ABOUT THE SPEAKER
Chika Ezeanya-Esiobu - Indigenous knowledge expert
Working across disciplines, Chika Ezeanya-Esiobu explores homegrown and grassroots approaches to the sustainable advancement of Sub-Saharan Africa.

Why you should listen

Chika Ezeanya-Esiobu is convinced of the ability of Africans to transform the continent by acknowledging the significance of its indigenous knowledge in all fields of human endeavor. A researcher, fiction and non-fiction writer, public intellectual and teacher, Ezeanya-Esiobu has published several research papers on aspects of Africa's indigenous knowledge. She has also been commissioned to conduct indigenous knowledge-based research by the International Development Research Center Canada, United Nations University World Institute for Development Economics Research,(UNU-WIDER) United Nations Research Institute for Social Development (UNRISD) and The Swedish International Development Agency (Sida), among others. 

Ezeanya-Esiobu is the author of the historical fiction book Before We Set Sail. In its manuscript form, Before We Set Sail was one of six shortlisted out of over 250 submissions, made to the Penguin Publishers Award for African Writing in 2010. Following her TEDGlobal 2017 talk, Ezeanya-Esiobu shared an alphabet book series she had written for her daughter: Dr. Chika's ABC for the African Child (2017).

Ezeanya-Esiobu has lived and worked in four countries across three continents, and through her travels she has learned to value integrity, dignity, respect for self and others ... to be open to knowledge, to be happy and to smile a lot with her heart. Her lifetime passion is to contribute to efforts that would see to the unleashing of the suppressed creative and innovative energies buried deep in the hearts and minds of all Africans. She blogs at chikaforafrica.com.

More profile about the speaker
Chika Ezeanya-Esiobu | Speaker | TED.com
TEDGlobal 2017

Chika Ezeanya-Esiobu: How Africa can use its traditional knowledge to make progress

Chika Ezeanya-Esiobu: Namna Afrika inavyoweza kutumia maarifa ya kitamaduni kupiga hatua

Filmed:
1,241,889 views

Chika Ezeanya-Esiobu anataka kuona Waafrika wakitumia ubunifu na uvumbuzi wao uliokandamizwa kwa kutambua umuhimu wa tamaduni zao, na maarifa yaliyo halisi. Katika hotuba hii yenye nguvu, anaelezea mifano inayohusu maarifa ya Kiafrika katika kilimo na utungaji sera, akiwaasa Waafrika kupiga hatua kwa kukubali na kuheshimu uhalisia wao.
- Indigenous knowledge expert
Working across disciplines, Chika Ezeanya-Esiobu explores homegrown and grassroots approaches to the sustainable advancement of Sub-Saharan Africa. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
Some monthsmiezi back,
I was visitingkutembelea this EastMashariki AfricanAfrika cityjiji,
0
1054
5480
Miezi kadhaa iliyopita, nilitembelea jiji moja lililopo Afrika Mashariki,
00:18
and we were stuckkukwama in traffictrafiki.
1
6558
2989
na tulikuwa tumekwama kwenye msongamano wa magari.
00:21
And this vendormchuuzi suddenlyghafla
approachesmbinu my windowdirisha
2
9571
3042
Na mchuuzi mmoja alikuja ghafla kwenye dirisha langu
00:24
with a half-openedkufunguliwa na nusu alphabetalfabeti sheetkaratasi.
3
12637
2543
na karatasi ya alfabeti iliyofunguka nusu.
00:28
I tookalichukua a quickharaka look at the alphabetalfabeti sheetkaratasi,
4
16505
2819
Niliangalia kwa haraka ile karatasi ya alfabeti,
00:31
and I thought of my daughterbinti,
5
19348
1435
na nikamuwaza binti yangu,
00:32
how it would be nicenzuri
to spreadkuenea it on the floorsakafu
6
20807
2562
ni namna gani ingekuwa vyema kuitandaza kwenye sakafu
00:35
and just playkucheza all over it with her
7
23393
1840
na kucheza juu yake nikiwa nae
00:37
while gettingkupata her to learnkujifunza the alphabetalfabeti.
8
25257
2189
wakati nikiwa ninamfundisha alfabeti.
00:39
So the traffictrafiki movedwakiongozwa a bitkidogo,
and I quicklyharaka grabbedumechukua a copynakala,
9
27470
3295
Msongamano ukasogea kidogo, na nikanunua ile nakala haraka,
00:42
and we movedwakiongozwa on.
10
30789
1999
na tukaendelea na safari.
00:46
When I had time to fullykikamilifu openkufungua
the alphabetalfabeti sheetkaratasi
11
34165
3101
Nilipopata muda wa kuifungua ile karatasi ya alfabeti
00:49
and take a more detailedkina look at it,
12
37290
2329
na kuiangalia kwa makini,
00:51
I knewalijua I was not going to use that
to teachkufundisha my daughterbinti.
13
39643
3023
Nilitambua ya kwamba sitaitumia kumfundishia binti yangu.
00:55
I regrettedalijutia my purchasekununua.
14
43267
1517
Nilijutia ununuzi wangu.
00:58
Why so?
15
46331
1342
Kwanini?
01:00
Looking at the alphabetalfabeti sheetkaratasi
remindedalikumbushwa me of the factukweli
16
48338
2786
Kutazama karatasi ya alfabeti kunanikumbusha ukweli kwamba
01:03
that not much has changediliyopita
17
51148
2376
mambo mengi hayajabadilika
01:05
in the educationelimu curriculamitaala in AfricaAfrika.
18
53548
2423
katika mtaala wa elimu barani Afrika.
01:08
Some decadesmiongo back, I was taughtalifundishwa
out of a similarsawa alphabetalfabeti sheetkaratasi.
19
56729
3720
Miongo kadhaa iliyopita, nilifundishwa kutoka katika karatasi hiyohiyo.
01:13
And because of that,
I struggledwalijitahidi for yearsmiaka.
20
61312
2257
Na kwa sababu ya hilo, nilitaabika kwa miaka.
01:16
I struggledwalijitahidi to reconcilekupatanisha my realityukweli
with the formalrasmi educationelimu I receivedalipokea
21
64464
4496
Nilitaabika kuweza kukubali uhalisia wangu kutokana na elimu niliyokuwa nikipokea
01:20
in schoolshule, in the schoolsshule I attendedwalihudhuria.
22
68984
2147
shuleni, katika shule nilizosoma.
01:24
I had identityutambulisho crisesmaafa.
23
72592
2010
Nilikuwa na janga la utambulisho.
01:26
I lookedilionekana down on my realityukweli.
24
74626
2909
Nikitazama kuangalia uhalisia wangu.
01:29
I lookedilionekana at my ancestryasili,
I lookedilionekana at my lineagekizazi with disrespectkutoheshimu.
25
77559
4246
Niliangalia mababu zangu, nilitazama kizazi changu bila heshima.
01:34
I had very little patienceuvumilivu
for what my life had to offerkutoa around me.
26
82205
5053
Nilikuwa na subira kidogo kwa yale ambayo maisha yangeweza kunipa kutoka katika mazingira yangu.
01:41
Why?
27
89045
1399
Kwanini?
01:43
"A is for appleapple."
28
91496
1419
"A ni kwa ajili ya Apple."
01:46
"A is for appleapple."
29
94421
1424
"A ni kwa ajili ya Apple."
01:49
"A is for appleapple" is for that childmtoto
in that partsehemu of the worldulimwengu
30
97528
4688
"A ni kwa ajili ya Apple" ni kwa ajili ya mtoto katika pande ya dunia
01:54
where applesapples growkukua out;
31
102240
1732
ambayo wanalima Apple;
01:56
who has an appleapple in her lunchchakula cha mchana bagmfuko;
32
104751
1976
nani aliye na Apple katika mfuko wake wa chakula cha mchana;
02:00
who goeshuenda to the grocerymboga storekuhifadhi
with her mommama and seesanaona rednyekundu,
33
108235
3402
nani ambaye huenda dukani na mama yake na kuona apple jekundu,
02:03
greenkijani, yellownjano -- applesapples
of all shapesmaumbo and colorsrangi and sizesukubwa.
34
111661
3653
kijani, njano katika kila umbo na rangi na ukubwa.
02:08
And so, introducingkuanzisha
educationelimu to this childmtoto
35
116049
2889
Kwa hiyo, kumpa elimu mtoto huyu
02:10
with an alphabetalfabeti sheetkaratasi like this
36
118962
2122
ukitumia karatasi ya alfabeti kama hii
02:14
fulfillsanatimiza one of the majorkubwa
functionskazi of educationelimu,
37
122090
3041
inatimiza moja ya kazi kuu katika elimu,
02:17
whichambayo is to introducekuanzisha the learnermwanafunzi
38
125155
3162
ambayo ni kumkutanisha msomaji
02:20
to an appreciationshukrani
of the learner'smwanafunzi environmentmazingira
39
128341
3373
kuridhika na mazingira ya msomaji
02:23
and a curiosityudadisi to explorekuchunguza more
in orderamri to addongeza valuethamani.
40
131738
4642
na udadisi wa kuweza kutafuta zaidi ili kuweza kuongeza thamani.
02:29
In my ownmwenyewe casekesi,
41
137581
1411
Nikijiangalia mimi,
02:32
when and where I grewilikua up in AfricaAfrika,
42
140014
2312
wakati na mahali nilipokulia Afrika,
02:35
appleapple was an exotickigeni fruitmatunda.
43
143613
1830
apple ni tunda hadimu.
02:38
Two or threetatu timesnyakati a yearmwaka,
44
146719
1385
Mara mbili au tatu kwa mwaka,
02:40
I could get some yellowishmanjano applesapples
with brownkahawia dotsnukta, you know,
45
148128
5367
Nilikuwa napata apple za rangi ya njano zilizo na alama ndogo ndogo za rangi ya kahawia, unajua,
02:45
signifyingakionyesha thousandsmaelfu of milesmaili traveledalisafiri --
warehousesmaghala, sortingkuchagua --
46
153519
3897
ikiashiria maelfu ya maili yaliposafiri -- ghalani, katika upangaji
02:49
to get to me.
47
157440
1174
kunifikia mimi.
02:51
I grewilikua up in the cityjiji
48
159575
1911
Nilikulia katika jiji
02:53
to very financiallykifedha comfortablevizuri parentswazazi,
49
161510
3000
kwa wazazi ambao wanajiweza kiuchumi,
02:56
so it was my dignifiedwenye heshima realityukweli,
50
164534
1942
kwa hiyo ulikuwa ni uhalisia wangu wa kuheshimika,
02:58
exactlyhasa the samesawa way
51
166500
2311
kama vile vile
03:00
cassavamkojo fufufufu or ugaliugali
would not regularlymara kwa mara featurekipengele
52
168835
4162
mihogo au ugali kwa kawaida hautakuwepo
03:05
in an AmericanMarekani, ChineseKichina or IndianHindi dietchakula,
53
173021
2901
katika mlo wa Kimarekani, Kichina au Kihindi,
03:08
applesapples didn't counthesabu as partsehemu of my realityukweli.
54
176851
2429
apple hazikuwa katika uhalisia wa maisha yangu.
03:12
So what this did to me,
55
180208
3048
Kwa hiyo hii ilinifanya nini mimi,
03:15
introducingkuanzisha educationelimu to me
with "A is for appleapple,"
56
183280
3684
kunipa elimu kwangu ya "A ni kwa ajili ya apple,"
03:18
madealifanya educationelimu an abstractionkinyume.
57
186988
2459
imefanya elimu kuwa ngumu mno kuelewa.
03:21
It madealifanya it something out of my reachfikia --
58
189914
1869
Imefanya kitu ambacho kipo na upeo wangu --
03:24
a foreignkigeni conceptdhana,
59
192665
1906
kitu cha nchi za nje,
03:26
a phenomenonuzushi for whichambayo I would have
to constantlydaima and perpetuallydaima seektafuta
60
194595
3806
jambo ambalo ningekuwa nikilitafuta mara zote
03:30
the validationuhakikishi of those it belongedni to
61
198425
1811
uthibitisho wa yale yanayohusiana
03:32
for me to make progressmaendeleo
withinndani it and with it.
62
200260
2940
kwa ajili yangu ili kupiga hatua ndani yake na pamoja yake.
03:36
That was toughngumu for a childmtoto;
it would be toughngumu for anyoneyeyote.
63
204109
2906
Hiyo ilikuwa ngumu kwa mtoto;
03:40
As I grewilikua up and I advancedya juu academicallyKuwaendeleza,
64
208042
2723
Nilipokuwa kiumri na kuelimika,
03:42
my realityukweli was furtherzaidi separatedkujitenga
from my educationelimu.
65
210789
5064
uhalisia wangu uligawanyika zaidi na elimu yangu.
03:48
In historyhistoria, I was taughtalifundishwa
66
216739
1746
Katika historia, nilifundishwa
03:50
that the ScottishScottish explorerKichunguzi MungoMungo ParkHifadhi ya
discoveredaligundua the NigerNiger RiverMto.
67
218509
4251
kwamba mtalii aliyeitwa Mungo Park aligundua mto wa Niger.
03:55
And so it botheredwasiwasi me.
68
223631
1793
Na hili lilinikwaza.
03:57
My great-great-grandparentskubwa-kubwa-babu grewilikua up
69
225448
2015
Mababu wa mababu zangu walikulia
03:59
quitekabisa closekaribu to the edgemakali
of the NigerNiger RiverMto.
70
227487
2003
karibu na kingo za mto wa Niger.
04:01
(LaughterKicheko)
71
229514
2419
(Kicheko)
04:03
And it tookalichukua someonemtu to travelkusafiri
thousandsmaelfu of milesmaili from EuropeEurope
72
231957
6477
Na ilichukua mtu mwingine kusafiri maelfu ya maili kutoka Ulaya
04:10
to discovergundua a riverMto
right underchini theirwao nosepua?
73
238458
2447
kuja kugundua mto ambao upo karibu nao kabisa?
04:12
(LaughterKicheko)
74
240929
2441
(Kicheko)
04:15
No!
75
243394
1157
Hapana!
04:16
(ApplauseMakofi and cheersakishangiliwa)
76
244575
5419
(Makofi na shangilio)
04:22
What did they do with theirwao time?
77
250018
1929
Walitumia vipi muda wao?
04:23
(LaughterKicheko)
78
251971
1897
(Kicheko)
04:25
PlayingKucheza boardbodi gamesmichezo, roastingkuchomwa freshsafi yamsyams,
79
253892
2831
Kucheza bao, kukaanga magimbi,
04:28
fightingmapigano tribalkikabila warsvita?
80
256747
1380
kupigana vita vya ukabila?
04:30
I mean, I just knewalijua my educationelimu
was preparingkuandaa me to go somewheremahali fulani elsemwingine
81
258557
4860
Namaanisha, nilijua ya kwamba elimu yangu ilikuwa ikiniandaa kwenda sehemu nyingine
04:35
and practicemazoezi and give to anothermwingine
environmentmazingira that it belongedni to.
82
263441
3767
na kuitumia na katika mazingira mengine ambayo inahusiana nayo.
04:39
It was not for my environmentmazingira,
where and when I grewilikua up.
83
267232
3183
Haikuwa kwa ajili ya mazingira yangu, mahali na muda nilipokua.
04:43
And this continuediliendelea.
84
271029
1159
Na hali hii iliendelea.
04:44
This philosophyfalsafa undergirdedundergirded my studiestafiti
85
272212
1893
Na hii philosophia iliimarisha masomo yangu
04:46
all throughkupitia the time I studiedalisoma in AfricaAfrika.
86
274129
2465
muda wote nilipokuwa nikisoma barani Afrika.
04:48
It tookalichukua a lot of experiencesuzoefu
and some studiestafiti
87
276618
3834
Ilihitaji uzoefu mwingi na baadhi ya mafunzo
04:52
for me to beginkuanza to have
a changemabadiliko of mindsetkuzingatia.
88
280476
3152
kwa mimi kuanza pata mabadiliko ya mtazamo wangu.
04:55
I will sharekushiriki a couplewanandoa
of the remarkableajabu oneswale with us.
89
283652
2964
Nitawaambia baadhi ya mambo makubwa mazuri.
04:59
I was in the UnitedMuungano StatesMarekani
in WashingtonWashington, DCMM
90
287735
2355
Nilikuwa nchini Marekani katika jimbo la Washington, DC
05:02
studyingkusoma towardskuelekea my doctoratedaktari,
91
290114
2042
kusomea masomo yangu ya shahada ya uzamivu,
05:04
and I got this consultancyushauri positionnafasi
with the WorldUlimwengu BankBenki AfricaAfrika RegionMkoa.
92
292180
3877
nilipata nafasi ya kuwa mshauri katika Benki ya Dunia ukanda wa Afrika,
05:08
And so I rememberkumbuka one day,
93
296735
2756
Kwa hiyo nakumbuka siku moja,
05:11
my bossbwana -- we were havingkuwa na
a conversationmazungumzo on some projectmradi,
94
299515
4648
mkuu wangu wa kazi -- tulikuwa tukiongelea kuhusu mradi fulani,
05:16
and he mentionedzilizotajwa a particularhasa
WorldUlimwengu BankBenki projectmradi,
95
304187
3041
na alitaja mradi unaohusiana na Benki ya Dunia,
05:19
a large-scalekwa kiasi kikubwa irrigationumwagiliaji projectmradi
that costgharama millionsmamilioni of dollarsdola
96
307252
4972
mradi mkubwa wa umwagiliaji unaogharimu mamilioni ya dola
05:24
in NigerNiger RepublicJamhuri
97
312248
1331
katika Jamhuri ya Niger
05:25
that was falteringfaltering sustainablyendelevu.
98
313603
3274
uliokuwa unasuasua uendelezaji wake.
05:28
He said this projectmradi
wasn'thaikuwa so sustainableendelevu,
99
316901
2343
Alisema mradi huu haupo imara,
05:31
and it botheredwasiwasi those
that institutedalianzisha the wholeyote packagemfuko.
100
319268
4223
na unawakera wale ambao waliupa mamlaka.
05:36
But then he mentionedzilizotajwa
a particularhasa projectmradi,
101
324035
2789
Lakini aliutaja mradi fulani,
05:39
a particularhasa traditionaljadi irrigationumwagiliaji methodnjia
that was hugelysana successfulimefanikiwa
102
327517
4917
namna ya umwagiliaji wa kitamaduni ambao ulikuwa na mafanikio makubwa sana
05:44
in the samesawa NigerNiger RepublicJamhuri
where the WorldUlimwengu BankBenki projectmradi was failingkushindwa.
103
332458
3697
katika nchi hiyo hiyo ya Jamhuri ya Niger ambapo mradi wa Benki ya Dunia ulikuwa ukifeli.
05:48
And that got me thinkingkufikiri.
104
336930
1496
Na ikanifanya kuwaza.
05:51
So I did furtherzaidi researchutafiti,
105
339281
1743
Kwa hiyo nikafanya utafiti zaidi,
05:53
and I foundkupatikana out about TassaTassa.
106
341984
2385
na nikagundua kuhusu Tassa.
05:57
TassaTassa is a traditionaljadi irrigationumwagiliaji methodnjia
107
345775
3770
Tassa ni namna ya umwagiliaji wa kienyeji
06:01
where 20- to 30-centimeter-wide-sentimita-upana
and 20- to 30-centimeter-deep-sentimita-kina holesmashimo
108
349569
6193
ambapo mashimo yenye upana wa kati ya sentimenta 20 hadi 30 na kina cha sentimeta 20 hadi 30
06:07
are dugkuchimbwa acrosskote a fieldshamba to be cultivatedkulima.
109
355786
2874
huchimbwa katika shamba ambalo linaelekea kulimwa.
06:11
Then, a smallndogo dambwawa is constructediliyojengwa
around the fieldshamba,
110
359220
4113
Kisha, bwawa dogo hujengwa kuzunguka shamba
06:16
and then cropsmazao are plantedkupandwa
acrosskote the surfaceuso areaeneo.
111
364296
3626
na mazao hupandwa ardhini.
06:19
What happenshutokea is that when rainmvua fallshuanguka,
112
367946
3304
Kinachotokea ni kwamba mvua itaponyesha,
06:23
the holesmashimo are ableinaweza to storekuhifadhi the watermaji
113
371274
2984
mashimo huwa na uwezo wa kutunza maji
06:26
and appropriatesahihi it to the extentkiwango
that the plantmmea needsmahitaji the watermaji.
114
374282
3818
na kupelekea kiasi kwamba mmea kuhitaji maji.
06:30
The plantmmea can only assimilatekuingiza
as much watermaji as neededinahitajika
115
378124
3266
Mmea unaweza pata maji mengi unavyohitaji
06:33
untilmpaka harvestmavuno time.
116
381414
1570
mpaka muda wa mavuno.
06:36
NigerNiger is 75 percentasilimia scorchedaliaanza desertjangwa,
117
384582
3693
Niger ni asilimia 75 jangwa,
06:40
so this is something
that is a life-or-deathLife-or-Death situationhali,
118
388299
2693
na hii kitu cha maisha au kifo,
06:43
and it has been used for centurieskarne.
119
391016
1808
na imekuwa ikitumika kwa karne.
06:45
In an experimentjaribio that was conducteduliofanywa,
120
393384
2102
Katika utafiti ambao ulifanyika,
06:48
two similarsawa plotsviwanja of landardhi
were used in the experimentjaribio,
121
396233
5413
mashamba mawili yanayofanana yalitumika katika utafiti,
06:53
and one plotnjama of landardhi
122
401670
2631
na shamba moja
06:56
did not have the TassaTassa techniquembinu on it.
123
404325
1942
halikutumia njia ya Tassa.
06:58
SimilarSawa plotsviwanja.
124
406291
1167
Mashamba yanayofanana.
06:59
The other one had TassaTassa techniquembinu
constructediliyojengwa on it.
125
407482
3158
Lingine lilitumia njia ya Tassa.
07:03
Then similarsawa grainsnafaka of milletmtama
alsopia were plantedkupandwa on bothwote wawili plotsviwanja.
126
411332
3755
Kisha mbegu sawa za mtama zilipandwa katika mashamba yote mawili.
07:08
DuringWakati harvestmavuno time,
127
416045
2207
Wakati wa mavuno,
07:10
the plotnjama of landardhi withoutbila TassaTassa techniquembinu
128
418276
3152
Shamba ambalo halikutumia njia ya Tassa
07:13
yieldedzimetoa 11 kilogramskilo
of milletmtama perkwa kila hectarehekta.
129
421452
4171
lilizalisha kilogramu 11 za mtama kwa hektari.
07:18
The plotnjama of landardhi with TassaTassa techniquembinu
130
426737
2295
Shamba lililotumia njia ya Tassa
07:21
yieldedzimetoa 553 kilogramskilo
of milletmtama perkwa kila hectarehekta.
131
429056
5853
lilizalisha kilogramu 553 za mtama kwa hektari.
07:27
(ApplauseMakofi)
132
435660
2585
(Makofi)
07:30
I lookedilionekana at the researchutafiti,
and I lookedilionekana at myselfMimi mwenyewe.
133
438269
3913
Niliangalia ule utafiti na nikajitazama.
07:34
I said, "I studiedalisoma
agriculturekilimo for 12 yearsmiaka,
134
442206
3252
Nilisema, "Nimesomea kilimo kwa miaka 12,
07:37
from primarymsingi to SeniorMwandamizi SixSita,
as we say in EastMashariki AfricaAfrika,
135
445482
3410
kuanzia elimu ya msingi mpaka kidato cha sita, kama tuitavyo kwa Afrika Mashariki,
07:40
SSSS3 in WestMagharibi AfricaAfrika or 12tht gradedaraja.
136
448916
2346
SS3 kwa Afrika Magharibi au darasa la 12.
07:43
No one ever taughtalifundishwa me
137
451286
1657
Hakuna aliyewahi kunifundisha
07:44
of any formfomu of traditionaljadi
AfricanAfrika knowledgeujuzi of cultivationkilimo --
138
452967
3806
namna yoyote ya maarifa ya Kiafrika katika ukulima --
07:48
of harvestingkuvuna, of anything --
139
456797
1794
katika mavuno, katika chochote --
07:50
that will work in modernkisasa timesnyakati
and actuallykwa kweli succeedkufanikiwa,
140
458615
3828
ambayo itafanya kazi katika nyakati za kisasa na hakika kufanikiwa,
07:54
where something importedzilizoagizwa from the WestMagharibi
would strugglemapambano to succeedkufanikiwa.
141
462467
4601
pale ambapo jambo fulani lillotolewa nchi za Magharibi limehangaika kufanikiwa.
07:59
That was when I knewalijua the challengechangamoto,
142
467775
3113
Hapo ndipo nilitambua changamoto,
08:02
the challengechangamoto of Africa'sWa Afrika curriculamitaala,
143
470912
2579
changamoto ya mtaala wa Kiafrika,
08:05
And I thushivyo beganilianza my questjitihada
to dedicatekujitolea my life, concernwasiwasi my life work,
144
473649
4798
Na kisha nikaanza lengo langu la kujitolea maisha yangu, kujali maisha yangu ya kazi,
08:10
to studyingkusoma, conductingkufanya researchutafiti
on Africa'sWa Afrika ownmwenyewe knowledgeujuzi systemmfumo
145
478471
4292
katika kusoma, kufanya tafiti kuhusu mfumo wa maarifa ya Kiafrika
08:14
and beingkuwa ableinaweza to advocatekutetea
for its mainstreamingkujumuisha
146
482787
3000
na kuweza kuyawakilisha katika njia kuu
08:17
in educationelimu, in researchutafiti, policysera
147
485811
2847
katika elimu, katika tafiti, sera
08:20
acrosskote sectorssekta and industriesviwanda.
148
488682
2055
katika sekta na viwanda.
08:23
AnotherMwingine conversationmazungumzo
and experienceuzoefu I had at the bankBenki
149
491445
3844
Maongezi mengine na uzoefu niliopata nikiwa Benki ya Dunia
08:27
I guessnadhani madealifanya me take that finalmwisho decisionuamuzi
of where I was going to go,
150
495313
4750
Nahisi umenifanya nichukue uamuzi wa mwisho wa wapi nitaelekea,
08:32
even thoughingawa it wasn'thaikuwa the mostwengi lucrativefaida
researchutafiti to go into,
151
500087
4024
ingawa haikuwa tafiti yenye matunda makubwa ya kuielekea,
08:36
but it was just about what I believedaliamini in.
152
504135
2317
lakini ilikuwa kuhusu jambo ambalo nililiamini.
08:38
And so one day, my bossbwana said
that he likesanapenda to go to AfricaAfrika
153
506937
4626
Kwa hiyo siku moja, mkuu wangu wa kazi alisema kwamba angependelea kwenda Afrika
08:43
to negotiatekujadili WorldUlimwengu BankBenki loansmikopo
and to work on WorldUlimwengu BankBenki projectsmiradi.
154
511587
4536
kwa ajili ya kujadiliana kuhusu mikopo ya Benki ya Dunia na kufanyia kazi miradi ya Benki hiyo.
08:48
And I was intriguedIntrigued. I askedaliuliza him why.
155
516614
1949
Na nilihamasika, nikamuuliza kwanini.
08:50
He said, "Oh, when I go to AfricaAfrika,
156
518587
2446
Alisema, "Oh, nitapoenda Afrika,
08:53
it's so easyrahisi.
157
521057
1709
ni rahisi.
08:55
I just writeandika up my loanmkopo documentsnyaraka
and my projectmradi proposalpendekezo in WashingtonWashington, DCMM,
158
523255
4658
Ninaandika tu nyaraka za mkopo na dhumuni la mkopo nikiwa Washington, DC,
08:59
I go to AfricaAfrika, and they all
just get signediliyosainiwa.
159
527937
2953
Ninakwenda Afrika, na kisha nyaraka zote zinasainiwa.
09:02
I get the bestbora dealtoa, and I'm back to basemsingi.
160
530914
3388
Ninapata mpango mzuri kabisa, na kisha narudi ofisini.
09:06
My bosseswakubwa are happyfuraha with me."
161
534326
2207
Wakuu wangu wa kazi watanifurahia."
09:08
But then he said,
"I hatechukia going to AsiaAsia or ..."
162
536933
3687
Lakini kisha akasema, "sipendi kwenda Asia au ..."
09:12
and he mentionedzilizotajwa a particularhasa countrynchi,
AsiaAsia and some of these countriesnchi.
163
540644
3443
na alitaja nchi fulani, bara la Asia na nchi baadhi.
09:16
"They keep me for this, tryingkujaribu
to get the bestbora dealtoa for theirwao countriesnchi.
164
544111
4023
"Huwa wananifanya nikae kwa muda mrefu, wakijaribu kutafuta mipango bora kwa nchi zao.
09:20
They get the bestbora dealtoa.
165
548158
1176
Huwa wanapata mipango bora.
09:21
They tell me, 'Oh' Oh,
that clausekifungu will not work for us
166
549358
2908
Wananiambia, 'Oh, hicho kipengele hakitatufaa
09:24
in our environmentmazingira.
167
552290
1607
katika mazingira yetu.
09:25
It's not our realityukweli.
It's just so WesternMagharibi.'
168
553921
2973
Si uhalisia wetu. Kimekaa katika mfumo wa Magharibi sana.'
09:28
And they tell me, 'Oh' Oh,
we have enoughkutosha expertswataalam
169
556918
3111
Na wananiambia, 'Oh, tuna wataalamu wa kutosha
09:32
to take carehuduma of this.
170
560053
1203
kwa ajili ya kushughulikia hili.
09:33
You don't have enoughkutosha expertswataalam.
171
561280
1621
Huna wataalamu wa kutosha.
09:34
We know our aimlengo.'
172
562925
1153
Tunafahamu lengo letu.'
09:36
And they just keep going
throughkupitia all these things.
173
564102
2445
Na wanaendelea kupitia haya mambo yote.
09:38
By the time they finishkumaliza,
yes, they get the bestbora dealtoa,
174
566571
2520
Ikifika muda wa kumaliza, ndiyo, wanapata mpango bora,
09:41
but I'm so exhaustednimechoka and I don't get
the bestbora dealtoa for the bankBenki,
175
569115
3165
lakini nakuwa nimechoka na sipati mpango mzuri kwa ajili ya benki,
09:44
and we're in businessbiashara."
176
572304
1179
na sisi tupo katika biashara."
09:45
"Really?" I thought in my headkichwa, "OK."
177
573507
1795
"Kweli?" Niliwaza akilini, "Sawa."
09:47
I was privilegedkupendeleo to sitkukaa in on
a loanmkopo negotiatingkujadiliana sessionkikao
178
575326
4280
Nilipata kipaumbele cha kupata nafasi ya kuwepo katika kikao cha kujadili kuhusu mkopo
09:51
in an AfricanAfrika countrynchi.
179
579630
1665
katika nchi ya Kiafrika.
09:53
So I would do these consultancyushauri
positionsnafasi duringwakati summermajira ya joto,
180
581319
2820
Kwa hivyo ningefanya kazi ya ushauri wakati wa kiangazi,
09:56
you know, sincetangu I was a doctoraludaktari studentmwanafunzi.
181
584163
2684
unajua, ukizingatia mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamivu.
09:58
And then I traveledalisafiri with the teamtimu,
with the WorldUlimwengu BankBenki teamtimu,
182
586871
4332
Na nilisafiri na timu, na timu ya Benki ya Dunia,
10:03
as more like someonemtu to help out
with organizationalshirika mattersmambo.
183
591227
4316
kama mtu ambaye ningesaidia katika masuala ya upangaji wa majadiliano.
10:07
But I satameketi in duringwakati
the negotiatingkujadiliana sessionkikao.
184
595567
3267
Lakini nilipokuwa wakati wa majadiliano.
10:11
I had mostlyzaidi Euro-AmericansEuro-Wamarekani, you know,
with me from WashingtonWashington, DCMM.
185
599730
4932
Niliokuwa nao wengi ni toka Ulaya na Marekani, unajua, wakiwa na mimi kutoka Washington, DC.
10:16
And I lookedilionekana acrosskote the tablemeza
at my AfricanAfrika brothersndugu and sistersdada.
186
604686
4850
Na nilitazama katika meza nikiwaangalia kaka na dada zangu wa Kiafrika.
10:21
I could see intimidationvitisho on theirwao facesinakabiliwa.
187
609993
2334
Niliona uoga katika nyuso zao.
10:24
They didn't believe
they had anything to offerkutoa
188
612771
2263
Hawakuamini kama walikuwa na chochote cha kuwapa
10:27
the great-great-grandchildrenkubwa-kubwa-wajukuu
of MungoMungo ParkHifadhi ya --
189
615058
2288
vilembwe wa Mungo Park --
10:29
the ownerswamiliki wa of "appleapple" in "A is for appleapple."
190
617370
2617
wamiliki wa "apple" katika "A is for Apple."
10:32
They just satameketi and watchedaliangalia:
"Oh, just give us, let us signishara.
191
620011
2776
Walikaa na kutazama:"Oh, mtupatie, tuweze tia saini.
10:34
You ownmwenyewe the knowledgeujuzi. You know it all.
192
622811
1913
Mnayo maarifa, mnafahamu yote.
10:36
Just, where do we signishara?
ShowOnyesha us, let us signishara."
193
624748
2209
Wapi tunatakiwa kutia saini?Tuonyeshe, tutie saini."
10:38
They had no voicesauti.
They didn't believe in themselveswenyewe.
194
626981
3036
Hawakuwa na sauti. Hawakujiamini.
10:46
ExcuseKisingizio me.
195
634544
1183
Mniwie radhi.
10:48
And so,
196
636587
1172
Na kwa hiyo,
10:51
I have been doing this for a decademiaka kumi.
197
639212
2326
Nimekuwa nikifanya hivi kwa muongo.
10:53
I have been conductingkufanya researchutafiti
on Africa'sWa Afrika knowledgeujuzi systemmfumo,
198
641562
3444
Nimekuwa nikifanyia utafiti kuhusu mfumo wa maarifa ya Kiafrika,
10:57
originalawali, authentichalisi,
traditionaljadi knowledgeujuzi.
199
645030
2244
asilia, halisi, maarifa ya Kiafrika.
10:59
In the fewwachache caseskesi where this
has been implementedkutekelezwa in AfricaAfrika,
200
647298
3197
Katika mambo machache ambapo hili suala limehusishwa,
11:02
there has been remarkableajabu
successesmafanikio recordedkumbukumbu.
201
650519
2484
kumekuwa na mafanikio makubwa ya kusisimua yaliyorekodiwa.
11:05
I think of GacacaGacaca.
202
653027
1537
Nawaza kuhusu Gacaca.
11:07
GacacaGacaca is Rwanda'sYa Rwanda traditionaljadi
judicialMahakama systemmfumo
203
655256
4732
Gacaca ni mfumo wa kitamaduni wa korti wa nchini Rwanda
11:12
that was used after the genocidemauaji ya halaiki.
204
660012
2094
ambao ulitumika baada ya mauaji ya kimbari.
11:14
In 1994, when the genocidemauaji ya halaiki endedilimalizika,
205
662130
2431
Mnamo 1994, mauaji yalipoisha,
11:18
Rwanda'sYa Rwanda nationalkitaifa courtmahakama systemmfumo
was in shamblesVurumai:
206
666100
2562
Mfumo wa mahakama wa taifa la Rwanda ulikuwa hafifu katika utendaji:
11:20
no judgesmajaji, no lawyerswanasheria to try
hundredsmamia of thousandsmaelfu of genocidemauaji ya halaiki caseskesi.
207
668686
5526
hakuna majaji, hakuna mawakili kuweza fanyia kazi mamia ya maelfu ya kesi za mauaji ya kimbari.
11:26
So the governmentserikali of RwandaRwanda
camealikuja up with this ideawazo
208
674236
3508
Kwa hiyo serikali ya Rwanda ilipata wazo hili
11:29
to resuscitateresuscitate a traditionaljadi
judicialMahakama systemmfumo knowninayojulikana as GacacaGacaca.
209
677768
3395
kufufua mfumo wa jadi wa korti unaofahamika kama Gacaca.
11:33
GacacaGacaca is a community-basedkulingana na jamii
judicialMahakama systemmfumo,
210
681625
3447
Gacaca ni mfumo wa jamii wa mahakama,
11:37
where communityjumuiya memberswanachama come togetherpamoja
211
685096
2937
ambapo wanajamii hukutana pamoja
11:40
to electwateule menwatu and womenwanawake of provenkuthibitishwa integrityuadilifu
212
688057
3749
kuchagua waume kwa wake walio na uadilifu
11:43
to try caseskesi of crimesuhalifu committednia
withinndani these communitiesjamii.
213
691830
4510
kusimamia kesi ya jinai zilizofanyika katika jamii yao.
11:49
So by the time GacacaGacaca concludedalihitimisha
its trialjaribio of genocidemauaji ya halaiki caseskesi in 2012,
214
697255
5477
Kwa wakati Gacaca ilipomaliza kutoa hukumu ya kesi za mauaji ya kimbari mnamo mwaka 2012,
11:55
12,000 community-basedkulingana na jamii courtsmahakama
had triedwalijaribu approximatelytakribani 1.2 millionmilioni caseskesi.
215
703619
6975
mahakama 12,000 za kijamii ziliweza simamia kesi takribani milioni 1.2.
12:03
That's a recordrekodi.
216
711334
1352
Hicho ni kiasi kikubwa.
12:05
(ApplauseMakofi)
217
713169
4981
(Makofi)
12:10
MostWengi importantlymuhimu is that GacacaGacaca emphasizedsisitiza
Rwanda'sYa Rwanda traditionaljadi philosophyfalsafa
218
718438
5600
Muhimu ni kwamba Gacaca ilihimiza philosophia ya kitamaduni ya Rwanda
12:16
of reconciliationupatanisho and reintegrationMpe bozongi mboka,
219
724062
3093
na majadiliano ya amani na kuungana pamoja tena,
12:19
as againstdhidi the wholeyote
punitivekutoa adhabu and banishmentkufukuzwa ideawazo
220
727179
3878
kupingana na mawazo ya mateso na adhabu
12:23
that undergirdsuhimili utekelezaji present-daysiku za sasa WesternMagharibi stylemtindo.
221
731081
3722
ambayo yanatumika katika mifumo ya nchi za Magharibi hadi siku hizi.
12:27
And not to comparekulinganisha, but just to say
that it really emphasizedsisitiza
222
735481
3895
Na sio kwa kulinganisha, lakini kwa kusema tu kwamba ilihamasisha sana
12:31
Rwanda'sYa Rwanda traditionaljadi methodnjia of philosophyfalsafa.
223
739400
3354
Mfumo wa jadi wa philosophia ya Rwanda.
12:35
And so it was MwalimuMwalimu JuliusJulius NyerereNyerere,
224
743269
2597
Na kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Julius Nyerere,
12:37
formerzamani presidentrais of TanzaniaTanzania --
225
745890
1741
raisi wa kwanza wa nchi ya Tanzania --
12:39
(ApplauseMakofi)
226
747655
1476
(Makofi)
12:41
who said that you cannothaiwezi developkuendeleza people.
227
749155
3176
nani amesema huwezi kuwaendeleza watu.
12:44
People will have to developkuendeleza themselveswenyewe.
228
752916
3058
Watu watatakiwa kujiendeleza wenyewe.
12:48
I agreekubali with MwalimuMwalimu.
229
756563
1385
Nakubaliana na Mwalimu.
12:50
I am convincedwanaaminika
230
758487
1388
Nimekubaliana
12:51
that Africa'sWa Afrika furtherzaidi transformationmabadiliko,
Africa'sWa Afrika advancementmaendeleo,
231
759899
3623
kwamba mabadiliko zaidi ya Afrika, maendeleo ya Afrika,
12:55
restsanakaa simplytu in the acknowledgmentkukubali,
validationuhakikishi and mainstreamingkujumuisha
232
763546
4779
yapo katika utambuzi, uhalalishaji na kuweza njia kuu
13:00
of Africa'sWa Afrika ownmwenyewe traditionaljadi, authentichalisi,
originalawali, indigenousasili knowledgeujuzi
233
768349
4989
tamaduni zetu wenyewe, uhalisi, asili ya maarifa
13:05
in educationelimu, in researchutafiti,
in policysera makingkufanya and acrosskote sectorssekta.
234
773362
4871
katika elimu, katika tafiti, katika utengenezaji sera katika sekta.
13:10
This is not going to be easyrahisi for AfricaAfrika.
235
778816
2517
Hii haiwezi kuwa rahisi kwa Afrika.
13:13
It is not going to be easyrahisi for a people
used to beingkuwa told how to think,
236
781357
3464
Si rahisi kwa watu waliozoea kuambiwa namna ya kufikiri,
13:16
what to do, how to go about it,
237
784845
2365
nini cha kufanya, jinsi ya kukifanya,
13:19
a people long subjectedilitiwa
to the intellectualkiakili guidancemwongozo
238
787234
3154
watu ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa katika muongozo wa maarifa
13:22
and directionmwelekeo of otherswengine,
239
790412
1742
na dira za wengine,
13:24
be they the colonialkikoloni mastersmabwana,
240
792178
1667
wawe wakoloni,
13:25
aidmisaada industrysekta or internationalkimataifa newshabari mediavyombo vya habari.
241
793869
2972
mashirika ya misaada au vyombo vya habari vya kimataifa.
13:28
But it is a taskkazi that we have to do
to make progressmaendeleo.
242
796865
3234
Lakini ni jambo tunalotakiwa kufanya ili kupiga hatua.
13:32
I am strengthenedkuimarishwa by the wordsmaneno
of JosephJoseph ShabalalaShabalala,
243
800123
2900
Ninaimarishwa na maneno ya Joseph Shabalala,
13:35
foundermwanzilishi of the SouthKusini AfricanAfrika choralmakwaya groupkikundi
LadysmithLadysmith BlackNyeusi MambazoMambazo.
244
803047
3474
muanzilishi wa kundi la kwaya la Afrika Kusini liitwalo Ladysmith Black Mambazo.
13:38
He said that the taskkazi aheadmbele of us
can never, ever be greaterzaidi
245
806545
5687
Alisema kwamba kazi iliyopo mbele yetu haiwezi kamwe, kuwa kubwa
13:44
than the powernguvu withinndani us.
246
812256
2153
kuliko nguvu iliyopo ndani yetu.
13:46
We can do it.
247
814433
1158
Tunaweza kufanya.
13:47
We can unlearnunlearn looking down on ourselvessisi wenyewe.
248
815615
2560
Tunaweza kuacha kujidharau.
13:50
We can learnkujifunza to placemahali valuethamani
on our realityukweli and our knowledgeujuzi.
249
818199
4195
Tunaweza kujifunza kuweka thamani katika uhalisia wetu na maarifa yetu.
13:54
Thank you.
250
822418
1155
Asante.
13:55
(SwahiliKiswahili) Thank you very much.
251
823597
1471
Asante sana.
13:57
(ApplauseMakofi)
252
825092
1523
(Makofi)
13:58
Thank you. Thank you.
253
826639
2202
Asante. Asante
14:00
(ApplauseMakofi)
254
828865
4699
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Chika Ezeanya-Esiobu - Indigenous knowledge expert
Working across disciplines, Chika Ezeanya-Esiobu explores homegrown and grassroots approaches to the sustainable advancement of Sub-Saharan Africa.

Why you should listen

Chika Ezeanya-Esiobu is convinced of the ability of Africans to transform the continent by acknowledging the significance of its indigenous knowledge in all fields of human endeavor. A researcher, fiction and non-fiction writer, public intellectual and teacher, Ezeanya-Esiobu has published several research papers on aspects of Africa's indigenous knowledge. She has also been commissioned to conduct indigenous knowledge-based research by the International Development Research Center Canada, United Nations University World Institute for Development Economics Research,(UNU-WIDER) United Nations Research Institute for Social Development (UNRISD) and The Swedish International Development Agency (Sida), among others. 

Ezeanya-Esiobu is the author of the historical fiction book Before We Set Sail. In its manuscript form, Before We Set Sail was one of six shortlisted out of over 250 submissions, made to the Penguin Publishers Award for African Writing in 2010. Following her TEDGlobal 2017 talk, Ezeanya-Esiobu shared an alphabet book series she had written for her daughter: Dr. Chika's ABC for the African Child (2017).

Ezeanya-Esiobu has lived and worked in four countries across three continents, and through her travels she has learned to value integrity, dignity, respect for self and others ... to be open to knowledge, to be happy and to smile a lot with her heart. Her lifetime passion is to contribute to efforts that would see to the unleashing of the suppressed creative and innovative energies buried deep in the hearts and minds of all Africans. She blogs at chikaforafrica.com.

More profile about the speaker
Chika Ezeanya-Esiobu | Speaker | TED.com