ABOUT THE SPEAKER
Muthoni Drummer Queen - Musician
Muthoni Drummer Queen's thought-provoking music fuses traditional African drum patterns with modern styles like hip-hop, reggae and blues.

Why you should listen

Muthoni Drummer Queen is the founder of two festivals in East Africa: Blankets & Wine, a platform for emerging and established "alternative" Kenyan and African artists that has since expanded to franchises in Uganda and Rwanda; and Africa Nouveau, an annual music and arts festival gathering creators, curators and fans of "African cool."

More profile about the speaker
Muthoni Drummer Queen | Speaker | TED.com
TED2019

Muthoni Drummer Queen: Creativity builds nations

Muthoni Drummer Queen: Muthoni Malkia wa ngoma akiongea katika TED2019

Filmed:
200,234 views

Muthoni Malkia wa ngoma akiongea katika TED2019
- Musician
Muthoni Drummer Queen's thought-provoking music fuses traditional African drum patterns with modern styles like hip-hop, reggae and blues. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
BetweenKati ya 2004 and 2008,
0
667
2726
Kati ya mwaka 2004 na 2008,
00:15
I unsuccessfullybila mafanikio triedwalijaribu to get
into the KenyanKenya musicmuziki industrysekta.
1
3417
3934
Nilijaribu bila mafanikio kuingia katika biashara ya muziki ya Kenya.
00:19
But the recurringkujirudia answerjibu from producerswazalishaji
2
7375
2684
Lakini jibu lililokuwa likijirudia kutoka kwa watayarishaji wa muziki
00:22
was I was not KenyanKenya enoughkutosha.
3
10083
2310
lilikuwa kwamba sikuwa Mkenya vya kutosha.
00:24
MeaningMaana what?
4
12417
1267
Inamaanisha nini?
00:25
I didn't singkuimba fullykikamilifu in the slangmisimu
derivativederivative of KiswahiliKiswahili
5
13708
3268
Sikuimba lugha za mtaani zitokanazo na Kiswahili vile ipasavyo
00:29
and I didn't singkuimba enoughkutosha partychama tracksnyimbo,
6
17000
2309
na sikuimba nyimbo za kujirusha vya kutosha,
00:31
so they said KenyansWakenya wouldn'thakutaka listen
to a KenyanKenya who soundedilipigwa like me.
7
19333
3625
hivyo walisema Wakenya hawatomsikiliza Mkenya aimbaye kama mimi.
00:36
This ideawazo of otherismotherism,
8
24042
1934
Dhana ya kubaguana,
00:38
the exclusionkutengwa of a personmtu
9
26000
1476
kumtenga mtu
00:39
basedmsingi on theirwao perceivedAlijua
deviationkupotoka from the normskanuni,
10
27500
2893
kutokana na mtazamo wao ulio tofauti na desturi,
00:42
goeshuenda to the rootmizizi of the problemsmatatizo in KenyaKenya.
11
30417
2684
unakwenda hadi katika mizizi ya matatizo nchini Kenya.
00:45
And it runsanaendesha deepkina.
12
33125
1542
Na unakwenda ndani zaidi.
00:47
KenyaKenya was inventedzuliwa
by colonialistswakoloni in 1895,
13
35667
3184
Kenya ilianzishwa na wakoloni mnamo mwaka 1895,
00:50
and with it, camealikuja the erasurehaki
of our identityutambulisho
14
38875
2851
na katika hilo, ndipo ulitokea upotevu wa utambulisho wetu
00:53
and the classdarasa systemmfumo builtkujengwa on otherismotherism.
15
41750
2559
na mfumo wa madaraja uliojengwa katika ubaguzi
00:56
So by 1963, when we receivedalipokea
our independenceuhuru,
16
44333
3393
Hivyo hadi mwaka 1963, tulipopata uhuru wetu,
00:59
these ideasmawazo had alreadytayari becomekuwa
the newmpya normalkawaida.
17
47750
3143
hizi dhana zilikuwa tayari zimechukuliwa kawaida.
01:02
Now, we'vetumekuwa triedwalijaribu a lot of differenttofauti waysnjia
to movehoja forwardmbele sincetangu.
18
50917
2976
Sasa, tangu hapo tumejaribu namna mbalimbali kuweza kusonga mbele.
01:05
We have a commonkawaida languagelugha,
currencyfedha, infrastructuremiundombinu,
19
53917
2767
Tuna lugha moja, fedha moja na miundombinu,
01:08
basicallykimsingi all the things
that make a countrynchi a countrynchi.
20
56708
2935
kimsingi yale yote ambayo yanafanya nchi kuwa nchi
01:11
But all these effortsjuhudi at nation-buildingujenzi wa taifa
21
59667
2351
Lakini juhudi hizi zote katika ujenzi wa taifa
01:14
do not go to the heartmoyo of the matterjambo.
22
62042
2226
hazifiki katika kiini cha tatizo.
01:16
WhichAmbayo is this:
23
64292
1267
Ambacho ni:
01:17
we cannothaiwezi buildjenga what we do not trulykweli love.
24
65583
2851
hatuwezi tengeneza kile ambacho hatuna mapenzi ya dhati kwake.
01:20
And we cannothaiwezi love
untilmpaka we love ourselvessisi wenyewe.
25
68458
3976
Na hatuwezi kupenda mpaka tutapojipenda wenyewe.
01:24
The thing we have to healkuponya, us KenyansWakenya,
26
72458
2435
Kitu ambacho tunatakiwa kupona, sisi Wakenya,
01:26
is our lackukosefu of self-loveupendo wa kibinafsi,
27
74917
1684
ni kushindwa kujipenda wenyewe,
01:28
our deepkina self-hatechuki
28
76625
2018
chuki yetu binafsi ya ndani
01:30
and our existentialexistential identityutambulisho crisismgogoro.
29
78667
3226
na janga letu lililopo la ukosefu wa utambulisho.
01:33
And this is the work of nation-buildingujenzi wa taifa
30
81917
2517
Na hii ni kazi ya kujenga taifa
01:36
that only the creativeubunifu industrysekta can do.
31
84458
2584
ambayo wasanii pekee ndiyo wanaweza kufanya.
01:40
The ideawazo that KenyaKenya
can only includejumuisha some of us
32
88417
2934
Suala la kwamba Kenya inaweza kujumuisha baadhi yetu tu
01:43
led me to foundkupatikana a musicmuziki festivalTamasha in 2008
calledaitwaye BlankestBlankest and WineMvinyo,
33
91375
4143
lilinipelekea mimi kuanzisha tamasha la muziki mwaka 2008 liitwalo Blankest and Wine,
01:47
to give a platformjukwaa to myselfMimi mwenyewe
and other misfitsMisfits.
34
95542
3059
kuweza kujipa jukwaa na pia kwa wale wengine wanaobaguliwa .
01:50
TenKumi yearsmiaka laterbaadae,
we'vetumekuwa programmediliyoandaliwa over 200 bandsbendi
35
98625
2434
Miaka kumi baadaye, tumeweza kuhusisha bendi zaidi ya 200
01:53
and put at leastangalau 100,000 dollarsdola
36
101083
2268
na kuweka si chini ya dola 100,000
01:55
directlymoja kwa moja into the handsmikono
of artistswasanii and managersmameneja,
37
103375
2976
moja kwa moja katika mikono ya wasanii na mameneja,
01:58
who have in turnkugeuka spentalitumia it
on techniciansmafundi, rehearsalsrehearsals,
38
106375
3309
ambao wamezitumia kwa mafundi mitambo, kufanyia mazoezi,
02:01
musicmuziki videosvideo and other things
alongkando the musicmuziki valuethamani chainmnyororo.
39
109708
3851
kutengeneza video za muziki na mambo mengine pamoja na thamani ya mlolongo wa muziki.
02:05
Our platformjukwaa has allowedruhusiwa
for multiplenyingi KenyanKenya identitiesvitambulisho to existzipo,
40
113583
4185
Jukwaa letu limewezesha Wakenya wengi katika muziki kuweza kupata nafasi,
02:09
while inspiringyenye kuchochea the industrysekta
to discovergundua and engagekushiriki
41
117792
2476
pamoja na kuhamasisha biashara ya muziki kutambua na kuwaunganisha
02:12
the widepana varietytofauti of KenyanKenya musicmuziki.
42
120292
2726
namna mbalimbali za muziki wa Kenya.
02:15
What we do is necessarymuhimu but insufficientHaitoshi.
43
123042
3226
Tunachokifanya ni muhimu lakini bado hakitoshelezi.
02:18
And we mustlazima urgentlyHaraka pivotChegemo
into a livekuishi musicmuziki circuitmzunguko.
44
126292
3642
Na lazima kwa haraka tuweze egemea katika mfumo wa kupiga muziki mubashara.
02:21
But there are other waysnjia
musicmuziki can help healkuponya the nationtaifa.
45
129958
4143
Lakini kuna njia nyingine muziki unaweza saidia kuponya taifa.
02:26
AccordingKwa mujibu wa to a 2018 statehali of mediavyombo vya habari reportripoti,
46
134125
2934
Kutokana na ripoti za mwaka 2018 za chombo cha habari cha serikali,
02:29
traditionaljadi radioredio is sillKingo by farmbali
the biggestkubwa distributorMsambazaji of ideasmawazo in KenyaKenya,
47
137083
4393
redio za kiasili ndizo chanzo kikubwa sana cha usambazaji wa mawazo nchini Kenya,
02:33
with 47 percentasilimia of KenyansWakenya
still choosingkuchagua radioredio first.
48
141500
3893
ikiwa kwamba asilimia 47 ya Wakenya bado wanaipa redio kipaumbele.
02:37
This presentszawadi an opportunitynafasi.
49
145417
2309
Hii inaleta fursa.
02:39
We can use radioredio to help KenyansWakenya hearkusikia
the diversityutofauti that is KenyaKenya.
50
147750
4143
Tunaweza tumia redio kuwasaidia Wakenya kusikiliza maudhui mbalimbali yaliyopo Kenya.
02:43
We can reservehifadhi 60 percentasilimia
of all programingprogram on KenyanKenya radioredio
51
151917
3476
Tunaweza kutenga asilimia 60 ya vipindi vyote katika redio za Kenya
02:47
for KenyanKenya musicmuziki.
52
155417
1684
kwa ajili ya muziki wa Kenya.
02:49
We can breakkuvunja down ethnickikabila barriersvikwazo
53
157125
1643
Tunaweza vunja mipaka ya kikabila
02:50
by playingkucheza KenyanKenya musicmuziki
donekufanyika in EnglishKiingereza, KiswahiliKiswahili
54
158792
3101
kwa kupiga muziki wa Kenya unaoimbwa kwa Kiingereza, Kiswahili
02:53
and other ethnickikabila languageslugha,
55
161917
1767
na lugha nyinginezo za kiasili,
02:55
on what is now
single-languagelugha moja ethnickikabila radioredio.
56
163708
3726
katika redio ambayo kwa sasa ni redio ya lugha moja tu ya kikabila.
02:59
RadioRedio can help stimulateKuchochea
interesthamu and demandmahitaji
57
167458
3018
Redio inaweza tumika kuamsha shauku na uhitaji
03:02
for KenyanKenya musicmuziki by KenyansWakenya,
58
170500
2684
wa muziki wa Kenya kwa Wakenya,
03:05
while alsopia providingkutoa
the much-neededinahitajika sana incomeskipato
59
173208
2685
pia tukiweza kupata kipato kinachohitajika
03:07
by way of royaltiesmikopo.
60
175917
1601
katika namna ya hakimiliki.
03:09
But more importantlymuhimu,
61
177542
1642
Lakini kilicho muhimu zaidi,
03:11
radioredio can help us buildjenga a more inclusivepamoja
narrativemaelezo about KenyaKenya.
62
179208
3976
redio inaweza kutusaidia kutengeneza hadithi inayotujumuisha kuhusu Kenya.
03:15
For you cannothaiwezi love
what you do not know existsipo.
63
183208
3250
Kwa vile huwezi kupenda kile ambacho haufahamu kama kipo.
03:19
Other creativeubunifu industriesviwanda
too can do the work.
64
187583
3185
Wabunifu wengine wanaweza pia fanya hii kazi.
03:22
When you considerfikiria
that 41 percentasilimia of KenyansWakenya
65
190792
2101
Ukitazama kwamba asilimia 41 ya Wakenya
03:24
still choosechagua TVTV as theirwao primarymsingi mediumkati,
66
192917
2351
bado wanachagua runinga kama chanzo cha msingi cha habari na burudani,
03:27
it's obviousdhahiri that filmfilamu
has a hugekubwa potentialuwezo.
67
195292
3601
ni kweli kwamba filamu ina thamani kubwa.
03:30
The meagerduni resourcesrasilimali
that have been put into the sectorsekta
68
198917
2572
Rasilimali hafifu ambayo tayari imekuwa sekta
03:33
have alreadytayari producedzinazozalishwa world-classkimataifa actsvitendo,
69
201513
1880
imeweza kutengeneza waigizaji wa hadhi ya kidunia,
03:35
like LupitaLupita Nyong'oNyong'o and WanuriWanuri KahiuKahiu,
70
203417
2142
kama Lupita Nyong'o na Wanuri Kahiu,
03:37
but we are going to need
a lot more incentivesVivutio vya and investmentsuwekezaji
71
205583
3226
lakini tunahitajika kuwa na rasilimali na uwekezaji
03:40
to make filmingfilamu in KenyaKenya easierrahisi,
72
208833
2060
kuweza kufanya utengenezaji wa filamu kuwa rahisi,
03:42
so more KenyanKenya storieshadithi
can get on the KenyanKenya TVTV
73
210917
3226
hivyo kufanya hadithi nyingi za Kenya kuweza kuonekana katika runinga za Kikenya
03:46
and sparkcheche off the really
difficultvigumu conversationsmazungumzo
74
214167
2476
na kuleta cheche katika maongezi yaliyo magumu
03:48
we need to have with one anothermwingine.
75
216667
2517
ambayo tunahitaji kuyaongea.
03:51
We're going to need to growkukua
a lot more home-grownmzima wa nyumbani starsnyota,
76
219208
4310
Tutahitajika kutengeneza wasanii wengi nyota wa nyumbani,
03:55
so we can reversereverse the ideawazo
77
223542
2017
ili kubadili muelekeo wa dhana
03:57
that we have to blowpigo up abroadnje ya nchi
78
225583
1976
kwamba tunatakiwa kuonekana nchi za nje
03:59
before we get the acceptancekukubalika
and validationuhakikishi of home.
79
227583
3334
kabla ya kukubalika nyumbani.
04:04
FashionMtindo too can do the work.
80
232417
2059
Mitindo pia inaweza kufanya juhudi.
04:06
We need to make it possibleinawezekana
81
234500
1518
Tunatakiwa kuhakikisha tunaweza
04:08
to affordablyaffordably mass-producemazao ya halaiki
KenyanKenya clothesnguo for KenyanKenya consumerswatumiaji,
82
236042
3267
kumudu kwa unafuu kutengeneza nguo za Kikenya kwa wingi kwa wateja wengine wa Kikenya,
04:11
so we don't all have to relykutegemea
on second-handmitumba importsuagizaji.
83
239333
3292
ili tusiweze tegemea mitumba inayoingizwa nchini.
04:15
The first runningKimbia shoekiatu madealifanya in KenyaKenya
84
243625
1809
Kiatu cha kwanza cha kufanya mazoezi kitachotengenezwa Kenya
04:17
needsmahitaji to be a localmitaa and globalkimataifa successmafanikio
85
245458
2226
kinahitajika kuwa na mafanikio ya nyumbani na katika ulimwengu
04:19
as an odeODE to KenyanKenya excellenceUbora,
86
247708
2226
katika heshima ya Wakenya,
04:21
epitomizedepitomized by KenyanKenya runnerswakimbiaji,
who are literallyhalisi world-classkimataifa.
87
249958
4810
kikiwakilishwa na wakimbiaji wa Kikenya, ambao wana hadhi ya kidunia.
04:26
For these ideasmawazo to come to life,
88
254792
2517
Ili kuweza fanya haya mawazo kuwa na uhai,
04:29
jobskazi will be createdimeundwa,
89
257333
1643
ajira zitaweza kutengenezwa,
04:31
and KenyanKenya ideasmawazo will be exportedkuhamishwa.
90
259000
2434
na mawazo ya Kikenya yataweza kwenda nje ya Kenya.
04:33
But more importantlymuhimu,
91
261458
1935
Lakini lililo muhimu zaidi,
04:35
KenyansWakenya mayinaweza finallyhatimaye
considerfikiria themselveswenyewe worthythamani
92
263417
3059
Hatimaye Wakenya wataweza kujiona wenye thamani
04:38
of the love that we reservehifadhi for otherswengine.
93
266500
2625
kutokana na upendo tulionao kwa wengine.
04:42
Kenya'sGazeti creativeubunifu industrysekta is dynamicnguvu,
94
270167
2684
Soko la ubunifu la Kenya ni lile lenye msukumo,
04:44
cosmopolitancosmopolitan, forward-lookingkuangalia mbele,
95
272875
1851
kimataifa, linalotazama mbele,
04:46
and withoutbila a doubtshaka,
96
274750
1268
na bila shaka,
04:48
a truekweli manufacturingviwanda industrysekta
of the immediateharaka futurebaadaye.
97
276042
3125
soko la uzalishaji la kesho lililo la ukweli.
04:52
But its truekweli powernguvu liesuongo in its abilityuwezo
to help healkuponya the psychepsyche of KenyaKenya,
98
280000
5559
Lakini ni kweli nguvu ipo katika uwezo wa kusaidia kuponya akili ya Kenya,
04:57
so we can finallyhatimaye buildjenga a nationtaifa for realhalisi.
99
285583
3292
ili hatimaye tuweze kujenga taifa kwa uhalisia.
05:01
Thank you.
100
289958
1268
Asante.
05:03
(ApplauseMakofi)
101
291250
5476
(Makofi)
05:08
(ApplauseMakofi)
102
296750
2518
(Makofi)
05:11
For this songwimbo, I'd like us all
to take a minutedakika
103
299292
2559
Kwa wimbo huu, naomba wote tuchukue dakika moja
05:13
and think about immigrantwalivyokubali communitiesjamii,
104
301875
2601
na kutafakari kuhusu jamii ya wahamiaji,
05:16
and especiallyhasa refugeewakimbizi
immigrantwalivyokubali communitiesjamii,
105
304500
3184
na hususani jamii ya wakimbizi,
05:19
and the dailykila siku strugglemapambano
they have to endurekuvumilia,
106
307708
2726
na magumu ya kila siku ambayo wanahitajika kupitia,
05:22
buildingkujenga a life with dignityheshima and meaningmaana
107
310458
1976
kujenga maisha kwa heshima na maana
05:24
away from everything
they have lovedkupendwa and knowninayojulikana.
108
312458
3101
mbali kutoka katika yote waliyoyapenda na kuyafahamu.
05:27
If you feel any empathyhuruma for this ideawazo,
109
315583
2643
Kama unahisi huruma kwa wazo hili,
05:30
I askkuuliza to see your fistngumi
up in the airhewa with me.
110
318250
2309
Naomba nione kiganja chako hewani pamoja nami.
05:32
(MusicMuziki)
111
320583
1685
(Muziki)
05:34
"MillionMilioni voicesauti."
112
322292
1250
"Sauti milioni."
05:36
The mandemmandemu make some noisekelele
113
324708
3018
Watu wanapaza sauti
05:39
With a millionmilioni, millionmilioni voicesauti
114
327750
3309
Na sauti milioni
05:43
All the mandemmandemu make some noisekelele
115
331083
3018
Watu wote paza sauti
05:46
With a millionmilioni, millionmilioni voicesauti
116
334125
3184
Na sauti milioni
05:49
Can't stop I, won'thaitakuwa stop I
117
337333
3143
Siwezi acha, sitaacha
05:52
With a millionmilioni, millionmilioni voicesauti
118
340500
3184
na sauti milioni, sauti milioni
05:55
Can't stop I, won'thaitakuwa stop I
119
343708
3185
Siwezi acha, sitaacha
05:58
With a millionmilioni, millionmilioni voicesauti
120
346917
2851
na sauti milioni, sauti milioni
06:01
This one dedicatedkujitolea
to my people buildingkujenga something
121
349792
3101
Hii ni hususani kwa watu wangu wote wanaotengeneza kitu fulani
06:04
WorkingKazi hardngumu to make sure
that theirwao childrenwatoto will lackukosefu for nothing
122
352917
3226
Wakijituma kuhakikisha kwamba watoto wao hawatokosa chochote
06:08
When them people come around
and treatkutibu them like they're basicmsingi
123
356167
3101
Pale ambapo watu watakuja na kuwachukulia kama vile ni watu wasiostahili
06:11
I just want to LOLLOL and tell them
to considerfikiria all theirwao optionschaguo
124
359292
4101
Nataka kucheka kwa nguvu na kuwaambia kuangalia machaguo yao yote
06:15
CautionTahadhari, naturalasili distortionkuvuruga
125
363417
2267
Angalizo, uvurugaji asilia
06:17
You can't even killkuua us
we survivekuishi even abortionutoaji mimba
126
365708
3185
Hamuwezi kututoa uhai tumeweza kushinda hata kutolewa mimba
06:20
Say we cannothaiwezi make it,
watch us how we make it
127
368917
3142
Unasema hatuwezi fanikiwa, tutazame namna gani tunavyofanikisha
06:24
Watch us in a minutedakika
come and runkukimbia and overtakekuwapita it
128
372083
3185
Tutazame kwa dakika njoo na kimbia ili kutupita
06:27
TEDTED, clappiga!
129
375292
1601
TED, piga makofi!
06:28
Can't have enoughkutosha of it
130
376917
3184
Hatuwezi tosheka
06:32
This our only way of life
131
380125
3226
Hii ndiyo namna pekee ya maisha yetu
06:35
KeepingKuweka, keepingkuweka on the grindsaga
132
383375
2125
Kupambana, kupambana kwa nguvu
06:38
TEDTED, will you clappiga like this.
133
386542
2375
TED, unaweza piga makofi kama hivi.
06:41
Can't have enoughkutosha of it
134
389750
3268
Hatuwezi tosheka
06:45
This our only way of life
135
393042
3017
Hii ndiyo namna pekee ya maisha yetu
06:48
KeepingKuweka, keepingkuweka on the grindsaga
136
396083
2042
Kupambana, kupambana kwa nguvu
06:51
KeepingKuweka, keepingkuweka on the grindsaga
137
399292
2226
Kupambana, kupambana kwa nguvu
06:53
The mandemmandemu make some noisekelele
138
401542
2976
Watu paza sauti
06:56
Like a millionmilioni, millionmilioni voicesauti
139
404542
3226
Kama vile sauti milioni
06:59
All the mandemmandemu make some noisekelele
140
407792
3101
Watu wote paza sauti
07:02
With a millionmilioni, millionmilioni voicesauti
141
410917
3184
Na sauti, sauti milioni
07:06
Can't stop I, won'thaitakuwa stop I
142
414125
3143
Hatuwezi acha, hatutaacha
07:09
With a millionmilioni, millionmilioni voicesauti
143
417292
3184
Na sauti milioni, sauti milioni
07:12
Can't stop I, won'thaitakuwa stop I
144
420500
3184
Hatuwezi acha, hatutaacha
07:15
With a millionmilioni, millionmilioni voicesauti
145
423708
3393
Na sauti milioni,
07:19
Can I be your leaderkiongozi
146
427125
1518
Naweza kuwa kiongozi wenu
07:20
Can I be your CaesarKaisari
147
428667
1726
Naweza kuwa Kaesari wenu
07:22
If I showonyesha you how to make some more
will you pledgeahadi allegianceUtii
148
430417
3059
Kama nikiwaonyesha namna ya kufanya zaidi mtaonyesha heshima
07:25
Is it always eitherama
149
433500
1601
Ni mara zote
07:27
Me or you or neitherwala
150
435125
1643
mimi au wewe au si yoyote
07:28
If I showonyesha you where I'm comingkuja from,
will you take a breathervitaupa?
151
436792
3059
Kama nikikuonyesha wapi natokea, unaweza kuvuta pumzi?
07:31
CosAnalotumia what you'llutasikia find -- what you'llutasikia find
152
439875
3434
Kwa sababu utakitambua -- ambacho utakitambua
07:35
What you'llutasikia find
guaranteedhamana will blowpigo your mindakili!
153
443333
2935
Ambacho utakitambua kitastaajabu akili yako!
07:38
I'll blowpigo your mindakili -- I'll blowpigo your mindakili
154
446292
3226
Nitastaajabu akili yako -- nitastaajabu akili yako
07:41
And then you'llutasikia see the reasonsababu
I staykaa on my grindsaga
155
449542
3017
Na kisha utatambua sababu kwa nini napambana
07:44
Would you clappiga!
156
452583
1268
Utapiga makofi!
07:45
Can't have enoughkutosha of it
157
453875
3018
Siwezi tosheka nayo
07:48
It's our only way of life
158
456917
3142
Hii ndiyo namna yetu ya maisha
07:52
KeepingKuweka, keepingkuweka on the grindsaga
159
460083
1959
Kupambana, kupambana
07:55
KeepingKuweka, keepingkuweka on the grindsaga
160
463292
3226
Kupambana, kupambana
07:58
Can't have enoughkutosha of it
161
466542
3142
Siwezi tosheka
08:01
It's our only way of life
162
469708
3185
Hii ndiyo namna ya maisha ya maisha
08:04
KeepingKuweka, keepingkuweka on the grindsaga
163
472917
3351
Kupambana, kupambana
08:08
KeepingKuweka, keepingkuweka on the grindsaga
164
476292
2059
Kupambana, kupambana
08:10
The mandemmandemu make some noisekelele
165
478375
3518
Watu paza sauti
08:13
(CheeringCheering)
166
481917
4559
(Watu wanashangilia)
08:18
(ApplauseMakofi)
167
486500
6393
(Makofi)
08:24
This nextijayo one is partlysehemu in KiswahiliKiswahili,
168
492917
3059
Nyimbo inayofuata ina Kiswahili ndani yake,
08:28
whichambayo is what we speaksema in KenyaKenya.
169
496000
2518
ambayo ndiyo lugha tunaongea nchini Kenya.
08:30
And it's about femalekike friendshipurafiki
170
498542
3351
Na unahusu urafiki wa wanawake
08:33
and femalekike powernguvu.
171
501917
1517
na nguvu ya mwanamke
08:35
And girlswasichana comingkuja togetherpamoja
to buildjenga something that lastsinachukua,
172
503458
3226
Na wasichana wanaungana pamoja kutengeneza kitu ambacho kitadumu,
08:38
a truekweli legacyurithi and intergenerationalkizazi worththamani.
173
506708
3226
urithi halisi na uthamani wa kizazi mchanganyiko.
08:41
"SuzieSuzie NomaNoma."
174
509958
1292
"Suzie Noma."
08:44
(DrumNgoma musicmuziki)
175
512582
5976
(Muziki wa ngoma)
08:50
SittingAmeketi at the cornerkona
176
518582
1519
Tumekaa kwenye kona
08:52
Me and SuzieSuzie NomaNoma
177
520125
1476
Mimi na Suzie Noma
08:53
We ain'tsio got no worrieswasiwasi
we are looking like the ownerswamiliki wa
178
521625
2976
Hatuna wasiwasi wowote tunaonekana kama wamiliki
08:56
SippingWakinywa on CoronasCoronas
179
524625
1476
Tukinywa taratibu Corona
08:58
Looking at the phonesimu as
180
526125
1518
Tukitazama simu
08:59
All them prettynzuri boyswavulana
come and tell us how they want us
181
527667
2976
wakati ambapo wavulana wote watanashati wanatufata na kutueleza namna gani wanatuhitaji
09:02
MamboMambo nini kungojakungoja, akiaki mtangojamtangoja
182
530667
2976
Mambo ni kungoja, aki mtangoja
09:05
SinagaSinaga matimematime zaza kuwastekuwaste naRangi viojavioja
183
533667
2976
Sinaga matime za kuwaste na vioja
09:08
PlanningMipango how we want
to take over the worldulimwengu soonhivi karibuni
184
536667
2976
Napanga namna gani tunataka kuiteka dunia hivi karibuni
09:11
RidingWanaoendesha on the drumsNgoma
and the clappiga while the bassBass goeshuenda
185
539667
3309
Tukipiga ngoma na makofi pale ambapo besi linalia
09:15
Hey! ShakeKuitingisha it down shakeshake it down like
186
543000
3351
Hapo! Chezesha mpaka chini chezesha mpaka chini kama vile
09:18
Wait tillmpaka you, wait tillmpaka you see my
187
546375
2601
Subiri mpaka, subiri mpaka uone
09:21
Hey! ShakeKuitingisha it down shakeshake it down like
188
549000
2708
Hapo! Chezesha mpaka chini chezesha mpaka chini kama vile
09:24
Wait tillmpaka you, wait tillmpaka you see my
189
552417
2500
Subiri mpaka, subiri mpaka uone
09:28
If you really know it
and you really wannaNataka showonyesha it
190
556167
2559
Kama unaifahamu na unataka kweli kuionyesha
09:30
Be the way to go
191
558750
3351
Kuwa njia ya kwenda
09:34
Go and grabkunyakua somebodymtu,
movehoja your bodymwili, showonyesha somebodymtu
192
562125
2643
Nenda na mkamate mtu, nyonga mwili wako, muoneshe
09:36
Be the way to go
193
564792
3083
Kuwa njia ya kwenda
09:40
On this I know,
all this I know, all this I know
194
568708
5000
Kwa hili najua, haya yote najua, haya yote najua
09:46
On this I know,
all this I know, all this I know
195
574708
4935
Kwa hili najua, haya yote najua, haya yote najua
09:51
IyoWataiteka!
196
579667
1851
Iyo!
09:53
SchemingVitimbi at the cornerkona
197
581542
1601
Tunapanga mpango wa siri kwenye kona
09:55
Me and SuzieSuzie NomaNoma
198
583167
1476
Mimi na Suzie Noma
09:56
We ain'tsio got no moneyfedha
but we do it how we wannaNataka
199
584667
2934
Hatuna pesa lakini tunafanya namna tunavyotaka
09:59
PaintingUchoraji our nailsmisumari checkingkuangalia our mailswa warsha as
200
587625
3018
Tunapaka rangi kucha zetu na kuangalia barua pepe wakati
10:02
All them prettynzuri boyswavulana
wannaNataka have us but they failkushindwa like
201
590667
2934
Wavulana wote wazuri wanataka kuwa nasi lakini wanashindwa
10:05
AkiAki mtangojamtangoja, leoleo mtangojamtangoja
202
593625
3018
Aki mtangoja, leo mtangoja
10:08
SaaSaa hiihii tukoworkstukoworks hakunagahakunaga zaza viojavioja
203
596667
2934
Saa hii tuko na kazi hakunaga za vioja
10:11
PlanningMipango how we want to
take over the worldulimwengu soonhivi karibuni
204
599625
3018
Tunapanga namna ya kuipindua dunia hivi karibuni
10:14
RidingWanaoendesha on the drumsNgoma and the clappiga
while the bassBass goeshuenda boomboom
205
602667
4059
Tunapiga ngoma na makofi wakati besi inalia kama
10:18
ShakeKuitingisha it down shakeshake it down like
206
606750
2643
Chezesha mpaka chini chezesha mpaka chini kama vile
10:21
Wait tillmpaka you, wait tillmpaka you see my
207
609417
2601
Subiri mpaka, subiri mpaka uone
10:24
Hey! ShakeKuitingisha it down shakeshake it down like
208
612042
2541
Hapo!Chezesha kama vile chezesha kama vile
10:27
Wait tillmpaka you, wait tillmpaka you see my
209
615417
2333
Subiri mpaka, subiri mpaka uone
10:31
If you really know it
and you really wannaNataka showonyesha it
210
619333
2435
Kama kweli unaijua na unataka kweli kuonyesha
10:33
Be the way to go
211
621792
3309
Kuwa namna ya kwenda
10:37
Go and grabkunyakua somebodymtu,
movehoja your bodymwili, showonyesha somebodymtu
212
625125
2601
Nenda na kamata mtu, nyonga mwili wako, muonyeshe mtu
10:39
Be the way to go
213
627750
3934
Kuwa namna ya kwenda
10:43
On this I know,
all this I know, all this I know
214
631708
5000
Kwa hili najua, haya yote najua, haya yote najua
10:49
On this I know,
all this I know, all this I know
215
637708
5643
Kwa hili najua, haya yote najua, haya yote najua
10:55
And now you whineanaaza your waistkiuno
216
643375
2768
Na sasa unazungusha kiuno chako
10:58
And now you screwscrew your faceuso
217
646167
3184
Na sasa unakunja uso wako
11:01
ExaggerateChumvi your waistkiuno
218
649375
2726
Unazungusha kiuno chako
11:04
ResuscitateKunusuru the placemahali
219
652125
3143
Unaamsha sehemu hii
11:07
NaRangi walepaida wakowako fiftyhamsini fiftyhamsini comsicomsi
220
655292
3017
Na wale wako fifty fifty comsi
11:10
NaRangi walepaida wakowako fitiFiti piapia sisisisi
221
658333
2768
Na wale wako fiti pia sisi
11:13
TukoTuko tutu sawasawa mdogomdogo mdogomdogo yaaniyaani
222
661125
2976
Tuko tu sawa mdogo mdogo yaani
11:16
Hallelu-yawaHallelu-yawa tumeivatumeiva designkubuni
223
664125
3018
Hallelu-yawa tumeiva kiaina
11:19
If you really know it,
and you really wannaNataka showonyesha it
224
667167
2559
Kama kweli unajua, na unataka kuonyesha
11:21
Be the way to go
225
669750
3351
Kuwa namna ya kwenda
11:25
Go and grabkunyakua somebodymtu,
movehoja your bodymwili, showonyesha somebodymtu
226
673125
2601
Nenda na kamata mtu, nyonga mwili wako, muonyeshe mtu
11:27
Be the way to go
227
675750
3934
Kuwa namna ya kwenda
11:31
On this I know,
all this I know, all this I know
228
679708
5976
Kwa hili njajua, haya yote najua, haya yote najua
11:37
On this I know,
all this I know, all this I know
229
685708
5185
Kwa hili njajua, haya yote najua, haya yote najua
11:42
IyoWataiteka!
230
690917
2517
Iyo!
11:45
(CheeringCheering)
231
693458
3018
(Watu wanashangilia)
11:48
(ApplauseMakofi)
232
696500
6375
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Muthoni Drummer Queen - Musician
Muthoni Drummer Queen's thought-provoking music fuses traditional African drum patterns with modern styles like hip-hop, reggae and blues.

Why you should listen

Muthoni Drummer Queen is the founder of two festivals in East Africa: Blankets & Wine, a platform for emerging and established "alternative" Kenyan and African artists that has since expanded to franchises in Uganda and Rwanda; and Africa Nouveau, an annual music and arts festival gathering creators, curators and fans of "African cool."

More profile about the speaker
Muthoni Drummer Queen | Speaker | TED.com