ABOUT THE SPEAKER
David Steindl-Rast - Monk
Brother David Steindl-Rast, a Benedictine monk, meditates and writes on "the gentle power" of gratefulness.

Why you should listen

Many first met Brother David Steindl-Rast through a viral video called "Nature. Beauty. Gratitude," where Louie Schwartzberg's footage of time-lapse flowers in bloom is narrated by Brother David's moving words asking us to simply be ... grateful. Since 1953, Brother David has been a monk of Mount Saviour Benedictine monastery in New York, dividing his time between hermitic contemplation, writing and lecturing. He's the cofounder of gratefulness.org, supporting ANG*L (A Network for Grateful Living).

He was one of the first Roman Catholics to participate in Buddhist-Christian dialogue, and is the author of The Ground We Share, a text on Buddhist and Christian practice, written with Robert Aitken Roshi. His other books include Gratefulness, the Heart of Prayer and Deeper Than Words. His most recent book is 99 Blessings, a series of prayers for the general reader -- whether people of faith, agnostics, or uncertain.

More profile about the speaker
David Steindl-Rast | Speaker | TED.com
TEDGlobal 2013

David Steindl-Rast: Want to be happy? Be grateful

David Steindl-Rast: Unataka kuwa na furaha? Kuwa mtu wa Shukrani

Filmed:
7,468,760 views

Kitu kimoja ambacho binadamu wote tunacho pamoja ni kuwa na furaha,anasema kaka David Steindl-Rast,mtawa na mwanafunzi wa imani.Na furaha,anasema,inazaliwa kutoka katika shukrani.Somo linalohamasisha katika kwenda polepole,kuangalia unapokwenda,na kwa hayo yote,kuwa na shukrani.
- Monk
Brother David Steindl-Rast, a Benedictine monk, meditates and writes on "the gentle power" of gratefulness. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
There is something
0
496
2150
Kuna kitu
00:14
you know about me, something very personalbinafsi,
1
2646
5324
unafahamu kuhusu mimi,kitu cha binafsi sana,
00:19
and there is something I know about
2
7970
2238
na kitu nafahamu kuhusu
00:22
everykila one of you
3
10208
2342
kila mmoja wenu
00:24
and that's very centralkati to your concernswasiwasi.
4
12550
4113
na hicho ndiyo kitu kikuu kwa dhumuni lenu.
00:28
There is something that we know
5
16663
2605
Kuna kitu tunajua
00:31
about everyonekila mtu we meetkukutana anywherepopote in the worldulimwengu,
6
19268
2586
kuhusu kila mtu tunayekutana nae duniani,
00:33
on the streetbarabara,
7
21854
3465
mtaani,
00:37
that is the very mainspringmainspring
8
25319
2991
hicho ndiyo kiini
00:40
of whateverVyovyote they do
9
28310
1859
cha kila tunachofanya
00:42
and whateverVyovyote they put up with,
10
30169
3878
na chochote tunachokuwa pamoja nacho,
00:46
and that is that all of us
11
34047
3257
ni kwamba wote
00:49
want to be happyfuraha.
12
37304
3037
tunataka kuwa na furaha.
00:52
In this, we are all togetherpamoja.
13
40341
2862
Katika hili,tupo pamoja.
00:55
How we imaginefikiria our happinessfuraha,
14
43203
3492
Tunavyofikiria furaha yetu.
00:58
that differshutofautiana from one anothermwingine,
15
46695
2006
inatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine,
01:00
but it's alreadytayari a lot that we have all in commonkawaida,
16
48701
4828
lakini ni vitu tulivyonavyo kwa pamoja,
01:05
that we want to be happyfuraha.
17
53529
3635
tunataka kuwa na furaha.
01:09
Now my topicmada is gratefulnessgratefulness.
18
57164
3322
Sasa,mada yangu ni kuhusu kushukuru.
01:12
How is the connectionuhusiano betweenkati
19
60486
2802
Kuna uhusiano gani kati ya
01:15
happinessfuraha and gratefulnessgratefulness?
20
63288
4007
furaha na kushukuru?
01:19
ManyWengi people would say, well, that's very easyrahisi.
21
67310
3018
Watu wengi watasema,sawa,hiyo ni rahisi sana.
01:22
When you are happyfuraha, you are gratefulkushukuru.
22
70328
4003
Ukiwa na furaha,basi unashukuru.
01:26
But think again.
23
74331
3219
Lakini tazama tena.
01:29
Is it really the happyfuraha people that are gratefulkushukuru?
24
77550
5359
Ni kweli kwamba watu wenye furaha wana shukrani?
01:34
We all know quitekabisa a numbernambari of people
25
82909
3733
Sote tunafahamu namba kiasi ya watu
01:38
who have everything that it would take to be happyfuraha,
26
86642
4201
ambao wana kila kitu cha kuwafanya wawe na furaha,
01:42
and they are not happyfuraha,
27
90843
1781
lakini hawa furaha,
01:44
because they want something elsemwingine
28
92624
1691
kwa sababu wanataka kitu kingine
01:46
or they want more of the samesawa.
29
94315
3858
au wanataka kilekile lakini kwa mara nyingine.
01:50
And we all know people
30
98173
2554
Na tunafahamu watu
01:52
who have lots of misfortunebalaa,
31
100727
4294
ambao ni fukara sana,
01:57
misfortunebalaa that we ourselvessisi wenyewe would not want to have,
32
105021
3801
ufukara ambao sisi hatutaki kuwa nao,
02:00
and they are deeplykwa undani happyfuraha.
33
108822
2752
lakini wamejawa na furaha mno.
02:03
They radiatekung'ara happinessfuraha. You are surprisedkushangaa.
34
111574
3443
Wanamiminika furaha.Unashangaa.
02:07
Why? Because they are gratefulkushukuru.
35
115017
3331
Kwanini?kwa sababu wanajua kushukuru.
02:10
So it is not happinessfuraha that makeshufanya us gratefulkushukuru.
36
118348
3877
Kwa hiyo si furaha inayotufanya tuwe na shukrani.
02:14
It's gratefulnessgratefulness that makeshufanya us happyfuraha.
37
122225
3520
Ni shukrani inayotufanya tuwe na furaha.
02:17
If you think it's happinessfuraha that makeshufanya you gratefulkushukuru,
38
125745
3031
Kama unafikiri ni furaha inayotufanya tushukuru,
02:20
think again.
39
128776
1509
tazama tena.
02:22
It's gratefulnessgratefulness that makeshufanya you happyfuraha.
40
130285
4008
Ni shukrani inayokufanya uwe na furaha.
02:26
Now, we can askkuuliza,
41
134293
2512
Sasa,tunaweza kuuliza,
02:28
what really do we mean by gratefulnessgratefulness?
42
136805
3824
nini maana ya shukrani?
02:32
And how does it work?
43
140629
5356
na inafanya kazi vipi?
02:37
I appealrufaa to your ownmwenyewe experienceuzoefu.
44
145985
1990
Nitarufaa katika uzoefu wako.
02:39
We all know from experienceuzoefu how it goeshuenda.
45
147975
3080
Wote tunajua kutoka katika uzoefu inakuaje.
02:43
We experienceuzoefu something
46
151055
2396
Tunapata hali fulani
02:45
that's valuablethamani to us.
47
153451
3118
ambayo ina thamani kwetu.
02:48
Something is givenalipewa to us that's valuablethamani to us.
48
156569
5356
Tunapata kitu chenye thamani.
02:53
And it's really givenalipewa.
49
161925
1946
na kweli tunapata.
02:55
These two things have to come togetherpamoja.
50
163871
2243
Vitu hivi viwili vinatakiwa kuja pamoja.
02:58
It has to be something valuablethamani,
51
166114
3522
Inatakiwa kuwa na thamani,
03:01
and it's a realhalisi giftzawadi.
52
169636
1888
na ni zawadi halisi.
03:03
You haven'thawana boughtkununuliwa it. You haven'thawana earnedalipata it.
53
171524
3237
Hujainunua.Hujaitolea jasho.
03:06
You haven'thawana tradedkufanyiwa biashara it in. You haven'thawana workedkazi for it.
54
174761
2321
Hujaifanyia biashara.Hujaifanyia kazi.
03:09
It's just givenalipewa to you.
55
177082
1739
Umepewa tu.
03:10
And when these two things come togetherpamoja,
56
178821
2267
na hivi vitu viwili vinapokuja pamoja,
03:13
something that's really valuablethamani to me
57
181088
2277
kile kilicho na thamani kwangu
03:15
and I realizekutambua it's freelykwa uhuru givenalipewa,
58
183365
3372
nagundua nimepewa bure,
03:18
then gratefulnessgratefulness spontaneouslypapo hapo
59
186737
3015
halafu shukrani muda huohuo
03:21
riseskuongezeka in my heartmoyo,
60
189752
1922
inaamshwa katika moyo wangu,
03:23
happinessfuraha spontaneouslypapo hapo riseskuongezeka in my heartmoyo.
61
191674
4363
furaha muda huohuo pia inaamshwa katika moyo wangu.
03:28
That's how gratefulnessgratefulness happenshutokea.
62
196037
3509
Hivyo ndivyo shukrani inavyotokea.
03:31
Now the keyufunguo to all this is that
63
199546
7835
Sasa,ufunguo wa haya yote ni kwamba
03:39
we cannothaiwezi only experienceuzoefu this oncemara moja in a while.
64
207381
5616
hatuwezi kukutana na hali hii mara moja.
03:44
We cannothaiwezi only have gratefulkushukuru experiencesuzoefu.
65
212997
3758
Hatuwezi kuwa na mazoea ya kushukuru tu.
03:48
We can be people who livekuishi gratefullyshukrani.
66
216755
3894
Tunaweza kuwa watu tunaoishi kwa shukrani.
03:52
GratefulShukrani livingwanaishi, that is the thing.
67
220649
3448
Kuishi ukiwa na shukrani,hicho ndo cha maana.
03:56
And how can we livekuishi gratefullyshukrani?
68
224097
4000
Ni vipi tunaweza ishi tukiwa na shukrani?
04:00
By experiencinginakabiliwa, by becomingkuwa awarekufahamu
69
228097
4292
Kwa mazoea,kwa kujua
04:04
that everykila momentwakati is a givenalipewa momentwakati, as we say.
70
232389
4904
kila wakati ni wakati tuliopewa,kama tusemavyo.
04:09
It's a giftzawadi. You haven'thawana earnedalipata it.
71
237293
2605
Ni zawadi.Hujautolea jasho.
04:11
You haven'thawana broughtkuletwa it about in any way.
72
239898
2907
Hujauleta kwa njia yoyote ile.
04:14
You have no way of assuringkuhakikisha that there will be
73
242805
3972
Hauna njia ya kuhakikisha kwamba kutakuwa
04:18
anothermwingine momentwakati givenalipewa to you,
74
246777
2140
na wakati mwingine kwa ajili yako,
04:20
and yetbado, that's the mostwengi valuablethamani thing
75
248917
2900
na bado,hicho ni kitu muhimu sana
04:23
that can ever be givenalipewa to us,
76
251817
2189
ambacho tunaweza pewa,
04:26
this momentwakati, with all the opportunitynafasi that it containsina.
77
254006
5512
wakati huu,na nafasi zote ulizonazo.
04:31
If we didn't have this presentsasa momentwakati,
78
259518
2664
Kama tusingekuwa na wakati huu,
04:34
we wouldn'thakutaka have any opportunitynafasi to do anything
79
262182
3200
tusingekuwa na nafasi ya kufanya lolote
04:37
or experienceuzoefu anything,
80
265382
1848
au kuzoea chochote,
04:39
and this momentwakati is a giftzawadi.
81
267230
1840
na wakati huu ni zawadi.
04:41
It's a givenalipewa momentwakati, as we say.
82
269070
2642
Ni wakati tuliopewa,kama tusemavyo.
04:43
Now, we say the giftzawadi withinndani this giftzawadi
83
271712
4073
Sasa,tunasema zawadi ndani ya zawadi
04:47
is really the opportunitynafasi.
84
275785
2567
ni nafasi halisi.
04:50
What you are really gratefulkushukuru for is the opportunitynafasi,
85
278352
4566
Unachoshukuru kwa hili ni nafasi,
04:54
not the thing that is givenalipewa to you,
86
282918
1958
na sio kile ulichopewa,
04:56
because if that thing were somewheremahali fulani elsemwingine
87
284876
1979
kwa sababu kama hicho kitu kingekuwa sehemu nyingine
04:58
and you didn't have the opportunitynafasi to enjoykufurahia it,
88
286855
3336
na hukuwa na nafasi ya kukifaidi,
05:02
to do something with it,
89
290191
2245
kufanya chochote nacho,
05:04
you wouldn'thakutaka be gratefulkushukuru for it.
90
292436
2590
usingeshukuru.
05:07
OpportunityFursa is the giftzawadi withinndani everykila giftzawadi,
91
295026
4143
Nafasi ni zawadi katika kila zawadi,
05:11
and we have this sayingkusema,
92
299169
2352
na tunao huu msemo,
05:13
opportunitynafasi knockshodi only oncemara moja.
93
301521
4248
nafasi huja mara moja tu.
05:17
Well, think again.
94
305769
2699
Sawa,fikiria tena.
05:20
EveryKila momentwakati is a newmpya giftzawadi, over and over again,
95
308468
4422
Kila wakati ni zawadi mpya,tena na tena,
05:24
and if you missmiss the opportunitynafasi of this momentwakati,
96
312890
3268
na kama utakosa nafasi ya wakati huu,
05:28
anothermwingine momentwakati is givenalipewa to us, and anothermwingine momentwakati.
97
316158
4017
wakati mwingine utakuja,na tena mwingine utakuja.
05:32
We can availni sawa ourselvessisi wenyewe of this opportunitynafasi,
98
320175
2714
Tunaweza pata nafasi tena
05:34
or we can missmiss it,
99
322889
1871
au kukosa,
05:36
and if we availni sawa ourselvessisi wenyewe of the opportunitynafasi,
100
324760
3732
na kama tutaipata nafasi,
05:40
it is the keyufunguo to happinessfuraha.
101
328492
3019
ni ufunguo wa furaha.
05:43
BeholdTazama the masterbwana keyufunguo to our happinessfuraha
102
331511
3265
Tunayo funguo kuu ya furaha yetu
05:46
in our ownmwenyewe handsmikono.
103
334776
1803
katika mikono yetu.
05:48
MomentWakati by momentwakati,
104
336579
1942
wakati kwa wakati,
05:50
we can be gratefulkushukuru for this giftzawadi.
105
338521
3072
tunaweza kuwa na shukrani kwa zawadi hii.
05:53
Does that mean
106
341593
2523
Ina maana kwamba
05:56
that we can be gratefulkushukuru for everything?
107
344116
3513
tuwe na shukrani kwa kila kitu?
05:59
CertainlyHakika not.
108
347629
1903
Si hivyo.
06:01
We cannothaiwezi be gratefulkushukuru for violencevurugu, for warvita,
109
349532
5005
Hatuwezi kuwa na shukrani kwa vurugu,vita,
06:06
for oppressionukandamizaji, for exploitationunyonyaji.
110
354537
2823
kugandamizwa,kunyonywa na kuonewa.
06:09
On the personalbinafsi levelngazi, we cannothaiwezi be gratefulkushukuru
111
357360
2641
Katika hali ya utu,hatuwezi kuwa na shukrani
06:12
for the losskupoteza of a friendrafiki, for unfaithfulnesskutokuwa waaminifu,
112
360001
3423
kwa kupoteza marafiki,kwa kudanganywa,
06:15
for bereavementmsiba.
113
363424
3246
kwa kufiwa.
06:18
But I didn't say we can be gratefulkushukuru for everything.
114
366670
3857
Lakini sikusema tuwe na shukrani kwa kila kitu.
06:22
I said we can be gratefulkushukuru in everykila givenalipewa momentwakati
115
370527
4278
Nimesema tuwe na shukrani kwa kila nyakati tunayopewa
06:26
for the opportunitynafasi,
116
374805
2082
kwa nafasi,
06:28
and even when we are confrontedwanakabiliwa
117
376887
3253
na hata tunapopingwa
06:32
with something that is terriblysana difficultvigumu,
118
380140
3166
katika kitu ambacho ni kigumu sana,
06:35
we can risekupanda to this occasiontukio
119
383306
2540
tunaweza ibuka katika hili
06:37
and respondjibu to the opportunitynafasi that is givenalipewa to us.
120
385846
4255
na kuitikia nafasi tunayopewa.
06:42
It isn't as badmbaya as it mightnguvu seemkuonekana.
121
390101
2375
Sio mbaya kama inavyoonekana.
06:44
ActuallyKweli, when you look at it and experienceuzoefu it,
122
392476
3893
Kiukweli,unapoiangalia na kuizoea,
06:48
you find that mostwengi of the time, what is givenalipewa to us
123
396369
4078
unakuta muda mwingi,tunachopewa
06:52
is opportunitynafasi to enjoykufurahia,
124
400447
2375
ni nafasi ya kustarehe,
06:54
and we only missmiss it because
125
402822
1967
na tunaikosa kwa sababu
06:56
we are rushingkukimbilia throughkupitia life
126
404789
1263
tunaharakisha maisha
06:58
and we are not stoppingkuacha to see the opportunitynafasi.
127
406052
3867
na hatuachi kuona nafasi.
07:01
But oncemara moja in a while,
128
409919
1431
Lakini wakati huo,
07:03
something very difficultvigumu is givenalipewa to us,
129
411350
2946
tunapewa kitu kigumu,
07:06
and when this difficultvigumu thing occurshutokea to us,
130
414296
3981
na hiki kitu kigumu kinapokuja,
07:10
it's a challengechangamoto to risekupanda to that opportunitynafasi,
131
418277
4438
ni changamoto katika kuifanikisha ile nafasi,
07:14
and we can risekupanda to it by learningkujifunza something
132
422715
3211
na tunaweza fanikiwa kwa kujifunza kitu
07:17
whichambayo is sometimesmara nyingine painfulchungu.
133
425926
1950
ambacho wakati mwingine kinaumiza.
07:19
LearningKujifunza patienceuvumilivu, for instancemfano.
134
427876
2087
kujifunza uvumilivu,mfano.
07:21
We have been told that the roadbarabara to peaceamani
135
429963
2997
Tunaambiwa kwamba njia ya amani
07:24
is not a sprintsprint,
136
432960
1706
sio ya harakaharaka,
07:26
but is more like a marathonmashindano ya mbio ndefu.
137
434666
2062
lakini ni ya kukimbia kama marathon.
07:28
That takes patienceuvumilivu. That's difficultvigumu.
138
436728
3711
Inahitaji uvumilivu.Hiyo ni ngumu.
07:32
It mayinaweza be to standsimama up for your opinionmaoni,
139
440439
3832
Inaweza kuwa kusimama kwa maoni yako,
07:36
to standsimama up for your convictionuthibitisho.
140
444271
2855
kusimama kwa ajili ya ushawishi wako.
07:39
That's an opportunitynafasi that is givenalipewa to us.
141
447126
3031
Hiyo ni nafasi tunayopewa.
07:42
To learnkujifunza, to sufferkuteseka, to standsimama up,
142
450157
3606
Kujifunza,kuumia,kusimama,
07:45
all these opportunitiesfursa are givenalipewa to us,
143
453763
2370
nafasi hizi zote tunapewa,
07:48
but they are opportunitiesfursa,
144
456133
1506
lakini ni nafasi,
07:49
and those who availni sawa themselveswenyewe
145
457639
1659
na wote wanaozitumia
07:51
of those opportunitiesfursa
146
459298
2217
nafasi hizo
07:53
are the oneswale that we admireadmire.
147
461515
2127
ndiyo tunaowathamini.
07:55
They make something out of life.
148
463642
2087
Wanafanya kitu katika maisha.
07:57
And those who failkushindwa get anothermwingine opportunitynafasi.
149
465729
5088
Na wale wanaofeli wanapata nafasi nyingine.
08:02
We always get anothermwingine opportunitynafasi.
150
470817
2423
Siku zote tunapata nafasi nyingine.
08:05
That's the wonderfulajabu richnessutajiri of life.
151
473240
5032
Huo ndo uzuri wa maisha.
08:10
So how can we find a methodnjia
152
478272
4491
Kwa hiyo ni jinsi gani tunatafuta namna
08:14
that will harnesskuunganisha this?
153
482763
2058
katika kuendelea na kukuza hili?
08:16
How can eachkila mmoja one of us find a methodnjia
154
484821
3096
Jinsi gani kila mmoja wetu atatafuta njia
08:19
for livingwanaishi gratefullyshukrani,
155
487917
1934
ya kuishi kwa shukrani,
08:21
not just oncemara moja in a while beingkuwa gratefulkushukuru,
156
489851
1817
sio mara moja tu kuwa na shukrani,
08:23
but momentwakati by momentwakati to be gratefulkushukuru.
157
491668
2544
lakini wakati hadi wakati.
08:26
How can we do it?
158
494212
1425
Tunaweza kufanyaje?
08:27
It's a very simplerahisi methodnjia.
159
495637
2330
Ni rahisi sana.
08:29
It's so simplerahisi that it's actuallykwa kweli what we were told
160
497967
4387
Ni rahisi sana,kama tulivyoambiwa wakati
08:34
as childrenwatoto when we learnedkujifunza to crossmsalaba the streetbarabara.
161
502354
3528
tukiwa watoto tulijifunza kukatiza mitaani.
08:37
Stop. Look. Go.
162
505882
3589
Simama.Angalia.Nenda.
08:41
That's all.
163
509471
1515
Hivyo tu.
08:42
But how oftenmara nyingi do we stop?
164
510986
2996
Lakini ni mara ngapi tunasimama?
08:45
We rushkukimbilia throughkupitia life. We don't stop.
165
513982
2769
Tunaharakisha katika maisha.Hatuachi.
08:48
We missmiss the opportunitynafasi because we don't stop.
166
516751
4261
Tunakosa nafasi kwa sababu hatuachi.
08:53
We have to stop. We have to get quietutulivu.
167
521012
5077
Tunatakiwa kuacha.Tunatakiwa kunyamaza.
08:58
And we have to buildjenga stop signsishara
168
526089
3094
Na tunatakiwa kutengeneza alama za tahadhari
09:01
into our livesanaishi.
169
529183
2373
katika maisha yetu.
09:03
When I was in AfricaAfrika some yearsmiaka agoiliyopita
170
531556
3492
Nilipokuwa Afrika miaka michache iliyopita
09:07
and then camealikuja back,
171
535048
1482
nikarudi tena,
09:08
I noticedniliona watermaji.
172
536530
2584
Niligundua maji.
09:11
In AfricaAfrika where I was, I didn't have drinkablekunywa watermaji.
173
539114
4179
Nilipokuwa Afrika,sikuwa na maji ya kunywa.
09:15
EveryKila time I turnedakageuka on the faucetbomba,
174
543293
2274
Muda wote nilipofungua bomba,
09:17
I was overwhelmedkuharibiwa.
175
545567
2500
Nilifarijika.
09:20
EveryKila time I clickedBofywa on the lightmwanga,
176
548067
2526
Muda wote nilipowasha taa,
09:22
I was so gratefulkushukuru. It madealifanya me so happyfuraha.
177
550593
2648
Nilishukuru.Nilifurahishwa sana.
09:25
But after a while, this wearshuvaa off.
178
553241
2007
Lakini baada ya muda,vyote vilipotea.
09:27
So I put little stickersstika on the lightmwanga switchkubadili
179
555248
3786
Kwa hiyo nikaweka stika ndogo katika sehemu ya kuwashia taa
09:31
and on the watermaji faucetbomba,
180
559034
1701
na katika bomba la maji,
09:32
and everykila time I turnedakageuka it on, watermaji.
181
560735
3082
na kila wakati nikifungua,maji.
09:35
So leaveshika it up to your ownmwenyewe imaginationmawazo.
182
563817
2880
Kwa hiyo achilia katika fikra zako.
09:38
You can find whateverVyovyote worksinafanya kazi bestbora for you,
183
566697
1938
Unaweza tafuta chochote kilicho bora kwako,
09:40
but you need stop signsishara in your life.
184
568635
3461
lakini unahitaji alama za tahadhari katika maisha yako.
09:44
And when you stop,
185
572096
2133
Na unaposimama.
09:46
then the nextijayo thing is to look.
186
574229
2228
kinachofata ni kuangalia.
09:48
You look. You openkufungua your eyesmacho.
187
576457
2528
Unaangalia.Unafungua machi yako.
09:50
You openkufungua your earsmasikio. You openkufungua your nosepua.
188
578985
2286
Unafungua masikio.Unafungua pua.
09:53
You openkufungua all your senseshisia
189
581271
2323
Unafungua milango yote ya fahamu
09:55
for this wonderfulajabu richnessutajiri that is givenalipewa to us.
190
583594
3352
kwa huu utajiri mzuri tuliopewa.
09:58
There is no endmwisho to it,
191
586946
1642
Hauna mwisho,
10:00
and that is what life is all about,
192
588588
2533
na hivyo maisha yalivyo,
10:03
to enjoykufurahia, to enjoykufurahia what is givenalipewa to us.
193
591121
3811
kufurahia,kufurahi kile tulichopewa.
10:06
And then we can alsopia openkufungua our heartsmioyo,
194
594932
2615
Na baada ya hapo tunaweza fungua mioyo yetu,
10:09
our heartsmioyo for the opportunitiesfursa,
195
597547
3074
kwa ajili ya nafasi,
10:12
for the opportunitiesfursa alsopia to help otherswengine,
196
600621
3242
kwa nafasi ya kutusaidia,
10:15
to make otherswengine happyfuraha, because
nothing makeshufanya us more happyfuraha
197
603863
3232
kuwafanya wengine wawe na furaha,kwa sababu hamna kinachotufanya tuwe na furaha sana
10:19
than when all of us are happyfuraha.
198
607095
3504
kama wote tukiwa na furaha.
10:22
And when we openkufungua our heartsmioyo to the opportunitiesfursa,
199
610599
4302
Na wakati tunafungua mioyo kwa ajili ya nafasi tupewazo,
10:26
the opportunitiesfursa invitekumka us to do something,
200
614901
3336
nafasi zinatualika kufanya kitu fulani,
10:30
and that is the thirdtatu.
201
618237
1651
na ni cha tatu.
10:31
Stop, look, and then go, and really do something.
202
619888
4373
Simama,angalia,halafu nenda,na fanya kitu kweli.
10:36
And what we can do is
203
624261
2128
Na tunachoweza kufanya ni
10:38
whateverVyovyote life offersinatoa to you in that presentsasa momentwakati.
204
626389
4252
chochote ambacho maisha yamekupa kwa wakati huo.
10:42
MostlyZaidi it's the opportunitynafasi to enjoykufurahia,
205
630641
5067
Mara nyingi ni nafasi ya kufurahi,
10:47
but sometimesmara nyingine it's something more difficultvigumu.
206
635708
3324
lakini wakati mwingine ni kitu kigumu.
10:51
But whateverVyovyote it is, if we take this opportunitynafasi,
207
639032
4028
Lakini vyovyote ilivyo,kama tutaichukua nafasi hii,
10:55
we go with it, we are creativeubunifu,
208
643060
3298
tukaenda nayo,sisi ni wabunifu,
10:58
those are the creativeubunifu people,
209
646358
2513
hao ni watu wabunifu,
11:00
and that little stop, look, go,
210
648871
3688
na hiyo simama,angalia,nenda,
11:04
is suchvile a potentnzuri seedmbegu
211
652559
2272
ni mbegu bora sana
11:06
that it can revolutionizerevolutionize our worldulimwengu.
212
654831
3669
inayoweza badilisha dunia.
11:10
Because we need, we are at the presentsasa momentwakati
213
658500
5320
Kwa sababu tunahitaji,tupo katika kipindi cha sasa
11:15
in the middlekatikati of a changemabadiliko of consciousnessfahamu,
214
663820
3336
katikati ya mabadiliko ya dhamira,
11:19
and you will be surprisedkushangaa if you --
215
667156
2565
na utashangaa kama uki
11:21
I am always surprisedkushangaa when I hearkusikia how manywengi timesnyakati
216
669721
2967
Siku zote nahamaki ninaposikia ni mara ngapi
11:24
this wordneno "gratefulnessgratefulness" and "gratitudeshukrani" comesinakuja up.
217
672688
2928
hili neno"shukrani" na "kushukuru" yanapokuja.
11:27
EverywhereKila mahali you find it,
218
675616
1674
Kila unapoyakuta,
11:29
a gratefulkushukuru airlinendege, a restaurantmgahawa gratefulnessgratefulness,
219
677290
3279
ndege ya kushukuru,mgahawa wa shukrani,
11:32
a cafemgahawa gratefulnessgratefulness, a winemvinyo that is gratefulnessgratefulness.
220
680569
2997
Mvinyo wenye shukrani.
11:35
Yes, I have even come acrosskote a toiletchoo paperkaratasi
221
683566
3487
Ndiyo,nimewahi ona karatasi ya chooni
11:39
that the brandbrand is calledaitwaye Thank You. (LaughterKicheko)
222
687053
3987
alama yake ya biashara inaitwa Nashukuru((Vicheko)
11:43
There is a wavewimbi of gratefulnessgratefulness because
223
691040
2241
Kuna wimbi la shukrani kwa sababu
11:45
people are becomingkuwa awarekufahamu how importantmuhimu this is
224
693281
3531
watu wanaanza kugundua ni muhimu kiasi gani
11:48
and how this can changemabadiliko our worldulimwengu.
225
696812
2945
na jinsi gani itabadili dunia.
11:51
It can changemabadiliko our worldulimwengu
226
699757
2255
Inaweza badili dunia yetu
11:54
in immenselykubwa sana importantmuhimu waysnjia,
227
702012
4512
na katika njia muhimu sana,
11:58
because if you're gratefulkushukuru, you're not fearfulhofu,
228
706524
3489
kwa sababu kama una shukrani,hauna uoga,
12:02
and if you're not fearfulhofu, you're not violentvurugu.
229
710013
3508
na kama hauna uoga,hauna vurugu.
12:05
If you're gratefulkushukuru, you acttenda out of a sensehisia of enoughkutosha
230
713521
4186
Kama una shukrani,unaenenda katika hali ya kutosha
12:09
and not of a sensehisia of scarcityuhaba,
231
717707
2261
na sio katika hali ya upungufu,
12:11
and you are willingtayari to sharekushiriki.
232
719968
1882
haupo tayari kugawana.
12:13
If you are gratefulkushukuru, you are enjoyingkufurahia
233
721850
2216
Kama una shukrani,unafurahia
12:16
the differencestofauti betweenkati people,
234
724066
1883
tofauti kati ya watu,
12:17
and you are respectfulheshima to everybodykila mtu,
235
725949
2447
na heshima yako kwa kila mtu,
12:20
and that changesmabadiliko this powernguvu pyramidpiramidi
236
728396
2281
na hiyo inabadili piramidi la nguvu
12:22
underchini whichambayo we livekuishi.
237
730677
1279
ambalo tunaishi sasa.
12:23
And it doesn't make for equalityusawa,
238
731956
2979
Na haileti usawa,
12:26
but it makeshufanya for equalsawa respectheshima,
239
734935
2222
lakini inaleta heshima sawa,
12:29
and that is the importantmuhimu thing.
240
737157
2004
na hicho ni kitu muhimu.
12:31
The futurebaadaye of the worldulimwengu will be a networkmtandao,
241
739161
3700
Dunia ya baadaye itakuwa mtandao,
12:34
not a pyramidpiramidi, not a pyramidpiramidi turnedakageuka upsideupande down.
242
742861
3650
sio piramidi,ambalo limegeuzwa juu chini
12:38
The revolutionmapinduzi of whichambayo I am speakingakizungumza
243
746511
2249
Mabadiliko ninayoongelea
12:40
is a nonviolentnonviolent revolutionmapinduzi,
244
748760
2187
sio mabadiliko ya vurugu,
12:42
and it's so revolutionarymapinduzi
245
750947
1731
na mabadiliko sana
12:44
that it even revolutionizesrevolutionizes
246
752678
2099
ambayo yanabadilisha
12:46
the very conceptdhana of a revolutionmapinduzi,
247
754777
2316
maana halisi ya mapinduzi,
12:49
because a normalkawaida revolutionmapinduzi is one
248
757093
2557
kwa sababu mapinduzi ya kawaida ni yale
12:51
where the powernguvu pyramidpiramidi is turnedakageuka upsideupande down
249
759650
2712
ambayo piramidi linageuzwa juu chini
12:54
and those who were on the bottomchini
are now on the topjuu
250
762362
3169
na wale walio chini wanakuwa juu
12:57
and are doing exactlyhasa the samesawa thing
251
765531
2159
na wa juu nao chini
12:59
that the oneswale did before.
252
767690
2469
yameahafanyika huko nyuma
13:02
What we need is a networkingmitandao of smallerndogo groupsvikundi,
253
770159
4423
Tunachohitaji ni mtandao wa vikundi vidogo,
13:06
smallerndogo and smallerndogo groupsvikundi who know one anothermwingine,
254
774582
3246
vikundi vidogo na vidogo vinavyotambuana,
13:09
who interactkuingiliana with one anothermwingine,
255
777828
2286
vinavyokutana pamoja,
13:12
and that is a gratefulkushukuru worldulimwengu.
256
780114
2709
na hiyo ni dunia nzuri sana.
13:14
A gratefulkushukuru worldulimwengu is a worldulimwengu of joyfulfuraha people.
257
782823
4148
Dunia nzuri yenye watu wenye furaha sana.
13:18
GratefulShukrani people are joyfulfuraha people,
258
786971
2671
Watu wenye shukrani ni watu wenye furaha tele,
13:21
and joyfulfuraha people,
259
789642
2041
na watu wenye furaha tele,
13:23
the more and more joyfulfuraha people there are,
260
791683
2634
wanavyozidi kuwa watu wengi wenye furaha
13:26
the more and more we'llvizuri have a joyfulfuraha worldulimwengu.
261
794317
4441
na hivyo tutakuwa na dunia yenye watu wenye furaha zaidi.
13:30
We have a networkmtandao for gratefulkushukuru livingwanaishi,
262
798758
3349
Tuna mtandao wa maisha ya kushukuru,
13:34
and it has mushroomedmushroomed.
263
802107
2722
na ina uyoga.
13:36
We couldn'thaikuweza understandkuelewa why it mushroomedmushroomed.
264
804829
2447
Na hatuwezi kuelewa kwanini ina uyoga.
13:39
We have an opportunitynafasi for people to lightmwanga a candlemshumaa
265
807276
3336
Tuna nafasi ya watu kuwasha mshumaa
13:42
when they are gratefulkushukuru for something.
266
810612
2402
wanaposhukuru kwa jambo fulani.
13:45
And there have been 15 millionmilioni candlesmishumaa litlit
267
813014
5328
Na kuna mishumaa milioni 15 inayowashwa
13:50
in one decademiaka kumi.
268
818342
1730
katika muongo mmoja.
13:52
People are becomingkuwa awarekufahamu
269
820072
2710
Watu wanaanza kutambua
13:54
that a gratefulkushukuru worldulimwengu is a happyfuraha worldulimwengu,
270
822782
3424
dunia ya shukrani ni dunia yenye furaha,
13:58
and we all have the opportunitynafasi
271
826206
2962
na wote tuna nafasi
14:01
by the simplerahisi stop, look, go,
272
829168
3155
kwa njia rahisi ya simama,angalia,nenda,
14:04
to transformkubadilisha the worldulimwengu,
273
832323
2040
kubadilisha dunia,
14:06
to make it a happyfuraha placemahali.
274
834363
1696
kuifanya sehemu ya furaha.
14:08
And that is what I hopetumaini for us,
275
836059
1485
Na hilo ndo ninalotumaini kwetu,
14:09
and if this has contributedimechangia a little
276
837544
2634
na kama hili linachangia kidogo
14:12
to makingkufanya you want to do the samesawa,
277
840178
2281
kwa kukufanya uhitaji kufanya hichohicho,
14:14
stop, look, go.
278
842459
1662
simama,angalia,nenda.
14:16
Thank you.
279
844121
1356
Asante.
14:17
(ApplauseMakofi)
280
845477
5709
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
David Steindl-Rast - Monk
Brother David Steindl-Rast, a Benedictine monk, meditates and writes on "the gentle power" of gratefulness.

Why you should listen

Many first met Brother David Steindl-Rast through a viral video called "Nature. Beauty. Gratitude," where Louie Schwartzberg's footage of time-lapse flowers in bloom is narrated by Brother David's moving words asking us to simply be ... grateful. Since 1953, Brother David has been a monk of Mount Saviour Benedictine monastery in New York, dividing his time between hermitic contemplation, writing and lecturing. He's the cofounder of gratefulness.org, supporting ANG*L (A Network for Grateful Living).

He was one of the first Roman Catholics to participate in Buddhist-Christian dialogue, and is the author of The Ground We Share, a text on Buddhist and Christian practice, written with Robert Aitken Roshi. His other books include Gratefulness, the Heart of Prayer and Deeper Than Words. His most recent book is 99 Blessings, a series of prayers for the general reader -- whether people of faith, agnostics, or uncertain.

More profile about the speaker
David Steindl-Rast | Speaker | TED.com