ABOUT THE SPEAKER
Niti Bhan - Human-centered strategist
Through exploratory and human-centered research, Niti Bhan discovers and makes tangible pragmatic opportunities for sustainable and inclusive value creation.

Why you should listen

Niti Bhan is a global nomad whose life mission is to bridge the gap of understanding between cultures, contexts and continents. She brings a multicultural perspective to innovation for the informal economies of the emerging markets of the developing world. She is the founder and principal of Emerging Futures Lab, a multidisciplinary team of human-centered researchers, designers, engineers and economists who collaborate on design and innovation strategies for social impact and sustainable profit in the emerging consumer markets of sub-Saharan Africa.

Growing up as a third culture kid in the ASEAN of the 1970s exposed Bhan to the British and American systems of primary and secondary education whilst her university education in Engineering (Bangalore University), Design (National Institute of Design, India & the Institute of Design, IIT Chicago), and Business (majoring in Strategy at the Katz Graduate School of Business, University of Pittsburgh) gave her the experience of living and working across cultures and continents. Emerging Futures Lab came to life in San Francisco in 2005, operated between Singapore, the Netherlands, and East Africa from 2007 through 2013, and is now an established SME in Finland.

More profile about the speaker
Niti Bhan | Speaker | TED.com
TEDGlobal 2017

Niti Bhan: The hidden opportunities of the informal economy

Niti Bhan: Fursa zilizofichwa katika sekta isiyo rasmi

Filmed:
1,222,576 views

Niti Bhan anatafiti mikakati ya kibiashara kwa soko lisilo rasmi la Afrika: maduka madogo, wabunifu walio na ujuzi na wafanya kazi ambao ni injini isiyoonekana ambayo inafanya uchumi wa bara kusonga mbele. Inashawishi kuwaza kwamba wafanya kazi hawa ni wakwepa kodi, wahalifu -- lakini anaelezea suala hili kwamba kipande hiki ambacho kinakuza uchumi ni halali kinafaa kuwekeza. Kama tutafanya, anasema, tutatengeneza maelfu ya ajira. "Hizi ni mbegu zenye rutuba za biashara na viwanda," Bhan anasema. "Je, tunaweza kuanza kwa kutambua ujuzi huu na kazi?"
- Human-centered strategist
Through exploratory and human-centered research, Niti Bhan discovers and makes tangible pragmatic opportunities for sustainable and inclusive value creation. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
The informalisiyo rasmi marketsmasoko of AfricaAfrika
are stereotypicallystereotypically seenkuonekana
0
901
3931
Masoko ya Afrika yasiyo rasmi huwekewa kasumba kwa kuonekana
00:16
as chaoticmachafuko and lackadaisicallackadaisical.
1
4856
1847
vile yana kasheshe na goigoi.
00:19
The downsideupande wa chini of hearingkusikia
the wordneno "informalisiyo rasmi"
2
7234
2653
Ubaya wa kusikia neno "yasiyo rasmi"
00:21
is this automaticmoja kwa moja grandgrand
associationushirika we have,
3
9911
2669
hutokana na jumuiya inayojiendesha ya misaada tuliyonayo,
00:24
whichambayo is very negativehasi,
4
12604
1626
ambayo ina mitazamo hasi sana,
00:26
and it's had significantmuhimu consequencesmatokeo
and economickiuchumi losseshasara,
5
14254
4509
na ilikuwa na madhara makubwa katika kuanguka kwa uchumi,
00:30
easilykwa urahisi addingkuongeza -- or subtractingkutoa --
40 to 60 percentasilimia of the profitfaida marginPambizo
6
18787
5486
kuongeza kirahisi -- au kupunguza -- asilimia 40 hadi 60 ya ukomo wa faida
00:36
for the informalisiyo rasmi marketsmasoko alonepeke yake.
7
24297
2836
kwa masoko yasiyo rasmi pekee.
00:39
As partsehemu of a taskkazi of mappingramani
the informalisiyo rasmi tradebiashara ecosystemmazingira,
8
27157
4302
Ikiwa moja ya jukumu la kuweka ramani ya mzunguko wa biashara zisizo rasmi,
00:43
we'vetumekuwa donekufanyika an extensivekina literaturefasihi reviewtathmini
9
31483
2533
tumetengeneza machapisho kwa kina
00:46
of all the reportsripoti and researchutafiti
on cross-bordermpakani tradebiashara in EastMashariki AfricaAfrika,
10
34040
4951
ya ripoti zote na tafiti kwenye biashara za mipakani katika ukanda wa Afrika Mashariki,
00:51
going back 20 yearsmiaka.
11
39015
1811
tukirudi nyuma hadi miaka 20.
00:52
This was to preparekuandaa us for fieldworkkazi za nyanjani
to understandkuelewa what was the problemtatizo,
12
40850
4334
Hii ilikuwa ni kwa ajili ya kutuandaa kwa ajili ya kazi ya kwenda kutathmini tatizo ni nini,
00:57
what was holdingkushikilia back informalisiyo rasmi tradebiashara
in the informalisiyo rasmi sectorsekta.
13
45208
4162
kipi kilichokuwa kinarudisha nyuma biashara isiyo rasmi katika sekta isiyo rasmi.
01:01
What we discoveredaligundua
over the last 20 yearsmiaka was,
14
49990
3504
Tulichogundua katika miaka 20 iliyopita ni kwamba,
01:05
nobodyhakuna had distinguishedwanajulikana
betweenkati illicitharamu --
15
53518
3753
hakuna aliyeweza kutofautisha kati ya magendo --
01:09
whichambayo is like smugglingbiashara ya magendo or contrabandcontraband
in the informalisiyo rasmi sectorsekta --
16
57295
4445
ambayo ni sawa na upenyeshaji mali isiyo halali au iliyopigwa marufuku katika sekta isiyo rasmi --
01:13
from the legalkisheria but unrecordedunrecorded,
17
61764
2340
na mali halali ambayo haikuwekwa katika kumbukumbu
01:16
suchvile as tomatoesnyanya, orangesmachungwa, fruitmatunda.
18
64128
3005
kama nyanya, machungwa, matunda.
01:19
This criminalizationcriminalization --
19
67697
2320
Uhalifu huu --
01:22
what in SwahiliKiswahili refersinahusu to as "biasharabiashara,"
whichambayo is the tradebiashara or the commercebiashara,
20
70041
5198
ambao kwa kiswahili unafahamika kama "biashara," ambao ni biashara,
01:27
versusdhidi "magendomagendo," whichambayo is
the smugglingbiashara ya magendo or contrabandcontraband --
21
75263
3434
ukilinganisha na "magendo", ambayo upenyeshaji bidhaa usio halali --
01:30
this criminalizationcriminalization
of the informalisiyo rasmi sectorsekta,
22
78721
3521
uhalifu katika sekta isiyo rasmi,
01:34
in EnglishKiingereza, by not distinguishingkutofautisha
betweenkati these aspectsmambo,
23
82266
3869
kwa Kiingereza, bila kutofautisha nyanja hizi,
01:38
easilykwa urahisi can costgharama eachkila mmoja AfricanAfrika economyuchumi
betweenkati 60 to 80 percentasilimia additionkuongeza
24
86159
5593
kwa urahisi inaweza kugharimu kila uchumi wa Afrika kati ya asilimia 60 hadi 80 ukiongezea
01:43
on the annualkila mwaka GDPPATO LA TAIFA growthukuaji ratekiwango,
25
91776
2768
katika ukuaji wa pato la taifa kwa mwaka,
01:46
because we are not recognizingkutambua the engineinjini
26
94568
3734
kwa sababu hatujambua injini
01:50
of what keepshuendelea the economiesuchumi runningKimbia.
27
98326
2574
inayofanya uchumi kuendelea.
01:52
The informalisiyo rasmi sectorsekta is growingkukua jobskazi
at fournne timesnyakati the ratekiwango
28
100924
3477
Sekta isiyo rasmi inaongeza ajira mara nne katika kiasi
01:56
of the traditionaljadi formalrasmi economyuchumi,
29
104425
1942
cha uchumi ulio rasmi,
01:58
or "modernkisasa" economyuchumi, as manywengi call it.
30
106391
2557
au uchumi wa "kisasa", kama wengi wauitavyo.
02:00
It offersinatoa employmentajira and incomemapato
generationkizazi opportunitiesfursa
31
108972
3466
Hutoa nafasi za ajira na kuweza kujipatia kipato
02:04
to the mostwengi "unskilledwasiokuwa na ujuzi"
in conventionalkawaida disciplinesfani.
32
112462
3697
kwa wale wengi ambao hawana "ujuzi wa darasani" katika nyanja mbalimbali za taaluma.
02:08
But can you make a frenchKifaransa frykaanga
machinemashine out of an oldzamani cargari?
33
116183
3636
Lakini, je unaweza kutengeneza mashine ya kukaanga chipsi kutokana na gari bovu?
02:12
So, this, ladieswanawake and gentlemenmabwana,
34
120403
3461
Kwa hiyo, hili, mabibi na mabwana,
02:15
is what so desperatelykwa makusudi needsmahitaji
to be recognizedkutambuliwa.
35
123888
3216
ni jambo ambalo linatakiwa kutambuliwa kwa shauku kubwa.
02:19
As long as the currentsasa assumptionsmawazo
holdkushikilia that this is criminalwahalifu,
36
127128
4258
Ambapo mtazamo wa sasa uliopo kuhusu sekta hii ni uhalifu,
02:23
this is shadowKivuli,
37
131410
1227
hiki ni kivuli,
02:24
this is illegalkinyume cha sheria,
38
132661
1618
hii si halali,
02:26
there will be no attemptjaribio at integratingkuunganisha
the informalisiyo rasmi economickiuchumi ecosystemmazingira
39
134303
4460
hakutakiwa na madhumuni ya kuunganisha mzunguko wa uchumi usio rasmi
02:30
with the formalrasmi or even the globalkimataifa one.
40
138787
2948
na ule ulio rasmi au hata ule wa kiulimwengu.
02:34
I'm going to tell you a storyhadithi of TeresiaTeresia,
41
142968
2804
Nitawaeleza hadithi inayomuhusu Teresia,
02:37
a tradermfanyabiashara who overturnedkupindua
all our assumptionsmawazo,
42
145796
4076
mfanyabiashara ambaye anapindua mitazamo yetu yote,
02:41
madealifanya us questionswali all the stereotypesubaguzi
that we'dtunatarajia gonewamekwenda in on,
43
149896
3350
anatufanya kuhoji kasumba zetu zote tulizokuwa nazo,
02:45
basedmsingi on 20 yearsmiaka of literaturefasihi reviewtathmini.
44
153270
2906
ukihusisha na ripoti ya miaka 20 nyuma.
02:49
TeresiaTeresia sellshuuza clothesnguo underchini a treemti
in a townmji calledaitwaye MalabaMalaba,
45
157675
5489
Teresia anauza nguo chini ya mti katika mji unaoitwa Malaba,
02:55
on the bordermpaka of UgandaUganda and KenyaKenya.
46
163188
2096
katika mpaka wa Uganda na Kenya.
02:57
You think it's very simplerahisi, don't you?
47
165876
2169
Unadhani ni rahisi sana, au sivyo?
03:00
We'llSisi tutaweza go hangpanga up newmpya clothesnguo
from the branchesmatawi,
48
168810
2657
Tutakwenda ning'iniza nguo mpya kwenye matawi,
03:03
put out the tarpTARP, settlekutatua down,
wait for customerswateja,
49
171491
2932
tutatandika turubai, kisha kuketi chini, kusubiri wateja,
03:06
and there we have it.
50
174447
1345
na hivyo ndivyo inakuwa.
03:07
She was everything we were expectingwanatarajia
accordingkulingana to the literaturefasihi,
51
175816
3385
Alikuwa ni mtu ambaye tuliona anarandana na yale yaliyomo katika ripoti,
03:11
to the researchutafiti,
52
179225
1268
katika tafiti,
03:12
right down to she was a singlemoja
mommama driveninaendeshwa to tradebiashara,
53
180517
3777
alikuwa ni mama mjane anayefanya biashara,
03:16
supportingkusaidia her kidswatoto.
54
184318
1488
akilea watoto wake.
03:19
So what overturnedkupindua our assumptionsmawazo?
55
187092
2610
Ni kipi kilibadili udhanifu wetu?
03:21
What surprisedkushangaa us?
56
189726
1519
Kipi kilitushangaza?
03:23
First, TeresiaTeresia paidkulipwa the countykata
governmentserikali marketsoko feesada
57
191269
3722
Kwanza, Teresia analipia kodi ya serikali ya soko la mkoa
03:27
everykila singlemoja workingkufanya kazi day
58
195015
1831
kila siku anayofanya biashara
03:28
for the privilegeupendeleo of settingkuweka
up shopDuka underchini her treemti.
59
196870
3253
kutokana na kuweka biashara chini ya mti wake.
03:32
She's been doing it for sevensaba yearsmiaka,
60
200147
2051
Amekuwa akifanya hivi kwa miaka saba,
03:34
and she's been gettingkupata receiptsrisiti.
61
202222
1922
na amekuwa akipewa risiti.
03:36
She keepshuendelea recordsrekodi.
62
204560
1477
Anatunza kumbumkumbu.
03:38
We're seeingkuona not a marginalchini,
63
206061
3167
Tunamuona asiye hafifu,
03:41
underprivilegedyanageuka,
64
209252
1347
masikini,
03:42
vulnerablehatari AfricanAfrika womanmwanamke tradermfanyabiashara
by the sideupande of the roadbarabara -- no.
65
210623
5816
mwanamke asiye na uwezo anayefanya biashara pembezoni mwa barabara -- hapana.
03:48
We were seeingkuona somebodymtu
who'snani keepingkuweka salesmauzo recordsrekodi for yearsmiaka;
66
216463
4099
Tunamuona mfanyabiashara ambaye anatunza kumbukumbu za mauzo kwa miaka;
03:52
somebodymtu who had an entirenzima ecosystemmazingira
of retailrejareja that comesinakuja in from UgandaUganda
67
220586
6321
mtu ambaye amekuwa na mzunguko wote wa biashara za rejareja zitokazo Uganda
03:58
to pickpick up inventoryhesabu;
68
226931
2315
hadi orodha ya uchukuaji;
04:01
someonemtu who'snani got handcartsmikokoteni ya mkono
bringingkuleta the goodsbidhaa in,
69
229270
3862
aliye na mkokoteni unaoleta bidhaa,
04:05
or the mobilerununu moneyfedha agentwakala
who comesinakuja to collectkukusanya cashfedha
70
233156
2916
au wakala wa mfumo wa fedha wa simu anayekuja kuchukua pesa taslimu
04:08
at the endmwisho of the eveningjioni.
71
236096
1428
kila mwisho wa jioni.
04:09
Can you guessnadhani how much
TeresiaTeresia spendsinatumia, on averagewastani,
72
237548
4408
Unaweza kisia ni kiasi gani Teresia hutumia, kwa wastani,
04:13
eachkila mmoja monthmwezi on inventoryhesabu --
73
241980
2597
kila mwezi katika uorodheshaji bidhaa --
04:16
stockshifadhi of newmpya clothesnguo
that she getshupata from NairobiNairobi?
74
244601
2673
shehena ya nguo mpya ambazo anapata kutoka Nairobi?
04:19
One thousandelfu fivetano hundredmia US dollarsdola.
75
247819
2190
Dola za Kimarekani elfu moja na mia tano.
04:22
That's around 20,000 US dollarsdola
investedimewekeza in tradebiashara goodsbidhaa and serviceshuduma
76
250525
5440
Ambayo ni takribani dola za Kimarekani 20,000 zilizowekezwa kwenye katika bidhaa za biashara na huduma
04:27
everykila yearmwaka.
77
255989
1555
kila mwaka.
04:29
This is TeresiaTeresia,
78
257568
1450
Huyu ni Teresia,
04:31
the invisibleasiyeonekana one,
79
259042
1397
asiyeonekana,
04:32
the hiddensiri middlekatikati.
80
260463
1280
aliyefichwa katikati.
04:34
And she's only the first rungrung
of the smallndogo entrepreneurswajasiriamali,
81
262442
4093
Na huyu ni mtu wa ngazi ya kwanza ya wajasiriamali wadogo,
04:38
the micro-businessesMicro-biashara that can be foundkupatikana
in these marketsoko townsmiji.
82
266559
4091
biashara ndogo ndogo zinazopatikana katika masoko ya ya miji hii.
04:42
At leastangalau in the largerkubwa MalabaMalaba bordermpaka,
she's at the first rungrung.
83
270674
4884
Angalau katika mpaka mkubwa wa Malaba, yupo katika ngazi ya kwanza.
04:48
The people furtherzaidi up the valuethamani chainmnyororo
84
276523
2636
Watu wa mbele zaidi wanathamini mlolongo huu
04:51
are easilykwa urahisi runningKimbia
threetatu linesmistari of businessbiashara,
85
279183
3045
na kwa rahisi wanafanya biashara tatu,
04:54
investingkuwekeza 2,500 to 3,000
US dollarsdola everykila monthmwezi.
86
282252
5091
wakiwekeza dola za Kimarekani kati ya 2500 hadi 3000 kila mwezi.
04:59
So the problemtatizo turnedakageuka out
that it wasn'thaikuwa the criminalizationcriminalization;
87
287772
3980
Kwa hiyo tatizo lilikuja gundulika kwamba halikuwa uhalifu;
05:03
you can't really criminalizecriminalize someonemtu
you're chargingkuchaji receiptsrisiti from.
88
291776
4645
huwezi kumtuhumu mtu ambaye unamtoza na kumpa risiti.
05:08
It's the lackukosefu of recognitionkutambua
of theirwao skilledwenye ujuzi occupationsmsitu wa vina.
89
296957
5390
Ni ukosefu wa kutambua ujuzi wa kazi zao.
05:15
The bankBenki systemsmifumo and structuresmiundo
have no meansina maana to recognizekutambua them
90
303048
3996
Mifumo ya kibenki haina njia ya kuwatambua
05:19
as micro-businessesMicro-biashara,
91
307068
1488
kama wafanyabiashara ndogo ndogo.
05:20
much lesschini the factukweli that, you know,
92
308580
2578
pasipo kukataa ukweli, unajua,
05:23
her treemti doesn't have
a forwardingkupeleka mbele addressanwani.
93
311182
2208
mti wake hauna anuani.
05:25
So she's trappedimefungwa in the middlekatikati.
94
313912
2326
Kwa hiyo amebanwa katikati.
05:28
She's fallingkuanguka throughkupitia the cracksnyufa
of our assumptionsmawazo.
95
316262
2431
Anaangukia katika mpasuko wa dhana zetu.
05:30
You know all those microloansmidogomidogo
to help AfricanAfrika womenwanawake traderswafanyabiashara?
96
318717
3539
Unaijua ile mikopo midogo midogo ya kusaidia wanawake wa Kiafrika ambao ni wafanyabiashara?
05:34
They're going to loanmkopo her
50 dollarsdola or 100 dollarsdola.
97
322646
2830
Watampa mkopo wa dola za Kimarekani 50 au 100.
05:37
What's she going to do with it?
98
325500
1606
Atafanyia nini kiasi hiki?
05:39
She spendsinatumia 10 timesnyakati
that amountkiasi everykila monthmwezi
99
327130
2342
Anatumia mara 10 ya kiasi hicho kila mwezi
05:41
just on inventoryhesabu --
100
329496
1602
katika uorodheshaji tu.
05:43
we're not talkingkuzungumza about
the additionalziada serviceshuduma
101
331122
2287
hatuongelei huduma nyingine za ziada
05:45
or the supportmsaada ecosystemmazingira.
102
333433
1834
au mzunguko wote.
05:47
These are the oneswale who fitinafaa
neitherwala the policysera stereotypeyafufuka
103
335864
3588
Hawa ni wale ambao hawastahili kuwepo katika kasumba ya sera
05:51
of the low-skilledchini wenye ujuzi and the marginalizedpembezoni,
104
339476
2404
ya walio na ujuzi mdogo au wale duni,
05:53
norwala the white-collarWhite-collar,
salariedwanaolipwa mishahara officeofisi workermfanyakazi
105
341904
2871
wala si mwajiriwa, ofisa anayelipwa mshahara
05:56
or civilkiraia servantmtumishi with a pensionpensheni
106
344799
1861
au mtumishi aliye na pensheni
05:58
that the middlekatikati classesmadarasa
are allegedlyinadaiwa composedlinajumuisha of.
107
346684
3372
ambapo ndipo watu wa kipato cha kati walipo.
06:02
InsteadBadala yake, what we have here
are the proto-SMEsproto-SMEs
108
350080
4552
Badala yake, tulichonacho hapa ni mifano ya viwanda vidogo na vya kati
06:06
these are the fertilerutuba seedsmbegu
of businessesbiashara and enterprisesmakampuni
109
354656
3795
hizi ni mbegu zilizo na rutuba za biashara na viwanda
06:10
that keep the enginesinjini runningKimbia.
110
358475
1943
ambazo zinafanya injini iendelee kutembea.
06:12
They put foodchakula on your tablemeza.
111
360442
1735
Vinaleta chakula mezani.
06:14
Even here in this hotelhoteli,
the invisibleasiyeonekana oneswale --
112
362201
3073
Hata hapa katika hotel hii, wasioonekana --
06:17
the butchersmachinjio, the bakerswaokaji
the candlestickkinara cha taa makerswatengeneza --
113
365298
3452
wachinjaji nyama, watengeneza mikate na watengeneza mishumaa --
06:20
they make the machinesmashine
that make your frenchKifaransa friesfries
114
368774
2393
wanatengeneza mashine ambazo zinatengeneza chipsi
06:23
and they make your bedsvitanda.
115
371191
1226
na wanatengeneza vitanda vyako,
06:24
These are the invisibleasiyeonekana businesswomenbusinesswomen
tradingBiashara acrosskote bordersmipaka,
116
372441
3405
Hawa ni wanawake ambao hawaonekani wanaofanya biashara mipakani,
06:29
all on the sideupande of the roadbarabara,
117
377037
2369
pembezoni mwa barabara,
06:31
and so they're invisibleasiyeonekana
to datadata gathererswakusanyaji.
118
379430
2918
hawaonekani kwa watu wanaokusanya taarifa.
06:34
And they're mashedKisha kupondwa togetherpamoja
with the vastkubwa informalisiyo rasmi sectorsekta
119
382704
3656
Na wanawekwa pamoja katika sekta kubwa isiyo rasmi
06:38
that doesn't botherbother to distinguishkutofautisha
betweenkati smugglerswalanguzi and taxkodi evadersevaders
120
386384
5073
ambayo haihangaiki kutofautisha watu wanaopenyesha bidhaa na wakwepa kodi
06:43
and those runningKimbia illegalkinyume cha sheria whatnotwhatnot,
121
391481
2608
na wale wanaofanya biashara za magendo,
06:46
and the ladieswanawake who tradebiashara,
122
394113
2031
na wanawake wanaofanya bashara,
06:48
and who put foodchakula on the tablemeza
and sendtuma theirwao kidswatoto to universitychuo kikuu.
123
396168
4145
na wale wanaoleta chakula mezani na kuwasomesha watoto zao hadi chuo kikuu
06:52
So that's really what I'm askingkuuliza here.
124
400337
3225
Kwa hiyo hili ndilo ninalouliza hapa.
06:55
That's all that we need to startkuanza by doing.
125
403586
2835
Hayo ndiyo tunatakiwa kuanza kufanya.
06:58
Can we startkuanza by recognizingkutambua
the skillsujuzi, the occupationsmsitu wa vina?
126
406868
4609
Je tunaweza kuanza kwa kutambua ujuzi, kazi?
07:03
We could transformkubadilisha the informalisiyo rasmi economyuchumi
by beginningmwanzo with this recognitionkutambua
127
411501
4624
Tunaweza kubadili uchumi wa sekta isiyo rasmi kwa kuanza na utambuzi huu
07:08
and then designingkubuni the customizedumeboreshwa
doorwaysmalango for them to enteringiza
128
416149
4681
na kisha kutengeneza milango ya wao kupita
07:12
or integratekuunganisha with the formalrasmi,
129
420854
2209
na kushirikiana na sekta iliyo rasmi,
07:15
with the globalkimataifa,
130
423087
1304
na ulimwengu,
07:16
with the entirenzima systemmfumo.
131
424415
1711
na mfumo mzima.
07:18
Thank you, ladieswanawake and gentlemenmabwana.
132
426150
1564
Asante, mabibi na mabwana.
07:19
(ApplauseMakofi)
133
427738
3721
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Niti Bhan - Human-centered strategist
Through exploratory and human-centered research, Niti Bhan discovers and makes tangible pragmatic opportunities for sustainable and inclusive value creation.

Why you should listen

Niti Bhan is a global nomad whose life mission is to bridge the gap of understanding between cultures, contexts and continents. She brings a multicultural perspective to innovation for the informal economies of the emerging markets of the developing world. She is the founder and principal of Emerging Futures Lab, a multidisciplinary team of human-centered researchers, designers, engineers and economists who collaborate on design and innovation strategies for social impact and sustainable profit in the emerging consumer markets of sub-Saharan Africa.

Growing up as a third culture kid in the ASEAN of the 1970s exposed Bhan to the British and American systems of primary and secondary education whilst her university education in Engineering (Bangalore University), Design (National Institute of Design, India & the Institute of Design, IIT Chicago), and Business (majoring in Strategy at the Katz Graduate School of Business, University of Pittsburgh) gave her the experience of living and working across cultures and continents. Emerging Futures Lab came to life in San Francisco in 2005, operated between Singapore, the Netherlands, and East Africa from 2007 through 2013, and is now an established SME in Finland.

More profile about the speaker
Niti Bhan | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee