ABOUT THE SPEAKER
Shai Reshef - Education entrepreneur
Shai Reshef wants to democratize higher education.

Why you should listen

Reshef is the president of University of the People, an online school that offers tuition-free academic degrees in computer science, business administration and health studies (and MBA) to students across the globe. The university is partnered with Yale Law School for research and NYU and University of California Berkeley to accept top students. It's accredited in the U.S. and has admitted thousands of students from more than 180 countries. Wired magazine has included Reshef in its list of "50 People Changing the World" while Foreign Policy named him a "Top Global Thinker." Now Reshef wants to contribute to addressing the refugee crisis. "Education is a major factor in solving this global challenge," he says. UoPeople is taking at least 500 Syrian refugees as students with full scholarship. Before founding UoPeople, Reshef chaired KIT eLearning, the first online university in Europe.

More profile about the speaker
Shai Reshef | Speaker | TED.com
TED2014

Shai Reshef: An ultra-low-cost college degree

Shai Reshef: Shahada ya gharama nafuu kabisa

Filmed:
6,307,713 views

Katika chuo cha mtandaoni cha watu, yeyote aliyemaliza masomo ya sekondari anaweza akasoma masomo ya shahada ya usimamizi wa biashara au sayansi ya kompyuta - bila gharama za kawaida za ada (inagawa mitihani ina gharama zake). Mwanzilishi wake Shai Reshef anatumaini kuwa elimu ya juu inabadilika "kutoka kuwa upendeleo kwa wachache mpaka kuwa haki ya msingi , ambayo inapatikana kwa urahisi na unafuu."
- Education entrepreneur
Shai Reshef wants to democratize higher education. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
I would like to sharekushiriki with you
0
881
1611
Ningependa kuwashirikisha
00:14
a newmpya modelmfano of higherjuu educationelimu,
1
2492
2649
muundo mpya wa helimu ya juu
00:17
a modelmfano that, oncemara moja expandedkupanuliwa,
2
5141
3039
muundo ambao ukipanuliwa
00:20
can enhancekuboresha the collectivepamoja intelligenceakili
3
8180
2470
unaweza ukaongeza akili ya pamoja
00:22
of millionsmamilioni of creativeubunifu and motivatedmotisha individualswatu binafsi
4
10650
3973
ya mamilioni ya watu binafsi
walio na motisha na ubunifu
00:26
that otherwisevinginevyo would be left behindnyuma.
5
14623
3359
ambao vinginevyo wange achwa nyuma.
00:29
Look at the worldulimwengu.
6
17982
1454
tazama ulimwengu
00:31
PickChukua up a placemahali and focustazama on it.
7
19436
2822
chagua mahali na upaangazie
00:34
You will find humansbinadamu chasingkukimbiza higherjuu educationelimu.
8
22258
4549
utapata wanadamu wakikimbizana na elimu
00:38
Let's meetkukutana some of them.
9
26807
1886
ebu tukutane na wengine wao
00:40
PatrickPatrick.
10
28693
1772
Patrick
00:42
PatrickPatrick was bornalizaliwa in LiberiaLiberia
11
30465
2295
Patrick alizaliwa Liberia
00:44
to a familyfamilia of 20 childrenwatoto.
12
32760
3010
kwa familia ya watoto ishirini
00:47
DuringWakati the civilkiraia warvita, he and his familyfamilia were forcedkulazimishwa
13
35770
4321
Wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe,
yeye na familia yake walilazimika
00:52
to fleekukimbia to NigeriaNigeria.
14
40091
2172
kukimbilia Nigeria.
00:54
There, in spitekinyume chake of his situationhali,
15
42263
2967
huko licha ya hali yake,
00:57
he graduatedalihitimu highjuu schoolshule with nearlykaribu perfectkamilifu gradesmadarasa ya.
16
45230
4154
alihitimu sekondari kwa
karibu alama kamili.
01:01
He wanted to continueendelea to higherjuu educationelimu,
17
49384
2656
Alitaka kuendelea na elimu ya juu
01:04
but duekutokana to his familyfamilia
18
52040
1800
lakini kutokana na familia yake
01:05
livingwanaishi on the povertyumasikini linemstari,
19
53840
1832
kuishi katika mstari wa umaskini
01:07
he was soonhivi karibuni sentalitumwa to SouthKusini AfricaAfrika
20
55672
2272
haikuchukua mda, akatumwa Afrika Kusini
01:09
to work and sendtuma back moneyfedha
21
57944
2200
kufanya kazi na kutuma fedha nyumbani
01:12
to feedkulisha his familyfamilia.
22
60144
2856
kulisha familia yake.
01:15
PatrickPatrick never gavealitoa up his dreamndoto of higherjuu educationelimu.
23
63000
3892
Patrick hakuiacha ndoto ya elimu ya juu.
01:18
LateMwishoni mwa at night, after work,
24
66892
2352
usiku wa manane, baada ya kazi
01:21
he surfedsurfed the NetWavu looking for waysnjia to studykujifunza.
25
69244
4436
alipekua mtandao akitafuta njia za kusoma.
01:25
MeetKukutana DebbieDebbie.
26
73680
1200
Kutana na Debbie.
01:26
DebbieDebbie is from FloridaFlorida.
27
74880
2606
Debbie anatoka Florida.
01:29
Her parentswazazi didn't go to collegechuo,
28
77486
2218
Wazazi wake hawakuenda chuo,
01:31
and neitherwala did any of her siblingsndugu.
29
79704
3052
wala yeyote wa ndugu zake.
01:34
DebbieDebbie has workedkazi all her life,
30
82756
3280
Debbie amefanya kazi maisha yake yote,
01:38
payshulipa taxeskodi, supportsinasaidia herselfmwenyewe monthmwezi to monthmwezi,
31
86036
3811
hulipa kodi, na kujimudu mwezi kwa mwezi,
01:41
proudkiburi of the AmericanMarekani dreamndoto,
32
89847
2352
akijivunia ndoto ya Marekani,
01:44
a dreamndoto that just won'thaitakuwa be completekamili
33
92199
2447
ndoto ambayo haiwezi ikawa kamili
01:46
withoutbila higherjuu educationelimu.
34
94646
2224
bila elimu ya juu.
01:48
But DebbieDebbie doesn't have the savingsakiba
35
96870
2440
Lakini Debbie hajaweka akiba
01:51
for higherjuu educationelimu.
36
99310
1138
ya elimu ya juu.
01:52
She can't paykulipa the tuitionmasomo.
37
100448
2354
hawezi kulipia masomo,
01:54
NeitherWala could she leaveshika work.
38
102802
2748
wala kuweza kuacha kazi.
01:57
MeetKukutana WaelWael.
39
105550
2176
Kutana na Wael.
01:59
WaelWael is from SyriaSyria.
40
107726
2184
Wael ni mkaaji wa Syria.
02:01
He's firsthandmwenyewe experiencinginakabiliwa
41
109910
3494
anapitia ana kwa ana
02:05
the miserytaabu, fearhofu and failurekushindwa
42
113404
2358
taabu, hofu na kushindwa
02:07
imposedzilizowekwa on his countrynchi.
43
115762
2935
zilizowekewa nchi yake.
02:10
He's a bigkubwa believermuumini in educationelimu.
44
118697
2535
Anaamini sana kwa elimu.
02:13
He knewalijua that if he would find an opportunitynafasi
45
121232
2440
Alijua kwamba akipata fursa
02:15
for higherjuu educationelimu,
46
123672
1517
ya elimu ya juu,
02:17
an opportunitynafasi to get aheadmbele of the restpumzika,
47
125189
2791
fursa ya kutangulia wengine,
02:19
he has a better chancenafasi to survivekuishi
48
127980
2252
ana nafasi nzuri ya kuishi
02:22
in a worldulimwengu turnedakageuka upsideupande down.
49
130232
3889
katika dunia iliogeuka kichwa chini.
02:26
The higherjuu educationelimu systemmfumo
50
134121
3025
Mfumo wa elimu ya juu
02:29
failedimeshindwa PatrickPatrick, DebbieDebbie and WaelWael,
51
137146
3136
ulifeli Patrick, Debbie na Wael,
02:32
exactlyhasa as it is failingkushindwa
52
140282
2280
jinsi tu inavyofeli
02:34
millionsmamilioni of potentialuwezo studentswanafunzi,
53
142562
2648
mamilioni ya wanafunzi
02:37
millionsmamilioni that graduateHitimu highjuu schoolshule,
54
145210
3114
mamilioni waliohitimu shule za sekondari
02:40
millionsmamilioni that are qualifiedsifa for higherjuu educationelimu,
55
148324
3366
mamilioni ambao wamefuzu elimu ya juu
02:43
millionsmamilioni that want to studykujifunza
56
151690
1816
mamilioni wanaotaka kusoma
02:45
yetbado cannothaiwezi accessupatikanaji for variousmbalimbali reasonssababu.
57
153506
3861
bali hawawezi wakapata kwa sababu tofauti.
02:49
First, financialfedha.
58
157367
3045
Kwanza, za fedha.
02:52
UniversitiesVyuo vikuu are expensiveghali. We all know it.
59
160412
2919
Vyuo vikuu ni ghali. sote twajua
02:55
In largekubwa partssehemu of the worldulimwengu,
60
163331
2128
Maeneo kubwa ulimwenguni
02:57
higherjuu educationelimu is unattainablekutuagiza
61
165459
2368
elimu ya juu haiwezekani
02:59
for an averagewastani citizenraia.
62
167827
2456
kwa raia wa kawaida.
03:02
This is probablylabda the biggestkubwa problemtatizo
63
170283
1892
Hii ndio pengine shida kubwa
03:04
facinginakabiliwa our societyjamii.
64
172175
2529
inayokumba jamii yetu
03:06
HigherJuu educationelimu stoppedkusimamishwa beingkuwa a right for all
65
174704
3578
elimu ya juu ilikoma kuwa haki kwa wote
03:10
and becameikawa a privilegeupendeleo for the fewwachache.
66
178282
3689
ikawa teule kwa wachache.
03:13
SecondPili, culturalutamaduni.
67
181971
3969
Pili, tamaduni.
03:17
StudentsWanafunzi who are qualifiedsifa for higherjuu educationelimu,
68
185940
2942
wanafunzi waliohitimu elimu ya juu,
03:20
can affordkununua, want to studykujifunza, cannothaiwezi
69
188882
4088
wanaojimudu, wanataka masomo, hawawezi
03:24
because it is not decentheshima,
70
192970
3296
Kwa sababu haiheshimiki,
03:28
it is not a placemahali for a womanmwanamke.
71
196266
2404
si mahali pa mwanamke.
03:30
This is the storyhadithi of countlessisitoshe womenwanawake
72
198670
2564
Hii ndio taswira ya mamia ya wanawake
03:33
in AfricaAfrika, for examplemfano,
73
201234
1776
Afrika, Kwa mfano,
03:35
preventedimezuiwa from higherjuu educationelimu
74
203010
2110
Waliozuiliwa kwa elimu ya juu
03:37
because of culturalutamaduni barriersvikwazo.
75
205120
2602
kwa sababu ya kinga za tamaduni.
03:39
And here comesinakuja the thirdtatu reasonsababu:
76
207722
2388
Na hapa ni sababu ya tatu:
03:42
UNESCOUNESCO statedalisema that in 2025,
77
210110
3632
UNESCO ilisema kuwa mwakani 2025,
03:45
100 millionmilioni studentswanafunzi
78
213742
3228
wanafunzi milioni mia moja
03:48
will be deprivedkunyimwa from higherjuu educationelimu
79
216970
2430
watanyimwa elimu ya juu
03:51
simplytu because there will not be enoughkutosha seatsviti
80
219400
3811
kwa sababu tu, ya kutokua na viti tosha
03:55
to accommodatepata them, to meetkukutana the demandmahitaji.
81
223211
3127
kuwapa malazi, kukidhi mahitaji.
03:58
They will take a placementuwekaji testmtihani,
82
226338
1262
Watafanya mtihani wa usajili,
03:59
they will passkupitisha it,
83
227600
1755
wataupita,
04:01
but they still won'thaitakuwa have accessupatikanaji
84
229355
2393
lakini bado hawatapata kuingia
04:03
because there are no placesmaeneo availableinapatikana.
85
231748
3668
kwa sababu hakuna nafasi zilizoko
04:07
These are the reasonssababu
86
235416
1904
Hizi ndizo sababu
04:09
I foundedilianzishwa UniversityChuo Kikuu cha of the People,
87
237320
2488
Nilianzisha Chuo kikuu cha watu,
04:11
a nonprofitmashirika yasiyo ya faida, tuition-freemasomo ya bure,
88
239808
3024
si cha faida, na bila malezi,
04:14
degree-grantingkutoa shahada universitychuo kikuu
89
242832
2065
Chuo kinachopeana shahada ya digrii
04:16
to give an alternativembadala,
90
244897
1887
kupeana mbadala,
04:18
to createkuunda an alternativembadala to those who have no other,
91
246784
3592
kujenga mbadala kwa wasio na mwingine
04:22
an alternativembadala that will be affordablenafuu
92
250376
3576
mbadala ulio nafuu
04:25
and scalableinaleta,
93
253952
1889
na wenye kipimo
04:27
an alternativembadala that will disruptkuvuruga
94
255841
3033
mbadala utakao koroga
04:30
the currentsasa educationelimu systemmfumo,
95
258874
2851
mfumo wa elimu wa sasa
04:33
openkufungua the gatesmilango to higherjuu educationelimu
96
261725
1888
ufungue milango ya elimu ya juu
04:35
for everykila qualifiedsifa studentmwanafunzi
97
263613
2304
kwa mwanafunzi yeyote aliyehitimu
04:37
regardlessbila kujali of what they earnkupata, where they livekuishi,
98
265917
4636
bila kujali pato lao, wala wanakoishi,
04:42
or what societyjamii saysanasema about them.
99
270553
2896
ama jamii inavyonena kuwahusu.
04:45
PatrickPatrick, DebbieDebbie and WaelWael
100
273449
1937
Patrick, Debbie na Wael
04:47
are only threetatu examplesmifano
101
275386
1383
ni mifano tatu tu
04:48
out of the 1,700 acceptedkukubalika studentswanafunzi
102
276769
2401
kati ya wanafunzi 1,700 waliokubaliwa
04:51
from 143 countriesnchi.
103
279170
3719
kutoka nchi 143.
04:54
We — (ApplauseMakofi) — Thank you.
104
282889
5261
Sisi - (Makofi) - Asanteni.
05:00
We didn't need to reinventreinvent the wheelgurudumu.
105
288150
2157
Hatukuitaji kuibuka na gurudumu jipya.
05:02
We just lookedilionekana at what wasn'thaikuwa workingkufanya kazi
106
290307
2298
Tuliangalia tu ni kipi kilikuwa hakifaulu
05:04
and used the amazingajabu powernguvu of the InternetTovuti
107
292605
2967
na kutumia nguvu ya ajabu ya intaneti
05:07
to get around it.
108
295572
1894
kukizingira.
05:09
We setkuweka out to buildjenga a modelmfano
109
297466
2883
Tuliamua kujenga muundo
05:12
that will cutkata down almostkaribu entirelykabisa
110
300349
2799
utakao punguza kwa kiwango kikubwa
05:15
the costgharama of higherjuu educationelimu,
111
303148
2456
gharama ya elimu ya juu
05:17
and that's how we did it.
112
305604
2139
na hivyo ndivyo tulifanya.
05:19
First, bricksmatofali and mortarchokaa costgharama moneyfedha.
113
307743
2896
Kwanza, matofali na chokaa ni gharama.
05:22
UniversitiesVyuo vikuu have expensesgharama za
114
310639
2394
Vyuo vikuu vina matumizi
05:25
that virtualvirtual universitiesvyuo vikuu don't.
115
313033
3390
ambayo vyuo vikuu vya mtandao havina.
05:28
We don't need to passkupitisha these expensesgharama za
116
316423
1800
Hatuitaji kupasha gharama hizi
05:30
ontokuingia our studentswanafunzi.
117
318223
1716
kwa wanafunzi wetu.
05:31
They don't existzipo.
118
319939
1370
Hazipo.
05:33
We alsopia don't need to worrywasiwasi about capacityuwezo.
119
321309
3034
Pia hatufai kubabaishwa na uwezo.
05:36
There are no limitsmipaka of seatsviti
120
324343
2209
hakuna mipaka ya viti
05:38
in virtualvirtual universitychuo kikuu.
121
326552
2399
kwa vyuo vikuu vya mtandao.
05:40
ActuallyKweli, nobodyhakuna needsmahitaji to standsimama
122
328951
1744
Hakika, hakuna anayeitaji kusimama
05:42
at the back of the lecturehotuba hallukumbi.
123
330695
2593
nyuma ya ukumbi.
05:45
TextbooksVitabu vya kiada is alsopia something
124
333288
2039
Vitabu vya kiada pia ni kitu
05:47
our studentswanafunzi don't need to buykununua.
125
335327
2517
wanafunzi wetu hawaitaji kununua.
05:49
By usingkutumia openkufungua educationalelimu resourcesrasilimali
126
337844
2887
Kwa kutumia raisilimali za elimu ya wazi
05:52
and the generosityukarimu of professorsprofesa
127
340731
2480
na ukarimu wa maprofesa
05:55
who are puttingkuweka theirwao materialvifaa
128
343211
1769
wanaoweka nyenzo zao
05:56
freebure and accessiblekupatikana,
129
344980
2679
bure na zinapatikana,
05:59
we don't need to sendtuma our studentswanafunzi to buykununua textbooksvitabu.
130
347659
2880
Hatuitaji kutuma wanafunzi
wetu kununua vitabu vya kiada,
06:02
All of our materialsvifaa come freebure.
131
350539
3096
nyenzo zetu zote zinakuja bure
06:05
Even professorsprofesa,
132
353635
1648
hata maprofesa,
06:07
the mostwengi expensiveghali linemstari in
any universitychuo kikuu balanceusawa sheetkaratasi,
133
355283
3877
Ule mustari ghali kabisa
kwa mizania ya chuo kikuu chochote,
06:11
come freebure to our studentswanafunzi,
134
359160
1450
huja bure kwa wanafunzi wetu,
06:12
over 3,000 of them,
135
360610
2553
zaidi ya 3,000 yao
06:15
includingikiwa ni pamoja na presidentsmarais, vicekinyume chake chancellorschancellors,
136
363163
3590
wakiwemo Marais, makamu wa machancellor,
06:18
professorsprofesa and academickitaaluma advisorswashauri wa
137
366753
2895
maprofesa na washauri wa kitaaluma
06:21
from topjuu universitiesvyuo vikuu suchvile as NYUNORTHWESTERN,
138
369648
3496
kutoka vyuo vikuu kama vile NYU,
06:25
YaleYale, BerkeleyBerkeley and OxfordOxford,
139
373144
2080
Yale, Berkely, na Oxford,
06:27
camealikuja on boardbodi to help our studentswanafunzi.
140
375224
2929
wakajiunga nasi kuwasaidia wanafunzi wetu.
06:30
FinallyHatimaye, it's our beliefimani in peer-to-peerKiumbu kwa Kiumbu learningkujifunza.
141
378153
4269
Hatimaye, ni imani yetu kwa masomo ya rika kwa rika.
06:34
We use this soundsauti pedagogicalkielimu modelmfano
142
382422
3121
Tunatumia huu muundo wa ufundishaji imara
06:37
to encouragekuhimiza our studentswanafunzi from all over the worldulimwengu
143
385543
2728
kuwapa moyo wanafunzi kutoka kote duniani
06:40
to interactkuingiliana and studykujifunza togetherpamoja
144
388271
2327
kuingiliana na kujifunza pamoja
06:42
and alsopia to reducekupunguza the time
145
390598
3225
na pia kupunguza mda
06:45
our professorsprofesa need to laborkazi over classdarasa assignmentskazi.
146
393823
4504
Maprofesa wetu wanaohitaji kujizatiti kwa
kazi ya mazoezi darasani.
06:52
If the InternetTovuti has madealifanya us a globalkimataifa villagekijiji,
147
400879
5207
Kama intaneti imetufanya
kijiji cha kimataifa,
06:58
this modelmfano can developkuendeleza its futurebaadaye leadershipuongozi.
148
406086
4368
muundo huu unaweza kuuendeleza
uongozi wake wa usoni.
07:02
Look how we do it.
149
410454
1856
Angalia vile tunavyoifanya.
07:04
We only offerkutoa two programsprogramu:
150
412310
2840
Tunatoa mipango miwili tu:
07:07
businessbiashara administrationutawala and computerkompyuta sciencesayansi,
151
415150
2488
utawala kibiashara na sayansi ya kompyuta,
07:09
the two programsprogramu
152
417638
1649
hiyo mipango miwili
07:11
that are mostwengi in demandmahitaji worldwideduniani kote,
153
419287
2561
ndio inayosakwa sana duniani kote,
07:13
the two programsprogramu that are likeliestlikeliest
154
421848
1805
hiyo mipango miwili ndio yenye uwezo mkubwa
07:15
to help our studentswanafunzi find a jobkazi.
155
423653
3569
kuwasaidia wanafunzi wetu kupata ajira.
07:19
When our studentswanafunzi are acceptedkukubalika,
156
427222
3052
Wanafunzi wetu wanapokubalika,
07:22
they are placedimewekwa in a smallndogo classroomdarasa
157
430274
3505
huwekwa kwa darasa dogo
07:25
of 20 to 30 studentswanafunzi to ensurekuhakikisha
158
433779
3486
la wanafunzi 20 kwenda 30 kuhakikisha
07:29
that those who need personalizedyaliyobinafsishwa attentiontazama get it.
159
437265
3473
wanaohitaji usaidizi binafsi wanapata.
07:32
MoreoverAidha, for everykila ninetisa weeks'kipindi cha wiki coursebila shaka,
160
440738
3772
Zaidi ya hayo, kwa kila kozi ya wiki tisa,
07:36
they meetkukutana a newmpya peerrika,
161
444510
2104
hukutana na rika mpya,
07:38
a wholeyote newmpya setkuweka of studentswanafunzi
162
446614
1894
kundi nzima la wanafunzi wapya
07:40
from all over the worldulimwengu.
163
448508
1746
kutoka kote ulimwenguni.
07:42
EveryKila weekwiki, when they go into the classroomdarasa,
164
450254
3048
Kila wiki, wanapoingia darasani,
07:45
they find the lecturehotuba notesmaelezo of the weekwiki,
165
453302
2920
wanapata maelezo ya hotuba ya wiki,
07:48
the readingkusoma assignmentkazi, the homeworkkazi ya nyumbani assignmentkazi,
166
456222
2032
zoezi la kusoma, zoezi la ziada,
07:50
and the discussionmajadiliano questionswali,
167
458254
1516
na swali la majadiliano,
07:51
whichambayo is the coremsingi of our studiestafiti.
168
459770
2708
ambayo ni msingi wa masomo yetu,
07:54
EveryKila weekwiki, everykila studentmwanafunzi
169
462478
1302
Kila wiki, kila mwanafunzi
07:55
mustlazima contributekuchangia to the classdarasa discussionmajadiliano
170
463780
3107
lazima achangie kwa mjadala darasani
07:58
and alsopia mustlazima commentmaoni
171
466887
1873
na pia lazima atoe maoni
08:00
on the contributionmchango of otherswengine.
172
468760
2414
kwa michango ya wengine.
08:03
This way, we openkufungua our students'wanafunzi ' mindsakili,
173
471174
3343
Kwa njia hii, tunafungua akili za wanafunzi wetu,
08:06
we developkuendeleza a positivechanya shiftkuhama in attitudemtazamo
174
474517
2848
tunakuza mwelekeo chanya
08:09
towardkuelekea differenttofauti culturestamaduni.
175
477365
2800
kuelekea tamaduni tofauti.
08:12
By the endmwisho of eachkila mmoja weekwiki,
176
480165
1936
Mwisho wa kila wiki,
08:14
the studentswanafunzi take a quizjaribio,
177
482101
1646
wanafunzi hufanya jaribio,
08:15
handmkono in theirwao homeworkkazi ya nyumbani,
178
483747
1454
wanawasilisha kazi za ziada,
08:17
whichambayo are assessedkuchunguzwa by theirwao peersrika
179
485201
1739
ambazo hukaguliwa na wenzao
08:18
underchini the supervisionusimamizi of the instructorswalimu,
180
486940
3345
kwa usimamizi wa waalimu,
08:22
get a gradedaraja, movehoja to the nextijayo weekwiki.
181
490285
2376
pata alama, enda kwa wiki nyingine.
08:24
By the endmwisho of the coursebila shaka, they take the finalmwisho exammtihani,
182
492661
2451
Mwisho wa kozi, hufanya mtihani wa mwisho,
08:27
get a gradedaraja, and followFuata to the nextijayo coursebila shaka.
183
495112
5591
pata alama, na kuenda kwa kozi nyingine.
08:32
We openedkufunguliwa the gatesmilango for higherjuu educationelimu
184
500703
2449
Tulifungua milango ya elimu ya juu
08:35
for everykila qualifiedsifa studentmwanafunzi.
185
503152
3719
kwa mwanafunzi yeyote aliyehitimu.
08:38
EveryKila studentmwanafunzi with a highjuu schoolshule diplomaDiploma ya,
186
506871
2928
Mwanafunzi yeyote aliyehitimu sekondari,
08:41
sufficientkutosha EnglishKiingereza and InternetTovuti connectionuhusiano
187
509799
3158
kingereza tosha na muunganisho wa intaneti
08:44
can studykujifunza with us.
188
512957
1445
anaweza kusoma na sisi.
08:46
We don't use audioredio. We don't use videovideo.
189
514402
2766
Hatutumii redio. Hatutumii video.
08:49
BroadbandKihamisha-data kasi is not necessarymuhimu.
190
517168
2648
upana wa bendi si hoja.
08:51
Any studentmwanafunzi from any partsehemu of the worldulimwengu
191
519816
2394
Mwanafunzi yeyote kutoka kokote duniani
08:54
with any InternetTovuti connectionuhusiano
192
522210
2012
aliye na mwuunganisho wowote wa intaneti
08:56
can studykujifunza with us.
193
524222
2384
anaweza kusoma nasi.
08:58
We are tuition-freemasomo ya bure.
194
526606
2191
tuko malezi-huru.
09:00
All we askkuuliza our studentswanafunzi to coverfunika
195
528797
2343
tuulizacho tu wanafunzi wetu kukidhi
09:03
is the costgharama of theirwao examsmitihani,
196
531140
1744
ni gharama ya mitihani yao,
09:04
100 dollarsdola perkwa kila exammtihani.
197
532884
2512
Dola 100 kwa kila mtihani.
09:07
A full-timewakati wote bachelorshahada degreeshahada studentmwanafunzi
198
535396
2674
Mwanafunzi wa muda kamili
wa digrii ya hahada ya kwanza
09:10
takingkuchukua 40 courseskozi,
199
538070
1950
anayechukua kozi 40,
09:12
will paykulipa 1,000 dollarsdola a yearmwaka,
200
540020
2848
atalipa dola 1,000 kwa mwaka,
09:14
4,000 dollarsdola for the entirenzima degreeshahada,
201
542868
2696
Dola 4,000 kukamilisha digrii,
09:17
and for those who cannothaiwezi affordkununua even this,
202
545564
3466
na kwa wale hawawezi kumudu hata hii,
09:21
we offerkutoa them a varietytofauti of scholarshipsmasomo.
203
549030
2637
tunawapa udhamini aina mbali mbali.
09:23
It is our missionujumbe that nobodyhakuna will be left behindnyuma
204
551667
3305
Ni dhamira yetu kuwa hakuna
atakayeachwa nyuma
09:26
for financialfedha reasonssababu.
205
554972
2128
kwa sababu za kifedha.
09:29
With 5,000 studentswanafunzi in 2016,
206
557100
3463
Kwa wanafunzi 5,000 mwaka wa 2016,
09:32
this modelmfano is financiallykifedha sustainableendelevu.
207
560563
4697
muundo huu ni endelevu kifedha.
09:37
FiveTano yearsmiaka agoiliyopita, it was a visionmaono.
208
565260
4597
Miaka mitano iliyopita, yalikuwa maono.
09:41
TodayLeo, it is a realityukweli.
209
569857
2857
Leo, ni halisi.
09:44
Last monthmwezi, we got the ultimatemwisho
210
572714
2361
Mwezi jana, hatimaye tulipata
09:47
academickitaaluma endorsementDhibitisho to our modelmfano.
211
575075
3250
muhuri wa kitaaluma kwa muundo wetu.
09:50
UniversityChuo Kikuu cha of the People is now fullykikamilifu accreditedvibali.
212
578325
3934
Chuo kikuu cha watu sasa kina kibali rasmi
09:54
(ApplauseMakofi)
213
582259
1148
(Makofi)
09:55
Thank you.
214
583407
5900
Asanteni.
10:01
With this accreditationgentemot,
215
589307
1644
Kwa kibali hichi,
10:02
it's our time now to scalekiwango up.
216
590951
3101
ni wakati wetu sasa kupaa
10:06
We have demonstratedimeonyeshwa that our modelmfano worksinafanya kazi.
217
594052
3901
Tumeonyesha kwamba muundo wetu
unafanya kazi.
10:09
I invitekumka universitiesvyuo vikuu and, even more importantmuhimu,
218
597953
3327
nakaribisha vyuo vikuu, na maana zaidi,
10:13
developingkuendeleza countries'nchi governmentsserikali,
219
601280
1705
serikali za nchi zinazokua,
10:14
to replicatekuiga this modelmfano
220
602985
1665
kuiga muundo huu
10:16
to ensurekuhakikisha that the gatesmilango of higherjuu educationelimu
221
604650
3140
kuhakikisha milango ya elimu ya juu
10:19
will openkufungua widelysana.
222
607790
2370
itapanuka zaidi.
10:22
A newmpya erazama is comingkuja,
223
610160
2290
Enzi mpya inakuja
10:24
an erazama that will witnessshahidi
224
612450
2528
enzi itakayo shuhudia
10:26
the disruptionusumbufu of the higherjuu educationelimu modelmfano
225
614978
2700
kuvurugika kwa elimu ya juu
10:29
as we know it todayleo,
226
617678
1750
kama tunvyoijua leo,
10:31
from beingkuwa a privilegeupendeleo for the fewwachache
227
619428
4436
kutoka kuwa teule kwa wachache
10:35
to becomingkuwa a basicmsingi right,
228
623864
2374
kuenda kuwa haki ya kimsingi,
10:38
affordablenafuu and accessiblekupatikana for all.
229
626238
3297
nafuu na inayopatikana kwa wote,
10:41
Thank you.
230
629535
2029
Asanteni.
10:43
(ApplauseMakofi)
231
631564
3780
(Makofi)
Translated by HERBERT KINOTI
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Shai Reshef - Education entrepreneur
Shai Reshef wants to democratize higher education.

Why you should listen

Reshef is the president of University of the People, an online school that offers tuition-free academic degrees in computer science, business administration and health studies (and MBA) to students across the globe. The university is partnered with Yale Law School for research and NYU and University of California Berkeley to accept top students. It's accredited in the U.S. and has admitted thousands of students from more than 180 countries. Wired magazine has included Reshef in its list of "50 People Changing the World" while Foreign Policy named him a "Top Global Thinker." Now Reshef wants to contribute to addressing the refugee crisis. "Education is a major factor in solving this global challenge," he says. UoPeople is taking at least 500 Syrian refugees as students with full scholarship. Before founding UoPeople, Reshef chaired KIT eLearning, the first online university in Europe.

More profile about the speaker
Shai Reshef | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee