ABOUT THE SPEAKER
Jimmy Lin - Geneticist
TED Fellow Jimmy Lin is developing technologies to catch cancer early.

Why you should listen

C. Jimmy Lin, MD, PhD, MHS is the Chief Scientific Officer (CSO), Oncology at Natera and a TED Fellow. He comes from a long history as a pioneer in cancer genomics. Most recently, he led the clinical genomics program at the National Cancer Institute (NCI) at the National Institutes of Health (NIH). Previously, at Johns Hopkins and Washington University in St. Louis, Lin was part of one of the first clinical genomics labs in academia and led the computational analyses of the first ever exome sequencing studies in cancer, including breast, colorectal, pancreatic, glioblastoma, medulloblastoma and melanoma.

Lin has published in top academic journals, such as Science, Nature and Cell, and he has been an expert in national and international media outlets, such as New York Times, Forbes, Bloomberg BusinessweekThe Washington Post, and the Financial Times.

More profile about the speaker
Jimmy Lin | Speaker | TED.com
TED2017

Jimmy Lin: A simple new blood test that can catch cancer early

Jimmy Lin: Kipimo cha damu rahisi kinachoweza kugundua saratani mapema

Filmed:
1,471,238 views

Jimmy Lin anaendeleza teknolojia ya kugundua saratani miezi hadi miaka kabla ya njia zinazotumika sasa. Ametushirikisha mbinu za uvumbuzi huu ambazo huangalia viashiria vidogo vya saratani vinavyokuwepo kupitia kipimo rahisi cha damu, kugundua urudivu wa baadhi ya aina ya ugonjwa siku 100 mapema zaidi ya njia zilizo zoeleka. Unaweza kuwa mwali wa matumaini katika mapambano ambapo ugunduzi wa mapema huleta utofauti mkubwa.
- Geneticist
TED Fellow Jimmy Lin is developing technologies to catch cancer early. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
CancerSaratani.
0
1753
1167
Saratani.
00:15
ManyWengi of us have lostpotea familyfamilia,
friendsmarafiki or lovedkupendwa oneswale
1
3301
3065
Wengi wetu tumepoteza ndugu wa familia
marafiki au wapendwa wetu
00:18
to this horriblekutisha diseaseugonjwa.
2
6390
1680
kwa ugonjwa huu mbaya sana.
00:20
I know there are some of you
in the audiencewatazamaji
3
8094
2096
Nafahamu kuna baadhi yenu
katika hadhira hii
00:22
who are cancerkansa survivorswaathirika,
4
10214
1241
ni manusura wa saratani,
00:23
or who are fightingmapigano cancerkansa at this momentwakati.
5
11479
2155
au ambao wanapambana na saratani kwa sasa.
00:25
My heartmoyo goeshuenda out to you.
6
13658
1991
Moyo wangu unaguswa nanyi.
00:27
While this wordneno oftenmara nyingi conjureswala up
emotionshisia of sadnesshuzuni and angerhasira and fearhofu,
7
15673
5274
Wakati neno hili linaleta hisia za
huzuni na hasira na hofu,
00:32
I bringkuleta you good newshabari
from the frontmbele linesmistari of cancerkansa researchutafiti.
8
20971
3514
Ninakuletea habari njema
kutoka kwenye utafiti wa saratani
00:36
The factukweli is, we are startingkuanzia to winkushinda
the warvita on cancerkansa.
9
24509
3860
Ukweli ni kwamba tunaanza kushinda
vita ya saratani.
00:41
In factukweli, we lieuongo at the intersectionushirikiano
10
29318
1703
Kiukweli, tupo katikati
00:43
of the threetatu of the mostwengi excitingkusisimua
developmentsmaendeleo withinndani cancerkansa researchutafiti.
11
31045
4189
kwenye mambo matatu endelevu ndani
utafiti wa Saratani wa kusisimua
00:47
The first is cancerkansa genomicsgenomics.
12
35258
2285
Ya kwanza ni genome ya Saratani
00:49
The genomegenome is a compositionutungaji
13
37567
2025
Genome ni uundwaji
00:51
of all the geneticmaumbile informationhabari
encodediliyosimbikwa by DNADNA
14
39616
2936
wa taarifa za kijenetikia
zilizosimbwa na DNA
00:54
in an organismviumbe.
15
42576
1367
ndani ya kiumbehai
00:55
In cancerskansa, changesmabadiliko
in the DNADNA calledaitwaye mutationsmabadiliko
16
43967
2841
Kwenye saratani, mabadiliko ya
DNA yaitwayo ubadilikaji seli
00:58
are what drivekuendesha these cancerskansa
to go out of controlkudhibiti.
17
46832
2802
ni kile kinachosukuma saratani hizi
kushindwa kudhibitiwa
01:02
Around 10 yearsmiaka agoiliyopita,
I was partsehemu of the teamtimu at JohnsJohns HopkinsHopkins
18
50070
3292
Karibia miaka 10 iliyopita
nilikuwa sehemu ya timu ya John Hopkins
01:05
that first mappedRamani
the mutationsmabadiliko of cancerskansa.
19
53386
2598
watu wa kwanza kuunda ramani
ya mabadiliko ya saratani
01:08
We did this first for colorectalwanaopata,
20
56008
2186
Tulifanya kwanza kwa ya utumbo,
01:10
breastTiti, pancreaticpancreatic and brainubongo cancerskansa.
21
58218
2526
matiti, kongosho na saratani ya ubongo
01:13
And sincetangu then, there have been
over 90 projectsmiradi in 70 countriesnchi
22
61164
3512
Na kuanzia hapo,, kumekuwa na
zaidi ya miradi 90 kwenye nchi 70
01:16
all over the worldulimwengu,
23
64700
1590
duniani kote
01:18
workingkufanya kazi to understandkuelewa
the geneticmaumbile basismsingi of these diseasesmagonjwa.
24
66314
3375
inayofanyia kazi kuelewa
msingi wa jenetikia ya magonjwa haya.
01:21
TodayLeo, tensmakumi of thousandsmaelfu
of cancerskansa are understoodkueleweka
25
69713
3054
Leo hii, maelfu ya magonjwa
ya saratani yanaeleweka
01:24
down to exquisitekuyavumilia molecularMasi detailmaelezo zaidi.
26
72791
2295
hadi kipengele bora cha mwanzo cha
molekyuli
01:28
The secondpili revolutionmapinduzi
is precisionusahihi medicinedawa,
27
76200
2302
Mapinduzi ya pili ni tiba mahsusi,
01:30
alsopia knowninayojulikana as "personalizedyaliyobinafsishwa medicinedawa."
28
78526
2404
yajulikanayo pia kama "tiba kulingana
na ugonjwa".
01:32
InsteadBadala yake of one-size-fits-allOne-size-fits-All methodsnjia
to be ableinaweza to treatkutibu cancerskansa,
29
80954
3577
badala ya njia ya tiba aina moja
kutumika kutibu saratani zote,
01:36
there is a wholeyote newmpya classdarasa of drugsmadawa
that are ableinaweza to targetlengo cancerskansa
30
84555
3655
kuna madaraja mapya ya dawa
ambazo yanaweza kulenga saratani
01:40
basedmsingi on theirwao uniquekipekee geneticmaumbile profileMaelezo mafupi.
31
88234
2207
kulingana na wasifu wake wa kipekee
kijenetikia
01:42
TodayLeo, there are a hostmwenyeji
of these tailor-madeTailor-Made drugsmadawa,
32
90917
2930
Leo kuna makazi ya
hizi dawa zilizotengenezwa
01:45
calledaitwaye targetedwalengwa therapiesmatibabu,
33
93871
1330
ziitwazo tiba za kulenga,
01:47
availableinapatikana to physiciansmadaktari even todayleo
34
95225
2183
zinazopatikana kwa kila daktari hata leo
01:49
to be ableinaweza to personalizeCustomize
theirwao therapytiba for theirwao patientswagonjwa,
35
97432
3263
kuweza kupanga tiba mahsusi
kwa wagonjwa wao,
01:52
and manywengi otherswengine are in developmentmaendeleo.
36
100719
1926
na nyingine nyingi zinaendelezwa.
01:55
The thirdtatu excitingkusisimua revolutionmapinduzi
is immunotherapyimmunotherapy,
37
103296
3298
mapinduzi ya tatu ya kusisimua
ni tiba ya kingamaradhi
01:58
and this is really excitingkusisimua.
38
106618
1776
na hii inasisimua kweli.
02:01
ScientistsWanasayansi have been ableinaweza
to leverageupanuzi the immunekinga systemmfumo
39
109045
2710
Wanasanyansi wameweza
kutumia vizuri mfumo wa kinga
02:03
in the fightkupigana againstdhidi cancerkansa.
40
111779
1495
kupambana dhidi ya saratani.
02:05
For examplemfano, there have been waysnjia
where we find the off switchesswichi of cancerkansa,
41
113832
4196
Kwa mfano, kumekuwa na njia ambazo
tunakuta huzima saratani,
02:10
and newmpya drugsmadawa have been ableinaweza
to turnkugeuka the immunekinga systemmfumo back on,
42
118052
3444
na dawa mpya zimeweza
kugeuza mfumo wa kinga tena,
02:13
to be ableinaweza to fightkupigana cancerkansa.
43
121520
1588
kuweza kupambana na saratani.
02:15
In additionkuongeza, there are waysnjia
where you can take away immunekinga cellsseli
44
123132
4091
Kwa kuongezea, kuna njia ambazo
unaweza kuondoa seli za kinga
02:19
from the bodymwili,
45
127247
1160
kutoka mwilini,
02:20
traintreni them, engineermhandisi them
and put them back into the bodymwili
46
128431
3087
kuzifunza, kuziunda
na kuzirudisha tena mwilini
02:23
to fightkupigana cancerkansa.
47
131542
1377
kupambana na saratani.
02:24
AlmostKaribu soundssauti like
sciencesayansi fictionfiction, doesn't it?
48
132943
2678
Inaonekana kama
hadithi ya sayansi ya kutunga si ndio?
02:28
While I was a researchermtafiti
at the NationalTaifa CancerSaratani InstituteChuo,
49
136090
3016
Wakati nilipokuwa mtafiti
kwenye Chuo cha Taifa cha Saratani,
02:31
I had the privilegeupendeleo of workingkufanya kazi
with some of the pioneerswaanzilishi of this fieldshamba
50
139130
3455
Nilibahatika kufanyakazi na
baadhi ya waanzilishi wa idara hii
02:34
and watchedaliangalia the developmentmaendeleo firsthandmwenyewe.
51
142609
2246
na kuangalia maendeleo ya awali.
02:36
It's been prettynzuri amazingajabu.
52
144879
1443
imekuwa ya kustaajabisha sana.
02:38
TodayLeo, over 600 clinicalkliniki trialsmajaribio are openkufungua,
53
146346
3005
Leo, kuna zaidi ya majaribio 600 ya
kikliniki,
02:41
activelykikamilifu recruitingkuajiri patientswagonjwa
to explorekuchunguza all aspectsmambo in immunotherapyimmunotherapy.
54
149375
4185
yakuwafunza wagonjwa kuangalia vipengele
vyote vya tiba ya kingamaradhi
02:46
While these threetatu excitingkusisimua
revolutionsmapinduzi are ongoinginayoendelea,
55
154664
3061
Wakati mapinduzi haya matatu ya kusisimua
yanaendelea,
02:49
unfortunatelykwa bahati mbaya, this is only the beginningmwanzo,
56
157749
2024
bahati mbaya huu ni mwanzo tu,
02:51
and there are still manywengi, manywengi challengeschangamoto.
57
159797
3211
na bado kuna changamoto nyingi.
02:55
Let me illustratekuonyesha with a patientsubira.
58
163032
1749
Ngoja nitolee mfano kwa mgonjwa
02:58
Here is a patientsubira
with a skinngozi cancerkansa calledaitwaye melanomamelanoma.
59
166201
2911
Hapa ni mgonjwa
mwenye saratani ya ngozi iitwayo melanoma.
03:01
It's horriblekutisha; the cancerkansa
has gonewamekwenda everywherekila mahali.
60
169136
3047
ni mbaya sana; saratani
imeenea kila mahali.
03:05
HoweverHata hivyo, scientistswanasayansi were ableinaweza
to mapramani the mutationsmabadiliko of this cancerkansa
61
173206
3720
Ingawa wanasayansi waliweza kuunda
ramani ya mabadiliko ya saratani hii
03:08
and give a specificz zara treatmentmatibabu
that targetsmalengo one of the mutationsmabadiliko.
62
176950
4056
na kutoa tiba mahsusi kwa kulenga
mabadiliko
03:13
And the resultmatokeo is almostkaribu miraculousmiujiza.
63
181950
2453
Na matokeo ni karibia muujiza.
03:16
TumorsUvimbe almostkaribu seemkuonekana to meltkuyeyuka away.
64
184427
2446
Uvimbe ulionekana kuyeyuka kabisa.
03:19
UnfortunatelyKwa bahati mbaya, this is not
the endmwisho of the storyhadithi.
65
187910
2512
Bahati mbaya huu sio mwisho
wa hadithi.
03:23
A fewwachache monthsmiezi laterbaadae, this picturepicha is takenkuchukuliwa.
66
191077
2479
Miezi michache baadae, hii picha ilipigwa.
03:26
The tumortumor has come back.
67
194157
1487
Uvimbe umerudi tena.
03:28
The questionswali is: Why?
68
196627
1580
Swali ni: Kwanini?
03:30
The answerjibu is tumortumor heterogeneityheterogeneity.
69
198892
2432
Jibu ni uvimbe mbalimbali
03:34
Let me explainkuelezea.
70
202107
1249
Ngoja nifafanue zaidi.
03:37
Even a cancerkansa as smallndogo
as one centimetersentimita in diameterkipenyo
71
205124
3488
Hata saratani ndogo kiasi cha
sentimita moja katika mduara
03:40
harborsbandari over a hundredmia millionmilioni
differenttofauti cellsseli.
72
208636
2693
huhifadhi seli zaidi ya
milioni mia moja tofauti.
03:43
While geneticallykizazi similarsawa,
73
211848
1881
Pamoja na kufanana kijenetikia,
03:45
there are smallndogo differencestofauti
in these differenttofauti cancerskansa
74
213753
2709
kuna tofauti ndogo katika
saratani hizi tofauti
03:48
that make them differentlytofauti pronekuepuka
to differenttofauti drugsmadawa.
75
216486
2857
inazozifanya zigeuke tofauti
kwa dawa tofauti.
03:51
So even if you have a drugdawa
that's highlysana effectiveufanisi,
76
219367
2428
Hivyo hata kama una dawa yenye
kufanya kazi vizuri,
03:53
that killsunaua almostkaribu all the cellsseli,
77
221819
1735
ambayo huua karibia seli zote,
03:55
there is a chancenafasi
that there's a smallndogo populationidadi ya watu
78
223578
3190
kunauwezekano kwamba
kuna idadi ndogo ya seli
03:58
that's resistantsugu to the drugdawa.
79
226792
1774
ambayo ni sugu kwa dawa.
04:00
This ultimatelyhatimaye is the populationidadi ya watu
80
228590
2022
Hii hatimaye ni idadi ya seli
04:02
that comesinakuja back,
81
230636
1164
ambazo hurudi,
04:03
and takes over the patientsubira.
82
231824
1318
na kumchukua tena mgonjwa.
04:05
So then the questionswali is:
What do we do with this informationhabari?
83
233887
2859
Sasa basi swali ni:
Tunafanyia nini taarifa hii?
04:08
Well, the keyufunguo, then,
84
236770
1262
Chamsingi basi,
04:10
is to applytumia all these excitingkusisimua
advancementsphenomenal in cancerkansa therapytiba earliermapema,
85
238056
4870
Ni kutumia maboresho yote haya
ya kusisimua kwa tiba ya saratani mapema,
04:14
as soonhivi karibuni as we can,
86
242950
1222
mapema tunavyoweza,
04:16
before these resistanceupinzani cloneskloni emergekujitokeza.
87
244196
2339
kabla ya seli sugu zinazojinakili kuibuka
04:19
The keyufunguo to cancerkansa and curingkutibu cancerkansa
is earlymapema detectionkutambua.
88
247230
4359
Kitu muhimu kwa saratani na kuitibu
ni kuigundua mapema
04:24
And we intuitivelyintuitively know this.
89
252439
1669
na wote tunaelewa haraka hili.
04:26
FindingKutafuta cancerkansa earlymapema
resultsmatokeo in better outcomesmatokeo,
90
254132
3086
Kugundua saratani mapema
hupelekea matokeo mazuri,
04:29
and the numbersnambari showonyesha this as well.
91
257242
2046
na takwimu zinaonyesha hili pia.
04:31
For examplemfano, in ovarianovari cancerkansa,
if you detectkuchunguza cancerkansa in stagehatua fournne,
92
259312
4243
Mfano, katika saratani ya ovari,
ukiigundua ikiwa hatua ya nne,
04:35
only 17 percentasilimia of the womenwanawake
survivekuishi at fivetano yearsmiaka.
93
263579
3129
ni asilimia 17 pekee ya wanawake
husalia kwa miaka mitano
04:39
HoweverHata hivyo, if you are ableinaweza to detectkuchunguza
this cancerkansa as earlymapema as stagehatua one,
94
267268
4428
Ingawa, ikiwa utaweza kugundua
saratani hii mapema ikiwa hatua ya kwanza,
04:43
over 92 percentasilimia of womenwanawake will survivekuishi.
95
271720
2692
zaidi ya asilimia 92 watasalia.
04:46
But the sadhuzuni factukweli is, only 15 percentasilimia
of womenwanawake are detectedimetambua at stagehatua one,
96
274925
4803
Kinachohuzuni sha ni, asilimia 15 tu ya
wanawake hugundua ikiwa hatua ya kwanza,
04:51
whereaswakati the vastkubwa majoritywengi, 70 percentasilimia,
are detectedimetambua in stageshatua threetatu and fournne.
97
279752
5572
ambapo wengi wao, asilimia 70
hugunduka katia hatua ya tatu au ya nne.
04:57
We desperatelykwa makusudi need
better detectionkutambua mechanismsutaratibu for cancerskansa.
98
285348
4181
Tunahitaji bila kukata tamaa
njia bora za kugundua saratani.
05:02
The currentsasa bestbora waysnjia to screenskrini cancerkansa
fallkuanguka into one of threetatu categoriesmakundi.
99
290053
4278
Njia bora za sasa za kupima saratani
ziko kwenye moja ya vipengele vitatu,
05:06
First is medicalmatibabu procedurestaratibu za,
100
294355
2175
Kwanza ni vipimo vya kitabibu,
05:08
whichambayo is like colonoscopycolonoscopy
for colonnukta pacha cancerkansa.
101
296554
2908
kama vile kolonoskopi kiangaza utumbo
kwa saratani ya utumbo.
05:11
SecondPili is proteinprotini biomarkersbiomarkers,
like PSANITADHIHIRISHA for prostateprostate cancerkansa.
102
299486
4616
Pili ni vipimo vya protini,
kama PSA kwa saratani ya tezi dume.
05:16
Or thirdtatu, imagingTaswira techniquesmbinu,
103
304126
2912
Au tatu vipimo vya picha,
05:19
suchvile as mammographymammography for breastTiti cancerkansa.
104
307062
2363
kama mamografi kwa saratani ya matiti.
05:22
MedicalMatibabu procedurestaratibu za are the golddhahabu standardkiwango;
105
310419
2426
Vipimo vya kitatibu ni viwango bora;
05:24
howeverhata hivyo, they are highlysana invasivevamizi
106
312869
2096
ingawa, hutumia vifaa vyenye ncha
05:26
and requireinahitaji a largekubwa
infrastructuremiundombinu to implementkutekeleza.
107
314989
2805
na huhitaji miundombinu itumiayo
eneo kubwa kwa upimaji.
05:30
ProteinProtini markersalama, while effectiveufanisi
in some populationswatu,
108
318682
3204
Vipimo ya Protini, vikiwa na matokeo
mazuri kwa baadhi ya majaribio,
05:33
are not very specificz zara
in some circumstanceshali,
109
321910
2489
havitoi majibu kamili kwa
hali nyingine za majaribio
05:36
resultingkusababisha in highjuu numbersnambari
of falseuongo positivesvyema,
110
324423
2583
ambayo hupelekea matokeo
ya kiwango kisicho sahihi,
05:39
whichambayo then resultsmatokeo in unnecessaryhaifai work-upskazi-ups
and unnecessaryhaifai procedurestaratibu za.
111
327030
5205
ambayo pia hupelekea utafiti zaidi usio
na lazima au upasuaji
05:45
ImagingTaswira methodsnjia,
while usefulmuhimu in some populationswatu,
112
333322
2964
utafiti kwa njia ya picha waweza kuwa
na manufaa kwa baadhi
05:48
exposewazi patientswagonjwa to harmfulhatari radiationmionzi.
113
336961
2897
huweka wagonjwa kwenye mionzi hatarishi.
05:51
In additionkuongeza, it is not applicableinatumika
to all patientswagonjwa.
114
339882
2614
kwa kuongezea, haitumiki
kwa wagonjwa wote.
05:54
For examplemfano, mammographymammography has problemsmatatizo
in womenwanawake with densenzito breastsmatiti.
115
342520
4043
Mfano, kipimo cha mamografia kina matatizo
kwa wanawake wenye matiti yaliyojaa
05:59
So what we need is a methodnjia
that is noninvasivenoninvasive,
116
347036
3394
Hivyo tunachohitaji ni njia
ambazo hazihitaji upasuaji
06:02
that is lightmwanga in infrastructuremiundombinu,
117
350454
1767
huo ni mwanga kwa miundombinu,
06:04
that is highlysana specificz zara,
118
352245
1263
na ni bayana kikamillifu
06:06
that alsopia does not have falseuongo positivesvyema,
119
354148
3221
ambayo pia haina majibu yasiyo sahihi
06:09
does not use any radiationmionzi
120
357393
1966
haitumii mionzi yoyote
06:11
and is applicableinatumika to largekubwa populationswatu.
121
359383
2931
na inatumika kwa idadi kubwa
06:14
Even more importantlymuhimu,
122
362338
1174
na cha muhimu zaidi
06:15
we need a methodnjia
to be ableinaweza to detectkuchunguza cancerskansa
123
363536
2196
tunahitaji njia itakayoweza
kugundua saratani
06:17
before they're 100 millionmilioni cellsseli in sizeukubwa.
124
365756
2692
kabla kufikia ukubwa wa seli milioni 100
06:21
Does suchvile a technologyteknolojia existzipo?
125
369060
1565
Teknolojia ya aina hiyo ipo?
06:23
Well, I wouldn'thakutaka be up here
givingkutoa a talk if it didn't.
126
371008
2921
Nisingkuwepo hapa kufanya
mjadala kama isingekuwepo.
06:26
I'm excitedmsisimko to tell you about
this latestkaribuni technologyteknolojia we'vetumekuwa developedmaendeleo.
127
374902
3471
Nina shauku ya kuwaambia kuhusu
teknolojia mpya tuliyoendeleza
06:31
CentralKati to our technologyteknolojia
is a simplerahisi blooddamu testmtihani.
128
379215
2702
Kiini cha teknolojia yetu
ni kipimo rahisi cha damu
06:34
The blooddamu circulatorymzunguko systemmfumo,
while seeminglyinaonekana mundaneya kawaida,
129
382382
3730
Mfumo wa mzunguko wa damu,
wakati unaonekana ni wa kawaida
06:38
is essentialmuhimu for you to survivekuishi,
130
386136
2330
ni muhimu sana kwa wewe kuishi
06:40
providingkutoa oxygenoksijeni
and nutrientsvirutubisho to your cellsseli,
131
388490
2505
kutoa hewa ya oksijeni
na virutubisho kwa seli zako,
06:43
and removingkuondoa wastetaka and carbonkaboni dioxidedioksidi.
132
391019
2605
na kuondoa taka na kaboni daioksidi
06:45
Here'sHapa ni a keyufunguo biologicalbiolojia insightufahamu:
133
393648
1853
Haya ni melezo ya msingi kibaolojia:
06:48
CancerSaratani cellsseli growkukua and diekufa
fasterharaka than normalkawaida cellsseli,
134
396420
3083
Seli za saratani hukua na kufa
haraka kuliko seli za kawaida,
06:51
and when they diekufa,
135
399527
1196
na zinapokufa,
06:52
DNADNA is shedkumwaga into the blooddamu systemmfumo.
136
400747
2721
DNA hunyambuka kwenye mfumo wa damu,
06:55
SinceTangu we know the signaturessaini
of these cancerkansa cellsseli
137
403492
2770
Kwakuwa tunajua alama ya
seli hizi za saratani
06:58
from all the differenttofauti cancerkansa
genomegenome sequencingsequencing projectsmiradi,
138
406286
2704
kwenye saratani tofauti za
kazi za mfuatano wa genome
07:01
we can look for those signalsishara in the blooddamu
139
409014
2041
tunaweza kuona hivyo viashiria kwenye damu
07:03
to be ableinaweza to detectkuchunguza these cancerskansa earlymapema.
140
411079
2172
kuweza kugundua saratani hizi mapema.
07:06
So insteadbadala yake of waitingkusubiri for cancerskansa
to be largekubwa enoughkutosha to causekusababisha symptomsdalili,
141
414409
3799
Hivyo badala ya kusubiri kwa saratani
kuwa kubwa kiasi cha kuonyesha dalili,
07:10
or for them to be densenzito enoughkutosha
to showonyesha up on imagingTaswira,
142
418232
2899
au kwa zenyewe kujaa kiasi cha
kuonekana kwa vipimo vya picha
07:13
or for them to be prominentmaarufu enoughkutosha
143
421155
2442
au kwa zenyewe kujitokeza vyakutosha
07:15
for you to be ableinaweza to visualizetaswira
on medicalmatibabu procedurestaratibu za,
144
423621
3240
kwa wewe kuweza kuziona kwenye
mchakato wa kitabibu
07:18
we can startkuanza looking for cancerskansa
while they are relativelykiasi prettynzuri smallndogo,
145
426885
3992
tunaweza kuanza kutafuta saratani
zingali bado ndogo sana,
07:22
by looking for these smallndogo amountskiasi
of DNADNA in the blooddamu.
146
430901
3604
kwa kuangalia hiki kiasi kidogo cha
DNA kwenye damu.
07:27
So let me tell you how we do this.
147
435815
1675
Hivyo ngoja niwaambie tunavyofanya
07:29
First, like I said, we startkuanza off
with a simplerahisi blooddamu testmtihani --
148
437514
2864
Kwanza kama nilivyosema, tunaanza
na kipimo rahisi cha damu--
07:32
no radiationmionzi, no complicatedngumu equipmentvifaa --
149
440402
2575
bila mionzi, bila vifaa vya kutatanisha--
07:35
a simplerahisi blooddamu testmtihani.
150
443001
1466
kipimo rahisi cha damu.
07:36
Then the blooddamu is shippedkusafirishwa to us,
151
444491
1536
Kisha damu huletwa kwetu,
07:38
and what we do
is extractDondoa the DNADNA out of it.
152
446051
2389
na tunachofanya
tunatoa DNA kutoka kwenye damu
07:41
While your bodymwili is mostlyzaidi healthyafya cellsseli,
153
449110
2396
Wwakati mwili wako una seli zenye afya
07:43
mostwengi of the DNADNA that's detectedimetambua
will be from healthyafya cellsseli.
154
451530
3646
DNA nyingi zinazogundulika
zinakuwa kutoka kwenye seli zenye afya.
07:47
HoweverHata hivyo, there will be a smallndogo amountkiasi,
lesschini than one percentasilimia,
155
455834
3067
Ingawa kunaweza kuwa na kiasi kidogo,
pungufu ya asilimia moja,
07:50
that comesinakuja from the cancerkansa cellsseli.
156
458925
1732
zinazotoka kwenye seli za saratani
07:53
Then we use molecularMasi biologybiolojia methodsnjia
to be ableinaweza to enrichkuimarisha this DNADNA
157
461545
4206
Kisha hutumia njia za molekyuli kibaolojia
kurutubisha hii DNA
07:57
for areasmaeneo of the genomegenome whichambayo are knowninayojulikana
to be associatedkuhusishwa with cancerkansa,
158
465775
4412
kwa maeneo ya genome ambayo hufahamika
kuhusishwa na saratani.
08:02
basedmsingi on the informationhabari
from the cancerkansa genomicsgenomics projectsmiradi.
159
470211
2953
kutokana na taarifa kutoka kwenye
kazi za genome za saratani
08:05
We're ableinaweza to then put this DNADNA
into DNA-sequencingDNA-index machinesmashine
160
473664
3877
Tunaweza kuweka hii DNA kwenye
mashine za mfuatano wa DNA
08:09
and are ableinaweza to digitizedigitize the DNADNA
into A'sYa A, C'sWa C, T'sYa T and G'sWa G
161
477565
4690
na zinaweza kuweka DNA kidigitali
kuwa A,C,T na G
08:14
and have this finalmwisho readoutreadout.
162
482279
1598
na kufikia tamati kuzisoma
08:16
UltimatelyHatimaye, we have informationhabari
of billionsmabilioni of lettersbarua
163
484451
5990
Hatimaye , tuna taarifa ya
mabilioni ya herufi
08:22
that outputpato from this runkukimbia.
164
490465
3010
matokeo hayo kwa majaribio haya,
08:26
We then applytumia statisticaltakwimu
and computationalcomputational methodsnjia
165
494635
3220
Tunayatumia njia za kitakwimu
na za ukokotoaji
08:29
to be ableinaweza to find
the smallndogo signalishara that's presentsasa,
166
497879
2672
kuweza kupata viashiria vidogo
vilivyopo
08:32
indicativeunaonyesha of the smallndogo amountkiasi
of cancerkansa DNADNA in the blooddamu.
167
500575
3656
vinavyoonyesha kiasi kidogo
cha DNA za saratani kwenye damu.
08:37
So does this actuallykwa kweli work in patientswagonjwa?
168
505278
2425
Kwahiyo hii inafanya kazi kwa wagonjwa?
08:39
Well, because there's no way
of really predictingkutabiri right now
169
507727
3490
Hivyo, kwakuwa hakuna njia ya
kutegemea kutabiri sasa hivi
08:43
whichambayo patientswagonjwa will get cancerkansa,
170
511241
1508
wagonjwa wapi watapata saratani
08:44
we use the nextijayo bestbora populationidadi ya watu:
171
512773
2057
tunatumia idadi bora inayofuata:
08:47
cancerskansa in remissionondoleo;
172
515441
1435
saratani zilizotulia:
08:49
specificallyhasa, lungmapafu cancerkansa.
173
517552
2422
hususan, saratani ya mapafu
08:52
The sadhuzuni factukweli is, even with the bestbora drugsmadawa
that we have todayleo,
174
520405
3309
kinachosikitisha, pamoja na dawa bora
tulizonazo hivi leo,
08:55
mostwengi lungmapafu cancerskansa come back.
175
523738
2212
saratani nyingi za mapafu hurudi.
08:57
The keyufunguo, then, is to see
176
525974
1300
kitu muhimu basi ni kuona
08:59
whetherkama we're ableinaweza to detectkuchunguza
these recurrencesrecurrences of cancerskansa
177
527298
3651
ikiwa tunaweza kugundua
kujirudia huku kwa saratani
09:02
earliermapema than with standardkiwango methodsnjia.
178
530973
1867
mapema zaidi ya kutumia njia za kawaida
09:05
We just finishedkumalizika a majorkubwa trialjaribio
179
533339
2377
Hivi karibuni tumemaliza jaribio kubwa
09:07
with ProfessorProfesa CharlesCharles SwantonSwanton
at UniversityChuo Kikuu cha CollegeChuo cha LondonLondon,
180
535740
3747
pamoja na Profesa Charles Swaton
kwenye Chuo kikuu London,
09:11
examiningkuchunguza this.
181
539511
1166
kuchunguza hili.
09:12
Let me walktembea you throughkupitia
an examplemfano of one patientsubira.
182
540701
2518
Ngoja niwaelekeze kupitia
mfano wa mgonjwa mmoja.
09:16
Here'sHapa ni an examplemfano of one patientsubira
who undergoeshuwa surgeryupasuaji
183
544766
2827
Hapa ni mfano wa mgonjwa mmoja
anayefanyiwa upasuaji
09:19
at time pointuhakika zerosufuri,
184
547617
1168
kwa wakati nukta sifuri,
09:20
and then undergoeshuwa chemotherapychemotherapy.
185
548809
2482
na kisha anapitia tibakemo inayotumia
kemikali
09:23
Then the patientsubira is underchini remissionondoleo.
186
551709
2485
Kisha mgonjwa huingia kipindi cha
ugonjwa kutulia
09:26
He is monitoredkufuatiliwa usingkutumia clinicalkliniki examsmitihani
and imagingTaswira methodsnjia.
187
554218
4609
Hufuatiliwa kwa kutumia njia za uchunguzi
na picha
09:31
Around day 450, unfortunatelykwa bahati mbaya,
the cancerkansa comesinakuja back.
188
559149
4903
ikifika siku ya 450, bahati mbaya
saratani inarudi.
09:37
The questionswali is:
Are we ableinaweza to catchcatch this earliermapema?
189
565266
2485
Swali ni:
tunaweza kuigundua mapema?
09:39
DuringWakati this wholeyote time,
we'vetumekuwa been collectingKusanya blooddamu seriallyserially
190
567775
3745
Kwa kipindi chote hiki tumekuwa
tukikusanya damu kwa mfululizo
09:43
to be ableinaweza to measurekupima
the amountkiasi of ctDNActDNA in the blooddamu.
191
571544
3278
kuweza kupima kiasi
cha ctDNA kwenye damu.
09:47
So at the initialawali time pointuhakika, as expectedinatarajiwa,
192
575560
3297
Kwa muda cha awali , kama ilivyotegemewa
09:50
there's a highjuu levelngazi
of cancerkansa DNADNA in the blooddamu.
193
578881
3698
kuna kiwango kikubwa cha
DNA ya saratani kwenye damu.
09:54
HoweverHata hivyo, this goeshuenda away to zerosufuri
in subsequentbaadae time pointspointi
194
582603
3667
Ingawa hii huenda kuwa sifuri
katika pointi za muda unaofuata
09:58
and remainsbado negligiblekihisabati kidogo
after subsequentbaadae pointspointi.
195
586294
3457
na kubakia isiyo na umuhimu
baada ya pointi zinazofuata
10:02
HoweverHata hivyo, around day 340, we see the risekupanda
of cancerkansa DNADNA in the blooddamu,
196
590993
5273
Ingawa, karibia siku ya 340, tunaona
ongezeko la DNA kwenye damu,
10:08
and eventuallyhatimaye, it goeshuenda up higherjuu
for dayssiku 400 and 450.
197
596290
4565
na hatimaye inaongezeka
kwa siku ya 400 na 450,
10:13
Here'sHapa ni the keyufunguo, if you've missedamekosa it:
198
601415
2432
Hiki ni muhimu, kama ilikupita:
10:15
At day 340, we see the risekupanda
in the cancerkansa DNADNA in the blooddamu.
199
603871
4981
kwenye siku ya 340 tunaona ongezeko
la DNA ya saratani kwenye damu.
10:20
That meansina maana we are catchingkuambukizwa this cancerkansa
over a hundredmia dayssiku earliermapema
200
608876
4216
Hii inamaanisha tunaikamata hii saratani
zaidi ya siku mia moja mapema
10:25
than traditionaljadi methodsnjia.
201
613116
1477
kuliko njia zilizo zoeleka.
10:27
This is a hundredmia dayssiku earliermapema
where we can give therapiesmatibabu,
202
615101
2813
Hii ni siku mia moja mapema
ambapo tunaweza kutoa tiba,
10:29
a hundredmia dayssiku earliermapema
where we can do surgicalupasuaji interventionshatua,
203
617938
3319
siku mia moja mapema tunaweza
kuzuia kwa kufanya upasuaji
10:33
or even a hundredmia dayssiku lesschini
for the cancerkansa to growkukua
204
621281
3033
au hata pungufu ya siku mia moja
kwa saratani kukua
10:36
or a hundredmia dayssiku lesschini
for resistanceupinzani to occurkutokea.
205
624338
3122
au pungufu ya siku mia moja
kwa usugu wa ugonjwa. kutokea
10:40
For some patientswagonjwa, this hundredmia dayssiku
meansina maana the matterjambo of life and deathkifo.
206
628682
4175
Kwa baadhi ya wagonjwa siku hizi mia moja
ni suala la kufa au kupona
10:45
We're really excitedmsisimko
about this informationhabari.
207
633417
2323
Tuna shauku kubwa kuhusu
taarifa hii.
10:48
Because of this assignmentkazi,
we'vetumekuwa donekufanyika additionalziada studiestafiti now
208
636539
3097
Kwa sababu ya kazi hii
tumefanya utafiti wa ziada sasa
10:51
in other cancerskansa,
209
639660
1262
katika saratani nyingine
10:52
includingikiwa ni pamoja na breastTiti cancerkansa, lungmapafu cancerkansa
210
640946
3335
ikijumuisha saratani ya matiti, mapafu
10:56
and ovarianovari cancerkansa,
211
644305
1221
na saratani ya ovari,
10:58
and I can't wait to see how much earliermapema
we can find these cancerskansa.
212
646068
4350
nina hamu kubwa kuona ni mapema
kiasi gani tutagundua saratani hizi.
11:04
UltimatelyHatimaye, I have a dreamndoto,
213
652354
1468
Hatimaye, nina ndoto,
11:06
a dreamndoto of two vialsvikombe of blooddamu,
214
654394
2266
ndoto ya vichupa viwili vya damu,
11:09
and that, in the futurebaadaye, as partsehemu of all
of our standardkiwango physicalkimwili examsmitihani,
215
657536
3865
na hiyo, mbeleni, kama sehemu ya
uchunguzi wetu wa kawaida wa mwili,
11:13
we'llvizuri have two vialsvikombe of blooddamu drawninayotolewa.
216
661425
1928
tutakuwa na vichupa 2
vilivyotolewa damu
11:15
And from these two vialsvikombe of blooddamu
we will be ableinaweza to comparekulinganisha
217
663821
3342
na kwenye vichupa hivi vya damu
tutaweza kulinganisha
11:19
the DNADNA from all knowninayojulikana
signaturessaini of cancerkansa,
218
667187
3511
DNA kutoka kwenye alama
zote za saratani
11:22
and hopefullykwa matumaini then detectkuchunguza cancerskansa
monthsmiezi to even yearsmiaka earliermapema.
219
670722
3947
kwa matumaini ya kugundua saratani
miezi au hata miaka mapema
11:27
Even with the therapiesmatibabu we have currentlysasa,
220
675359
2171
Hata pamoja na tiba tulizonazo sasa,
11:29
this could mean that millionsmamilioni
of livesanaishi could be savedimehifadhiwa.
221
677554
2601
hii inamaanisha mamilioni ya
maisha yanaweza kuokolewa.
11:32
And if you addongeza on to that
recenthivi karibuni advancementsphenomenal in immunotherapyimmunotherapy
222
680179
4171
na ukiongezea maendeleo hivi
karibuni ya tiba ya kingamaradhi
11:36
and targetedwalengwa therapiesmatibabu,
223
684374
1292
na tiba za kulenga
11:37
the endmwisho of cancerkansa is in sightkuona.
224
685690
2172
mwisho wa saratani unaonekana.
11:40
The nextijayo time you hearkusikia the wordneno "cancerkansa,"
225
688934
2157
Utakapo sikia tena neno "saratani"
11:43
I want you to addongeza to the emotionshisia: hopetumaini.
226
691115
2426
Nataka uongeze kwenye hisia: matumaini.
11:46
HoldKushikilia on.
227
694303
1158
Subiri kwanza.
11:48
CancerSaratani researcherswatafiti all around the worldulimwengu
are workingkufanya kazi feverishlyfeverishly
228
696342
3573
Watafiti wa saratani duniani
wanafanya kazi kwa msisimko mkubwa
11:51
to beatpiga this diseaseugonjwa,
229
699939
1156
kuushinda ugonjwa huu
11:53
and tremendouskubwa progressmaendeleo is beingkuwa madealifanya.
230
701119
2030
na maendeleo makubwa yanafanywa.
11:55
This is the beginningmwanzo of the endmwisho.
231
703956
1968
Huu ni mwanzo wa mwisho wake.
11:58
We will winkushinda the warvita on cancerkansa.
232
706380
2129
Tutashinda vita dhidi ya saratani.
12:00
And to me, this is amazingajabu newshabari.
233
708861
1864
Na kwangu, hizi ni habari za kustaajabu
12:03
Thank you.
234
711193
1167
Ahsanteni.
12:04
(ApplauseMakofi)
235
712384
4521
(Makofi)
Translated by Leah Ligate
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Jimmy Lin - Geneticist
TED Fellow Jimmy Lin is developing technologies to catch cancer early.

Why you should listen

C. Jimmy Lin, MD, PhD, MHS is the Chief Scientific Officer (CSO), Oncology at Natera and a TED Fellow. He comes from a long history as a pioneer in cancer genomics. Most recently, he led the clinical genomics program at the National Cancer Institute (NCI) at the National Institutes of Health (NIH). Previously, at Johns Hopkins and Washington University in St. Louis, Lin was part of one of the first clinical genomics labs in academia and led the computational analyses of the first ever exome sequencing studies in cancer, including breast, colorectal, pancreatic, glioblastoma, medulloblastoma and melanoma.

Lin has published in top academic journals, such as Science, Nature and Cell, and he has been an expert in national and international media outlets, such as New York Times, Forbes, Bloomberg BusinessweekThe Washington Post, and the Financial Times.

More profile about the speaker
Jimmy Lin | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee