ABOUT THE SPEAKER
Martin Rees - Astrophysicist
Lord Martin Rees, one of the world's most eminent astronomers, is an emeritus professor of cosmology and astrophysics at the University of Cambridge and the UK's Astronomer Royal. He is one of our key thinkers on the future of humanity in the cosmos.

Why you should listen

Lord Martin Rees has issued a clarion call for humanity. His 2004 book, ominously titled Our Final Hour, catalogues the threats facing the human race in a 21st century dominated by unprecedented and accelerating scientific change. He calls on scientists and nonscientists alike to take steps that will ensure our survival as a species.

One of the world's leading astronomers, Rees is an emeritus professor of cosmology and astrophysics at Cambridge, and UK Astronomer Royal. Author of more than 500 research papers on cosmological topics ranging from black holes to quantum physics to the Big Bang, Rees has received countless awards for his scientific contributions. But equally significant has been his devotion to explaining the complexities of science for a general audience, in books like Before the Beginning and Our Cosmic Habitat.

More profile about the speaker
Martin Rees | Speaker | TED.com
TED2014

Martin Rees: Can we prevent the end of the world?

Sir Martin Rees: Je tunaweza kuzuia mwisho wa Dunia?

Filmed:
1,283,785 views

Baada ya mwisho wa dunia, binadamu hawapo, inaonekana kama kitu cha sayansi ya kubuniwa ya TV na filamu. Lakini katika maelezo haya mafupi na ya kushangaza, Lord Martin Rees anatuuliza tuwaze maafa yanayoweza kutukumba-- ya asili na ya kutengenezwa yanayoweza kufanya binadamu wote watoweke. Kama binadamu anayefuatilia vizuri yanayoendelea, anauliza: Ni kitu gani kibaya zaidi kinaweza kutokea?
- Astrophysicist
Lord Martin Rees, one of the world's most eminent astronomers, is an emeritus professor of cosmology and astrophysics at the University of Cambridge and the UK's Astronomer Royal. He is one of our key thinkers on the future of humanity in the cosmos. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
TenKumi yearsmiaka agoiliyopita, I wrotealiandika a bookkitabu whichambayo I entitledhaki
0
485
2222
Miaka kumi iliyopita, niliandika kitabu
nilichokipa jina
00:14
"Our FinalMwisho CenturyKarne?" QuestionSwali markalama.
1
2707
3093
"Karne yetu ya mwisho?" Alama ya kuuliza.
00:17
My publisherswahubiri cutkata out the questionswali markalama. (LaughterKicheko)
2
5800
3577
Wachapishaji wa kitabu hiki waliondoa
alama ya kuuliza. (Vicheko)
00:21
The AmericanMarekani publisherswahubiri changediliyopita our titlecheo
3
9377
1882
Wachapishaji wa Marekani
walibadili jina
00:23
to "Our FinalMwisho HourSaa."
4
11259
3909
na kuwa "Lisaa Letu la Mwisho".
00:27
AmericansWamarekani like instantpapo gratificationfuraha and the reversereverse.
5
15168
3492
Wamarekani hupenda kuridhishwa haraka na
kinyume.
00:30
(LaughterKicheko)
6
18660
1708
(Vicheko)
00:32
And my thememandhari was this:
7
20368
1750
Na ujumbe wangu ulikuwa huu:
00:34
Our EarthDunia has existedulipo for 45 millionmilioni centurieskarne,
8
22118
4166
Dunia yetu imekuwepo kwa karne milioni 45,
00:38
but this one is specialMaalum
9
26284
2013
lakini hii hapa ni maalumu ---
00:40
it's the first where one speciesaina, oursyetu,
10
28297
3016
ni ya kwanza ambayo jamii moja, yetu,
00:43
has the planet'swa sayari futurebaadaye in its handsmikono.
11
31313
2802
ina mustakabali wa sayari mikononi mwake.
00:46
Over nearlykaribu all of Earth'sYa dunia historyhistoria,
12
34115
1990
Zaidi karibia ya historia yote ya Dunia,
00:48
threatsvitisho vya have come from natureasili
13
36105
1936
vitisho vimetoka kwenye mazingira,
00:50
diseaseugonjwa, earthquakesmitetemeko ya ardhi, asteroidsAsteroids and so forthnje
14
38041
3496
magonjwa, mitetemeko ya ardhi na
mengine mengi --
00:53
but from now on, the worstmbaya zaidi dangershatari come from us.
15
41537
5672
lakini kuanzia sasa, hatari kubwa
inatoka kwetu.
00:59
And it's now not just the nuclearnyuklia threattishio;
16
47209
3271
Na sasa sio matisho tu ya nuklia;
01:02
in our interconnectedlimeunganishwa worldulimwengu,
17
50480
1751
kwenye dunia yetu iliyoungana,
01:04
networkmtandao breakdownsmatatizo can cascadeCascade globallyduniani kote;
18
52231
3163
kuvunjika kwa mitandao kunaweza
sambaa duniani;
01:07
airhewa travelkusafiri can spreadkuenea pandemicspandemics
worldwideduniani kote withinndani dayssiku;
19
55394
3956
usafiri wa anga unaweza kusambaza magonjwa
dunia nzima ndani ya siku;
01:11
and socialkijamii mediavyombo vya habari can spreadkuenea panichofu and rumoruvumi
20
59350
3327
na mitandao ya kijamii inaweza kusambaza
vitisho na uzushi
01:14
literallyhalisi at the speedkasi of lightmwanga.
21
62677
3217
kihalisi kama kasi ya mwanga.
01:17
We frettusiogope too much about minormdogo hazardshatari
22
65894
3225
Tunagombana sana kuhusu matatizo madogo --
01:21
improbablekutokutabirika airhewa crashesshambulio, carcinogenscarcinogens in foodchakula,
23
69119
4031
uwezekano wa ndege kudondoka,
kemikali kwenye chakula,
01:25
lowchini radiationmionzi dosesdozi, and so forthnje
24
73150
2226
dozi ndogo za mionzi, na kadhalika --
01:27
but we and our politicalkisiasa mastersmabwana
25
75376
2825
lakini sisi na wakuu wetu wa siasa
01:30
are in denialkukataa about catastrophicjanga scenariosmatukio.
26
78201
4203
tupo kwenye kukana kuhusu hali za majanga.
01:34
The worstmbaya zaidi have thankfullykwa shukrani not yetbado happenedkilichotokea.
27
82404
3038
Bahati nzuri mabaya hayajatokea bado.
01:37
IndeedKweli, they probablylabda won'thaitakuwa.
28
85442
2196
Kweli, pengine hayatatokea.
01:39
But if an eventtukio is potentiallyuwezekano devastatinguharibifu,
29
87638
3185
Lakini kama tukio lina maafa makubwa,
01:42
it's worththamani payingkulipa a substantialkikubwa premiumpremium
30
90823
2868
linastahili kupewa faida kubwa
01:45
to safeguardkulinda againstdhidi it, even if it's unlikelyuwezekano,
31
93691
3836
kulinda dhidi yake, hata kama
inaweza isitokee,
01:49
just as we take out firemoto insurancebima on our housenyumba.
32
97527
4513
kama tunavyotoa bima ya moto kwenye
nyumba yetu.
01:54
And as sciencesayansi offersinatoa greaterzaidi powernguvu and promiseahadi,
33
102040
4997
Kama sayansi inavyoleta nguvu kubwa
na ahadi,
01:59
the downsideupande wa chini getshupata scarierscarier too.
34
107037
3866
upande wa chini unazidi kuogopesha pia.
02:02
We get ever more vulnerablehatari.
35
110903
2239
Tunazidi kuwa dhaifu na waoga,
02:05
WithinNdani ya a fewwachache decadesmiongo,
36
113142
1838
Ndani ya miongo michache,
02:06
millionsmamilioni will have the capabilityuwezo
37
114980
2230
mamilioni watakuwa na uwezo,
02:09
to misusematumizi mabaya rapidlyharaka advancingkuendeleza biotechkibayoteki,
38
117210
3121
wa kutumia vibaya bioteknolojia inayokua,
02:12
just as they misusematumizi mabaya cybertechcybertech todayleo.
39
120331
3553
Kama wanavyotumia teknolojia vibaya leo.
02:15
FreemanFreeman DysonDyson, in a TEDTED Talk,
40
123884
3199
Freeman Dyson, kwenye mazungumzo ya TED,
02:19
foresawalitabiri that childrenwatoto will designkubuni
and createkuunda newmpya organismsviumbe
41
127083
3596
aliona kuwa huko mbeleni watoto
wataweza kutengeneza viumbe hai
02:22
just as routinelymara kwa mara as his generationkizazi
playedalicheza with chemistrykemia setsseti.
42
130679
4511
kama ambavyo kizazi chake
kilivyocheza na seti za kemia.
02:27
Well, this mayinaweza be on the sciencesayansi fictionfiction fringepindo,
43
135190
2528
Hii inaweza kuwa sayansi ya kubuniwa
zaidi,
02:29
but were even partsehemu of his scenariohali to come about,
44
137718
3183
lakini tuna amini itatokea hata kwa kiasi,
02:32
our ecologymazingira and even our speciesaina
45
140901
2737
mazingira yetu na hata viumbe vyetu
02:35
would surelyhakika not survivekuishi long unscathedbilia.
46
143638
3989
hawataweza kuishi muda mrefu
bila kubadilika,
02:39
For instancemfano, there are some eco-extremistseco na wenye msimamo mkali
47
147627
3863
Mfano, kuna wanamazingira wengi
wa msimamo mkali,
02:43
who think that it would be better for the planetsayari,
48
151490
2509
wanaomini kua itafaa kwa sayari yetu,
02:45
for GaiaGaia, if there were farmbali fewerwachache humansbinadamu.
49
153999
3403
kwa Gaia, kama kutakuwa na binadamu
wachache.
02:49
What happenshutokea when suchvile people have masteredmastered
50
157402
2717
Nini kitatokea kama watu hawa wakifuzu
02:52
syntheticsynthetic biologybiolojia techniquesmbinu
51
160119
2137
ufundi wa kibiolojia za sanisia
02:54
that will be widespreadkuenea by 2050?
52
162256
2852
ambao utasambaa ifikapo mwaka 2050?
02:57
And by then, other sciencesayansi fictionfiction nightmaresmaajabu
53
165108
3042
Kipindi hicho, matisho mengine ya sayansi
ya kubuniwa
03:00
mayinaweza transitionmpito to realityukweli:
54
168150
1710
yanaweza kugeuka kweli:
03:01
dumbmjinga robotsrobots going roguerogue,
55
169860
2070
roboti za kijinga kujiongoza zenyewe,
03:03
or a networkmtandao that developshuendelea a mindakili of its ownmwenyewe
56
171930
2417
au mtandao unaotumia akili yake yenyewe
03:06
threatensinatishia us all.
57
174347
2589
unatutisha sote.
03:08
Well, can we guardkulinda againstdhidi suchvile riskshatari by regulationTaratibu?
58
176936
3270
Je, tutaweza kujikinga na hizi
hatari kwa sheria?
03:12
We mustlazima surelyhakika try, but these enterprisesmakampuni
59
180206
2407
Itabidi tujaribu, lakini hizi biashara
03:14
are so competitiveushindani, so globalizediliyobuniwa,
60
182613
3529
zina ushindani mkubwa, zipo dunia nzima,
03:18
and so driveninaendeshwa by commercialbiashara pressureshinikizo,
61
186142
1980
na zinasukumwa na mbinu za biashara,
03:20
that anything that can be donekufanyika
will be donekufanyika somewheremahali fulani,
62
188122
3285
kwa kila kinachoweza kufanyika,
kitafanyika mahali,
03:23
whateverVyovyote the regulationskanuni say.
63
191407
2036
bila kujali sheria zinasema nini.
03:25
It's like the drugdawa lawssheria — we try to regulatekudhibiti, but can't.
64
193443
3487
Ni kama sheria za madawa -- tunajaribu
kuzipunguza, lakini hatuwezi.
03:28
And the globalkimataifa villagekijiji will have its villagekijiji idiotsidiots,
65
196930
3044
Na kijiji cha dunia kitakua na
wajinga wa kijiji,
03:31
and they'llwatakuja have a globalkimataifa rangembalimbali.
66
199974
3496
nao watakua na masafa ya dunia.
03:35
So as I said in my bookkitabu,
67
203470
2291
Kama nilivyosema kwenye kitabu changu,
03:37
we'llvizuri have a bumpynyenzo ridesafari throughkupitia this centurykarne.
68
205761
2889
tutakuwa na mwendo mtata kwenye hii karne.
03:40
There mayinaweza be setbacksvipingamizi to our societyjamii
69
208650
3490
Kunaweza kuwa na vikwazo kwenye
jamii yetu --
03:44
indeedkwa hakika, a 50 percentasilimia chancenafasi of a severekali setbackkizuizi.
70
212140
4115
kweli, asilimia 50 ya vikwazo zikali.
03:48
But are there conceivablekufikiriwa eventsmatukio
71
216255
2914
Lakini kuna matukio ya maana
03:51
that could be even worsembaya zaidi,
72
219169
2161
yanayoweza kuwa mabaya zaidi,
03:53
eventsmatukio that could snuffchupa out all life?
73
221330
3430
matukio yanayoweza kutoa maisha yote?
03:56
When a newmpya particlechembe acceleratorKichapuzi camealikuja onlineonline,
74
224760
2926
Pale punje mpya chochezi iikija mtandaoni,
03:59
some people anxiouslyshauku askedaliuliza,
75
227686
1789
badhi ya watu walijiuliza kwa bidii,
04:01
could it destroykuharibu the EarthDunia or, even worsembaya zaidi,
76
229475
2250
vinaweza kuharibu dunia, au mbaya zaidi,
04:03
ripmpasuko apartmbali the fabrickitambaa of spacenafasi?
77
231725
2659
kuharibu kabisa mfumo wa anga?
04:06
Well luckilykwa bahati, reassuranceuhakika could be offeredinayotolewa.
78
234384
3543
Bahati nzuri, tuliweza kujihakikishia.
04:09
I and otherswengine pointedalisema out that natureasili
79
237927
2044
Mimi na wenzangu tulisema kua asili
04:11
has donekufanyika the samesawa experimentsmajaribio
80
239971
1933
imefanya majaribio kama hayo
04:13
zillionszillions of timesnyakati alreadytayari,
81
241904
2186
mara zilioni tayari,
04:16
viakupitia cosmiccosmic rayray collisionsmigongano.
82
244090
1765
kutumia kugongana kwa miali ya anga.
04:17
But scientistswanasayansi should surelyhakika be precautionarytahadhari
83
245855
3054
Lakini wanasayansi wanatakiwa wawe makini
04:20
about experimentsmajaribio that generatekuzalisha conditionshali
84
248909
2580
kuhusu majaribio yanayotengeneza hali
04:23
withoutbila precedentmfano in the naturalasili worldulimwengu.
85
251489
2483
bila uhakiki kwenye dunia ya halisi.
04:25
BiologistsBiologists should avoidkuepuka releasekutolewa
of potentiallyuwezekano devastatinguharibifu
86
253972
3423
Wanabiolojia wanatakiwa kuepuka kuachia
uharibifu muhimu wa
04:29
geneticallykizazi modifiedkurekebishwa pathogensvimelea.
87
257395
2715
vimelea vilivyoundwa kijenetiki.
04:32
And by the way, our specialMaalum aversionkuchukiwa kwake na mtindo
88
260110
3517
Na pia, karaha yetu ya kipekee
04:35
to the riskhatari of trulykweli existentialexistential disastersmajanga
89
263627
3461
kwenye hatari ya mafaa makubwa
04:39
dependsinategemea on a philosophicalfilosofi and ethicalmaadili questionswali,
90
267088
3275
inatokana na swali hili kubwa la msingi,
04:42
and it's this:
91
270363
1670
nalo ni;
04:44
ConsiderFikiria two scenariosmatukio.
92
272033
2308
Zingatia hali mbili.
04:46
ScenarioKindhari A wipesanamfuta out 90 percentasilimia of humanityubinadamu.
93
274341
5236
Hali A inaua asilimia 90 ya binadamu.
04:51
ScenarioKindhari B wipesanamfuta out 100 percentasilimia.
94
279577
3896
Hali B inaua asilimia 100.
04:55
How much worsembaya zaidi is B than A?
95
283473
2918
Je B ni mbaya kiasi gani kuliko A?
04:58
Some would say 10 percentasilimia worsembaya zaidi.
96
286391
3023
Baadhi watasema ni asilimia 10 mbaya
zaidi.
05:01
The bodymwili counthesabu is 10 percentasilimia higherjuu.
97
289414
3150
Idadi ni asilimia 10 zaidi.
05:04
But I claimkudai that B is incomparablyyasiyoweza worsembaya zaidi.
98
292564
2906
Lakini nasema kua B ni mbaya zaidi.
05:07
As an astronomerastronomer, I can't believe
99
295470
2629
Kama mwanafalaki, siamini
05:10
that humansbinadamu are the endmwisho of the storyhadithi.
100
298099
2467
binadamu ni mwisho wa hadithi.
05:12
It is fivetano billionbilioni yearsmiaka before the sunjua flaresvitanui up,
101
300566
3323
Ni miaka bilioni tano mpaka jua liripuke,
05:15
and the universeulimwengu mayinaweza go on forevermilele,
102
303889
2711
na ulimwengu ungeendelea kuwepo,
05:18
so post-humanbaada ya mtu evolutionmageuzi,
103
306600
2292
kwahiyo mageuzi ya binadamu wa baadae,
05:20
here on EarthDunia and farmbali beyondzaidi,
104
308892
2190
hapa duniani na kwingineko mbali,
05:23
could be as prolongedmuda mrefu as the DarwinianDarwinian processmchakato
105
311082
2714
inaweza kuwa ndefu kama harakati
ya Darwinian
05:25
that's led to us, and even more wonderfulajabu.
106
313796
3281
iliyokuja kwetu, na nzuri zaidi.
05:29
And indeedkwa hakika, futurebaadaye evolutionmageuzi
will happenkutokea much fasterharaka,
107
317077
2664
Na kweli, mageuzi ya mbeleni
yatatokea kwa haraka zaidi,
05:31
on a technologicalteknolojia timescaletimescale,
108
319741
2199
kwenye kipimo cha mda cha teknolojia,
05:33
not a naturalasili selectionuteuzi timescaletimescale.
109
321940
2299
sio wa uchaguzi wa asili.
05:36
So we surelyhakika, in viewmtazamo of those immensekubwa stakesstakes,
110
324239
4195
Kwahiyo tupo katika mwanga wa
hicho kipimo,
05:40
shouldn'thaipaswi acceptkukubali even a one in a billionbilioni riskhatari
111
328434
3386
kutokupokea hata hatari moja kati
ya billioni
05:43
that humanbinadamu extinctionkupoteza would forecloseonyesha
112
331820
2229
ambayo kupotea kwa binadamu kutasababisha
05:46
this immensekubwa potentialuwezo.
113
334049
2310
huu uwezekano mkubwa.
05:48
Some scenariosmatukio that have been envisagedzilizotajwa
114
336359
1772
Baadhi ya hali ambazo zilionyesha
05:50
mayinaweza indeedkwa hakika be sciencesayansi fictionfiction,
115
338131
1819
kua kweli zingekua sayansi ya
kubuniwa,
05:51
but otherswengine mayinaweza be disquietinglydisquietingly realhalisi.
116
339950
3386
lakini nyingine zinaweza kuwa ni za kweli.
05:55
It's an importantmuhimu maximMaxim that the unfamiliaryasiyo ya kawaida
117
343336
2874
Ni msemo muhimu kua vile visivyozoeleka
05:58
is not the samesawa as the improbablekutokutabirika,
118
346210
2697
sio sawa na vinavyoshindikana,
06:00
and in factukweli, that's why we at CambridgeCambridge UniversityChuo Kikuu cha
119
348907
2398
na ndio maana, sisi katika Chuo cha
Cambridge,
06:03
are settingkuweka up a centerkituo to studykujifunza how to mitigatekupunguza
120
351305
3375
tunaanda kitivo cha kujifunza jinsi ya
kuepuka
06:06
these existentialexistential riskshatari.
121
354680
2032
hizi hatari kubwa.
06:08
It seemsinaonekana it's worthwhilethamani just for a fewwachache people
122
356712
3063
Inaonekana ni ya maana kwa watu wachache
06:11
to think about these potentialuwezo disastersmajanga.
123
359775
2316
kuwaza kuhusu haya mafaa yanayoweza
kutokea.
06:14
And we need all the help we can get from otherswengine,
124
362091
3013
Na tunahitaji msaada wote tutakaopata
kwa wengine,
06:17
because we are stewardsmawakili of a preciousthamani
125
365104
2479
sababu sote ni wahudumu wa,
06:19
palerangi bluebluu dotdot in a vastkubwa cosmoscosmos,
126
367583
3483
kidoti cha bluu kwenye ulimwengu huu
mkubwa,
06:23
a planetsayari with 50 millionmilioni centurieskarne aheadmbele of it.
127
371066
3378
sayari yenye karne milioni 50 mbele yake.
06:26
And so let's not jeopardizekuhatarisha that futurebaadaye.
128
374444
2556
Kwa hiyo tusiharibu mustakabali wetu.
06:29
And I'd like to finishkumaliza with a quotequote
129
377000
1795
Na ningependa kumalizia na nukuu
06:30
from a great scientistmwanasayansi calledaitwaye PeterPetro MedawarMedawar.
130
378795
3501
kutoka kwa mwanasayansi mashuhuri aitwae
Peter Medawar.
06:34
I quotequote, "The bellskengele that tolltoll for mankindwanadamu
131
382296
3273
nanukuu "Kengengele zinazolia kwa binadamu
06:37
are like the bellskengele of AlpineAlpine cattleng'ombe.
132
385569
2644
ni kama zile za mifugo ya Alpine.
06:40
They are attachedimefungwa to our ownmwenyewe necksshingo,
133
388213
2286
Zimefungwa shingoni mwetu wenyewe,
06:42
and it mustlazima be our faultKosa if they do not make
134
390499
2675
na ni juu yetu kama hazitatengeneza
06:45
a tunefultuneful and melodiousmelodious soundsauti."
135
393174
2131
mfuatano mzuri wa sauti."
06:47
Thank you very much.
136
395305
2267
Asanteni sana.
06:49
(ApplauseMakofi)
137
397572
2113
(Makofi)
Translated by Julie Mbeyella
Reviewed by Doris Mangalu

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Martin Rees - Astrophysicist
Lord Martin Rees, one of the world's most eminent astronomers, is an emeritus professor of cosmology and astrophysics at the University of Cambridge and the UK's Astronomer Royal. He is one of our key thinkers on the future of humanity in the cosmos.

Why you should listen

Lord Martin Rees has issued a clarion call for humanity. His 2004 book, ominously titled Our Final Hour, catalogues the threats facing the human race in a 21st century dominated by unprecedented and accelerating scientific change. He calls on scientists and nonscientists alike to take steps that will ensure our survival as a species.

One of the world's leading astronomers, Rees is an emeritus professor of cosmology and astrophysics at Cambridge, and UK Astronomer Royal. Author of more than 500 research papers on cosmological topics ranging from black holes to quantum physics to the Big Bang, Rees has received countless awards for his scientific contributions. But equally significant has been his devotion to explaining the complexities of science for a general audience, in books like Before the Beginning and Our Cosmic Habitat.

More profile about the speaker
Martin Rees | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee