ABOUT THE SPEAKER
Malika Whitley - Arts curator, activist
Malika Whitley is an arts curator and activist in Atlanta, Georgia.

Why you should listen

At age 6, Malika Whitley began to experience homelessness with her family, then on her own at 16. During her homelessness, she found the arts as a tool for resistance from fully succumbing to the hardships of youth homelessness. After her experience, Whitley founded ChopArt, which is a multidisciplinary arts organization for homeless middle and high schoolers. Her work has been internationally recognized, as well as highlighted in Atlanta's local media. Most notably, Whitley has been named in Creative Loafing's "20 People to Watch", and ChopArt has been featured in Atlanta Magazine and on WSBTV. To support ChopArt's teens, please consider sponsoring a full year of programming for a homeless teen here.

More profile about the speaker
Malika Whitley | Speaker | TED.com
TED Residency

Malika Whitley: How the arts help homeless youth heal and build

Malika Whitley: Namna gani sanaa huwezesha vijana wasio na makazi kujiponya na kujijenga

Filmed:
1,020,146 views

Malika Whitley ni mwanzilishi wa ChopArt, shirika kwa ajili ya vijana wadogo wasio na makazi ambalo limejikita katika ushauri, heshima na fursa kupitia sanaa. Katika simulizi hili binafsi na lenye hamasa, anashirikisha kisa chake cha kukosa makazi na kupata sauti yake mwenyewe kupitia sanaa -- na wito wake kutoa nafasi ya kibunifu kwa wengine ambao wamesukumizwa pembezoni mwa jamii.
- Arts curator, activist
Malika Whitley is an arts curator and activist in Atlanta, Georgia. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
Don't you love a good napnap?
0
760
1536
Hupendi usingizi mzuri?
00:14
(LaughterKicheko)
1
2320
2216
(Kicheko)
00:16
Just stealingkuiba away
that smallndogo blockkuzuia of time
2
4560
3416
Kuiba kidogo kale kamuda kafupi
00:20
to curlcurl up on your couchkitanda
for that sweettamu momentwakati of escapekutoroka.
3
8000
2800
kujikunja kwenye kochi
kwa muda mfupi mtamu wa kutoroka.
00:23
It's one of my favoritefavorite things,
4
11760
1496
Ni moja ya vitu nivipendavyo,
00:25
but something I tookalichukua for grantedimepewa
5
13280
1576
lakini sikuvitilia maanani
00:26
before I beganilianza experiencinginakabiliwa
homelessnesswasio na makazi as a teenagerkijana.
6
14880
2920
kabla sijaanza kupitia hali ya
ukosefu wa makazi kama kijana.
00:31
The abilityuwezo to take a napnap is only reservedzimehifadhiwa
for stabilityutulivu and surenesssureness,
7
19440
4816
Uwezo wa kusinzia kidogo ni kwa
waliothabiti na wenye uhakika,
00:36
something you can't find
8
24280
1216
kitu usichoweza kupata
00:37
when you're carryingkubeba
everything you ownmwenyewe in your bookkitabu bagmfuko
9
25520
2656
unapokuwa umebeba mali zako zote
kwenye begi lako
00:40
and carefullykwa makini countingkuhesabu the amountkiasi of time
you're allowedruhusiwa to sitkukaa in any givenalipewa placemahali
10
28200
4776
na ukihesabu kwa makini kiasi cha muda
unaoruhusiwa kukaa sehemu yoyote ile
00:45
before beingkuwa askedaliuliza to leaveshika.
11
33000
1600
kabla hujaombwa kuondoka.
00:48
I grewilikua up in AtlantaAtlanta, GeorgiaJojia,
12
36000
2016
Nimekulia Atlanta, Georgia,
00:50
bouncingbouncing from housenyumba to housenyumba
13
38040
1816
nikihamahama nyumba moja hadi nyingine
00:51
with a lovingupendo, close-knitkuunganishwa kwa karibu familyfamilia
14
39880
2296
na familia kipenzi ya karibu sana
00:54
as we struggledwalijitahidi to find stabilityutulivu
15
42200
3336
tulipokuwa tukipambana kupata kutengamaa
00:57
in our financesfedha.
16
45560
1200
kifedha.
01:00
But when my mommama temporarilykwa muda
lostpotea herselfmwenyewe to maniaMania
17
48280
4096
Lakini pale mama alipopata wazimu kidogo
01:04
and when that maniaMania chosealichagua me
as its primarymsingi scapegoatAzazeli
18
52400
2736
na pale wazimu uliponichagua mimi
kuwa msingiziwa namba 1
01:07
throughkupitia bothwote wawili emotionalkihisia and physicalkimwili abuseunyanyasaji,
19
55160
3656
kwa unyanyasaji wa kihisia na kimwili,
01:10
I fledwalikimbia for my safetyusalama.
20
58840
1400
nilikimbia kwa usalama wangu.
01:13
I had come to the conclusionhitimisho
that homelessnesswasio na makazi was safersalama for me
21
61600
3615
Nilfikia hitimisho kuwa
kutokuwa na makazi kulikuwa salama kwangu
01:17
than beingkuwa at home.
22
65239
1201
kuliko kuwa nyumbani.
01:19
I was 16.
23
67240
1200
Nilikuwa na miaka 16.
01:22
DuringWakati my homelessnesswasio na makazi,
I joinedalijiunga Atlanta'sWa Atlanta 3,300 homelesswasio na makazi youthvijana
24
70520
4096
Nilipokuwa asiye na makazi, nilijiunga
na vijana wasio na makazi 3,300 wa Atlanta
01:26
in feelinghisia uncareduncared for,
25
74640
1976
katika kuhisi kutojaliwa,
01:28
left out and invisibleasiyeonekana eachkila mmoja night.
26
76640
2280
kuachwa na kutoonekana kila usiku
01:32
There wasn'thaikuwa and still is not any placemahali
27
80120
2096
Hakukuwa na bado hakuna sehemu yoyote
01:34
for a homelesswasio na makazi minormdogo
to walktembea off the streetbarabara
28
82240
2376
kwa mtoto mdogo asiye na makazi
kutoka nje ya mtaa
01:36
to accessupatikanaji a bedkitanda.
29
84640
1400
na kupata kitanda.
01:39
I realizedgundua that mostwengi people
thought of homelessnesswasio na makazi
30
87400
2416
Nilitambua kuwa wengi
hufikiri kuwa kukosa-makazi
01:41
as some kindaina of lazywavivu, drug-inducedkusiko na madawa ya kulevya
squalormazingira and inconvenienceusumbufu,
31
89840
5256
ni aina ya uzembe, udhalili na usumbufu
utokanao na dawa za kulevya,
01:47
but that didn't representkuwakilisha my bookkitabu bagmfuko
fullkamili of clothesnguo and schoolbooksvitabu vya shule,
32
95120
3696
lakini hilo halikuakisi begi langu
lililojaa nguo na vitabu vya shule,
01:50
or my A+ gradedaraja pointuhakika averagewastani.
33
98840
2720
au wastani wangu wa point wa A+.
01:54
I would sitkukaa on my favoritefavorite benchbenchi downtownjiji
34
102880
2096
Ningekaa kwenye benchi nilipendalo
mtaani
01:57
and watch as the hoursmasaa passedilipita by
35
105000
1816
na kuangalia huku masaa yakienda
01:58
untilmpaka I could sneaktaarifa in
a fewwachache hoursmasaa of sleepusingizi
36
106840
3656
hadi ningepenyeza masaa machache ya kulala
02:02
on couchescouches, in carsmagari,
37
110520
2816
kwenye makochi, kwenye magari,
02:05
in buildingsmajengo or in storagekuhifadhi unitsvitengo.
38
113360
2280
kwenye majengo au sehemu za stoo.
02:08
I, like thousandsmaelfu of other homelesswasio na makazi youthvijana,
disappearedkutoweka into the shadowsvivuli of the cityjiji
39
116840
4616
Mimi, kama maelfu ya vijana wengine waso-
makazi, nilififia katika vivuli vya jiji
02:13
while the wholeyote worldulimwengu keptimehifadhiwa spinninginazunguka
40
121480
2256
wakati dunia nzima ikiendelea kuzunguka
02:15
as if nothing at all
had gonewamekwenda terriblysana wrongsi sawa.
41
123760
2560
kama vile hakuna kitu chochote
kilichokwenda vibaya
02:19
The invisibilitykutoonekana alonepeke yake
almostkaribu completelykabisa brokekuvunja my spiritroho.
42
127400
4200
Kutokuonekana pekee
kulikuwa karibu kunivunja moyo kabisa.
02:25
But when I had nothing elsemwingine,
I had the artssanaa,
43
133320
2800
Lakini nilipokuwa sina kitu kingine,
nilikuwa na sanaa,
02:29
something that didn't demandmahitaji
44
137040
1416
kitu ambacho hakikuhitaji
02:30
materialvifaa wealthutajiri from me
in exchangekubadilishana for refugekimbilio.
45
138480
2520
utajiri wa mali kutoka kwangu
kubadilishana na usalama
02:33
A fewwachache hoursmasaa of singingkuimba, writingkuandika poetrymashairi
46
141960
3976
Masaa machache ya kuimba
na kuandika ushairi
02:37
or savingkuokoa up enoughkutosha moneyfedha
47
145960
1976
au kuweka akiba ya pesa ya kutosha
02:39
to disappearkutoweka into anothermwingine worldulimwengu at a playkucheza
48
147960
2656
kupotelea katika ulimwengu mwingine
katika igizo
02:42
keptimehifadhiwa me going and joltingjolting me back to life
when I feltwalihisi at my lowestchini kabisa.
49
150640
3560
kuliniwezesha kwenda mbele na kunirejesha
kwenye maisha nilipojihisi duni sana.
02:47
I would go to churchkanisa serviceshuduma
on WednesdaySiku ya Jumatano eveningsjioni
50
155520
2776
Nilikwenda kwenye huduma za kanisa
kila Jumatano jioni
02:50
and, desperatetamaa for the reliefmisaada
the artssanaa gavealitoa me,
51
158320
3496
na, nikitamani sana ahueni
ambayo sanaa ilinipa,
02:53
I would go a fewwachache hoursmasaa earlymapema,
52
161840
2216
Nilienda masaa machache mapema,
02:56
slipkuingizwa downstairschini
53
164080
2336
na kushuka chini
02:58
and into a partsehemu of the worldulimwengu
where the only thing that matteredmattered
54
166440
3416
na kuingia sehemu ya ulimwengu
ambayo kitu pekee cha msingi
03:01
was whetherkama or not I could hithit
the right noteKumbuka in the songwimbo
55
169880
2696
kilikuwa ni kama nitapata noti sahihi
kwenye wimbo ama la
03:04
I was perfectingkuwakamilisha that weekwiki.
56
172600
1320
Nilikuwa nikilikamilisha juma lile
03:06
I would singkuimba for hoursmasaa.
57
174560
1720
Ningeimba kwa masaa.
03:09
It gavealitoa me so much strengthnguvu
to give myselfMimi mwenyewe permissionruhusa
58
177240
2936
Ilinipa nguvu nyingi
kujiruhusu
03:12
to just blockkuzuia it all out and singkuimba.
59
180200
3280
kufunguka mzima na kuimba.
03:17
FiveTano yearsmiaka laterbaadae,
I startedilianza my organizationshirika, ChopArtChopArt,
60
185280
3936
Miaka mitano baadaye,
Nilianzisha shirika langu, ChopArt,
03:21
whichambayo is a multidisciplinaryunaojumuisha mambo mbalimbali
artssanaa organizationshirika for homelesswasio na makazi minorswatoto.
61
189240
4120
ambalo ni shirika la sanaa mchanganyiko
la watoto wasio na makazi.
03:26
ChopArtChopArt useshutumia the artssanaa
as a toolchombo for traumakiwewe recoveryUfufuzi
62
194320
4216
ChopArt hutumia sanaa
kama nyenzo ya kupunguza maumivu
03:30
by takingkuchukua what we know
about buildingkujenga communityjumuiya
63
198560
2736
kwa kuchukua tunachojua
juu ya ujenzi wa jamii
03:33
and restoringkurejesha dignityheshima
64
201320
1816
na urejeshaji heshima
03:35
and applyingkutumia that to the creativeubunifu processmchakato.
65
203160
2200
na kutumia hiyo kwa utaratibu wa kibunifu
03:38
ChopArtChopArt is headquarteredmakao yake makuu
in AtlantaAtlanta, GeorgiaJojia,
66
206600
2576
ChopArt ina makao yake makuu
Atlanta, Georgia,
03:41
with additionalziada programsprogramu
in HyderabadCha Hyderabad, IndiaIndia, and AccraAccra, GhanaGhana,
67
209200
3816
pamoja na programu za nyongeza
Hyderabad, India, na Accra, Ghana,
03:45
and sincetangu our startkuanza in 2010,
68
213040
2256
na tangu tuanze mwaka 2010,
03:47
we'vetumekuwa servedaliwahi over 40,000 teensvijana worldwideduniani kote.
69
215320
2480
tumehudumia zaidi ya vijana 40,000
duniani.
03:51
Our teensvijana take refugekimbilio
70
219080
2136
Vijana wetu hupata msaada
03:53
in the transformativemguvu
elementsvipengele of the artssanaa,
71
221240
2400
katika vipengele vya sanaa
vyenye kubadilisha
03:56
and they dependtegemee on the safesalama spacenafasi
ChopArtChopArt provideshutoa for them to do that.
72
224840
3720
na wanategemea nafasi salama ambayo
ChopArt huwapa ili wafanye hivyo.
04:01
An oftenmara nyingi invisibleasiyeonekana populationidadi ya watu
useshutumia the artssanaa to stephatua into theirwao lightmwanga,
73
229360
5736
Jamii ambayo mara nyingi haionekani
hutumia sanaa kupiga hatua kwenye mwanga,
04:07
but that journeysafari out of invisibilitykutoonekana
is not an easyrahisi one.
74
235120
3240
lakini safari hiyo kutoka kutokuonekana
siyo rahisi sana.
04:11
We have a siblingndugu pairjozi, JeremyJeremy and KellyKelly,
75
239720
3256
Tuna ndugu wawili, Jeremy na Kelly,
04:15
who have been with our programprogramu
for over threetatu yearsmiaka.
76
243000
2440
ambao wamekuwa na programu yetu
kwa zaidi ya miaka 3.
04:18
They come to the ChopArtChopArt classesmadarasa
everykila WednesdaySiku ya Jumatano eveningjioni.
77
246520
3480
Huja kwenye vipindi vya ChopArt
kila Jumatano jioni.
04:23
But about a yearmwaka agoiliyopita,
78
251280
1200
Lakini yapata mwaka mmoja nyuma,
04:25
JeremyJeremy and KellyKelly witnessedkushuhudia theirwao mommama
seizekukamata and diekufa right in frontmbele of them.
79
253760
3560
Jeremy na Kelly walishuhudia mama yao
akikakamaa na kufa mbele yao.
04:30
They watchedaliangalia as the paramedicswahudumu wasaidizi wa madaktari
failedimeshindwa to revivekufufua her.
80
258480
2919
Waliangalia huku wanahuduma ya kwanza
wakishindwa kumhuisha.
04:34
They criedkelele as theirwao fatherbaba
81
262560
2176
Walilia pale baba yao
04:36
signediliyosainiwa over temporarymuda mfupi custodyulinzi
to theirwao ChopArtChopArt mentormshauri, ErinErin,
82
264760
3776
alipotia sahihi hati ya usimamizi ya muda
kwa mnasihi wao wa ChopArt, Erin,
04:40
withoutbila even allowingkuruhusu them to take
an extraziada pairjozi of clothesnguo on theirwao way out.
83
268560
3640
bila hata ya kuwaruhusu kuchukua
jozi moja zaidi ya nguo wanapoondoka.
04:45
This seriesmfululizo of eventsmatukio brokekuvunja my heartmoyo,
84
273560
2480
Mfululizo huu wa matukio
ulivunja moyo wangu,
04:49
but JeremyJeremy and Kelly'sYa Kelly faithimani
and resolvetatua in ChopArtChopArt
85
277240
3536
lakini imani na azma ya Jeremy na Kelly
katika ChopArt
04:52
is what keepshuendelea me groundedimara in this work.
86
280800
2240
ndicho kinachonishikilia katika kazi hii
04:56
KellyKelly callingwito ErinErin in her lowestchini kabisa momentwakati,
87
284320
2176
Kelly akimwita Erin awapo chini sana,
04:58
knowingkujua that ErinErin would do
whateverVyovyote she could
88
286520
2336
akijua kuwa Erin atafanya chochote
awezacho
05:00
to make them feel lovedkupendwa and caredkujali for,
89
288880
2976
kuwafanya wajisikie wakipendwa
na wakijaliwa,
05:03
is proofushahidi to me that by usingkutumia
the artssanaa as the entrykuingia pointuhakika,
90
291880
5096
ni ushahidi kwangu kuwa kwa kutumia
sanaa kama pa kuingilia,
05:09
we can healkuponya and buildjenga
our homelesswasio na makazi youthvijana populationidadi ya watu.
91
297000
2720
tunaweza kuponya na kujenga
umati wa vijana wasio na makazi
05:13
And we continueendelea to buildjenga.
92
301240
1400
Na tunaendelea kujenga.
05:15
We buildjenga with DevinDevin,
93
303480
1736
Tunajenga na Devin,
05:17
who becameikawa homelesswasio na makazi with his familyfamilia
94
305240
2176
ambaye amekosa makazi pamoja
na familia yake
05:19
when his mommama had to choosechagua
betweenkati medicalmatibabu billsbili or the rentkukodisha.
95
307440
3680
pale ambapo mama alitakiwa kuchagua kati
ya bili za madawa na kodi ya pango.
05:24
He discoveredaligundua his love
of paintinguchoraji throughkupitia ChopArtChopArt.
96
312000
2640
Aligundua mapenzi yake ya kuchora
kupitia ChopArt.
05:27
We buildjenga with LizLiz,
97
315360
1656
Tunajenga na Liz,
05:29
who has been on the streetsmitaa
mostwengi of her teenagevijana yearsmiaka
98
317040
3176
ambaye amekuwa mtaani
miaka yake mingi ya ujana
05:32
but turnsinageuka to musicmuziki to returnkurudi to herselfmwenyewe
99
320240
3016
lakini ameelekea muziki
kurudi kwa nafsi yake
05:35
when her traumasmajeraha feel too heavynzito
for her youngvijana shouldersmabega.
100
323280
3720
ambapo mateso yake yamekuwa mazito sana
kwa mabega yake machanga.
05:40
We buildjenga for MariaMaria,
101
328240
1976
Tunajenga na Maria,
05:42
who useshutumia poetrymashairi to healkuponya
102
330240
2336
ambaye hutumia ushairi kujiponyesha
05:44
after her grandfatherbabu diedalikufa in the vanvan
103
332600
2496
baada ya babu yake kufa ndani ya gari
05:47
she's livingwanaishi in
with the restpumzika of her familyfamilia.
104
335120
2240
anaishi na familia yake iliyobaki.
05:50
And so to the youthvijana out there
experiencinginakabiliwa homelessnesswasio na makazi,
105
338800
5576
Na kwahiyo kwa vijana nje huko
wanaopitia kukosa makazi,
05:56
let me tell you,
106
344400
1200
wacha niwaambie,
05:58
you have the powernguvu to buildjenga withinndani you.
107
346760
2160
mna uwezo wa kujenga ndani yenu.
06:02
You have a voicesauti throughkupitia the artssanaa
108
350040
1616
Mna sauti kupitia sanaa
06:03
that doesn't judgehakimu
what you've been throughkupitia.
109
351680
2816
ambayo haihukumu
umepitia mambo gani.
06:06
So never stop fightingmapigano
to standsimama in your lightmwanga
110
354520
2456
Hivyo usiache kupambana
kusimama kwenye mwanga wako
06:09
because even in your darkestdarkest timesnyakati,
111
357000
3336
sababu hata kwenye wakati wako
wa kiza kinene,
06:12
we see you.
112
360360
1200
tunakuona.
06:14
Thank you.
113
362120
1216
Asanteni.
06:15
(ApplauseMakofi)
114
363360
3240
(Makofi)
Translated by Clarence Bitegeko
Reviewed by Samuel Njenga

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Malika Whitley - Arts curator, activist
Malika Whitley is an arts curator and activist in Atlanta, Georgia.

Why you should listen

At age 6, Malika Whitley began to experience homelessness with her family, then on her own at 16. During her homelessness, she found the arts as a tool for resistance from fully succumbing to the hardships of youth homelessness. After her experience, Whitley founded ChopArt, which is a multidisciplinary arts organization for homeless middle and high schoolers. Her work has been internationally recognized, as well as highlighted in Atlanta's local media. Most notably, Whitley has been named in Creative Loafing's "20 People to Watch", and ChopArt has been featured in Atlanta Magazine and on WSBTV. To support ChopArt's teens, please consider sponsoring a full year of programming for a homeless teen here.

More profile about the speaker
Malika Whitley | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee