ABOUT THE SPEAKER
Ramsey Musallam - Educator
As a high school chemistry teacher, Ramsey Musallam expands curiosity in the classroom through multimedia and new technology.

Why you should listen

Technological innovation in education can be a slow and painful process, with new technology difficult to acquire, implement and adopt. But that doesn't stop Ramsey Musallam, a chemistry teacher at Sacred Heart Cathedral Prep in San Francisco, whose mission is "to meaningfully integrate multimedia into a hands-on, inquiry-based learning cycle" and to empower other educators to do the same. Musallam is a vocal advocate for tools like flipteaching, tabcasting, video podcasting and screencasting in the classroom. He runs the education blog Cycles of Learning, where he gives written and video tutorials on how to turn everyday apps like Google Docs, screencasting from an iOS device, YouTube, KeepVid and word clouds as effective teaching tools. Musallam received an Ed.D. from the University of San Francisco in 2010.

More profile about the speaker
Ramsey Musallam | Speaker | TED.com
TED Talks Education

Ramsey Musallam: 3 rules to spark learning

Ramsey Musallam: Ramsey Musallam: Sheria 3 za kuamsha kujifunza

Filmed:
3,067,874 views

Ilihitajika hali ya kutishia maisha kumtoa mwalimu wa kemia Ramsey Musallam kutoka miaka kumi ya ufundishaji wa mazoea kuelewa kazi halisi ya mkufunzi: kupandikiza udadisi. katika mazungumzo haya ya kufurahisha na ya binafsi,Musallam anatoa sheria tatu za kuamsha tafakari na kujifunza, na kuwafanya wanafunzi kuwa na shauku jinsi dunia inavyofanya kazi.
- Educator
As a high school chemistry teacher, Ramsey Musallam expands curiosity in the classroom through multimedia and new technology. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
I teachkufundisha chemistrykemia.
0
829
2219
Ninafundisha somo la kemia
00:15
(ExplosionMlipuko)
1
3048
1366
(Mlipuko)
00:16
All right, all right.
2
4414
3158
Sawa,Sawa.
00:19
So more than just explosionsmilipuko,
3
7572
2281
Ni zaidi ya milipuko,
00:21
chemistrykemia is everywherekila mahali.
4
9853
1611
Kemia ipo kila mahali.
00:23
Have you ever foundkupatikana yourselfwewe mwenyewe at a restaurantmgahawa spacingnafasi out
5
11464
2640
Umeshawahi kuwa katika mgahawa
00:26
just doing this over and over?
6
14104
2345
ukiwa unajaribu kufanya hivi?
00:28
Some people noddingkuvuruga yes.
7
16449
2205
Baadhi ya watu wanaitikia ndio.
00:30
RecentlyHivi karibuni, I showedilionyesha this to my studentswanafunzi,
8
18654
2328
Hivi karibuni, niliwaonyesha wanafunzi wangu,
00:32
and I just askedaliuliza them to try and explainkuelezea why it happenedkilichotokea.
9
20982
4349
niliwaambia waelezee kwa nini imetokea.
00:37
The questionsmaswali and conversationsmazungumzo that followedikifuatiwa
10
25331
2621
Maswali na mazungumzo yaliyofuata
00:39
were fascinatingkuvutia.
11
27952
1651
yalikuwa ya kusisimua.
00:41
CheckKagua out this videovideo that MaddieMaddie
12
29603
1814
angalia video hii ambayo Maddie
00:43
from my periodkipindi threetatu classdarasa sentalitumwa me that eveningjioni.
13
31417
3170
kutoka darasa langu la tatu aliyonitumia jioni.
00:57
(ClangClang) (LaughsAnacheka)
14
45104
2465
(Vicheko)
00:59
Now obviouslywazi, as Maddie'sWa Maddie chemistrykemia teachermwalimu,
15
47569
3194
Ni dhahiri,kama mwalimu wa kemia wa Maddie
01:02
I love that she wentakaenda home and continuediliendelea to geekgeek out
16
50763
3106
Nilifurahi kwamba alienda nyumbani na kuendelea
01:05
about this kindaina of ridiculousujinga demonstrationmaonyesho
17
53869
2618
na zoezi hili la ajabu
01:08
that we did in classdarasa.
18
56487
1422
ambalo tulilifanya darasani.
01:09
But what fascinatedfascinated me more is that Maddie'sWa Maddie curiosityudadisi
19
57909
2946
Lakini kilichonisisimua zaidi ilikuwa ni kuwa udadisi wa Maddie
01:12
tookalichukua her to a newmpya levelngazi.
20
60855
1694
ulimpeleka kwenye hatua nyingine.
01:14
If you look insidendani that beakerbeaker,
21
62549
2133
ukiangalia ndani ya kikopo hiki,
01:16
you mightnguvu see a candlemshumaa.
22
64682
1560
unaweza ukaona mshumaa.
01:18
Maddie'sWa Maddie usingkutumia temperaturejoto to extendkupanua this phenomenonuzushi
23
66242
3009
Maddie anatumia joto kuifanya hali hii
01:21
to a newmpya scenariohali.
24
69251
2777
kuwa tukio jingine jipya.
01:24
You know, questionsmaswali and curiosityudadisi like Maddie'sWa Maddie
25
72028
3238
Maswali na udadisi kama wa Maddie
01:27
are magnetssumaku that drawkuteka us towardskuelekea our teacherswalimu,
26
75266
2966
ndio sumaku zinazotuvuta kwa walimu wetu,
01:30
and they transcendkupitisha all technologyteknolojia
27
78232
2952
na zinazidi teknolojia zote
01:33
or buzzwordsuvumi in educationelimu.
28
81184
3141
ubunifu mpya wa elimu.
01:36
But if we placemahali these technologiesteknolojia before studentmwanafunzi inquiryuchunguzi,
29
84325
4101
Lakini kama teknolojia kabla ya udadisi wa wanafunzi,
01:40
we can be robbingkuwaibia ourselvessisi wenyewe
30
88426
2123
tunaweza tukawa tunajinyima wenyewe
01:42
of our greatestkubwa zaidi toolchombo as teacherswalimu: our students'wanafunzi ' questionsmaswali.
31
90549
4934
zana muhimu kama walimu: maswali ya wanafunzi wetu.
01:47
For examplemfano, flippingugeuzaji a boringboring lecturehotuba from the classroomdarasa
32
95483
4380
Kwa mfano,kupitia mhadhaa unaochosha
01:51
to the screenskrini of a mobilerununu devicekifaa
33
99863
1777
kwa kutumia mtandao
01:53
mightnguvu savesalama instructionalkufundishia time,
34
101640
1837
unaweza ukaokoa muda wa ufundishaji,
01:55
but if it is the focustazama of our students'wanafunzi ' experienceuzoefu,
35
103477
2899
lakini kama ni lengo la wanafunzi wetu.
01:58
it's the samesawa dehumanizingkudanganya chatterchatter
36
106376
3120
ni jambo lile lile la kudhalilisha
02:01
just wrappedamefungwa up in fancydhana clothingnguo.
37
109496
2232
ambalo limefungwa vizuri.
02:03
But if insteadbadala yake we have the gutsguts
38
111728
2275
Lakini kama tuna ujasiri
02:06
to confusekuchanganya our studentswanafunzi, perplexperplex them,
39
114003
2870
wa kuwachanganya wanafunzi wetu,
02:08
and evokekumfukuza realhalisi questionsmaswali,
40
116873
2276
na kuamsha maswali ya kweli,
02:11
throughkupitia those questionsmaswali, we as teacherswalimu have informationhabari
41
119149
3000
ingawa maswali hayo sisi kama walimu yana taarifa
02:14
that we can use to tailorkupima robustimara
42
122149
3028
ambazo tunaweza kuzitumia kwa ajili ya kutengeneza
02:17
and informedtaarifa methodsnjia of blendedkuchanganywa instructionmaagizo.
43
125177
3691
mfumo wa taarifa zilizochanganyika
02:20
So, 21st-centurykarne ya karne lingokatika jargonjargon mumbomumbo jumbojumbo asidekando,
44
128868
5172
ukiondoa maneno ya karne ya 21 kuhusu hali hii,
02:26
the truthukweli is, I've been teachingkufundisha for 13 yearsmiaka now,
45
134040
4204
Ukweli ni kuwa nimefundisha sasa kwa miaka 13,
02:30
and it tookalichukua a life-threateningkutishia maisha situationhali
46
138244
2474
na ilibidi kuwe na tukio la kutisha
02:32
to snappiga me out of 10 yearsmiaka of pseudo-teachingPseudo-mafundisho ya
47
140718
2947
kunitoa katika miaka 10 ya ufundishaji wa mazoea
02:35
and help me realizekutambua that studentmwanafunzi questionsmaswali
48
143665
3615
na kunifanya nijue kuwa maswali ya wanafunzi
02:39
are the seedsmbegu of realhalisi learningkujifunza,
49
147280
3121
ndio mbegu za kujifunza hasa,
02:42
not some scriptedscripted curriculummtaala
50
150401
2114
na sio mtaala ambao umeshaandaliwa
02:44
that gavealitoa them tidbitstidbits of randomrandom informationhabari.
51
152515
3296
ambao unawapa tu taarifa chache
02:47
In MayMei of 2010, at 35 yearsmiaka oldzamani,
52
155811
3472
Mwezi Mei 2010,nikiwa na miaka 35,
02:51
with a two-year-oldmwenye umri wa miaka miwili at home and my secondpili childmtoto on the way,
53
159283
3093
nikiwa na mtoto wa miaka 2 nyumbani na mtoto wa pili njiani
02:54
I was diagnosedkukutwa with a largekubwa aneurysmaneurysm
54
162376
2616
niligundulika kuwa na kuongezeka kwa mishipa ya damu
02:56
at the basemsingi of my thoracicyanazidisha aortasclerotic.
55
164992
2520
katika eneo la mshipa mkubwa wa damu wa aorta katika moyo
02:59
This led to open-heartmoyo wazi surgeryupasuaji. This is the actualhalisi realhalisi emailbarua pepe
56
167512
3052
ilisababisha nifanyiwe upasuaji wa moyo.Hii ni barua pepe
03:02
from my doctordaktari right there.
57
170564
1534
kutoka kwa Daktari,pale.
03:04
Now, when I got this, I was -- pressbonyeza CapsHerufi kubwa LockFunga --
58
172098
3525
nilipoipata barua hii, nilikuwa
03:07
absolutelykabisa freakedfreaked out, okay?
59
175623
2465
nimechanganyikiwa kabisa?
03:10
But I foundkupatikana surprisingajabu momentswakati of comfortfaraja
60
178088
4219
lakini nilipata mida ya faraja
03:14
in the confidencekujiamini that my surgeonupasuaji embodiediliyoko.
61
182307
3690
nikiwa na hakika aliyokuwa nayo daktari wangu.
03:17
Where did this guy get this confidencekujiamini, the audacityujasiri of it?
62
185997
3444
Alipata ujasiri huu?
03:21
So when I askedaliuliza him, he told me threetatu things.
63
189441
3592
Kwa hiyo nilipomuuliza,akaniambia vitu vitatu.
03:25
He said first, his curiosityudadisi drovealimfukuza him
64
193033
3382
akasema kwanza,udadisi wake ulimsukuma
03:28
to askkuuliza hardngumu questionsmaswali about the procedureutaratibu,
65
196415
2275
kuuliza maswali magumu kuhusu upasuaji,
03:30
about what workedkazi and what didn't work.
66
198690
3185
kuhusu uzuri na ubaya wake.
03:33
SecondPili, he embracedalikubali, and didn't fearhofu,
67
201875
3094
Pili,aliikubali,na hakuogopa,
03:36
the messyhutumiwa processmchakato of trialjaribio and errorkosa,
68
204969
2076
mchakato wa kujaribu jaribu,
03:39
the inevitablekuepukika processmchakato of trialjaribio and errorkosa.
69
207045
2509
mchakato usiokwepeka wa kujarijaribu.
03:41
And thirdtatu, throughkupitia intensekali reflectionkutafakari,
70
209554
2976
na tatu,kupitia kutafakari sana,
03:44
he gatheredwalikusanyika the informationhabari that he neededinahitajika
71
212530
2676
alikusanya taarifa alizohitaji
03:47
to designkubuni and revisekurekebisha the procedureutaratibu,
72
215206
1906
kusanifu na kupitia upya mchakato,
03:49
and then, with a steadyimara handmkono, he savedimehifadhiwa my life.
73
217112
3521
na kwa mkono wa taratibu,akaokoa maisha yangu.
03:52
Now I absorbedkufyonzwa a lot from these wordsmaneno of wisdomhekima,
74
220633
3676
Nilichukua mengi kutoka maneno haya ya hekima,
03:56
and before I wentakaenda back into the classroomdarasa that fallkuanguka,
75
224309
1980
na kabla ya kwenda darasani majira ya kipupwe
03:58
I wrotealiandika down threetatu ruleskanuni of my ownmwenyewe
76
226289
3258
niliandika sheria tatu zangu mwenyewe
04:01
that I bringkuleta to my lessonsomo planningkupanga still todayleo.
77
229547
2780
ambazo nazitumia wakati napangillia masomo mpaka leo.
04:04
RuleUtawala numbernambari one: CuriosityUdadisi comesinakuja first.
78
232327
4042
Sheria ya kwanza: udadisi kwanza
04:08
QuestionsMaswali can be windowsmadirisha to great instructionmaagizo,
79
236369
3099
Maswali yanaweza kuwa dirisha la mazungumzo mazuri sana,
04:11
but not the other way around.
80
239468
2690
lakini kinyume chake si sahihi
04:14
RuleUtawala numbernambari two: EmbraceKukumbatia the messfujo.
81
242158
3634
Sheria ya pili: Kubaliana na hali ya fujo
04:17
We're all teacherswalimu. We know learningkujifunza is uglymbaya.
82
245792
2671
Sote ni walimu.Tunajua kujifunza ni vurugu tupu.
04:20
And just because the scientifickisayansi methodnjia is allocatedzilizotengwa
83
248463
2871
na kwa sababu tu njia za kisayansi zimetengewa
04:23
to pageukurasa fivetano of sectionsehemu 1.2 of chaptersura one
84
251334
3451
ukurasa wa tano wa kipengele 1.2 ya sura ya kwanza
04:26
of the one that we all skipruka, okay,
85
254785
3455
ambazo huwa tunaziruka,sawa,
04:30
trialjaribio and errorkosa can still be an informalisiyo rasmi partsehemu
86
258240
3202
kujari jaribu bado kunaweza kuwa ni sehemu isiyo rasmi
04:33
of what we do everykila singlemoja day
87
261442
1917
kwa vile tuvifanyavyo kila siku
04:35
at SacredTakatifu HeartMoyo CathedralKanisa kuu in roomchumba 206.
88
263359
3332
Katika kanisa la Moyo Mtakatifu ,chumba 206.
04:38
And ruleutawala numbernambari threetatu: PracticeMazoezi reflectionkutafakari.
89
266691
4022
Sheria namba tatu: Fanya zoezi la kutafakari.
04:42
What we do is importantmuhimu. It deservesanastahiki our carehuduma,
90
270713
2344
Tukifanyacho ni muhimu.inastahili kuangaliwa nasi,
04:45
but it alsopia deservesanastahiki our revisionmasahihisho.
91
273057
3232
lakini instahili mapitio yetu.
04:48
Can we be the surgeonswapasuaji of our classroomsmadarasa?
92
276289
2778
Je tunaweza kuwa madaktari wa madarasa yetu?
04:51
As if what we are doing one day will savesalama livesanaishi.
93
279067
2996
Kama vile tuyafanyayosiku moja yataokoa maisha ya watu.
04:54
Our studentswanafunzi our worththamani it.
94
282063
1551
Wanafunzi wetu,wanstahili kabisa.
04:55
And eachkila mmoja casekesi is differenttofauti.
95
283614
2435
na kila hali ni tofauti.
04:58
(ExplosionMlipuko)
96
286049
1095
(Mlipuko)
04:59
All right. Sorry.
97
287144
1947
Sawa. Samahani
05:01
The chemistrykemia teachermwalimu in me just neededinahitajika to get that
98
289091
1908
Mwalimu wa Kemia ndani yangu alitaka kuta hicho
05:02
out of my systemmfumo before we movehoja on.
99
290999
2835
nje yangu kabla hatujaendelea.
05:05
So these are my daughtersbinti.
100
293834
1785
Kwa hiyo hawa ni mabinti zangu.
05:07
On the right we have little EmmalouEmmalou -- SouthernKusini familyfamilia.
101
295619
3672
Kulia kwangu tuna Emmalou -- Familia ya kusini
05:11
And, on the left, RileyRiley.
102
299291
2782
Na kushoto,Riley.
05:14
Now Riley'sYa Riley going to be a bigkubwa girlmsichana in a couplewanandoa weekswiki here.
103
302073
2655
Riley atakuwa binti mkubwa wiki chache zijazo.
05:16
She's going to be fournne yearsmiaka oldzamani,
104
304728
1694
Atakuwa na miaka minne,
05:18
and anyoneyeyote who knowsanajua a four-year-oldumri wa miaka minne
105
306422
2250
na yeyote amjuaye mtoto wa miaka minne
05:20
knowsanajua that they love to askkuuliza, "Why?"
106
308672
3200
anajua kuwa wanapenda kuuliza "kwa nini"?
05:23
Yeah. Why.
107
311872
1484
Ndiyo. Kwa nini.
05:25
I could teachkufundisha this kidmtoto anything
108
313356
2310
Naweza kumfundisha mtoto huyo chochote
05:27
because she is curiouscurious about everything.
109
315666
2850
kwa sababu ni mdadisi wa kila kitu.
05:30
We all were at that ageumri.
110
318516
2483
Sote tulikuwa hivyo katika umri huo.
05:32
But the challengechangamoto is really for Riley'sYa Riley futurebaadaye teacherswalimu,
111
320999
3475
Lakini changamoto kubwa ni kwa walimu wa mbeleni wa Riley
05:36
the oneswale she has yetbado to meetkukutana.
112
324474
2822
ambao bado hajakutana nao.
05:39
How will they growkukua this curiosityudadisi?
113
327296
2492
Watawezaje kuukuza udadisi huu?
05:41
You see, I would arguewanasema that RileyRiley is a metaphormfano for all kidswatoto,
114
329788
5482
Naweza nikasema kuwa Riley ni kama fumbo la watoto wote,
05:47
and I think droppingkuacha out of schoolshule comesinakuja in manywengi differenttofauti formsfomu --
115
335270
3394
Na nadhani kuacha shule kunakuja katika njia mbalimbali
05:50
to the seniormwandamizi who'snani checkedzimezingatiwa out before the year'sya mwaka even begunimeanza
116
338664
3324
Kwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho, anayeacha shule kabla ya mwaka kwisha.
05:53
or that emptytupu deskdawati in the back of an urbanmijini middlekatikati school'sya shule classroomdarasa.
117
341988
5018
au dawati tupu katika shule za sekondari za mijini.
05:59
But if we as educatorsWaelimishaji leaveshika behindnyuma
118
347006
2675
lakini,ikiwa sisi kama walimu tunaacha
06:01
this simplerahisi rolejukumu as disseminatorsdisseminators of contentmaudhui
119
349681
2582
kazi nyepesi ya kusambaza taarifa
06:04
and embracekukumbatia a newmpya paradigmdhana
120
352263
2337
na kukubaliana na dhana mpya
06:06
as cultivatorscultivators of curiosityudadisi and inquiryuchunguzi,
121
354600
3044
ya wapandaji wa udadisi na uulizaji maswali,
06:09
we just mightnguvu bringkuleta a little bitkidogo more meaningmaana
122
357644
2225
tunaweza kusababisha maana zaidi
06:11
to theirwao schoolshule day, and sparkcheche theirwao imaginationmawazo.
123
359869
2715
kuwepo kwao shuleni,na kuwasha cheche za tafakari.
06:14
Thank you very much.
124
362584
1584
Asante sana.
06:16
(ApplauseMakofi)
125
364168
5693
(Makofi).
Translated by Joachim Mangilima
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Ramsey Musallam - Educator
As a high school chemistry teacher, Ramsey Musallam expands curiosity in the classroom through multimedia and new technology.

Why you should listen

Technological innovation in education can be a slow and painful process, with new technology difficult to acquire, implement and adopt. But that doesn't stop Ramsey Musallam, a chemistry teacher at Sacred Heart Cathedral Prep in San Francisco, whose mission is "to meaningfully integrate multimedia into a hands-on, inquiry-based learning cycle" and to empower other educators to do the same. Musallam is a vocal advocate for tools like flipteaching, tabcasting, video podcasting and screencasting in the classroom. He runs the education blog Cycles of Learning, where he gives written and video tutorials on how to turn everyday apps like Google Docs, screencasting from an iOS device, YouTube, KeepVid and word clouds as effective teaching tools. Musallam received an Ed.D. from the University of San Francisco in 2010.

More profile about the speaker
Ramsey Musallam | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee