ABOUT THE SPEAKER
Boniface Mwangi -
Boniface Mwangi is an award-winning Kenyan photographer, artist and activist. He is a TED Fellow.

Why you should listen
For four years Boniface Mwangi held a staff photography position at The Standard, the second largest Kenyan newspaper, taking on various assignments of increasing responsibility in a number of countries. Mwangi became the eye of Kenyans during the 2007 post-election violence and showed courage and compassion to capture thousands of images, some so gory that they could not be published.

Following the political resolution to the election crisis, Boniface started to see himself as a visual artist, using photography as the vehicle for social change in Kenya. His focus was the fight against the impunity of politicians in the face of over 1000 dead and half a million people displaced as a result of the violence they caused.

"Boniface’s images are crucial for the healing of our nation; his ability to stay focused and inject a sense of artistry into his work is a testimony to the spirit of professional journalism," wrote Jackson Biko after Boniface was voted Kenya Photojournalist of the Year in 2008 by readers of Adam, a men’s magazine in the country.

Since then, Boniface has continued to work as a freelance photographer for Bloomberg, the AFP, Reuters, the Boston Globe, and other media outlets while building a movement for social change in Kenya through “Picha Mtaani” (Swahili for street exhibition). The photo exhibit aims to heal the scars of Kenyans and draw their attention to the dynamics of the violence to prevent a repeat during the upcoming elections of 2013.

Boniface founded Pawa254 as a collaborative hub where journalists, artists and activists could meet to find innovative ways of achieving social change. The hub has already had many functions, but two campaigns stand out. “Heal the Nation” is a very successful initiative to show a half-hour documentary about post-election violence to as many Kenyans as possible and facilitate discussions around the film. The campaign is accompanied by a more shadowy graffiti campaign that has evoked strong reactions and fired up the youth of Kenya and the world, as images of the clever graffiti grace the pages of the world’s newspapers.

In 2009 United States Secretary of State Hillary Clinton wrote a letter commending Boniface for his work during the post-election violence. She stated, "Your photography is absolutely stunning and tells an important and powerful story for the world to hear."
More profile about the speaker
Boniface Mwangi | Speaker | TED.com
TEDGlobal 2014

Boniface Mwangi: The day I stood up alone

Boniface Mwangi: Siku niliposimama peke yangu

Filmed:
1,464,126 views

Mnasa picha Boniface Mwangi alitaka kupinga ufisadi nchini mwake Kenya. Hivyo aliweka mpango. Yeye na marafikize wangesimama na kupiga makelele kwenye mkutano wa hadhara. Lakini wakati huo ulipowadia…alisimama peke yake. Kilichotokea baadaye, anasimulia, kilimdhiririshia alikuwa mtu wa aina gani. Anavyosema, “Kuna siku mbili za umuhimu mkuu maishani mwako. Siku ya kuzaliwa, na siku utakavyogundua kwa nini." Picha za kuogofya.
-
Boniface Mwangi is an award-winning Kenyan photographer, artist and activist. He is a TED Fellow. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
People back home call me a hecklerheckler,
0
1707
2889
Nyumbani, watu huniita mpiga makelele,
00:16
a troublemakertroublemaker, an irritantinakereketa,
1
4596
2717
mleta matata, msumbufu,
00:19
a rebelwaasi, an activistmwanaharakati,
2
7313
2670
muasi, mwanaharakati,
00:21
the voicesauti of the people.
3
9983
1857
kioo cha jamii.
00:23
But that wasn'thaikuwa always me.
4
11840
2170
Lakini sikuwa hivyo.
00:26
GrowingKuongezeka up, I had a nicknamejina la utani.
5
14650
1532
Utotoni, nilikuwa na jina la utani.
00:28
They used to call me SoftySofty,
6
16182
2320
Waliniita Softi,
00:30
meaningmaana the softlaini, harmlesswapole boymvulana.
7
18502
3253
yaani kijana mwepesi asiye na mambo mengi.
00:33
Like everykila other humanbinadamu beingkuwa,
I avoidedkuepukwa troubleshida.
8
21755
2740
Kama binaadamu yeyote, niliepuka balaa,
00:36
In my childhoodutoto, they taughtalifundishwa me silencekimya.
9
24495
2043
Utotoni, walinifunza kimya.
00:38
Don't arguewanasema, do as you're told.
10
26538
1802
Usibishane, fanya unachoambiwa.
00:40
In SundayJumapili schoolshule, they taughtalifundishwa me
don't confrontkukabiliana, don't arguewanasema,
11
28340
3932
Kwenye shule ya dini, walinifunza
nisilete bughudha, nisibishane.
00:44
even if you're right,
turnkugeuka the other cheekshavu.
12
32272
3313
hata kama huna hatia, nyenyekea.
00:47
This was reinforcedkuimarishwa
by the politicalkisiasa climatehali ya hewa of the time.
13
35585
4597
Hili lilisisitizwa na hali ya siasa.
00:52
(LaughterKicheko)
14
40182
3601
(Kicheko)
00:55
KenyaKenya is a countrynchi
where you are guiltymwenye hatia
15
43783
1809
Kenya ni nchi unayochukuliwa kuwa na hatia
00:57
untilmpaka provenkuthibitishwa richtajiri.
16
45592
2647
hadi unapojulikana una mali
01:00
(LaughterKicheko)
17
48239
2745
(Kicheko)
01:02
Kenya'sGazeti poormaskini are fivetano timesnyakati more likelyuwezekano
18
50984
2742
Wakenya maskini wanaweza mara tano zaidi
01:05
to be shotrisasi deadwamekufa by the policepolisi
who are meantmaana yake to protectkulinda them
19
53726
2924
kupigwa risasi na polisi wanaopaswa kuwalinda
01:08
than by criminalswahalifu.
20
56650
1648
Kuliko wahalifu.
01:10
This was reinforcedkuimarishwa
by the politicalkisiasa climatehali ya hewa of the day.
21
58298
2647
Haya yalisisitizwa na hali ya kisiasa nyakati hizo.
01:12
We had a presidentrais,
MoiMoi, who was a dictatordictator.
22
60945
2949
Tulikuwa na rais, Moi, aliyekuwa
kiongozi wa kiimla.
01:15
He ruledilitawala the countrynchi with an ironchuma fistngumi,
23
63894
2206
Aliitawala nchi kwa mabavu,
01:18
and anyoneyeyote who daredalishangaa
questionswali his authoritymamlaka
24
66100
2438
na yeyote aliyethubutu kukiuka uongozi wake
01:20
was arrestedwalikamatwa, torturedkuteswa,
jailedjela or even killedaliuawa.
25
68538
4969
alishikwa, akapigwa, akafungwa au kuuawa.
01:25
That meantmaana yake that people were taughtalifundishwa
to be smartsmart cowardswaoga, staykaa out of troubleshida.
26
73507
3924
Hivyo wananchi walikuwa waoga werevu,
kujiepusha na matata.
01:29
BeingKuwa a cowardmwoga was not an insultmatusi.
27
77431
2043
Kuwa mwoga halikuwa tusi.
01:31
BeingKuwa a cowardmwoga was a complimentpongezi.
28
79474
1927
Kuwa mwoga lilikuwa jambo zuri.
01:33
We used to be told that a cowardmwoga
goeshuenda home to his mothermama.
29
81401
3158
Tuliishi kuelezwa kuwa mtu mwoga
hurudi nyumbani kwa mamaye.
01:36
What that meantmaana yake: that if you stayedwalikaa
out of troubleshida you're going to staykaa alivehai.
30
84559
3761
Ilikuwa na maana hii: ukijiepusha na
matata utaishi.
01:40
I used to questionswali this adviceushauri,
31
88320
1940
Niliushuku wosia huu,
01:42
and eightnane yearsmiaka agoiliyopita
we had an electionuchaguzi in KenyaKenya,
32
90260
2822
na miaka minane iliyopita tukawa
na uchaguzi nchini Kenya,
01:45
and the resultsmatokeo were violentlyukali disputedkubishana.
33
93082
2483
na matokeo yakapingwa vikali.
01:47
What followedikifuatiwa that electionuchaguzi
was terriblembaya violencevurugu, rapekubaka,
34
95565
4737
Kilichofuata kilikuwa fujo mbaya, ubakaji,
01:52
and the killingkuua of over 1,000 people.
35
100302
3937
na mauaji ya zaidi ya watu elfu moja.
01:56
My work was to documenthati the violencevurugu.
36
104239
3121
Kazi yangu ilikuwa kunasa fujo hizo.
01:59
As a photographermpiga picha,
I tookalichukua thousandsmaelfu of imagesPicha,
37
107360
2856
Kama mnasa picha, nilinasa maelfu ya picha,
02:02
and after two monthsmiezi,
38
110216
2067
na baada ya miezi miwili,
02:04
the two politicianswanasiasa camealikuja togetherpamoja,
had a cupkikombe of teachai,
39
112283
4875
wanasiasa hao walikutana, wakapata chai
02:09
signediliyosainiwa a peaceamani agreementmakubaliano,
and the countrynchi movedwakiongozwa on.
40
117158
3437
wakatia sahihi mkataba wa amani
na nchi ikasonga mbele.
02:12
I was a very disturbedkusumbuliwa man
because I saw the violencevurugu firsthandmwenyewe.
41
120595
3529
Nilitatizika sana kwa sababu
nilishuhudia rabsha kinaganaga
02:16
I saw the killingsmauaji.
I saw the displacementmakazi yao.
42
124124
3606
Niliona mauaji. Niliona waliofurushwa
kutoka kwa makao yao.
02:19
I metalikutana womenwanawake who had been rapedalibakwa,
and it disturbedkusumbuliwa me,
43
127730
3081
Nilipata wanawake waliobakwa, na lilinitatiza,
02:22
but the countrynchi never spokealizungumza about it.
44
130811
2044
lakini nchi kaikuyajali hayo.
02:24
We pretendedalijifanya. We all becameikawa smartsmart cowardswaoga.
45
132855
2484
Tulijidai. Tuligeuka kuwa waoga werevu.
02:27
We decidedaliamua to staykaa out of troubleshida
and not talk about it.
46
135339
3599
Tuliamua kujiepusha na rabsha na kutojishughulisha.
02:30
TenKumi monthsmiezi laterbaadae, I quitkuacha my jobkazi.
I said I could not standsimama it anymoretena.
47
138938
3297
Miezi kumi baadaye, niliacha kazi.
Singeweza tena kustahimili hayo.
02:34
After quittingkuacha my jobkazi,
I decidedaliamua to organizekupanga my friendsmarafiki
48
142235
2595
Baada ya kuiacha kazi, niliamua
kujiunga na marafiki zangu
02:36
to speaksema about
the violencevurugu in the countrynchi,
49
144830
2020
kuongea kuhusu ghasia nchini,
02:38
to speaksema about the statehali of the nationtaifa,
50
146850
1864
kuongeakuhusu hali taifa lilipokuwa,
02:40
and JuneJuni 1, 2009 was the day
that we were meantmaana yake to go to the stadiumstadi
51
148714
4116
na Juni Mosi Elfu mwaka wa Mbili na Tisa
ilikuwa siku tuliyopanga kufika uwanjani
02:44
and try and get the president'swa Rais attentiontazama.
52
152830
2059
na kujaribu kupata sikio la rais.
02:46
It's a nationalkitaifa holidaySikukuu,
53
154889
1440
Ilikuwa siku kuu,
02:48
it's broadcastmatangazo acrosskote the countrynchi,
54
156329
1649
sherehe yenyewe ilitangazwa kote nchini,
02:49
and I showedilionyesha up at the stadiumstadi.
55
157978
3408
na nilifika uwanjani.
02:53
My friendsmarafiki did not showonyesha up.
56
161386
2994
Marafiki zangu hawakutokea.
02:56
I foundkupatikana myselfMimi mwenyewe alonepeke yake,
57
164380
3373
Nilijipata peke yangu,
02:59
and I didn't know what to do.
58
167753
2527
na sikujua la kufanya.
03:02
I was scaredhofu,
59
170280
1415
Niliogopa,
03:03
but I knewalijua very well
that that particularhasa day,
60
171695
2170
lakini nilifahamu vyema kuwa siku hiyo,
03:05
I had to make a decisionuamuzi.
61
173865
1221
Nilihitaji kufanya uamuzi.
03:07
Was I ableinaweza to livekuishi as a cowardmwoga,
like everyonekila mtu elsemwingine,
62
175086
2423
Ningeweza kuishi kama mwoga,
kama watu wengine,
03:09
or was I going to make a standsimama?
63
177509
1598
au ningechukua msimamo thabiti?
03:11
And when the presidentrais stoodalisimama up to speaksema,
64
179107
2206
Na rais aliposimama kuhutubu,
03:13
I foundkupatikana myselfMimi mwenyewe on my feetmiguu
shoutingkupiga kelele at the presidentrais,
65
181313
4607
Nilijipata nimesimama nimkemea,
03:17
tellingkuwaambia him to rememberkumbuka
the post-electionbaada ya uchaguzi violencevurugu victimswaathirika,
66
185920
3194
nikimwambia awakumbuke waasiriwa
wa ghasia za baada ya uchaguzi,
03:21
to stop the corruptionrushwa.
67
189114
2276
kumaliza ufisadi.
03:23
And suddenlyghafla, out of nowheremahali popote,
68
191390
2205
Na punde si punde,
03:25
the policepolisi pouncedpounced on me
like hungrynjaa lionssimba.
69
193595
3112
polisi walinirukia kama simba wenye njaa.
03:28
They helduliofanyika my mouthkinywa
70
196707
1857
Walinifunga mdomo
03:30
and draggedimetumbwa me out of the stadiumstadi,
71
198564
1927
na kuniburuta hadi nje ya uwanja,
03:32
where they thoroughlyvizuri beatpiga me up
and lockedimefungwa me up in jailjela.
72
200491
2971
ambapo walinitwanga na kunitupa jela.
03:37
I spentalitumia that night in
a coldbaridi cementsaruji floorsakafu in the jailjela,
73
205112
6758
Usiku huo nililala kwenye sakafu baridi
ndani ya jela,
03:43
and that got me thinkingkufikiri.
74
211870
2648
ndipo nikawaza.
03:46
What was makingkufanya me feel this way?
75
214518
1871
Ni lipi lililonifanya nihisi hivyo?
03:48
My friendsmarafiki and familyfamilia thought
I was crazywazimu because of what I did,
76
216389
3165
Marafiki zangu na jamaa zangu walifikiri
nimekuwa kichaa kwa yale niliyofanya,
03:51
and the imagesPicha that I tookalichukua
were disturbingkutisha my life.
77
219554
5014
na picha nilizonasa zilinisumbua.
03:56
The imagesPicha that I tookalichukua
were just a numbernambari to manywengi KenyansWakenya.
78
224568
2950
Picha nilizonasa zilikuwa nambari tu
kwa wakenya wengi.
03:59
MostWengi KenyansWakenya did not see the violencevurugu.
79
227518
1947
Wakenya wengi hawakushuhudia ghasia.
04:01
It was a storyhadithi to them.
80
229465
1695
Kwao ilikuwa hadithi tu.
04:03
And so I decidedaliamua to actuallykwa kweli
startkuanza a streetbarabara exhibitionmaonyesho
81
231160
2787
Hivyo nikaamua kuanza maonyesho mtaani
04:05
to showonyesha the imagesPicha of the violencevurugu
acrosskote the countrynchi
82
233947
2786
kuonyesha picha za ghasia hizo nchini kote
04:08
and get people talkingkuzungumza about it.
83
236733
1974
na kuwapa watu fursa ya kujadiliana
kuhusu ghasia hizo.
04:10
We traveledalisafiri the countrynchi
and showedilionyesha the imagesPicha,
84
238707
2809
Tulizuru sehemu mbali mbali nchini
na kuonyesha picha hizo,
04:13
and this was a journeysafari that has startedilianza me
to the activistmwanaharakati pathnjia,
85
241516
3483
na hio ilikuwa safari iliyoniweka katika
mkondo wa uwanaharakati,
04:16
where I decidedaliamua to becomekuwa silentkimya no more,
86
244999
2717
nilipoamua kutonyamaza tena kamwe,
04:19
to talk about those things.
87
247716
2198
Kuongea wazi kuhusu mambo yale.
04:21
We traveledalisafiri, and our generaljumla sitetovuti
from our streetbarabara exhibitmaonyesho
88
249914
3650
Tulitembea na ugunduzi uliotokana
na kuonyesha picha mitaani
04:25
becameikawa for politicalkisiasa graffitigraffiti videos
about the situationhali in the countrynchi,
89
253564
4798
ukachangia unanzilishi wa picha za kisiasa
kuhusu hali iliyokumba nchi yetu,
04:30
talkingkuzungumza about corruptionrushwa, badmbaya leadershipuongozi.
90
258362
2758
kuongea kuhusu ufisadi, uongozi mbovu.
04:33
We have even donekufanyika symbolicishara burialsmazishi.
91
261120
3780
Hata tumefanya mazishi-ashiria.
04:36
We have deliveredilitoa livekuishi pigsnguruwe
to Kenya'sGazeti parliamentbunge
92
264900
3982
Tumefikisha nguruwe kwenye bunge la Kenya
04:40
as a symbolishara of our politicians'wanasiasa greedtamaa.
93
268882
1928
kuashiria tamaa ya wanasiasa
04:42
It has been donekufanyika in UgandaUganda
and other countriesnchi,
94
270810
2231
Hili limeigizwa nchini Uganda na nchi zingine,
04:45
and what is mostwengi powerfulnguvu is that
the imagesPicha have been pickedilichukua by the mediavyombo vya habari
95
273041
3509
na jambo kuu ni kwamba picha hizo
zimechukuliwa na vyombo vya habari
04:48
and amplifiedyalisisitizwa acrosskote the countrynchi,
acrosskote the continentbara.
96
276550
3036
na kusambazwa kote nchini, kote Africa.
04:51
Where I used to standsimama up alonepeke yake
sevensaba yearsmiaka agoiliyopita,
97
279586
2647
Ingawa nilisimama peke yangu miaka saba iliyopita,
04:54
now I belongni to a communityjumuiya
of manywengi people who standsimama up with me.
98
282233
3026
sasa nimekuwa mmoja katika jamii ya watu
wanaosimama pamoja nami.
04:57
I am no longertena alonepeke yake when I standsimama up
to speaksema about these things.
99
285259
4328
Simo peke yangu tena ninaposimama
kuongea kuhusu mambo haya.
05:02
I belongni to a groupkikundi of youngvijana people
who are passionateshauku about the countrynchi,
100
290177
4173
Mie ni mmoja kati ya kikundi cha vijana
wanaopenda sana nchi yao,
05:06
who want to bringkuleta about changemabadiliko,
101
294350
1850
wanaopania kuleta mabadiliko,
05:08
and they're no longertena afraidhofu,
and they're no longertena smartsmart cowardswaoga.
102
296200
4414
na hawaogopi tena, na si waoga werevu.
05:13
So that was my storyhadithi.
103
301744
2728
Hio ndio hadithi yangu.
05:18
That day in the stadiumstadi,
104
306242
2598
Siku ile uwanjani,
05:20
I stoodalisimama up as a smartsmart cowardmwoga.
105
308840
2487
Nilisimama kama mwoga mwerevu.
05:23
By that one actionhatua, I said goodbyeKwaheri
to the 24 yearsmiaka livingwanaishi as a cowardmwoga.
106
311327
5247
Kwa kitendo hicho kimoja, niliipungia mkono wa buriani
miaka ishirini na nne ya kuishi kama mwoga.
05:28
There are two mostwengi powerfulnguvu
dayssiku in your life:
107
316574
3042
Kuna siku mbili kuu zaidi maishani mwako:
05:31
the day you're bornalizaliwa,
and the day you discovergundua why.
108
319616
4546
ile siku uliyozaliwa, na ile utakapogundua kwa nini.
05:36
That day standingmsimamo up in that stadiumstadi
shoutingkupiga kelele at the PresidentRais,
109
324771
3244
Siku ile niliposimama uwanjani nikikemea Rais,
05:40
I discoveredaligundua why I was trulykweli bornalizaliwa,
110
328015
3280
Niligundua kwa kweli kwa nini nilizaliwa,
05:43
that I would no longertena be silentkimya
in the faceuso of injusticehaki.
111
331295
3251
kwamba sitakimya tena nionapo unyanyasaji.
05:47
Do you know why you were bornalizaliwa?
112
335776
2804
Je, wajua nia yako ya kuzaliwa?
05:51
Thank you.
113
339700
1835
Asanteni.
05:53
(ApplauseMakofi)
114
341535
4919
(Makofi)
06:00
TomTom RiellyRielly: It's an amazingajabu storyhadithi.
115
348524
2507
Tom Rielly: Hadithi nzuri sana hii.
06:03
I just want to askkuuliza you
a couplewanandoa quickharaka questionsmaswali.
116
351031
2556
Nataka tu kukuuliza maswali machache.
06:05
So PAWAPAWA254:
117
353587
2320
Hii PAWA254:
06:07
you've createdimeundwa a studiostudio, a placemahali
where youngvijana people can go
118
355907
4313
umeunda studio, mahali
vijana wanaweza kwenda
06:12
and harnesskuunganisha the powernguvu of digitaldigital mediavyombo vya habari
119
360220
1956
na kudhihirisha umuhimu wa vyombo vya
utandawazi
06:14
to do some of this actionhatua.
120
362176
2511
kufanya mambo haya.
06:16
What's happeningkinachotokea now with PAWAPAWA?
121
364687
1877
Ni yepi yanayoendelea na PAWA?
06:18
BonifaceBoniface MwangiMwangi: So we have
this communityjumuiya of filmmakerswaandishi wa filamu,
122
366564
2783
Boniface Mwangi: Tuna hii jamii ya
watengeneza filamu,
06:21
graffitigraffiti videos artistswasanii, musicianswanamuziki,
and when there's an issuesuala in the countrynchi,
123
369347
3363
wasanii, wanamuziki, na
wakati kuna tukio nchini,
06:24
we come togetherpamoja, we brainstormkuchangia mawazo,
and take up on that issuesuala.
124
372710
2801
tunajiunga pamoja, tunajadiliana, na kulichukulia maanani tukio hilo.
06:27
So our mostwengi powerfulnguvu toolchombo is artsanaa,
125
375511
2056
Chombo muhimu zaidi kwetu ni sanaa,
06:29
because we livekuishi in a very busybusy worldulimwengu
where people are so busybusy in theirwao life,
126
377567
3831
kwa sababu tunaishi nyakati mabazo watu wanashughulika na mambo mengi maishani,
06:33
and they don't have time to readsoma.
127
381398
2067
na hawana ule wakati wa kusoma.
06:35
So we packagemfuko our activismuanaharakati wa kupinga
and we packagemfuko our messageujumbe in artsanaa.
128
383465
4133
Hivyo tunaeleza uwanaharakati na ujumbe
wetu tukitumia sanaa.
06:39
So from the musicmuziki, the graffitigraffiti videos,
the artsanaa, that's what we do.
129
387598
4979
Tukitumia muziki, usanii, sanaa, hayo ndiyo tufanyayo.
06:45
Can I say one more thing?
130
393557
2028
Naweza kusema jambo la ziada?
06:47
TRTR: Yeah, of coursebila shaka. (ApplauseMakofi)
131
395585
1881
TR: Kwa kweli. (Makofi)
06:49
BMBM: In spitekinyume chake of beingkuwa arrestedwalikamatwa,
beatenkupigwa up, threatenedkutishiwa,
132
397466
2635
BM: Licha ya kutiwa mbaroni, kupigwa, kutishwa,
06:52
the momentwakati I discoveredaligundua my voicesauti,
133
400101
1713
nilipogundua sauti yangu,
06:53
that I could actuallykwa kweli standsimama up
for what I really believedaliamini in,
134
401814
2896
kuwa ningeweza kuchukua msimamo kwa lile nililoamini,
06:56
I'm no longertena afraidhofu.
135
404710
1038
sina uoga tena.
06:57
I used to be calledaitwaye softysofty,
but I'm no longertena softysofty,
136
405748
2742
Waliniita softi, lakini mie si softi tena,
07:00
because I discoveredaligundua who I really am,
as in, that's what I want to do,
137
408490
3401
kwa sababu niligundua mimi ni nani,
yaani, kazi hio tu ndio nataka kufanya,
07:03
and there's suchvile beautyuzuri in doing that.
138
411891
3036
na ni raha ilioje kufanya kazi hio.
07:06
There's nothing as powerfulnguvu as that,
knowingkujua that I'm meantmaana yake to do this,
139
414927
3389
Hakuna jambo kuu kama kufahamu unapaswa
kufanya jambo fulani,
07:10
because you don't get scaredhofu,
you just continueendelea livingwanaishi your life.
140
418316
3147
kwa sababu hautakuwa na woga,
unaendelea tu kuishi maisha kivyako.
07:13
Thank you.
141
421463
2186
Asanteni.
07:15
(ApplauseMakofi)
142
423649
3590
(Makofi)
Translated by David Mvoi
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Boniface Mwangi -
Boniface Mwangi is an award-winning Kenyan photographer, artist and activist. He is a TED Fellow.

Why you should listen
For four years Boniface Mwangi held a staff photography position at The Standard, the second largest Kenyan newspaper, taking on various assignments of increasing responsibility in a number of countries. Mwangi became the eye of Kenyans during the 2007 post-election violence and showed courage and compassion to capture thousands of images, some so gory that they could not be published.

Following the political resolution to the election crisis, Boniface started to see himself as a visual artist, using photography as the vehicle for social change in Kenya. His focus was the fight against the impunity of politicians in the face of over 1000 dead and half a million people displaced as a result of the violence they caused.

"Boniface’s images are crucial for the healing of our nation; his ability to stay focused and inject a sense of artistry into his work is a testimony to the spirit of professional journalism," wrote Jackson Biko after Boniface was voted Kenya Photojournalist of the Year in 2008 by readers of Adam, a men’s magazine in the country.

Since then, Boniface has continued to work as a freelance photographer for Bloomberg, the AFP, Reuters, the Boston Globe, and other media outlets while building a movement for social change in Kenya through “Picha Mtaani” (Swahili for street exhibition). The photo exhibit aims to heal the scars of Kenyans and draw their attention to the dynamics of the violence to prevent a repeat during the upcoming elections of 2013.

Boniface founded Pawa254 as a collaborative hub where journalists, artists and activists could meet to find innovative ways of achieving social change. The hub has already had many functions, but two campaigns stand out. “Heal the Nation” is a very successful initiative to show a half-hour documentary about post-election violence to as many Kenyans as possible and facilitate discussions around the film. The campaign is accompanied by a more shadowy graffiti campaign that has evoked strong reactions and fired up the youth of Kenya and the world, as images of the clever graffiti grace the pages of the world’s newspapers.

In 2009 United States Secretary of State Hillary Clinton wrote a letter commending Boniface for his work during the post-election violence. She stated, "Your photography is absolutely stunning and tells an important and powerful story for the world to hear."
More profile about the speaker
Boniface Mwangi | Speaker | TED.com