ABOUT THE SPEAKER
Nikki Webber Allen - Multimedia producer
Nikki Webber Allen is working to create a safe space for honest conversations about mental health in communities of color.

Why you should listen

Nikki Webber Allen is a two-time Emmy winner with 20 years of experience producing content for media outlets including Warner Bros., HBO, ABC, 20th Century Fox and BET.

In 2013, while working as the vice president of casting and talent relations for the cable network TV One, Webber Allen lost her 22-year old nephew, Paul, to suicide after his years of struggle with depression and anxiety. Since then, she's become a passionate mental health advocate.

In Paul's honor, she launched the nonprofit I LIVE FOR... FOUNDATION, INC. to create a safe space for honest, unapologetic conversations about mental health in communities of color, where the cultural stigma of mental illness discourages far too many people from seeking help. Michael Eric Dyson, advisor to the foundation, has called I LIVE FOR… "an incredibly important organization that offers much-needed support to those who too often suffer in silence."

Webber Allen is currently producing and directing a documentary film featuring a diverse group of compelling young men and women who reject the stigma of mental illness and share candid stories about their experiences living with depression and anxiety. The film is being scored by her husband, musician Jeffrey Allen of the Grammy-nominated R&B band Mint Condition.

In 2016, Webber Allen was one of only 47 people chosen out of more than 1,000 applicants worldwide to receive a coveted scholarship to Marie Forleo's B-School for social entrepreneurs. She has an M.A. in media studies from The New School University in New York, NY and a B.A. in communications from Rutgers University in New Brunswick, NJ.

More profile about the speaker
Nikki Webber Allen | Speaker | TED.com
TED Residency

Nikki Webber Allen: Don't suffer from your depression in silence

Nikki Webber Allen: Usitaabike na msongo wa mawazo katika ukimya.

Filmed:
2,292,266 views

Kuwa na hisia si dalili ya udhaifu -- humaanisha kwamba sisi ni binadamu, anasema mtayarishaji vipindi na mwanaharakati Nikki Webber Allen. Hata baada ya kugundulika na ugonjwa wa msongo wa mawazo na hofu, alijisikia aibu kumwambia mtu yoyote, aliweka hali yake katika usiri mpaka pale msiba wa mtu wa karibu katika familia yake ulipotokea, kutokana na hali kama yake. Katika mjadala huu muhimu kuhusu afya ya akili, anaongelea wazi kuhusu hangaiko lake -- na kwanini jamii ya watu wasio wazungu ina ulazimu wa kuondokana na unyanyapaa ambao huepelekea watu kuwaza msongo wa mawazo ni udhaifu na kuwatenga walio na hangaiko hilo katika kupata msaada.
- Multimedia producer
Nikki Webber Allen is working to create a safe space for honest conversations about mental health in communities of color. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
What are you doing on this stagehatua
0
956
4410
Unafanya nini katika jukwaa hili
00:17
in frontmbele of all these people?
1
5390
3118
mbele ya watu wote hawa?
00:20
(LaughterKicheko)
2
8532
1374
(Kicheko)
00:21
RunKukimbia!
3
9930
1151
Kimbia!
00:23
(LaughterKicheko)
4
11105
1003
(Kicheko)
00:24
RunKukimbia now.
5
12132
1178
Kimbia sasa.
00:26
That's the voicesauti of my anxietywasiwasi talkingkuzungumza.
6
14734
2967
Hii ni sauti ya hofu yangu inaongea.
00:30
Even when there's absolutelykabisa
nothing wrongsi sawa,
7
18539
2936
Hata kama hakuna tatizo lolote,
00:33
I sometimesmara nyingine get
this overwhelmingmno sensehisia of doomadhabu,
8
21499
3959
Kuna wakati huwa napata hisia za mahangaiko,
00:37
like dangerhatari is lurkingya msingi yamefichika
just around the cornerkona.
9
25482
2962
kama hatari inaninyemelea kwenye kona.
00:41
You see, a fewwachache yearsmiaka agoiliyopita,
10
29057
2116
Unaona, miaka michache iliyopita,
00:43
I was diagnosedkukutwa with generalizedinatafutwa anxietywasiwasi
11
31197
2497
Niligundulika na ugonjwa wa msongo wa hofu
00:45
and depressionhuzuni --
12
33718
1150
na mawazo --
00:47
two conditionshali that oftenmara nyingi go handmkono in handmkono.
13
35289
2420
hali mbili ambazo huenda pamoja.
00:50
Now, there was a time
I wouldn'thakutaka have told anybodymtu yeyote,
14
38073
4265
Sasa, kuna wakati nisingemuambia mtu yoyote,
00:54
especiallyhasa not in frontmbele of a bigkubwa audiencewatazamaji.
15
42362
2460
hususani mbele ya umati mkubwa.
00:56
As a blacknyeusi womanmwanamke,
16
44846
1527
Kama mwanamke mwenye ngozi nyeusi,
00:58
I've had to developkuendeleza
extraordinaryajabu resilienceujasiri to succeedkufanikiwa.
17
46397
3640
Nimetakiwa kujijengea ustahimilivu wa hali ya juu ili kufanikiwa.
01:02
And like mostwengi people in my communityjumuiya,
18
50061
1979
Na kama watu wengi katika jamii yangu,
01:04
I had the misconceptionmisconception that depressionhuzuni
was a signishara of weaknessudhaifu,
19
52064
3808
Nilikuwa na imani potofu kwamba msongo wa mawazo ni kiashiria cha udhaifu,
01:07
a charactertabia flawKosa.
20
55896
1536
udhaifu wa tabia.
01:09
But I wasn'thaikuwa weakdhaifu;
21
57456
1574
Lakini sikuwa dhaifu;
01:11
I was a highjuu achieverachiever.
22
59054
1470
Nilikuwa nimefanikiwa kwa hali ya juu.
01:12
I'd earnedalipata a Master'sYa uzamili degreeshahada
in MediaVyombo vya habari StudiesMasomo
23
60925
2203
Nilipata Shahada ya Uzamili kwenye masomo ya vyombo vya habari
01:15
and had a stringkamba of high-profileMaelezo mafupi juu jobskazi
in the filmfilamu and televisiontelevisheni industriesviwanda.
24
63152
4109
na kuwa na kazi za hadhi ya juu katika tasnia ya filamu na televisheni.
01:19
I'd even wonalishinda two EmmyEmmy AwardsTuzo
for my hardngumu work.
25
67734
3050
Nimeshinda hata tuzo mbili za Emmy kwa uchapakazi kazi wangu.
01:23
Sure, I was totallykabisa spentalitumia,
26
71436
3016
Hakika, Nilitumika sana,
01:26
I lackedalipungukiwa na interesthamu in things
I used to enjoykufurahia,
27
74476
2670
Nilikosa hamu katika vitu nilivyozoea kuvifurahia,
01:29
barelyvigumu atewalikula,
28
77170
1298
nilikula mara chache,
01:30
struggledwalijitahidi with insomniausingizi
29
78492
1903
nilisumbuka kupata usingizi
01:32
and feltwalihisi isolatedpekee and depletedwazi.
30
80419
2624
na nilijihisi kutengwa na kushuka thamani.
01:35
But depressedwamesimama?
31
83562
1352
Lakini kuwa na masononeko?
01:36
No, not me.
32
84938
1524
Hapana, sio mimi.
01:39
It tookalichukua weekswiki before I could admitkukubali it,
33
87921
2206
Ilinichukua wiki kadhaa kabla ya kukubaliana na hali yangu,
01:42
but the doctordaktari was right:
34
90151
1429
lakini daktari alikuwa sahihi:
01:43
I was depressedwamesimama.
35
91604
1278
Nilikumbwa na msongo wa mawazo.
01:45
Still, I didn't tell anybodymtu yeyote
about my diagnosisutambuzi.
36
93411
3548
Bado, sikumwambia mtu yoyote kuhusu majibu ya uchunguzi.
01:49
I was too ashamedaibu.
37
97522
1613
Nilihisi aibu.
01:51
I didn't think I had the right
to be depressedwamesimama.
38
99159
2517
Sikudhani nilipaswa kusongwa na mawazo.
01:54
I had a privilegedkupendeleo life
39
102418
1630
Nilikuwa na maisha yenye kipaumbele
01:56
with a lovingupendo familyfamilia
and a successfulimefanikiwa careerkazi.
40
104072
3100
yenye familia iliyo na upendo na kazi iliyo na mafanikio.
01:59
And when I thought about
the unspeakableisiyo na kifani horrorshofu
41
107708
2592
Na nilipowaza kuhusu maafa yasiyofikirika
02:02
that my ancestorsmababu
had been throughkupitia in this countrynchi
42
110324
2488
ambayo mababu zangu walipitia katika nchi hii
02:04
so that I could have it better,
43
112836
1968
ili niwe na maisha bora,
02:06
my shameaibu grewilikua even deeperzaidi.
44
114828
1678
aibu yangu iliongezeka zaidi.
02:08
I was standingmsimamo on theirwao shouldersmabega.
45
116980
2093
Nilikuwa nimesimama kwenye mabega yao.
02:11
How could I let them down?
46
119097
1602
Ningewezaje kuwaangusha?
02:13
I would holdkushikilia my headkichwa up,
47
121382
2053
Nilinyanyua kichwa changu na kuangalia juu,
02:15
put a smiletabasamu on my faceuso
48
123459
2360
na kuweka tabasamu katika uso wangu
02:17
and never tell a soulnafsi.
49
125843
1708
na kutoiambia nafsi yoyote.
02:22
On JulyJulai 4, 2013,
50
130466
3277
Mnamo tarehe 4, Julai mwaka 2013,
02:26
my worldulimwengu camealikuja crashingcrashing in on me.
51
134479
2188
dunia yangu ilipasuka ndani yangu.
02:29
That was the day I got
a phonesimu call from my mommama
52
137399
2901
Hiyo ilikuwa siku nilipokea simu kutoka kwa mama yangu
02:32
tellingkuwaambia me that my 22-year-oldmwenye umri wa miaka nephewmpwa,
PaulPaulo, had endedilimalizika his life,
53
140324
4190
akiniambia kwamba mpwa wangu mwenye miaka 22, Paul, amejiua,
02:36
after yearsmiaka of battlingwanaopigana
depressionhuzuni and anxietywasiwasi.
54
144538
2641
baada ya miaka kadhaa ya kupambana na msongo wa mawazo na hofu.
02:40
There are no wordsmaneno that can describekuelezea
the devastationuharibifu mkubwa I feltwalihisi.
55
148668
3155
Hakuna maneno ambayo yanaweza kuelezea namna gani nilijisikia vibaya.
02:44
PaulPaulo and I were very closekaribu,
56
152667
1294
Mimi na Paul tulikuwa karibu,
02:45
but I had no ideawazo he was in so much painmaumivu.
57
153985
2054
lakini sikutambua alikuwa akipitia maumivu makubwa.
02:48
NeitherWala one of us had ever talkedaliongea
to the other about our strugglesmapambano.
58
156696
3558
Hakuna yeyote kati yetu ambaye aliwahi kumwambia mwenzie kuhusu mahangaiko aliyokuwa akipitia.
02:52
The shameaibu and stigmaunyanyapaa keptimehifadhiwa us bothwote wawili silentkimya.
59
160278
2164
Aibu na unyanyapaa ulitufanya wote kuwa kimya.
02:56
Now, my way of dealingkushughulika with adversitydhiki
is to faceuso it headkichwa on,
60
164161
4003
Sasa, namna yangu ya kupambana na mikosi ni kuitazama bila uoga,
03:00
so I spentalitumia the nextijayo two yearsmiaka
researchingkutafiti depressionhuzuni and anxietywasiwasi,
61
168188
3158
kwa hiyo nilitumia miaka miwili baadaye kufanyia utafiti msongo wa mawazo na hofu,
03:03
and what I foundkupatikana was mind-blowingakili-kupiga.
62
171370
2767
na niligundua jambo la kushangaza.
03:06
The WorldUlimwengu HealthAfya OrganizationShirika la reportsripoti
63
174764
1974
Taasisi ya Afya Duniani imetoa ripoti ikisema
03:08
that depressionhuzuni is the leadingkuongoza causekusababisha
of sicknessugonjwa and disabilityulemavu
64
176762
5224
kwamba msongo wa mawazo ni sababu kuu ya magonjwa na ulemavu
03:14
in the worldulimwengu.
65
182010
1339
duniani.
03:16
While the exactsawa causekusababisha
of depressionhuzuni isn't clearwazi,
66
184039
2991
Wakati sababu hasa ya msongo wa mawazo haijatambulika,
03:19
researchutafiti suggestsinashauri
that mostwengi mentalakili disordersmatatizo developkuendeleza,
67
187054
3098
utafiti unaelezea kwamba magonjwa mengi ya akili hujitokeza,
03:22
at leastangalau in partsehemu,
68
190176
1727
walau katika sehemu,
03:23
because of a chemicalkemikali
imbalanceusawa in the brainubongo,
69
191927
2655
kwa sababu ya kutolingana kwa kemikali katika ubongo,
03:26
and/or an underlyingmsingi
geneticmaumbile predispositionmaelekezo.
70
194606
3902
na/au katika utengenezaji wa mwanzo wa jenetikia.
03:31
So you can't just shakeshake it off.
71
199041
2161
Kwa hiyo huwezi kuachana nayo tu.
03:34
For blacknyeusi AmericansWamarekani,
72
202907
1731
Kwa Wamarekani weusi,
03:36
stressorskufadhaisha like racismubaguzi wa rangi
and socioeconomickiuchumi disparitiestofauti kubwa
73
204662
4056
vileta msongo wa mawazo kama ubaguzi wa rangi na utofauti wa hali ya kiuchumi katika jamii
03:40
put them at a 20 percentasilimia greaterzaidi riskhatari
of developingkuendeleza a mentalakili disordershida,
74
208742
5040
huwaweka katika asilimia 20 zaidi ya kupata ugonjwa wa akili,
03:45
yetbado they seektafuta mentalakili healthafya serviceshuduma
75
213806
2412
na bado hutafuta huduma za afya ya akili
03:48
at about halfnusu the ratekiwango of whitenyeupe AmericansWamarekani.
76
216242
2739
katika kiwango sawa na nusu ya Wamarekani weupe.
03:51
One reasonsababu is the stigmaunyanyapaa,
77
219544
2850
Sababu moja ni unyanyapaa,
03:54
with 63 percentasilimia of blacknyeusi AmericansWamarekani
mistakingkukosea depressionhuzuni for a weaknessudhaifu.
78
222418
6217
ikiwa asilimia 63 ya Wamarekani weusi hukosea kwa kuwaza kwamba msongo wa mawazo ni udhaifu.
04:01
SadlyHuzuni, the suicidekujiua ratekiwango
amongmiongoni mwa blacknyeusi childrenwatoto
79
229603
4258
Cha kusikitisha, kasi ya watoto weusi ambao hujiua
04:05
has doubledmara mbili in the pastzilizopita 20 yearsmiaka.
80
233885
2687
imeongezeka mara mbili katika miaka 20 iliyopita.
04:09
Now, here'shapa the good newshabari:
81
237843
2205
Sasa, hii ni habari njema:
04:12
seventysabini percentasilimia of people
strugglingwanajitahidi with depressionhuzuni will improvekuboresha
82
240603
4282
asilimia 70 ya watu ambao wanasumbuka na msongo wa mawazo hali zao zitaboreka
04:16
with therapytiba, treatmentmatibabu and medicationdawa.
83
244909
3357
kwa kupata tiba na dawa.
04:21
ArmedSilaha with this informationhabari,
84
249458
1662
Wakipewa taarifa,
04:23
I madealifanya a decisionuamuzi:
85
251144
1707
Nimechukua uamuzi:
04:24
I wasn'thaikuwa going to be silentkimya anymoretena.
86
252875
2968
Sitakuwa kimya tena.
04:28
With my family'sfamilia blessingbaraka,
87
256740
1803
Na baraka za familia yangu,
04:30
I would sharekushiriki our storyhadithi
88
258567
1893
Nitasimulia hadithi yetu
04:32
in hopesmatumaini of sparkingkuangaza
a nationalkitaifa conversationmazungumzo.
89
260484
2814
katika matumaini ya kuleta mjadala wa kitaifa.
04:36
A friendrafiki, KellyKelly Pierre-LouisPierre-Louis, said,
90
264140
2771
Rafiki yangu, Kelly Pierre-Loius, alisema,
04:38
"BeingKuwa strongnguvu is killingkuua us."
91
266935
2491
"Kuwa ngangari hutuua."
04:42
She's right.
92
270743
1419
Alikuwa sahihi.
04:44
We have got to retirekustaafu
those tiredamechoka, oldzamani narrativeshadithi
93
272186
4022
Tunabidi kuondokana na hizo imani ziilizopitwa na wakati
04:48
of the strongnguvu blacknyeusi womanmwanamke
94
276232
1555
kuhusu mwanamke mweusi jasiri
04:49
and the super-masculinesuper-kiume blacknyeusi man,
95
277811
2210
na mwanaume mweusi kuwa mwanaume hasa,
04:52
who, no matterjambo how manywengi timesnyakati
they get knockedknocked down,
96
280045
2920
ambaye, haijalishi mara ngapi wakidondoshwa,
04:54
just shakeshake it off and soldieraskari on.
97
282989
2235
hujifuta na kisha husonga mbele.
04:57
HavingKuwa feelingshisia isn't a signishara of weaknessudhaifu.
98
285770
3715
Kuwa na hisia sio dalili ya udhaifu.
05:02
FeelingsHisia mean we're humanbinadamu.
99
290521
1883
Hisia zinamaanisha kwamba sisi ni binadamu.
05:04
And when we denykukana our humanityubinadamu,
100
292850
2019
Na pale tunapoukana ubinadamu wetu,
05:06
it leavesmajani us feelinghisia emptytupu insidendani,
101
294893
2116
hutuacha wapweke ndani,
05:09
searchingkutafuta for waysnjia to self-medicatekujipea
in orderamri to fillkujaza the voidutupu.
102
297033
3004
tukitafuta njia za kujiponya ili kuepukana na upweke.
05:12
My drugdawa was highjuu achievementmafanikio.
103
300585
2745
Dawa yangu ilikuwa mafanikio makubwa.
05:16
These dayssiku, I sharekushiriki my storyhadithi openlyuwazi,
104
304371
3301
Siku hizi, naweza kusimulia hadithi yangu wazi,
05:19
and I askkuuliza otherswengine to sharekushiriki theirsrohoni, too.
105
307696
2210
na kuwauliza wengine kusimulia zao, pia.
05:22
I believe that's what it takes
106
310406
1448
Naamini hicho ndicho kinachoweza
05:23
to help people who mayinaweza
be sufferingmateso in silencekimya
107
311878
2595
kusaidia watu wanaohangaika katika ukimya
05:26
to know that they are not alonepeke yake
108
314497
2209
ili wajue kwamba hawapo peke yao
05:28
and to know that with help,
109
316730
1685
na kujua kwamba kwa msaada,
05:30
they can healkuponya.
110
318439
1341
wanaweza kupona.
05:31
Now, I still have my strugglesmapambano,
111
319804
2165
Sasa, bado nina mahangaiko yangu,
05:33
particularlyhasa with the anxietywasiwasi,
112
321993
2288
hasa kutokana na hofu,
05:36
but I'm ableinaweza to managekusimamia it
113
324305
1603
lakini ninaweza kukabiliana na hali hio
05:37
throughkupitia dailykila siku mediationusuluhishi,
yogaYoga and a relativelykiasi healthyafya dietchakula.
114
325932
4874
kwa kutafakari kila siku, kufanya yoga na kula vizuri kiasi.
05:42
(LaughterKicheko)
115
330830
1068
(Kicheko)
05:43
If I feel like things
are startingkuanzia to spiralond,
116
331922
2222
Kama nikiona kwamba hali inaanza kuwa mbaya,
05:46
I make an appointmentuteuzi to see my therapistMtaalamu,
117
334168
2044
Huwa nawasiliana na mtoa tiba wangu,
05:48
a dynamicnguvu blacknyeusi womanmwanamke
namedjina lake DawnAlfajiri ArmstrongArmstrong,
118
336236
3063
mwanamke mweusi anayeitwa Dawn Armstrong,
05:51
who has a great sensehisia of humorucheshi
119
339323
1973
ambaye ni mcheshi
05:53
and a familiaritymazoea that I find comfortingkuliwaza.
120
341320
2237
na mwenye uzoea ambao hunipa faraja.
05:57
I will always regretmajuto
121
345126
1638
Daima nitajuta
05:59
that I couldn'thaikuweza be there for my nephewmpwa.
122
347390
2066
sikuwepo kumsaidia mpwa wangu.
06:02
But my sincerestsincerest hopetumaini
123
350226
1787
Lakini tumaini langu la kweli
06:04
is that I can inspirekuhamasisha otherswengine
with the lessonsomo that I've learnedkujifunza.
124
352695
3071
ni kwamba niwahamasishe wengine kutokana na somo nililojifunza.
06:11
Life is beautifulnzuri.
125
359182
2470
Maisha ni mazuri.
06:14
SometimesWakati mwingine it's messyhutumiwa,
126
362646
1562
Kuna wakati yanavurugika,
06:16
and it's always unpredictablehaitabiriki.
127
364232
1934
na hayatabiriki siku zote.
06:19
But it will all be OK
128
367034
1203
Lakini kila kitu kitakuwa sawa
06:20
when you have your supportmsaada systemmfumo
to help you throughkupitia it.
129
368261
2785
unapokuwa na mfumo ambao utakusaidia kuyashinda yote.
06:23
I hopetumaini that if your burdenmzigo getshupata too heavynzito,
130
371513
2421
Nina imani kama mzigo wako ukiwa mzito sana,
06:25
you'llutasikia askkuuliza for a handmkono, too.
131
373958
1706
utaomba msaada, pia.
06:27
Thank you.
132
375688
1167
Asante.
06:28
(ApplauseMakofi)
133
376879
2882
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Sophy Mwema

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Nikki Webber Allen - Multimedia producer
Nikki Webber Allen is working to create a safe space for honest conversations about mental health in communities of color.

Why you should listen

Nikki Webber Allen is a two-time Emmy winner with 20 years of experience producing content for media outlets including Warner Bros., HBO, ABC, 20th Century Fox and BET.

In 2013, while working as the vice president of casting and talent relations for the cable network TV One, Webber Allen lost her 22-year old nephew, Paul, to suicide after his years of struggle with depression and anxiety. Since then, she's become a passionate mental health advocate.

In Paul's honor, she launched the nonprofit I LIVE FOR... FOUNDATION, INC. to create a safe space for honest, unapologetic conversations about mental health in communities of color, where the cultural stigma of mental illness discourages far too many people from seeking help. Michael Eric Dyson, advisor to the foundation, has called I LIVE FOR… "an incredibly important organization that offers much-needed support to those who too often suffer in silence."

Webber Allen is currently producing and directing a documentary film featuring a diverse group of compelling young men and women who reject the stigma of mental illness and share candid stories about their experiences living with depression and anxiety. The film is being scored by her husband, musician Jeffrey Allen of the Grammy-nominated R&B band Mint Condition.

In 2016, Webber Allen was one of only 47 people chosen out of more than 1,000 applicants worldwide to receive a coveted scholarship to Marie Forleo's B-School for social entrepreneurs. She has an M.A. in media studies from The New School University in New York, NY and a B.A. in communications from Rutgers University in New Brunswick, NJ.

More profile about the speaker
Nikki Webber Allen | Speaker | TED.com