ABOUT THE SPEAKER
Jack Andraka - Cancer detector inventor
A paper on carbon nanotubes, a biology lecture on antibodies and a flash of insight led 15-year-old Jack Andraka to design a cheaper, more sensitive cancer detector.

Why you should listen

After Andraka’s proposal to build and test his idea for a pancreatic cancer detector was rejected from 199 labs, the teen landed at Johns Hopkins. There, he built his device using inexpensive strips of filter paper, carbon nanotubes and antibodies sensitive to mesothelin, a protein found in high levels in people with pancreatic cancer. When dipped in blood or urine, the mesothelin adheres to these antibodies and is detectable by predictable changes in the nanotubes’ electrical conductivity.

In preliminary tests, Andraka’s invention has shown 100 percent accuracy. It also finds cancers earlier than current methods, costs a mere 3 cents and earned the high schooler the 2012 Intel Science Fair grand prize.

More profile about the speaker
Jack Andraka | Speaker | TED.com
TED2013

Jack Andraka: A promising test for pancreatic cancer ... from a teenager

Jack Andraka: Jack Andraka: Kipimo kinachotia matumaini cha kansa ya kongosho kutoka kwa kijana mdogo.

Filmed:
4,827,010 views

Zaidi ya asilimia 85 ya kansa zote za kongosho zinagundulika kwa kuchelewa sana wakati nafasi ya kupona iko chini ya asilimia 2. Kwa nini iko hivi? Jack Andraka anaongelea jinsi alivyovumbua kipimo kinachotia matumaini cha kugundua kansa ya kongosho ambacho ni rahisi mno,kinafanya kazi kwa usahihi na hakihitaji kuingia katika mwili -- yote hayo kabla hata ya kutimiza miaka 16 ya kuzaliwa.
- Cancer detector inventor
A paper on carbon nanotubes, a biology lecture on antibodies and a flash of insight led 15-year-old Jack Andraka to design a cheaper, more sensitive cancer detector. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
Have you ever experienceduzoefu a momentwakati in your life
0
726
3709
Je umeshawahi kukutana na wakati maishani
00:16
that was so painfulchungu and confusingkuchanganya
1
4435
3506
ambao ulikuwa ni wa huzuni sana
00:19
that all you wanted to do
2
7941
2039
kiasi kitu pekee ulichotaka
00:21
was learnkujifunza as much as you could to make sensehisia of it all?
3
9980
3770
kufanya ni kujifunza zaidi na zaidi ili kuelewa hali hiyo?
00:25
When I was 13, a closekaribu familyfamilia friendrafiki
4
13750
2950
Nilipokuwa na miaka 13, rafiki wa karibu wa familia
00:28
who was like an unclemjomba to me
5
16700
1722
ambaye alikuwa kama mjomba kwangu
00:30
passedilipita away from pancreaticpancreatic cancerkansa.
6
18422
2765
alifariki kwa kansa ya kongosho.
00:33
When the diseaseugonjwa hithit so closekaribu to home,
7
21187
2331
Wakati ugonjwa ulipokumba karibu sana na nyumbani,
00:35
I knewalijua I neededinahitajika to learnkujifunza more,
8
23518
2106
Nilitambua nahitaji kujifunza zaidi,
00:37
so I wentakaenda onlineonline to find answersmajibu.
9
25624
2846
nikaingia mtandaoni kutafuta majibu.
00:40
UsingKutumia the InternetTovuti, I foundkupatikana a varietytofauti of statisticstakwimu
10
28470
3090
kwa kutumia mtandao, nikapata takwimu mbalimbali
00:43
on pancreaticpancreatic cancerkansa,
11
31560
1678
kuhusu kansa ya kongosho,
00:45
and what I had foundkupatikana shockedalishtuka me.
12
33238
2648
na kilichonishtusha.
00:47
Over 85 percentasilimia of all pancreaticpancreatic cancerskansa
13
35886
3832
zaidi ya asilimia 85 ya kansa zote za kongosho
00:51
are diagnosedkukutwa latekuchelewa,
14
39718
1576
zinagundulika kwa kuchelewa sana,
00:53
when someonemtu has lesschini than a two percentasilimia chancenafasi of survivalkuishi.
15
41294
4326
wakati mtu ana chini ya asilimia ya kuishi.
00:57
Why are we so badmbaya at detectingkugundua pancreaticpancreatic cancerkansa?
16
45620
3948
kwa nini hatufanyi vizuri kugundua kansa ya kongosho?
01:01
The reasonsababu? Today'sYa leo currentsasa modernkisasa medicinedawa
17
49568
3585
Sababu?mfumo wetu wa utabibu na dawa
01:05
is a 60-year-oldmwenye umri wa miaka techniquembinu.
18
53153
2255
una umri wa miaka karibu 60 sasa.
01:07
That's olderwakubwa than my dadbaba.
19
55408
2505
Umri huo ni mkubwa kuliko wa baba yangu
01:09
(LaughterKicheko)
20
57913
3546
(vicheko)
01:13
But alsopia, it's extremelysana expensiveghali,
21
61459
2443
lakini pia, ni wa gharama kubwa sana,
01:15
costinggharama 800 dollarsdola perkwa kila testmtihani,
22
63902
3253
unagharimu dola za kimarekani 800 kwa kipimo,
01:19
and it's grosslykwa kiasi kikubwa inaccuratesi sahihi,
23
67155
2752
lakini pia vipimo havina uhakika,
01:21
missinghaipo 30 percentasilimia of all pancreaticpancreatic cancerskansa.
24
69907
3417
na kushindwa kugundua asilimia 30 ya kansa zote za kongosho
01:25
Your doctordaktari would have to be ridiculouslyridiculously suspicioustuhuma
25
73324
2922
Daktari wako itabidi awe ni mdadisi wa ajabu sana
01:28
that you have the cancerkansa in orderamri to give you this testmtihani.
26
76246
3485
kuamua kukuandikia kipimo hiki.
01:31
LearningKujifunza this, I knewalijua there had to be a better way.
27
79731
3745
nilipojua hili, nikajua lazima iwepo njia bora zaidi.
01:35
So I setkuweka up a scientifickisayansi criteriavigezo
28
83476
2501
kwa nikaweka kigezo
01:37
as to what a sensorsensor would have to look like
29
85977
1986
cha kipimo kinavyotakiwa kuwa
01:39
in orderamri to effectivelykwa ufanisi diagnosetambua pancreaticpancreatic cancerkansa.
30
87963
3417
ili kugundua vizuri kansa ya kongosho.
01:43
The sensorsensor would have to be inexpensivegharama nafuu, rapidharaka,
31
91380
3736
Kipimo kinahitajika kuwa cha gharama nafuu, haraka,
01:47
simplerahisi, sensitivenyeti, selectivekuchagua,
32
95116
3551
rahisi,kinachogundua haraka,
01:50
and minimallychini invasivevamizi.
33
98667
3281
na kisichohitaji kuingia kwa sehemu kubwa mwilini.
01:53
Now, there's a reasonsababu why this testmtihani
34
101948
2031
Kuna sababu kwa nini kipimo hiki hakijabadilishwa
01:55
hasn'thaifai been updatedupdated in over sixsita decadesmiongo,
35
103979
3129
kwa karibia miaka sitini,
01:59
and that's because, when we're looking for pancreaticpancreatic cancerkansa,
36
107108
3183
kwa sababu,tunapoangalia kansa ya kongosho,
02:02
we're looking at your bloodstreammfumo wa damu,
37
110291
1594
tunaangalia mzunguko wako wa damu
02:03
whichambayo is alreadytayari abundantwingi in all these tonstani and tonstani of proteinprotini,
38
111885
4849
ambao tayari umejaa tani nyingi za protini,
02:08
and you're looking for this minisculeminiscule differencetofauti
39
116734
2135
na unatafuta chembe tofauti ndogo sana
02:10
in this tinyvidogo amountkiasi of proteinprotini,
40
118869
1831
katika protini ndogo sana,
02:12
just this one proteinprotini.
41
120700
1286
protini hii moja tu.
02:13
That's nextijayo to impossiblehaiwezekani.
42
121986
1926
jambo hili ni gumu sana
02:15
HoweverHata hivyo, undeterredhili bila kuzuiwa duekutokana to my teenagevijana optimismmatumaini --
43
123912
3574
lakini, bila kukatishwa tamaa kutokana na shauku ya ujana
02:19
(ApplauseMakofi) —
44
127486
5576
(makofi)
02:25
I wentakaenda onlineonline to a teenager'sya kijana two bestbora friendsmarafiki,
45
133062
3798
nikaenda mtandaoni kwa marafiki wawili sana wa kijana
02:28
GoogleGoogle and WikipediaWikipedia.
46
136860
1704
Google na Wikipedia
02:30
I got everything for my homeworkkazi ya nyumbani from those two sourcesvyanzo.
47
138564
4218
Nilipata kila kitu kutoka vyanzo hivyo viwili,
02:34
And what I had foundkupatikana was an articlemakala
48
142782
2548
nilichokipata ilikuwa ni chapisho
02:37
that listedwaliotajwa a databasedatabase of over 8,000 differenttofauti proteinsprotini
49
145330
3794
ambalo lilionyesha taarifa za protini 8000 tofauti
02:41
that are foundkupatikana when you have pancreaticpancreatic cancerkansa.
50
149124
2487
ambazo zinaonekana ukiwa na kansa ya kongosho.
02:43
So I decidedaliamua to go and make it my newmpya missionujumbe
51
151611
3644
kwa hiyo nikaamua hii iwe kazi yangu mpya
02:47
to go throughkupitia all these proteinsprotini and see whichambayo oneswale
52
155255
2893
kupitia protini zote hizi na kuona zipi
02:50
could servetumikia as a biomarkerbiomarker for pancreaticpancreatic cancerkansa.
53
158148
2523
zinaweza kuwa kitambulishi cha kansa ya kongosho.
02:52
And to make it a bitkidogo simplerrahisi for myselfMimi mwenyewe,
54
160671
2438
na kunirahisishia mambo,
02:55
I decidedaliamua to mapramani out a scientifickisayansi criteriavigezo. And here it is.
55
163109
4248
nikachagua kigezo, na ni hiki.
02:59
EssentiallyKimsingi first, the proteinprotini would have to be foundkupatikana
56
167357
2432
Kwanza, protini lazima ionekane
03:01
in all pancreaticpancreatic cancerskansa at highjuu levelsviwango in the bloodstreammfumo wa damu
57
169789
3175
katika kansa zote za kongosho kwa kiasi kikubwa,katika damu
03:04
in the earliestmwanzo stageshatua, but alsopia only in cancerkansa.
58
172964
4373
katika hatua za mwanzoni.
03:09
And so I'm just pluggingkujitupa and chuggingchugging throughkupitia this gargantuangargantuan taskkazi,
59
177337
2990
Kwa hiyo nikawa nafanya majaribio katika kazi hii ngumu,
03:12
and finallyhatimaye, on the 4,000tht try,
60
180327
3322
na mwishowe, katika jaribio la 4000,
03:15
when I'm closekaribu to losingkupoteza my sanityusafi,
61
183649
1779
wakati nakaribia kuwa kichaa,
03:17
I find the proteinprotini.
62
185428
1890
nikaipata hiyo protini.
03:19
And the namejina of the proteinprotini I'd locatediko
63
187318
2669
jina la protini niliyoiona
03:21
was calledaitwaye mesothelinmesothelin,
64
189987
1392
linaitwa mesothelin,
03:23
and it's just your ordinarykawaida, run-of-the-millchapisho muundo ambao typeaina proteinprotini,
65
191379
2730
na ni protini ya kawaida tu,
03:26
unlessisipokuwa of coursebila shaka you have pancreaticpancreatic,
66
194109
1708
ikiwa tu hauna kansa ya kongosho
03:27
ovarianovari or lungmapafu cancerkansa,
67
195817
1729
ya kizazi au ya mapafu,
03:29
in whichambayo casekesi it's foundkupatikana at these very highjuu levelsviwango in your bloodstreammfumo wa damu.
68
197546
3025
ikiwa unazo,protini hii inakua nyingi sana katika damu
03:32
But alsopia the keyufunguo is
69
200571
1808
lakini pia muhimu ni
03:34
that it's foundkupatikana in the earliestmwanzo stageshatua of the diseaseugonjwa,
70
202379
2956
kwamba inapatikana katika hatua za mwanzo kabisa za ugonjwa,
03:37
when someonemtu has closekaribu to 100 percentasilimia chancenafasi
71
205335
2203
wakati mtu ana nafasi ya asilimia 100
03:39
of survivalkuishi.
72
207538
1274
ya kupona kabisa.
03:40
So now that I'd foundkupatikana a reliablekuaminika proteinprotini I could detectkuchunguza,
73
208812
3661
baada ya kupata protini ya uhakika,kuigundua
03:44
I then shiftedkubadilishwa my focustazama to actuallykwa kweli detectingkugundua that proteinprotini,
74
212473
2773
nikabadilisha mwelekeo kwenda katika kuigundua sasa,
03:47
and, thushivyo, pancreaticpancreatic cancerkansa.
75
215246
2454
na hivyo, kugundua pia kansa ya kongosho.
03:49
Now, my breakthroughmafanikio camealikuja in a very unlikelyuwezekano placemahali,
76
217700
3369
mafanikio yangu yalipatina mahali pasipotarajiwa kabisa,
03:53
possiblylabda the mostwengi unlikelyuwezekano placemahali for innovationinnovation:
77
221069
2641
labda sehemu isiyotegemewa kwa uvumbuzi kabisa:
03:55
my highjuu schoolshule biologybiolojia classdarasa,
78
223710
2224
katika darasa langu la biolojia la sekondari,
03:57
the absolutekabisa stiflerstifler of innovationinnovation.
79
225934
2521
mahali ambapo ubunifu unazuiwa kabisa.
04:00
(LaughterKicheko) (ApplauseMakofi)
80
228455
4924
(vicheko)(makofi)
04:05
And I had snucksnuck in this articlemakala on these things calledaitwaye
81
233379
3181
na nilifanikiwa kuliona andiko kuhusu vitu vinaitwa
04:08
carbonkaboni nanotubesnanotubes, and that's just a long, thinnyembamba pipebomba of carbonkaboni
82
236560
3598
tyubu ndogo sana za kaboni.
04:12
that's an atomatomi thicknene
83
240158
1254
ambazo upana wake ni kama wa atom
04:13
and one 50 thousandththousandth the diameterkipenyo of your hairnywele.
84
241412
2695
na kipenyo chake moja ya hamsini ya kipenyo cha nywele yako.
04:16
And despitelicha ya theirwao extremelysana smallndogo sizesukubwa,
85
244107
2390
pamoja na udogo huu
04:18
they have these incredibleajabu propertiesmali.
86
246497
1834
zina tabia za ajabu sana.
04:20
They're kindaina of like the superheroessuperheroes of materialvifaa sciencesayansi.
87
248331
2591
ni kama mashujaa wa sayansi ya maada.
04:22
And while I was sneakilysneakily readingkusoma this articlemakala
88
250922
2185
wakati nasoma chapisho
04:25
underchini my deskdawati in my biologybiolojia classdarasa,
89
253107
2095
chini ya dawati katika darasa la elimu ya viumbe,
04:27
we were supposedwalidhani to be payingkulipa attentiontazama
90
255202
1599
tulitakiwa tuwe makini
04:28
to these other kindaina of coolbaridi moleculesmolekuli calledaitwaye antibodiesantibodi.
91
256801
3709
katika molekyuli ziitwazo antibodi
04:32
And these are prettynzuri coolbaridi because they only reactkuitikia
92
260510
2101
na hizi zimetulia sana kwa kuwa zinaweza ungana tu
04:34
with one specificz zara proteinprotini,
93
262611
1783
na protini moja,
04:36
but they're not nearlykaribu as interestingkuvutia as carbonkaboni nanotubesnanotubes.
94
264394
2600
lakini sio za kupendeza kama tyubu ndogo za kaboni
04:38
And so then, I was sittingameketi in classdarasa,
95
266994
3107
kwa hiyo nilikuwa darasani,
04:42
and suddenlyghafla it hithit me:
96
270101
2538
na ghafla nikatambua:
04:44
I could combinekuchanganya what I was readingkusoma about,
97
272639
2651
Kwamba naweza kuunganisha nilichokuwa nasoma,
04:47
carbonkaboni nanotubesnanotubes,
98
275290
1449
tyubu ndogo za kaboni,
04:48
with what I was supposedwalidhani to be thinkingkufikiri about, antibodiesantibodi.
99
276739
2936
na kile nilichotakiwa kuwaza, antibodi.
04:51
EssentiallyKimsingi, I could weaveweave a bunchkikundi of these antibodiesantibodi
100
279675
2765
naweza nikazungusha antibodi hizi
04:54
into a networkmtandao of carbonkaboni nanotubesnanotubes
101
282440
1988
katika mkusanyiko wa tyubu ndogo za kaboni
04:56
suchvile that you have a networkmtandao
102
284428
1593
kiasi kwamba unakuwa na mkusanyiko
04:58
that only reactsAnashtuka with one proteinprotini,
103
286021
2430
ambao unaungana na protini moja
05:00
but alsopia, duekutokana to the propertiesmali of these nanotubesnanotubes,
104
288451
3320
lakini,pia kutokana na tabia za tyubu ndogo za kaboni,
05:03
it would changemabadiliko its electricalumeme propertiesmali
105
291771
1952
itabadilisha tabia zake za kiumeme
05:05
basedmsingi on the amountkiasi of proteinprotini presentsasa.
106
293723
2508
kulingana na kiasi cha protini kilichopo
05:08
HoweverHata hivyo, there's a catchcatch.
107
296231
2083
lakini kuna jambo la kuzingatia.
05:10
These networksmitandao of carbonkaboni nanotubesnanotubes are extremelysana flimsyhuu wa msimu,
108
298314
3400
muunganiko huu wa tybu ndogo za kaboni ni laini sana
05:13
and sincetangu they're so delicatemaridadi, they need to be supportedimesaidiwa.
109
301714
3489
kwa kuwa ni laini sana,zinahitaji kutegemezwa
05:17
So that's why I chosealichagua to use paperkaratasi.
110
305203
2016
ndio maana nikachagua karatasi.
05:19
MakingKufanya a cancerkansa sensorsensor out of paperkaratasi
111
307219
2294
Kutengeneza kipimo cha kansa kwa karatasi
05:21
is about as simplerahisi as makingkufanya chocolatechokoleti chipChip cookiesvidakuzi,
112
309513
2368
ni rahisi kama kutengeneza biskuti za chokleti
05:23
whichambayo I love.
113
311881
3549
ambazo nazipenda
05:27
You startkuanza with some watermaji, pourpiga in some nanotubesnanotubes,
114
315430
3345
unaanza na maji,unamimina nanotubes,
05:30
addongeza antibodiesantibodi, mixchanganya it up,
115
318775
2414
ongeza antibodies, changanya,
05:33
take some paperkaratasi, dipkuzamisha it, drykavu it,
116
321189
2368
chukua karatasi,chovya,ikaushe,
05:35
and you can detectkuchunguza cancerkansa.
117
323557
3432
na unaweza ukagundua kansa.
05:38
(ApplauseMakofi)
118
326989
6507
(makofi)
05:45
Then, suddenlyghafla, a thought occurredilitokea
119
333496
3234
ghafla, wazo likanijia,
05:48
that kindaina of put a blemishdosari on my amazingajabu planMpango here.
120
336730
4346
lililoweka doa katika mpango wangu wa ajabu.
05:53
I can't really do cancerkansa researchutafiti
121
341076
1855
siwezi nikafanya utafiti wa kansa
05:54
on my kitchenjikoni countertopcountertop.
122
342931
1242
katika jiko langu.
05:56
My mommama wouldn'thakutaka really like that.
123
344173
2143
mama yangu hatapenda kitu hicho.
05:58
So insteadbadala yake, I decidedaliamua to go for a labmaabara.
124
346316
3250
kwa hiyo, nikaamua kwenda maabara.
06:01
So I typedimewekwa up a budgetbajeti, a materialsvifaa listorodha,
125
349566
2404
nikaandika bajeti, orodha ya vifaa,
06:03
a timelinemfululizo, and a procedureutaratibu,
126
351970
2227
ratiba na taratibu zitakazotumika,
06:06
and I emailedbarua pepe it to 200 differenttofauti professorsprofesa
127
354197
2519
nikatuma kama barua pepe kwa maprofesa 200 tofauti
06:08
at JohnsJohns HopkinsHopkins UniversityChuo Kikuu cha
128
356716
1689
katika chuo cha Johns Hopkins
06:10
and the NationalTaifa InstitutesVyuo of HealthAfya,
129
358405
1704
na katika taasisi ya afya ya taifa,
06:12
essentiallykimsingi anyoneyeyote that had anything to do with pancreaticpancreatic cancerkansa.
130
360109
3176
kimsingi yoyote ambaye alikuwa na chochote kuhusu kansa ya kongosho.
06:15
And I satameketi back waitingkusubiri for these positivechanya emailsbarua pepe to be pouringkumtia in,
131
363285
2949
nikakaa nikisubiri majibu mazuri kuingia,
06:18
sayingkusema, "You're a geniusfikra!
132
366234
1517
yakisema, "wewe una kipaji cha ajabu!
06:19
You're going to savesalama us all!"
133
367751
1582
unaenda kutusaidia sisi wote!"
06:21
And — (LaughterKicheko)
134
369333
4289
na - (vicheko)
06:25
Then realityukweli tookalichukua holdkushikilia,
135
373622
1321
baadae ukweli ukaanza kuonekana,
06:26
and over the coursebila shaka of a monthmwezi,
136
374943
2414
na ndani ya mwezi mmoja,
06:29
I got 199 rejectionsrejections out of those 200 emailsbarua pepe.
137
377357
4575
nikapata majibu ya kukataa 199 kati ya barua pepe zile 200.
06:33
One professorprofesa even wentakaenda throughkupitia my entirenzima procedureutaratibu,
138
381932
2460
profesa mmoja akapitia mpango wangu wote
06:36
painstakinglypainstakingly -- I'm not really sure where he got all this time --
139
384392
2973
sijui alipata wapi muda wote huu --
06:39
and he wentakaenda throughkupitia and said why eachkila mmoja and everykila stephatua
140
387365
3984
na akaanza kusema kwa nini kila hatua
06:43
was like the worstmbaya zaidi mistakekosa I could ever make.
141
391349
2871
ni kosa kubwa sana.
06:46
ClearlyWazi, the professorsprofesa did not have as highjuu
142
394220
2637
wazi wazi kabisa kila profesa hakuwa na maono makubwa
06:48
of an opinionmaoni of my work as I did.
143
396857
3122
kuhusu kazi yangu kama nilivyokuwa mimi.
06:51
HoweverHata hivyo, there was a silverfedha liningkitambaa.
144
399979
2142
lakini, kulikuwa bado na tumaini.
06:54
One professorprofesa said, "Maybe I mightnguvu be ableinaweza to help you, kidmtoto."
145
402121
3011
profesa mmoja, "labda naweza kukusaidia kijana."
06:57
So I wentakaenda in that directionmwelekeo.
146
405132
2488
kwa hiyo nikaenda katika mwelekeo huo.
06:59
(LaughterKicheko)
147
407620
3897
(vicheko)
07:03
As you can never say no to a kidmtoto.
148
411517
2664
kwa kuwa hauwezi kumkatalia mtoto.
07:06
And so then, threetatu monthsmiezi laterbaadae,
149
414181
2480
kwa hiyo miezi mitatu baadae,
07:08
I finallyhatimaye nailedalibatizwa down a harshngumu deadlinetarehe ya mwisho with this guy,
150
416661
2876
nilifanikiwa kupanga kukutana na mtu huyu,
07:11
and I get into his labmaabara,
151
419537
1364
nikaingia katika maabara yake,
07:12
I get all excitedmsisimko, and then I sitkukaa down,
152
420901
2319
nikawa na shauku kubwa, halafu nikakaa chini
07:15
I startkuanza openingkufungua my mouthkinywa and talkingkuzungumza,
153
423220
1747
nikaanza kuongea,
07:16
and fivetano secondssekunde laterbaadae he callswito in anothermwingine PhPH.D.
154
424967
2633
sekunde tano baadaye akamwita Daktari wa fasafa
07:19
PhPH.D.'ss just flockkundi into this little roomchumba,
155
427600
3717
madaktari wa falsafa wakajaa katika chumba hiki kidogo,
07:23
and they're just firingkurusha these questionsmaswali at me,
156
431317
2215
wakawa wananiuliza maswali,
07:25
and by the endmwisho, I kindaina of feltwalihisi like I was in a clownclown cargari.
157
433532
2482
na mwishowe,nikahisi kama nilikuwa katika gari lililojaa watu wengi mno
07:28
There were 20 PhPH.D.'ss pluspamoja me and the professorprofesa
158
436014
1951
Kulikuwa na madaktari wa falsafa 20, mimi na huyu Profesa
07:29
crammedilipigwa into this tinyvidogo officeofisi spacenafasi
159
437965
2287
tumejazana katika ofisi ndogo
07:32
with them firingkurusha these rapid-fireharaka-moto questionsmaswali at me,
160
440252
3071
wakinirushia maswali ya haraka haraka
07:35
tryingkujaribu to sinkshika my procedureutaratibu.
161
443323
2338
wakijaribu kuzamisha mpango wangu.
07:37
How unlikelyuwezekano is that? I mean, pshhhpshhh.
162
445661
2469
Jinsi gani jambo hili lilivyokuwa gumu?
07:40
(LaughterKicheko)
163
448130
4348
(vicheko)
07:44
HoweverHata hivyo, subjectingkuwaingiza myselfMimi mwenyewe to that interrogationmahojiano,
164
452478
2724
bila kujali kuhojiwa kote kule,
07:47
I answeredakajibu all of theirwao questionsmaswali,
165
455202
1458
nilijibu maswali yao yote,
07:48
and I guessedNadhani on quitekabisa a fewwachache but I got them right,
166
456660
2158
nilibahatisha katika baadhi ya maswali lakini nilikuwa sahihi,
07:50
and I finallyhatimaye landedilipanda the labmaabara spacenafasi I neededinahitajika.
167
458818
4552
mwishowe nikafanikiwa kupata nafasi ya maabara niliyoihitaji.
07:55
But it was shortlymuda mfupi afterwardsbaadaye that I discoveredaligundua
168
463370
2193
muda mfupi baadae ndipo nikagundua
07:57
my oncemara moja brilliantkipaji procedureutaratibu
169
465563
1999
mpango wango mahiri
07:59
had something like a millionmilioni holesmashimo in it,
170
467562
2027
kuwa na makosa karibia milioni moja,
08:01
and over the coursebila shaka of sevensaba monthsmiezi,
171
469589
1581
na ndani ya miezi saba,
08:03
I painstakinglypainstakingly filledkujazwa eachkila mmoja and everykila one of those holesmashimo.
172
471170
3456
nikaanza kazi nzito ya kusahihisha makosa haya yote moja baada ya jingine.
08:06
The resultmatokeo? One smallndogo paperkaratasi sensorsensor
173
474626
3050
Matokeo yake? kipimo cha karatasi
08:09
that costsgharama threetatu centssenti and takes fivetano minutesdakika to runkukimbia.
174
477676
3150
kikigharimu senti tatu za dola kikichukua dakika tano.
08:12
This makeshufanya it 168 timesnyakati fasterharaka,
175
480826
3585
hii inakifanya kiwe mara 168 haraka zaidi,
08:16
over 26,000 timesnyakati lesschini expensiveghali,
176
484411
2827
kikiwa na gharama ya chini ya mara 26,000
08:19
and over 400 timesnyakati more sensitivenyeti
177
487238
2659
na kikiwa cha uhakika kwa zaidi ya mara 400
08:21
than our currentsasa standardkiwango for pancreaticpancreatic cancerkansa detectionkutambua.
178
489897
3010
kushinda kipimo cha sasa cha kansa ya kongosho
08:24
(ApplauseMakofi)
179
492907
9558
(makofi)
08:34
One of the bestbora partssehemu of the sensorsensor, thoughingawa,
180
502465
2395
moja kati ya vitu muhimu kuhusu kipimo hiki,
08:36
is that it has closekaribu to 100 percentasilimia accuracyusahihi,
181
504860
2597
ni kuwa kinatoa majibu sahihi kwa karibia asilimia 100,
08:39
and can detectkuchunguza the cancerkansa in the earliestmwanzo stageshatua
182
507457
2362
na kinagundua kansa katika hatua za mwanzo kabisa
08:41
when someonemtu has closekaribu to 100 percentasilimia chancenafasi of survivalkuishi.
183
509819
3393
wakati mtu ana nafasi ya asilimia 100 ya kupona.
08:45
And so in the nextijayo two to fivetano yearsmiaka,
184
513212
2264
kwa hiyo ndani ya miaka miwili mpaka mitano ijayo,
08:47
this sensorsensor could potentiallyuwezekano liftkuinua for pancreaticpancreatic cancerkansa survivalkuishi ratesviwango
185
515476
3265
kipimo hiki kinaweza kikaongeza watu kupona kansa ya kongosho
08:50
from a dismalmabaya 5.5 percentasilimia
186
518741
2135
kutoka asilimia 5.5
08:52
to closekaribu to 100 percentasilimia,
187
520876
2096
mpaka karibu na asilimia 100,
08:54
and it would do similarsawa for ovarianovari and lungmapafu cancerkansa.
188
522972
2891
na pia itafanya hivyo hivyo kwa kansa ya kizazi na ya mapafu.
08:57
But it wouldn'thakutaka stop there.
189
525863
2342
lakini haitaishia hapo tu.
09:00
By switchingkugeuka out that antibodyantibody,
190
528205
1695
Kwa kuifunga hiyo antibodi,
09:01
you can look at a differenttofauti proteinprotini,
191
529900
1619
unaweza ukaangalia protini mbalimbali,
09:03
thushivyo, a differenttofauti diseaseugonjwa,
192
531519
1606
kwa hiyo pia magonjwa mbalimbali,
09:05
potentiallyuwezekano any diseaseugonjwa in the entirenzima worldulimwengu.
193
533125
3705
lakini uwezo huu ni kwa ugonjwa wowote duniani
09:08
So that rangesMasafa from heartmoyo diseaseugonjwa
194
536830
1841
kutoka ugonjwa wa moyo
09:10
to malariamalaria, HIVVVU, AIDSUKIMWI,
195
538671
2733
mpaka Malaria,HIV,AIDS,
09:13
as well as other formsfomu of cancerkansa -- anything.
196
541404
2729
pia ni aina nyingine za kansa-- ugonjwa wowote ule.
09:16
And so hopefullykwa matumaini one day
197
544133
2191
Kwa hiyo, tumaini ni kuwa siku moja
09:18
we can all have that one extraziada unclemjomba,
198
546324
2416
wote tunaweza tukawa na yule mjomba wa ziada,
09:20
that one mothermama, that one brotherndugu, sisterdada,
199
548740
3084
yule mama,yule kaka,dada,
09:23
we can have that one more familyfamilia membermwanachama to love,
200
551824
3026
tunaweza kuwa na ndugu wa kumpenda,
09:26
and that our heartsmioyo will be ridOndoa of that one diseaseugonjwa burdenmzigo
201
554850
4856
na mioyo yetu itapunguziwa mzigo wa ugonjwa mmoja
09:31
that comesinakuja from pancreaticpancreatic, ovarianovari and lungmapafu cancerkansa,
202
559706
2861
utokanao na kansa ya kongosho,kizazi na mapafu,
09:34
and potentiallyuwezekano any diseaseugonjwa,
203
562567
2305
au ugonjwa wowote mwingine,
09:36
that throughkupitia the InternetTovuti anything is possibleinawezekana.
204
564872
2398
na kupitia mtandao mengi yanawezekana.
09:39
TheoriesNadharia can be sharedimeshirikiwa,
205
567270
1678
tunaweza kushirikishana nadharia,
09:40
and you don't have to be a professorprofesa
206
568948
1452
na sio lazima uwe profesa
09:42
with multiplenyingi degreesdigrii to have your ideasmawazo valuedthamani.
207
570400
2660
na shahada nyingi ili mawazo yako yathaminike.
09:45
It's a neutralneutral spacenafasi,
208
573060
1402
ni eneo lililo wazi kwa mtu yeyote
09:46
where what you look like, ageumri or genderjinsia,
209
574462
2860
ambapo mwonekano,umri wako au jinsia,
09:49
it doesn't matterjambo.
210
577322
1174
haijalishi.
09:50
It's just your ideasmawazo that counthesabu.
211
578496
2202
ni mawazo yako tu ndiyo yanayojalisha.
09:52
For me, it's all about looking at the InternetTovuti
212
580698
2953
Kwangu mimi,ni suala la kuangalia mtandao wa intaneti
09:55
in an entirelykabisa newmpya way
213
583651
2088
kwa mtazamo mpya kabisa
09:57
to realizekutambua that there's so much more to it
214
585739
2119
ili kujua kuna mengi sana ndani yake
09:59
than just postingkutuma duck-facebata-uso picturespicha of yourselfwewe mwenyewe onlineonline.
215
587858
4897
badala ya kuweka picha zako tu mtandaoni.
10:04
You could be changingkubadilisha the worldulimwengu.
216
592755
3257
unaweza ukaibadilisha dunia.
10:08
So if a 15-year-oldmwenye umri wa miaka
217
596012
2033
kwa hiyo kama kijana wa miaka 15
10:10
who didn't even know what a pancreaskongosho was
218
598045
3087
ambaye alikuwa hajui hata kongosho ni nini
10:13
could find a newmpya way to detectkuchunguza pancreaticpancreatic cancerkansa,
219
601132
3574
anaweza akavumbua njia mpya ya kugundua kansa ya kongosho.
10:16
just imaginefikiria what you could do.
220
604706
2491
jaribu kufikiri unaweza ukafanya mangapi.
10:19
Thank you.
221
607197
1332
Asante sana
10:20
(ApplauseMakofi)
222
608529
5708
(makofi)
Translated by Joachim Mangilima
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Jack Andraka - Cancer detector inventor
A paper on carbon nanotubes, a biology lecture on antibodies and a flash of insight led 15-year-old Jack Andraka to design a cheaper, more sensitive cancer detector.

Why you should listen

After Andraka’s proposal to build and test his idea for a pancreatic cancer detector was rejected from 199 labs, the teen landed at Johns Hopkins. There, he built his device using inexpensive strips of filter paper, carbon nanotubes and antibodies sensitive to mesothelin, a protein found in high levels in people with pancreatic cancer. When dipped in blood or urine, the mesothelin adheres to these antibodies and is detectable by predictable changes in the nanotubes’ electrical conductivity.

In preliminary tests, Andraka’s invention has shown 100 percent accuracy. It also finds cancers earlier than current methods, costs a mere 3 cents and earned the high schooler the 2012 Intel Science Fair grand prize.

More profile about the speaker
Jack Andraka | Speaker | TED.com