ABOUT THE SPEAKER
Stephanie Busari - Journalist
Stephanie Busari is a journalist and editor at CNN International Digital.

Why you should listen

Stephanie Busari moved to Lagos from London in July 2016 to pioneer CNN's first digital and multimedia bureau. She also reports on-air in breaking news situations for CNN International.

In April 2016 Busari exclusively obtained the "proof of life" video that showed that the missing Chibok schoolgirls who were kidnapped in Nigeria in 2014 were still alive. She was also an instrumental member of the CNN team that won a Peabody Award in May 2015 for the network's coverage of the missing girls. Busari recently won a Gracie Award for her persistence in covering this story, and she's also a previous recipient of the Outstanding Woman in the Media Awards.

Busari is a passionate community activist who curated TEDxBrixton for three years before she left London. She founded TEDxBrixton in 2013 driven by a desire to bring disparate elements of her community together and to create a platform for those who wouldn't normally have one to share their ideas worth spreading.

A passionate and adept public speaker, Busari is regularly invited to share her insights and host panels. She has spoken at UN Women, Said Business School, Oxford, Africa Gathering among others.

Over a 15-year career, Busari has worked as a news reporter, entertainment and features writer, court reporter and columnist, and she has been published in many of the UK and international media's most influential outlets, such as the BBC and Daily Mirror.

During a six-month stint in Northern Ireland in 2003, Busari spent time in some of the worst affected areas of "The Troubles" and secured interviews with a crucifixion victim, government ministers and paramilitaries. While there, she also launched and edited an award-winning lifestyle column.

A native Yoruba speaker, Busari also speaks fluent French and is currently learning Hausa.  

More profile about the speaker
Stephanie Busari | Speaker | TED.com
TEDLagos Ideas Search

Stephanie Busari: How fake news does real harm

Stephanie Busari: Jinsi gani habari za uongo huleta madhara ya kweli

Filmed:
1,358,172 views

Mnamo Aprili 14, 2014, shirika la kigaidi la Boko Haram liliteka zaidi ya wasichana wa shule 200 kutoka mji wa Chibok, Naijeria. Duniani kote, uhalifu huu ulifanywa mfano kwa kauli mbiu ya #BringBackOurGirls yaani "Rejesha Wasichana Wetu" -- lakini ndani ya Naijeria, maafisa wa serikali waliita uhalifu huu kuwa ni mzaha, kusababisha utata na kuchelewesha jitihada zozote za kuwakomboa wasichana hawa. Katika zungumzo hili shupavu, mwanahabari Stephanie Busari anaelekezea janga la Chibok kueleza hatari kubwa ya habari za uongo na nini tunaweza kufanya kuzizuia.
- Journalist
Stephanie Busari is a journalist and editor at CNN International Digital. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
I want to tell you a storyhadithi about a girlmsichana.
0
1072
2808
Nataka niwaambie kisa
kuhusu msichana mmoja.
00:16
But I can't tell you her realhalisi namejina.
1
4515
2112
Lakini siwezi kuwaambia jina lake halisi.
00:19
So let's just call her HadizaHadiza.
2
7015
1913
Hivyo tufanye kumuita Hadiza.
00:21
HadizaHadiza is 20.
3
9561
1489
Hadiza ana miaka 20.
00:23
She's shyaibu,
4
11639
1151
Ana aibu,
00:24
but she has a beautifulnzuri smiletabasamu
that lightstaa up her faceuso.
5
12814
3234
lakini ana tabasamu zuri
ambalo hufanya uso wake kung'aa
00:28
But she's in constantmara kwa mara painmaumivu.
6
16959
1930
Lakini yuko katika maumivu wakati wote.
00:32
And she will likelyuwezekano be on medicationdawa
for the restpumzika of her life.
7
20643
3474
Na anaweza kuwa
mtu wa matibabu maisha yake yote.
00:37
Do you want to know why?
8
25046
1505
Je wataka kujua kwa nini?
00:39
HadizaHadiza is a ChibokChibok girlmsichana,
9
27964
2857
Hadiza ni msichana wa Chibok,
00:42
and on AprilAprili 14, 2014, she was kidnappednyara
10
30845
3233
na mnamo Aprili 14, 2014, alitekwa
00:46
by BokoBoko HaramHaram terroristsmagaidi.
11
34102
1624
na magaidi wa Boko Haram.
00:48
She managedimeweza to escapekutoroka, thoughingawa,
12
36470
2509
Ingawa alijaribu kutoroka,
00:51
by jumpingkuruka off the trucklori
that was carryingkubeba the girlswasichana.
13
39003
3197
kwa kuruka toka kwenye gari lililokuwa limebeba wasichana.
00:54
But when she landedilipanda,
she brokekuvunja bothwote wawili her legsmiguu,
14
42224
3293
Lakini alipotua chini, alivunjika miguu yako yote miwili,
00:57
and she had to crawlkutambaa on her tummytummy
to hidekujificha in the bushesmisitu.
15
45541
3420
na alihitaji kutambaa kwa tumbo kujificha kichakani.
01:00
She told me she was terrifiedhofu
that BokoBoko HaramHaram would come back for her.
16
48985
4078
Aliniambia aliogopa sana
kuwa Boko Haram wangeweza kumrudia.
01:05
She was one of 57 girlswasichana who would escapekutoroka
by jumpingkuruka off trucksmalori that day.
17
53704
4627
Alikuwa mmoja wa wasichana 57 waliotoroka
kwa kuruka toka kwenye magari siku ile.
01:10
This storyhadithi, quitekabisa rightlysawa, causedunasababishwa rippleswa kiwimbi
18
58355
2541
Kisa hiki, hakika, kilisambaa kama mawimbi
01:12
around the worldulimwengu.
19
60920
1372
duniani kote.
01:14
People like MichelleMichelle ObamaObama,
MalalaMalala and otherswengine
20
62316
3270
Watu kama Michelle Obama,
Malala na wengine
01:17
lentKwaresima theirwao voicessauti in protestmaandamano,
21
65610
2092
walitoa sauti zao wakipinga,
01:19
and at about the samesawa time --
I was livingwanaishi in LondonLondon at the time --
22
67726
3261
na wakati huo huo --
nilikuwa nikiishi London wati huo
01:23
I was sentalitumwa from LondonLondon to AbujaAbuja
to coverfunika the WorldUlimwengu EconomicKiuchumi ForumJukwaa la
23
71011
4643
Nilitumwa kutoka London kwenda Abuja
kupata habari za Jukwaa la Uchumi Duniani
01:27
that NigeriaNigeria was hostingmwenyeji
for the first time.
24
75678
2422
ambapo Naijeria ilikuwa mwenyeji
kwa mara ya kwanza
01:30
But when we arrivedaliwasili, it was clearwazi
that there was only one storyhadithi in townmji.
25
78655
4064
Lakini nilipofika, ilikuwa dhahiri
kwamba kulikuwa na habari moja tu mjini.
01:35
We put the governmentserikali underchini pressureshinikizo.
26
83909
1845
Tuliiiweka serikali kwenye shinikizo.
01:37
We askedaliuliza toughngumu questionsmaswali
about what they were doing
27
85778
2562
Tuliuliza maswali magumu
juu ya nini wanafanya
01:40
to bringkuleta these girlswasichana back.
28
88364
1491
kuwarudisha wasichana hawa.
01:42
UnderstandablyInaeleweka,
29
90379
1724
Ilieleweka hakika,
01:44
they weren'thawakuwa too happyfuraha
with our linemstari of questioningkuhoji,
30
92127
2807
hawakuwa na furaha juu ya maswali yetu,
01:46
and let's just say we receivedalipokea
our fairhaki sharekushiriki of "alternativembadala factsukweli."
31
94958
3749
na tuseme tu tulipata mgao mzuri
wa "ukweli mbadala".
01:50
(LaughterKicheko)
32
98731
2681
(Kicheko)
01:53
InfluentialUshawishi mkubwa NigeriansWanaijeria
were tellingkuwaambia us at the time
33
101436
3198
Wanaijeria wenye ushawishi mkubwa
walikuwa wakituambia wakati ule
01:56
that we were naRangiïveve,
34
104658
1997
kuwa tulikuwa washamba.
01:58
we didn't understandkuelewa
the politicalkisiasa situationhali in NigeriaNigeria.
35
106679
3204
hatukuelewa hali ya siasa ya Naijeria.
02:02
But they alsopia told us
36
110900
2095
Lakini pia walituambia
02:05
that the storyhadithi of the ChibokChibok girlswasichana
37
113019
2608
kuwa habari ya wasichana wa Chibok
02:07
was a hoaxutapeli.
38
115651
1185
illikuwa mzaha.
02:10
SadlyHuzuni, this hoaxutapeli narrativemaelezo has persistedwaliendelea,
39
118265
2700
Cha kusikitisha ni kuwa
habari hii ya mzaha imedumu
02:12
and there are still people
in NigeriaNigeria todayleo
40
120989
2290
na bado kuna watu Naijeria leo
02:15
who believe that the ChibokChibok girlswasichana
were never kidnappednyara.
41
123303
2763
wanaoamini
wasichana wa Chibok hawakutekwa.
02:18
YetBado I was talkingkuzungumza to people like these --
42
126931
2563
Bado, nilikuwa nikiongea na watu kama hawa
02:22
devastatediliyoharibiwa parentswazazi,
43
130401
1705
wazazi wenye huzuni kubwa,
02:24
who told us that on the day
BokoBoko HaramHaram kidnappednyara theirwao daughtersbinti,
44
132130
4054
ambao walituambia
siku Boko Haram waliwateka binti zao,
02:28
they ranmbio into the SambisaSambisa ForestMsitu
after the trucksmalori carryingkubeba theirwao daughtersbinti.
45
136208
4574
walikimbia mpaka Msitu wa Sambisa
wakifukuza magari laliyobeba binti zao.
02:32
They were armedsilaha with machetesmapanga,
but they were forcedkulazimishwa to turnkugeuka back
46
140806
3728
Wao walikuwa na mapanga kama silaha,
lakini walilazimika kurudi
02:36
because BokoBoko HaramHaram had gunsbunduki.
47
144558
1849
sababu Boko Haram walikuwa na bunduki.
02:39
For two yearsmiaka, inevitablybila shaka,
the newshabari agendaajenda movedwakiongozwa on,
48
147345
3663
Kwa miaka miwili, pasipo kuepukika,
ajenda za habari zilisonga mbele,
02:43
and for two yearsmiaka,
49
151032
1730
na kwa miaka miwili,
02:44
we didn't hearkusikia much
about the ChibokChibok girlswasichana.
50
152786
3159
hatukusikia sana
kuhusu wasichana wa Chibok.
02:47
EveryoneKila mtu presumedpresumed they were deadwamekufa.
51
155969
1869
Kila moja alidhania wamekwishakufa.
02:50
But in AprilAprili last yearmwaka,
52
158233
1987
Lakini Aprili mwaka jana,
02:52
I was ableinaweza to obtainkupata this videovideo.
53
160244
2205
niliweza kupata video hii.
02:55
This is a still from the videovideo
54
163036
1740
Hii ni picha-mnato toka kwenye video
02:56
that BokoBoko HaramHaram filmediliyofanyika as a proofushahidi of life,
55
164800
3114
ambayo Boko Haram walirekodi
kama ushahidi kuwa wako hai,
03:00
and throughkupitia a sourcechanzo,
I obtainedkupatikana this videovideo.
56
168923
2544
na kupitia chanzo kimoja,
nilipata video hii.
03:04
But before I could publishkuchapisha it,
57
172109
1537
Lakini kabla sijaichapisha,
03:05
I had to travelkusafiri
to the northeastKaskazini Mashariki of NigeriaNigeria
58
173670
3025
Nilihitaji kusafiri
kwenda kaskazini mashariki mwa Naijeria
03:08
to talk to the parentswazazi, to verifykuthibitisha it.
59
176719
2067
kuzungumza na wazazi, kuihakikisha.
03:11
I didn't have to wait
too long for confirmationuthibitisho.
60
179317
3377
Sikuhitaji kusubiri sana
kupata uthibitisho.
03:15
One of the mothersmama,
when she watchedaliangalia the videovideo, told me
61
183630
3330
Mmoja wa wamama,
alipoangalia hiyo video, aliniambia
03:18
that if she could have reachedilifikia
into the laptopmbali
62
186984
2700
kama angeweza kuifika ndani ya kompyuta
03:21
and pulledvunjwa our her childmtoto from the laptopmbali,
63
189708
4019
na kumvuta na kumtoa nje mtoto wake
kutoka kwenye kompyuta,
03:25
she would have donekufanyika so.
64
193751
1406
angefanya hivyo.
03:28
For those of you who are parentswazazi,
like myselfMimi mwenyewe, in the audiencewatazamaji,
65
196203
3222
Kwa wale kati yenu ambao ni wazazi,
kama mimi, katika wasikilizaji.
03:31
you can only imaginefikiria the anguishdhiki
66
199449
2828
Mnaweza tu kufikiria uchungu
03:34
that that mothermama feltwalihisi.
67
202301
1459
ambao yule mama aliusikia
03:37
This videovideo would go on to kick-startkutochukua
negotiationmazungumzo talksmazungumzo with BokoBoko HaramHaram.
68
205601
6554
Video hii iliendelea hadi kuanzisha
mjadala wa mazungumzo na Boko Haram.
03:44
And a NigerianNigeria senatorSeneta told me
that because of this videovideo
69
212179
3968
Na seneta mmoja wa Kinaijeria aliniambia
kuwa kwa sababu ya video hii
03:48
they enteredimeingia into those talksmazungumzo,
70
216171
1993
waliingia katika yale mazungumzo,
03:50
because they had long presumedpresumed
that the ChibokChibok girlswasichana were deadwamekufa.
71
218188
3506
kwa sababu muda mrefu walidhani
wasichana wa Chibok walishakufa.
03:54
Twenty-oneTwenty-One girlswasichana were freedhuru
in OctoberOktoba last yearmwaka.
72
222639
4702
Wasichana 21 waliachiwa huru
mwezi Oktoba mwaka jana.
03:59
SadlyHuzuni, nearlykaribu 200 of them
still remainkubaki missinghaipo.
73
227365
3568
Cha kusikitisha, karibu 200 kati yao
bado hawajapatikana.
04:03
I mustlazima confesskukiri that I have not been
a dispassionatehasiye observermwangalizi
74
231691
4197
Ni lazima nikiri,
sijawa mwangalizi niliyependelea
04:07
coveringkifuniko this storyhadithi.
75
235912
1186
kuzungumzia habari hii.
04:09
I am furioushasira when I think
about the wastedkupita opportunitiesfursa
76
237122
3808
Nakuwa na hasira ninapofikiria
juu ya fursa zinazopotea
04:14
to rescuekuokoa these girlswasichana.
77
242232
1189
kuwaokoa wasichana hawa.
04:15
I am furioushasira when I think about
what the parentswazazi have told me,
78
243445
3900
Nakuwa na hasira ninapofikiria
juu ya kile wazazi wameniambia,
04:19
that if these were daughtersbinti
of the richtajiri and the powerfulnguvu,
79
247369
2774
kuwa ingekuwa mabinti hawa
ni wa matajiri na wenye nguvu,
04:22
they would have been foundkupatikana much earliermapema.
80
250167
2161
wangepatikana mapema zaidi.
04:26
And I am furioushasira
81
254281
2008
Na nina hasira
04:28
that the hoaxutapeli narrativemaelezo,
82
256313
1928
kwamba simulizi la mzaha
04:30
I firmlyimara believe,
83
258265
1878
ambalo naamini hakika
04:32
causedunasababishwa a delaykuchelewa;
84
260167
2112
limesababisha kuchelewa;
04:34
it was partsehemu of the reasonsababu
for the delaykuchelewa in theirwao returnkurudi.
85
262303
2989
lilikuwa ni sehemu ya sababu
ya ucheleweshwaji wa kurudi kwao.
04:38
This illustratesinaonyesha to me
the deadlymauti dangerhatari of fakebandia newshabari.
86
266680
4515
Hii inaonesha kwangu
hatari kubwa ya habari za uongo.
04:43
So what can we do about it?
87
271219
1592
Nini twaweza kufanya juu ya hili?
04:45
There are some very smartsmart people,
88
273883
1917
Kuna watu werevu sana,
04:47
smartsmart engineerswahandisi at GoogleGoogle and FacebookFacebook,
89
275824
2459
wahandisi werevu huko Google na Facebook,
04:50
who are tryingkujaribu to use technologyteknolojia
to stop the spreadkuenea of fakebandia newshabari.
90
278307
5065
wanaojaribu kutumia tekinolojia
kuzuia kusambaa kwa habari za uongo.
04:55
But beyondzaidi that, I think
everybodykila mtu here -- you and I --
91
283396
4751
Lakini zaidi ya hapo, nafikiri
kila mmoja hapa -- wewe na mimi --
05:00
we have a rolejukumu to playkucheza in that.
92
288171
2187
tuna nafasi ya kushiriki katika hilo.
05:02
We are the oneswale who sharekushiriki the contentmaudhui.
93
290382
2293
Sisi ndio tunaoshirikishana maudhui
05:04
We are the oneswale who sharekushiriki
the storieshadithi onlineonline.
94
292699
2511
Sisi ndio tunaoshirikishana
habari mitandaoni
05:07
In this day and ageumri, we're all publisherswahubiri,
95
295234
2187
Nyakati za leo, sisi sote ni wachapishaji,
05:10
and we have responsibilitywajibu.
96
298535
2491
na tuna jukumu.
05:13
In my jobkazi as a journalistmwandishi wa habari,
97
301050
2310
Katika kazi yangu kama mwanahabari,
05:15
I checkangalia, I verifykuthibitisha.
98
303384
2028
Ninaangalia, ninathibitisha,
05:17
I trusttumaini my gutgut, but I askkuuliza toughngumu questionsmaswali.
99
305436
3281
Ninaamini hisia zangu,
lakini nauliza maswali magumu.
05:21
Why is this personmtu tellingkuwaambia me this storyhadithi?
100
309620
2876
Kwa nini huyu mtu ananiambia habari hii?
05:24
What do they have to gainkupata
by sharingkugawana this informationhabari?
101
312520
3499
Nini atakachokipata
kwa kunishirikisha taarifa hii?
05:28
Do they have a hiddensiri agendaajenda?
102
316043
1808
Je, ana ajenda ya siri?
05:30
I really believe that we mustlazima all startkuanza
to askkuuliza tougherzaidi questionsmaswali
103
318682
5491
Ninaamini kabisa kuwa wote tunatakiwa
kuanza kuuliza maswali magumu zaidi
05:36
of informationhabari that we discovergundua onlineonline.
104
324197
2310
kwa taarifa tunazozipata mtandaoni.
05:41
ResearchUtafiti showsinaonyesha that some of us
don't even readsoma beyondzaidi headlinesvichwa vya habari
105
329673
5731
Utafiti unaonesha kwamba kati yetu
kuna wasiosoma zaidi ya vichwa vya habari
05:47
before we sharekushiriki storieshadithi.
106
335428
2103
kabla ya kushirikisha habari.
05:49
Who here has donekufanyika that?
107
337555
1539
Nani hapa amefanya hivyo?
05:51
I know I have.
108
339944
1335
Najua mimi nimefanya.
05:54
But what if
109
342435
1359
Lakini ingekuwaje kama
05:57
we stoppedkusimamishwa takingkuchukua informationhabari
that we discovergundua at faceuso valuethamani?
110
345295
4209
tungeacha kuchukua taarifa tuipatayo jinsi ionekanavyo kijuujuu?
06:02
What if we stop to think
about the consequencematokeo
111
350250
3573
vipi kama tutasimama na kufikiria athari
06:05
of the informationhabari that we passkupitisha on
112
353847
2449
za taarifa ambazo tunazisambaza
06:08
and its potentialuwezo to incitekuchochea
violencevurugu or hatredchuki?
113
356320
3211
na uwezo wake wa kuchochea vurugu na chuki?
06:12
What if we stop to think
about the real-lifehalisi ya maisha consequencesmatokeo
114
360595
4535
Vipi kama tutasimama na kufikiria juu ya athari kwenye maisha halisi
06:17
of the informationhabari that we sharekushiriki?
115
365154
1848
za taarifa tunazoshirikishana?
06:20
Thank you very much for listeningkusikiliza.
116
368105
1800
Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.
06:21
(ApplauseMakofi)
117
369929
3494
(Makofi na vifijo)
Translated by Clarence Bitegeko
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Stephanie Busari - Journalist
Stephanie Busari is a journalist and editor at CNN International Digital.

Why you should listen

Stephanie Busari moved to Lagos from London in July 2016 to pioneer CNN's first digital and multimedia bureau. She also reports on-air in breaking news situations for CNN International.

In April 2016 Busari exclusively obtained the "proof of life" video that showed that the missing Chibok schoolgirls who were kidnapped in Nigeria in 2014 were still alive. She was also an instrumental member of the CNN team that won a Peabody Award in May 2015 for the network's coverage of the missing girls. Busari recently won a Gracie Award for her persistence in covering this story, and she's also a previous recipient of the Outstanding Woman in the Media Awards.

Busari is a passionate community activist who curated TEDxBrixton for three years before she left London. She founded TEDxBrixton in 2013 driven by a desire to bring disparate elements of her community together and to create a platform for those who wouldn't normally have one to share their ideas worth spreading.

A passionate and adept public speaker, Busari is regularly invited to share her insights and host panels. She has spoken at UN Women, Said Business School, Oxford, Africa Gathering among others.

Over a 15-year career, Busari has worked as a news reporter, entertainment and features writer, court reporter and columnist, and she has been published in many of the UK and international media's most influential outlets, such as the BBC and Daily Mirror.

During a six-month stint in Northern Ireland in 2003, Busari spent time in some of the worst affected areas of "The Troubles" and secured interviews with a crucifixion victim, government ministers and paramilitaries. While there, she also launched and edited an award-winning lifestyle column.

A native Yoruba speaker, Busari also speaks fluent French and is currently learning Hausa.  

More profile about the speaker
Stephanie Busari | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee