ABOUT THE SPEAKER
Amy Herman - Visual educator
By showing people how to look closely at painting, sculpture and photography, Amy Herman helps them hone their visual intelligence to recognize the most pertinent and useful information as well as recognize biases that impede decision making.

Why you should listen

Amy Herman is a lawyer and art historian who uses works of art to sharpen observation, analysis and communication skills. She developed her Art of Perception seminar in 2000 to improve medical students' observation and communication skills with their patients when she was the head of education at The Frick Collection in New York City. She subsequently adapted the program for a wide range of professionals and leads sessions internationally for the New York City Police Department, the FBI, the French National Police, the Department of Defense, Interpol, the State Department, Fortune 500 companies, first responders, the military and the intelligence community. In her highly participatory presentation, she demonstrates the relevance of visual literacy across the professional spectrum and how the analysis of works of art affords participants in her program an innovative way to refresh their sense of critical inquiry and reconsider the skills necessary for improved performance and effective leadership. The program has been featured in the New York Times, The Wall Street Journal, "The CBS Evening News" and Smithsonian Magazine, among others.

Herman holds an AB, a JD and an MA in art history. Her book, Visual Intelligence, was published in May 2016 and was on both the New York Times and Washington Post bestseller lists.

More profile about the speaker
Amy Herman | Speaker | TED.com
TED@BCG Toronto

Amy Herman: A lesson on looking

Amy Herman: Somo katika kutazama

Filmed:
714,745 views

Unaangalia kwa ukaribu? Mfundishaji wa uono Amy Herman anaelezea namna ya kutumia sanaa kuongeza uwezo wako mtazamo na kupata muunganisho pale ambapo hauonekani kwa kawaida. Jifunze namna ambazo Herman anatumia kufundisha wanamaji wa SEAL, matabibu na wapelelezi wa uhalifu kubadili taarifa katika maarifa ya matendo kwenye hotuba hii yenye maelezo ya kina.
- Visual educator
By showing people how to look closely at painting, sculpture and photography, Amy Herman helps them hone their visual intelligence to recognize the most pertinent and useful information as well as recognize biases that impede decision making. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
Take a look at this work of artsanaa.
0
719
1560
Tazama usanifu huu.
00:16
What is it that you see?
1
4178
1519
Ni kipi ambacho unaona?
00:19
At first glancemtazamo, it looksinaonekana
to be a grandfatherbabu clocksaa
2
7064
3651
Kwa mtazamo wa kwanza, inaonekana
kuwa ni saa ya babu
00:22
with a sheetkaratasi thrownkutupwa over it
3
10739
1743
ikiwa na karatasi lililotupiwa juu
00:24
and a ropekamba tiedamefungwa around the centerkituo.
4
12506
1896
na kamba iliyozunguka katikati.
00:27
But a first look always warrantsunahitajika a secondpili.
5
15657
3048
Ila mtazamo wa kwanza mara zote huruhusu
wa pili.
00:31
Look again.
6
19591
1150
Angalia tena.
00:33
What do you see now?
7
21751
1150
Unaona nini sasa?
00:35
If you look more closelykaribu,
8
23830
1913
Ukiangalia kwa karibu zaidi,
00:37
you'llutasikia realizekutambua
that this entirenzima work of artsanaa
9
25767
4150
utatambua kwamba usanifu huu mzima
00:41
is madealifanya from one piecekipande of sculptureuchongaji.
10
29941
2528
umetengenezwa na kipande kimoja cha
sanamu.
00:44
There is no clocksaa,
11
32845
1593
Hakuna saa.
00:46
there is no ropekamba,
12
34462
1540
Hakuna kamba,
00:48
and there is no sheetkaratasi.
13
36026
1430
na hakuna karatasi.
00:50
It is one piecekipande of bleachedAkaya
HondurasHondurasi mahoganymahogany.
14
38022
3783
Ni kipande kimoja cha mkangazi wa
Honduras uliong'arishwa.
00:54
Now let me be clearwazi:
15
42969
1690
Sasa ngoja nieleze kwa ufasaha:
00:56
this exercisezoezi was not
about looking at sculptureuchongaji.
16
44683
4518
zoezi hili halikuwa kuhusu
kuangalia sanamu.
01:02
It's about looking
17
50509
1150
Ni kuhusu kutazama
01:04
and understandinguelewa
that looking closelykaribu can savesalama a life,
18
52440
4775
na kuelewa kwamba kuangalia kwa
ukaribu huokoa maisha,
01:09
changemabadiliko your companykampuni
19
57239
1470
kubadili kampuni yako
01:10
and even help you understandkuelewa
why your childrenwatoto behavetenda the way they do.
20
58733
4263
na hata kuelewa kwanini watoto
wako wanafanya tabia fulani.
01:15
It's a skillujuzi that I call
visualVisual intelligenceakili,
21
63574
2834
Ni ujuzi ambao nauita maarifa ya uono,
01:18
and I use worksinafanya kazi of artsanaa to teachkufundisha everybodykila mtu,
22
66432
2579
na natumia kazi za sanaa kufundisha kila
mtu,
01:21
from everydaykila siku people
to those for whomambaye looking is the jobkazi,
23
69035
4689
kutoka watu wa kila siku hadi wale
ambao kutazama ni ajira kwao,
01:25
like NavyJeshi la wanamaji SEALsMihuri and homicidekukimbilia
detectiveswapelelezi and traumakiwewe nurseswauguzi.
24
73748
4765
kama wanamaji wa SEAL na wapelelezi wa
mauaji na wauguzi wa majeraha.
01:31
The factukweli is that no matterjambo how skilledwenye ujuzi
you mightnguvu be at looking,
25
79464
3806
Ukweli ni kwamba haijalishi ni ujuzi
gani ulionao katika kutazama,
01:35
you still have so much
to learnkujifunza about seeingkuona.
26
83294
3314
bado una mambo mengi ya kujifunza
kuhusu kuona.
01:38
Because we all think we get it
in a first glancemtazamo and a suddenghafla flashflash,
27
86632
4429
Kwa sababu huwa tunadhani tunaelewa katika
mtazamo wa kwanza na ule wa kushtukiza,
01:43
but the realhalisi skillujuzi is in understandinguelewa
how to look slowlypolepole
28
91085
4491
lakini ujuzi halisi ni katika kuelewa
namna ya kuangalia taratibu
01:47
and how to look more carefullykwa makini.
29
95600
1875
na kuangalia kwa umakini zaidi.
01:49
The talenttalanta is in rememberingkukumbuka --
30
97499
2372
Kipaji ni katika kukumbuka --
01:51
in the crushkuponda of the dailykila siku urgenciesurgencies
that demandmahitaji our attentiontazama --
31
99895
4053
katika mambo tukutananayo kila
siku yanayohitaji umakini wetu --
01:55
to stephatua back and look throughkupitia
those lenseslenses to help us see
32
103972
4053
kurudi nyuma na kuangalia kupitia
lenzi kutusaidia kuona
02:00
what we'vetumekuwa been missinghaipo all alongkando.
33
108049
1753
ni yapi tuliyoyakosa muda wote.
02:03
So how can looking at paintinguchoraji
and sculptureuchongaji help?
34
111026
3212
Sasa namna gani kuangalia mchoro
na sanamu husaidia?
02:06
Because artsanaa is a powerfulnguvu toolchombo.
35
114702
2181
Kwa sababu sanaa ni nyenzo yenye nguvu.
02:10
It's a powerfulnguvu toolchombo
that engagesinahusika bothwote wawili sightkuona and insightufahamu
36
118187
4584
Ni nyenzo yenye nguvu ambayo
inahusisha uoni na maarifa
02:14
and reframesreframes our understandinguelewa
of where we are and what we see.
37
122795
4483
na kutengeneza uelewa wetu wa
wapi tulipo na kipi tunachoona.
02:20
Here'sHapa ni an examplemfano of a work of artsanaa
38
128535
3041
Huu ni mfano wa kazi ya sanaa
02:23
that remindedalikumbushwa me
that visualVisual intelligenceakili --
39
131600
2929
ambao umenikumbusha kwamba
maarifa ya uono --
02:26
it's an ongoinginayoendelea learningkujifunza processmchakato
40
134553
1950
ni mchakato endelevu
02:28
and one that really is never masteredmastered.
41
136527
2052
na ambao hauwezi fikiwa tamati kamwe.
02:31
I camealikuja acrosskote this quietutulivu,
seeminglyinaonekana abstractabstract paintinguchoraji,
42
139121
3790
Nilikutana na hii sanaa ya kufikirika
ambayo ni tulivu,
02:34
and I had to stephatua up to it twicemara mbili,
43
142935
2303
na ilibidi nisogee kwa ukaribu mara mbili,
02:37
even threetatu timesnyakati,
44
145262
1216
hata mara tatu,
02:38
to understandkuelewa why it resonatedimetajwa so deeplykwa undani.
45
146502
3062
kuelewa kwanini inavuma kwa undani sana.
02:42
Now, I've seenkuonekana the WashingtonWashington MonumentMonument
in personmtu thousandsmaelfu of timesnyakati,
46
150146
4310
Sasa, binafsi nimeona mnara wa
Washington mara elfu moja,
02:46
well awarekufahamu of the changemabadiliko in the colorrangi
of marbleMarumaru a thirdtatu of the way up,
47
154480
3974
ninatambua vizuri badiliko la rangi ya
marumaru kwa theluthi kwenda juu,
02:50
but I had never really lookedilionekana
at it out of contextmuktadha
48
158478
3200
lakini sijawahi angalia katika
nje ya muktadha
02:53
or trulykweli as a work of artsanaa.
49
161702
1933
katika uhalisia wa kazi ya sanaa.
02:56
And here, GeorgiaJojia O'Keeffe'sWa O'Keeffe paintinguchoraji
of this architecturalusanifu iconicon madealifanya me realizekutambua
50
164670
5864
Na hapa, mchoro wa Georgia O'Keefe's wa
huu usanifu maarufu umenifanya kutambua
03:02
that if we put our mindakili to it,
51
170558
2190
kwamba kama tukiweka akili zetu hapo,
03:04
it's possibleinawezekana to see everydaykila siku things
52
172772
3162
inawezekana kuona vitu vya kila siku
03:07
in a whollykabisa newmpya
and eye-openingkisicho perspectivemtazamo.
53
175958
2943
katika muonekano mpya unaofungua macho.
03:11
Now, there are some skepticswasiwasi that believe
that artsanaa just belongsni mali in an artsanaa museummakumbusho.
54
179863
4088
Sasa, kuna wabishi wanaoamini kua sanaa
inatakiwa kuwepo tu katika jumba la sanaa.
03:17
They believe that it has no practicalvitendo
use beyondzaidi its aestheticaesthetic valuethamani.
55
185849
3766
Wanaamini kwamba haina matumizi halisia
zaidi ya thamani ya urembo wake.
03:21
I know who they are
in everykila audiencewatazamaji I teachkufundisha.
56
189639
2541
Najua ni kina nani katika kila umati
ambao nafundisha.
03:24
TheirYao armssilaha are crossedwalivuka,
theirwao legsmiguu are crossedwalivuka,
57
192204
2745
Mikono yao wamekunja, miguu yao wamekunja,
03:26
theirwao bodymwili languagelugha is sayingkusema,
58
194973
1652
lugha ya miili yao inasema,
03:28
"What am I going to learnkujifunza
from this ladymwanamke who talksmazungumzo fastharaka
59
196649
2573
"Nitajifunza nini kwa huyu mwanamke
anayeongea haraka
03:31
about paintinguchoraji and sculptureuchongaji?"
60
199246
1941
kuhusu michoro na sanaa?"
03:34
So how do I make it relevanthusika for them?
61
202875
2466
Hivyo nafanyaje ili kufanya iendane nao?
03:39
I askkuuliza them to look at this work of artsanaa,
62
207078
2231
Nawaambia kuangalia hii sanaa,
03:41
like this portraitpicha by KumiKumi YamashitaYamashita.
63
209333
2261
kama hii picha na Kumi Yamashita.
03:44
And I askkuuliza them to stephatua in closekaribu,
64
212388
2018
Nawauliza kusogea karibu,
03:46
and even closerkaribu still,
65
214430
2221
na karibu zaidi,
03:48
and while they're looking
at the work of artsanaa,
66
216675
2237
na wakati wakiangalia kazi ya sanaa,
03:50
they need to be askingkuuliza questionsmaswali
about what they see.
67
218936
2700
wanahitaji kuuliza maswali
kuhusu wanachoona.
03:54
And if they askkuuliza the right questionsmaswali,
68
222341
1742
Na kama watauliza swali sahihi,
03:56
like, "What is this work of artsanaa?
69
224107
1618
kama, "Hii ni kazi gani ya sanaa?
03:57
Is it a paintinguchoraji? Is it a sculptureuchongaji?
70
225749
1775
Ni mchoro? Ni sanamu?
03:59
What is it madealifanya of?" ...
71
227548
1150
Imetengenezwa na nini?" ...
04:00
they will find out
that this entirenzima work of artsanaa
72
228722
3229
watatambua kwamba hii kazi
nzima ya sanaa
04:03
is madealifanya of a woodenmbao boardbodi,
73
231975
1744
imetengenezwa na ubao wa mbao,
04:05
10,000 nailsmisumari
74
233743
1629
misumari 10,000
04:07
and one unbrokenusiokatika piecekipande of sewingkushona threadthread.
75
235396
2606
na kipande kizima cha kamba ya kushonea.
04:10
Now that mightnguvu be
interestingkuvutia to some of you,
76
238663
2178
Sasa hii inaweza vutia baadhi yenu,
04:12
but what does it have to do
with the work that these people do?
77
240865
3021
lakini inahusiana nini na kazi
wanayofanya watu hawa?
04:15
And the answerjibu is everything.
78
243910
1843
na jibu ni kila kitu.
04:17
Because we all interactkuingiliana with people
multiplenyingi timesnyakati on a dailykila siku basismsingi,
79
245777
4284
Kwamba tunakutana na watu mara
kadhaa katika maisha ya kila siku,
04:22
and we need to get better
at askingkuuliza questionsmaswali
80
250085
2406
na tunahitaji kuwa bora katika
kuuliza maswali
04:24
about what it is that we see.
81
252515
1812
kuhusu ni kitu gani tunachoona.
04:27
LearningKujifunza to framesura
the questionswali in suchvile a way
82
255420
2561
Kujifunza kutengeneza swali
katika namna hiyo
04:30
as to elicitkushawishi the informationhabari
that we need to do our jobskazi,
83
258005
3051
katika kusisimua taarifa tunazohitaji
kufanya kazi zetu,
04:33
is a criticalmuhimu life skillujuzi.
84
261080
1775
ni ujuzi wa maisha ambao muhimu sana.
04:35
Like the radiologistradiologist who told me
85
263664
2286
Kama mtaalamu wa mionzi ambaye aliniambia
04:37
that looking at the negativehasi
spacesnafasi in a paintinguchoraji
86
265974
2500
kwamba kuangalia nafasi hasi
katika mchoro
04:40
helpedimesaidia her discernkupambanua
more discreetwa busara abnormalitiesabnormalities in an MRIMRI.
87
268498
4026
kulimsaidia kutambua hali zisizo
za kawaida katika MRI.
04:45
Or the policepolisi officerafisa who said
that understandinguelewa the emotionalkihisia dynamicnguvu
88
273072
5165
Au afisa polisi aliyesema kwamba
kuelewa mabadiliko ya hisia
04:50
betweenkati people in a paintinguchoraji
89
278261
1558
kati ya watu katika mchoro
04:51
helpedimesaidia him to readsoma bodymwili languagelugha
at a domesticndani violencevurugu crimeuhalifu sceneeneo,
90
279843
4289
kulimsaidia kutambua lugha ya mwili katika
palipotendeka unyanyasaji wa nyumbani,
04:56
and it enabledimewezeshwa him to think twicemara mbili
before drawingkuchora and firingkurusha his weaponsilaha.
91
284156
5399
na ilimsaidia kuwaza mara mbili kabla ya
kutoa na kufyatua bunduki yake.
05:01
And even parentswazazi can look to see
absenceskutokuwepo kwa of colorrangi in paintingsuchoraji
92
289579
5006
Na hata wazazi wanaweza angalia kuona
utupu wa rangi katika mchoro
05:06
to understandkuelewa that
what theirwao childrenwatoto say to them
93
294609
3518
kuelewa kwamba kile watoto
wanachowaambia
05:10
is as importantmuhimu as what they don't say.
94
298151
2300
ni muhimu kama kile wasichosema.
05:13
So how do I --
95
301766
1714
Kwa hiyo namna gani --
05:16
how do I traintreni to be
more visuallykuibua intelligentakili?
96
304472
3088
Najifunzaje kuwa na maarifa ya uono?
05:20
It comesinakuja down to fournne As.
97
308384
2277
Inaelezewa na kama nne.
05:22
EveryKila newmpya situationhali, everykila newmpya problemtatizo --
98
310685
2482
Kila hali mpya, kila tatizo jipya --
05:25
we practicemazoezi fournne As.
99
313191
1534
huwa tunafanyia kazi kama nne.
05:26
First, we assesstathmini our situationhali.
100
314749
1489
Kwanza, tunatathmini hali yetu.
05:28
We askkuuliza, "What do we have in frontmbele of us?"
101
316262
2235
Tunauliza, " Ni kipi tulichonacho mbele
yetu?"
05:30
Then, we analyzekuchambua it.
102
318521
1538
Kisha, tunakichambua.
05:32
We say, "What's importantmuhimu?
103
320083
1325
Tunasema, "Kipi ni muhimu?
05:33
What do I need? What don't I need?"
104
321432
1732
Nahitaji nini? Kipi sihitaji?"
05:35
Then, we articulatekutamka it in a conversationmazungumzo,
in a memoarifa, in a textmaandishi, in an emailbarua pepe.
105
323188
3766
Kisha, tunakiunda katika maongezi, katika
kumbukumbu, maandishi, barua pepe.
05:38
And then, we acttenda: we make a decisionuamuzi.
106
326978
2599
Na kisha, tunatenda: tunafanya maamuzi.
05:42
We all do this multiplenyingi timesnyakati a day,
107
330461
2358
Wote tunafanya hili mara kadhaa kwa siku,
05:44
but we don't realizekutambua what a rolejukumu
seeingkuona and looking playsinacheza
108
332843
3644
lakini hatutambui jukumu la kutazama
na kuona linavyofanya kazi
05:48
in all of those actionsVitendo,
109
336511
1579
katika matendo yote,
05:50
and how visualVisual intelligenceakili
can really improvekuboresha everything.
110
338114
3664
na namna gani maarifa ya uono yanavyoweza
kuboresha kila kitu.
05:54
So recentlyhivi karibuni, I had a groupkikundi
of counterterrorismyasifu officialsmaafisa wa
111
342625
2666
Karibuni, nilipata kundi la
wataalamu wa kupinga ugaidi
05:57
at a museummakumbusho in frontmbele of this paintinguchoraji.
112
345315
1959
katika makumbusho mbele ya huu mchoro.
05:59
ElEl Greco'sYa Greco paintinguchoraji,
"The PurificationUtakaso of the TempleHekalu,"
113
347298
3430
mchoro wa El Greco, "Utakasaji wa Hekalu,"
06:02
in whichambayo ChristKristo, in the centerkituo,
in a sweepingkuenea and violentvurugu gestureishara,
114
350752
4087
ambapo Kristo, katikati, katika ishara
ya kupangusa na yenye vurugu,
06:06
is expellingkufukuza the sinnerswenye dhambi
from the templehekalu of prayersala.
115
354863
2907
anawafukuza watenda dhambi kutoka
katika hekalu la maombi.
06:10
The groupkikundi of counterterrorismyasifu officialsmaafisa wa
had fivetano minutesdakika with that paintinguchoraji,
116
358321
3611
Kundi la wapambana na ugaidi walikuwa
na dakika tano katika mchoro ule,
06:13
and in that shortmfupi amountkiasi of time,
they had to assesstathmini the situationhali,
117
361956
3912
na katika muda huo mfupi,
walitakiwa kuichambua hali ile
06:17
analyzekuchambua the detailsmaelezo,
118
365892
1690
kutambua taarifa,
06:19
articulatekutamka what, if anything,
119
367606
1692
kuchanganua kwamba, kama chochote
06:21
they would do if they were
in that paintinguchoraji.
120
369322
2523
wangefanya kama wangekuwepo
katika mchoro ule.
06:25
As you can imaginefikiria,
observationsuchunguzi and insightsufahamu differedtofauti.
121
373329
3400
Unavyoweza kuwaza,
mtazamo na ufahamu ulitofautiana.
06:28
Who would they talk to?
122
376753
1151
Nani wangeongea nae?
06:29
Who would be the bestbora witnessshahidi?
123
377928
1506
Nani angekuwa shuhuda mzuri?
06:31
Who was a good potentialuwezo witnessshahidi?
124
379458
1586
Nani ni shahidi mzuri wa muhimu?
06:33
Who was lurkingya msingi yamefichika?
125
381068
1151
Nani alikuwa anavizia?
06:34
Who had the mostwengi informationhabari?
126
382243
1400
Nani alikuwa na taarifa zaidi?
06:36
But my favoritefavorite commentmaoni
camealikuja from a seasonedkuweza copmpiganaji
127
384131
3472
Lakini moja ya maoni nililopenda
lilitoka kwa polisi wa msimu
06:39
who lookedilionekana at the centralkati figuretakwimu and said,
128
387627
2115
aliyeangalia mtu wa katikati na kusema,
06:41
"You see that guy in the pinkpink?" --
129
389766
1635
"Unaona jamaa mwenye pinki?" --
06:43
referringakimaanisha to ChristKristo --
130
391425
1230
akimaanisha Kristo --
06:44
he said, "I'd collaralama him,
he's causingkusababisha all the troubleshida."
131
392679
2642
alisema, "Ningemkaba, ndie
anayesababisha vurugu yote."
06:47
(LaughterKicheko)
132
395345
3128
(Kicheko)
06:50
So looking at artsanaa givesanatoa us a perfectkamilifu
vehiclegari to rethinkfanya upya how we solvekutatua problemsmatatizo
133
398497
5397
Hivyo kuangalia sanaa kunatupa nyenzo bora
ya kuwaza tena jinsi tunatatua matatizo
06:55
withoutbila the aidmisaada of technologyteknolojia.
134
403918
1642
bila msaada wa teknolojia.
06:57
Looking at the work
of FelixFelix Gonzalez-TorresGonzalez-Torres,
135
405584
2683
Ukiangalia kazi ya Felix Gonzalez-Torres,
07:00
you see two clockssaa za
in perfectkamilifu synchronicityusawazishaji.
136
408291
3087
unaona saa mbili zinazoenda
sambamba kabisa.
07:03
The hoursaa, minutedakika and
secondpili handmkono perfectlykikamilifu alignediliyokaa.
137
411949
4017
Saa, dakika na mshale wa sekunde
vinafanana sawa sawa.
07:07
They are installedimewekwa sideupande by sideupande
and they're touchingkugusa,
138
415990
3302
Vimewekwa upande kwa upande na zinagusana,
07:11
and they are entitledhaki
"'Untitled''Usio na kichwa' (PerfectKamili LoversWapenzi)."
139
419316
3078
na zimepewa jina "'Isiyo na
jina'(Wapenzi Kamilifu)."
07:15
But closerkaribu analysisuchambuzi makeshufanya you realizekutambua
140
423431
2112
Lakini mtazamo wa karibu unafanya utambue
07:17
that these are two
battery-operatedbetri clockssaa za,
141
425567
3149
kwamba hizi ni saa mbili zitumiazo betri,
07:20
whichambayo in turnkugeuka makeshufanya you understandkuelewa --
142
428740
1835
ambapo inakufanya kuelewa --
07:22
"Hey, wait a minutedakika ...
143
430599
1242
"Hebu, subiri kidogo ...
07:23
One of those batteriesbetri
is going to stop before the other.
144
431865
2703
Moja ya betri itasimama kabla ya nyenzake.
07:26
One of those clockssaa za is going
to slowpolepole down and diekufa before the other
145
434592
3156
Moja ya hizi saa itakuja kupunguza
mwendo na kufa kabla ya nyingine
07:29
and it's going to alterkubadilisha
the symmetryulinganifu of the artworkmchoro."
146
437772
2483
na itaenda kuongeza usawa
wa kazi hii ya sanaa."
07:33
Just articulatingkufafanua that thought processmchakato
147
441073
3108
Vile tu unavyoliwaza hilo jambo
07:36
includesinajumuisha the necessityumuhimu
of a contingencyvikwazo planMpango.
148
444205
3292
hujumuisha uhitaji wa mpango wa dharura.
07:40
You need to have contingenciesdharura
for the unforeseenisiyotarajiwa,
149
448687
2680
Unahitaji kuwa na dharura kwa
yale yasiyoonekana,
07:43
the unexpectedzisizotarajiwa and the unknownhaijulikani,
150
451391
2476
yasiyotegemewa na yasiyojulikana,
07:45
wheneverwakati wowote and howeverhata hivyo they mayinaweza happenkutokea.
151
453891
2653
muda yanapotokea na namna yanavyotokea.
07:50
Now, usingkutumia artsanaa to increaseOngeza
our visualVisual intelligenceakili
152
458150
3597
Sasa, kwa kutumia sanaa kuongeza
maarifa ya uono
07:53
involvesinahusisha planningkupanga for contingenciesdharura,
153
461771
2061
hujumuisha kupanga kwa dharura,
07:55
understandinguelewa the bigkubwa picturepicha
and the smallndogo detailsmaelezo
154
463856
2398
kuelewa picha kubwa na taarifa ndogo
07:58
and noticingkutambua what's not there.
155
466278
1635
na kugundua kipi kinachokosekana.
08:00
So in this paintinguchoraji by MagritteMagritte,
156
468399
2454
Hivyo mchoro huu uliochorwa na Magritte,
08:02
noticingkutambua that there are no tracksnyimbo
underchini the traintreni,
157
470877
3150
kugundua kwamba hakuna reli
chini ya treni,
08:06
there is no firemoto in the fireplacemeko
158
474051
2164
hakuna moto katika sehemu ya moto
08:08
and there are no candlesmishumaa
in the candlesticksvinara
159
476239
2178
na hakuna mishumaa
ndani ya vinara
08:10
actuallykwa kweli more accuratelykwa usahihi
describesinaelezea the paintinguchoraji
160
478441
2817
kiuhalisia inaelezea mchoro
08:13
than if you were to say, "Well,
there's a traintreni comingkuja out of a fireplacemeko,
161
481282
3515
zaidi ya ungesema, "Sasa, kuna treni
inayotokea sehemu palipo na moto,
08:16
and there are candlesticksvinara on the mantlejoho."
162
484821
2086
na kuna vinara katika pazia
08:18
It mayinaweza soundsauti counterintuitivekitu kisochokuwa cha kawaida
to say what isn't there,
163
486931
2663
Itaonekana kisicho cha kawaida
kusema kisichokuwepo,
08:21
but it's really a very valuablethamani toolchombo.
164
489618
2037
lakini ni nyenzo yenye thamani.
08:24
When a detectiveMpelelezi who had learnedkujifunza
about visualVisual intelligenceakili
165
492398
2760
Pale mpelezi aliyejifunza kuhusu
uono wa maarifa
08:27
in NorthKaskazini CarolinaCarolina
166
495182
1151
huko Carolina Kaskazini
08:28
was calledaitwaye to the crimeuhalifu sceneeneo,
167
496357
1476
aliitwa katika eneo la tukio,
08:29
it was a boatingBoating fatalityvinavyokubalika,
168
497857
1440
ilikuwa mashua yenye majeruhi,
08:31
and the eyewitnessushahidi wa macho told this detectiveMpelelezi
that the boatmashua had flippedgeuzwa over
169
499321
3560
na shuhuda alimwambia huyu mpelelezi
kwamba mashua ilipinduka
08:34
and the occupantmkazi had drownedkuzama underneathchini.
170
502905
2711
na aliyekuwepo alizama chini.
08:38
Now, instinctivelykwa kawaida, crimeuhalifu sceneeneo
investigatorswachunguzi look for what is apparentdhahiri,
171
506055
3650
Sasa, kwa haraka, wapelelezi wa uhalifu
huangalia kile kinachoonekana,
08:41
but this detectiveMpelelezi
did something differenttofauti.
172
509729
2200
lakini mpelelezi huyu
alifanya kitu tofauti.
08:43
He lookedilionekana for what wasn'thaikuwa there,
whichambayo is hardervigumu to do.
173
511953
2587
Aliangalia ambacho hakipo,
ambapo ni ngumu kufanya.
08:47
And he raisedalimfufua the questionswali:
174
515045
1315
Na aliuliza swali:
08:48
if the boatmashua had really
tippedtipped flippedgeuzwa over --
175
516384
2912
kama kweli mashua ilipinduka --
08:51
as the eyewitnessushahidi wa macho said that it did --
176
519320
2218
kama mashuhuda wanavyosema --
08:53
how come the paperskaratasi that were keptimehifadhiwa
at one endmwisho of the boatmashua
177
521562
2755
inakuwaje makaratasi yaliyowekwa
mwisho mmoja wa mashua
08:56
were completelykabisa drykavu?
178
524341
1601
yapo makavu kabisa?
08:58
BasedKulingana na on that one smallndogo
but criticalmuhimu observationuchunguzi,
179
526900
3388
Kulingana na mtazamo huo
mdogo lakini muhimu,
09:02
the investigationuchunguzi shiftedkubadilishwa
from accidentalajali deathkifo to homicidekukimbilia.
180
530312
3961
upelelezi ulihama kutoka
katika kifo mpaka mauaji.
09:08
Now, equallysawa importantmuhimu
to sayingkusema what isn't there
181
536257
2640
Sasa, muhimu kusema kipi
kisichokuwepo pale
09:10
is the abilityuwezo to find visualVisual connectionsuhusiano
where they mayinaweza not be apparentdhahiri.
182
538921
4619
ni uwezo wa kutafuta muunganiko wa
uono ambapo vitu havionekani.
09:16
Like MarieMarie Watt'sYa wati totemtotem polepole of blanketsblanketi.
183
544442
3052
Kama tambiko la Marie Watt la nguzo ya
matandiko.
09:19
It illustratesinaonyesha that findingkutafuta hiddensiri
connectionsuhusiano in everydaykila siku objectsvitu
184
547518
4084
Inaelezea kwamba kutafuta muunganiko
uliojificha katika vitu vya kila siku
09:23
can resonatesoma so deeplykwa undani.
185
551626
1731
unaweza sisimua kiundani sana.
09:25
The artistmsanii collectedzilizokusanywa blanketsblanketi
from all differenttofauti people
186
553796
2681
Msanii alikusanya matandiko kutoka
kwa watu mbalimbali
09:28
in her communityjumuiya,
187
556501
1468
katika jamii yake,
09:29
and she had the ownerswamiliki wa
of the blanketsblanketi writeandika, on a tagLebo,
188
557993
3254
na aliwaambia wamiliki wa matandiko
hayo kuandika, katika nembo,
09:33
the significanceumuhimu of
the blanketblanketi to the familyfamilia.
189
561271
2544
umuhimu wa kitandiko hicho kwa familia.
09:36
Some of the blanketsblanketi
had been used for babymtoto blanketsblanketi,
190
564448
2665
Baadhi ya matandiko
yametumika kwa ajili ya watoto,
09:39
some of them had been used
as picnicpicnic blanketsblanketi,
191
567137
2200
baadhi yametumika kama
matandiko ya mandari,
09:41
some of them had been used for the dogmbwa.
192
569361
2412
baadhi yalikuwa yakitumika kwa ajili ya
mbwa.
09:44
We all have blanketsblanketi in our homesnyumba
193
572386
2806
Wote tuna matandiko majumbani mwetu
09:47
and understandkuelewa the significanceumuhimu
that they playkucheza.
194
575216
2551
na tunaelewa umuhimu yaliyonao.
09:50
But similarlysawa, I instructkuwafundisha newmpya doctorsmadaktari:
195
578704
2341
Lakini kwa usawa, nawaelekeza matabibu
wapya:
09:53
when they walktembea into a patient'smgonjwa roomchumba,
196
581069
1896
wanapokwenda katika chumba cha mgonjwa,
09:54
before they pickpick up that medicalmatibabu chartchati,
197
582989
3192
kabla ya kuchukua chati ya mgonjwa,
09:58
just look around the roomchumba.
198
586205
1802
jaribu kutazama katika kile chumba.
10:00
Are there balloonsballoons or cardskadi,
199
588031
2295
Kuna mapulizo au kadi,
10:02
or that specialMaalum blanketblanketi on the bedkitanda?
200
590350
2212
au kile kitandiko mahususi katika kitanda?
10:05
That tellsanasema the doctordaktari there's a connectionuhusiano
to the outsidenje worldulimwengu.
201
593471
3700
Hiyo inamueleza daktari kuna uhusiano
na dunia ya nje.
10:09
If that patientsubira has someonemtu
in the outsidenje worldulimwengu
202
597195
3697
Kama mgonjwa huyo ana mtu
katika dunia ya nje
10:12
to assistkusaidia them and help them,
203
600916
1913
wa kuwaongoza na kuwasaidia,
10:14
the doctordaktari can implementkutekeleza the bestbora carehuduma
with that connectionuhusiano in mindakili.
204
602853
4364
daktari anaweza pendekeza matunzo bora
akiwa na uelewa na yale mahusiano akilini.
10:20
In medicinedawa, people
are connectedimeunganishwa as humansbinadamu
205
608075
3186
Katika utabibu, watu
wanaunganika kama wanadamu
10:23
before they're identifiedkutambuliwa
as doctordaktari and patientsubira.
206
611285
3232
kabla hawajatambulika
kama daktari na mgonjwa.
10:27
But this methodnjia of enhancingkuimarisha perceptionmtazamo --
207
615699
2555
Lakini njia hii ya kuongeza utambuzi --
10:30
it need not be disruptivekuharibu,
208
618278
1478
haitakiwi kuwa haribifu,
10:31
and it doesn't necessitatenasi
an overhauluchunguzi in looking.
209
619780
2800
na haina mahitaji ya kukarabati
namna ya kutazama.
10:35
Like JorgeJorgendezndez Blake'sYa Blake sculptureuchongaji
of buildingkujenga a brickmatofali wallukuta
210
623173
3969
Kama sanamu ya Jorge Méndez
ya kujenga ukuta wa matofali
10:39
abovehapo juu Kafka'sYa Kafka bookkitabu "ElEl CastilloCastillo"
211
627166
2834
juu ya kitabu cha Kafka "El Castillo"
10:42
showsinaonyesha that more astuteastute observationuchunguzi
can be subtlehila and yetbado invaluablethamani sana.
212
630024
4835
inaonyesha utazamaji wa kistaarabu unaweza
kuwa kiuerevu lakini ulio na thamani.
10:47
You can discernkupambanua the bookkitabu,
213
635835
1778
Unaweza tambua kitabu,
10:49
and you can see
how it disruptedkuvurugika the symmetryulinganifu
214
637637
2326
na unaweza kuona namna gani umeharibu msawazo
10:51
of the bricksmatofali directlymoja kwa moja abovehapo juu it,
215
639987
2351
wa matofali juu yake,
10:54
but by the time you get
to the endmwisho of the sculptureuchongaji,
216
642362
2476
lakini muda ambao unafika
mwisho wa sanamu,
10:56
you can no longertena see the bookkitabu.
217
644862
1808
huwezi kuona kitabu.
10:59
But looking at the work of artsanaa
in its entiretyukamilifu,
218
647108
3120
Lakini kuangalia kazi ya sanaa katika
ukamilifu wake,
11:02
you see that the impactathari
of the work'sya kazi disruptionusumbufu on the bricksmatofali
219
650252
4280
unaona kwamba matokeo ya
uharibifu katika matofali
11:06
is nuancedtofauti and unmistakablebila kosa.
220
654556
2308
ni wa dhahiri na usiokoswea.
11:09
One thought,
221
657529
1397
Wazo moja,
11:10
one ideawazo,
222
658950
1662
jambo moja,
11:12
one innovationinnovation can alterkubadilisha an approachmbinu,
223
660636
3662
ubunifu mmoja unaweza ongeza namna,
11:16
changemabadiliko a processmchakato
224
664322
1530
kubadili mchakato
11:17
and even savesalama livesanaishi.
225
665876
1894
na hata kuokoa maisha.
11:20
I've been teachingkufundisha visualVisual intelligenceakili
for over 15 yearsmiaka,
226
668599
3753
Nimekuwa nikifundisha maarifa ya uono
kwa miaka zaidi ya 15,
11:24
and to my great amazementmshangao
and astonishmentmshangao --
227
672376
3216
na kwa mshangao wangu mkubwa
na ustaajabu --
11:27
to my never-endingyasiyo na mwisho astonishmentmshangao
and amazementmshangao,
228
675616
2776
kwa mshangao na ustaajabu
usiokoma,
11:30
I have seenkuonekana that looking at artsanaa
with a criticalmuhimu eyejicho
229
678416
3528
Nimeona kwamba kuangalia kazi ya sanaa
na jicho la ukaribu
11:33
can help to anchornanga us in our worldulimwengu
of unchartedgeni watersmaji,
230
681968
3412
kunaweza kutusaidia katika dunia yetu
ya maji yasiyopimwa,
11:37
whetherkama you are a paramilitarykijeshi troopertrooper,
231
685404
2239
kama upo katika jeshi,
11:39
a caregivermlinzi, a doctordaktari or a mothermama.
232
687667
2949
mtoa msaada, tabibu au mama.
11:43
Because let's faceuso it, things go wrongsi sawa.
233
691156
2574
Kwa sababu tukubali, mambo huenda mrama.
11:46
(LaughterKicheko)
234
694678
1001
(Kicheko)
11:47
Things go wrongsi sawa.
235
695703
1210
Mambo yanaenda vibaya.
11:48
And don't misunderstandvipaya me,
236
696937
1347
Na usinielewa vibaya,
11:50
I'd eatkula that doughnutChati Donati in a minutedakika.
237
698308
1647
Nitakula hilo andazi kwa dakika.
11:51
(LaughterKicheko)
238
699979
1058
(Kicheko)
11:53
But we need to understandkuelewa the consequencesmatokeo
of what it is that we observekuchunguza,
239
701061
4645
Lakini tunahitaji kuelewa matokeo
ya kipi ambacho tunatazama,
11:57
and we need to convertkubadili observableinayoonekana detailsmaelezo
into actionablekufanikisha lengo knowledgeujuzi.
240
705730
4371
na tunahitaji kubadili taarifa zionekanazo
katika maarifa ya matendo.
12:02
Like JenniferJennifer Odem'sWa Odem sculptureuchongaji
of tablesmeza standingmsimamo sentinelSENTINEL
241
710918
3995
Kama sanamu ya Jennifer Odem
ya meza ya mlinzi
12:06
on the banksmabenki of the MississippiMississippi RiverMto
242
714937
2052
katika kingo ya mto wa Mississippi
12:09
in NewMpya OrleansOrleans,
243
717013
1418
huko New Orleans,
12:10
guardingulindaji againstdhidi the threattishio
of post-Katrinaposta-Katrina floodwatersjichunge
244
718455
3215
zikilinda hatari ya mafuriko ya maji
baada ya kimbunga cha Katrina
12:13
and risingkupanda up againstdhidi adversitydhiki,
245
721694
2785
na kunyanyuka dhidi ya majanga,
12:16
we too have the abilityuwezo
to acttenda affirmativelyaffirmatively
246
724503
2849
pia tuna uwezo wa kuhakikisha
12:19
and affectkuathiri positivechanya changemabadiliko.
247
727376
1787
na kufanya yale yaliyo chanya.
12:21
I have been miningmadini the worldulimwengu of artsanaa
248
729923
2298
Nimekuwa nikichimba katika dunia ya sanaa
12:24
to help people acrosskote
the professionalmtaalamu spectrumwigo
249
732245
3053
kuwasaidia watu katika utaalamu
12:27
to see the extraordinaryajabu in the everydaykila siku,
250
735322
2684
kuona visivyo vya kawaida kila siku,
12:30
to articulatekutamka what is absenthayupo
251
738030
2411
kutafuta kile ambacho hakipo
12:33
and to be ableinaweza to inspirekuhamasisha
creativityubunifu and innovationinnovation,
252
741727
3393
na kuweza kuchochea ubunifu,
12:37
no matterjambo how smallndogo.
253
745144
1461
bila kujali udogo.
12:38
And mostwengi importantlymuhimu,
254
746629
1559
Na kilicho muhimu,
12:40
to forgekiuchumu humanbinadamu connectionsuhusiano
where they mayinaweza not be apparentdhahiri,
255
748212
3800
kutengeneza muunganisho wa
kibinadamu pale ambao haupo.
12:44
empoweringkuwezesha us all to see our work
and the worldulimwengu writAndika largekubwa
256
752036
4873
kutupa uwezo wote kuona kazi zetu
na dunia kwa ujumla
12:48
with a newmpya setkuweka of eyesmacho.
257
756933
1488
katika namna mpya ya macho.
12:50
Thank you.
258
758879
1151
Asante.
12:52
(ApplauseMakofi)
259
760054
6223
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Doris Mangalu

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Amy Herman - Visual educator
By showing people how to look closely at painting, sculpture and photography, Amy Herman helps them hone their visual intelligence to recognize the most pertinent and useful information as well as recognize biases that impede decision making.

Why you should listen

Amy Herman is a lawyer and art historian who uses works of art to sharpen observation, analysis and communication skills. She developed her Art of Perception seminar in 2000 to improve medical students' observation and communication skills with their patients when she was the head of education at The Frick Collection in New York City. She subsequently adapted the program for a wide range of professionals and leads sessions internationally for the New York City Police Department, the FBI, the French National Police, the Department of Defense, Interpol, the State Department, Fortune 500 companies, first responders, the military and the intelligence community. In her highly participatory presentation, she demonstrates the relevance of visual literacy across the professional spectrum and how the analysis of works of art affords participants in her program an innovative way to refresh their sense of critical inquiry and reconsider the skills necessary for improved performance and effective leadership. The program has been featured in the New York Times, The Wall Street Journal, "The CBS Evening News" and Smithsonian Magazine, among others.

Herman holds an AB, a JD and an MA in art history. Her book, Visual Intelligence, was published in May 2016 and was on both the New York Times and Washington Post bestseller lists.

More profile about the speaker
Amy Herman | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee