ABOUT THE SPEAKER
Pico Iyer - Global author
Pico Iyer has spent more than 30 years tracking movement and stillness -- and the way criss-crossing cultures have changed the world, our imagination and all our relationships.

Why you should listen

In twelve books, covering everything from Revolutionary Cuba to the XIVth Dalai Lama, Islamic mysticism to our lives in airports, Pico Iyer has worked to chronicle the accelerating changes in our outer world, which sometimes make steadiness and rootedness in our inner world more urgent than ever. In his TED Book, The Art of Stillness, he draws upon travels from North Korea to Iran to remind us how to remain focused and sane in an age of frenzied distraction. As he writes in the book, "Almost everybody I know has this sense of overdosing on information and getting dizzy living at post-human speeds ... All of us instinctively feel that something inside us is crying out for more spaciousness and stillness to offset the exhilarations of this movement and the fun and diversion of the modern world."

More profile about the speaker
Pico Iyer | Speaker | TED.com
TEDSummit

Pico Iyer: The beauty of what we'll never know

Pico Iyer: Uzuri wa ambavyo hatutovijua

Filmed:
1,827,446 views

Takribani miaka 30 iliyopita,Pico Iyer alisafiri kwenda Japan, akaipenda nchi na akahamia huko. Mfwatiliaji wa karibu wa roho ya binadamu, Iyer anasema kwamba sasa anaona anajua machache kuhusiana na Japan -- au, hakika, kuhusu chochote kile -- kama ambavyo alidhani anajua miongo mitatu iliyopita. Kwenye hii tafakari ya kishairi kuhusu hekima, Iyer anaelezea kuhusu uelewa unavyokuja na umri: kadri tunavyodhani tunajua, ndivyo tunagundua tunajua kidogo.
- Global author
Pico Iyer has spent more than 30 years tracking movement and stillness -- and the way criss-crossing cultures have changed the world, our imagination and all our relationships. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
One hotmoto OctoberOktoba morningasubuhi,
0
1436
3207
Asubuhi moja ya mwezi Oktoba yenye joto,
00:16
I got off the all-nightAll-Night traintreni
1
4667
2710
nilishuka kutoka kwenye treni ya usiku
00:19
in MandalayMandalay,
2
7401
1158
Mandalay,
00:20
the oldzamani royalkifalme capitalmji mkuu of BurmaBurma,
3
8583
3118
mji mkuu wa kifalme wa zamani wa Burma,
00:23
now MyanmarMyanmar.
4
11725
1417
sasa Myanmar.
00:25
And out on the streetbarabara, I ranmbio into
a groupkikundi of roughmbaya menwatu
5
13660
4198
Kwenye mtaa, nikakutana na kundi la
wanaume ambao ni wakorofi
00:29
standingmsimamo besidekando theirwao bicyclebaiskeli rickshawsrickshaws.
6
17882
3893
wakiwa wamesimama pembeni ya baiskeli zao.
00:33
And one of them camealikuja up
7
21799
1370
Mmoja kati yao akanifuata
00:35
and offeredinayotolewa to showonyesha me around.
8
23193
2182
na kujitolea kunionesha maeneo.
00:38
The pricebei he quotedalinukuu was outrageoushasira.
9
26615
2664
Bei aliyoitaja ilikuwa ni ya kushangaza.
00:41
It was lesschini than I would paykulipa
for a barbar of chocolatechokoleti at home.
10
29832
3988
Ilikuwa ni kidogo kuliko ambayo ningetumia
kununua chokoleti nyumbani.
00:45
So I clamberedclambered into his trishawtrishaw,
11
33844
3141
Nikapanda kwenye baiskeli yake,
00:49
and he beganilianza pedalingkuendeshabaiskeli us slowlypolepole
betweenkati palacesmajumba and pagodaspagodas.
12
37009
5871
na akaanza kutuendesha polepole
kwenye makasri na mahekalu.
00:55
And as he did, he told me how
he had come to the cityjiji from his villagekijiji.
13
43972
5299
Wakati anaendesha, akaniambia jinsi
alivyokuja mjini kutoka kijijini kwake.
01:01
He'dAtafanya earnedalipata a degreeshahada in mathematicshisabati.
14
49295
2379
Alikuwa na digrii ya hisabati.
01:03
His dreamndoto was to be a teachermwalimu.
15
51698
2327
Ndoto yake ilikuwa awe mwalimu.
01:06
But of coursebila shaka, life is hardngumu
underchini a militarykijeshi dictatorshipudikteta,
16
54445
4812
Hakika maisha ni magumu kwenye
udikteta wa kijeshi,
01:11
and so for now, this was the only way
he could make a livingwanaishi.
17
59281
4120
kwa sasa, hii ilikuwa ni namna
pekee ya kujipatia kipato.
01:16
ManyWengi nightsusiku, he told me,
he actuallykwa kweli sleptakalala in his trishawtrishaw
18
64796
3941
Mara nyingi usiku, aliniambia,
alilala kwenye guta yake
01:20
so he could catchcatch the first visitorswageni
off the all-nightAll-Night traintreni.
19
68761
4386
ili kusudi apate wateja wa kwanza
wa treni ya usiku.
01:27
And very soonhivi karibuni, we foundkupatikana
that in certainfulani waysnjia,
20
75543
3849
Punde si punde, tukagundua kwamba
kwa namna fulani
01:31
we had so much in commonkawaida --
21
79416
1666
tuna mengi ya kufanana --
01:33
we were bothwote wawili in our 20s,
22
81106
1861
wote tulikuwa kwenye miaka ya 20,
01:34
we were bothwote wawili fascinatedfascinated
by foreignkigeni culturestamaduni --
23
82991
3212
sote tulikuwa tunavutiwa na
tamaduni za kigeni --
01:38
that he invitedwalioalikwa me home.
24
86734
1924
mpaka akanikaribisha nyumbani.
01:42
So we turnedakageuka off the widepana,
crowdedinaishi streetsmitaa,
25
90056
3807
Tukatoka kwenye mtaa wenye watu wengi,
01:45
and we beganilianza bumpingbumping
down roughmbaya, wildmwitu alleywaysalleyways.
26
93887
4210
na tukaanza kupita kwenye njia zenye
mabonde na kona nyingi
01:50
There were brokenkuvunjwa shacksvibanda all around.
27
98121
2348
Kulikuwa na nyumba zilizo bomoka
kila sehemu.
01:52
I really lostpotea the sensehisia of where I was,
28
100493
2842
Kwakweli sikujua nilipokuwepo,
01:56
and I realizedgundua that anything
could happenkutokea to me now.
29
104136
3682
na nikagundua kua chochote
kinaweza kunitokea sasa.
01:59
I could get muggedNilivamiwa. or druggeddawa
30
107842
2442
Ninaweza ibiwa au leweshwa
02:02
or something worsembaya zaidi.
31
110308
1316
au kibaya zaidi.
02:03
NobodyHakuna would know.
32
111648
1384
Hamna ambaye angejua.
02:06
FinallyHatimaye, he stoppedkusimamishwa and led me into a hutkibanda,
33
114309
3697
Mwishowe, akasimama na akanipeleka
kwenye kibanda,
02:10
whichambayo consistedilihusisha of just one tinyvidogo roomchumba.
34
118030
3324
ambacho kilikuwa na chumba kimoja
tu kidogo.
02:14
And then he leanedimesimama down,
35
122228
2177
Kisha akainama chini,
02:16
and reachedilifikia underchini his bedkitanda.
36
124429
1942
kwenye kitanda chake.
02:19
And something in me frozefanya.
37
127608
2178
Kitu ndani yangu kikaganda.
02:24
I waitedwalisubiri to see what he would pullkuvuta out.
38
132046
2700
Nikawa nasubiri nione atavuta nini.
02:27
And finallyhatimaye he extractedkuondolewa a boxsanduku.
39
135361
3010
Mwishowe akatoa boksi.
02:31
InsideNdani it was everykila singlemoja letterbarua
he had ever receivedalipokea
40
139295
4931
Ndani yake kulikuwa na barua zote
alizowahi kupokea
02:36
from visitorswageni from abroadnje ya nchi,
41
144250
2041
kutoka kwa wageni wa nchi za nje,
02:39
and on some of them he had pastedkubandikwa
42
147001
2102
na baadhi zao alikuwa amebandika
02:41
little black-and-whitenyeusi na nyeupe wornhuvaliwa snapshotssnapshots
43
149127
3391
picha ndogo zisizo na rangi zilizochoka
02:44
of his newmpya foreignkigeni friendsmarafiki.
44
152542
2204
za marafiki zake wapya wa kigeni.
02:48
So when we said goodbyeKwaheri that night,
45
156387
3627
Hivyo tulivyoagana usiku ule,
02:52
I realizedgundua he had alsopia shownimeonyeshwa me
46
160038
2587
nikagundua kua amenionyesha pia
02:54
the secretsiri pointuhakika of travelkusafiri,
47
162649
2310
siri ya kwenye kusafiri,
02:56
whichambayo is to take a plungetuzame,
48
164983
2056
ambayo ni kufanya kitu bila uwoga,
02:59
to go inwardlyndani as well as outwardlyMyahudi
49
167063
2692
kusafiri ndani vile vile na nje,
03:01
to placesmaeneo you would never go otherwisevinginevyo,
50
169779
2515
kwenda sehemu ambazo usingeenda
vinginevyo,
03:04
to venturemradi into uncertaintykutokuwa na uhakika,
51
172990
2508
kufanya usiyoyafahamu,
03:07
ambiguityutata,
52
175928
1173
usichokielewa,
03:09
even fearhofu.
53
177498
1282
hata uwoga.
03:12
At home, it's dangerouslyhatari easyrahisi
54
180298
2439
Nyumbani, ni hatari kirahisi
03:14
to assumefanya we're on topjuu of things.
55
182761
2210
kujiona tupo juu ya mambo.
03:17
Out in the worldulimwengu, you are remindedalikumbushwa
everykila momentwakati that you're not,
56
185810
4012
Nje kwenye dunia, unakumbushwa
kila saa kwamba haupo
03:22
and you can't get to the bottomchini
of things, eitherama.
57
190309
2546
na hauwezi kufikia kwenye
mwisho wa mambo pia.
03:26
EverywhereKila mahali, "People wishunataka to be settledtulia,"
58
194235
2902
Kila sehemu, "Watu wanatamani kutulia,"
03:29
RalphRalph WaldoWaldo EmersonEmerson remindedalikumbushwa us,
59
197161
2279
Ralph Waldo Emerson alitukumbusha,
03:31
"but only insofariundwe
as we are unsettledhugundulika
60
199464
2676
"lakini mara nyingi tunapokuwa
hatujatulia
03:34
is there any hopetumaini for us."
61
202164
1686
ndipo kuna tumaini kwetu."
03:36
At this conferencemkutano,
we'vetumekuwa been luckybahati enoughkutosha
62
204891
2427
Kwenye hili kongamano,
tumebahatika sana
03:39
to hearkusikia some exhilaratingexhilarating
newmpya ideasmawazo and discoveriesuvumbuzi
63
207342
3453
kusikia mawazo mapya ya
kustaajabisha na vumbuzi
03:42
and, really, about all the waysnjia
64
210819
1756
na kweli, kuhusu njia zote
03:44
in whichambayo knowledgeujuzi is beingkuwa
pushedkusukuma excitinglyexcitingly forwardshupeleka mbele.
65
212599
3323
ambazo maarife yanasukumwa
mbele sana.
03:48
But at some pointuhakika, knowledgeujuzi givesanatoa out.
66
216797
3229
Lakini kuna hatua, maarifa yanaondoka.
03:52
And that is the momentwakati
67
220802
1224
Na huo ndio muda
03:54
when your life is trulykweli decidedaliamua:
68
222050
2635
ambao maisha yako yanaamua kweli:
03:57
you fallkuanguka in love;
69
225825
1682
unapata upendo;
04:00
you losekupoteza a friendrafiki;
70
228093
1835
unapoteza rafiki;
04:02
the lightstaa go out.
71
230893
1572
taa zinazimika.
04:05
And it's then, when you're lostpotea
or uneasywenye mashaka or carriedkufanyika out of yourselfwewe mwenyewe,
72
233000
5014
Na ni hapo, ambapo ukiwa umepotea,
au huelewi au umepoteza matumaini,
04:10
that you find out who you are.
73
238038
2162
ndipo unapogundua wewe ni nani.
04:14
I don't believe that ignoranceujinga is blissfuraha.
74
242224
3328
Siamini kama ujinga ni starehe.
04:18
ScienceSayansi has unquestionablyunquestionably madealifanya our livesanaishi
75
246193
3131
Sayansi imefanya maisha yetu
04:21
brightermkali and longertena and healthierafya.
76
249348
2468
yang'ae zaidi, marefu zaidi na yenye
afya zaidi.
04:24
And I am forevermilele gratefulkushukuru to the teacherswalimu
who showedilionyesha me the lawssheria of physicsfizikia
77
252825
4827
Na ninawashukuru sana walimu
walionifundisha kanuni za fizikia,
04:29
and pointedalisema out that
threetatu timesnyakati threetatu makeshufanya ninetisa.
78
257676
3513
na kunielekeza kwamba
tatu mara tatu ni tisa.
04:33
I can counthesabu that out on my fingersvidole
79
261678
2825
Naweza kuhesabu hiyo kwa vidole vyangu.
04:36
any time of night or day.
80
264527
2342
muda wowote wa usiku au mchana.
04:40
But when a mathematicianmtaalamu wa hisabati tellsanasema me
81
268802
1612
Lakini mwanahisabati akiniambia
04:42
that minusfanya threetatu timesnyakati
minusfanya threetatu makeshufanya ninetisa,
82
270438
3523
hio ukitoa mara tatu
ukitoa tatu ni tisa,
04:45
that's a kindaina of logicmantiki
that almostkaribu feelsanahisi like trusttumaini.
83
273985
4869
hiyo ni aina ya mantiki inayoonekana
kama uaminifu.
04:52
The oppositekinyume of knowledgeujuzi, in other wordsmaneno,
isn't always ignoranceujinga.
84
280674
3761
Tofauti ya maarifa, kwa maneno mengine,
sio lazima iwe ujinga.
04:56
It can be wonderajabu.
85
284948
1150
Inaweza ikawa mshangao.
04:58
Or mysterysiri.
86
286482
1150
Au maajabu.
04:59
PossibilityUwezekano.
87
287964
1183
Uwezekano.
05:01
And in my life, I've foundkupatikana
it's the things I don't know
88
289894
3837
Na kwenye maisha yangu, nimegundua
ni vile nisivyovijua
05:05
that have liftedlileta me up
and pushedkusukuma me forwardshupeleka mbele
89
293755
2679
ndivyo ambavyo vimeninyanyua
na kunisukuma mbele zaidi
05:08
much more than the things I do know.
90
296458
2568
kushinda vile ninavyovijua.
05:12
It's alsopia the things I don't know
91
300222
1799
Ni pia vile nisivyovijua
05:14
that have oftenmara nyingi broughtkuletwa me closerkaribu
to everybodykila mtu around me.
92
302045
3394
vilivyonileta karibu na kila mtu
anaenizunguka.
05:18
For eightnane straightsawa NovembersNovembers, recentlyhivi karibuni,
93
306549
2000
Kwa Novemba nane mfululizo, hivi karibuni,
05:20
I traveledalisafiri everykila yearmwaka acrosskote JapanJapani
with the DalaiDalai LamaLama.
94
308573
4428
nimesafiri kila mwaka kupitia
Japan na Dalai Lama.
05:26
And the one thing he said everykila day
95
314001
3100
Na kitu ambacho alikuwa anasema kila siku
05:29
that mostwengi seemedilionekana to give people
reassuranceuhakika and confidencekujiamini
96
317125
3547
ambacho kilionekana kuwapa watu
suluhisho na tumaini
05:32
was, "I don't know."
97
320696
2058
ilikuwa ni "sijui."
05:36
"What's going to happenkutokea to TibetTibet?"
98
324325
1877
"Nini kitatokea Tibet?"
05:39
"When are we ever
going to get worldulimwengu peaceamani?"
99
327226
2980
"Lini tutapata amani duniani?"
05:42
"What's the bestbora way to raisekuinua childrenwatoto?"
100
330765
2061
"Ipi ni njia sahihi ya kulea watoto?"
05:46
"FranklyKusema ukweli," saysanasema this very wisehekima man,
101
334134
3071
"Kiukweli," anasema huyu mtu mwenye
busara,
05:49
"I don't know."
102
337229
1237
"Sijui."
05:52
The NobelTuzo Prize-winningKushinda tuzo-
economistmwanauchumi DanielDanieli KahnemanKahneman
103
340117
3701
Mshindi wa tuzo ya Nobeli,
mwanauchumi Daniel Kahneman
05:55
has spentalitumia more than 60 yearsmiaka now
researchingkutafiti humanbinadamu behaviortabia,
104
343842
4503
ametumia zaidi ya miaka 60 sasa
akichunguza tabia za binadamu,
06:00
and his conclusionhitimisho is
105
348369
2032
na muafaka wake ni
06:02
that we are always much more confidentujasiri
of what we think we know
106
350425
4614
kua huwa tunajiamini sana na kile
tunachodhani tunakijua
06:07
than we should be.
107
355063
1725
kuliko tunavyotakiwa kuwa.
06:08
We have, as he memorablymemorably putsunaweka it,
108
356812
2659
Tunakuwa, kama anavyosema,
06:11
an "unlimitedbila ukomo abilityuwezo
to ignorekupuuza our ignoranceujinga."
109
359495
4204
na "uwezo usio na kikomo wa
kupuuzia ujinga wetu."
06:16
We know -- quotequote, unquoteunquote -- our teamtimu
is going to winkushinda this weekendmwishoni mwa wiki,
110
364849
5087
Tunajua -- nanukuu -- timu yetu
itaenda kushinda wikiendi hii,
06:21
and we only rememberkumbuka that knowledgeujuzi
111
369960
2169
na tunakumbuka tu hayo maarifa
06:24
on the rarenadra occasionshafla when we're right.
112
372153
2349
mara chache tukiwa sahihi.
06:27
MostWengi of the time, we're in the darkgiza.
113
375582
2843
Mara nyingi, tunakuwa gizani.
06:31
And that's where realhalisi intimacyurafiki liesuongo.
114
379319
3475
Na hapo ndipo hisia za kweli zipo.
06:36
Do you know what your lovermpenzi
is going to do tomorrowkesho?
115
384580
2933
Unajua mpenzi wako
atakachokua anafanya kesho?
06:40
Do you want to know?
116
388673
1273
Je unataka kujua?
06:43
The parentswazazi of us all,
as some people call them,
117
391621
2813
Wazazi wetu sote
kama watu wanavyowaita,
06:46
AdamAdamu and EveHawa,
118
394458
1159
Adam na Hawa,
06:47
could never diekufa, so long as they
were eatingkula from the treemti of life.
119
395641
4158
wasigeweza kufa, alimradi waliendelea kula
kutoka kwenye mti wa uzima.
06:52
But the minutedakika they beganilianza nibblingnibbling
120
400631
2198
Ila punde walivyoanza kula
06:54
from the treemti of the knowledgeujuzi
of good and evilmabaya,
121
402853
2582
kutoka kwenye mti wa maarifa,
ya mema na mabaya,
06:57
they fellakaanguka from theirwao innocencehatia.
122
405459
1804
wakaanguka kutoka kwenye weupe wao.
06:59
They grewilikua embarrassedaibu and fretfulfretful,
123
407808
3025
Wakajawa na aibu na uwoga,
07:02
self-consciousnikiwaza.
124
410857
1197
wakajitambua.
07:04
And they learnedkujifunza,
a little too latekuchelewa, perhapslabda,
125
412865
2368
Na wakajifunza,
kwa kuchelewa, pengine,
07:07
that there are certainlyhakika some things
that we need to know,
126
415257
2740
kwamba kwa kweli kuna vitu
tunahitaji kuvijua,
07:10
but there are manywengi, manywengi more
that are better left unexploredunexplored.
127
418021
3947
lakini kuna vingi, vingi zaidi
ambavyo ni bora visichunguzwe.
07:15
Now, when I was a kidmtoto,
128
423999
1925
Sasa, nilivyokuwa mtoto,
07:17
I knewalijua it all, of coursebila shaka.
129
425948
3318
nilijua vyote, bila shaka.
07:21
I had been spendingmatumizi 20 yearsmiaka
in classroomsmadarasa collectingKusanya factsukweli,
130
429290
4212
Nilitumia miaka 20 darasani
nikikusanya mawazo,
07:25
and I was actuallykwa kweli
in the informationhabari businessbiashara,
131
433526
2719
na nilikuwa kweli
kwenye biashara ya habari,
07:28
writingkuandika articlesmakala for Time MagazineGazeti.
132
436269
2150
nikiandika makala ya gazeti la Time.
07:31
And I tookalichukua my first realhalisi tripsafari to JapanJapani
for two-and-a-halfmbili na nusu weekswiki,
133
439129
5176
Nikasafiri kwenda Japan kwa mara ya kwanza
kwa muda wa wiki mbili na nusu,
07:36
and I camealikuja back with a 40-page-Ukurasa essayinsha
134
444329
3280
na nikarudi na insha ya karatasi 40
07:39
explainingkuelezea everykila last detailmaelezo zaidi
about Japan'sYa Japan templesmahekalu,
135
447633
3564
ikielezea kila kitu kuhusu
nyumba za ibada za Japan,
07:43
its fashionsfashions, its baseballbaseball gamesmichezo,
136
451221
2682
mitindo yake, michezo yake ya besiboli,
07:46
its soulnafsi.
137
454490
1159
nafsi yake.
07:49
But underneathchini all that,
138
457276
2330
Lakini chini ya hayo yote,
07:51
something that I couldn'thaikuweza understandkuelewa
139
459630
3177
kitu ambacho sikuweza elewa
07:54
so movedwakiongozwa me for reasonssababu
I couldn'thaikuweza explainkuelezea to you yetbado,
140
462831
4494
kiliniongoza kwa sababu
nisizoweza kuwaelezea bado,
08:00
that I decidedaliamua to go and livekuishi in JapanJapani.
141
468087
3209
mpaka nikaamua kwenda kuishi Japan.
08:04
And now that I've been there for 28 yearsmiaka,
142
472450
2751
Na sasa ambapo nimekuwa kule kwa miaka 28,
08:07
I really couldn'thaikuweza tell you
very much at all
143
475225
2400
siwezi kuwaelezea mengi kabisa
08:09
about my adoptediliyopitishwa home.
144
477649
1664
kuhusu nyumbani kwangu.
08:12
WhichAmbayo is wonderfulajabu,
145
480222
1347
Ambayo ni nzuri,
08:13
because it meansina maana everykila day
I'm makingkufanya some newmpya discoveryugunduzi,
146
481593
2880
sababu inamaanisha kila siku
ninagundua kitu kipya.
08:16
and in the processmchakato,
147
484497
1491
na kwenye hiyo harakati,
08:18
looking around the cornerkona
and seeingkuona the hundredmia thousandelfu things
148
486012
3894
kuangalia pembeni na kuona
mamia na maelfu ya vitu
08:21
I'll never know.
149
489930
1301
nisingeweza kujua.
08:24
KnowledgeMaarifa is a pricelessthamani kuu giftzawadi.
150
492964
2466
Maarifa ni zawadi kubwa sana.
08:28
But the illusionudanganyifu of knowledgeujuzi
can be more dangeroushatari than ignoranceujinga.
151
496452
4555
Lakini maarifa ya uwongo
yanaweza kua hatari kuliko ujinga.
08:33
ThinkingKufikiri that you know your lovermpenzi
152
501895
2633
Kuwaza kwamba unamjua mpenzi wako
08:37
or your enemyadui
153
505115
1157
au adui yako
08:38
can be more treacherouswasaliti
154
506621
1455
inaweza kua ya hila zaidi
08:40
than acknowledgingkutambua you'llutasikia never know them.
155
508100
2448
kuliko kukubali kwamba hautowajua.
08:43
EveryKila morningasubuhi in JapanJapani, as the sunjua
is floodingmafuriko into our little apartmentghorofa,
156
511937
4472
Kila asubuhi Japan, ua likiwaka kwenye
nyumba yetu ndogo,
08:48
I take great painsmaumivu not to consultkushauriana
the weatherhali ya hewa forecastutabiri,
157
516433
4358
inanichukua maumivu mengi
kutokuangalia utabiri wa hali ya hewa,
08:52
because if I do,
158
520815
1638
sababu nikiangalia,
08:54
my mindakili will be overcloudedoverclouded, distractedaliwasihi,
159
522477
3263
akili yangu itajawa na mawazo,
na itasumbuka
08:57
even when the day is brightmkali.
160
525764
2514
hata kama siku ikiwa angavu.
09:02
I've been a full-timewakati wote
writermwandishi now for 34 yearsmiaka.
161
530160
4193
Nimekuwa mwandishi kwa miaka 34 sasa.
09:06
And the one thing that I have learnedkujifunza
162
534816
2880
Na kitu kimoja ambacho nimejifunza
09:09
is that transformationmabadiliko comesinakuja
when I'm not in chargemalipo,
163
537720
3536
ni kua mabadiliko huja pale
nisipoyapangilia,
09:13
when I don't know what's comingkuja nextijayo,
164
541280
2177
pale ambapo sijui nini kinafuata,
09:15
when I can't assumefanya I am biggerkubwa zaidi
than everything around me.
165
543481
4527
pale ambapo siwezi kuwaza kua ni mkubwa
kuliko kila kitu kinachonizunguka.
09:21
And the samesawa is truekweli in love
166
549191
1906
Na hio ni kweli pia kwenye upendo
09:23
or in momentswakati of crisismgogoro.
167
551643
2276
au kwenye wakati wa majanga.
09:26
SuddenlyGhafla, we're back in that trishawtrishaw again
168
554929
3442
Ghafla, tumerudi kwenye ile guta tena
09:30
and we're bumpingbumping off the broadpana,
well-lityananayofikika streetsmitaa;
169
558395
4035
na tunaruka mitaa mikubwa yenye taa;
09:34
and we're remindedalikumbushwa, really,
of the first lawsheria of travelkusafiri
170
562454
3664
na tunakumbushwa, kweli,
kwenye kanuni ya kwanza ya safari
09:38
and, thereforekwa hiyo, of life:
171
566142
1726
na hivyo, ya maisha:
09:41
you're only as strongnguvu
as your readinessutayari to surrenderkujisalimisha.
172
569090
4739
una nguvu tu kama uwezo
wako wa kujisalimisha.
09:47
In the endmwisho, perhapslabda,
173
575512
2009
Mwishowe, pengine,
09:49
beingkuwa humanbinadamu
174
577545
1194
kuwa binadamu
09:51
is much more importantmuhimu
175
579262
1753
ni muhimu zaidi
09:53
than beingkuwa fullykikamilifu in the know.
176
581039
2655
kuliko kuwa kwenye kujua kikamilifu.
09:56
Thank you.
177
584763
1186
Asanteni.
09:57
(ApplauseMakofi)
178
585973
6623
(Makofi)
Translated by Julie Mbeyella
Reviewed by Doris Mangalu

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Pico Iyer - Global author
Pico Iyer has spent more than 30 years tracking movement and stillness -- and the way criss-crossing cultures have changed the world, our imagination and all our relationships.

Why you should listen

In twelve books, covering everything from Revolutionary Cuba to the XIVth Dalai Lama, Islamic mysticism to our lives in airports, Pico Iyer has worked to chronicle the accelerating changes in our outer world, which sometimes make steadiness and rootedness in our inner world more urgent than ever. In his TED Book, The Art of Stillness, he draws upon travels from North Korea to Iran to remind us how to remain focused and sane in an age of frenzied distraction. As he writes in the book, "Almost everybody I know has this sense of overdosing on information and getting dizzy living at post-human speeds ... All of us instinctively feel that something inside us is crying out for more spaciousness and stillness to offset the exhilarations of this movement and the fun and diversion of the modern world."

More profile about the speaker
Pico Iyer | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee