ABOUT THE SPEAKER
Bruce Friedrich - Food innovator
TED Fellow Bruce Friedrich plans to compete with the meat industry on its own terms -- by creating alternatives to conventional meat that taste the same or better and cost less.

Why you should listen

Bruce Friedrich is cofounder and executive director of The Good Food Institute (GFI), an international nonprofit that is fostering a sustainable, healthy and just agricultural system through food innovation. With branches in the United States, India, Israel, Brazil, Europe and Asia Pacific, GFI is accelerating the production of plant-based and cell-based meat, eggs and dairy in order to bolster the global protein supply while protecting our environment, promoting global health and preventing food insecurity and animal cruelty. Friedrich has penned op-eds for the Wall Street Journal, USA Today, the Los Angeles Times, Chicago Tribune, Wired and many other publications. He has appeared on The Today Show, NBC Nightly News, CBS Evening News and a variety of programs on MSNBC, Fox News, and CNN. Friedrich has coauthored two books, contributed chapters to seven more, and has written seven law review articles. Watch his TEDxSonoma talk here.

Friedrich graduated magna cum laude, Order of the Coif, from the Georgetown University Law Center and holds degrees from Johns Hopkins University and the London School of Economics.

More profile about the speaker
Bruce Friedrich | Speaker | TED.com
TED2019

Bruce Friedrich: The next global agricultural revolution

Bruce Friedrich: Mapinduzi ya kilimo mapya ya dunia

Filmed:
2,123,810 views

Njia ya uzalishaji nyama ya kawaida inaathiri mazingira yetu na ni athari kwa afya ya ulimwengu, lakini watu hawaendi kupunguza ulaji nyama hadi tuwape chaguo mbadala yanye bei sawia (au ya chini) na ladha sawia (au bora). Kwa hotuba ya kufungua macho, mvumbuzi wa vyakula na mwana TED Bruce Friedrich anaonyesha bidhaa za mimea na chembe ambazo zinaweza kubadilisha sekta ya nyama duniani -- na sahani yako ya chajio.
- Food innovator
TED Fellow Bruce Friedrich plans to compete with the meat industry on its own terms -- by creating alternatives to conventional meat that taste the same or better and cost less. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
In 2019, humanityubinadamu receivedalipokea a warningonyo:
0
1841
3824
Mwaka 2019, ubinadamu ulipata tahadhari:
00:17
30 of the world'sulimwengu leadingkuongoza scientistswanasayansi
releasediliyotolewa the resultsmatokeo
1
5689
2712
30 ya wanasayansi mashuhuri duniani
walipeana majibu
00:20
of a massivekubwa three-yearmiaka mitatu studykujifunza
into globalkimataifa agriculturekilimo
2
8425
3482
ya utafiti wa miaka mitatu ya
kilimo cha kimataifa
00:23
and declaredalitangaza that meatnyama productionuzalishaji
is destroyingkuharibu our planetsayari
3
11931
3641
na kutangaza kuwa uzalishaji wa nyama
unaathiri sayari yetu
00:27
and jeopardizingkuhatarisha globalkimataifa healthafya.
4
15596
1683
na kuhatarisha afya ya dunia.
00:29
One of the study'sSomo authorswaandishi explainedalielezea
5
17804
1754
Mwandishi mmoja wa utafiti alinena
00:31
that "humanityubinadamu now posesinaleta a threattishio
to the stabilityutulivu of the planetsayari ...
6
19582
3544
ya kuwa "ubinadamu ni hatarisho
kwa utulivu wa sayari ...
00:35
[This requiresinahitaji] nothing lesschini than
a newmpya globalkimataifa agriculturalkilimo revolutionmapinduzi."
7
23150
4920
[Hii inahitaji] sio chini ya
uvumbuzi mpya wa kilimo wa kimataifa."
00:40
As somebodymtu who'snani spentalitumia
the last two decadesmiongo
8
28935
2141
Kama mtu ambaye ametumia miongo miwili
00:43
advocatingkutetea a shiftkuhama away
from industrialviwanda meatnyama productionuzalishaji,
9
31100
3088
kutetea kuhama uzalishaji wa nyama
kwa viwanda,
00:46
I wanted to believe that this clarionmwito call
was going to make a differencetofauti.
10
34212
3928
nilitaka kuamini kuwa wito huu
ulikuwa unaenda kuleta mabadiliko.
00:50
The thing is, I've seenkuonekana this sortfanya of thing
again and again and again for decadesmiongo.
11
38164
5100
Jambo ni kuwa nimeona hili
mara kwa mara kwa miongo.
00:55
Here'sHapa ni 2018 from the journaljarida "NatureAsili,"
12
43750
3502
Hii hapa 2018 kutoka kwa jarida "Nature,"
00:59
2017 from "BioscienceBioscience JournalJarida,"
13
47276
3075
2017 kutoka "Bioscience Journal,"
01:02
2016 from the NationalTaifa
AcademyChuo cha of SciencesSayansi.
14
50375
3378
2016 kutoka Chuo cha Taifa cha Sayansi.
01:06
The mainKuu pointuhakika of these studiestafiti
tendshuelekea to be climatehali ya hewa changemabadiliko.
15
54367
3755
Lengo kuu la utafiti hizi
huwa ni mabadiliko ya hewa.
01:10
But antibioticantibiotic resistanceupinzani
representsinawakilisha just as bigkubwa of a threattishio.
16
58146
4019
Lakini upinzani wa kiuavijasumu
ni tishio kubwa.
01:14
We are feedingulishaji massivekubwa dosesdozi
of antibioticsantibiotics to farmshamba animalswanyama.
17
62640
3329
Tunawapa mifugo vipimo
kubwa vya viuavijasumu.
01:18
These antibioticsantibiotics are then
mutatingmutating into superbugssuperbugs
18
66382
4001
Viuavijasumu kisha hubadilika
na kuwa wadudu wenye nguvu
01:22
that threatenkutishia to renderkutoa
antibioticsantibiotics obsoletekizito
19
70407
3019
wanaotishia kufanya kiuavijasumu
kuwa bila kazi
01:25
withinndani all of our lifetimesmaisha.
20
73450
2051
katika maisha yetu.
01:27
You want a scarehofu?
21
75985
1176
Unataka kitisho?
01:29
GoogleGoogle: "the endmwisho of workingkufanya kazi antibioticsantibiotics."
22
77185
2513
Tafuta: "mwisho wa kazi wa kiuavijasumu."
01:32
I'm going to get one thing out of the way:
23
80589
2030
Naenda kuweka bayana jambo moja:
01:34
I am not here to tell anybodymtu yeyote what to eatkula.
24
82643
2294
Siko hapa kueleza mtu anachopaswa kula.
01:37
IndividualBinafsi actionhatua is great,
25
85539
1896
Hatua ya kibinafsi ni sawa,
01:39
but antibioticantibiotic resistanceupinzani
and climatehali ya hewa changemabadiliko --
26
87459
2701
lakini upinzani wa kiuavijasumu
na mabadiliko ya hewa --
01:42
they requireinahitaji more.
27
90184
1466
yanahitaji zaidi.
01:44
BesidesMbali na hilo, convincingkushawishi the worldulimwengu
to eatkula lesschini meatnyama hasn'thaifai workedkazi.
28
92212
4233
Kando na hayo, kusadikisha ulimwengu
kupunguza kula nyama haijafaulu.
01:48
For 50 yearsmiaka, environmentalistswanamazingira,
globalkimataifa healthafya expertswataalam and animalmnyama activistswanaharakati
29
96918
4668
Kwa miaka 50, wanaharakati wa mazingira,
wataalamu wa afya wa duniani
01:53
have been beggingkuomba the publicumma
to eatkula lesschini meatnyama.
30
101610
3061
na wanaharakati wa wanyama, wamesihi umma
kula nyama kiasi.
01:57
And yetbado, perkwa kila capitacapita meatnyama consumptionmatumizi
31
105194
2056
Na bado, wastani wa ulaji nyama
01:59
is as highjuu as it's been
in recordedkumbukumbu historyhistoria.
32
107274
3404
umekuwa juu kihistoria.
02:03
The averagewastani NorthKaskazini AmericanMarekani last yearmwaka
atewalikula more than 200 poundspounds of meatnyama.
33
111378
3809
Mkazi wastani wa Amerika Kaskazini
alikula pauni 200 ya nyama mwaka jana.
02:07
And I didn't eatkula any.
34
115724
1513
Na sikula ata.
02:09
(LaughterKicheko)
35
117261
1230
(Kicheko)
02:10
WhichAmbayo meansina maana somebodymtu out there
atewalikula 400 poundspounds of meatnyama.
36
118515
3060
Inamaanisha kuna mtu huko nje
alikula pauni 400 ya nyama.
02:13
(LaughterKicheko)
37
121599
2087
(Kicheko)
02:15
On our currentsasa trajectorytrajectory,
38
123710
1705
Kwa njia tunayoelekea,
02:17
we're going to need to be producingkuzalisha
70 to 100 percentasilimia more meatnyama by 2050.
39
125439
4688
tunaenda kuhitaji kuzalisha asilimia
70 hadi 100 zaidi ya nyama ifikapo 2050.
02:22
This requiresinahitaji a globalkimataifa solutionsuluhisho.
40
130151
2467
Hili linahitaji suluhisho la duniani pote.
02:25
What we need to do is we need to producekuzalisha
the meatnyama that people love,
41
133317
3953
Tunachohitaji ni kuzalisha nyama
ambayo watu watapenda,
02:29
but we need to producekuzalisha it
in a wholeyote newmpya way.
42
137294
2499
lakini tuizalishe kwa njia mpya.
02:32
I've got a couplewanandoa of ideasmawazo.
43
140465
1858
Nina mawazo kadhaa.
02:34
IdeaWazo numbernambari one:
let's growkukua meatnyama from plantsmimea.
44
142347
3442
Wazo la kwanza:
tukuze nyama kutoka kwa mimea.
02:37
InsteadBadala yake of growingkukua plantsmimea,
feedingulishaji them to animalswanyama,
45
145813
2449
Badala ya kukuza mimea,
kuyalisha kwa wanyama,
02:40
and all of that inefficiencyUzembe,
46
148286
1434
na hayo yote yasiyofaa,
02:41
let's growkukua those plantsmimea,
let's biomimicbiomimic meatnyama with them,
47
149744
2905
tukuze mimea hiyo,
tuikuze na nyama,
02:44
let's make plant-basedmsingi wa mmea meatnyama.
48
152673
1653
tuifanye iwe na nyama.
02:46
IdeaWazo numbernambari two: for actualhalisi animalmnyama meatnyama,
49
154968
2838
Wazo la pili: kwa nyama halisi ya wanyama,
02:49
let's growkukua it directlymoja kwa moja from cellsseli.
50
157830
2148
tuikuze kwa chembe moja kwa moja.
02:52
InsteadBadala yake of growingkukua livekuishi animalswanyama,
let's growkukua the cellsseli directlymoja kwa moja.
51
160002
3275
Badala ya kukuza wanyama waliohai,
tukuze chembe moja kwa moja,
02:55
It takes sixsita weekswiki to growkukua
a chickenkuku to slaughterkuchinjwa weightuzito.
52
163967
2759
Inachukua wiki sita kulea kuku
afike kimo cha kuchinjwa.
02:58
GrowKukua the cellsseli directlymoja kwa moja,
you can get that samesawa growthukuaji
53
166750
2524
Kuza chembe moja kwa moja,
na utapata matokea sawia
03:01
in sixsita dayssiku.
54
169298
1458
kwa siku sita.
03:03
This is what that looksinaonekana like at scalekiwango.
55
171693
2277
Hivi ndivyo itakuwa katika skeli.
03:07
It's your friendlykirafiki
neighborhoodjirani meatnyama breweryMining.
56
175237
2680
Ni ujirani wa kirafiki wa kiwanda
cha nyama.
03:09
(LaughterKicheko)
57
177941
2895
(Kicheko)
03:12
I want to make two pointspointi about this.
58
180860
1799
Nitataja mambo mawili kuhusu hili.
03:14
The first one is, we believe we can do it.
59
182683
2122
Jambo la kwanza, tunasadiki tunaweza.
03:16
In recenthivi karibuni yearsmiaka, some companiesmakampuni
have been producingkuzalisha meatnyama from plantsmimea
60
184829
3978
Miaka iliyopita, makampuni mengine
yamekuwa yakikuza nyama kutoka kwa mimea
03:20
that consumerswatumiaji cannothaiwezi distinguishkutofautisha
from actualhalisi animalmnyama meatnyama,
61
188831
4047
na walaji hawawezi tofautisha
na nyama halisi,
03:24
and there are now dozenskadhaa of companiesmakampuni
growingkukua actualhalisi animalmnyama meatnyama
62
192902
3751
na sasa kuna makampuni mbalimbali
yanayokuza nyama halisi ya wanyama
03:28
directlymoja kwa moja from cellsseli.
63
196677
1881
moja kwa moja kutoka kwa chembe.
03:30
This plant-basedmsingi wa mmea and cell-basedmsingi wa seli meatnyama
64
198582
2188
Nyama hii ya mimea na ya chembe
03:32
givesanatoa consumerswatumiaji everything
that they love about meatnyama --
65
200794
2613
inawapa walaji vyote
wanavyopenda kuhusu nyama --
03:35
the tasteladha, the texturetexture and so on --
66
203431
2009
ladha, umbile na kadhalika --
03:37
but with no need for antibioticsantibiotics
67
205464
2073
lakini bila hitaji ya viuavijasumu
03:39
and with a fractionsehemu of the adversembaya
impactathari on the climatehali ya hewa.
68
207561
3220
na sehemu ya madhara kwa hali ya hewa.
03:43
And because these two technologiesteknolojia
are so much more efficientufanisi,
69
211352
3153
Na kwa sababu teknolojia
hizi mbili ni bora zaidi,
03:46
at productionuzalishaji scalekiwango
70
214529
1443
kwa ukuzaji
03:47
these productsbidhaa will be cheapernafuu.
71
215996
2015
bidhaa hizi zitakuwa za bei ya chini.
03:50
But one quickharaka pointuhakika about that --
72
218940
1764
Jambo moja kuhusu hilo --
03:52
it's not going to be easyrahisi.
73
220728
1851
haitakuwa rahisi.
03:54
These plant-basedmsingi wa mmea companiesmakampuni have spentalitumia
smallndogo fortunesbahati on theirwao burgersBurgers,
74
222603
3903
Makampuni haya yanayotumia mimea
yametumia misandali kidogo kwa baga zao,
03:58
and cell-basedmsingi wa seli meatnyama has not yetbado
been commercializedkibiashara at all.
75
226530
3615
na chembe ya nyama bado
haijazinduliwa kibiashara.
04:02
So we're going to need all handsmikono on deckstaha
76
230685
2131
Kwa hivyo tutahitaji ushirikiano wa wote
04:04
to make these the globalkimataifa meatnyama industrysekta.
77
232840
2442
ili kufanya hili liwe kiwanda
cha nyama duniani.
04:07
For startersMwanzo, we need
the presentsasa meatnyama industrysekta.
78
235979
2709
Mwanzo, tunahiaji sekta ya nyama
ya sasa.
04:11
We don't want to disruptkuvuruga
the meatnyama industrysekta,
79
239156
2206
Hatutaki kuvuruga sekta ya nyama,
04:13
we want to transformkubadilisha it.
80
241386
2002
tunataka kuibadilisha.
04:15
We need theirwao economiesuchumi of scalekiwango,
81
243412
1703
Tunahitaji dhana yake ya uchumi,
04:17
theirwao globalkimataifa supplyusambazaji chainmnyororo,
theirwao marketingmasoko expertiseutaalamu
82
245139
3184
msururu wake wa ugavi,
utaalam wake wa uuzaji
04:20
and theirwao massivekubwa consumerwatumiaji basemsingi.
83
248347
1862
na wateja wake.
04:22
We alsopia need governmentsserikali.
84
250962
1820
Tunahitaji pia serikali.
04:24
GovernmentsSerikali spendtumia tensmakumi of billionsmabilioni
of dollarsdola everykila singlemoja yearmwaka
85
252806
3544
Serikali hutumia mabilioni ya madola
kila mwaka
04:28
on researchutafiti and developmentmaendeleo
86
256374
1636
kwa utafiti na maendeleo
04:30
focusedililenga on globalkimataifa healthafya
and the environmentmazingira.
87
258034
2505
unaozingatia afya duniani
na mazingira.
04:33
They should be puttingkuweka some of that moneyfedha
into optimizingkuboresha and perfectingkuwakamilisha
88
261007
3912
Yanafaa kuwekeza sehemu ya fedha hizo
katika sadifisha na kuboresha
04:36
the productionuzalishaji of plant-basedmsingi wa mmea
and cell-basedmsingi wa seli meatnyama.
89
264943
3682
uzalishaji wa mimea na
nyama iliyokuzwa na chembe ya mimea.
04:41
Look, tensmakumi of thousandsmaelfu of people
diedalikufa from antibiotic-resistantantibiotic-sugu superbugssuperbugs
90
269673
5293
Tazama, kumi ya maelfu ya watu walikufa
kutoka kwa usugu wa viuavijasumu
04:46
in NorthKaskazini AmericaAmerika just last yearmwaka.
91
274990
2485
Amerika Kaskazini mwaka jana.
04:50
By 2050, that numbernambari is going to be
10 millionmilioni perkwa kila yearmwaka globallyduniani kote.
92
278004
5305
Ifikapo 2050, tarakimu hiyo itakuwa
milioni 10 kwa mwaka duniani.
04:56
And climatehali ya hewa changemabadiliko representsinawakilisha
an existentialexistential threattishio
93
284091
3928
Mabadiliko ya hewa pia
ni athari iliyopo
05:00
to hugekubwa portionssehemu of our globalkimataifa familyfamilia,
94
288043
3156
kwa sehemu kubwa ya familia yetu duniani,
05:03
includingikiwa ni pamoja na some of the poorestmaskini zaidi people
on the faceuso of the planetsayari.
95
291223
3429
wakiwemo watu maskini zaidi
hapa duniani.
05:07
ClimateHali ya hewa changemabadiliko, antibioticantibiotic resistanceupinzani --
these are globalkimataifa emergenciesDharura.
96
295396
4282
Mabadiliko ya hewa, kinga ya
viuavijasumu-- hizi ni dharura duniani.
05:12
MeatNyama productionuzalishaji is exacerbatingzimeongezea
these emergenciesDharura on a globalkimataifa scalekiwango.
97
300263
4517
Uzalishaji wa nyama unazidi
dharura hizi kwa kipimo duniani.
05:17
But we are not going
to decreasekupungua meatnyama consumptionmatumizi
98
305430
2609
Lakini hatuendi kupunduza
ulaji nyama
05:20
unlessisipokuwa we give consumerswatumiaji alternativesnjia mbadala
99
308063
2518
hadi tuwape walaji bidhaa mbadala
05:22
that costgharama the samesawa or lesschini
and that tasteladha the samesawa or better.
100
310605
4349
zitakazo gharimu sawa au chini
na ladha iwe sawia au bora.
05:27
We have the solutionsuluhisho.
101
315637
1331
Tuko na jawabu.
05:29
Let's make meatnyama from plantsmimea.
Let's growkukua it directlymoja kwa moja from cellsseli.
102
317412
3981
Tutengeneze nyama kutoka kwa mimea.
Tuikuze moja kwa moja kutoka kwa chembe.
05:33
It's pastzilizopita time that we mobilizekuhamasisha
the resourcesrasilimali that are necessarymuhimu
103
321417
3973
Tayari tumechelewa kutumia
raslimali tulizonazo
05:37
to createkuunda the nextijayo globalkimataifa
agriculturalkilimo revolutionmapinduzi.
104
325414
4359
kutengeneza mapinduzi ya kilimo mapya.
05:42
Thank you.
105
330252
1160
Asanteni.
05:43
(ApplauseMakofi)
106
331436
3824
(Makofi)
Translated by Brian Bosire
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Bruce Friedrich - Food innovator
TED Fellow Bruce Friedrich plans to compete with the meat industry on its own terms -- by creating alternatives to conventional meat that taste the same or better and cost less.

Why you should listen

Bruce Friedrich is cofounder and executive director of The Good Food Institute (GFI), an international nonprofit that is fostering a sustainable, healthy and just agricultural system through food innovation. With branches in the United States, India, Israel, Brazil, Europe and Asia Pacific, GFI is accelerating the production of plant-based and cell-based meat, eggs and dairy in order to bolster the global protein supply while protecting our environment, promoting global health and preventing food insecurity and animal cruelty. Friedrich has penned op-eds for the Wall Street Journal, USA Today, the Los Angeles Times, Chicago Tribune, Wired and many other publications. He has appeared on The Today Show, NBC Nightly News, CBS Evening News and a variety of programs on MSNBC, Fox News, and CNN. Friedrich has coauthored two books, contributed chapters to seven more, and has written seven law review articles. Watch his TEDxSonoma talk here.

Friedrich graduated magna cum laude, Order of the Coif, from the Georgetown University Law Center and holds degrees from Johns Hopkins University and the London School of Economics.

More profile about the speaker
Bruce Friedrich | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee