ABOUT THE SPEAKER
Charity Wayua - Public sector researcher
IBM's Charity Wayua is a research manager in Nairobi, Kenya, where she leads the company's public sector research team.

Why you should listen

Dr. Charity Wayua creates commercially viable innovative solutions to address inefficiencies in the delivery of government services with the aim of creating an environment where businesses thrive. Wayua and her team work closely with the government and private sector to co-create various public sector solutions that make the delivery of government services to businesses more efficient and effective. The World Bank ranked Kenya the third most reformed country on its "Ease of Doing Business" ranking two years in a row, moving up 44 places in rank in just two years in part due to the work of Wayua's team.

More profile about the speaker
Charity Wayua | Speaker | TED.com
TED@IBM

Charity Wayua: A few ways to fix a government

Charity Wayua: Njia chache za kurekebisha Serikali

Filmed:
1,110,420 views

Charity Wayua aliweka ujuzi wake kama mtafiti wa kansa kwa mgonjwa asiyetarajiwa: Serikali ya nchi yake ya Kenya. Anaeleza jinsi yeye alisaidia serikali yake kwa kiasi kikubwa kuboresha mchakato wake kwa ajili ya kufungua biashara mpya, sehemu muhimu ya afya ya kiuchumi na ukuaji, na hivyo kusababisha miradi mipya na kutambuliwa na Benki ya Dunia kama mboreshaji mkuu.
- Public sector researcher
IBM's Charity Wayua is a research manager in Nairobi, Kenya, where she leads the company's public sector research team. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
GrowingKuongezeka up in KenyaKenya,
0
1024
1842
Tangu nilipokulia Kenya,
00:14
I knewalijua I always wanted
to studykujifunza biochemistrybiochemistry.
1
2890
2551
nilijua nilitaka kusoma biokemia.
00:19
See, I had seenkuonekana the impactathari of the highjuu
prevalencekuenea of diseasesmagonjwa like malariamalaria,
2
7088
5531
Unaona, nilishuhudia madhara ya magonjwa kama malaria,
00:24
and I wanted to make medicinesdawa
that would curetiba the sickmgonjwa.
3
12643
2693
na nilitaka kutafuta dawa ya kutibu wagonjwa.
00:27
So I workedkazi really hardngumu,
4
15765
1385
Hivyo nilijituma kwa bidii,
00:29
got a scholarshipudhamini to the UnitedMuungano StatesMarekani,
where I becameikawa a cancerkansa researchermtafiti,
5
17174
3787
nikapata udhamini kutoka Marekani,
ambapo nilikuwa mtafiti wa kansa
00:32
and I lovedkupendwa it.
6
20985
1229
na nilipenda kazi yangu.
00:34
For someonemtu who wants to curetiba diseasesmagonjwa,
7
22612
2087
Kwa mtu anayetaka kutibu magonjwa,
00:36
there is no higherjuu callingwito.
8
24723
1711
hakuna wito mkubwa zaidi.
00:39
TenKumi yearsmiaka laterbaadae, I returnedalirudi
to KenyaKenya to do just that.
9
27321
3352
Miaka kumi baadaye, nilirudi
Kenya kwa kufanya hilo tu.
00:43
A freshlyfreshly mintedzimeshachapishwa PhDPhD,
10
31201
1961
msomi mwenye PhD,
00:45
readytayari to take on this horrifickutisha illnessugonjwa,
11
33186
2201
tayari kupambana na ugonjwa huu kutisha,
00:47
whichambayo in KenyaKenya was almostkaribu
certainlyhakika a deathkifo sentencesentensi.
12
35411
2911
ambao ulikuwa kama adhabu ya kifo
kwa hakika kwa Kenya.
00:51
But insteadbadala yake of landingkutua a jobkazi
in a pharmaceuticaldawa companykampuni
13
39601
2951
Badala ya kuchukua kazi
katika kampuni ya madawa
00:54
or a hospitalhospitali,
14
42576
1889
au hospitali,
00:56
I foundkupatikana myselfMimi mwenyewe drawninayotolewa
to a differenttofauti kindaina of labmaabara,
15
44489
2372
Nilijikuta nikiitikia wito katika maabara tofauti,
00:59
workingkufanya kazi with a differenttofauti
kindaina of patientsubira --
16
47366
2376
kutibu mgonjwa wa aina nyingine --
01:01
a patientsubira whoseambaye illnessugonjwa was so seriousmbaya
17
49766
2354
mgonjwa ambaye ugonjwa wake ulikuwa mkubwa
01:04
it impactedsana everykila singlemoja
personmtu in my countrynchi;
18
52144
2885
na kuathiri kila mtu katika nchi yangu;
01:07
a patientsubira who neededinahitajika to get healthyafya fastharaka.
19
55618
2340
mgonjwa aliyehitaji kuponwya upesi.
01:10
That patientsubira was my governmentserikali.
20
58328
2403
Mgonjwa huyo alikuwa serikali yangu.
01:14
(LaughterKicheko)
21
62126
1150
(Vicheko)
01:16
See, manywengi of us will agreekubali that lots
of governmentsserikali are unhealthymbaya todayleo.
22
64102
3602
Tazama, wengi wetu tunakubaliana kwamba serikali zetu leo zina afya mbovu.
01:20
(LaughterKicheko)
23
68876
2083
(Vicheko)
01:22
(ApplauseMakofi)
24
70983
4634
(Makofi)
01:28
And KenyaKenya was no exceptionisipokuwa.
25
76814
1742
Na Kenya haina upekee.
01:30
When I returnedalirudi to KenyaKenya in 2014,
26
78975
2503
Niliporudi Kenya mwaka 2014,
01:33
there was 17 percentasilimia youthvijana unemploymentukosefu wa ajira.
27
81502
2704
asilimia 17 ya vijana hawakuwa na ajira.
01:36
And NairobiNairobi, the majorkubwa businessbiashara hubkitovu,
28
84785
2348
Na Nairobi, kitovu kuu cha biashara ,
01:39
was ratedlilipimwa 177tht on the qualityubora
of livingwanaishi indexripoti.
29
87157
4075
ilikuwa ya 177 kwa ubora wa maisha duniani.
01:43
It was badmbaya.
30
91256
1204
hali Ilikuwa mbaya.
01:46
Now, an economyuchumi is only as healthyafya
as the entitiesvyombo that make it up.
31
94270
4459
Sasa, afya ya uchumi inategemea afya ya mashirika ambayo huifanya.
01:51
So when governmentserikali --
32
99187
1150
Hivyo serikali -
01:52
one of its mostwengi vitalmuhimu entitiesvyombo --
33
100361
1745
moja ya taasisi zake muhimu -
01:54
is weakdhaifu or unhealthymbaya,
34
102130
1438
inapokuwa dhaifu au ina afya mbaya,
01:55
everyonekila mtu and everything suffershuteseka.
35
103592
1983
kila mtu na kila kitu vinateseka.
01:58
SometimesWakati mwingine you mightnguvu
put a Band-AidElasto in placemahali
36
106522
2773
Wakati mwingine unaweza kuweka plasta
02:01
to try and temporarilykwa muda stop the painmaumivu.
37
109319
2512
kujaribu kupunguza maumivu kwa muda
02:04
Maybe some of you here have participatedwalishiriki
38
112732
1982
Labda baadhi yenu hapa mmeshiriki
02:06
in a Band-AidElasto operationoperesheni
to an AfricanAfrika countrynchi --
39
114738
2979
katika wimbi la utoaji misaada Afrika --
02:09
settingkuweka up alternativembadala schoolsshule,
buildingkujenga hospitalshospitali, diggingkuchimba wellsvisima --
40
117741
4482
kuanzisha shule mbadala,
kujenga hospitali, kuchimba visima --
02:14
because governmentsserikali there
eitherama weren'thawakuwa or couldn'thaikuweza providekutoa
41
122247
2937
kwa sababu serikali hazikutaka ama hazikuweza
02:17
the serviceshuduma to theirwao citizenswananchi.
42
125208
1969
kuhudumia wananchi wao.
02:19
We all know this is a temporarymuda mfupi solutionsuluhisho.
43
127900
2809
Sote tunajua haya masuluhisho ni ya muda mfupi.
02:23
There are just some things
Band-AidsBand-Aids can't fixtengeneza,
44
131455
2785
Kuna baadhi ya mambo ambayo misaada haiwezi kutatua,
02:27
like providingkutoa an environmentmazingira
where businessesbiashara feel securesalama
45
135027
4389
kama kujenga mazingira
ambapo wafanyabiashara hujisikia salama
02:31
that they'llwatakuja have an equalsawa opportunitynafasi
46
139440
1811
kuwa watakuwa na fursa sawa
02:33
to be ableinaweza to runkukimbia and startkuanza
theirwao businessesbiashara successfullykwa mafanikio.
47
141275
3242
kuweza kuanza na kuendesha
biashara zao kwa ufanisi.
02:36
Or there are systemsmifumo in placemahali
48
144541
1814
Au kuna mifumo
02:38
that would protectkulinda the privatePrivat
propertymali that they createkuunda.
49
146379
3041
ambayo huwawezesha kulinda mali walizovuna.
02:41
I would arguewanasema,
50
149444
1157
Ningependa kusema,
02:42
only governmentserikali is capableuwezo of creatingkujenga
these necessarymuhimu conditionshali
51
150625
3444
Serikali pekee ndiyo inaweza kujenga
mazingira muhimu
02:46
for economiesuchumi to thrivekustawi.
52
154093
1651
kwa ajili ya ustawi wa uchumi.
02:48
EconomiesUchumi thrivekustawi when businessbiashara are ableinaweza
to quicklyharaka and easilykwa urahisi setkuweka up shopDuka.
53
156549
4838
Uchumi hustawi pale biashara zinaweza kuanzishwa kwa urahisi.
02:53
BusinessBiashara ownerswamiliki wa createkuunda newmpya sourcesvyanzo
of incomemapato for themselveswenyewe,
54
161411
3372
wamiliki wa biashara hujiekea vyanzo vipya vya mapato,
02:56
newmpya jobskazi get addedaliongeza into the economyuchumi
55
164807
2451
ajira zinazoongezwa katika uchumi
02:59
and then more taxeskodi are paidkulipwa
to fundmfuko publicumma projectsmiradi.
56
167282
3564
na mapato ya kodi ili kufadhili miradi ya umma.
03:03
NewMpya businessbiashara is good for everyonekila mtu.
57
171504
2463
Biashara mpya zinamnufaisha kila mtu.
03:06
And it's suchvile an importantmuhimu measurekupima
of economickiuchumi growthukuaji,
58
174415
2830
Na ni kipimo muhimu cha ukuaji wa uchumi,
03:09
the WorldUlimwengu BankBenki has a rankingcheo calledaitwaye
the "EaseUrahisi of Doing BusinessBiashara RankingCheo,"
59
177269
3951
Benki ya Dunia ina kipimo kinachotwa
"Mazingira ya Kufanya Biashara,"
03:13
whichambayo measuresvipimo how easyrahisi
or difficultvigumu it is to startkuanza a businessbiashara
60
181244
3037
ambacho hulinganisha urahisi
au ugumu wa kuanzisha biashara
03:16
in any givenalipewa countrynchi.
61
184305
1597
katika nchi yoyote.
03:17
And as you can imaginefikiria,
62
185926
1619
Na kama unavyofikiria,
03:20
startingkuanzia or runningKimbia a businessbiashara
in a countrynchi with an ailingmgonjwa governmentserikali --
63
188404
3621
kuanzisha au kuendesha biashara
katika nchi ambayo serikali ni mgonjwa --
03:24
almostkaribu impossiblehaiwezekani.
64
192049
1449
karibia haiwezekani.
03:26
The PresidentRais of KenyaKenya knewalijua this,
whichambayo is why in 2014,
65
194432
3724
Rais wa Kenya alijua hili,
hivyo mwaka 2014,
03:30
he camealikuja to our labmaabara and askedaliuliza
us to partnermpenzi with him
66
198180
3369
alikuja katika maabara yetu na kuomba tushirikiane naye
03:33
to be ableinaweza to help KenyaKenya
to jump-startJump-Start businessbiashara growthukuaji.
67
201573
3270
kuisaidia Kenya katika ukuaji wa biashara.
03:37
He setkuweka an ambitiouskabambe goallengo:
68
205689
1722
Aliweka lengo kuu:
03:39
he wanted KenyaKenya to be rankednafasi topjuu 50
in this WorldUlimwengu BankBenki rankingcheo.
69
207778
4922
alitaka Kenya kuwa kati ya nchi 50 za juu katika kipimo hiki cha Benki ya Dunia.
03:45
In 2014 when he camealikuja,
70
213167
2077
Mwaka 2014 alipokuja,
03:47
KenyaKenya was rankednafasi 136 out of 189 countriesnchi.
71
215268
4326
Kenya ilikuwa ya 136 kati ya nchi 189.
03:52
We had our work cutkata out for us.
72
220071
2156
kazi yetu ilikuwa bayana.
03:55
FortunatelyKwa bahati nzuri, he camealikuja to the right placemahali.
73
223592
2701
Bahati nzuri, alikuja kwa watu muafaka.
03:58
We're not just a Band-AidElasto kindaina of teamtimu.
74
226317
2327
Hatukuwa timu ya kutoa misaada tu.
04:00
We're a groupkikundi of computerkompyuta scientistswanasayansi,
mathematicianswasomi, engineerswahandisi
75
228668
3766
Sisi ni kundi la wanasayansi wa kompyuta, wanahisabati, wahandisi
04:04
and a cancerkansa researchermtafiti,
76
232458
1937
na mtafiti wa kansa,
04:06
who understoodkueleweka that in orderamri
to curetiba the sicknessugonjwa
77
234419
2446
ambao tulielewa kwamba ili
kutibu ugonjwa
04:08
of a systemmfumo as bigkubwa as governmentserikali,
78
236889
2074
katika mfumo kubwa kama serikali,
04:10
we neededinahitajika to examinekuchunguza the wholeyote bodymwili,
79
238987
2400
tulibidi kuchunguza mwili mzima,
04:13
and then we neededinahitajika to drillkuchimba down
all the way from the organsvyombo vya,
80
241411
3087
kisha tulibudi kuchimba ndani zaidi katika viungo,
04:16
into the tissuestishu,
81
244522
1333
katika tishu,
04:17
all the way to singlemoja cellsseli,
82
245879
1502
kote hadi kwa seli mojamoja,
04:19
so that we could properlyvizuri
make a diagnosisutambuzi.
83
247405
2337
ili tunaweza kuchunguza vizuri.
04:22
So with our marchingkuandamana ordersamri
from the PresidentRais himselfmwenyewe,
84
250762
2831
Hivyo kwa maagizo ya Rais mwenyewe,
04:25
we embarkedilianza on the purestsafi
of the scientifickisayansi methodnjia:
85
253617
3113
tulianza na njia halisi kabisa ya kisayansi:
04:28
collectingKusanya datadata --
86
256754
1175
kukusanya data
04:29
all the datadata we could get our handsmikono on --
87
257953
2087
data zote tulizoweza kupata--
04:32
makingkufanya hypothesesanaandika,
88
260064
1257
kuunda nadharia,
04:33
creatingkujenga solutionsufumbuzi,
89
261345
1237
kutafuta ufumbuzi,
04:34
one after the other.
90
262606
1192
mmoja baada nyingine.
04:36
So we metalikutana with hundredsmamia of individualswatu binafsi
who workedkazi at governmentserikali agenciesmashirika,
91
264845
4035
Hivyo tulikutana na mamia ya watu waliofanya kazi katika mashirika ya serikali,
04:40
from the taxkodi agencyshirika, the landsardhi
officeofisi, utilitieshuduma companykampuni,
92
268904
3936
kuanzia vyombo vya kodi, ardhi, kampuni za huduma,
04:44
the agencyshirika that's responsiblewajibu
for registeringkusajili companiesmakampuni,
93
272864
3468
shirika kenya jukumu
la kusajili makampuni,
04:48
and with eachkila mmoja of them, we observedaliona
them as they servedaliwahi customerswateja,
94
276356
3599
na kwa kila mmoja yao, tuliwaangalia
kama walivyohudumia wateja wao ,
04:51
we documentedkumbukumbu theirwao processesmichakato --
mostwengi of them were manualmwongozo.
95
279979
4613
tuliweka kumbukumbu ya michakato yao - mingi ilitegemea kazi ya mikono.
04:57
We alsopia just wentakaenda back and lookedilionekana at
a lot of theirwao previousuliopita paperworkmakaratasi
96
285473
3456
Pia tulirudi kuangalia makaratasi ya kazi zao za awali
05:00
to try and really understandkuelewa;
97
288953
2168
kujaribu kuelewa vyema zaidi;
05:03
to try and diagnosetambua what bodilykimwili
malfunctionsmalfunctions had occurredilitokea
98
291145
3350
kujaribu kutambua nini katika mwili
hakifanyi kazi vizor
05:06
that leadkuongoza to that 136tht spotdoa
on the WorldUlimwengu BankBenki listorodha.
99
294519
3308
na kusababisha kuwa ya 136 katika orodha ya Benki ya Dunia.
05:10
What did we find?
100
298248
1303
Tuligundua nini?
05:11
Well, in KenyaKenya it was takingkuchukua 72 dayssiku
101
299974
4071
Naam, ilichukua siku 72 kwa
05:16
for a businessbiashara ownermmiliki
to registerkujiandikisha theirwao propertymali,
102
304069
2944
mfanyabiashara kusajili mali yake Kenya,
05:19
comparedikilinganishwa to just one day in NewMpya ZealandZealand,
103
307037
2397
ikilinganishwa na siku moja tu katika New Zealand,
05:21
whichambayo was rankednafasi secondpili
on the WorldUlimwengu BankBenki listorodha.
104
309458
2378
ambayo ilikuwa ya pili
katika orodha Benki ya Dunia.
05:24
It tookalichukua 158 dayssiku to get
a newmpya electricumeme connectionuhusiano.
105
312827
4385
Ilichukua siku 158 kupata umeme.
05:29
In KoreaKorea it tookalichukua 18 dayssiku.
106
317879
2432
Korea, ilichukua siku 18.
05:32
If you wanted to get a constructionujenzi permitkibali cha
107
320984
2053
Ukitaka kibali cha ujenzi
05:35
so you could put up a buildingkujenga,
108
323061
1520
ili kuweza kujenga,
05:36
in KenyaKenya, it was going
to take you 125 dayssiku.
109
324605
3571
Kenya, ilikuchukua siku 125.
05:40
In SingaporeSingapori, whichambayo is rankednafasi first,
that would only take you 26 dayssiku.
110
328200
4446
Katika Singapore, ambayo ni nafasi ya kwanza, ilichukua siku 26.
05:45
God forbidkukataza you had to go to courtmahakama
111
333580
2044
Hasha, ikubidi uenda mahakamani
05:47
to get help in beingkuwa ableinaweza to settlekutatua
a disputemgogoro to enforcekutekeleza a contractmkataba,
112
335648
3887
kupata msaada kutatua mzozo na kutekeleza mkataba,
05:51
because that processmchakato alonepeke yake
would take you 465 dayssiku.
113
339559
4281
kwa sababu mchakato peke yake tu
utachukua siku 465.
05:57
And if that wasn'thaikuwa badmbaya enoughkutosha,
114
345065
1932
Na kama hiyo halikuwa mbaya,
06:00
you would losekupoteza 40 percentasilimia
of your claimkudai in just feesada --
115
348675
4152
utapoteza asilimia 40 ya madai yako katika ada tu --
06:04
legalkisheria feesada, enforcementutekelezaji feesada, courtmahakama feesada.
116
352851
2872
gharama ya kisheria, ya utekelezaji, ya mahakama.
06:09
Now, I know what you're thinkingkufikiri:
117
357108
2073
Sasa, najua kile unachofikiri:
06:12
for there to existzipo suchvile inefficiencieskutokuweko
in an AfricanAfrika countrynchi,
118
360726
3667
ili kuwepo na uhaba huo wa ufanisi
katika nchi ya kiafrika,
06:16
there mustlazima be corruptionrushwa.
119
364417
1360
lazima kuwe na rushwa.
06:18
The very cellsseli that runkukimbia the showonyesha
mustlazima be corruptrushwa to the bonemfupa.
120
366491
3476
Seli kuu husika lazima iwe inahusishwa na rushwa.
06:22
I thought so, too, actuallykwa kweli.
121
370972
1532
Nilidhani hivyo, pia.
06:24
When we startedilianza out,
122
372984
1153
Tulipoanza,
06:26
I thought I was going to find
so much corruptionrushwa,
123
374161
3488
Nilitarajia kukuta rushwa nyingi katika mfumo,
06:29
I was literallyhalisi going to eitherama diekufa
or get killedaliuawa in the processmchakato.
124
377673
3496
Nilihisi ningekufa ama kuuawa katika mchakato.
06:33
(LaughterKicheko)
125
381193
1543
(Vicheko)
06:36
But when we dugkuchimbwa deeperzaidi,
126
384946
1955
Lakini tulipochunguza kiundani,
06:38
we didn't find corruptionrushwa
in the classicclassic sensehisia:
127
386925
2635
hatukukuta rushwa katika maana ya kawaida:
06:42
slimyslimy gangstersmajambazi lurkingya msingi yamefichika in the darknessgiza,
128
390106
3008
majambazi wakinyemea kwenye giza,
06:45
waitingkusubiri to greasegrisi the palmsviganja
of theirwao friendsmarafiki.
129
393138
2317
wakisubiri lusaka mafuta mikono ya marafiki zao.
06:48
What we foundkupatikana was an overwhelmingmno
sensehisia of helplessnesshelplessness.
130
396139
3986
Tulichogundua ni hisia kubwa ya unyonge.
06:53
Our governmentserikali was sickmgonjwa,
131
401684
1262
Serikali yetu ilikuwa mgonjwa,
06:54
because governmentserikali
employeeswafanyakazi feltwalihisi helplesswanyonge.
132
402970
3524
kwa sababu wafanyakazi wa serikali
walijiona wanyonge.
06:58
They feltwalihisi that they were not
empoweredimetumiwa nguvu to drivekuendesha changemabadiliko.
133
406993
3083
Walihisi hawakuwa na uwezo wa kuendesha mabadiliko.
07:02
And when people feel stuckkukwama and helplesswanyonge,
134
410600
3636
Na watu wanapojisikia kukwama na wanyonge,
07:06
they stop seeingkuona theirwao rolejukumu
in a biggerkubwa zaidi systemmfumo.
135
414968
2495
huacha kuona majukumu yao katika mfumo mzimo.
07:10
They startkuanza to think the work they do
doesn't matterjambo in drivingkuendesha gari changemabadiliko.
136
418265
4469
Huanza kufikiri kazi yao haijalishi katika kuendesha mabadiliko.
07:14
And when that happenshutokea,
137
422758
1806
Na hilo linapotokea,
07:16
things slowpolepole down,
138
424588
1593
mambo huenda polepole,
07:18
fallkuanguka throughkupitia the cracksnyufa
139
426205
1420
nyufa hujitokeza
07:19
and inefficiencieskutokuweko flourishkukua.
140
427649
1766
na ukosefu wa ufanisi hunawiri.
07:23
Now imaginefikiria with me,
141
431171
1765
Sasa fikiria na mimi,
07:24
if you had a processmchakato
you had to go throughkupitia --
142
432960
3938
kama ulikuwa na mchakato ulibidi kufuata --
07:28
had no other alternativembadala --
143
436922
1770
na hukuwa na njia nyingine --
07:30
and this processmchakato was inefficienthaifai, complextata
144
438716
3047
na utaratibu huu ulikosa ufanisi, ulikuwa tata
07:34
and very, very slowpolepole.
145
442461
1390
na taratibu mno.
07:35
What would you do?
146
443875
1224
Ungefanya nini?
07:38
I think you mightnguvu startkuanza by tryingkujaribu
to find somebodymtu to outsourceOutsource it to,
147
446482
3328
Nadhani unaweza kujaribu
kutafuta mtu mwingine akufanyie hilo jukumu,
07:41
so that they can just
take carehuduma of that for you.
148
449834
2345
ili tu wafanye kwa niaba yako.
07:44
If that doesn't work,
149
452800
1404
Kama hafanikiwi,
07:47
maybe you'dungependa considerfikiria payingkulipa somebodymtu
150
455307
2010
labda utafikiria kumlipa mtu
07:49
to just "unofficiallyunofficially" take carehuduma
of it on your behalfkwa niaba --
151
457341
3380
'kiholela' tu ili kufanya kwa niaba yako --
07:52
especiallyhasa if you thought
nobodyhakuna was going to catchcatch you.
152
460745
2758
hasa unapodhani hakuna mtu atakukamata.
07:56
Not out of maliceuovu or greedtamaa,
153
464790
2370
Sio kwa nia mbaya au uchoyo,
07:59
just tryingkujaribu to make sure that you get
something to work for you
154
467184
3091
ili tu kuhakikisha mambo yanakuendea vizuri
08:02
so you can movehoja on.
155
470299
1158
ili uweze kuendelea na biashara zako.
08:03
UnfortunatelyKwa bahati mbaya, that
is the beginningmwanzo of corruptionrushwa.
156
471918
3010
Kwa bahati mbaya, huo ndio mwanzo wa rushwa.
08:07
And if left to thrivekustawi and growkukua,
157
475439
2323
Na kama ikiachwa kustawi na kukua,
08:09
it seepsseeps into the wholeyote systemmfumo,
158
477786
1566
inavuja katika mfumo mzima,
08:11
and before you know it,
159
479376
1370
na kabla ya kujitambua,
08:12
the wholeyote bodymwili is sickmgonjwa.
160
480770
1565
mwili mzima huumwa.
08:16
KnowingKujua this,
161
484596
1293
Tukijua hili,
08:17
we had to startkuanza by makingkufanya sure
162
485913
1555
tulianza kwa kuhakikisha
08:19
that everykila singlemoja stakeholderwadau
we workedkazi with had a sharedimeshirikiwa visionmaono
163
487492
4577
kwamba kila mdau tuliyeshirikiana nae alikuwa na malengo kama yetu
08:24
for what we wanted to do.
164
492093
1429
kwa ajili ya tulichotaka kutimiza.
08:26
So we metalikutana with everyonekila mtu,
165
494192
2034
Hivyo tulikutana na kila mtu,
08:28
from the clerkkarani whoseambaye solepekee jobkazi
is to removeondoa staplesVibanio
166
496656
2559
kuanzia karani ambaye kazi yake pekee
ni kufungua
08:31
from applicationprogramu packetspakiti,
167
499239
1549
pakiti za maombi,
08:33
to the legalkisheria draftersdrafters
at the attorneyMwanasheria general'sMkuu wa officeofisi,
168
501446
2985
hadi waandaaji wa sheria katika ofisi ya mwanasheria mkuu,
08:37
to the clerksmakarani who are responsiblewajibu
for servingkutumikia businessbiashara ownerswamiliki wa
169
505187
2997
kwa makarani mwenye wajibu
kwa kuwahudumia wamiliki wa biashara
08:40
when they camealikuja to accessupatikanaji
governmentserikali serviceshuduma.
170
508208
2432
walipo kuja kupata huduma za serikali.
08:43
And with them,
171
511557
1150
Na pamoja nao,
08:44
we madealifanya sure that they understoodkueleweka
172
512731
1572
tulihakikisha kwamba walielewa
08:46
how theirwao day-to-daysiku kwa siku actionsVitendo
were impactingkuwa our abilityuwezo as a countrynchi
173
514327
4747
jinsi matendo yao ya kila siku
huathiri uwezo wetu kama nchi
08:51
to createkuunda newmpya jobskazi
and to attractkuvutia investmentsuwekezaji.
174
519098
3075
kujenga ajira mpya na kuvutia uwekezaji.
08:54
No one'sya mtu rolejukumu was too smallndogo;
everyone'skila mtu rolejukumu was vitalmuhimu.
175
522605
3560
hakuna jukumu dogo; jukumu la kila mtu lilikuwa muhimu.
09:00
Now, guessnadhani what we startedilianza to see?
176
528087
1875
Sasa, kisia tulianza kuona nini?
09:02
A coalitionmuungano of governmentserikali employeeswafanyakazi
177
530994
2013
Muungano wa wafanyakazi wa serikali
09:05
who are excitedmsisimko and readytayari to drivekuendesha changemabadiliko,
178
533031
2112
wenye motisha wa kuleta mabadiliko,
09:07
beganilianza to growkukua and formfomu.
179
535167
2065
ulianza kukua na kuonekana.
09:09
And togetherpamoja we startedilianza
to implementkutekeleza changesmabadiliko
180
537927
2604
Na pamoja tuliaanza
kutekeleza mabadiliko
09:12
that impactedsana the servicehuduma
deliveryutoaji of our countrynchi.
181
540555
3232
yaliyoathiri utoaji wa huduma nchini.
09:16
The resultmatokeo?
182
544585
1424
Matokeo?
09:18
In just two yearsmiaka,
183
546033
2041
Katika miaka miwili tu,
09:20
Kenya'sGazeti rankingcheo movedwakiongozwa from 136 to 92.
184
548098
3960
Kenya ilitoka kuwa ya 136 hadi ya 92.
09:25
(ApplauseMakofi)
185
553024
5960
(Makofi)
09:32
And in recognitionkutambua of the significantmuhimu
reformsmarekebisho we'vetumekuwa been ableinaweza to implementkutekeleza
186
560520
4389
Na katika kutambua mageuzi tuliyoweza kutekeleza
09:36
in suchvile a shortmfupi time,
187
564933
1779
katika muda mfupi,
09:38
KenyaKenya was recognizedkutambuliwa
188
566736
1881
Kenya ilitambuliwa
09:40
to be amongmiongoni mwa the topjuu threetatu
globalkimataifa reformerswanamageuzi in the worldulimwengu
189
568641
3586
kuwa miongoni mwa nchi tatu kimataifa
katika marekebisho
09:44
two yearsmiaka in a rowmstari.
190
572251
1416
miaka miwili mfululizo
09:46
(ApplauseMakofi)
191
574698
5380
(Makofi)
09:53
Are we fullykikamilifu healthyafya?
192
581164
1566
Je tuna afya nzuri kikamilifu?
09:55
No.
193
583556
1166
Hapana.
09:57
We have some seriousmbaya work still to do.
194
585149
2432
Bado tuna kazi kubwa ya kufanya.
10:00
I like to think about these two yearsmiaka
like a weight-losskupoteza uzito programprogramu.
195
588336
3477
Napenda kufikiria miaka hii miwili
kama harakati ya kupunguza uzito.
10:04
(LaughterKicheko)
196
592175
1576
(Vicheko)
10:06
It's that time after monthsmiezi
of hardngumu, gruelingitapunguza work at the gymmazoezi,
197
594521
3962
Ni ule muda baada ya miezi
ya bidii, na mazoezi makable,
10:10
and then you get your first
time to weighkupima yourselfwewe mwenyewe,
198
598507
2430
na kisha unapopima uzito kwa mara ya kwanza,
10:12
and you've lostpotea 20 poundspounds.
199
600961
1664
na umepoteza paundi 20.
10:15
You're feelinghisia unstoppableunstoppable.
200
603007
1782
Unajisikia hausimamishwiki.
10:18
Now, some of you mayinaweza think
this doesn't applytumia to you.
201
606697
4337
Sasa, baadhi yenu mnaweza kufikiria
hili haliwahusu.
10:23
You're not from KenyaKenya.
202
611058
1350
Wewe sio Mkenya.
10:24
You don't intendnia to be an entrepreneurmjasiriamali.
203
612432
2142
Huna nia ya kuwa mwekezaji.
10:26
But think with me for just a momentwakati.
204
614598
1962
Lakini kufikiri na mimi japo mara moja tu.
10:29
When is the last time
you accessedkufikiwa a governmentserikali servicehuduma?
205
617314
3452
Lini mara ya mwisho
ulipotumia huduma ya serikali?
10:33
Maybe appliedkutumika for your driver'sdereva licenseleseni,
206
621980
2776
Labda kupata leseni ya udereva,
10:36
triedwalijaribu to do your taxeskodi on your ownmwenyewe.
207
624780
3568
kufanya mahesabu ya kodi peke yako.
10:42
It's easyrahisi in this politicalkisiasa
and globalkimataifa economyuchumi
208
630644
2770
Ni rahisi katika uchumi huu wa kisiasa
na dunia
10:45
to want to give up when we think
about transformingkubadilisha governmentserikali.
209
633438
3050
kutaka kukata tamaatunapofikiria kubadilisha serikali.
10:49
We can easilykwa urahisi resignkujiuzulu to the factukweli
or to the thinkingkufikiri
210
637386
3501
Ni rahisi kujiuzulu kutoka kwa wajibu tu kwa kufikiria
10:52
that governmentserikali is too inefficienthaifai,
211
640911
2342
kuwa serikali haina ufanisi,
10:55
too corruptrushwa,
212
643277
1156
ina rushwa mno,
10:56
unfixableunfixable.
213
644457
1231
hairekebishiki.
10:58
We mightnguvu even rarelymara chache get
some keyufunguo governmentserikali responsibilitiesmajukumu
214
646527
3437
Huenda tukapata majukumu muhimu katika serikali
11:01
to other sectorssekta,
215
649988
1200
katika sekta nyingine,
11:03
to Band-AidElasto solutionsufumbuzi,
216
651212
1169
katika suluhisho la utoaji misaada,
11:04
or to just give up and feel helplesswanyonge.
217
652405
2568
au kukata tu tamaa na kujisikia wanyonge.
11:08
But just because a systemmfumo is sickmgonjwa
doesn't mean it's dyingkufa.
218
656029
3883
Lakini, kwa sababu tu mfumo unaumwa haina maana unakufa.
11:12
We cannothaiwezi affordkununua to give up
219
660689
2807
Hatuna starehe ya kukata tamaa
11:15
when it comesinakuja to the challengeschangamoto
of fixingkurekebisha our governmentsserikali.
220
663520
3033
inapohusu changamoto za kuzirekebisha
serikali zetu.
11:19
In the endmwisho,
221
667989
1156
Hatimaye,
11:22
what really makeshufanya a governmentserikali healthyafya
is when healthyafya cellsseli --
222
670682
4175
serikali hula na afya pale tu ambapo seli huwa na afya--
11:26
that's you and I --
223
674881
1991
huyo ni wewe na mimi --
11:29
get to the groundardhi,
224
677834
1647
kunuia,
11:31
rollroll up our sleevessleeves,
225
679505
1284
kukunja mkono ya mashati yetu,
11:32
refusekukataa to be helplesswanyonge
226
680813
2105
kukataa kuwa wanyonge
11:34
and believe that sometimesmara nyingine,
227
682942
1796
na kuamini kuwa wakati mwingine,
11:36
all it takes is for us
to createkuunda some spacenafasi
228
684762
3230
kinachoitajika ili kujenga nafasi, ni sisi,
11:40
for healthyafya cellsseli to growkukua and thrivekustawi.
229
688016
2215
kwa ajili ya seli kukua na kustawi.
11:42
Thank you.
230
690781
1157
Asante.
11:43
(ApplauseMakofi)
231
691962
6239
(Makofi)
Translated by Sophy Mwema
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Charity Wayua - Public sector researcher
IBM's Charity Wayua is a research manager in Nairobi, Kenya, where she leads the company's public sector research team.

Why you should listen

Dr. Charity Wayua creates commercially viable innovative solutions to address inefficiencies in the delivery of government services with the aim of creating an environment where businesses thrive. Wayua and her team work closely with the government and private sector to co-create various public sector solutions that make the delivery of government services to businesses more efficient and effective. The World Bank ranked Kenya the third most reformed country on its "Ease of Doing Business" ranking two years in a row, moving up 44 places in rank in just two years in part due to the work of Wayua's team.

More profile about the speaker
Charity Wayua | Speaker | TED.com