ABOUT THE SPEAKER
Ngozi Okonjo-Iweala - Economist
Ngozi Okonjo-Iweala is a respected global economist.

Why you should listen

Okonjo-Iweala was the Finance Minister of Nigeria, Africa’s largest economy, from 2003 to 2006, and then briefly the country’s Foreign Affairs Minister, the first woman to hold either position. From 2011 to 2015 she was again named Minister of Finance and Coordinating Minister for the Economy of Nigeria. Between those terms, from 2007 to 2011, she was one of the managing director of the World Bank and a candidate to the organization’s presidency. She is now a senior advisor at financial advisory and asset management firm Lazard, and she chairs the Board of the Global Alliance for Vaccines and Immunization. At the World Bank, she worked for change in Africa and assistance for low-income countries. As Finance Minister, she attacked corruption to make Nigeria more transparent and desirable for investment and jobs, an activism that attracted criticism from circles opposed to reform.

More profile about the speaker
Ngozi Okonjo-Iweala | Speaker | TED.com
TED2007

Ngozi Okonjo-Iweala: Want to help Africa? Do business here

Ngozi Okonjo-Iweala anazungumzia kufanya biashara Afrika

Filmed:
1,351,670 views

Tunajua mtazamo potofu kuhusu Afrika -- njaa na magonjwa, vita na rushwa. Lakini, anasema Ngozi Okojo-Iweala, kuna mambo mengi yanayotokea katika nchi za Afrika ambayo hayazungumzwi: moja kati ya mabadiliko hayo, kukua kwa uchumi na fursa za kibiashara.
- Economist
Ngozi Okonjo-Iweala is a respected global economist. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:30
Thank you very much, ChrisChris. EverybodyKila mtu who camealikuja up here
0
5000
3000
Asante sana Chris. Kila mtu aliyekuja hapa
00:33
said they were scaredhofu. I don't know if I'm scaredhofu,
1
8000
4000
alisema kuwa anaogopa. Sijui kama na mimi ninaogopa,
00:37
but this is my first time of addressingkushughulikia an audiencewatazamaji like this.
2
12000
4000
lakini hii ni mara yangu ya kwanza kuhutubia hadhara kama hii.
00:41
And I don't have any smartsmart technologyteknolojia for you to look at.
3
16000
4000
Na sina teknolojia yeyote ya kisasa kwa ajili yenu ili muweze kuiangalia.
00:45
There are no slidesslides, so you'llutasikia just have to be contentmaudhui with me.
4
20000
3000
Hakuna kielezopicha, kwa hiyo itabidi mnivumilie.
00:48
(LaughterKicheko)
5
23000
3000
(Kicheko).
00:51
What I want to do this morningasubuhi is sharekushiriki with you a couplewanandoa of storieshadithi
6
26000
6000
Ninachotaka kufanya asubuhi hii ni kuwasimulia hadithi kadhaa
00:57
and talk about a differenttofauti AfricaAfrika.
7
32000
3000
na kuongelea kuhusu Afrika iliyo tofauti.
01:00
AlreadyTayari this morningasubuhi there were some allusionsVidokezo to the AfricaAfrika
8
35000
4000
Tayari asubuhi hii kulikuwa na madokezo kuhusu Afrika
01:04
that you hearkusikia about all the time: the AfricaAfrika of HIVVVU/AIDSUKIMWI,
9
39000
5000
unayoyasikia kila mara: Afrika ya VVU/UKIMWI,
01:09
the AfricaAfrika of malariamalaria, the AfricaAfrika of povertyumasikini, the AfricaAfrika of conflictmigogoro,
10
44000
6000
Afrika ya malaria, Afrika ya umaskini, Afrika ya migongano,
01:15
and the AfricaAfrika of disastersmajanga.
11
50000
3000
na Afrika ya maafa.
01:18
While it is truekweli that those things are going on,
12
53000
4000
Ingawa kuna ukweli kwamba mambo hayo yanatokea,
01:22
there's an AfricaAfrika that you don't hearkusikia about very much.
13
57000
4000
kuna Afrika ambayo hamuisikii sana.
01:26
And sometimesmara nyingine I'm puzzledpuzzled, and I askkuuliza myselfMimi mwenyewe why.
14
61000
4000
Na saa nyingine nashangazwa na kujiuliza kwanini.
01:30
This is the AfricaAfrika that is changingkubadilisha, that ChrisChris alludedalluded to.
15
65000
4000
Hii ni Afrika ambayo inabadilika, ambayo Chris ameidokezea.
01:34
This is the AfricaAfrika of opportunitynafasi.
16
69000
2000
Hii ni Afrika yenye fursa.
01:36
This is the AfricaAfrika where people want to take chargemalipo of
17
71000
3000
Hii ni Afrika ambayo watu wanataka kuchukua hatua juu ya
01:39
theirwao ownmwenyewe futureshatima and theirwao ownmwenyewe destinieskudra.
18
74000
2000
maisha na uwezo wao.
01:41
And this is the AfricaAfrika where people are looking for partnershipsushirikiano
19
76000
3000
Na hii ndio Afrika ambayo watu wanatafuta kuingia ubia
01:44
to do this. That's what I want to talk about todayleo.
20
79000
4000
kufanya hivyo. Na hili haswa ndilo ninalotaka kuzungumzia leo.
01:48
And I want to startkuanza by tellingkuwaambia you
21
83000
2000
Ningependa kuanza kwa kuwaambia
01:50
a storyhadithi about that changemabadiliko in AfricaAfrika.
22
85000
2000
habari kuhusu mabadiliko hayo Afrika.
01:53
On 15tht of SeptemberSeptemba 2005, MrMr. DiepreyeDiepreye AlamieyeseighaAlamieyeseigha,
23
88000
5000
Mnamo 15 Septemba 2005, Bwana Diepreye Alamieyeseigha,
01:58
a governorgavana of one of the oil-richutajiri mkubwa wa mafuta statesinasema of NigeriaNigeria,
24
93000
4000
Gavana wa jimbo moja lenye utajiri wa mafuta huko Nigeria,
02:02
was arrestedwalikamatwa by the LondonLondon MetropolitanMji mkuu PolicePolisi on a visittembelea to LondonLondon.
25
97000
7000
alikamatwa na Polisi wa mji wa London alipokuwa matembizini mjini London.
02:09
He was arrestedwalikamatwa because there were transfersuhamisho wa of eightnane millionmilioni dollarsdola
26
104000
5000
Alikamatwa kwasababu kulikuwa na hamisho la kiasi cha dola za kimarekani milioni 8
02:14
that wentakaenda into some dormantfiche accountsakaunti
27
109000
3000
ambazo zilienda katika akaunti hewa
02:17
that belongedni to him and his familyfamilia.
28
112000
3000
ambazo alikuwa akizimiliki yeye pamoja na familia yake.
02:21
This arrestkukamatwa occurredilitokea because there was cooperationushirikiano
29
116000
2000
Kukamatwa kwake kuliwezekana kwasababu kulikuwa na ushirikiano
02:23
betweenkati the LondonLondon MetropolitanMji mkuu PolicePolisi
30
118000
3000
baina ya Polisi wa mji wa London
02:26
and the EconomicKiuchumi and FinancialFedha CrimesUhalifu CommissionTume of NigeriaNigeria --
31
121000
3000
na Tume ya Uhalifu wa Kiuchumi na Fedha ya Nigeria --
02:29
led by one of our mostwengi ableinaweza and courageousjasiri people: MrMr. NuhuNuhu RibaduRibadu.
32
124000
7000
inayoongozwa na mtu wenye uwezo na ujasiri: Bwana Nuhu Ribadu.
02:36
AlamieyeseighaAlamieyeseigha was arraignedamewaita mahakamani in LondonLondon.
33
131000
3000
Alamieyeseigha alikamatwa mjini London.
02:39
DueUkomo to some slip-upsslip-ups, he managedimeweza to escapekutoroka dressedwamevaa as a womanmwanamke
34
134000
4000
Kutokana na udhaifu, alifanikiwa kutoroka akiwa amevalia kama mwanamke
02:43
and ranmbio from LondonLondon back to NigeriaNigeria where,
35
138000
3000
na kukimbia kutoka London kurudi Nigeria ambako,
02:46
accordingkulingana to our constitutionkatiba, those in officeofisi
36
141000
4000
kwa mujibu wa katiba, wale walio madarakani
02:50
as governorsmagavana, presidentrais -- as in manywengi countriesnchi --
37
145000
2000
kama magavana, rais – kama ilivyo kwenye nchi nyingi --
02:52
have immunitykinga and cannothaiwezi be prosecutedkushitakiwa. But what happenedkilichotokea:
38
147000
5000
wana kinga na hawawezi kushtakiwa. Lakini nini kilitokea:
02:57
people were so outragedhasira by this behaviortabia that it was possibleinawezekana
39
152000
4000
watu walikasirishwa sana na tabia hii na iliwezekana
03:01
for his statehali legislatureBunge to impeachkumtengua him and get him out of officeofisi.
40
156000
6000
kwa sheria za jimbo lake kumvua madaraka.
03:08
TodayLeo, AlamsAlams -- as we call him for shortmfupi -- is in jailjela.
41
163000
2000
Leo, Alams – kama tumuitavyo kwa kifupi – yuko jela.
03:11
This is a storyhadithi about the factukweli that people in AfricaAfrika
42
166000
5000
Hii ni hadithi kuhusu ukweli kwamba watu wa Afrika
03:16
are no longertena willingtayari to toleratekuvumilia corruptionrushwa from theirwao leadersviongozi.
43
171000
5000
hawako tayari tena kuvumilia rushwa kutoka kwa viongozi wao.
03:22
This is a storyhadithi about the factukweli that people want theirwao resourcesrasilimali
44
177000
5000
Hii ni hadithi kuhusu ukweli kwamba watu wanataka rasilimali zao
03:27
managedimeweza properlyvizuri for theirwao good, and not takenkuchukuliwa out to placesmaeneo
45
182000
5000
zidhibitiwe vizuri kwa manufaa yao, na sio kupelekwa sehemu
03:32
where they'llwatakuja benefitfaida just a fewwachache of the elitewasomi.
46
187000
3000
ambako itawanufaisha mabwanyenye wachache.
03:35
And thereforekwa hiyo, when you hearkusikia about the corruptrushwa AfricaAfrika --
47
190000
4000
Kwa hiyo, unaposikia kuhusu Afrika ya rushwa --
03:39
corruptionrushwa all the time -- I want you to know that the people
48
194000
4000
rushwa kila mara – Ninataka mfahamu kuwa watu
03:43
and the governmentsserikali are tryingkujaribu hardngumu to fightkupigana this
49
198000
3000
na serikali wanajitahidi sana kupambana na tatizo hili
03:46
in some of the countriesnchi, and that some successesmafanikio are emergingkujitokeza.
50
201000
4000
katika baadhi ya nchi, na kwamba mafanikio yanaanza kuonekana.
03:50
Does it mean the problemtatizo is over? The answerjibu is no.
51
205000
3000
Inamaana kuwa tatizo limekwisha? Jibu ni hapana.
03:53
There's still a long way to go, but that there's a will there.
52
208000
4000
Bado kuna safari ndefu, lakini pia kuna nia.
03:57
And that successesmafanikio are beingkuwa chalkedchalked up on this very importantmuhimu fightkupigana.
53
212000
4000
Mafanikio yanaandikwa juu ya mapigano ya jambo hili muhimu.
04:01
So when you hearkusikia about corruptionrushwa,
54
216000
2000
Kwa hiyo mnaposikia kuhusu rushwa,
04:03
don't just feel that nothing is beingkuwa donekufanyika about this --
55
218000
3000
msifikiri kwamba hakuna linalotendeka kuhusu hili --
04:06
that you can't operatekazi in any AfricanAfrika countrynchi
56
221000
3000
na kwamba hamuwezi kufanya kazi katika nchi yeyote Afrika
04:09
because of the overwhelmingmno corruptionrushwa. That is not the casekesi.
57
224000
3000
kwasababu ya rushwa. Hiyo si kweli.
04:12
There's a will to fightkupigana, and in manywengi countriesnchi, that fightkupigana is ongoinginayoendelea
58
227000
6000
Kuna nia ya kupambana na rushwa, na katika nchi nyingi, mapambano hayo yanaendelea
04:18
and is beingkuwa wonalishinda. In otherswengine, like minemgodi,
59
233000
4000
na mafanikio yanaonekana. Katika nchi nyingine, kama yangu,
04:22
where there has been a long historyhistoria of dictatorshipudikteta in NigeriaNigeria,
60
237000
3000
ambako kumekuwa na historia ndefu ya kidikteta nchini Nigeria,
04:25
the fightkupigana is ongoinginayoendelea and we have a long way to go.
61
240000
4000
mapambano bado yanaendelea, na bado tuna safari ndefu.
04:29
But the truthukweli of the matterjambo is that this is going on.
62
244000
4000
Ukweli wa mambo ni kwamba mapambano bado yanaendelea.
04:34
The resultsmatokeo are showingkuonesha:
63
249000
2000
Matokeo yanaonekana:
04:36
independenthuru monitoringufuatiliaji by the WorldUlimwengu BankBenki and other organizationsmashirika
64
251000
4000
tathmini huru ya Benki ya Dunia na mashirika mengine
04:40
showonyesha that in manywengi instancesMifano the trendmwenendo is downwardsmuelekeo
65
255000
4000
inaonyesha kuwa mwelekeo juu ya rushwa unapungua
04:44
in termsmaneno of corruptionrushwa, and governanceutawala is improvingkuboresha.
66
259000
3000
na utawala unarekebika.
04:47
A studykujifunza by the EconomicKiuchumi CommissionTume for AfricaAfrika showedilionyesha
67
262000
4000
Utafiti uliofanywa na Tume ya Uchumi ya Afrika unaonyesha
04:51
a clearwazi trendmwenendo upwardsupande wa juu in governanceutawala in 28 AfricanAfrika countriesnchi.
68
266000
4000
wazi mwelekeo mzuri wa utawala katika nchi 28 za Afrika.
04:55
And let me say just one more thing
69
270000
2000
Ngoja niseme kitu kimoja zaidi
04:57
before I leaveshika this areaeneo of governanceutawala.
70
272000
2000
kabla sijamaliza kuzungumzia kuhusu utawala bora.
04:59
That is that people talk about corruptionrushwa, corruptionrushwa.
71
274000
3000
Na ni kitu ambacho watu wanazungumzia kuhusu rushwa, rushwa.
05:02
All the time when they talk about it
72
277000
2000
Kila mara wanapo zungumzia kuhusu hili
05:04
you immediatelymara moja think about AfricaAfrika.
73
279000
2000
mara moja unafikiria Afrika.
05:06
That's the imagepicha: AfricanAfrika countriesnchi. But let me say this:
74
281000
4000
Hiyo ndio picha: Nchi za Afrika. Lakini ngoja niseme hili:
05:10
if AlamsAlams was ableinaweza to exportkuuza nje eightnane millionmilioni dollarsdola into an accountakaunti in LondonLondon --
75
285000
6000
iwapo Alams alifanikiwa kuhamisha dola za kimarekani milioni 8 kwenye akaunti mjini London --
05:18
if the other people who had takenkuchukuliwa moneyfedha, estimatedinakadiriwa at
76
293000
4000
kama watu wengine waliochukukua pesa wakikadiria kuwa
05:22
20 to 40 billionbilioni now of developingkuendeleza countries'nchi moniesfedha
77
297000
4000
kati ya bilioni 20 na 40 za pesa za nchi zinazoendelea
05:26
sittingameketi abroadnje ya nchi in the developedmaendeleo countriesnchi -- if they're ableinaweza to do this,
78
301000
3000
ziko nje ya nchi katika nchi zilizoendelea – kama wanaweza kufanyi hivi,
05:29
what is that? Is that not corruptionrushwa?
79
304000
3000
hiyo ni nini? Hiyo siyo rushwa?
05:33
In this countrynchi, if you receivepata stolenkuibiwa goodsbidhaa, are you not prosecutedkushitakiwa?
80
308000
4000
Katika nchi hii, kama ukipokea vitu vya wizi, haushitakiwi?
05:38
So when we talk about this kindaina of corruptionrushwa, let us alsopia think
81
313000
3000
Kwa hiyo tukiongelea kuhusu aina hii ya rushwa, hebu pia tufikirie kuhusu
05:41
about what is happeningkinachotokea on the other sideupande of the globeglobe --
82
316000
3000
nini kinatokea katika upande mwingine wa dunia --
05:44
where the money'sya fedha going and what can be donekufanyika to stop it.
83
319000
4000
ambako pesa hizo zinakwenda na nini kifanyike ili kuweza kuzuia hili.
05:48
I'm workingkufanya kazi on an initiativempango now, alongkando with the WorldUlimwengu BankBenki,
84
323000
3000
Kuna jambo ninalifanyia kazi kwa sasa, pamoja na Benki ya Dunia,
05:51
on assetmali recoveryUfufuzi, tryingkujaribu to do what we can
85
326000
3000
kuhusu kurudisha rasilimali, tunajaribu tuwezalo
05:54
to get the moniesfedha that have been takenkuchukuliwa abroadnje ya nchi --
86
329000
3000
kurudisha pesa ambazo zimepelekwa nje ya nchi --
05:57
developingkuendeleza countries'nchi moneysfedha -- to get that sentalitumwa back.
87
332000
3000
pesa za nchi zinazoendelea -- ili ziweze kurudishwa.
06:00
Because if we can get the 20 billionbilioni dollarsdola sittingameketi out there back,
88
335000
3000
Kama tutaweza kurudisha dola bilioni 20 ambazo ziko nje,
06:03
it mayinaweza be farmbali more for some of these countriesnchi
89
338000
3000
litakuwa jambo zuri sana kwa baadhi ya nchi hizi
06:06
than all the aidmisaada that is beingkuwa put togetherpamoja.
90
341000
3000
kuliko misaada yote ikiwekwa pamoja.
06:09
(ApplauseMakofi)
91
344000
7000
(Makofi).
06:16
The secondpili thing I want to talk about is the will for reformmageuzi.
92
351000
4000
Kitu cha pili ninachotaka kuzungumzia ni nia ya mageuzi.
06:20
AfricansWaafrika, after -- they're tiredamechoka, we're tiredamechoka
93
355000
4000
Afrika, baada – wamechoka, tumechoka
06:24
of beingkuwa the subjectsomo of everybody'skila mtu charityupendo and carehuduma.
94
359000
5000
kuwa kitovu cha misaada kutoka kwa kila mtu.
06:29
We are gratefulkushukuru, but we know that
95
364000
4000
Tunashukuru, ila tunajua kuwa
06:33
we can take chargemalipo of our ownmwenyewe destinieskudra if we have the will to reformmageuzi.
96
368000
4000
tunaweza kuchukua hatua juu ya uwezo wetu na kama tuna nia ya kufanya mabadiliko.
06:38
And what is happeningkinachotokea in manywengi AfricanAfrika countriesnchi now is a realizationutambuzi
97
373000
4000
Na kinachotokea katika nchi nyingi za Afrika sasa ni utambuzi kwamba
06:42
that no one can do it but us. We have to do it.
98
377000
4000
hakuna anayeweza kufanya lolote ila sisi wenyewe. Ni lazima tufanye.
06:46
We can invitekumka partnerswashirika who can supportmsaada us, but we have to startkuanza.
99
381000
4000
Tunaweza kuwakaribisha washirika ambao wanaweza kutuunga mkono, lakini lazima tuanze wenyewe.
06:50
We have to reformmageuzi our economiesuchumi, changemabadiliko our leadershipuongozi,
100
385000
3000
Ni lazima turekebishe uchumi wetu, tubadilishe uongozi,
06:53
becomekuwa more democratickidemokrasia, be more openkufungua to changemabadiliko and to informationhabari.
101
388000
6000
tuwe na demokrasia zaidi, tuwe wazi kupokea mabadiliko na taarifa.
06:59
And this is what we startedilianza to do
102
394000
2000
Na hiki ndicho tumeanza kukifanya
07:01
in one of the largestkubwa countriesnchi on the continentbara, NigeriaNigeria.
103
396000
3000
katika mojawapo kati ya nchi kubwa kabisa katika bara, Nigeria.
07:04
In factukweli, if you're not in NigeriaNigeria, you're not in AfricaAfrika.
104
399000
3000
Hakika, kama hauko Nigeria, hauko Afrika.
07:07
I want to tell you that.
105
402000
1000
Ninataka kuwaambia kuwa.
07:08
(LaughterKicheko)
106
403000
1000
(Kicheko).
07:09
One in fournne sub-SaharanSahara AfricansWaafrika is NigerianNigeria,
107
404000
2000
Mmoja kati ya waafrika wanne walio kusini mwa jangwa la Sahara ni Mnigeria,
07:13
and it has 140 millionmilioni dynamicnguvu people -- chaoticmachafuko people --
108
408000
5000
na ina watu milioni 140 – watu wenye pilika --
07:19
but very interestingkuvutia people. You'llWewe utakuwa never be boredkuchoka.
109
414000
4000
lakini watu wenye kuvutia. Hauwezi kuchoka.
07:23
(LaughterKicheko)
110
418000
1000
(Kicheko).
07:24
What we startedilianza to do was to realizekutambua
111
419000
2000
Tulichoanza kufanya ni kujua kwamba
07:26
that we had to take chargemalipo and reformmageuzi ourselvessisi wenyewe.
112
421000
2000
tunaweza kuchukua hatua na kujibadili wenyewe.
07:29
And with the supportmsaada of a leaderkiongozi
113
424000
2000
Na kwa msaada wa kiongozi
07:31
who was willingtayari, at the time, to do the reformsmarekebisho,
114
426000
3000
ambaye alikuwa na nia, kwa wakati ule, ya kufanya mabadiliko,
07:34
we put forwardmbele a comprehensivekina reformmageuzi programprogramu,
115
429000
2000
tunaandaa mpango madhubuti wa mabadiliko
07:36
whichambayo we developedmaendeleo ourselvessisi wenyewe.
116
431000
2000
ambao tumeuandika wenyewe.
07:38
Not the InternationalKimataifa MonetaryFedha FundMfuko. Not the WorldUlimwengu BankBenki,
117
433000
3000
Si Shirika la Kimataifa la Fedha. Wala Benki ya Dunia,
07:41
where I workedkazi for 21 yearsmiaka and roseakaondoka to be a vicekinyume chake presidentrais.
118
436000
3000
ambako nilifanya kazi kwa miaka 21 na kufikia cheo cha makamu wa rais.
07:45
No one can do it for you. You have to do it for yourselfwewe mwenyewe.
119
440000
2000
Hakuna mtu anaweza kukufanyia. Inabidi ufanye mwenyewe.
07:47
We put togetherpamoja a programprogramu that would, one: get the statehali
120
442000
4000
Tukaandaa mpango ambao kwanza, utafanya: kuiondoa serikali
07:51
out of businessesbiashara it had nothing -- it had no businessbiashara beingkuwa in.
121
446000
4000
kwenye shughuli zisizo na manufaa -- zisizoihusu --
07:55
The statehali should not be in the businessbiashara
122
450000
2000
Serikali haitakiwi kufanya biashara
07:57
of producingkuzalisha goodsbidhaa and serviceshuduma
123
452000
1000
ya uzalishaji na utoaji huduma
07:58
because it's inefficienthaifai and incompetentwasio na uwezo.
124
453000
3000
kwasababu haina ufanisi na haina ujuzi.
08:01
So we decidedaliamua to privatizeprivatize manywengi of our enterprisesmakampuni.
125
456000
4000
Kwa hiyo tuliamua kubinafsisha mashirika yetu mengi.
08:05
(ApplauseMakofi)
126
460000
4000
(Makofi).
08:10
We -- as a resultmatokeo, we decidedaliamua to liberalizeliberalize manywengi of our marketsmasoko.
127
465000
4000
Sisi -- matokeo yake, tuliamua kuwa na soko huria.
08:14
Can you believe that priorkabla to this reformmageuzi --
128
469000
3000
Unaweza kuamini kuwa kabla ya mabadiliko haya --
08:17
whichambayo startedilianza at the endmwisho of 2003, when I left WashingtonWashington
129
472000
4000
ambayo yalianza mwishoni mwa mwaka 2003, wakati nilipoondoka Washington
08:21
to go and take up the postchapisho of FinanceFedha MinisterWaziri --
130
476000
2000
kwenda kushika nafasi ya Waziri wa Fedha --
08:25
we had a telecommunicationsmawasiliano ya simu companykampuni that was only ableinaweza to developkuendeleza
131
480000
4000
tulikuwa na kampuni ya simu ambayo iliweza kutoa huduma za simu za mezani
08:29
4,500 landlineslandlines in its entirenzima 30-year-a historyhistoria?
132
484000
5000
4,500 katika historia yake ya miaka 30?
08:34
(LaughterKicheko)
133
489000
2000
(Kicheko).
08:36
HavingKuwa a telephonesimu in my countrynchi was a hugekubwa luxuryanasa.
134
491000
3000
Kuwa na simu katika nchi yangu lilikuwa ni jambo la kifahari sana.
08:39
You couldn'thaikuweza get it. You had to bribehongo.
135
494000
2000
Usingeweza kupata. Ilibidi uhonge.
08:41
You had to do everything to get your phonesimu.
136
496000
2000
Ilibidi ufanye kila uwezalo ili kupata simu.
08:43
When PresidentRais ObasanjoObasanjo supportedimesaidiwa and launchedilizinduliwa
137
498000
3000
Rais Obasanjo aliunga mkono na kuzindua
08:46
the liberalizationbiashara huria of the telecommunicationsmawasiliano ya simu sectorsekta,
138
501000
4000
kulegezwa kwa masharti katika sekta ya mawasiliano
08:51
we wentakaenda from 4,500 landlineslandlines to 32 millionmilioni GSMGSM linesmistari, and countingkuhesabu.
139
506000
8000
tumepanda kutoka simu 4,500 za mezani kufikia simu milioni 32 zenye GSM, na zinaongezeka.
08:59
Nigeria'sWa Nigeria telecomstelecoms marketsoko is the second-fastestPili haraka sana growingkukua in the worldulimwengu,
140
514000
5000
Soko la mawasiliano la Nigeria ni la pili kwa ukuaji duniani kote,♪
09:04
after ChinaChina. We are gettingkupata investmentsuwekezaji of about a billionbilioni dollarsdola a yearmwaka
141
519000
5000
ikiwa imetanguliwa na China. Tunapata uwekezaji wa takriban dola bilioni 1 kwa mwaka
09:09
in telecomstelecoms. And nobodyhakuna knowsanajua, exceptisipokuwa a fewwachache smartsmart people.
142
524000
6000
katika mawasiliano. Na hakuna mtu anayejua, isipokuwa kwa wajanja wachache.
09:15
(LaughterKicheko)
143
530000
3000
(Kicheko).
09:18
The smartestsmartest one, first to come in,
144
533000
4000
Wajanja wa kwanza kuja
09:22
was the MTNMTN companykampuni of SouthKusini AfricaAfrika.
145
537000
2000
walikuwa ni kampuni ya MTN ya Afrika Kusini.
09:24
And in the threetatu yearsmiaka that I was FinanceFedha MinisterWaziri,
146
539000
4000
Katika miaka mitatu niliyokuwa Waziri wa Fedha,
09:28
they madealifanya an averagewastani of 360 millionmilioni dollarsdola profitfaida perkwa kila yearmwaka.
147
543000
3000
wamepata wastani wa dola milioni 360 kwa mwaka.
09:33
360 millionmilioni in a marketsoko -- in a countrynchi that is a poormaskini countrynchi,
148
548000
6000
milioni 360 katika soko – katika nchi ambayo ni maskini,
09:39
with an averagewastani perkwa kila capitacapita incomemapato just underchini 500 dollarsdola perkwa kila capitacapita.
149
554000
4000
yenye wastani wa pato la taifa chini ya dola 500.
09:44
So the marketsoko is there.
150
559000
2000
Kwahiyo soko lipo hapo.
09:46
When they keptimehifadhiwa this underchini wrapsWraps, but soonhivi karibuni otherswengine got to know.
151
561000
3000
Walilifanya hili siri, lakini baadae wengine nao walianza kujua.
09:50
NigeriansWanaijeria themselveswenyewe beganilianza to developkuendeleza
152
565000
3000
Wanageria wenyewe walianzisha
09:53
some wirelesswireless telecommunicationsmawasiliano ya simu companiesmakampuni,
153
568000
2000
makampuni ya mawasiliano ya simu zisizotumia waya
09:55
and threetatu or fournne otherswengine have come in.
154
570000
2000
na wengine kama watatu wane hivi wameingia.
09:57
But there's a hugekubwa marketsoko out there,
155
572000
3000
Lakini bado kuna soko kubwa sana,
10:00
and people don't know about it, or they don't want to know.
156
575000
3000
na watu hawajui kuhusu hili, au hawataki kujua.
10:05
So privatizationUbinafsishaji is one of the things we'vetumekuwa donekufanyika.
157
580000
2000
Kwa hiyo ubinafsishaji ni jambo mojawapo tulilofanya.
10:08
The other thing we'vetumekuwa alsopia donekufanyika is to managekusimamia our financesfedha better.
158
583000
6000
Kitu kingine tulichofanya ni kusimamia vizuri masuala yetu ya fedha.
10:15
Because nobody'sHakuna mtu wa going to help you and supportmsaada you
159
590000
2000
Kwasababu hakuna atakayekusaidia na kukuongoza
10:18
if you're not managingkusimamia your ownmwenyewe financesfedha well.
160
593000
3000
iwapo hudhibiti fedha zako vizuri.
10:21
And NigeriaNigeria, with the oilmafuta sectorsekta, had the reputationsifa
161
596000
4000
Na Nigeria, ikiwa na sekta ya mafuta, ilikuwa na sifa
10:25
of beingkuwa corruptrushwa and not managingkusimamia its ownmwenyewe publicumma financesfedha well.
162
600000
5000
ya rushwa na kutosimamia vizuri masuala ya fedha za umma.
10:30
So what did we try to do? We introducedilianzisha a fiscalfedha ruleutawala
163
605000
4000
Je tulijaribu kufanya nini? Tulianzisha sheria ya fedha
10:35
that de-linkedwanaohusishwa katika our budgetbajeti from the oilmafuta pricebei.
164
610000
2000
ambayo ilitenganisha bajeti yetu na bei ya mafuta.
10:37
Before we used to just budgetbajeti on whateverVyovyote oilmafuta we bringkuleta in,
165
612000
4000
Zamani tulikuwa tumezoea kubajeti kutokana na kipato ambacho tulikipata kutokana na mafuta,
10:41
because oilmafuta is the biggestkubwa, mostwengi revenue-earningkupata mapato sectorsekta
166
616000
5000
kwasababu mafuta ndiyo sekta kuu ya mapato
10:46
in the economyuchumi: 70 percentasilimia of our revenuesmapato come from oilmafuta.
167
621000
3000
katika uchumi: asilimia 70 ya mapato yetu yanatokana na mafuta.
10:49
We de-linkedwanaohusishwa katika that, and oncemara moja we did it, we beganilianza to budgetbajeti
168
624000
4000
Tulitenganisha hilo, na tulipofanya hivyo tulianza kubajeti
10:53
at a pricebei slightlykidogo lowerchini than the oilmafuta pricebei
169
628000
3000
kwa bei ambayo ilikuwa chini kidogo ya bei ya mafuta
10:56
and savesalama whateverVyovyote was abovehapo juu that pricebei.
170
631000
4000
na kuhifadhi chochote cha ziada juu ya bei hiyo.
11:01
We didn't know we could pullkuvuta it off; it was very controversialutata.
171
636000
3000
Hatukuweza kujua kama tungeweza kufanikisha, ilikuwa ni utata sana.®
11:04
But what it immediatelymara moja did was that the volatilitytamaa
172
639000
3000
Lakini kitu ambacho kilitokea haraka ilikuwa ni mabadiliko
11:07
that had been presentsasa in termsmaneno of our economickiuchumi developmentmaendeleo --
173
642000
3000
ambayo yalikuwepo kwa maendeleo yetu ya uchumi --
11:10
where, even if oilmafuta pricesbei were highjuu, we would growkukua very fastharaka.
174
645000
4000
ambapo, hata kama bei ya mafuta ingekuwa juu, tungekuwa haraka sana.
11:14
When they crashedilipigwa, we crashedilipigwa.
175
649000
2000
Wakati zilipoanguka, tulianguka.
11:16
And we could hardlyvigumu even paykulipa anything, any salariesmishahara, in the economyuchumi.
176
651000
4000
Na tulikuwa tunashindwa kulipia chochote, hata mishahara, katika uchumi.
11:21
That smoothenedsmoothened out. We were ableinaweza to savesalama, just before I left,
177
656000
4000
Hii ilisawazisha. Tuliweza kuweka akiba, kabla sijaondoka,
11:25
27 billionbilioni dollarsdola. WhereasAmbapo -- and this wentakaenda to our reserveshifadhi --
178
660000
6000
dola bilioni 27. Ambapo – hii ilienda kwenye hazina yetu --
11:31
when I arrivedaliwasili in 2003, we had sevensaba billionbilioni dollarsdola in reserveshifadhi.
179
666000
4000
wakati nilipofika mwaka 2003, tulikuwa na dola billion 7 kwenye akiba.
11:36
By the time I left, we had gonewamekwenda up to almostkaribu 30 billionbilioni dollarsdola. And
180
671000
3000
Na wakati naondoka, tulikuwa na karibu dola bilioni 30. Na
11:39
as we speaksema now, we have about 40 billionbilioni dollarsdola in reserveshifadhi
181
674000
3000
tunavyoongea sasa, tuna dola bilioni 40 kwenye akiba
11:43
duekutokana to propersahihi managementusimamizi of our financesfedha.
182
678000
4000
hii ni kutokana na usimamizi mzuri wa fedha zetu.
11:48
And that shoresfukwe up our economyuchumi, makeshufanya it stableimara.
183
683000
3000
Hii inasaidia kutuliza uchumi wetu, kuufanya uwe imara.
11:51
Our exchangekubadilishana ratekiwango that used to fluctuatefluctuate all the time
184
686000
3000
Thamani ya fedha yetu ilikuwa ikibadilika kila mara
11:54
is now fairlyhaki stableimara and beingkuwa managedimeweza so that businessbiashara people
185
689000
4000
kwa sasa ipo angalau imara na kusimamiwa, ili wafanyabiashara
11:58
have a predictabilityutabiri of pricesbei in the economyuchumi.
186
693000
5000
wawe na uhakika wa bei katika uchumi.
12:05
We broughtkuletwa inflationmfumuko wa bei down from 28 percentasilimia to about 11 percentasilimia.
187
700000
4000
Tuliweza kudhibiti mfumuko bei kutoka asilimia 28 mpaka karibu asilimia 11.
12:11
And we had GDPPATO LA TAIFA growkukua from an averagewastani of 2.3 percentasilimia the previousuliopita decademiaka kumi
188
706000
6000
Na pato letu la taifa liliongezeka kutoka wastani wa asilimia 2.3 kwa muongo uliopita
12:17
to about 6.5 percentasilimia now.
189
712000
3000
mpaka kufikia asilimia 6.5 sasa.
12:21
So all the changesmabadiliko and reformsmarekebisho we were ableinaweza to make
190
716000
3000
Kwa hiyo mabadiliko yote tuliyoweza kufanya
12:24
have shownimeonyeshwa up in resultsmatokeo that are measurablekukadiriwa in the economyuchumi.
191
719000
3000
yameweza kuonekana kwa vitendo ambavyo vinaweza kuonekana katika uchumi.
12:27
And what is more importantmuhimu, because we want to get away from oilmafuta
192
722000
4000
Na kitu cha muhimu zaidi, ni kwasababu tunataka kuondokana na mafuta
12:31
and diversifytofauti -- and there are so manywengi opportunitiesfursa
193
726000
2000
na kupanua wigo zaidi – na kuna fursa nyingi sana
12:33
in this one bigkubwa countrynchi, as in manywengi countriesnchi in AfricaAfrika --
194
728000
3000
katika nchi hii kubwa, kama ilivyo katika nchi nyingine za Afrika --
12:38
what was remarkableajabu is that much of this growthukuaji camealikuja
195
733000
3000
kilichotia fora zaidi ni huu ukuaji haukutoka
12:41
not from the oilmafuta sectorsekta alonepeke yake, but from non-oilzisizo za mafuta.
196
736000
3000
kwenye sekta mafuta pekee, bali sekta nyingine pia.
12:44
AgricultureKilimo grewilikua at better than eightnane percentasilimia.
197
739000
3000
Kilimo kilikuwa kwa wastani wa asilimi 8.
12:47
As telecomstelecoms sectorsekta grewilikua, housingnyumba and constructionujenzi,
198
742000
4000
Sekta ya mawasiliano ilikuwa, makazi na ujenzi,
12:51
and I could go on and on. And this is to illustratekuonyesha to you that
199
746000
5000
na ninaweza kuendelea zaidi na zaidi. Na hii ni kuwaonyesha kwamba
12:56
oncemara moja you get the macro-economyuchumi wa Makro straightenedimefungwa out,
200
751000
2000
uchumi wako unaporekebishika,
12:58
the opportunitiesfursa in variousmbalimbali other sectorssekta are enormouskubwa sana.
201
753000
4000
fursa katika sekta nyingine zipo nyingi.
13:03
We have opportunitiesfursa in agriculturekilimo, like I said.
202
758000
3000
Tuna frusa katika kilimo, kama nilivyosema.
13:06
We have opportunitiesfursa in solidimara mineralsmadini. We have a lot of mineralsmadini
203
761000
4000
Tuna fursa katika madini. Tuna madini mengi
13:10
that no one has even investedimewekeza in or exploredexplored. And we realizedgundua
204
765000
3000
ambako hakuna mtu amewekeza katika utafutaji. Tumegundua
13:13
that withoutbila the propersahihi legislationsheria to make that possibleinawezekana,
205
768000
3000
kuwa bila kuwa na sera sahihi za kuwezesha,
13:16
that wouldn'thakutaka happenkutokea. So we'vetumekuwa now got a miningmadini codemsimbo
206
771000
3000
hilo halitawezekana. Sasa tuna sheria ya uchimbaji madini
13:19
that is comparablekulinganishwa with some of the bestbora in the worldulimwengu.
207
774000
3000
ambayo inalinganishwa na sheria nyingine bora duniani.
13:23
We have opportunitiesfursa in housingnyumba and realhalisi estatemali.
208
778000
2000
Tuna fursa katika makazi na usimamizi wa majumba.
13:25
There was nothing in a countrynchi of 140 millionmilioni people --
209
780000
3000
Kulikuwa hakuna chochote katika nchi ya watu milioni 140 --
13:29
no shoppingununuzi mallsmaduka makubwa as you know them here.
210
784000
5000
hakuna maduka makubwa kama myajuavyo hapa.
13:35
This was an investmentuwekezaji opportunitynafasi for someonemtu
211
790000
3000
Hii inaweza kuwa fursa kwa mtu fulani
13:38
that excitedmsisimko the imaginationmawazo of people.
212
793000
2000
ambayo ilitia chachu ya kufikiria kwa watu.
13:41
And now, we have a situationhali in whichambayo the businessesbiashara in this mallmaduka
213
796000
3000
Sasa tuna mazingira ambayo biashara katika maduka haya makubwa
13:44
are doing fournne timesnyakati the turnovermauzo that they had projectedilipangwa.
214
799000
3000
yanapata faida mara nne ya ilivyokadiriwa.
13:48
So, hugekubwa things in constructionujenzi, realhalisi estatemali,
215
803000
3000
Kwa hiyo mambo makubwa kwenye ujenzi, mali isiyohamishika,
13:51
mortgagemikopo marketsmasoko. FinancialFedha serviceshuduma:
216
806000
2000
Masoko ya rehani. Huduma za fedha
13:54
we had 89 banksmabenki. Too manywengi not doing theirwao realhalisi businessbiashara.
217
809000
4000
tulikuwa na Benki 89. Nyingi hazifanyi biashara iliyokusudiwa.
13:58
We consolidatedalinyakua them from 89 to 25 banksmabenki by requiringwanaohitaji
218
813000
4000
Tulizizatiti kutoka 89 kufikia Benki 25 kwa
14:02
that they increaseOngeza theirwao capitalmji mkuu -- sharekushiriki capitalmji mkuu.
219
817000
5000
waongeze mtaji wao -- gawio la mtaji.
14:07
And it wentakaenda from about 25 millionmilioni dollarsdola to 150 millionmilioni dollarsdola.
220
822000
5000
Ilikuwa kutoka dola milioni 25 mpaka dola milioni 150.
14:12
The banksmabenki -- these banksmabenki are now consolidatedalinyakua, and that strengtheningkuimarisha
221
827000
4000
Benki, Benki hizi sasa zimejizatiti na kuimarishwa
14:16
of the bankingBenki systemmfumo has attractedkuvutia a lot of investmentuwekezaji from outsidenje.
222
831000
4000
mfumo wa Benki umevutia wamekezaji wengi kutoka nje.
14:20
BarclaysBarclays BankBenki of the U.K. is bringingkuleta in 500 millionmilioni.
223
835000
4000
Benki ya Barclays kutoka Uingereza inaingiza milioni 500.
14:24
StandardKiwango cha CharteredIlitoa has broughtkuletwa in 140 millionmilioni.
224
839000
4000
Standard Chartered imeingiza milioni 140.
14:28
And I can go on. DollarsDola, on and on, into the systemmfumo.
225
843000
3000
Ninaweza kuendelea zaidi. Dola zaidi na zaidi, ndani ya mfumo.
14:31
We are doing the samesawa with the insurancebima sectorsekta.
226
846000
2000
Tunafanya hivyo hivyo kwenye sekta ya bima.
14:33
So in financialfedha serviceshuduma, a great dealtoa of opportunitynafasi.
227
848000
3000
Kwa hiyo kwenye huduma za fedha, kuna fursa kubwa zaidi.
14:36
In tourismutalii, in manywengi AfricanAfrika countriesnchi, a great opportunitynafasi.
228
851000
6000
Kwenye utalii, katika nchi nyingi za Kiafrika, ni fursa kubwa.
14:42
And that's what manywengi people know EastMashariki AfricaAfrika for:
229
857000
3000
Na hii ndiyo sababu kubwa ya kuwa watu wengi wanaifahamu Afrika Mashariki kwa:
14:46
the wildlifewanyamapori, the elephantstembo, and so on.
230
861000
3000
wanyama pori, tembo na kadhalika.
14:49
But managingkusimamia the tourismutalii marketsoko in a way
231
864000
2000
Lakini kusimimamia soko la utalii ili
14:51
that can really benefitfaida the people is very importantmuhimu.
232
866000
3000
liweze kuwanufaisha watu ni muhimu sana.
14:55
So what am I tryingkujaribu to say? I'm tryingkujaribu to tell you
233
870000
3000
Sasa ninachojaribu kusema ni nini? Najaribu kuwaambia
14:58
that there's a newmpya wavewimbi on the continentbara.
234
873000
3000
kuna wimbi jipya katika bara.
15:01
A newmpya wavewimbi of opennessuwazi and democratizationamechangia in whichambayo, sincetangu 2000,
235
876000
5000
Wimbi la uwazi na demokrasia ambapo tangu mwaka 2000,
15:06
more than two-thirdstheluthi mbili of AfricanAfrika countriesnchi have had
236
881000
2000
zaidi ya theluthi mbili ya nchi za Afrika zimefanya
15:08
multi-partyChama mbalimbali democratickidemokrasia electionsuchaguzi.
237
883000
2000
uchaguzi wa kidemokrasia wa vyama vingi.
15:11
Not all of them have been perfectkamilifu, or will be,
238
886000
3000
Si zote zilikuwa kamilifu, au zitakuwa,
15:14
but the trendmwenendo is very clearwazi.
239
889000
2000
lakini mwelekeo uko wazi.
15:16
I'm tryingkujaribu to tell you that sincetangu the pastzilizopita threetatu yearsmiaka,
240
891000
4000
Ninajaribu kuwaelezea kwamba toka miaka mitatu iliyopita
15:20
the averagewastani ratekiwango of growthukuaji on the continentbara has movedwakiongozwa
241
895000
3000
wastani wa ukuaji wa uchumi katika bara umeongezeka
15:23
from about 2.5 percentasilimia to about fivetano percentasilimia perkwa kila annumannum.
242
898000
4000
kutoka karibu asilimia 2.5 mpaka asilimia 5 kwa mwaka.
15:27
This is better than the performanceutendaji of manywengi OECDOECD countriesnchi.
243
902000
4000
Hii ni bora zaidi ya ufanisi wa nchi nyingi za OECD.
15:32
So it's clearwazi that things are changingkubadilisha.
244
907000
4000
Kwahiyo ni wazi kwamba mambo yanabadilika.
15:36
ConflictsMigogoro are down on the continentbara;
245
911000
2000
Migogoro imepungua barani;
15:39
from about 12 conflictsmigogoro a decademiaka kumi agoiliyopita,
246
914000
2000
kutoka migogoro 12 kwa muongo uliopita,
15:41
we are down to threetatu or fournne conflictsmigogoro --
247
916000
2000
kufikia migogoro mitatu au minne,
15:43
one of the mostwengi terriblembaya, of coursebila shaka, of whichambayo is DarfurDarfur.
248
918000
3000
Mojawapo ya migogoro mibaya zaidi, kwa hakika, ni ule wa Darfur.
15:46
And, you know, you have the neighborhoodjirani effectathari where
249
921000
3000
Na kama ujuavyo, kuna athari kwa majirani, iwapo
15:49
if something is going on in one partsehemu of the continentbara,
250
924000
2000
kuna jambo linatokea upande mmoja wa bara,
15:51
it looksinaonekana like the entirenzima continentbara is affectedwalioathirika.
251
926000
3000
inaonekana kama bara zima limeathirika.
15:54
But you should know that this continentbara is not --
252
929000
3000
Lakini ni vema muelewe kwamba hili bara --
15:57
is a continentbara of manywengi countriesnchi, not one countrynchi.
253
932000
6000
ni bara lenye nchi nyingi na si nchi moja.
16:03
And if we are down to threetatu or fournne conflictsmigogoro,
254
938000
2000
Na iwapo tuna migogoro mitatu minne hivi,
16:05
it meansina maana that there are plentymengi of opportunitiesfursa to investwekeza
255
940000
3000
ina maana kuwa kuna fursa nyingi za kuwekeza
16:08
in stableimara, growingkukua, excitingkusisimua economiesuchumi
256
943000
7000
katika uchumi ulio imara, unaokua na wenye kusisimua
16:15
where there's plentymengi of opportunitynafasi.
257
950000
3000
ambako kuna fursa nyingi sana.
16:19
And I want to just make one pointuhakika about this investmentuwekezaji.
258
954000
4000
Ningependa kutoa dokezo moja kuhusu uwekezaji huu.
16:24
The bestbora way to help AfricansWaafrika todayleo
259
959000
2000
Namna nzuri ya kuisaidia Afrika sasa
16:27
is to help them to standsimama on theirwao ownmwenyewe feetmiguu.
260
962000
3000
ni kuwasaidia waweze kusimama wenyewe.
16:30
And the bestbora way to do that is by helpingkusaidia createkuunda jobskazi.
261
965000
4000
Na namna nzuri ya kufanya hivyo ni kusaidia kuleta ajira.
16:35
There's no issuesuala with fightingmapigano malariamalaria and puttingkuweka moneyfedha in that
262
970000
4000
Hakuna tatizo katika kupambana na malaria na kuwekeza pesa kwenye hilo
16:39
and savingkuokoa children'swatoto livesanaishi. That's not what I'm sayingkusema. That is fine.
263
974000
4000
na kuokoa maisha ya watoto. Sina maana hiyo. Hilo ni sawa.
16:44
But imaginefikiria the impactathari on a familyfamilia: if the parentswazazi can be employedwalioajiriwa
264
979000
4000
Lakini fikiria tofauti itakayokuwa kwenye familia: iwapo wazazi wanaweza kuwa na ajira
16:48
and make sure that theirwao childrenwatoto go to schoolshule,
265
983000
2000
na wakahakikisha watoto wao wanakwenda shule,
16:50
that they can buykununua the drugsmadawa to fightkupigana the diseaseugonjwa themselveswenyewe.
266
985000
3000
kwamba wanaweza kununua dawa za kupambana na magonjwa wao wenyewe.
16:53
If we can investwekeza in placesmaeneo where you yourselvesninyi wenyewe make moneyfedha
267
988000
4000
Kama tunaweza kuwekeza kwenye maeneo ambayo nyinyi wenyewe mnapata faida
16:57
whilstwakati creatingkujenga jobskazi and helpingkusaidia people standsimama on theirwao ownmwenyewe feetmiguu,
268
992000
5000
wakati huo huo mkitengeneza ajira na kuwasaidia watu wasimame wenyewe,
17:02
isn't that a wonderfulajabu opportunitynafasi? Isn't that the way to go?
269
997000
5000
hii siyo fursa nzuri? Hii si ndiyo njia ya kufuata?
17:07
And I want to say that some of the bestbora people to investwekeza in
270
1002000
3000
Na nataka kusema jambo kuhusu watu bora zaidi wa kuwawekezea
17:10
on the continentbara are the womenwanawake.
271
1005000
2000
katika bara hili ni wanawake.
17:13
(ApplauseMakofi)
272
1008000
7000
(Makofi).
17:20
I have a CDCD here. I'm sorry that I didn't say anything on time.
273
1015000
5000
Nina CD hapa. Samahani sikusema kwa wakati muafaka.
17:25
OtherwiseVinginevyo, I would have likedwalipenda you to have seenkuonekana this.
274
1020000
2000
Lakini, ningependa mngekuwa mmeiangalia.
17:27
It saysanasema, "AfricaAfrika: OpenFungua for BusinessBiashara."
275
1022000
3000
Inasema, "Afrika: Iko wazi kwa Biashara."
17:31
And this is a videovideo that has actuallykwa kweli wonalishinda an awardtuzo
276
1026000
3000
Na video hii imeshinda tuzo
17:34
as the bestbora documentarydocumentary of the yearmwaka.
277
1029000
2000
kama makala bora ya mwaka.
17:36
UnderstandKuelewa that the womanmwanamke who madealifanya it
278
1031000
2000
Elewa kwamba mwanamke aliyetengeneza makala hii
17:38
is going to be in TanzaniaTanzania, where they're havingkuwa na the sessionkikao in JuneJuni.
279
1033000
5000
atakuwa Tanzania, ambako watakuwa na kongamano mwezi Juni.
17:44
But it showsinaonyesha you AfricansWaafrika, and particularlyhasa AfricanAfrika womenwanawake, who
280
1039000
5000
Lakini hii inakuonyesha kwamba Waafrika, na hususani wanawake wa Afrika, ambao
17:49
againstdhidi all oddstabia mbaya have developedmaendeleo businessesbiashara, some of them world-classkimataifa.
281
1044000
5000
pamoja na matatizo yote wameweza kuanzisha biashara, nyingine ni za kiwango cha kimataifa.
17:54
One of the womenwanawake in this videovideo, AdenikeAdenike OgunlesiOgunlesi,
282
1049000
3000
Mmoja kati ya wanawake katika video hii, Adenike Ogunlesi,
17:57
makingkufanya children'swatoto clothesnguo --
283
1052000
2000
anashona nguo za watoto
17:59
whichambayo she startedilianza as a hobbyHobby and grewilikua into a businessbiashara.
284
1054000
5000
kitu ambacho alianza kama kujifurahisha na ikakua na kuwa biashara.
18:04
MixingKuchanganya AfricanAfrika materialsvifaa, suchvile as we have,
285
1059000
3000
Akichanganya vitambaa vya Kiafrika ambavyo tunavyo,
18:08
with materialsvifaa from elsewheremahali pengine.
286
1063000
1000
na vitambaa vingine kutoka sehemu nyingine.
18:09
So, she'llyeye atakuja make a little pairjozi of dungareesdungarees with corduroyscorduroys,
287
1064000
5000
Na hivyo, atatengeneza suruali kwa kutumia vitambaa vizito,
18:14
with AfricanAfrika materialvifaa mixedmchanganyiko in. Very creativeubunifu designsmiundo,
288
1069000
4000
ikiwa imechanganywa na vitambaa vya kiafrika. Ni ubunifu mzuri sana.
18:20
has reachedilifikia a stagehatua where she even had an orderamri from Wal-MartWal-Mart.
289
1075000
3000
Amefikai hatua ambapo anapata zabuni kutoka Wal-Mart.
18:24
(LaughterKicheko)
290
1079000
1000
(Kicheko).
18:26
For 10,000 piecesvipande.
291
1081000
2000
Kwa nguo 10,000
18:29
So that showsinaonyesha you that we have people who are capableuwezo of doing.
292
1084000
4000
Kwa hiyo hii inawaonyesha kuwa tuna watu wenye uwezo wa kufanya mambo.
18:33
And the womenwanawake are diligentbidii. They are focusedililenga; they work hardngumu.
293
1088000
5000
Wanawake wana juhudi, wako makini; wanachapa kazi.
18:38
I could go on givingkutoa examplesmifano:
294
1093000
2000
Naweza kuendelea kwa kutoa mifano:
18:40
BeatriceBeatrice GakubaGakuba of RwandaRwanda, who openedkufunguliwa up a flowermaua businessbiashara
295
1095000
4000
Beatrice Gakuba wa Rwanda, alifungua biashara ya maua
18:44
and is now exportingkuhamisha to the DutchKiholanzi auctionmnada in AmsterdamAmsterdam eachkila mmoja morningasubuhi
296
1099000
5000
na sasa anayasafirisha kwenye mnada wa udachi huko Amsterdam kila asubuhi,
18:49
and is employingkuajiri 200 other womenwanawake and menwatu to work with her.
297
1104000
4000
na ameajiri wanawake na wanaume takriban 200 kumsaidia kazi.
18:54
HoweverHata hivyo, manywengi of these are starvednjaa for capitalmji mkuu to expandkupanua,
298
1109000
4000
Hata hivyo, wengi wao, wana kiu ya kupata mtaji wa kupanua biashara zao,
18:59
because nobodyhakuna believesanaamini outsidenje of our countriesnchi
299
1114000
3000
kwasababu hakuna anayeamini nje ya nchi zetu
19:02
that we can do what is necessarymuhimu. NobodyHakuna thinksanadhani in termsmaneno of a marketsoko.
300
1117000
5000
tunaweza kufanya mambo ya maana. Hakuna mtu anayefikiria kwa mtazamo wa masoko.
19:07
NobodyHakuna thinksanadhani there's opportunitynafasi.
301
1122000
3000
Hakuna anyefikiria kuna fursa
19:10
But I'm standingmsimamo here sayingkusema that those who missmiss the boatmashua now,
302
1125000
3000
Nimesimama hapa kuwaambia wale waliochelewa jahazi kwa sasa,
19:13
will missmiss it forevermilele.
303
1128000
2000
watalikosa milele.
19:15
So if you want to be in AfricaAfrika, think about investingkuwekeza.
304
1130000
6000
Kwa hiyo iwapo unataka kuwa Afrika, fikiria kuwekeza.
19:22
Think about the BeatricesBeatrices, think about the AdenikesAdenikes of this worldulimwengu,
305
1137000
6000
Wafikirie akina Beatrice, wafikirie kina Adenike wa dunia hii.
19:28
who are doing incredibleajabu things, that are bringingkuleta them
306
1143000
3000
ambao wanafanya mambo makubwa ambayo yanawasogeza
19:31
into the globalkimataifa economyuchumi, whilstwakati at the samesawa time makingkufanya sure
307
1146000
3000
katika uchumi wa dunia, wakati huo huo wakihakikisha
19:34
that theirwao fellowwenzake menwatu and womenwanawake are employedwalioajiriwa,
308
1149000
3000
wanawake wenzao na wanaume wanapata ajira.
19:37
and that the childrenwatoto in those householdskaya get educatedelimu
309
1152000
2000
na kwamba watoto katika familia hizo wanapata elimu
19:39
because theirwao parentswazazi are earningkupata adequatekutosha incomemapato.
310
1154000
3000
kwa sababu wazazi wao wanapata kipato cha kuridhisha
19:43
So I invitekumka you to explorekuchunguza the opportunitiesfursa.
311
1158000
4000
Kwa hiyo nina wakaribisha kuja kutafuta fursa
19:48
When you go to TanzaniaTanzania, listen carefullykwa makini,
312
1163000
4000
Mtakapo kwenda Tanzania, sikilizeni kwa makini,
19:52
because I'm sure you will hearkusikia of the variousmbalimbali openingsfursa that there will be
313
1167000
4000
kwasababu nina hakika mtasikia kuhusu fursa mbalimbali zilizopo
19:56
for you to get involvedhusika in something that will do good
314
1171000
5000
ili muweze kushiriki katika kufanya mambo mazuri
20:01
for the continentbara, for the people and for yourselvesninyi wenyewe.
315
1176000
5000
kwa bara hili, kwa watu wake na kwenu wenyewe
20:06
Thank you very much.
316
1181000
1000
Asanteni sana.
20:07
(ApplauseMakofi)
317
1182000
8000
(Makofi)

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Ngozi Okonjo-Iweala - Economist
Ngozi Okonjo-Iweala is a respected global economist.

Why you should listen

Okonjo-Iweala was the Finance Minister of Nigeria, Africa’s largest economy, from 2003 to 2006, and then briefly the country’s Foreign Affairs Minister, the first woman to hold either position. From 2011 to 2015 she was again named Minister of Finance and Coordinating Minister for the Economy of Nigeria. Between those terms, from 2007 to 2011, she was one of the managing director of the World Bank and a candidate to the organization’s presidency. She is now a senior advisor at financial advisory and asset management firm Lazard, and she chairs the Board of the Global Alliance for Vaccines and Immunization. At the World Bank, she worked for change in Africa and assistance for low-income countries. As Finance Minister, she attacked corruption to make Nigeria more transparent and desirable for investment and jobs, an activism that attracted criticism from circles opposed to reform.

More profile about the speaker
Ngozi Okonjo-Iweala | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee