ABOUT THE SPEAKER
Yasin Kakande - Investigative journalist, author
Yasin Kakande is exposing the human rights abuses of migrant workers in the Middle East.

Why you should listen

Investigative journalist Yasin Kakande works undercover in the Middle East to expose human rights abuses of migrant workers. He investigates the reasons why Africans choose to migrate to the Middle East, Europe and America, and traces the severe consequences of countries closing their borders to African migrants. A migrant himself, first to the Middle East and recently to the US, Kakande is the author of two books: Slave States, an expose of the enslavement, trafficking and abuse of workers in the Gulf Arab Region, and The Ambitious Struggle: An African Journalist's Journey of Hope and Identity in a Land of Migrants.

More profile about the speaker
Yasin Kakande | Speaker | TED.com
TED2018

Yasin Kakande: What's missing in the global debate over refugees

Yasin Kakande: Ni kitu gani kinakosekana katika mdahalo wa kidunia juu ya wakimbizi

Filmed:
1,098,895 views

Katika mdahalo unaoendelea juu ya wakimbizi, tunasikia kutoka kwa kila mtu --- kutoka kwa wanasiasa ambao wanaahidi udhibiti wa mipaka kwa wananchi wanaoogopa kupoteza kazi zao -- kila mmoja, yaani, isipokuwa wahamiaji wenyewe. Kwa nini wanakuja? Mwanahabari na Mshiriki wa TED Yasin Kakande anaelezea nini kilochomsukuma yeye na wengine wengi kukimbia nchi zao, akisisitiza majadiliano ya wazi zaidi na mtazamo mpya. Kwa sababu simulizi la ubinadamu, anatukumbusha, ni simulizi la uhamaji: "Hakuna vikwazo ambavyo vingeweza kuwa madhubuti sana kuzuia wimbi la uhamaji ambalo limeamua historia yetu ya binadamu," anasema.
- Investigative journalist, author
Yasin Kakande is exposing the human rights abuses of migrant workers in the Middle East. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:17
I am an immigrantwalivyokubali from UgandaUganda
livingwanaishi in the UnitedMuungano StatesMarekani
0
5154
3905
Mimi ni mhamiaji kutoka Uganda
Naishi Marekani
00:21
while waitingkusubiri for my asylumHifadhi applicationprogramu
1
9083
2661
nikisubiri ombi langu la hifadhi
00:23
to go throughkupitia.
2
11768
1186
kupita.
00:25
MigrantsWahamiaji do not enjoykufurahia
much freedomuhuru of movementmwendo
3
13723
3268
Wahamiaji hawafaidi sana
Uhuru wa kutembea
00:29
in our worldulimwengu todayleo.
4
17015
1424
Katika dunia yetu leo.
00:30
This certainlyhakika appliesinatumika to those
who are desperatetamaa enoughkutosha
5
18802
3171
Hii hasa huwahusu
wale walio tayari kwa lolote
00:33
to navigatesafari choppymawimbi makubwa
and stormymkali seasbahari in boatsboti.
6
21997
3018
hata kusafiri kwenye bahari yenye mawimbi
na dhoruba kwa mashua.
00:37
These are the riskshatari my cousinsbinamu
from WestMagharibi AfricaAfrika and NorthKaskazini AfricaAfrika faceuso
7
25352
4772
Hizi ndizo hatari ambazo ndugu zangu wa
Afrika Magharibi na Kaskazini huzipata
00:42
while tryingkujaribu to crossmsalaba over to EuropeEurope.
8
30148
2302
wanapojaribu kuvuka kwenda Ulaya.
00:44
IndeedKweli, it is a rarenadra
but fortunatebahati opportunitynafasi
9
32474
3827
Kweli, ni nadra lakini ni fursa ya bahati
00:48
for a migrantmgeni to addressanwani
a gatheringkukusanya like this.
10
36325
3157
kwa mhamiaji kuhutubia
kusanyiko kama hili.
00:52
But this alsopia signifieskunaashiria
what oftenmara nyingi is missinghaipo
11
40259
3147
Lakini hii pia inaonesha
kitu gani hukosekana mara nyingi
00:55
in the globalkimataifa debatemjadala over refugeeswakimbizi,
12
43430
2674
katika mdahalo wa kidunia
juu ya wakimbizi,
00:58
migrantswahamiaji and immigrantswahamiaji,
13
46128
2358
wahamaji na wahamiaji,
01:00
voicessauti of the disenfranchisedwananyimwa haki.
14
48510
2969
sauti za wasio na haki ya uraia.
01:03
CitizensWananchi of manywengi hostmwenyeji countriesnchi,
15
51503
1963
Wananchi wa nchi nyingi wenyeji,
01:05
even those that previouslyawali
welcomedkukaribishwa newcomerswageni,
16
53490
2915
hata zile ambazo mwanzoni
zilikaribisha wageni,
01:08
are uneasywenye mashaka about the risingkupanda
numbersnambari of individualswatu binafsi
17
56429
3282
wana wasiwasi juu ya ongezeko
la namba ya watu
01:11
comingkuja into theirwao countriesnchi.
18
59735
2218
wanaokuja kwenye nchi zao.
01:13
The immediateharaka criticismupinzani
is that the newcomerswageni upendupend the stabilityutulivu
19
61977
3995
Kasoro ya kwanza ni kuwa
wageni wataangusha uthabiti
01:17
of socialkijamii welfareustawi and employmentajira
in theirwao countriesnchi.
20
65996
3157
wa huduma za kijamii na ajira
katika nchi zao.
01:21
UncertainUhakika and skepticalwasiwasi citizenswananchi
look towardskuelekea politicianswanasiasa
21
69177
3718
Wanachi wenye mashaka na shuku
huwaelekea wanasiasa
01:24
who are competingkushindana againstdhidi eachkila mmoja other
to see who can claimkudai the prizetuzo
22
72919
4788
wanaoshindana wao kwa wao
kuona nani anaweza kushinda
01:29
of the loudestloudest voicesauti
of populismpopulism and nationalismutaifa.
23
77731
3711
sauti kubwa kabisa ya uwingi
na utaifa.
01:33
It is a contestmashindano of who
is the toughestngumu on migrantswahamiaji,
24
81917
4413
Ni ushindani juu ya nani ni mkali zaidi
juu ya wahamaji,
01:38
the mostwengi willingtayari to imposekulazimisha travelkusafiri bansyapiga marufuku
25
86354
2231
aliye tayari zaidi
kuamuru mazuio ya kusafiri
01:40
and the mostwengi eagerhamu ya to proposependekeza
projectsmiradi in buildingkujenga wallskuta.
26
88609
3788
na mwenye hamu kubwa ya
kupendekeza miradi ya kujenga kuta.
01:44
All these restrictionsvikwazo simplytu addressanwani
symptomsdalili of the problemtatizo,
27
92782
3661
Vikwazo vyote hivi vinatatua
viashiria vya tatizo
01:48
not the causessababu.
28
96467
1421
sio visababishi.
01:49
Why are they comingkuja?
29
97912
1581
Kwa nini wanakuja?
01:52
MigrantsWahamiaji can sharekushiriki perspectivesmitazamo,
30
100221
1705
Wahamaji waweza kutoa mitazamo yao,
01:53
if only politicianswanasiasa
would be willingtayari to listen.
31
101950
3230
ikiwa tu wanasiasa
watakuwa tayari kusikiliza.
01:57
In DubaiDubai, I chronicledalitunga injusticesudhalimu
and inequalitieskutofautiana inflictedimetolewa regularlymara kwa mara
32
105590
4168
Nikiwa Dubai, nimeandika ukiukwaji
wa haki na usawa unaofanywa mara nyingi
02:01
on the migrantmgeni laborkazi forcenguvu.
33
109782
1884
kwa wafanyakazi wahamiaji.
02:03
As a resultmatokeo, pressuresshinikizo
from the governmentsserikali
34
111690
3067
Matokeo yake, mashinikizo toka serikali
02:06
of the respectivehusika countriesnchi
35
114781
1463
za nchi husika
02:08
led to me beingkuwa forcedkulazimishwa out of my careerkazi
as a journalistmwandishi wa habari in the MiddleKati EastMashariki.
36
116268
4670
zimepelekea mimi kuacha kazi yangu ya
uandishi habari katika Mashariki ya Kati.
02:13
I was deportedwarudishwa to UgandaUganda,
37
121747
1503
Nilirudishwa Uganda,
02:15
where economickiuchumi deprivationkupokonywa
putsunaweka everyonekila mtu at the riskhatari of starvationnjaa.
38
123274
4657
ambapo uchumi uliokengeuka humweka
kila mtu katika hatari ya kukosa chakula.
02:19
I fledwalikimbia UgandaUganda to come to the UnitedMuungano StatesMarekani
39
127955
2667
Nilikimbia Uganda kuja Marekani
02:22
in the hopetumaini of sustainingkuendeleza a voicesauti
for my brothersndugu and sistersdada
40
130646
4110
Katika tumaini la kudumisha sauti
ya kaka na dada zangu
02:26
who experienceuzoefu a more
seriousmbaya plightshida as migrantswahamiaji.
41
134780
3373
ambao wanapata
majanga makubwa zaidi kama wahamiaji
02:30
My fatherbaba told me he was not happyfuraha
about me writingkuandika a bookkitabu
42
138707
3658
Baba yangu aliniambia hakuwa na furaha
kwa mimi kuandika kitabu
02:34
that riskedwalihatarishi deportationiliwarudisha and unemploymentukosefu wa ajira.
43
142389
3728
kilichohatarisha kurudishwa nyumbani
na kukosa kazi
02:38
He had been diabetickisukari for manywengi yearsmiaka
when I still workedkazi in DubaiDubai,
44
146141
3474
Alikuwa na kisukari kwa miaka mingi
nilipokuwa bado nikifanya kazi Dubai,
02:41
and my salarymshahara was always sufficientkutosha
to paykulipa for his treatmentsmatibabu.
45
149639
3579
na mshahara wangu ulitosha wakati wote
kulipia matibabu yake.
02:45
After I was expelledkufukuzwa,
46
153854
1770
Baada ya mimi kufukuzwa,
02:47
I could not affordkununua
to sustainendelea his treatmentmatibabu,
47
155648
2868
Sikuweza kugharamia matibabu yake,
02:50
and even in the last dayssiku of his life,
48
158540
2744
na hata katika siku zake za mwisho,
02:53
I could not affordkununua
to take him to a hospitalhospitali.
49
161308
2485
sikuweza kumpeleka hospitali.
02:56
As I carriedkufanyika his bodymwili in my handsmikono
to laykuweka it in the groundardhi
50
164911
3772
Nilipobeba mwili wake mikononi mwangu
kumlaza ardhini
03:00
in JuneJuni of last yearmwaka,
51
168707
1637
Mwezi juni mwaka jana,
03:02
I realizedgundua I had paidkulipwa a profoundkina pricebei
52
170368
3434
Nilitambua nimelipa bei kubwa sana
03:05
for amplifyingInaongeza kupitia wenye my voicesauti.
53
173826
1800
kwa ajili ya kukuza sauti yangu.
03:09
The acttenda of speakingakizungumza up againstdhidi injusticesudhalimu
that are multilayeredmultilayered is never easyrahisi,
54
177482
6151
Kitendo cha kuongelea juu ya udhalimu
ulio na matabaka mengi si rahisi,
03:16
because the problemsmatatizo requireinahitaji
more than just rhetorichamaki.
55
184257
3884
sababu matatizo haya huhitaji
zaidi ya elimu ya usemaji.
03:20
So long as golddhahabu minesmigodi, oilfieldsoilfields and largekubwa
farmsmashamba in AfricaAfrika continueendelea to be ownedinayomilikiwa
56
188165
6657
Iwapo migodi ya dhahabu, visima vya mafuta
na mashamba makubwa Afrika yataendelea
03:26
by foreignkigeni investorswawekezaji
57
194846
1748
kumilikiwa na wawekezaji wa kigeni
03:28
and those vitalmuhimu resourcesrasilimali
are shippedkusafirishwa to the WestMagharibi,
58
196618
3546
na zile rasilimali muhimu
zikisafirishwa magharibi,
03:32
the streammkondo of AfricanAfrika migrantswahamiaji
will flowmtiririko continuouslykuendelea.
59
200188
4722
mkodo wa wahamaji wa Kiafrika
utaendelea bila kukata.
03:37
There are no restrictionsvikwazo
that could ever be so rigorousukali
60
205423
4629
Hakuna mazuio ambayo yangeweza
kuwa madhubuti sana
03:42
to stop the wavewimbi of migrationuhamiaji
that has determinedkuamua our humanbinadamu historyhistoria.
61
210076
5509
kuzuia wimbi la uhamaji
ambalo limeamua historia yetu ya binadamu.
03:47
Before bordermpaka controlsudhibiti can be tightenedminskat
62
215609
2865
Kabla ulinzi wa mipaka haujaimarishwa
03:50
and newmpya visaviza restrictionsvikwazo imposedzilizowekwa,
63
218498
2964
na masharti mapya ya viza kuwekwa,
03:53
countriesnchi that have long receivedalipokea migrantswahamiaji
64
221486
2545
nchi ambazo zimekuwa zikipokea wahamiaji
03:56
should engagekushiriki in a more openkufungua discussionmajadiliano.
65
224055
3318
zinatakiwa kujishughulisha
na majadiliano ya wazi zaidi.
03:59
That is the only practicalvitendo startkuanza
for reconcilingkuwapatanisha, finallyhatimaye,
66
227397
4876
Huo ndio mwanzo pekee wa kitendaji
wa kupatanisha, hatimaye,
04:05
a legacyurithi of exploitationunyonyaji,
67
233217
2346
hiba ya unyonyaji,
04:08
slaveryutumwa,
68
236713
1516
utumwa,
04:10
colonialismukoloni
69
238253
1400
ukoloni
04:11
and imperialismuperialism,
70
239677
1780
na ubeberu,
04:13
so that togetherpamoja, we can movehoja forwardmbele
in creatingkujenga a more just globalkimataifa economyuchumi
71
241481
5612
ili sote kwa pamoja, tuweze kwenda mbele
kujenga uchumi wa dunia wa usawa zaidi
04:19
in the 21stst centurykarne --
72
247752
1787
katika karne ya 21 --
04:22
one that benefitsfaida all.
73
250087
2833
ambao unanufaisha wote.
Translated by Clarence Bitegeko
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Yasin Kakande - Investigative journalist, author
Yasin Kakande is exposing the human rights abuses of migrant workers in the Middle East.

Why you should listen

Investigative journalist Yasin Kakande works undercover in the Middle East to expose human rights abuses of migrant workers. He investigates the reasons why Africans choose to migrate to the Middle East, Europe and America, and traces the severe consequences of countries closing their borders to African migrants. A migrant himself, first to the Middle East and recently to the US, Kakande is the author of two books: Slave States, an expose of the enslavement, trafficking and abuse of workers in the Gulf Arab Region, and The Ambitious Struggle: An African Journalist's Journey of Hope and Identity in a Land of Migrants.

More profile about the speaker
Yasin Kakande | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee