ABOUT THE SPEAKER
Erez Yoeli - Research scientist
Erez Yoeli's research focuses on altruism: understanding how it works and how to promote it.

Why you should listen

Erez (pronounced ‘EH-rez’) Yoeli is a research scientist at MIT's Sloan School of Management, where he directs the Applied Cooperation Team. His research focuses on altruism: understanding how it works and how to promote it. He collaborates with governments, nonprofits and companies to apply these insights to address real-world challenges like increasing energy conservation, improving antibiotic adherence, reducing smoking in public places and promoting philanthropy.

Yoeli teaches the undergraduate Game Theory course at Harvard and regularly publishes theoretical and applied academic research articles. He shares his research highlights through frequent talks and featured articles in the New York Times, The Economist, Quartz and Behavioral Scientist. His research has also been profiled nationally and internationally in publications like TIME and Huffington Post. 

Yoeli received his PhD in economics from the University of Chicago Booth School of Business. Before founding the Applied Cooperation Team, he was an economist at the US Federal Trade Commission and served as an expert witness in cases against companies that defrauded consumers. In an earlier, "pre-economist" life, he was a classical percussionist. He enjoys spicy food, hiking and spending time with his two very cuddly cats.

More profile about the speaker
Erez Yoeli | Speaker | TED.com
TEDxCambridge

Erez Yoeli: How to motivate people to do good for others

Erez Yoeli: Namna ipi ya kuhamasisha watu kutenda mema kwa wengine

Filmed:
2,228,025 views

Namna gani tunaweza wafanya watu kutenda mema: kwenda kwenye uchaguzi, kutoa misaada, kutumia rasilimali au kwa ujumla kuwa wastaarabu kwa wengine? Mtafiti na mwanasayansi wa MIT anashirikisha listi ndogo ya mambo ya kufanya ya namna ya kupata nguvu ya sifa -- tamaa yetu kama binadamu kuonekana kama wastaarabu na wema badala ya wabinafsi -- kuhamasisha watu kufanya vitu kwa manufaa ya wengine. Jifunze zaidi kuhusu namna ambavyo mabadiliko madogo katika mikakati yako ya kuwafanya watu kufanya mema na pia kupata matokeo bora ya kushangaza.
- Research scientist
Erez Yoeli's research focuses on altruism: understanding how it works and how to promote it. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
How can we get people to do more good,
0
1440
3056
Namna gani tunaweza wafanya watu kutenda
mema zaidi,
00:16
to go to the pollsvituo vya kupigia kura,
give to charityupendo, conserveHifadhi resourcesrasilimali,
1
4520
4336
kwenda katika uchaguzi, kujitolea msaada,
kutunza rasilimali,
00:20
or even to do something as simplerahisi
as washingkuosha theirwao mugsvikombe at work
2
8880
3336
au hata kufanya kitu rahisi kama kuosha
vikombe vyao wakiwa kazini
00:24
so that the sinkshika isn't
always fullkamili of dirtychafu dishessahani?
3
12240
2381
ili sinki lisiwe muda wote limejaa
vyombo vichafu?
00:26
(LaughterKicheko)
4
14645
2011
(Kicheko)
00:28
(ApplauseMakofi)
5
16680
4336
(Makofi)
00:33
When I first startedilianza
workingkufanya kazi on this problemtatizo,
6
21040
2136
Nilipoanza kushughulikia hili tatizo,
00:35
I collaboratedwalishirikiana with a powernguvu companykampuni
7
23200
1896
Nilishirikiana na kampuni ya nishati
00:37
to recruitkuandikisha customerswateja for a programprogramu
that preventshuzuia blackoutskukatikakatika kwa umeme
8
25120
3536
kuwapa mafunzo wateja kuhusu programu
inayozuia kukatika kwa umeme
00:40
by reducingkupunguza energynishati demandmahitaji duringwakati peaksvilele vinne.
9
28680
2000
kwa kupunguza mahitaji ya nishati
kipindi cha juu.
00:43
The programprogramu is basedmsingi
on a tried-and-truewalijaribu-na-kweli technologyteknolojia.
10
31600
2616
Programu imetengenezwa na teknolojia
iliyojaribiwa na ya ukweli.
00:46
It's one the ObamaObama
administrationutawala even calledaitwaye
11
34240
2376
Ni ambayo hata utawala wa Obama uliita
00:48
"the cornerstonemsingi to modernizingmodernizing
America'sMarekani electricalumeme gridgridi ya taifa."
12
36640
3120
"jiwe la msingi la kuleta ukisasa katika
mfumo wa umeme Amerika."
00:52
But, like so manywengi
great technologicalteknolojia solutionsufumbuzi,
13
40880
3496
Lakini, kama ilivyo mifumo mingi
mikubwa ya teknlolojia,
00:56
it has a keyufunguo weaknessudhaifu:
14
44400
1440
huwa na udhaifu:
00:59
people.
15
47760
1200
watu.
01:01
People need to signishara up.
16
49720
1240
Watu wanahitaji kujisajili.
01:04
To try to get people to signishara up,
the powernguvu companykampuni sentalitumwa them a nicenzuri letterbarua,
17
52000
3536
Ili kufanya watu wajisajili,
kampuni iliwatumia wateja barua nzuri,
01:07
told them about
all the program'sya programu benefitsfaida,
18
55560
2016
kuwaambia kuhusu faida
zote za programu,
01:09
and it askedaliuliza them to call
into a hotlinemema if they were interestednia.
19
57600
3056
na kuwaambia wapige huduma kwa wateja
kama wangependa.
01:12
Those lettersbarua wentakaenda out,
20
60680
1696
Barua zilitumwa,
01:14
but the phonessimu, they were silentkimya.
21
62400
2760
lakini simu, zilikuwa kimya.
01:18
So when we got involvedhusika,
we suggestedalipendekeza one smallndogo changemabadiliko.
22
66080
2760
Hivyo tulivyohusishwa, tulipendekeza
badiliko moja dogo.
01:21
InsteadBadala yake of that hotlinemema,
23
69360
1896
Badala ya simu ya huduma kwa wateja,
01:23
we suggestedalipendekeza that they use sign-upujiandikishaji sheetskaratasi
that they'dwangeweza postchapisho nearkaribu the mailboxesmailboxes
24
71280
4616
tulipendekeza watumie karatasi za kujisajili zitakazotumwa
kwenye sanduku za barua zilizokaribu
01:27
in people'swatu buildingsmajengo.
25
75920
1240
katika majengo ya watu.
01:30
This tripledmara tatu participationushiriki.
26
78120
2760
Hii iliongeza walioshiriki kwa mara tatu.
01:35
Why?
27
83160
1200
Kwanini?
01:37
Well, we all know people carehuduma deeplykwa undani
about what otherswengine think of them,
28
85680
4216
Sasa, wote tunajua watu wanajali sana
kuhusu kile wengine wanachofikiri juu yao,
01:41
that we try to be seenkuonekana
as generousukarimu and kindaina,
29
89920
2656
kua tunajaribu kuonekana kama
tuna heshima na tunaojali,
01:44
and we try to avoidkuepuka
beingkuwa seenkuonekana as selfishubinafsi or a moochmooch.
30
92600
2720
na tunajaribu kuepuka kuonekana kama
wabinafsi au mabaradhuli.
Iwe tunatambua au la, hii ni nafasi kubwa
ya kwanini watu wanatenda mema,
01:48
WhetherKama we are awarekufahamu of it or not,
this is a bigkubwa partsehemu of why people do good,
31
96120
4416
01:52
and so smallndogo changesmabadiliko that give people
more creditmkopo for doing good,
32
100560
5216
hivyo mabadiliko madogo ambayo huwapa
watu sifa kwa kutenda mema,
01:57
those changesmabadiliko can make
a really bigkubwa differencetofauti.
33
105800
2336
hayo mabadiliko yanaweza
leta utofauti mkubwa.
02:00
SmallNdogo changesmabadiliko like
switchingkugeuka from a hotlinemema,
34
108160
2896
Mabadiliko madogo kama kubadili kutoka
simu ya huduma kwa wateja,
02:03
where nobodyhakuna will ever find out
about your good deedtendo,
35
111080
3016
ambapo hamna mtu atayeweza tambua
kuhusu mwenendo wako mwema,
02:06
to a sign-upujiandikishaji sheetkaratasi
36
114120
1736
hadi kwenye karatasi ya kujisajili
02:07
where anyoneyeyote who walkshuenda by
can see your namejina.
37
115880
3120
ambapo kila mtu anayepita
anaweza kuona jina lako.
02:12
In our collaborationsushirikiano with governmentsserikali,
nonprofitsnonprofits, companiesmakampuni,
38
120520
3176
Katika ushirikiano na serikali, mashirika
ya kujitolea, makampuni,
02:15
when we're tryingkujaribu to get people
to do more good,
39
123720
2816
tunajaribu kuwafanya watu
kufanya mema zaidi,
02:18
we harnesskuunganisha the powernguvu of reputationsreputations.
40
126560
2400
tunavuna nguvu ya sifa.
02:22
And we have a simplerahisi checklistOrodha ya for this.
41
130000
2376
Na tuna karatasi rahisi ya
kuangalia hili.
02:24
And in factukweli, you alreadytayari know
the first itemkipengee on that checklistOrodha ya.
42
132400
3240
Kwa uwazi, tayari unatambua kitu
cha kwanza katika listi hiyo.
02:28
It's to increaseOngeza observabilityobservability,
43
136960
2296
Ni katika kuongeza uangalizi,
02:31
to make sure people find out
about good deedsMatendo.
44
139280
2720
kuhakikisha watu wanatambua
kuhusu matendo mema.
02:35
Now, wait a minutedakika, I know
some of you are probablylabda thinkingkufikiri,
45
143440
2896
Sasa, subiri kidogo, najua baadhi
yenu pengine mnawaza,
02:38
there's no way people here thought,
46
146360
1696
hakuna namna watu hapa wangefikiri,
02:40
"Oh, well, now that
I'm gettingkupata creditmkopo for my good deedtendo,
47
148080
2656
"Oh, kwa vile sasa ninapata sifa kwa matendo mema,
02:42
now it's totallykabisa worththamani it."
48
150760
1336
matendo yangu yana thamani."
02:44
And you're right.
49
152120
1456
Upo sahihi.
02:45
UsuallyKawaida, people don't.
50
153600
1240
Kawaida, watu hawadhani hivyo.
02:47
RatherBadala yake, when they're makingkufanya
decisionsmaamuzi in privatePrivat,
51
155760
3056
Bali, pale wanapofanya
maamuzi wakiwa peke yao,
02:50
they worrywasiwasi about theirwao ownmwenyewe problemsmatatizo,
52
158840
1736
huwa na hofu kuhusu matatizo yao,
02:52
about what to put on the tablemeza for dinnerchajio
or how to paykulipa theirwao billsbili on time.
53
160600
4136
kuhusu nini cha kuweka mezani mda wa kula
au jinsi ya kulipa ankara zao kwa wakati.
02:56
But, when we make
theirwao decisionuamuzi more observableinayoonekana,
54
164760
3096
Lakini, pale tunapofanya maamuzi
yao kuwa wazi zaidi,
02:59
they startkuanza to attendkuhudhuria more
to the opportunitynafasi to do good.
55
167880
3080
wanaanza kutumia nafasi ya
kufanya mema zaidi.
03:03
In other wordsmaneno, what's
so powerfulnguvu about our approachmbinu
56
171760
2816
Kwa maneno mengine, kilicho na nguvu
sana kuhusu njia yetu
03:06
is that it could turnkugeuka on
people'swatu existingzilizopo desirehamu to do good,
57
174600
4856
ni kwamba inaweza ongeza mshawasha
wa kutenda mema,
03:11
in this casekesi, to help
to preventkuzuia a blackoutkukata yasumbua.
58
179480
2080
kwa suala hili, kuzuia kukatika
kwa umeme.
03:15
Back to observabilityobservability.
59
183160
1656
Turudi katika uangalizi.
03:16
I want to give you anothermwingine examplemfano.
60
184840
1856
Nataka niwape mfano mwingine.
03:18
This one is from a collaborationushirikiano
61
186720
1736
Huu unatoka katika ushirikiano
03:20
with a nonprofitmashirika yasiyo ya faida that getshupata out the votekupiga kura,
62
188480
2376
na taasisi isiyo ya kibiashara
inayohamasisha upigaji kura,
03:22
and it does this by sendingkutuma hundredsmamia
of thousandsmaelfu of lettersbarua everykila electionuchaguzi
63
190880
3576
na inafanya hivi kwa kutuma mamia ya
maelfu ya barua kila uchaguzi
03:26
in orderamri to remindkukumbusha people and try
to motivatekuhamasisha them to go to the pollsvituo vya kupigia kura.
64
194480
3320
ili kuwakumbusha watu na kujaribu
kuwashawishi kwenda katika uchaguzi.
03:30
We suggestedalipendekeza addingkuongeza
the followingzifuatazo sentencesentensi:
65
198760
2160
Tulishauri kuongezwa kwa hii sentensi:
03:34
"SomeoneMtu mayinaweza call you to find out
about your experienceuzoefu at the pollsvituo vya kupigia kura."
66
202440
3400
"Unaweza pigiwa simu na mtu na kuulizwa
ni namna gani uliuona uchaguzi."
03:38
This sentencesentensi makeshufanya it feel
more observableinayoonekana when you go to the pollsvituo vya kupigia kura,
67
206520
3400
Sentensi hii inafanya uangalizi
zaidi unapoenda katika uchaguzi,
03:43
and it increasedimeongezeka the effectathari
of the letterbarua by 50 percentasilimia.
68
211040
3040
na inaongeza matokeo ya
barua kwa asilimia 50.
03:48
MakingKufanya the letterbarua more effectiveufanisi reducedkupunguzwa
the costgharama of gettingkupata an additionalziada votekupiga kura
69
216680
3736
Kufanya barua kuwa fanisi zaidi kuli-
punguza gharama za kupata kura ya nyongeza
03:52
from 70 dollarsdola down to about 40 dollarsdola.
70
220440
1960
kutoka dola 70 hadi takribani dola 40.
03:55
ObservabilityObservability has been used to do things
71
223200
1936
Uangalizi umetumika kufanya vitu
03:57
like get people
to donatekuchangia blooddamu more frequentlymara kwa mara
72
225160
2656
kama kufanya watu kuchangia
damu mara kwa mara
03:59
by listingOrodha the namesmajina of donorswafadhili
on localmitaa newslettersmajarida,
73
227840
2976
kwa kuorodhesha majina ya
wachangiaji katika vijarida,
04:02
or to paykulipa theirwao taxeskodi on time
74
230840
1640
au kulipa kodi kwa wakati
04:05
by listingOrodha the namesmajina of delinquentsdelinquents
on a publicumma websitetovuti.
75
233440
2816
kwa kuorodhesha majina ya
wakwepaji katika tovuti ya umma.
04:08
(LaughterKicheko)
76
236280
1840
(Kicheko)
04:12
What about this examplemfano?
77
240200
1200
Vipi kuhusu huu mfano?
04:14
ToyotaToyota got hundredsmamia of thousandsmaelfu of people
to buykununua a more fuel-efficientzinazohifadhi cargari
78
242560
4056
Toyota ina mamia ya maelfu ya watu wa
kununua magari yatumiayo mafuta vizuri
04:18
by makingkufanya the PriusPrius so uniquekipekee ...
79
246640
3616
kwa kufanya gari la Prius kuwa tofauti ...
04:22
(LaughterKicheko)
80
250280
1600
(Kicheko)
04:24
that theirwao good deedtendo
was observableinayoonekana from a milemaili away.
81
252800
2680
kua matendo yao mema yalionekana
kutokea umbali wa maili.
04:28
(LaughterKicheko)
82
256040
2816
(Kicheko)
04:30
AlrightAlright, so observabilityobservability is great,
83
258880
2375
Sawa, kwa hivyo uangalizi ni bora,
04:33
but we all know, we'vetumekuwa all seenkuonekana
84
261279
3537
lakini wote tunajua, wote tumejionea
04:36
people walktembea by an opportunitynafasi to do good.
85
264840
2160
watu huipitiliza nafasi ya kufanya mema.
04:40
They'llWao itabidi see somebodymtu
askingkuuliza for moneyfedha on the sidewalknjia ya njia
86
268080
3296
Watamuona mtu akiomba hela pembeni ya njia
04:43
and they'llwatakuja pullkuvuta out theirwao phonessimu
and look really busybusy,
87
271400
2616
na watatoa simu zao na kuonekana
wapo bize sana,
04:46
or they'llwatakuja go to the museummakumbusho and they'llwatakuja
waltzwaltz right on by the donationmchango boxsanduku.
88
274040
3560
au watakwenda makumbusho na watachakacha
pembeni ya boksi la mchango.
04:50
ImagineKufikiria it's the holidaySikukuu seasonmsimu
89
278320
2096
Fikiria kwamba ni muda wa mapumziko
04:52
and you're going to the supermarketmaduka makubwa,
and there's a SalvationWokovu ArmyJeshi volunteerkujitolea,
90
280440
3696
na unakwenda supamaketi, na kuna mtu
anayejitolea katika jeshi la wokovu,
04:56
and he's ringingkupigia his bellkengele.
91
284160
1256
na anapiga kengele yake.
04:57
A fewwachache yearsmiaka agoiliyopita, researcherswatafiti in SanSan DiegoDiego
92
285440
1976
Miaka kadhaa iliyopita, watafiti wa
San Diego
04:59
teamedteamed up with a localmitaa chaptersura
from the SalvationWokovu ArmyJeshi
93
287440
3456
waliungana na tawi la wenyeji
kutoka jeshi la wokovu
05:02
to try to find waysnjia to increaseOngeza donationsmichango.
94
290920
2200
kutafuta njia za kuongeza michango.
05:06
What they foundkupatikana was kindaina of funnyfunny.
95
294240
1620
Walichogundua kilikuwa kinafurahisha.
05:08
When the volunteerkujitolea
stoodalisimama in frontmbele of just one doormlango,
96
296680
2400
Wanaojitolea waliposimama
mbele ya mlango mmoja,
05:12
people would avoidkuepuka givingkutoa
by going out the other doormlango.
97
300040
2560
watu walikwepa kuchangia kwa
kutokea mlango mwingine.
05:16
Why?
98
304880
1200
Kwanini?
05:19
Well, because they can always claimkudai,
"Oh, I didn't see the volunteerkujitolea,"
99
307080
3696
Kwa sababu muda wote walidai,
"Oh, sijamuona mtu wa kujitolea,"
05:22
or, "I wanted to get
something from over there,"
100
310800
2256
au, "Nilikuwa nafata kitu fulani kule,"
05:25
or, "That's where my cargari is."
101
313080
1400
au, "Gari langu lipo huko."
05:27
In other wordsmaneno, there's lots of excusesudhuru.
102
315560
1920
Kwa maneno mengine, kuna sababu nyingi.
05:30
And that bringshuleta us
to the secondpili itemkipengee on our checklistOrodha ya:
103
318640
2976
Na hilo linatupeleka katika kitu cha
pili katika listi yetu:
05:33
to eliminatekuondoa excusesudhuru.
104
321640
1720
kuondoa visingizio.
05:36
In the casekesi of the SalvationWokovu ArmyJeshi,
105
324800
1656
Katika suala la jeshi la wokovu,
05:38
eliminatingkuondoa excusesudhuru just meansina maana
standingmsimamo in frontmbele of bothwote wawili doorsmilango,
106
326480
3256
kuondoa visingizio ina maana
kusimama katika milango yote,
05:41
and sure enoughkutosha, when they did this,
107
329760
2056
na hakika, walipofanya hivi,
05:43
donationsmichango roseakaondoka.
108
331840
1200
michango iliongezeka.
05:47
But that's when things got kindaina of funnyfunny,
109
335280
2176
Lakini ndipo ambapo vitu vilianza
kuchekesha,
05:49
even funnierfunnier.
110
337480
1200
kuchekesha zaidi.
05:51
The researcherswatafiti
were out in the parkingmaegesho lot,
111
339960
2536
Watafiti walikuwa nje katika eneo
la kuegesha magari,
05:54
and they were countingkuhesabu people
as they camealikuja in and out of the storekuhifadhi,
112
342520
3176
na walikuwa wakihesabu watu walipoingia
na kutoka katika duka,
05:57
and they noticedniliona that when the volunteerswajitolea
stoodalisimama in frontmbele of bothwote wawili doorsmilango,
113
345720
3816
na waligundua kua pale wanaojitolea
waliposimama mbele ya milango yote,
06:01
people stoppedkusimamishwa comingkuja
out of the storekuhifadhi at all.
114
349560
2176
watu waliacha kutoka nje ya duka kabisa.
06:03
(LaughterKicheko)
115
351760
3056
(Kicheko)
06:06
ObviouslyNi wazi, they were surprisedkushangaa by this,
so they decidedaliamua to look into it furtherzaidi,
116
354840
4136
Kihalisia, walishangazwa na hili,
hivyo waliamua kuangalia kwa undani,
06:11
and that's when they foundkupatikana that there
was actuallykwa kweli a thirdtatu, smallerndogo utilitymatumizi doormlango
117
359000
5096
na ndipo waligundua kwamba kulikuwa
na mlango mdogo wa wafanyakazi
06:16
usuallykwa kawaida used to take out the recyclingkuchakata --
118
364120
1976
kawaida hutoa bidhaa za kutengeneza upya --
06:18
(LaughterKicheko)
119
366120
1536
(Kicheko)
06:19
and now people were going out that doormlango
in orderamri to avoidkuepuka the volunteerswajitolea.
120
367680
3496
na sasa watu walikuwa wanatokea mlango
huo ili kukwepa wanaojitolea.
06:23
(LaughterKicheko)
121
371200
2360
(Kicheko)
06:26
This teachesfundisha us
an importantmuhimu lessonsomo thoughingawa.
122
374320
2320
Hii inatufundisha somo muhimu.
06:30
When we're tryingkujaribu to eliminatekuondoa excusesudhuru,
we need to be very thoroughkina,
123
378480
3536
Pale tunapojaribu kuondoa visingizio,
tunatakiwa kuwa makini,
06:34
because people are
really creativeubunifu in makingkufanya them.
124
382040
2376
kwa sababu watu ni wabunifu kweli
kuvitengeneza.
06:36
(LaughterKicheko)
125
384440
2200
(Kicheko)
06:41
AlrightAlright, I want to switchkubadili to a settingkuweka
126
389760
1856
Sawa, nataka kuhamia katika mpangilio
06:43
where excusesudhuru can have
deadlymauti consequencesmatokeo.
127
391640
2200
ambapo visingizio vinakuwa na
madhara ya mauti.
06:48
What if I told you that the world'sulimwengu
deadliestlimeutaja infectiouskuambukiza diseaseugonjwa has a curetiba,
128
396160
3720
Inakuwaje kama ningekuambia kwamba ugonjwa
wa kuambukiza unaoua sana una tiba,
06:52
in factukweli, that it's had one for 70 yearsmiaka,
129
400960
2936
kiuwazi, ilikuwa na tiba moja kwa
miaka 70,
06:55
a good one, one that worksinafanya kazi
almostkaribu everykila time?
130
403920
2200
iliyo bora, ifanyayo kazi karibia
kila wakati?
06:59
It's incredibleajabu, but it's truekweli.
131
407920
1560
Ni ajabu, lakini ni kweli.
07:02
The diseaseugonjwa is tuberculosiskifua kikuu.
132
410400
1976
Ugonjwa huu ni kifua kikuu.
07:04
It infectshuambukiza some 10 millionmilioni people a yearmwaka,
133
412400
2296
Huambukiza watu milioni 10 kwa mwaka,
07:06
and it killsunaua almostkaribu two millionmilioni of them.
134
414720
2120
na huua takribani watu milioni mbili yao.
07:09
Like the blackoutkukata yasumbua preventionkuzuia programprogramu,
we'vetumekuwa got the solutionsuluhisho.
135
417680
4056
Kama ilivyo programu ya kuzuia kukatika
kwa umeme, tumepata suluhisho.
07:13
The problemtatizo is people.
136
421760
1240
Tatizo ni watu.
07:16
People need to take theirwao medicationdawa
137
424000
1736
Watu wanatakiwa kunywa dawa
07:17
so that they're curedkutibiwa,
138
425760
1896
ili waweze kupona,
07:19
and so that they don't
get other people sickmgonjwa.
139
427680
2160
na pia wasiweze ambukiza watu wengine.
07:23
For a fewwachache yearsmiaka now,
we'vetumekuwa been collaboratingkushirikiana
140
431520
2136
Miaka michache sasa,
tumekuwa tukishirikiana
07:25
with a mobilerununu healthafya startupAnzisha
calledaitwaye KehealaKeheala
141
433680
2296
na taasisi mpya ya afya iitwayo Keheala
07:28
to supportmsaada TBKIFUA KIKUU patientswagonjwa
as they undergokufanyiwa treatmentmatibabu.
142
436000
2680
kusaidia wagonjwa wa kifua kikuu
wakipata matibabu.
07:31
Now, you have to understandkuelewa,
TBKIFUA KIKUU treatmentmatibabu, it's really toughngumu.
143
439280
3096
Sasa, unatakiwa kuelewa, matibabu ya
kifua kikuu, ni magumu sana.
07:34
We're talkingkuzungumza about takingkuchukua
a really strongnguvu antibioticantibiotic
144
442400
2576
Tunaongelea kuhusu kunywa dawa kali sana
07:37
everykila singlemoja day for sixsita monthsmiezi or more.
145
445000
2336
kila siku kwa miezi sita au zaidi.
07:39
That antibioticantibiotic is so strongnguvu
that it will make you feel sickmgonjwa.
146
447360
2896
Dawa hiyo ni kali sana mpaka itakufanya
ujisikie mgonjwa.
07:42
It will make you feel nauseousmahangaiko and dizzykizunguzungu.
147
450280
1976
Itakufanya ujisikie kichefuchefu na homa.
07:44
It will make your peeshairi turnkugeuka funnyfunny colorsrangi.
148
452280
1920
Itafanya mkojo kuwa na rangi za ajabu.
07:46
It's alsopia a problemtatizo because
you have to go back to the clinickliniki
149
454720
2896
Ni tatizo pia kwa sababu unatakiwa
kurudi tena kliniki
07:49
about everykila weekwiki
in orderamri to get more pillsdawa,
150
457640
2416
karibuni kila wiki ili kupata dawa zaidi,
07:52
and in sub-SaharanSahara AfricaAfrika
or other placesmaeneo where TBKIFUA KIKUU is commonkawaida,
151
460080
3456
na Afrika ya kusini mwa Sahara au sehemu
ambapo kifua kikuu ni janga,
07:55
now you're talkingkuzungumza
about going someplaceanakwambia prettynzuri farmbali,
152
463560
2456
sasa unaongelea kuhusu kwenda
sehemu ya mbali kweli,
07:58
takingkuchukua toughngumu and slowpolepole publicumma transportusafiri,
153
466040
3016
na kupanda usafiri wa jumuiya ambao
upo taratibu,
08:01
maybe the clinickliniki is inefficienthaifai.
154
469080
2056
pengine kliniki haina ufanisi.
08:03
So now you're talkingkuzungumza about takingkuchukua
a halfnusu day off of work everykila weekwiki
155
471160
3216
Sasa unaongelea kuhusu kuchukua
nusu siku kazini kila wiki
08:06
from a jobkazi you desperatelykwa makusudi
can't affordkununua to losekupoteza.
156
474400
2880
kwenye kazi usiyoweza kumudu kuipoteza.
08:09
It's even worsembaya zaidi when you considerfikiria the factukweli
that there's a terriblembaya stigmaunyanyapaa,
157
477920
3496
Ni mbaya zaidi ukizingatia ukweli kwamba
kuna unyanyapaa wa kutisha,
08:13
and you desperatelykwa makusudi don't want people
to find that you have the diseaseugonjwa.
158
481440
3416
na kwa namna yoyote hutaki watu
watambue kwamba una ugonjwa.
08:16
Some of the toughestngumu storieshadithi we hearkusikia
are actuallykwa kweli from womenwanawake
159
484880
2856
Baadhi ya simulizi tunazosikia huwa
zinasimuliwa na wanawake
08:19
who, in these placesmaeneo where
domesticndani violencevurugu can be kindaina of commonkawaida,
160
487760
3536
ambao, katika sehemu hizi ambapo ukatil
wa kijinsia ni suala la kawaida,
08:23
they tell us that they have to
hidekujificha it from theirwao husbandswaume
161
491320
2736
wanatuambia kwamba wanahitajika
kuficha kwa waume zao
08:26
that they're comingkuja to the clinickliniki.
162
494080
1640
kwamba wanakwenda kliniki.
08:29
So it's no surprisemshangao
that people don't completekamili treatmentmatibabu.
163
497800
2800
Hivyo siyo jambo la kushangaza
kua watu hawamalizi tiba.
08:33
Can our approachmbinu really help them?
164
501840
2136
Mikakati yetu inaweza kuwasaidia kweli?
08:36
Can we really get them to stickfimbo it out?
165
504000
1880
Tutawasaidia kweli kupona?
08:40
Yeah.
166
508040
1200
Ndiyo.
08:42
EveryKila day, we textmaandishi patientswagonjwa
to remindkukumbusha them to take theirwao medicationdawa,
167
510080
4096
Kila siku, tunawatumia wagonjwa ujumbe
wa simu kuwakumbusha kunywa dawa,
08:46
but if we stoppedkusimamishwa there,
168
514200
1536
lakini kama tungekwama pale,
08:47
there'dkuna d be lots of excusesudhuru.
169
515760
2056
kungekuwa na visingizio vingi.
08:49
"Well, I didn't see the textmaandishi."
170
517840
1456
"Basi, sikuona ujumbe."
08:51
Or, "You know, I saw the textmaandishi,
but then I totallykabisa forgotalisahau,
171
519320
2695
Au, "Unajua, niliona ujumbe,
ila nikasahau kabisa
08:54
put the phonesimu down
and I just forgotalisahau about it."
172
522039
2217
niliweka simu chini na nikasahau."
08:56
Or, "I lentKwaresima the phonesimu out to my mommama."
173
524280
1800
Au, "Nilimuazima mama yangu simu."
08:59
We have to eliminatekuondoa these excusesudhuru
174
527600
2016
Tunatakiwa kuondokana na hivi visingizio
09:01
and we do that by askingkuuliza patientswagonjwa
175
529640
2016
na tunafanya hivyo kwa kuwauliza wagonjwa
09:03
to logweka in and verifykuthibitisha
that they'vewameweza takenkuchukuliwa theirwao medicationdawa.
176
531680
2960
kujiandikisha na kuthibitisha kwamba
wamekunywa dawa.
09:07
If they don't logweka in, we textmaandishi them again.
177
535680
2256
Kama wasipojisajili, tunawatumia
ujumbe tena.
09:09
If they don't logweka in,
we textmaandishi them yetbado again.
178
537960
2096
Kama hawajisajili, tunawatumia
ujumbe tena.
09:12
If, after threetatu timesnyakati,
they still haven'thawana verifiedkuthibitishwa,
179
540880
3216
Kama, baada ya mara tatu
bado hawajathibitisha,
09:16
we notifyArifu a teamtimu of supporterswafuasi
180
544120
1816
tunawajulisha timu ya wahisani
09:17
and that teamtimu will call and textmaandishi them
181
545960
2256
na timu hiyo itawapigia na kuwatumia
ujumbe
09:20
to try to get them back on the wagongari.
182
548240
1800
ili waweze kunywa dawa.
09:22
No excusesudhuru.
183
550960
1200
Hamna visingizio.
09:25
Our approachmbinu, whichambayo, admittedlyhalali,
useshutumia all sortsaina of behavioralkitabia techniquesmbinu,
184
553520
3776
Mkakati wetu, ambao, kwa kukubali,
unatumia njia zote za kuelewa tabia,
09:29
includingikiwa ni pamoja na, as you've
probablylabda noticedniliona, observabilityobservability,
185
557320
3216
ukijumuisha, kama ambavyo
umegundua, uangalizi,
09:32
it was very effectiveufanisi.
186
560560
1240
ulikuwa na ufanisi sana.
09:34
PatientsWagonjwa withoutbila accessupatikanaji to our platformjukwaa
187
562800
2176
Wagonjwa wasiopata huduma yetu
09:37
were threetatu timesnyakati more likelyuwezekano
not to completekamili treatmentmatibabu.
188
565000
3160
walikuwa na nafasi mara tatu
zaidi kutomaliza tiba yao.
09:43
AlrightAlright,
189
571520
1376
Sawa,
09:44
you've increasedimeongezeka observabilityobservability,
190
572920
1536
umeongeza uangalizi.
09:46
you've eliminatedkuondolewa excusesudhuru,
191
574480
2216
umeondoa visingizio,
09:48
but there's still a thirdtatu thing
you need to be awarekufahamu of.
192
576720
2640
lakini kuna jambo la tatu ambalo
unatakiwa litambua.
09:52
If you've been to WashingtonWashington, DCMM
or JapanJapani or LondonLondon,
193
580800
3256
Kama umewahi fika Washington, DC
au Japan au London,
09:56
you know that metroMetro riderswanunuzi there
194
584080
1696
unajua kua waendesha treni kule
09:57
will be very carefulmakini to standsimama
on the right-handmkono wa kulia sideupande of the escalatoreskaleta
195
585800
3456
huwa waangalifu kusimama kwenye
upande wa kulia wa kiinuzi
10:01
so that people can go by on the left.
196
589280
1920
ili watu waweze kupita upande wa kushoto
10:04
But unfortunatelykwa bahati mbaya,
not everywherekila mahali is that the normkawaida,
197
592160
2376
Lakini bahati mbaya,
si kote kuna huo utaratibu,
10:06
and there's plentymengi of placesmaeneo
where you can just standsimama on bothwote wawili sidespande
198
594560
3176
na kuna sehemu nyingi
ambapo unaweza kusimama pande zote
na kuzuia kiinuzi.
10:09
and blockkuzuia the escalatoreskaleta.
199
597760
1256
10:11
ObviouslyNi wazi, it's better for otherswengine
200
599040
1616
Hakika, ni bora kwa wengine
10:12
when we standsimama on the right
and let them go by,
201
600680
2296
tunaposimama upande wa kulia
na kuwaacha wapite,
10:15
but we're only expectedinatarajiwa
to do that some placesmaeneo.
202
603000
2720
lakini tunategemewa kufanya
hivyo baadhi ya sehemu.
10:18
This is a generaljumla phenomenonuzushi.
203
606720
1416
Hii ni suala la jumla.
10:20
SometimesWakati mwingine we're expectedinatarajiwa to do good
204
608160
2056
Wakati mwingine tunagemewa kufanya mema
10:22
and sometimesmara nyingine not,
205
610240
1816
na wakati mwingine si hivyo,
10:24
and it meansina maana that people
are really sensitivenyeti to cuesishara
206
612080
3376
na inamaanisha kua watu wanachukulia
uzito sana suala la foleni
10:27
that they're expectedinatarajiwa to do good
in a particularhasa situationhali,
207
615480
2960
na wanategemewa kufanya mema
katika suala kama hilo,
10:31
whichambayo bringshuleta us to the thirdtatu
and finalmwisho itemkipengee on our checklistOrodha ya:
208
619600
3696
ambapo inatupeleka katika jambo la tatu
na la mwisho katika listi yetu:
10:35
to communicatekuwasiliana expectationsmatarajio,
209
623320
1776
kufanya mawasiliano ya mategemeo,
10:37
to tell people,
210
625120
1416
kuwaambia watu,
10:38
"Do the good deedtendo right now."
211
626560
2080
"Fanya jambo jema sasa hivi."
10:42
Here'sHapa ni a simplerahisi way
to communicatekuwasiliana expectationsmatarajio;
212
630680
2256
Hii ni njia rahisi ya
kuwasilisha mategemeo;
10:44
simplytu tell them, "Hey, everybodykila mtu elsemwingine
is doing the good deedtendo."
213
632960
3176
kwa urahisi waambie, "Jamani, kila mtu
anafanya matendo mema."
10:48
The companykampuni OpowerOPOWER
sendshutuma people in theirwao electricityumeme billmuswada
214
636160
4176
Kampuni ya Opower hutumia watu
katika ankara zao za umeme
10:52
a smallndogo insertIngiza that comparesLinganisha
theirwao energynishati consumptionmatumizi
215
640360
2776
maelezo madogo ambayo hulinganisha
matumizi yao ya nishati
10:55
with that of people
with similarlysawa sizedukubwa homesnyumba.
216
643160
3240
na wale walio na nyumba ambazo
zinafanana ukubwa na wao.
10:59
And when people find out that theirwao
neighborsmajirani are usingkutumia lesschini electricityumeme,
217
647000
3456
Na pale watu wanapogundua kwamba
majirani zao wanatumia umeme kidogo,
11:02
they startkuanza to consumekula lesschini.
218
650480
1896
wanaanza kutumia umeme kidogo pia.
11:04
That samesawa approachmbinu, it's been used
to get people to votekupiga kura or give to charityupendo
219
652400
3656
Mkakati huo, umetumika kuwafanya watu
kupiga kura au kutoa misaada
11:08
or even reusetumia tena theirwao towelstaulo in hotelshoteli.
220
656080
2120
au kutumia tena mataulo katika hoteli.
11:12
What about this one?
221
660240
1200
Vipi kuhusu hili?
11:14
Here'sHapa ni anothermwingine way
to communicatekuwasiliana expectationsmatarajio;
222
662240
2496
Hii ni namna nyingine ya
kuwasilisha mategemeo;
11:16
simplytu do it by sayingkusema, "Do the good deedtendo"
just at the right time.
223
664760
4080
kwa urahisi fanya kwa kusema,
"Tenda yaliyo mema" kwa mda unaofaa.
11:23
What about this one?
224
671840
1200
Vipi kuhusu hii?
11:26
This tickerTicker reframesreframes
225
674320
2616
Hii inatengeneza picha
11:28
the kindaina of mundaneya kawaida taskkazi
of turningkugeuka off the lightstaa
226
676960
2816
ya namna ya kidunia ya kuzima taa
11:31
and turnsinageuka it insteadbadala yake
into an environmentalmazingira contributionmchango.
227
679800
2840
na kuwasha katika mchango wa kimazingira.
11:36
The bottomchini linemstari is,
lots of differenttofauti waysnjia to do this,
228
684320
2816
Hitimisho ni kwamba,
njia nyingi za kufanya hili,
11:39
lots of waysnjia to communicatekuwasiliana expectationsmatarajio.
229
687160
2056
namna nyingi za kuwasilisha mategemeo.
11:41
Just don't forgetkusahau to do it.
230
689240
1286
Usisahau kufanya.
11:43
And that's it.
231
691320
1296
Hivyo tu.
11:44
That's our checklistOrodha ya.
232
692640
1200
Hiyo ndiyo listi yetu.
11:48
ManyWengi of you are workingkufanya kazi on problemsmatatizo
with importantmuhimu socialkijamii consequencesmatokeo,
233
696440
4336
Wengi wenu mnashughulikia matatizo
muhimu yaliyo na madhara kwa jamii,
11:52
and sometimesmara nyingine you mightnguvu need
to motivatekuhamasisha people to do more good.
234
700800
3400
na muda mwingine mnaweza hitaji
kuwahamasisha watu kutenda mema.
11:57
The toolszana you learnedkujifunza todayleo
can help you with this.
235
705520
3016
Somo la leo linaweza kukusaidia kwa hilo.
12:00
And these toolszana, they don't requireinahitaji
that you raisekuinua additionalziada fundsfedha
236
708560
3176
Na somo hili, haliihitaji kufanya
harambee ya kuongeza fungu
12:03
or that you developkuendeleza
any more fancydhana technologiesteknolojia.
237
711760
2896
au kuunda teknolojia iliyo na nakshi.
12:06
They just requireinahitaji harnessingkupata na kutumia reputationsreputations
238
714680
2776
Inahitaji kuweza kupata sifa
12:09
by increasingkuongezeka observabilityobservability,
eliminatingkuondoa excusesudhuru
239
717480
3416
kwa kuongeza uangalizi, kuondoa visingizio
12:12
and communicatingkuwasiliana expectationsmatarajio.
240
720920
1600
na kuwasilisha mategemeo.
12:16
Thank you.
241
724120
1216
Asante.
12:17
(ApplauseMakofi)
242
725360
4440
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Doris Mangalu

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Erez Yoeli - Research scientist
Erez Yoeli's research focuses on altruism: understanding how it works and how to promote it.

Why you should listen

Erez (pronounced ‘EH-rez’) Yoeli is a research scientist at MIT's Sloan School of Management, where he directs the Applied Cooperation Team. His research focuses on altruism: understanding how it works and how to promote it. He collaborates with governments, nonprofits and companies to apply these insights to address real-world challenges like increasing energy conservation, improving antibiotic adherence, reducing smoking in public places and promoting philanthropy.

Yoeli teaches the undergraduate Game Theory course at Harvard and regularly publishes theoretical and applied academic research articles. He shares his research highlights through frequent talks and featured articles in the New York Times, The Economist, Quartz and Behavioral Scientist. His research has also been profiled nationally and internationally in publications like TIME and Huffington Post. 

Yoeli received his PhD in economics from the University of Chicago Booth School of Business. Before founding the Applied Cooperation Team, he was an economist at the US Federal Trade Commission and served as an expert witness in cases against companies that defrauded consumers. In an earlier, "pre-economist" life, he was a classical percussionist. He enjoys spicy food, hiking and spending time with his two very cuddly cats.

More profile about the speaker
Erez Yoeli | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee