ABOUT THE SPEAKER
Rebecca MacKinnon - Internet freedom activist
Rebecca MacKinnon looks at issues of free expression, governance and democracy (or lack of) in the digital networks, platforms and services on which we are all more and more dependent.

Why you should listen

Rebecca MacKinnon is the director of the Ranking Digital Rights project at New America, which recently released its inaugural Corporate Accountability Index, ranking 16 Internet and telecommunications companies on their commitments, policies and practices affecting users’ freedom of expression and privacy. (An expanded Index will be released in 2017.) She is the author of Consent of the Networked, a book investigating the future of liberty in the Internet age, and has been engaging in the debate about how to fight global terrorism while keeping a free and open Internet. A former head of CNN's Beijing and Tokyo bureaus, MacKinnon is an expert on Chinese Internet censorship and is one of the founders (with Ethan Zuckerman) of the Global Voices Online blog network.

More profile about the speaker
Rebecca MacKinnon | Speaker | TED.com
TEDSummit

Rebecca MacKinnon: We can fight terror without sacrificing our rights

Rebecca MacKinnon: Tunaweza kupambana na ugaidi bila kutoa kafara haki zetu

Filmed:
1,142,385 views

Tunaweza kupambana na ugaidi bila kuharibu demokrasia? Mwanaharakati wa Uhuru wa mtandao wa intaneti Rebecca MacKinnon anafikiri kwamba tutashindwa kwenye vita hii dhidi ya siasa kali na siasa za fujo ikiwa tutadhibiti mtandao wa intaneti na vyombo vya habari. Katika mazungumzo haya muhimu ametoa wito wa kusimama kidete kuhusu taarifa zilizodhibitiwa usiri na kuzitaka serikali kutumia njia bora kulinda, na sio kunyamazisha, waandishi wa habari na wanaharakati wanaopambana dhidi ya wenye siasa kali.
- Internet freedom activist
Rebecca MacKinnon looks at issues of free expression, governance and democracy (or lack of) in the digital networks, platforms and services on which we are all more and more dependent. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
There's a bigkubwa questionswali
at the centerkituo of life
0
888
2134
Kuna swali kubwa katikati ya maisha yetu
00:15
in our democraciesdemokrasia todayleo:
1
3046
1914
katika demokrasia yetu leo:
00:16
How do we fightkupigana terrorhofu
withoutbila destroyingkuharibu democraciesdemokrasia,
2
4984
3345
Tunapambanaje na ugaidi bila kuharibu
demokrasia,
00:20
withoutbila tramplingwanaokanyaga humanbinadamu rightshaki?
3
8353
2523
bila kukanyaga haki za binadamu?
00:23
I've spentalitumia much of my careerkazi
workingkufanya kazi with journalistswaandishi wa habari,
4
11594
4595
Nimetumia muda mwingi wa kazi yangu
kufanyakazi na waandishi wa habari,
00:28
with bloggerswanablogu,
5
16213
1158
na waandishi wa blogu,
00:29
with activistswanaharakati,
6
17395
1314
na wanaharakati,
00:30
with humanbinadamu rightshaki researcherswatafiti
all around the worldulimwengu,
7
18733
2615
na watafiti wa haki za binadamu
duniani kote.
00:33
and I've come to the conclusionhitimisho
8
21372
2110
na nimefikia hitimisho
00:35
that if our democratickidemokrasia societiesjamii
do not doublemara mbili down
9
23506
4645
kwamba ikiwa jamii zetu za kidemokrasia
hazita simama kidete
00:40
on protectingkulinda and defendingkutetea humanbinadamu rightshaki,
10
28175
2983
katika kulinda na kutetea haki
za binadamu,
00:43
freedomuhuru of the pressbonyeza
11
31182
1400
uhuru wa vyombo vya habari
00:44
and a freebure and openkufungua internetinternet,
12
32606
2416
na mtandao wa intaneti huru na wazi;
00:47
radicalradical extremistsiasa kali ideologiesitikadi
are much more likelyuwezekano to persistwavumilia.
13
35932
5861
itikadi zenye siasa kali
zinaweza kuendelea kuwepo
00:54
(ApplauseMakofi)
14
42537
2445
(Makofi)
00:57
OK, all donekufanyika. Thank you very much.
15
45006
1684
OK, nimemaliza. Asanteni sana.
00:58
No, just jokingutani.
16
46714
1159
Hapana, natania.
00:59
(LaughterKicheko)
17
47897
1409
(Kicheko)
01:01
I actuallykwa kweli want to drillkuchimba down
on this a little bitkidogo.
18
49716
2893
Ninataka kuendelea kuchambua
kwenye hili suala kidogo.
01:04
So, one of the countriesnchi that has been
on the frontlinesmstari wa mbele of this issuesuala
19
52965
5747
Kwahiyo, nchi mojawapo ambayo
imekuwa mstari wa mbele kwa suala hili
01:10
is TunisiaTunisia,
20
58736
1230
ni Tunisia,
01:12
whichambayo was the only countrynchi
to come out of the ArabNchi za Kiarabu SpringMajira ya kuchipua
21
60325
3516
ambayo ni nchi pekee iliyotoka
kwenye nchi za mapinduzi ya Uarabuni
01:15
with a successfulimefanikiwa democratickidemokrasia revolutionmapinduzi.
22
63865
2598
kwa mafanikio ya mapinduzi kidemokrasia.
01:18
FiveTano yearsmiaka laterbaadae,
23
66967
1265
Miaka mitano baadaye,
01:20
they're strugglingwanajitahidi
with seriousmbaya terrorhofu attacksmashambulizi
24
68256
2836
wanapambana na
mashambulio makubwa ya kigaidi
01:23
and rampantkuenea ISISISIS recruitmentuandikishaji wa.
25
71116
2713
na kuenea kwa wanaojiunga na ISIS.
01:25
And manywengi TunisiansTunisians
are callingwito on theirwao governmentserikali
26
73853
2784
Na raia wengi wa Tunisia
wanaitaka serikali yao
01:28
to do whateverVyovyote it takes to keep them safesalama.
27
76661
3060
kufanya chochote inachoweza wawe salama.
01:32
TunisianTunisia cartoonistmchora NadiaNadia KhiariKhiari
28
80686
3028
Mchora katuni wa Tunisia Nadia Khiari
01:35
has summedilihitimishwa up the situationhali
with this charactertabia who saysanasema,
29
83738
4275
amejumuisha hali iliyopo
kutumia mhusika anayesema,
01:40
"I don't give a damndamn about humanbinadamu rightshaki.
30
88037
2579
"Sijali chochote kuhusu haki za binadamu.
01:42
I don't give a damndamn about the revolutionmapinduzi.
31
90640
2851
Sijali chochote kuhusu mapinduzi.
01:45
I don't give a damndamn
about democracydemokrasia and libertyuhuru.
32
93515
3456
Sijali chochote kuhusu
demokrasia na uhuru
01:49
I just want to be safesalama."
33
97587
1590
Ninachotaka ni kuwa salama."
01:53
"SatisfiedKuridhika?" askedaliuliza his jailermfungwa.
34
101672
2342
"Umeridhika?" aliuliza aliyemfunga
01:56
"You're safesalama now."
35
104896
1309
"Uko salama sasa."
01:58
If the TunisianTunisia people can figuretakwimu out
36
106941
2755
Ikiwa watu wa Tunisia wanaweza kugundua
02:01
how to dealtoa with theirwao terrorismugaidi problemtatizo
37
109720
2063
jinsi ya kushughulikia
tatizo lao la ugaidi
02:03
withoutbila endingkuishia up in this placemahali,
38
111807
2422
bila kuishia sehemu hii,
02:06
they will be a modelmfano
not only for theirwao regionkanda,
39
114771
2683
watakuwa mfano wa kuigwa
si kwa eneo lao tu
02:09
but for all of us.
40
117478
1368
bali kwetu sote.
02:12
The realityukweli is that civilkiraia societyjamii,
journalistswaandishi wa habari and activistswanaharakati
41
120402
4036
Ukweli ni kwamba jamii za kiraia,
waandishi wa habari na wanaharakati
02:16
are comingkuja underchini attackkushambulia
from extremistsiasa kali groupsvikundi on the one handmkono,
42
124462
4829
wanashambuliwa zaidi na makundi
yenye siasa kali kwa upande mmoja,
02:21
and, in manywengi countriesnchi,
43
129315
1730
na katika nchi nyingi,
02:23
alsopia from theirwao ownmwenyewe governmentsserikali.
44
131069
2435
pia kutoka kwenye serikali zao wenyewe.
02:25
We're seeingkuona bloggerswanablogu
and journalistswaandishi wa habari beingkuwa jailedjela,
45
133528
3392
Tunaona waandishi wa blogu
na waandishi wa habari wakifungwa,
02:28
chargedkushtakiwa and intimidatedkutishwa
46
136944
1438
wakishtakiwa na kutishwa
02:30
by theirwao ownmwenyewe governmentsserikali,
47
138406
1518
na serikali zao wenyewe,
02:31
manywengi of whichambayo are allieswashirika
with the WestMagharibi in the warvita on terrorhofu.
48
139948
3395
wengi ambao wanashirikiana na nchi
za Magharibi katika vita vya ugaidi
02:35
Just threetatu examplesmifano.
49
143785
1637
Nitatoa mifano mitatu.
02:37
A friendrafiki and formerzamani colleaguemwenzake of minemgodi,
50
145446
1856
Rafiki yangu na mshirika wangu zamani,
02:39
HishamHisham AlmiraatAlmiraat,
51
147326
1232
Hisham Almiraat,
02:40
has been chargedkushtakiwa
with threateningkutishia statehali securityusalama,
52
148582
3044
ameshtakiwa kwa kutishia
usalama wa taifa,
02:43
alongkando with sixsita other activistswanaharakati in MoroccoMoroko.
53
151650
2949
pamoja na wanaharakati wengine sita
nchini Morocco.
02:47
The SaudiSaudi Arabia bloggerblogger RaifRaif BadawiBadawi
has been jailedjela and floggedwalipigwa
54
155144
4473
Mwanablogu wa Saudi Raif Badawi
amefungwa na kuchapwa viboko
02:51
for insultingkumtukana IslamUislamu and criticizingkukosoana
the SaudiSaudi Arabia regimeutawala on his blogblogu.
55
159641
5772
kwa kuutusi Uislamu na kukosoa
utawala wa Saudi kwenye blogu yake.
02:57
More recentlyhivi karibuni, the TurkishKituruki representativemwakilishi
for ReportersWaandishi wa habari WithoutBila BordersMipaka,
56
165437
5490
Hivi karibuni ,mwakilishi wa Uturuki
kwa Waandishi wa habari Wasio na Mipaka,
03:02
ErolErol Önderoglunderoglu,
57
170951
1847
Erol Onderoglu,
03:04
has been detainedkizuizini and chargedkushtakiwa
with spreadingkueneza terroristugaidi propagandapropaganda,
58
172822
4744
amewekwa kizuizini na kushtakiwa
kwa kueneza propaganda za kigaidi,
03:09
because he and some other activistswanaharakati
have been supportingkusaidia KurdishKikurdishi cha mediavyombo vya habari.
59
177590
4462
kwakuwa yeye na wanaharakati wengine
wanaunga mkono vyombo vya habari Kurdi.
03:15
Anti-terrorKupambana na ugaidi measuresvipimo
quicklyharaka turnkugeuka into statehali repressionukandamizaji
60
183025
3687
Hatua za kupinga ugaidi haraka
zinageuka kandamizi kwa taifa
03:18
withoutbila strongnguvu protectionulinzi
for minoritywachache communitiesjamii
61
186736
3076
bila ulinzi madhubuti
kwa jamii ya walio wachache
03:22
and for peacefulamani debatemjadala;
62
190297
2041
na kwa mdahalo wa amani;
03:24
this needsmahitaji to be supportedimesaidiwa
by a robustimara, independenthuru localmitaa mediavyombo vya habari.
63
192729
4996
hii inahitaji kuungwa mkono na
chombo huru cha habari
03:29
But while that's not really happeningkinachotokea,
64
197749
2304
Lakini kwa kuwa hiyo haitokei,
03:32
WashingtonWashington is teamingteaming up
with SiliconSilicon ValleyBonde and with HollywoodHollywood
65
200077
3991
Washington inaungana na Silicon Valley
pamoja na Hollywood
03:36
to pourpiga millionsmamilioni -- hundredsmamia
of millionsmamilioni of dollarsdola --
66
204701
4376
kuweka mamilioni-- mamia
ya mamilioni ya dola
03:41
into what's calledaitwaye "counter-messagingUjumbe wa kupambana,"
67
209101
2587
katika kinachoitwa "kupinga - ujumbe"
03:43
a fancydhana wordneno for propagandapropaganda.
68
211712
1979
neno la kistaarabu kwa propaganda.
03:46
To counterkukabiliana the terroristugaidi propagandapropaganda
spreadingkueneza all over the internetinternet,
69
214154
5879
Kupinga kwa propaganda za kigaidi
kuenea kwenye mitandao yote ya intaneti
03:52
in EuropeEurope, InternetTovuti ReferralRufaa
UnitsVitengo vya are beingkuwa setkuweka up,
70
220614
3746
barani Ulaya, Vitengo vya rufaa ya
intaneti vinaanzishwa,
03:56
so that people can reportripoti
on extremistsiasa kali contentmaudhui that they find
71
224384
3977
ili kwamba watu waweze kutoa taarifa
kuhusu habari za siasa kali watakazoona
04:00
and get it censoredkuwadhibiti.
72
228385
1407
na kufanya zidhibitiwe
04:02
The problemtatizo is,
73
230191
1360
Tatizo ni,
04:03
that all of this propagandapropaganda,
monitoringufuatiliaji and censorshipudhibiti
74
231575
4605
kwamba propaganda zote hizi
ufuatiliaji na udhibiti
04:08
completelykabisa failsinashindwa to make up for the factukweli
75
236204
4583
umeshindwa kabisa kuona kwamba
04:13
that the people who are
the mostwengi crediblekuaminika voicessauti,
76
241236
5074
wale watu ambao wana sauti
zinazoaminika,
04:18
who can presentsasa crediblekuaminika ideasmawazo
and alternativembadala solutionsufumbuzi
77
246334
4085
wanaoweza kuwakilisha mawazo
yanayoaminika na njia mbadala
04:22
to realhalisi economickiuchumi, socialkijamii and politicalkisiasa
problemsmatatizo in theirwao communityjumuiya
78
250443
4101
kwa matatizo ya kweli kiuchumi
kijamii na kisiasa kwenye jumuiya zao
04:26
that are causingkusababisha people to turnkugeuka
to extremismsiasa kali in the first placemahali,
79
254568
4283
ambao wanaosababisha watu wageukie
kwenye siasa kali mwanzoni
04:30
are beingkuwa silencedviliusambaratisha
by theirwao ownmwenyewe governmentsserikali.
80
258875
2816
wananyamazishwa na
serikali zao wenyewe.
04:34
This is all addingkuongeza up to a decreasekupungua
in freedomuhuru acrosskote the worldulimwengu.
81
262214
4562
Hii inaongezea kushuka
kwa uhuru pande zote duniani.
04:39
FreedomUhuru HouseNyumba,
82
267801
1176
Nyumba ya Uhuru
04:41
the humanbinadamu rightshaki organizationshirika,
83
269001
2030
shirika la haki za binadamu,
04:43
reportsripoti that 2015 marksalama
the 10tht straightsawa yearmwaka in a rowmstari
84
271055
4336
limetoa tarrifa kwamba mwaka 2015
ni kilele cha mwaka wa 10 mfululizo
04:47
of declinekupungua in freedomuhuru worldwideduniani kote.
85
275415
3056
wa kushuka kwa uhuru duniani.
04:50
And this is not just
because of the actionsVitendo
86
278495
2396
Na hii sio tu kwasababu
ya matendo
04:52
of authoritariankimabavu governmentsserikali.
87
280915
2031
ya serikali za kimabavu.
04:54
It's alsopia because democratickidemokrasia governmentsserikali
88
282970
2497
Ni kwasababu pia serikali za kidemokrasia
04:57
are increasinglyinazidi crackingkufuta
down on dissenterswapinzani,
89
285491
4303
zinazongeza kuwasaka wapinzani,
05:01
whistle-blowerswanaofichua mambo
90
289818
1168
watoa taarifa
05:03
and investigativeuchunguzi journalistswaandishi wa habari.
91
291010
1913
na waandishi wa habari za uchunguzi.
05:04
UNUMOJA WA MATAIFA SecretaryKatibu GeneralMkuu
BanMarufuku Ki-MoonKi-Moon has warnedalionya
92
292947
2434
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Ban Ki- Moon alionya
05:07
that "preventingkuzuia extremismsiasa kali and promotingkukuza
humanbinadamu rightshaki go hand-in-handmkono kwa mkono."
93
295405
4437
kwamba "kuzuia siasa kali na kukuza
haki za binadamu vinaenda sambamba."
05:11
It's not to say that governmentsserikali
shouldn'thaipaswi keep us safesalama --
94
299866
2804
Sio kusema kwamba serikali
zisituweke salama--
05:14
of coursebila shaka they should --
95
302694
1151
inabidi wafanye hivyo--
05:15
but we need publicumma oversightusimamizi, transparencyuwazi
96
303869
2595
ila tunahitaji ungalizi wa uwazi kwa umma
05:18
and accountabilityuwajibikaji to the ruleutawala of lawsheria.
97
306488
2241
na uwajibikaji kwenye utawala wa sheria.
05:20
MeanwhileWakati huo huo,
98
308753
1152
Wakati huo huo,
05:21
extremistswenye nguvu are literallyhalisi killingkuua off
civilkiraia societyjamii in some countriesnchi.
99
309929
3873
wenye siasa kali huwa wanaua
jamii ya raia katika baadhi ya nchi.
05:26
SinceTangu 2013 in BangladeshBangladesh,
100
314198
2534
Tangu mwaka 2013 nchini Bangladesh,
05:28
over a dozenkadhaa secularkidunia bloggerswanablogu
and communityjumuiya activistswanaharakati
101
316756
4516
zaidi ya mabloga kwa idadi kubwa
na wanaharakati wa jamii
05:33
have been literallyhalisi
slaughteredkuchinjwa by extremistswenye nguvu
102
321296
2933
wamechinjwa kabisa na
wafuasi wa siasa kali
05:36
while the governmentserikali has donekufanyika very little.
103
324253
2344
huku serikali ikichukua hatua kidogo sana.
05:39
From the cityjiji of RaqqaRagga in SyriaSyria,
104
327008
2947
Kutoka mji wa Raqqa Syria,
05:41
people like RuqiaRuqia HassanHassan and NajiNaji JerfJerf
have been assassinatedauawa
105
329979
4576
watu kama Ruqia Hassan na Naji Jerf
wameuwawa
05:46
for theirwao reportingtaarifa
out of ISIS-controlledKudhibitiwa na ISIS territoryeneo.
106
334579
3015
kwa kutoa kwao taarifa
nje ya himaya zinazodhibitiwa na ISIS.
05:50
The citizenraia mediavyombo vya habari groupkikundi calledaitwaye
RaqqaRagga is BeingKuwa SlaughteredKuchinjwa SilentlyKimya
107
338315
5584
Kundi la wanahabari wanaoitwa
Raqqa Inauwawa Kimya Kimya
05:55
relieshutegemea on strongnguvu encryptionUsimbaji fiche
to sendtuma out theirwao reportsripoti
108
343923
4219
linategemea taarifa zilizodhibitiwa
usiri kutuma ripoti zao
06:00
and shieldngao themselveswenyewe
from interceptionkutekwa and surveillanceufuatiliaji.
109
348166
3412
na kujikinga wenyewe mbali na
vizuizi na kupelelezwa.
06:04
YetBado authoritiesmamlaka in countriesnchi
like the UnitedMuungano StatesMarekani,
110
352057
2750
Bado mamlaka katika nchi
kama Marekani,
06:06
the UnitedMuungano KingdomUfalme
and manywengi other democraciesdemokrasia
111
354831
2543
Uingereza
na nyingine nyingi za demokrasia
06:09
are seekingkutafuta to use the lawsheria
112
357398
1853
zinatafuta kutumia sheria
06:11
to eitherama weakenkudhoofisha or outrightwazi bankupiga marufuku
strongnguvu encryptionUsimbaji fiche,
113
359275
4457
ya aidha kudhoofisha au kuzuia kabisa
udhibiti mkubwa wa usiri kwenye taarifa
06:15
because the badmbaya guys are usingkutumia it, too.
114
363756
2180
kwasababu watu wabaya wanautumia pia
06:18
We have got to fightkupigana for the right
of citizenswananchi to use strongnguvu encryptionUsimbaji fiche.
115
366465
4260
Tunatakiwa tupiganie haki ya wananchi
kutumia udhibiti mkubwa wa usiri.
06:22
OtherwiseVinginevyo, dissentupinzani
and investigativeuchunguzi journalismuandishi wa habari
116
370749
3630
ama sivyo, upinzani na
uandishi wa habari za uchunguzi
06:26
are going to becomekuwa even more difficultvigumu
117
374403
2399
utapelekea kuwa na ugumu zaidi
06:28
in even more placesmaeneo.
118
376826
1464
katika sehemu nyingi zaidi.
06:30
And the badmbaya guys -- the criminalswahalifu
and terroristsmagaidi --
119
378654
2471
na watu wabaya--wahalifu
na magaidi--
06:33
are still going to find
waysnjia to communicatekuwasiliana.
120
381149
2260
bado wataendelea kutafuta
njia za kuwasiliana
06:35
KudosHeshima to the companiesmakampuni
that are standingmsimamo up
121
383433
2639
Pongezi kwa makampuni
ambayo yanasimamia
06:38
for theirwao users'watumiaji right to use encryptionUsimbaji fiche.
122
386096
2454
haki ya watumiaji wake kutumia usiri
06:41
But when it comesinakuja to censorshipudhibiti,
123
389595
2266
Lakini inapokuja kwenye udhibiti,
06:43
the picturepicha is much more troublingshida.
124
391885
2311
haileti picha nzuri.
06:46
Yes, there's a realhalisi problemtatizo
125
394610
1818
Ndio, kunatatizo kubwa
06:48
of extremistsiasa kali contentmaudhui
spreadingkueneza all over the internetinternet.
126
396452
3263
la taarifa za siasa kali kuenea
kote kwenye mitandao ya intaneti
06:51
And FacebookFacebook, YouTubeYouTube and TwitterMtandao wa Twitter
are amongmiongoni mwa the manywengi companiesmakampuni
127
399739
3533
Na Facebook, YouTube na Twitter
ni kati ya makampuni mengi
06:55
who reportripoti havingkuwa na takenkuchukuliwa down hundredsmamia
of thousandsmaelfu of piecesvipande of contentmaudhui
128
403296
4427
ambayo wameripoti kushusha mamia
ya maelfu ya vipande vya taarifa
06:59
and deactivatingkulemaza accountsakaunti
129
407747
1580
na kuzima akaunti
07:01
that are connectedimeunganishwa
to the extremist'swa siasa kali speechhotuba.
130
409351
2480
ambazo zinahusianishwa
na maneno ya siasa kali
07:03
The problemtatizo is theirwao enforcementutekelezaji
mechanismsutaratibu are a completekamili blacknyeusi boxsanduku,
131
411855
4320
Tatizo ni utaratibu wao wa
kutekeleza sheria haueleweki kabisa
07:08
and there is collateraldhamana damageuharibifu.
132
416199
1988
na kuna uharibifu mkubwa.
07:10
Take, for examplemfano, IyadIyad el-BaghdadiEl-Baghdadi,
133
418211
2718
Kwa mfano, lyad el- Baghdadi,
07:13
an activistmwanaharakati who makeshufanya funfuraha
of ISISISIS on TwitterMtandao wa Twitter.
134
421516
2636
mwanaharakati anayekejeli
ISIS kupitia Twitter.
07:16
He had his accountakaunti deactivateddeactivated,
135
424176
1816
akaunti yake ilizimwa,
07:18
because he shareshisa a surnamejina
with a prominentmaarufu ISISISIS leaderkiongozi.
136
426016
3525
kwasababu jina la ubini wake
linafanana na kiongozi mkubwa wa ISIS.
07:22
Last DecemberDesemba,
137
430220
1151
Disemba iliyopita,
07:23
a numbernambari of womenwanawake namedjina lake IsisIsis,
138
431395
1619
wanawake wenye majina ya Isis,
07:25
whichambayo alsopia happenshutokea to be
the namejina of an EgyptianMisri goddessMungu wa kike,
139
433038
3452
ambalo pia ni jina la Mungu wa kike
Misri
07:28
had theirwao accountsakaunti deactivateddeactivated.
140
436514
1883
akaunti zao zilizimwa
07:30
And this womanmwanamke,
141
438742
1616
Na huyu mwanamke,
07:32
who livesanaishi in the UnitedMuungano StatesMarekani
and is a computerkompyuta programmerprogramu,
142
440382
3105
anayeishi nchini Marekani
na ni Programa wa Kompyuta
07:35
reportediliripotiwa on TwitterMtandao wa Twitter
about her deactivationdeactivation on FacebookFacebook,
143
443511
3726
aliripoti juu mtandao wa Twitter
kuhusu kuzimiwa kwenye Facebook
07:39
managedimeweza to get enoughkutosha mediavyombo vya habari attentiontazama
to have her accountakaunti reinstatedimehimiza.
144
447261
3693
aliweza kuonwa na vyombo vya habari
na kufanya wamrudishie akaunti yake.
07:42
But that's the thing --
she had to get mediavyombo vya habari attentiontazama.
145
450978
2688
Ila hicho ndio alichofanya--
kuonwa na vyombo vya habari
07:46
And journalistswaandishi wa habari aren'tsio immunekinga.
146
454020
1509
Na waandishi wa habari hawaponi
07:47
DavidDaudi ThomsonThomson,
147
455553
1174
David Thomson,
07:48
an expertmtaalam on terrorismugaidi and reportermwandishi
for RadioRedio FranceUfaransa InternationalKimataifa,
148
456751
3398
mtaalamu wa ugaidi na mtangazaji
wa Radio ya Kimataifa ya Ufaransa,
07:52
had reportsripoti deletedilifutwa
from his FacebookFacebook accountakaunti
149
460173
3563
ripoti zake zilifutwa kwenye
akaunti yake Facebook
07:55
and had his accountakaunti
deactivateddeactivated for severalkadhaa dayssiku,
150
463760
2789
na akaunti yake ikazimwa
kwa siku chache,
07:58
because they containedzilizomo
picturespicha of ISISISIS flagsbendera,
151
466573
3901
kwasababu zilikuwa na picha
zenye bendera za ISIS,
08:02
even thoughingawa he was just reportingtaarifa on ISISISIS,
152
470498
2056
ingawa alikuwa anaripoti kuhusu ISIS
08:04
not promotingkukuza it.
153
472578
1178
sio kuhamasisha.
08:06
And then we have storieshadithi from people
like this EgyptianMisri man,
154
474253
2989
Na pia tuna hadithi kutoka kwa watu
kama mtu wa Misri,
08:09
AhmedAhmed AbdellahyAbdellahy,
155
477266
1617
Ahmed Abdellahy,
08:10
who reportediliripotiwa recentlyhivi karibuni in an eventtukio
in WashingtonWashington DCMM
156
478907
5143
aliyeripoti hivi karibuni tukio
la Washington DC
08:16
that some of his argumentshoja
with extremistswenye nguvu --
157
484074
2174
kuwa majadiliano yake
na wenye siasa kali--
08:18
he now spendsinatumia his time on socialkijamii mediavyombo vya habari
arguingkulalamika with ISISISIS followerswafuasi,
158
486272
6313
hutumia muda wake kwenye mitandao ya jamii
kujadiliana na wafuasi wa ISIS
08:24
tryingkujaribu to get them to turnkugeuka away --
159
492609
2007
kujaribu kuwabadili mawazo--
08:27
some of his argumentshoja
with these extremistswenye nguvu get deletedilifutwa,
160
495141
4995
baadhi ya majadiliano yake
na wenye siasa kali hufutwa,
08:32
whichambayo he believesanaamini has the effectathari
of shieldingngao them
161
500160
3047
ambapo anaamini kuna athari
katika kuyakinga
08:35
from alternativembadala pointspointi of viewmtazamo.
162
503231
1887
kutoka kwenye mtazamo mwingine.
08:38
It's unclearhaijulikani whetherkama FacebookFacebook
even knowsanajua the extentkiwango
163
506217
4385
Haiko wazi ikiwa mtandao wa Facebook
kama unaelewa kiasi
08:42
of the collateraldhamana damageuharibifu,
164
510626
1512
cha uharibifu mkubwa,
08:44
or the other companiesmakampuni as well.
165
512162
1832
au makampuni mengine pia.
08:46
But we do know that journalismuandishi wa habari,
activismuanaharakati wa kupinga and publicumma debatemjadala
166
514558
3614
Lakini tunajua kwamba uandishi wa habari
uanaharakati na mijadala ya umma
08:50
are beingkuwa silencedviliusambaratisha in the effortjuhudi
to stampstamp out extremistsiasa kali speechhotuba.
167
518196
4120
inanyamazishwa katika juhudi za
kuweka muhuri maneno ya siasa kali.
08:55
So with these companiesmakampuni havingkuwa na so much
powernguvu over the publicumma discoursemajadiliano,
168
523398
4241
Hivyo kwa makampuni haya kuwa na nguvu
sana kuhusu mihadhara ya umma,
08:59
they need to be helduliofanyika accountablekuwajibika.
169
527663
1594
yanahitaji kuwajibishwa.
09:01
They need to carrykubeba out impactathari assessmenttathmini
170
529281
2881
Yanahitaji kufanya tathmini yakinifu
09:04
to identifytambua and fixtengeneza the problemsmatatizo
that we're clearlywazi seeingkuona.
171
532186
4517
na kuainisha na kutatua matatizo
ambayo tunayaona wazi.
09:08
They need to be more transparentuwazi
about theirwao enforcementutekelezaji mechanismsutaratibu,
172
536727
3776
Yanahitaji kuwa wazi zaidi
kuhusu njia zao za utekelezaji sheria,
09:12
and they need to have clearwazi
appealrufaa and grievancelalamiko mechanismsutaratibu,
173
540527
3402
na wanahitaji kuwa wazi kwa mbinu
za ukataji rufaa na kutoa malalamiko,
09:15
so people can get
theirwao contentmaudhui reinstatedimehimiza.
174
543953
2344
ili watu waweze kurudishiwa
vitu walivyoandika.
09:18
Now, I've been talkingkuzungumza
for the last 10 minutesdakika
175
546640
3193
Sasa, nimekuwa nikiongea kwa
dakika kumi zilizopita
09:21
about how governmentsserikali and companiesmakampuni
are makingkufanya it more difficultvigumu
176
549857
4115
kuhusu jinsi serikali na makampuni
wanavyoleta ugumu zaidi
09:25
for people like these.
177
553996
1336
kwa watu kama hawa.
09:27
This is a picturepicha of memberswanachama
of the citizenraia mediavyombo vya habari networkmtandao,
178
555356
3483
Hii ni picha ya wanachama wa
mtandao wa vyombo vya habari vya raia,
09:30
GlobalKimataifa VoicesSauti,
179
558863
1151
Sauti za Dunia,
09:32
that I helpedimesaidia to cofoundcofound over 10 yearsmiaka agoiliyopita
180
560038
2093
niliyosaidia kuanzisha miaka 10
iliyopita
09:34
with my friendrafiki, EthanEthani ZuckermanZuckerman.
181
562155
1996
na rafiki yangu Ethan Zuckerman.
09:36
InterestinglyKushangaza, about 5 yearsmiaka agoiliyopita,
right after the ArabNchi za Kiarabu SpringMajira ya kuchipua,
182
564175
4470
Inafurahisha, karibia miaka 5 iliyopita
mara baada ya Mapinduzi ya Uarabuni,
09:40
the datadata scientistmwanasayansi GiladGilad LotanLotani
183
568669
2657
mwanasayansi wa data Gilad Lotan
09:43
createdimeundwa a networkmtandao mapramani
of the people in GlobalKimataifa VoicesSauti
184
571350
4917
aliunda ramani ya mtandao
wa watu katika Sauti za Dunia
09:48
who were heavynzito userswatumiaji of TwitterMtandao wa Twitter
duringwakati the ArabNchi za Kiarabu SpringMajira ya kuchipua.
185
576291
2922
waliokuwa wakitumia Twitter wakati
wa Mapinduzi ya Uarabuni.
09:51
And he foundkupatikana that manywengi of these people
servedaliwahi as keyufunguo informationhabari nodesfundo
186
579237
5218
Na aligundua kwamba wengi wa hawa watu
walitumika kama kiungo cha mawasiliano
09:56
betweenkati activistswanaharakati and journalistswaandishi wa habari
187
584479
1864
kati ya wanaharakati na waandishi
09:58
throughoutkote the TunisianTunisia
and EgyptianMisri revolutionmapinduzi.
188
586367
3025
kipindi chote cha mapinduzi
ya Tunisia na Misri.
10:01
We'veTumekuwa got to make sure
that these people not only survivekuishi,
189
589416
4711
Tunatakiwa tuhakikishe kwamba
watu hawa hawaendelei kuishi tu,
10:06
but are ableinaweza to continueendelea to thrivekustawi.
190
594706
2486
bali wanaweza kuendelea kufanikiwa.
10:09
ManyWengi of them are still activekazi,
191
597216
1654
Wengi wao bado wanafanya kazi,
10:10
other than the oneswale who have gonewamekwenda to jailjela
192
598894
2076
zaidi ya wale waliokwenda jela
10:12
or have been driveninaendeshwa into hidingkujificha or exileuhamishoni.
193
600994
2919
au wako mafichoni au vizuizini.
10:16
All around the worldulimwengu,
194
604668
1356
Duniani kote,
10:18
people who are sickmgonjwa and tiredamechoka
of fearhofu and oppressionukandamizaji
195
606510
3317
watu ambao wamechoshwa na
hofu na kuonewa
10:21
are linkingkuunganisha up in theirwao communitiesjamii
and acrosskote bordersmipaka.
196
609851
3450
wanaunganika katika jumuia zao
na kuvuka mipaka.
10:25
We'veTumekuwa got to do everything we can
to pushkushinikiza our governmentsserikali and companiesmakampuni
197
613325
4263
Tunatakiwa tufanye kila tunachoweza
kusukuma serikali zetu na makampuni
10:29
to do a better jobkazi
of protectingkulinda theirwao rightshaki.
198
617612
2936
kufanya kazi bora zaidi
katika kulinda haki zao.
10:32
We'veTumekuwa alsopia got to be more mindfulkuzingatia
199
620572
1985
Tunatakiwa pia tuwe wafikirivu zaidi
10:34
about how our ownmwenyewe personalbinafsi, politicalkisiasa,
consumerwatumiaji and businessbiashara choicesuchaguzi
200
622581
4845
kuhusu jinsi sisi wenyewe, kisiasa, wateja
na chaguzi za biashara
10:39
affectkuathiri people like these around the worldulimwengu.
201
627450
2669
zinavyoathiri watu kama hawa duniani kote.
10:43
AlsoPia, if you followFuata the newshabari,
202
631112
2432
Pia, ikiwa unafuatilia taarifa za habari
10:45
it's prettynzuri clearwazi that that alonepeke yake
isn't going to be enoughkutosha.
203
633568
3268
inaonyesha wazi kwamba
hiyo pekee haitoshi.
10:49
We'veTumekuwa got to take personalbinafsi
responsibilitywajibu by joiningkujiunga --
204
637694
3760
Tunatakiwa tuchukue wajibu binafsi
kwa kujiunga--
10:53
or at very leastangalau, activelykikamilifu supportingkusaidia --
205
641478
2858
au hata kidogo kuunga mkono--
10:56
the growingkukua ecosystemmazingira
of individualswatu binafsi and groupsvikundi
206
644919
3521
mazingira ya ukuaji
wa makundi binafsi
11:00
who are fightingmapigano for socialkijamii justicehaki,
207
648464
2086
ambayo yanapigania hakijamii,
11:02
environmentalmazingira sustainabilityuendelevu,
208
650574
2063
mazingira endelevu,
11:04
governmentserikali accountabilityuwajibikaji,
209
652661
1563
uwajibikaji wa serikali
11:06
humanbinadamu rightshaki, freedomuhuru of the pressbonyeza
210
654248
1877
haki za binadamu, uhuru wa habari
11:08
and a freebure and openkufungua internetinternet,
211
656149
1556
na intaneti huru na wazi,
11:09
all around the worldulimwengu.
212
657729
1756
duniani kote
11:11
I believe that, ultimatelyhatimaye,
we can overcomekushinda
213
659509
4711
Nina amini kwamba, hatimaye
tunaweza kuishinda
11:16
the digitallytarakimu empoweredimetumiwa nguvu networksmitandao
of extremismsiasa kali, demagoguerydemagoguery and hatechukia.
214
664244
6458
mitandao ya kidigitali iliyowezeshwa
ya siasa kali, siasa za fujo na chuki.
11:23
But ...
215
671379
1180
Lakini...
11:25
we'vetumekuwa got to do this by really
beefingbeefing up the globalkimataifa networksmitandao
216
673104
6724
tunatakiwa tufanye hivi kwa kuongeza
mitandao ya dunia
11:31
of citizenswananchi around the worldulimwengu,
217
679852
1788
ya raia duniani kote,
11:33
poweredinatumiwa by people
who are workingkufanya kazi hardngumu everykila day,
218
681664
3780
ikiwezeshwa na watu ambao
hufanya kazi kwa bidii kila siku,
11:37
and takingkuchukua personalbinafsi riskhatari
219
685468
1765
na kuchukua hatua hatarishi
11:39
for a futurebaadaye worldulimwengu that is more
peacefulamani, just, openkufungua and freebure.
220
687714
5450
kwa dunia ya kesho ambayo ni
ya amani zaidi, yenye haki, wazi na huru.
11:45
ThanksShukrani very much for listeningkusikiliza.
221
693541
1529
Asanteni sana kwa kusikiliza.
11:47
(ApplauseMakofi)
222
695094
8517
(Makofi)
Translated by Leah Ligate
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Rebecca MacKinnon - Internet freedom activist
Rebecca MacKinnon looks at issues of free expression, governance and democracy (or lack of) in the digital networks, platforms and services on which we are all more and more dependent.

Why you should listen

Rebecca MacKinnon is the director of the Ranking Digital Rights project at New America, which recently released its inaugural Corporate Accountability Index, ranking 16 Internet and telecommunications companies on their commitments, policies and practices affecting users’ freedom of expression and privacy. (An expanded Index will be released in 2017.) She is the author of Consent of the Networked, a book investigating the future of liberty in the Internet age, and has been engaging in the debate about how to fight global terrorism while keeping a free and open Internet. A former head of CNN's Beijing and Tokyo bureaus, MacKinnon is an expert on Chinese Internet censorship and is one of the founders (with Ethan Zuckerman) of the Global Voices Online blog network.

More profile about the speaker
Rebecca MacKinnon | Speaker | TED.com