ABOUT THE SPEAKER
Hans Rosling - Global health expert; data visionary
In Hans Rosling’s hands, data sings. Global trends in health and economics come to vivid life. And the big picture of global development—with some surprisingly good news—snaps into sharp focus.

Why you should listen

Even the most worldly and well-traveled among us have had their perspectives shifted by Hans Rosling. A professor of global health at Sweden's Karolinska Institute, his work focused on dispelling common myths about the so-called developing world, which (as he pointed out) is no longer worlds away from the West. In fact, most of the Third World is on the same trajectory toward health and prosperity, and many countries are moving twice as fast as the west did.

What set Rosling apart wasn't just his apt observations of broad social and economic trends, but the stunning way he presented them. Guaranteed: You've never seen data presented like this. A presentation that tracks global health and poverty trends should be, in a word: boring. But in Rosling's hands, data sings. Trends come to life. And the big picture — usually hazy at best — snaps into sharp focus.

Rosling's presentations were grounded in solid statistics (often drawn from United Nations and World Bank data), illustrated by the visualization software he developed. The animations transform development statistics into moving bubbles and flowing curves that make global trends clear, intuitive and even playful. During his legendary presentations, Rosling took this one step farther, narrating the animations with a sportscaster's flair.

Rosling developed the breakthrough software behind his visualizations through his nonprofit Gapminder, founded with his son and daughter-in-law. The free software — which can be loaded with any data — was purchased by Google in March 2007. (Rosling met the Google founders at TED.)

Rosling began his wide-ranging career as a physician, spending many years in rural Africa tracking a rare paralytic disease (which he named konzo) and discovering its cause: hunger and badly processed cassava. He co-founded Médecins sans Frontièrs (Doctors without Borders) Sweden, wrote a textbook on global health, and as a professor at the Karolinska Institut in Stockholm initiated key international research collaborations. He's also personally argued with many heads of state, including Fidel Castro.

Hans Rosling passed away in February 2017. He is greatly missed.


More profile about the speaker
Hans Rosling | Speaker | TED.com
TEDxSummit

Hans Rosling: Religions and babies

Hans Rosling: Dini na watoto

Filmed:
2,912,376 views

Hans Rosling alikua na swali: Kuna baadhi ya dini zenye kiwango cha juu cha uzazu zaidi ya nyingine -- na jinsi gani hii ina athiri ongezeko la idadi ya watu duniani? Akiongea kwenye TEDxSummit huko Doha, Qatar, alionyesha jedwali la takwimu kwa mda na katika dini. Akiwa na ishara yake ya ucheshi na ufahamu wa makini, Hans alifikia hatima ya kushangaza juu ya viwango vya uzazi duniani.
- Global health expert; data visionary
In Hans Rosling’s hands, data sings. Global trends in health and economics come to vivid life. And the big picture of global development—with some surprisingly good news—snaps into sharp focus. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

Nitaenda kuongelea kuhusu dini.
00:16
I'm going to talk about religiondini.
0
357
3865
00:20
But it's a broadpana and very delicatemaridadi subjectsomo,
1
4222
5252
Lakini ni mada pana na nyeti sana,
hivyo itabidi nijiwekee mpaka.
00:25
so I have to limitkikomo myselfMimi mwenyewe.
2
9474
1671
00:27
And thereforekwa hiyo I will limitkikomo myselfMimi mwenyewe
3
11145
2480
Na kwahiyo nitajiwekea mpaka
00:29
to only talk about the linksviungo betweenkati religiondini and sexualityjinsia.
4
13625
4409
kuongelea tu kuhusu uhusiano kati ya dini
na kujamiiana.
00:33
(LaughterKicheko)
5
18034
1566
(Kicheko)
00:35
This is a very seriousmbaya talk.
6
19600
2560
Haya ni majadiliano yenye uzito sana.
00:38
So I will talk of what I rememberkumbuka as the mostwengi wonderfulajabu.
7
22160
4095
Hivyo, nitaongelea juu ya ninachokumbuka
kua cha ajabu sana.
00:42
It's when the youngvijana couplewanandoa whisperkunong'oneza,
8
26255
2345
Ni pale wanandoa vijana walinong'oneza,
00:44
"TonightUsiku wa leo we are going to make a babymtoto."
9
28600
3172
"Usiku tutaenda kutengeneza mtoto."
00:47
My talk will be about the impactathari of religionsdini
10
31772
5336
Maongezi yangu yatahusu athari ya dini
00:53
on the numbernambari of babieswatoto perkwa kila womanmwanamke.
11
37108
4169
kwa idadi ya watoto kwa mwanamke.
00:57
This is indeedkwa hakika importantmuhimu,
12
41277
1665
Hii ni muhimu kweli,
00:58
because everyonekila mtu understandsanaelewa
13
42942
1530
kwa sababu kila mtu anaelewa
01:00
that there is some sortfanya of limitkikomo
14
44472
2282
kua kuna aina fulani ya mpaka
01:02
on how manywengi people we can be on this planetsayari.
15
46754
3228
kwa jinsi watu wengi wanaweza kua kwenye
hii sayari.
01:05
And there are some people
16
49982
1947
Na kuna baadhi ya watu
01:07
who say that the worldulimwengu populationidadi ya watu is growingkukua like this --
17
51929
3419
wanaosema kua idadi ya watu duniani imekua
kama hivi --
01:11
threetatu billionbilioni in 1960,
18
55348
1807
bilioni tatu mwaka 1960,
01:13
sevensaba billionbilioni just last yearmwaka --
19
57155
2639
bilioni saba mwaka jana tu --
01:15
and it will continueendelea to growkukua
20
59794
1546
na itaendelea kukua
01:17
because there are religionsdini that stop womenwanawake from havingkuwa na fewwachache babieswatoto,
21
61340
3780
kwa sababu kuna dini zinazozuia wanawake
kuwa na watoto wachache,
01:21
and it mayinaweza continueendelea like this.
22
65120
2403
na inaweza kuendelea hivi.
01:23
To what extentkiwango are these people right?
23
67523
3902
Ni kwa kiasi gani hawa watu wako sahihi?
01:27
When I was bornalizaliwa there was lesschini than one billionbilioni childrenwatoto in the worldulimwengu,
24
71425
4880
Nilivyozaliwa kulikua na watoto chini ya
bilioni moja duniani,
01:32
and todayleo, 2000, there's almostkaribu two billionbilioni.
25
76305
4175
na leo, 2000, kuna karibia bilioni mbili.
01:36
What has happenedkilichotokea sincetangu,
26
80480
1702
Nini kimetokea tangu hapo,
01:38
and what do the expertswataalam predicttabiri will happenkutokea
27
82182
2695
na nini wataalam wanatabiri kitatokea
01:40
with the numbernambari of childrenwatoto duringwakati this centurykarne?
28
84877
2483
na idadi ya watoto karne hii?
01:43
This is a quizjaribio. What do you think?
29
87360
2618
Hili ni jaribio. Unafikiri nini?
01:45
Do you think it will decreasekupungua to one billionbilioni?
30
89978
3902
Unafikiri itapungua mpaka bilioni moja?
01:49
Will it remainkubaki the samesawa and be two billionbilioni by the endmwisho of the centurykarne?
31
93880
3828
Itabaki sawa na kua bilioni mbili ifikapo
mwisho wa karne?
01:53
Will the numbernambari of childrenwatoto increaseOngeza eachkila mmoja yearmwaka up to 15 yearsmiaka,
32
97708
3717
Idadi ya watoto itaongezeka kila mwaka
hadi miaka 15,
01:57
or will it continueendelea in the samesawa fastharaka ratekiwango
33
101425
2504
au itaendelea na kiwango cha haraka
kile kile
01:59
and be fournne billionbilioni childrenwatoto up there?
34
103929
2489
na kua watoto bilioni nne huko juu?
02:02
I will tell you by the endmwisho of my speechhotuba.
35
106418
3425
Nitawaambia ifikapo mwisho wa hotuba
yangu.
02:05
But now, what does religiondini have to do with it?
36
109843
5022
Lakini sasa, dini inahusika vipi?
02:10
When you want to classifytaa religiondini,
37
114865
2332
Unapotaka kuainisha dini,
02:13
it's more difficultvigumu than you think.
38
117197
1531
ni ngumu kuliko unavyofikiri.
02:14
You go to WikipediaWikipedia and the first mapramani you find is this.
39
118728
3204
Unaenda Wikipedia na ramani ya kwanza
unayopata ni hii.
02:17
It dividesmgawanyiko the worldulimwengu into AbrahamicKiibrahimu religionsdini and EasternMashariki religiondini,
40
121932
5533
Inagawanyisha dunia kwenye dini za
Ibrahimu na dini za Mashariki,
02:23
but that's not detailedkina enoughkutosha.
41
127465
1772
lakini hio haina undani wa kutosha.
02:25
So we wentakaenda on and we lookedilionekana in WikipediaWikipedia, we foundkupatikana this mapramani.
42
129237
3809
Hivyo tukaenda zaidi na kuangalia kwenye
Wikipedia, tukapata hii ramani.
02:28
But that subdividessubdivides ChristianityUkristo, IslamUislamu and BuddhismUbuddha
43
133046
4646
Lakni hio inaianisha Ukristo, Uislamu na
Ubuddha
02:33
into manywengi subgroupssubgroups,
44
137692
1603
kwenye makundi mengi madogo,
02:35
whichambayo was too detailedkina.
45
139295
1505
ambayo yalikua ya kina sana.
02:36
ThereforeKwa hivyo at GapminderGapminder we madealifanya our ownmwenyewe mapramani,
46
140800
3418
Kwa hiyo pale Gapminder tulitengeneza
ramani yetu,
02:40
and it looksinaonekana like this.
47
144218
2373
Na inaonekana hivi.
02:42
EachKila country'sya nchi a bubbleBubble.
48
146591
3403
Kila nchi ni puto.
02:45
The sizeukubwa is the populationidadi ya watu -- bigkubwa ChinaChina, bigkubwa IndiaIndia here.
49
149994
3424
Ukubwa ni idadi ya watu -- China kubwa,
India kubwa hapa.
02:49
And the colorrangi now is the majoritywengi religiondini.
50
153418
4114
Na rangi sasa ni dini yenye wengi.
02:53
It's the religiondini where more than 50 percentasilimia of the people
51
157532
3231
Ni dini ambayo watu zaidi ya asilimia 50
02:56
say that they belongni.
52
160763
1255
wanasema wanahusika.
02:57
It's EasternMashariki religiondini in IndiaIndia and ChinaChina and neighboringjirani AsianAsia countriesnchi.
53
162018
4717
Ni dini ya Mashariki huko India na
China na nchi jirani za Asia.
03:02
IslamUislamu is the majoritywengi religiondini
54
166735
1973
Uislamu ni dini ya wingi
03:04
all the way from the AtlanticAtlantiki OceanBahari acrosskote the MiddleKati EastMashariki,
55
168708
3775
njia yote kutoka Bahari ya Atlantiki
kupitia Mashariki ya Kati,
03:08
SouthernKusini EuropeEurope and throughkupitia AsiaAsia
56
172483
2280
Ulaya ya Kusini na kupitia Asia
03:10
all the way to IndonesiaIndonesia.
57
174763
2237
njia yote mpaka Indonesia.
03:12
That's where we find IslamicKiislamu majoritywengi.
58
177000
2917
Hapo ndipo tunapata Waislamu wengi.
03:15
And ChristianKikristo majoritywengi religionsdini, we see in these countriesnchi. They are bluebluu.
59
179917
4803
Na dini nyingi za Kikristo, tunaona kwenye
hizi nchi. Ni za bluu.
03:20
And that is mostwengi countriesnchi in AmericaAmerika and EuropeEurope,
60
184720
4025
Na hizo ni nchi nyingi za Marekani na
Ulaya,
03:24
manywengi countriesnchi in AfricaAfrika and a fewwachache in AsiaAsia.
61
188745
3670
nchi nyingi za Afrika na chache za Asia.
03:28
The whitenyeupe here are countriesnchi whichambayo cannothaiwezi be classifiedsiri za,
62
192415
2680
Nyeupe hapa ni nchi ambazo haziwezi kuwa
kuainishwa,
03:30
because one religiondini does not reachfikia 50 percentasilimia
63
195095
2625
kwa sababu dini moja haifiki asilimia 50
03:33
or there is doubtshaka about the datadata or there's some other reasonsababu.
64
197720
3357
au kuna shaka kuhusu takwimu au sababu
yoyote nyingine.
03:36
So we were carefulmakini with that.
65
201077
1760
Hivyo tulikua makini na hilo.
03:38
So bearkubeba with our simplicityunyenyekevu now when I take you over to this shotrisasi.
66
202837
3858
Hivyo vumilia urahisi wetu sasa
nikiwapeleka kwenye hii picha.
03:42
This is in 1960.
67
206695
2013
Hii ni 1960.
03:44
And now I showonyesha the numbernambari of babieswatoto perkwa kila womanmwanamke here:
68
208708
3532
Na sasa naonyesha idadi ya watoto kwa
mwanamke hapa:
03:48
two, fournne or sixsita --
69
212240
3086
mbili, nne au sita --
03:51
manywengi babieswatoto, fewwachache babieswatoto.
70
215326
2191
watoto wengi, watoto wachache.
03:53
And here the incomemapato perkwa kila personmtu in comparablekulinganishwa dollarsdola.
71
217517
3181
Na hapa mapato kwa mtu ikilinganishwa
dola.
03:56
The reasonsababu for that is that manywengi people say you have to get richtajiri first
72
220698
3597
Sababu ya hio ni kua watu wengi wanasema
unapaswa kua tajiri kwanza
04:00
before you get fewwachache babieswatoto.
73
224295
1670
kabla hujapata watoto wachache.
04:01
So lowchini incomemapato here, highjuu incomemapato there.
74
225965
3632
Hivyo mapato ya chini hapa, mapato ya juu
pale.
04:05
And indeedkwa hakika in 1960,
75
229597
1638
Na kweli mwaka 1960,
04:07
you had to be a richtajiri ChristianKikristo to have fewwachache babieswatoto.
76
231235
2737
ulitakiwa uwe Mkristo tajiri kuwa na
watoto wachache.
04:09
The exceptionisipokuwa was JapanJapani.
77
233972
2274
Ilikua isipokua Japan.
04:12
JapanJapani here was regardedkuzingatiwa as an exceptionisipokuwa.
78
236246
3237
Japan hapa ilionekana ya kipekee.
04:15
OtherwiseVinginevyo it was only ChristianKikristo countriesnchi.
79
239483
2028
Vinginevyo ni nchi za Kikristo tu.
04:17
But there was alsopia manywengi ChristianKikristo countriesnchi
80
241511
2209
Lakini pia kulikua na nchi nyingi za
Kikristo
04:19
that had sixsita to sevensaba babieswatoto perkwa kila womanmwanamke.
81
243720
2572
zilizokua na watoto sita mpaka saba kwa
mwanamke.
04:22
But they were in LatinKilatini AmericaAmerika or they were in AfricaAfrika.
82
246292
5477
Lakini zilikua Amerika ya Kusini au
zilikua Afrika.
04:27
And countriesnchi with IslamUislamu as the majoritywengi religiondini,
83
251769
4173
Na nchi zenye Kiislamu kama dini kuu,
04:31
all of them almostkaribu had sixsita to sevensaba childrenwatoto perkwa kila womanmwanamke,
84
255942
4630
zote zilikua na karibia watoto sita mpaka
saba kwa mwanamke,
04:36
irregardlessirregardless of the incomemapato levelngazi.
85
260572
2425
bila kujali kiwango cha mapato.
04:38
And all the EasternMashariki religionsdini exceptisipokuwa JapanJapani had the samesawa levelngazi.
86
262997
4243
Na dini zote za mashariki isipokua Japan
zilikua na kiwango sawa.
04:43
Now let's see what has happenedkilichotokea in the worldulimwengu.
87
267240
1920
Sasa tuone kilichotokea kwenye dunia.
04:45
I startkuanza the worldulimwengu, and here we go.
88
269160
1920
Ninaanzisha dunia, na tunaenda hivi.
04:46
Now 1962 -- can you see they're gettingkupata a little richertajiri,
89
271080
3218
Sasa 1962 -- unaweza kuona wanakua
tajiri zaidi,
04:50
but the numbernambari of babieswatoto perkwa kila womanmwanamke is fallingkuanguka?
90
274298
2674
lakini idadi ya watoto kwa mwanamke
inashuka?
04:52
Look at ChinaChina. They're fallingkuanguka fairlyhaki fastharaka.
91
276972
2173
Angalia China. Wanashuka kwa haraka sana.
04:55
And all of the MuslimWaislamu majoritywengi countriesnchi acrosskote the incomemapato are comingkuja down,
92
279145
4763
Na nchi zote zenye Wasilamu wengi katika
mapato zinakuja chini,
04:59
as do the ChristianKikristo majoritywengi countriesnchi in the middlekatikati incomemapato rangembalimbali.
93
283908
4963
kama nchi zenye Wakristo wengi kwenye eneo
lenye mapato ya kati.
05:04
And when we enteringiza into this centurykarne,
94
288871
2529
Na tunapoingia kwenye karne hii,
05:07
you'llutasikia find more than halfnusu of mankindwanadamu down here.
95
291400
3360
utakuta zaidi ya nusu ya watu huku chini.
05:10
And by 2010, we are actuallykwa kweli 80 percentasilimia of humansbinadamu
96
294760
4926
Na ifikapo 2010, tuko kwa kweli asilimia
80 ya watu
05:15
who livekuishi in countriesnchi with about two childrenwatoto perkwa kila womanmwanamke.
97
299686
4314
wanaoishi kwenye nchi zenye kama watoto
wawili kwa mwanamke.
05:19
(ApplauseMakofi)
98
304000
3538
(Makofi)
05:23
It's a quitekabisa amazingajabu developmentmaendeleo whichambayo has happenedkilichotokea.
99
307538
3960
Ni maendeleo ya kushangaza kabisa ambayo
yametokea.
05:27
(ApplauseMakofi)
100
311498
1377
(Makofi)
05:28
And these are countriesnchi from UnitedMuungano StatesMarekani here,
101
312875
3202
Na hizi ni nchi za Marekani hapa,
05:31
with $40,000 perkwa kila capitacapita,
102
316077
2161
zenye $40,000 kwa kila mtu,
05:34
FranceUfaransa, RussiaUrusi, IranIrani,
103
318238
2947
Ufaransa, Urusi, Uajemi,
05:37
MexicoMeksiko, TurkeyUturuki, AlgeriaAljeria,
104
321185
3652
Mexico, Uturuki, Algeria,
05:40
IndonesiaIndonesia, IndiaIndia
105
324837
2225
Indonesia, India
05:42
and all the way to BangladeshBangladesh and VietnamVietnam,
106
327062
2729
na moja kwa moja mpaka Bangladesh na
Vietnam,
05:45
whichambayo has lesschini than fivetano percentasilimia of the incomemapato perkwa kila personmtu of the UnitedMuungano StatesMarekani
107
329791
4043
ambazo zinazo chini ya asilimia tano ya
mapato kwa mtu wa Marekani
05:49
and the samesawa amountkiasi of babieswatoto perkwa kila womanmwanamke.
108
333834
3157
na kiasi sawa cha watoto kwa mwanamke.
05:52
I can tell you that the datadata on the numbernambari of childrenwatoto perkwa kila womanmwanamke
109
336991
3231
Naweza kukuambia kua takwimu ya idadi ya
watoto kwa mwanamke
05:56
is surprisinglyajabu good in all countriesnchi.
110
340222
2089
ina uzuri wa kushangaza nchi zote.
05:58
We get that from the censussensa datadata.
111
342311
1947
Tunapata hizo kutoka takwimu za sensa.
06:00
It's not one of these statisticstakwimu whichambayo is very doubtfulmashaka.
112
344258
3393
Sio moja ya hizi takwimu zilizo na
mashaka sana.
06:03
So what we can concludekuhitimisha
113
347651
1306
Hivyo tunachohitimisha
06:04
is you don't have to get richtajiri to have fewwachache childrenwatoto.
114
348957
2781
ni hauhitaji kua tajiri kuwa na watoto
wachache.
06:07
It has happenedkilichotokea acrosskote the worldulimwengu.
115
351738
2342
Imetokea katika dunia.
06:09
And then when we look at religionsdini,
116
354080
2578
Na kisha tunapoangalia dini.
06:12
we can see that the EasternMashariki religionsdini,
117
356658
2527
tunaona kua dini za mashariki,
06:15
indeedkwa hakika there's not one singlemoja countrynchi with a majoritywengi of that religiondini
118
359185
3000
kwa kweli hakuna nchi hata moja yenye
wingi wa hio dini
06:18
that has more than threetatu childrenwatoto.
119
362185
1895
ambayo ina zaidi ya watoto watatu.
06:19
WhereasAmbapo with IslamUislamu as a majoritywengi religiondini and ChristianityUkristo,
120
364080
4052
Ambapo na Uislamu kama dini ya wingi na
Ukristo,
06:24
you see countriesnchi all the way.
121
368132
1908
unaona nchi njia yote.
06:25
But there's no majorkubwa differencetofauti.
122
370040
1778
Lakini hakuna tofauti kubwa.
06:27
There's no majorkubwa differencetofauti betweenkati these religionsdini.
123
371818
3502
Hakuna tofauti kubwa kati ya hizi dini.
06:31
There is a differencetofauti with incomemapato.
124
375320
2351
Kuna tofauti kwenye mapato.
06:33
The countriesnchi whichambayo have manywengi babieswatoto perkwa kila womanmwanamke here,
125
377671
3929
Nchi ambazo zina watoto wengi kwa mwanamke
hapa,
06:37
they have quitekabisa lowchini incomemapato.
126
381600
1932
zina mapato ya chini kweli.
06:39
MostWengi of them are in sub-SaharanSahara AfricaAfrika.
127
383532
3431
Nyingi zao ziko Afrika kusini mwa Sahara.
06:42
But there are alsopia countriesnchi here
128
386963
2662
Lakini pia kuna nchi huku
06:45
like GuatemalaGuatemala, like PapuaPapua NewMpya GuineaGuinea,
129
389625
4117
kama Guatemala, kama Papua New Guinea,
06:49
like YemenYemeni and AfghanistanAfghanistani.
130
393742
2806
kama Yemen na Afghanistan.
06:52
ManyWengi think that AfghanistanAfghanistani here and CongoKongo,
131
396548
3877
Wengi hufikiri kua Afghanistan hapa
na Kongo,
06:56
whichambayo have sufferedwaliteseka severekali conflictsmigogoro,
132
400425
3450
ambazo zimeteseka na migogoro mikali,
06:59
that they don't have fastharaka populationidadi ya watu growthukuaji.
133
403875
2757
kua hazina ukuaji wa idadi ya watu wa
haraka.
07:02
It's the other way around.
134
406632
1777
Ni kinyume chake.
07:04
In the worldulimwengu todayleo, it's the countriesnchi that have the highestjuu mortalityvifo ratesviwango
135
408409
3893
Kwenye dunia leo, ni nchi zenye
kiwango cha juu cha vifo
07:08
that have the fastestharaka zaidi populationidadi ya watu growthukuaji.
136
412302
2236
ambazo zina ukuaji wa haraka wa idadi ya
watu.
07:10
Because the deathkifo of a childmtoto is compensatedfidia by one more childmtoto.
137
414538
3988
Kwa sababu kifo cha mtoto kimefidiwa
na mtoto mmoja zaidi.
07:14
These countriesnchi have sixsita childrenwatoto perkwa kila womanmwanamke.
138
418526
2908
Hizi nchi zina watoto sita kwa mwanake.
07:17
They have a sadhuzuni deathkifo ratekiwango of one to two childrenwatoto perkwa kila womanmwanamke.
139
421434
4132
Zina kiwango cha vifo cha kusikitisha cha
mtoto mmoja mpaka wawili kwa mwanamke.
07:21
But 30 yearsmiaka from now, AfghanistanAfghanistani will go from 30 millionmilioni to 60 millionmilioni.
140
425566
3819
Lakini miaka 30 kutoka sasa, Afghanistan
inatoka milioni 30 mpaka milioni 60.
07:25
CongoKongo will go from 60 to 120.
141
429385
3407
Kongo inaenda kutoka 60 mpaka 120.
07:28
That's where we have the fastharaka populationidadi ya watu growthukuaji.
142
432792
2891
Hapo ndipo tunapata ukuaji wa idadi ya
watu.
07:31
And manywengi think that these countriesnchi are stagnantpalepale, but they are not.
143
435683
4345
Na wengi wanafikiri kua hizi nchi ziko
palepale, lakini hazipo.
07:35
Let me comparekulinganisha SenegalSenegal, a MuslimWaislamu dominatediliongozwa countrynchi,
144
440028
3514
Ngoja nilinganishe Senegal, nchi
iliotawaliwa na Waislamu,
07:39
with a ChristianKikristo dominatediliongozwa countrynchi, GhanaGhana.
145
443542
2458
na nchi iliotawaliwa na Wakristo, Ghana.
07:41
I take them backwardsnyuma here to theirwao independenceuhuru,
146
446000
3597
Nazipeleka nyuma hapa kwenye uhuru wao,
07:45
when they were up here in the beginningmwanzo of the 1960s.
147
449597
3683
ambapo walikua huku juu mwanzoni mwa miaka
ya 1960.
07:49
Just look what they have donekufanyika.
148
453280
2098
Angalia tu walichokifanya.
07:51
It's an amazingajabu improvementkuboresha,
149
455378
1551
Ni maendeleo ya kushangaza,
07:52
from sevensaba childrenwatoto perkwa kila womanmwanamke,
150
456929
2237
kutoka watoto saba kwa mwanake,
07:55
they'vewameweza gonewamekwenda all the way down to betweenkati fournne and fivetano.
151
459166
3065
wameenda moja kwa moja chini mpaka
wanne na watano.
07:58
It's a tremendouskubwa improvementkuboresha.
152
462231
1587
Ni maendeleo makubwa.
07:59
So what does it take?
153
463818
1425
Hivyo inachukua nini?
08:01
Well we know quitekabisa well what is neededinahitajika in these countriesnchi.
154
465243
3597
Basi tunajua vizuri kabisa
kinachohitajika kwenye hizi nchi.
08:04
You need to have childrenwatoto to survivekuishi.
155
468840
2489
Unahitaji kua na watoto kuishi.
08:07
You need to get out of the deepestkina zaidi povertyumasikini
156
471329
2613
Unahitaji kutoka nje ya umasikini
uliokithiri
08:09
so childrenwatoto are not of importanceumuhimu for work in the familyfamilia.
157
473942
3578
hivyo watoto sio wa muhimu kwa kazi kwenye
familia.
08:13
You need to have accessupatikanaji to some familyfamilia planningkupanga.
158
477520
2871
Unahitaji kua na upatikanaji wa baadhi ya
uzazi wa mpango.
08:16
And you need the fourthnne factorsababu, whichambayo perhapslabda is the mostwengi importantmuhimu factorsababu.
159
480391
4332
Na unahitaji sababu ya nne, ambayo pengine
ni sababu muhimu kuliko zote.
08:20
But let me illustratekuonyesha that fourthnne factorsababu
160
484723
2908
Lakini ngoja nionyeshe hio sababu ya nne
08:23
by looking at QatarKhatari.
161
487631
2101
kwa kuangalia Qatar.
08:25
Here we have QatarKhatari todayleo, and there we have BangladeshBangladesh todayleo.
162
489732
3800
Hapa tuna Qatar leo, na pale tuna
Bangladesh leo.
08:29
If I take these countriesnchi back to the yearsmiaka of theirwao independenceuhuru,
163
493532
3637
Kama nikizipeleka hizi nchi nyuma kwenye
miaka ya uhuru wao,
08:33
whichambayo is almostkaribu the samesawa yearmwaka -- '71, '72 --
164
497169
3071
ambazo ni karibia mwaka mmoja
-- '71, '72 --
08:36
it's a quitekabisa amazingajabu developmentmaendeleo whichambayo had happenedkilichotokea.
165
500240
3874
ni maendeleo ya kushangaza kabisa ambayo
yalitokea.
08:40
Look at BangladeshBangladesh and QatarKhatari.
166
504114
1806
Angalia Bangladesh na Qatar.
08:41
With so differenttofauti incomeskipato, it's almostkaribu the samesawa droptone
167
505920
3258
Zenye mapato yanayotofautiana kabisa, ni
karibia muanguko sawa
08:45
in numbernambari of babieswatoto perkwa kila womanmwanamke.
168
509178
2114
kwenye idadi ya watoto kwa mwanamke.
08:47
And what is the reasonsababu in QatarKhatari?
169
511292
2003
Na nini sababu ya Qatar?
08:49
Well I do as I always do.
170
513295
1659
Basi kama kawaida yangu.
08:50
I wentakaenda to the statisticaltakwimu authoritymamlaka of QatarKhatari, to theirwao webpageUkurasa wavuti --
171
514954
3772
Nilienda kwenye mamlaka ya takwimu ya
Qatar, kwenye tovuti yao --
08:54
It's a very good webpageUkurasa wavuti. I recommendkupendekeza it --
172
518726
2131
Ni tovuti nzuri sana. Ninaipendekeza --
08:56
and I lookedilionekana up -- oh yeah, you can have lots of funfuraha here --
173
520857
6491
na nikaangalia juu -- ndio, ni burudani
nyingi hapa --
09:03
and providedzinazotolewa freebure of chargemalipo, I foundkupatikana Qatar'sYa Qatar socialkijamii trendsmwenendo.
174
527348
4067
na zinatolewa bure, nilikuta mwenendo
wa kijamii wa Qatar.
09:07
Very interestingkuvutia. Lots to readsoma.
175
531415
2345
Ya kuvutia sana. Vingi vya kusoma.
09:09
I foundkupatikana fertilityuzazi at birthkuzaliwa, and I lookedilionekana at totaljumla fertilityuzazi ratekiwango perkwa kila womanmwanamke.
176
533760
4572
Nilikuta nguvu ya uzazi, na nikaangalia
jumla ya kiwango cha uzazi kwa mwanamke.
09:14
These are the scholarswasomi and expertswataalam in the governmentserikali agencyshirika in QatarKhatari,
177
538332
3551
Hawa ni wasomi na wataalamu kwenye wakala
wa serikali wa Qatar,
09:17
and they say the mostwengi importantmuhimu factorssababu are:
178
541883
2655
na wakasema sababu za muhimu zaidi ni:
09:20
"IncreasedKuongezeka ageumri at first marriagendoa,
179
544538
1942
"Ongezeko la umri kwenye ndoa ya kwanza,
09:22
increasedimeongezeka educationalelimu levelngazi of QatariBahrain womanmwanamke
180
546480
3025
ongezeko la kiwango cha elimu cha mwanamke
wa Qatar
09:25
and more womenwanawake integratedjumuishi in the laborkazi forcenguvu."
181
549505
3313
na wanawake zaidi kujumuika kwenye
nguvukazi."
09:28
I couldn'thaikuweza agreekubali more. ScienceSayansi couldn'thaikuweza agreekubali more.
182
552818
3742
Nisingekubali zaidi. Sayansi isingekubali
zaidi.
09:32
This is a countrynchi that indeedkwa hakika has gonewamekwenda throughkupitia
183
556560
2517
Hii ni nchi ambayo kweli imepitia
09:34
a very, very interestingkuvutia modernizationkisasa.
184
559077
3535
utamaduni wa kushangaza sana sana.
09:38
So what it is, is these fournne:
185
562612
2625
Hivyo kilichopo, ni hizi nne:
09:41
ChildrenWatoto should survivekuishi, childrenwatoto shouldn'thaipaswi be neededinahitajika for work,
186
565237
3083
Watoto wanatakiwa waishi, watoto
hawatakiwi kuhitajika kwa kazi,
09:44
womenwanawake should get educationelimu and joinkujiunga the laborkazi forcenguvu
187
568320
2902
wanawake wanatakiwa kupata elimu na
kujiunga na nguvukazi
09:47
and familyfamilia planningkupanga should be accessiblekupatikana.
188
571222
2273
na uzazi wa mpango unatakiwa kupatikana.
09:49
Now look again at this.
189
573495
3388
Sasa angalia tena hii.
09:52
The averagewastani numbernambari of childrenwatoto in the worldulimwengu
190
576883
2292
Wastani ya idadi ya watoto duniani
09:55
is like in ColombiaKolombia -- it's 2.4 todayleo.
191
579175
3422
ni kama ya Colombia -- ni 2.4 leo.
09:58
There are countriesnchi up here whichambayo are very poormaskini.
192
582597
3037
Kuna nchi huku juu amabazo ni maskini
sana.
10:01
And that's where familyfamilia planningkupanga, better childmtoto survivalkuishi is neededinahitajika.
193
585634
3951
Na ndipo uzazi wa mpango, maisha bora ya
watoto zinahitajika.
10:05
I stronglykwa nguvu recommendkupendekeza MelindaMelinda Gates'Malango last TEDTalkTEDTalk.
194
589585
3787
Nina pendekeza kwa nguvu mazungumzo ya
TED ya mwisho ya Melinda Gates.
10:09
And here, down, there are manywengi countriesnchi whichambayo are lesschini than two childrenwatoto perkwa kila womanmwanamke.
195
593372
5459
Na hapa, chini, kuna nchi nyingi ambazo
zina chini ya watoto wawili kwa mwanamke.
10:14
So when I go back now to give you the answerjibu of the quizjaribio,
196
598831
3612
Hivyo nikirudi sasa kuwapa jibu la
jaribio,
10:18
it's two.
197
602443
1542
ni mbili.
10:19
We have reachedilifikia peakkilele childmtoto.
198
603985
2529
Tumefikia kilele mtoto.
10:22
The numbernambari of childrenwatoto is not growingkukua any longertena in the worldulimwengu.
199
606514
2889
Idadi ya watoto haikui tena zaidi duniani.
10:25
We are still debatingkujadiliana peakkilele oilmafuta,
200
609403
1992
Bado tunajadili kilele mafuta,
10:27
but we have definitelydhahiri reachedilifikia peakkilele childmtoto.
201
611395
2931
lakini ni dhahiri tumefika kilele mtoto.
10:30
And the worldulimwengu populationidadi ya watu will stop growingkukua.
202
614326
2723
Idadi ya watu duniani itaacha kukua.
10:32
The UnitedMuungano NationsMataifa PopulationIdadi ya watu DivisionMgawanyiko has said
203
617049
2102
Umoja wa Mataifa kitengo cha Wakazi
kilisema
10:35
it will stop growingkukua at 10 billionbilioni.
204
619151
2440
kitaacha kukua kwenye bilioni 10.
10:37
But why do they growkukua if the numbernambari of childrenwatoto doesn't growkukua?
205
621591
4040
Lakini kwanini tunaongezeka kama idadi ya
watoto haiongezeki?
10:41
Well I will showonyesha you here.
206
625631
2446
Basi nitawaonyesha hapa.
10:43
I will use these cardkadi boxesmasanduku in whichambayo your notebooksmadaftari camealikuja.
207
628077
3775
Nitatumia hizi sanduku za kadi ambazo
madaftari yenu yalikuja.
10:47
They are quitekabisa usefulmuhimu for educationalelimu purposesmadhumuni.
208
631852
3834
Ni muhimu sana kwa madhumuni ya elimu.
10:51
EachKila cardkadi boxsanduku is one billionbilioni people.
209
635686
2908
Kila kisanduku ni watu bilioni moja.
10:54
And there are two billionbilioni childrenwatoto in the worldulimwengu.
210
638594
2668
Na kuna watoto bilioni mbili duniani.
10:57
There are two billionbilioni youngvijana people betweenkati 15 and 30.
211
641262
6870
Kuna vijana bilioni mbili kati ya 15
na 30.
11:04
These are roundedMviringo numbersnambari.
212
648132
1470
Hizi ni namba zilizokadiriwa.
11:05
Then there is one billionbilioni betweenkati 30 and 45,
213
649602
5026
Halafu kuna bilioni moja kati ya 30 na 45,
11:10
almostkaribu one betweenkati 45 and 60.
214
654628
3843
karibia moja kati ya 45 na 60.
11:14
And then it's my boxsanduku.
215
658471
1624
na tena kuna sanduku langu.
11:15
This is me: 60-plus-plus.
216
660095
2025
Huyu ni mimi: 60-na zaidi.
11:18
We are here on topjuu.
217
662120
2162
Tupo hapa juu.
11:20
So what will happenkutokea now is what we call "the bigkubwa fill-upJaza-juu."
218
664282
5232
Hivyo kitakachotokea sasa hivi ni
tunachoita "ujazo mkubwa."
11:25
You can see that it's like threetatu billionbilioni missinghaipo here.
219
669514
2988
Utaona kua kuna kama bilioni tatu
inayokosekana hapa.
11:28
They are not missinghaipo because they'vewameweza diedalikufa; they were never bornalizaliwa.
220
672502
4307
Haionekani kwa sababu wamekufa; hawakuwahi
kuzaliwa.
11:32
Because before 1980, there were much fewerwachache people bornalizaliwa
221
676809
4108
Kwa sababu kabla ya 1980, kulikua na watu
wachache zaidi waliozaliwa
11:36
than there were duringwakati the last 30 yearsmiaka.
222
680917
2757
kuliko waliopo wakati wa miaka 30
iliopita.
11:39
So what will happenkutokea now is quitekabisa straightforwardmoja kwa moja.
223
683674
3154
Hivyo kitakachotokea sasa ni wazi sana.
11:42
The oldzamani, sadlyhuzuni, we will diekufa.
224
686828
2797
Wazee, kwa sikitiko, tutakufa.
11:45
The restpumzika of you, you will growkukua olderwakubwa and you will get two billionbilioni childrenwatoto.
225
689625
4655
Nyie wengine, mtakua wakubwa na mtapata
watoto bilioni mbili.
11:50
Then the oldzamani will diekufa.
226
694280
2608
Kisha wazee watakufa.
11:52
The restpumzika will growkukua olderwakubwa and get two billionbilioni childrenwatoto.
227
696888
4038
Wengine watakua wakubwa na kupata watoto
bilioni mbili.
11:56
And then again the oldzamani will diekufa and you will get two billionbilioni childrenwatoto.
228
700926
5769
Na tena wazee watakufa na mtapata watoto
bilioni mbili.
12:02
(ApplauseMakofi)
229
706695
2254
(Makofi)
12:04
This is the great fill-upJaza-juu.
230
708949
3633
Hii ni ujazo mkubwa.
12:08
It's inevitablekuepukika.
231
712582
2772
Haiepukiki.
12:11
And can you see that this increaseOngeza tookalichukua placemahali
232
715354
2646
Na unaona kua hili ongezeko lilitokea
12:13
withoutbila life gettingkupata longertena and withoutbila addingkuongeza childrenwatoto?
233
718000
4803
bila maisha kua marefu na bila kuongeza
watoto?
12:18
ReligionDini has very little to do with the numbernambari of babieswatoto perkwa kila womanmwanamke.
234
722803
4905
Dini inahusika kidogo sana kwenye idadi ya
watoto kwa mwanamke.
12:23
All the religionsdini in the worldulimwengu are fullykikamilifu capableuwezo
235
727708
3269
Dini zote duniani zina uwezo wa kikamilifu
12:26
to maintainkudumisha theirwao valuesmaadili and adapttoa to this newmpya worldulimwengu.
236
730977
5125
kudumisha thamani zao na kukabiliana
na hii dunia mpya.
12:32
And we will be just 10 billionbilioni in this worldulimwengu,
237
736102
5283
Na tutakua tu bilioni 10 kwenye dunia hii,
12:37
if the poorestmaskini zaidi people get out of povertyumasikini,
238
741385
3584
kama watu maskini watatoka kwenye
umaskini,
12:40
theirwao childrenwatoto survivekuishi, they get accessupatikanaji to familyfamilia planningkupanga.
239
744969
3173
watoto wao wataishi, watakua na
upatikanaji wa uzazi wa mpango.
12:44
That is neededinahitajika.
240
748142
1900
Hio inahitajika.
12:45
But it's inevitablekuepukika that we will be two to threetatu billionbilioni more.
241
750042
5715
Lakini haiepukiki kua tutakua bilioni
mbili mpaka tatu zaidi.
12:51
So when you discusskujadili and when you planMpango
242
755757
3212
Hivyo unavyojadili na unavyopanga
12:54
for the resourcesrasilimali and the energynishati neededinahitajika for the futurebaadaye,
243
758969
3403
kwa rasilimali na nishati zinazohitajika
baadae,
12:58
for humanbinadamu beingsviumbe on this planetsayari,
244
762372
2333
kwa wanadamu kwenye hii sayari,
13:00
you have to planMpango for 10 billionbilioni.
245
764705
2157
unatakiwa upange kwa bilioni 10
13:02
Thank you very much.
246
766862
2150
Asante sana.
13:04
(ApplauseMakofi)
247
769012
6086
(Makofi)
Translated by Doris Mangalu
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Hans Rosling - Global health expert; data visionary
In Hans Rosling’s hands, data sings. Global trends in health and economics come to vivid life. And the big picture of global development—with some surprisingly good news—snaps into sharp focus.

Why you should listen

Even the most worldly and well-traveled among us have had their perspectives shifted by Hans Rosling. A professor of global health at Sweden's Karolinska Institute, his work focused on dispelling common myths about the so-called developing world, which (as he pointed out) is no longer worlds away from the West. In fact, most of the Third World is on the same trajectory toward health and prosperity, and many countries are moving twice as fast as the west did.

What set Rosling apart wasn't just his apt observations of broad social and economic trends, but the stunning way he presented them. Guaranteed: You've never seen data presented like this. A presentation that tracks global health and poverty trends should be, in a word: boring. But in Rosling's hands, data sings. Trends come to life. And the big picture — usually hazy at best — snaps into sharp focus.

Rosling's presentations were grounded in solid statistics (often drawn from United Nations and World Bank data), illustrated by the visualization software he developed. The animations transform development statistics into moving bubbles and flowing curves that make global trends clear, intuitive and even playful. During his legendary presentations, Rosling took this one step farther, narrating the animations with a sportscaster's flair.

Rosling developed the breakthrough software behind his visualizations through his nonprofit Gapminder, founded with his son and daughter-in-law. The free software — which can be loaded with any data — was purchased by Google in March 2007. (Rosling met the Google founders at TED.)

Rosling began his wide-ranging career as a physician, spending many years in rural Africa tracking a rare paralytic disease (which he named konzo) and discovering its cause: hunger and badly processed cassava. He co-founded Médecins sans Frontièrs (Doctors without Borders) Sweden, wrote a textbook on global health, and as a professor at the Karolinska Institut in Stockholm initiated key international research collaborations. He's also personally argued with many heads of state, including Fidel Castro.

Hans Rosling passed away in February 2017. He is greatly missed.


More profile about the speaker
Hans Rosling | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee