
235065
4289
Natakiwa kufafanua, kwanza ya yote,
dunia mpya ya sauti,
04:11
something that doesn't belongni
to our previousuliopita experienceuzoefu
60
239378
3653
jambo ambalo halipo katika mazoea ya nyuma
04:15
but createshujenga a referencekumbukumbu for the futurebaadaye.
61
243055
2466
lakini linatengeneza kumbukumbu ya kesho.
04:19
TogetherPamoja with a smallndogo teamtimu,
we createkuunda lots of sonicSonic texturesUnamu
62
247072
4325
Pamoja na timu ndogo, tunatengeneza
sauti za kusikika na wanadamu
04:23
that are ableinaweza to transmittuma emotionhisia.
63
251421
3738
ambazo zinaweza safirisha hisia.
04:28
Just like a paintermchoraji with colorsrangi,
64
256064
2173
Kama vile mchoraji na rangi,
04:30
we are ableinaweza to connectkuungana
feelingshisia and frequenciesMasafa
65
258261
4473
tunaweza kuunganisha hisia
na mrudio wa mawimbi
04:34
so that wheneverwakati wowote one is approachinginakaribia a cargari,
66
262758
2480
ili kwamba pale mtu anaposogelea gari,
04:37
we can feel an emotionhisia
67
265262
1815
tunaweza kujisikia hisia
04:39
whichambayo, besidesbadala fulfillingkutimiza
the legalkisheria requirementsmahitaji,
68
267101
3906
ambazo, ukiachalia kwamba zinafuata
matakwa ya serikali,
04:43
speaksanasema alsopia about the charactertabia
and the identityutambulisho of the cargari.
69
271031
3951
pia huongea kuhusu tabia na
utambulisho wa gari.
04:49
I call this paradigmdhana "soundsauti geneticskizazi."
70
277837
3104
Naita namna hii "jenetikia ya sauti."
04:54
With soundsauti geneticskizazi, I definekufafanua,
first of all, an aestheticaesthetic spacenafasi of soundsauti,
71
282433
5644
Na jenetikia ya sauti, naelezea, kwanza
kuliko yote, nafasi ya sauti,
05:00
and at the samesawa time,
I searchtafuta for newmpya, innovativeubunifu methodsnjia
72
288101
4202
na wakati huo huo, natafuta njia
mpya za ufumbuzi
05:04
for generatingkuzalisha soundscapessoundscapes
that we don't know,
73
292327
2813
za kutengeneza mazingira ya sauti
ambayo hatufahamu,
05:08
soundscapessoundscapes that allowkuruhusu us
to envisionninaona abstractabstract worldsulimwengu,
74
296533
4658
mazingira ya sauti yanayoturuhusu
kuwaza dunia ya kufikirika,
05:14
to make them tangibleinayoonekana and audibleaudible.
75
302083
2045
kuipa uhalisia na yenye kusikika.
05:18
SoundSauti geneticskizazi is basedmsingi on threetatu stepshatua.
76
306420
3007
Jenetikia ya sauti inahusiana
na hatua tatu.
05:22
The first one is the definitionufafanuzi
of a sonicSonic organismviumbe,
77
310266
3693
Ya kwanza ni kuelezea kiumbe anayesikia,
05:27
the secondpili one is a descriptionmaelezo
of sonicSonic variationstofauti,
78
315313
3579
cha pili ni kudadafua mabadiliko ya sauti,
05:31
and the thirdtatu one
is the compositionutungaji of soundsauti genesjeni.
79
319884
4246
na ya tatu ni utengenezaji
wa jeni za sauti.
05:38
The descriptionmaelezo of a sonicSonic organismviumbe
is basedmsingi on a clusterkikundi of propertiesmali
80
326732
5695
Maelezo ya kiumbe anayesikia yanatokana
na muunganiko wa tabia
05:44
that everykila soundsauti
that I composetunga should have.
81
332451
3377
za kila sauti ninayotengeneza
inakua nayo.
05:50
[SoundSauti is movingkusonga.]
82
338804
1513
[Sauti inasafiri]
05:52
I transferuhamisho to a smallndogo soundsauti entitychombo,
suchvile as the soundsauti of a cargari,
83
340341
5260
Nasafirisha katika sauti ndogo,
kama vile sauti ya gari,
05:58
the powernguvu of the motionmwendo of musicmuziki,
84
346410
2929
nguvu ya mrindimo wa muziki,
06:01
so that soundsauti can movehoja so.
85
349363
1594
ili sauti inaweza safiri.
06:04
[SoundSauti is actingkaimu.]
86
352313
1385
[Sauti inatenda.]
06:05
And just like a dancermchezaji on a stagehatua,
87
353722
1919
Na kama kwa mchezaji katika jukwaa,
06:07
soundsauti will projectmradi trajectoriestrajectories
of soundsauti in the airhewa.
88
355665
4230
sauti itatengeneza njia katika hewa.
06:14
[SoundSauti is memorykumbukumbu.]
89
362287
1151
[Sauti ni kumbukumbu.]
06:15
And it's not just about
the soundsauti of a cargari.
90
363462
2163
Na siyo tu kuhusu sauti ya gari.
06:18
It's the memorykumbukumbu of my fatherbaba
comingkuja back home.
91
366448
2975
Ni kumbukumbu ya baba yangu
akirudi nyumbani.
06:23
[SoundSauti is hypnotizinghypnotizing.]
92
371737
1537
[Sauti inavutia.]
06:25
And soundsauti has the powernguvu to createkuunda
an unexpectedzisizotarajiwa sensehisia of wonderajabu,
93
373298
5651
Na sauti ina nguvu ya kutengeneza
maajabu yasiyotegemewa,
06:30
whichambayo hypnotizeshypnotizes.
94
378973
1427
ambayo huvutia.
06:34
And ultimatelyhatimaye,
95
382004
1167
Na kwa ujumla,
06:35
[SoundSauti is superhumanalikua.]
96
383195
1475
[sauti ni binadamu wa ajabu.]
06:36
soundsauti goeshuenda beyondzaidi the humanbinadamu conditionhali,
97
384694
2000
sauti huenda zaidi ya hali ya kibinadamu,
06:38
because it allowsinaruhusu us to transcendkupitisha.
98
386718
2643
kwa sababu inaturuhusu sisi kujongea.
06:44
As a secondpili stephatua,
we definekufafanua the sonicSonic variationstofauti.
99
392544
4301
Katika hatua ya pili, tunaeleza
mabadiliko ya sauti.
06:49
[IdentityUtambulisho prismprism]
100
397297
1174
[Prizmu ya utambuzi]
06:50
Just like humansbinadamu, where differenttofauti bodiesmiili
generatekuzalisha differenttofauti voicessauti,
101
398495
4099
Kama vile wanadamu, ambapo miili
hutengeneza sauti mbalimbali,
06:54
alsopia differenttofauti cargari shapesmaumbo
have a differenttofauti acousticacoustic behaviortabia
102
402618
5254
na pia maumbo mbalimbali ya gari yana
tabia mbalimbali za sauti
06:59
whichambayo dependsinategemea on
the geometryjiometri and the materialsvifaa.
103
407896
2769
ambazo hutegemea maombi na malighafi.
Hivyo tunapaswa kujua, kwanza kabisa,
jinsi gari hili husafirisha sauti nje
07:03
So we have to know, first of all,
how this cargari propagateskueneza the soundsauti outsidenje
104
411849
6214
07:10
by meansina maana of acousticacoustic measurementsvipimo.
105
418087
1912
namna ya vipimo vya sauti.
07:13
And just like a singlemoja voicesauti is ableinaweza
to producekuzalisha differenttofauti tonestani and timbrestimbres,
106
421650
5793
Na kama vile sauti moja inaweza kutoa
mirindimo ya sauti mbalimbali,
07:19
at the samesawa time, we producekuzalisha
differenttofauti sonicSonic variationstofauti
107
427467
3445
na kwa wakati huohuo, tunatengeneza
utofauti mbalimbali wa sauti
07:22
withinndani a spacenafasi
of eightnane wordsmaneno that I definedinafafanuliwa.
108
430936
4293
katika nafasi ya maneno
nane ambayo naelezea.
07:28
And some of them are,
to me, really importantmuhimu,
109
436074
2847
Na baadhi yao, kwangu, ni muhimu sana,
07:30
suchvile as the conceptdhana of "visionarymtazamaji,"
110
438945
2264
kama vile suala la "maono,"
07:33
of "eleganceustadi,"
of "dynamicnguvu," of "embracingkukumbatia."
111
441233
3416
ya "utashi," ya "mabadiliko,"
ya "kufumbata."
07:39
And oncemara moja we have definedinafafanuliwa
these two aspectsmambo,
112
447757
3174
Na pale tutapoweza kuelezea
hizi namna mbili,
07:42
we have what I call the identityutambulisho prismprism,
113
450955
3056
tunakuwa tumepata ninaoita
mche wa utambuzi,
07:46
whichambayo is something like
the sonicSonic identityutambulisho cardkadi of a cargari.
114
454035
4181
ambao ni kama kadi ya
utambuzi wa sauti ya gari.
07:53
And as a thirdtatu stephatua,
we enteringiza the worldulimwengu of the soundsauti designkubuni,
115
461056
4914
Na katika hatua ya tatu, tunaingia katika
dunia ya utengenezaji wa sauti,
07:59
where the soundsauti genesjeni are composedlinajumuisha
116
467046
2785
ambapo jeni za sauti zinatengenezwa
08:01
and a newmpya archetypearchetype is conceivedmimba.
117
469855
2343
na muundo mpya unatengenezwa.
08:05
Now let me showonyesha you anothermwingine examplemfano
118
473610
2463
Sasa ngoja nikuonyeshe mfano mwingine
08:08
of how I transformkubadilisha
a soundsauti fieldshamba into a melodyfimbo.
119
476097
4266
wa namna ya kubadili sauti kuwa mlio
08:13
Think that I am a violinviolin playermchezaji on stagehatua.
120
481847
2715
Fikiria kua mimi ni mpiga
fidla jukwaani.
08:16
If I would startkuanza to playkucheza the violinviolin,
121
484586
1746
Kama nitaanza kupiga fidla,
08:18
I would generatekuzalisha a soundsauti fieldshamba
whichambayo would propagatekueneza in this hallukumbi,
122
486356
3976
Nitatengeneza sauti ambayo
itatembea katika ukumbi huu,
08:22
and at some pointuhakika, the soundsauti fieldshamba
would hithit the sideupande wallskuta
123
490356
3739
na kwa wakati huo huo, sauti itagonga kuta
08:26
and would be scatteredkutawanywa all over the placemahali.
124
494119
3569
na itasambaa hapa kote.
08:29
And this is how it lookedilionekana like.
125
497712
1581
Na ndivyo itavyoonekana.
08:31
Some time agoiliyopita, I capturedalitekwa
severalkadhaa waysnjia of soundsauti to hithit sideupande wallskuta.
126
499317
5848
Muda fulani uliopita, nilinasa namna
baadhi ya sauti inavyogonga kuta.
08:38
And last yearmwaka, I was askedaliuliza
by the BavarianBavaria RadioRedio SymphonySimfoni OrchestraOrchestra
127
506321
4103
Na mwaka jana, niliombwa na bendi
ya Bavarian Radio Symphony
08:42
to composetunga ringtonesmidundo
that they were going to playkucheza.
128
510448
3832
kutengeneza milio ambayo wangeipiga.
08:46
So one of them, I had the ideawazo
to startkuanza from this soundsauti fieldshamba.
129
514820
4383
Katika mmoja wao, niliwaza kuanza
na mrindimo wa sauti.
08:51
I tookalichukua a sectionsehemu,
130
519728
1894
Nilichukua kipande,
08:53
I superimposedsuperimposed the sectionsehemu
over the distributionusambazaji
131
521646
2762
Nikakijumuisha katika mgawanyo
08:56
of the musicianswanamuziki onstageonstage,
132
524432
2274
wa wanamuziki wakiwa jukwaani,
08:58
and then I followedikifuatiwa
the bloomingblooming of the soundsauti fieldshamba
133
526730
2830
na kisha nikifata mrindimo wa sauti
09:01
by meansina maana of threetatu parametersvigezo:
134
529584
1423
kwa namna ya vipimo vitatu:
09:04
time, intensitykiwango and frequencymzunguko.
135
532146
1639
muda, kiasi na mrudio wa mawimbi.
09:06
Then I wrotealiandika down all the gradientsgradients
for eachkila mmoja instrumentchombo,
136
534996
4862
Kisha nikaandika ulalo wa kila kifaa,
09:11
and as you can see, for instancemfano,
137
539882
1591
na unaweza kuona, kwa mfano,
09:13
the piecekipande will startkuanza with
the stringkamba sectionsehemu playingkucheza very softlyupole,
138
541497
4462
vipande vitaanza na kipande cha
uzi kikipiga kwa umororo,
09:17
and then it's going to have a crescendocrescendo
as the brassesbrasses, the woodsmsituni will jumpkuruka in,
139
545983
5963
na kisha kitaanza ongezeka pale shaba,
mbao zitapoanza sikika,
09:23
and the melodyfimbo will endmwisho
with a harpkinubi and a pianopiano
140
551970
3957
na mlio utaishia na kinubi na kinanda
09:27
playingkucheza on the highestjuu rangembalimbali.
141
555951
2174
zikilia katika kiwango cha juu.
09:34
Let's listen how it soundedilipigwa like.
142
562457
2343
Tusikilize inalia vipi.
09:39
(EtherealEthereal musicmuziki)
143
567495
6864
(Mziki wa mbinguni)
09:56
(MusicMuziki endshuisha)
144
584240
1150
(Muziki unaisha)
09:59
So this is the soundsauti of my alarmkengele clocksaa,
actuallykwa kweli, in the morningasubuhi.
145
587895
3227
Kwa hiyo huu ni mlio wa saa yangu
inayoniamsha, kiukweli, asubuhi.
10:03
(LaughterKicheko)
146
591146
1150
(Kicheko)
10:05
And now let's go back to electricumeme carsmagari.
147
593707
2359
Na sasa turudi katika gari za umeme.
10:09
And let's listen to the first examplemfano
that I showedilionyesha you.
148
597338
5444
Na kisha tusikilize mfano wa kwanza
ambao nimewaonyesha.
10:20
(HumHum)
149
608089
7000
(Hum)
10:28
And now I would like to showonyesha you
how a potentialuwezo soundsauti,
150
616600
5080
Na sasa nitawaonyesha namna
gani mlio muhimu,
10:33
basedmsingi on the soundsauti geneticskizazi
for electricumeme carsmagari, could soundsauti like.
151
621704
4769
ambao unatokana na jini ya sauti kwa ajili
ya gari za umeme, itasikika hivi.
10:39
(EtherealEthereal musicmuziki)
152
627926
3587
(Muziki wa mbinguni)
10:43
(PitchLami riseskuongezeka with accelerationkasi)
153
631537
6300
(Kiwango kinapanda na kuongezeka mwendo)
10:52
CarsMagari are a metaphormfano of time,
distanceumbali and journeysafari,
154
640365
6770
Gari ni mifano inayohusiana
na muda, umbali na safari,
10:59
of settingkuweka out and returningkurudi,
155
647159
3121
ya kuondoka na kurudi,
11:02
of anticipationkutarajia and adventureadventure,
156
650304
2781
ya shauku na safari,
11:05
but, at the samesawa time,
of intelligenceakili and complexityutata,
157
653109
5135
lakini, kwa wakati huo huo,
na utashi na utata,
11:10
of humanbinadamu intuitionintuition and accomplishmentufanisi.
158
658268
2966
ya uelewa wa binadamu na mafanikio.
11:13
And the soundsauti has to glorifykumtukuza all that.
159
661258
2492
Na sauti imetukuza hayo yote.
11:17
I see carsmagari bothwote wawili as livingwanaishi creaturesviumbe
160
665690
4196
Naona magari yote kama viumbe vinavyoishi
11:21
and as highlysana complextata
performativeperformative artsanaa installationsmitambo.
161
669910
4055
na vifaa vilivyotengenezwa
na sanaa tata sana.
11:27
The soundssauti that we envisionninaona
throughkupitia soundsauti geneticskizazi
162
675984
3601
Sauti ambazo tunaziunda
kupitia sauti za jenetikia
11:31
allowkuruhusu us not only
to celebratekusherehekea this complexityutata
163
679609
3678
sio tu zinaturuhusu kufurahia utata huu
11:36
but alsopia to make the worldulimwengu
a more elegantkifahari and safesalama spacenafasi.
164
684735
4762
bali pia kufanya dunia iwe sehemu
maridadi na yenye usalama.
11:42
Thank you.
165
690070
1152
Asante.
11:43
(ApplauseMakofi)
166
691246
3079
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Doris Mangalu

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Renzo Vitale - Sound geneticist, musician, acoustic engineer
Renzo Vitale explores the narrative between music, science and human perception -- envisioning sonic spaces for music to evolve, for cities to sing, for people to transcend.

Why you should listen

Renzo Vitale is an Italian pianist, composer, sound designer, acoustic engineer and artist. His creative process involves an interrogation of the relation between music, science and human perception.

As a musician, Vitale has composed a wide spectrum of works ranging from dance theater to performative installation pieces and virtual reality experiences. His solo works focus on vulnerable states of human condition, such as the sublimity of emotional gravities and the irrational nature of disorders. As a scientist, his research encompasses architectural acoustics, psychoacoustics, vehicle acoustics and music communication.

Vitale holds a PhD in Acoustics from RWTH Aachen University, two master's degrees in electronic engineering and in piano performance as well as further studies in electronic music, composition and conducting. Previously he has been a research scholar at the Institute of Technical Acoustics in Aachen, Pratt Institute in New York and KTH in Stockholm. 

In 2015, Vitale joined the Research and Innovation Center of BMW Group as a Noise, Vibration and Harshness (NVH) engineer. Since 2017 he designs the sounds of electric vehicles. He conceived a new generation of sounds through a novel approach that he calls "sound genetics," which defines the aesthetic space of sounds in order to generate soundscapes to enable us to envision abstract worlds and make them tangible and audible.

More profile about the speaker
Renzo Vitale | Speaker | TED.com