ABOUT THE SPEAKER
Michelle Kuo - Teacher, writer, lawyer
Michelle Kuo believes in the power of reading to connect us with one another, creating a shared universe.

Why you should listen

Michelle Kuo is a teacher, lawyer, writer and passionate advocate of prison education. She has taught English at an alternative school for kids who were expelled from other schools in rural Arkansas, located in the Mississippi Delta. While at Harvard Law School, she received the National Clinical Association's award for her advocacy of children with special needs. Later, as a lawyer for undocumented immigrants in Oakland, Kuo helped tenants facing evictions, workers stiffed out of their wages and families facing deportation. She has also volunteered at a detention center in south Texas, helping families apply for asylum, and taught courses at San Quentin Prison. Currently, she teaches in the History, Law, and Society program at the American University of Paris, where she works to inspire students on issues of migrant justice and criminal justice. This fall, she is helping to start a prison education program in France.

In 2017, Kuo released Reading with Patrick, a memoir of teaching reading in a rural county jail in Arkansas. A runner-up for the Goddard Riverside Social Justice Prize and Dayton Literary Peace Prize, the book explores questions of what it is we owe each other and how starkly economic and racial inequality determine our life outcomes.

(Photo: Jasmine Cowen)

More profile about the speaker
Michelle Kuo | Speaker | TED.com
TEDxTaipei

Michelle Kuo: The healing power of reading

Michelle Kuo: Nguvu inayoponya katika kusoma

Filmed:
2,399,463 views

Kusoma na kuandika vinaweza kuwa vitendo vya ujasiri vinavyotuleta karibu na watu wengine na karibu na nafsi zetu pia. Mwandishi Michelle Kuo anashirikisha namna ambavyo kufundisha stadi za kusoma kwa wanafunzi wake kule Mississippi Delta kulivyofunua nguvu ya daraja la maneno yaliyoandikwa-- pamoja na mipaka ya nguvu hiyo.
- Teacher, writer, lawyer
Michelle Kuo believes in the power of reading to connect us with one another, creating a shared universe. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
I want to talk todayleo
about how readingkusoma can changemabadiliko our livesanaishi
0
917
5476
Ninataka kuzungumza namna kusoma
kunavyoweza kubadilisha maisha yetu
00:18
and about the limitsmipaka of that changemabadiliko.
1
6417
2375
na kuhusu mipaka ya mabadiliko hayo
00:21
I want to talk to you about how readingkusoma
can give us a shareableshareable worldulimwengu
2
9750
4268
Ninataka kuzungumza na wewe namna kusoma
kunavyoweza kutupa ulimwengu wa ushirika
00:26
of powerfulnguvu humanbinadamu connectionuhusiano.
3
14042
2708
wa muunganiko wenye nguvu wa kibinadamu
00:29
But alsopia about how that connectionuhusiano
is always partialsehemu.
4
17833
3560
pia namna ambavyo muunganiko huo
ni sehemu tu mara zote
00:33
How readingkusoma is ultimatelyhatimaye
a lonelypeke yake, idiosyncraticidiosyncratic undertakingkufanya.
5
21417
5083
Kusoma mwisho wa siku ni kitendo cha
upweke na kisicho cha kawaida.
00:39
The writermwandishi who changediliyopita my life
6
27625
2851
Muandishi aliyebadilisha maisha yangu
00:42
was the great AfricanAfrika AmericanMarekani
novelistmwandishi JamesJames BaldwinBaldwin.
7
30500
4434
Ni mmarekani mweusi na mwandishi
wa riwaya James Baldwin
00:46
When I was growingkukua up
in WesternMagharibi MichiganMichigan in the 1980s,
8
34958
3268
Wakati ninakuwa katika eneo la
Magharibi mwa Michigan miaka ya 1980,
00:50
there weren'thawakuwa manywengi AsianAsia AmericanMarekani writerswaandishi
interestednia in socialkijamii changemabadiliko.
9
38250
3917
hakukuwa na wamarekani wenye asili ya asia
wengi wanaoandika kuhusu mabadiliko ya kijamii
00:55
And so I think I turnedakageuka to JamesJames BaldwinBaldwin
10
43292
3226
Na ndio maana nilimgeukia James Baldwin
00:58
as a way to fillkujaza this voidutupu,
as a way to feel raciallyracially consciousFahamu.
11
46542
4041
kama namna ya kuliziba hili ombwe,
kama namna ya kuwamakini na rangi
01:03
But perhapslabda because I knewalijua
I wasn'thaikuwa myselfMimi mwenyewe AfricanAfrika AmericanMarekani,
12
51958
3976
lakini haswa kwa sababu nilifahamu
mimi sikuwa mmarekani mweusi,
01:07
I alsopia feltwalihisi challengedchangamoto
and indictedulimfuta by his wordsmaneno.
13
55958
4518
Pia nilisikia kupata changamoto na
kuthibitishwa na maneno yake.
01:12
EspeciallyHasa these wordsmaneno:
14
60500
2125
Hasusani maneno haya:
01:15
"There are liberalsliberals
who have all the propersahihi attitudesmitazamo,
15
63458
3601
"Ni watu huria walio na mitazamo sahihi,
01:19
but no realhalisi convictionsimani.
16
67083
1959
lakini hawana misimamo halisi.
01:22
When the chipschips are down
and you somehowkwa namna fulani expectwanatarajia them to deliverkutoa,
17
70083
3935
pale ambapo vipande vipo chini
na unawategemea kuleta matokeo,
01:26
they are somehowkwa namna fulani not there."
18
74042
2476
na huenda hawako hapo kwa namna fulani".
01:28
They are somehowkwa namna fulani not there.
19
76542
2809
Hawako hapo kwa namna fulani.
01:31
I tookalichukua those wordsmaneno very literallyhalisi.
20
79375
2351
Nikayachukua hayo maneno nikitafakari.
01:33
Where should I put myselfMimi mwenyewe?
21
81750
1708
Nijiweke wapi?
01:36
I wentakaenda to the MississippiMississippi DeltaDelta ya,
22
84500
2018
Nilikwenda kwenye delta ya Mississippi,
01:38
one of the poorestmaskini zaidi regionsmikoa
in the UnitedMuungano StatesMarekani.
23
86542
3142
mojawapo ya maeneo masikini sana ya
Marekani.
01:41
This is a placemahali shapedumbo
by a powerfulnguvu historyhistoria.
24
89708
2893
Hii ni sehemu ambayo imejengwa
na historia yenye nguvu.
01:44
In the 1960s, AfricanAfrika AmericansWamarekani
riskedwalihatarishi theirwao livesanaishi to fightkupigana for educationelimu,
25
92625
5143
Katika mwaka wa 1960, Wamarekani weusi
walijitoa maisha yao kupigania Elimu,
01:49
to fightkupigana for the right to votekupiga kura.
26
97792
1708
kupigania haki ya kupiga kura.
01:52
I wanted to be a partsehemu of that changemabadiliko,
27
100625
2434
Nilitaka kuwa sehemu ya badiliko hilo,
01:55
to help youngvijana teenagersvijana graduateHitimu
and go to collegechuo.
28
103083
3709
kuwasaidia vijana wadogo wamalize shule
na kujiunga na vyuo.
02:00
When I got to the MississippiMississippi DeltaDelta ya,
29
108250
2726
Nilipoenda kwenye Delta ya Mississipi,
02:03
it was a placemahali that was still poormaskini,
30
111000
2434
Palikuwa ni mahali duni bado,
02:05
still segregatedimegawanyika,
31
113458
1726
bado pametengwa,
02:07
still dramaticallykwa kasi in need of changemabadiliko.
32
115208
2542
Bado panahitaji mabadiliko ya kasi.
02:10
My schoolshule, where I was placedimewekwa,
33
118958
3435
Shule yangu, pale nilipokuwa nasoma,
02:14
had no librarymaktaba, no guidancemwongozo counselorMshauri wa,
34
122417
4309
haikuwa na maktaba, hakuna mshauri,
02:18
but it did have a policepolisi officerafisa.
35
126750
2976
lakini ilikuwa na afisa wa polisi.
02:21
HalfNusu the teacherswalimu were substitutesvibadala vya
36
129750
2559
Nusu ya walimu walikuwa ni mbadala
02:24
and when studentswanafunzi got into fightsvita,
37
132333
1976
na wanafunzi walipoingia kwenye ugomvi,
02:26
the schoolshule would sendtuma them
to the localmitaa countykata jailjela.
38
134333
3875
Shule iliwapeleka kwenye jela ya
mahali hapo.
02:32
This is the schoolshule where I metalikutana PatrickPatrick.
39
140250
2976
Hii ndiyo shule nilipokutana na Patrick.
02:35
He was 15 and helduliofanyika back twicemara mbili,
he was in the eighthnane gradedaraja.
40
143250
4934
Alikuwa na miaka 15 na alikamatwa mara
mbili, alikuwa darasa la nane.
02:40
He was quietutulivu, introspectiveintrospective,
41
148208
2476
Alikuwa ni mkimya na mndani,
02:42
like he was always in deepkina thought.
42
150708
2810
ni kama kila wakati alikuwa mwenye mawazo.
02:45
And he hatedkuchukiwa seeingkuona other people fightkupigana.
43
153542
2791
Na alichukia kuona wengine wakipigana.
02:49
I saw him oncemara moja jumpkuruka betweenkati two girlswasichana
when they got into a fightkupigana
44
157500
3809
Nilimuona mara moja akiruka kati ya
mabinti wawili walipokuwa wakipigana
02:53
and he got himselfmwenyewe knockedknocked to the groundardhi.
45
161333
2709
Na akajikuta akidondoka na kuanguka chini.
02:57
PatrickPatrick had just one problemtatizo.
46
165375
2518
Patrick alikuwa na tatizo moja.
02:59
He wouldn'thakutaka come to schoolshule.
47
167917
1791
Hakuwa akifika shuleni.
03:03
He said that sometimesmara nyingine
schoolshule was just too depressinghuzuni
48
171249
2477
Alisema kuwa shule wakati mwingine humfanya kuwa na msongo
03:05
because people were always fightingmapigano
and teacherswalimu were quittingkuacha.
49
173750
3042
Sababu wanafunzi hupigana mara zote na
walimu wanaondoka.
03:10
And alsopia, his mothermama workedkazi two jobskazi
and was just too tiredamechoka to make him come.
50
178042
5458
Lakini pia, mama yake anafanya kazi mbili
na huwa anachoka kuweza kumfanya aje shule.
03:16
So I madealifanya it my jobkazi
to get him to come to schoolshule.
51
184417
2767
Hivyo nikafanya iwe kazi yangu
kumfanya awe anakuja shule.
03:19
And because I was crazywazimu and 22
and zealouslykuushika optimisticmatumaini,
52
187208
4060
Na sababu nilikuwa na wazimu na miaka 22
na mwenye bidii ya matumaini
03:23
my strategymkakati was
just to showonyesha up at his housenyumba
53
191292
2142
Njia yangu ilikuwa ni
kwenda nyumbani kwao
03:25
and say, "Hey, why don't you
come to schoolshule?"
54
193458
2125
na kusema "Eti, kwanini hauji
shuleni?"
03:28
And this strategymkakati actuallykwa kweli workedkazi,
55
196542
1642
Na njia hii ilifanya kazi,
03:30
he startedilianza to come to schoolshule everykila day.
56
198208
2435
akaanza kuja shuleni kila siku.
03:32
And he startedilianza to flourishkukua in my classdarasa.
57
200667
2392
Na akaanza kufanikiwa katika darasa langu.
03:35
He was writingkuandika poetrymashairi,
he was readingkusoma booksvitabu.
58
203083
2917
Aliandika mashairi,
alisoma vitabu.
03:38
He was comingkuja to schoolshule everykila day.
59
206917
2291
Alikuja shuleni kila siku.
03:43
Around the samesawa time
60
211042
1476
takriban muda ule ule
03:44
that I had figuredimeonekana out
how to connectkuungana to PatrickPatrick,
61
212542
2684
Nilipogundua namna ya kushirikiana
na Patrick,
03:47
I got into lawsheria schoolshule at HarvardHarvard.
62
215250
2208
Nilikwenda shule ya sheria Harvard.
03:51
I oncemara moja again facedwanakabiliwa this questionswali,
where should I put myselfMimi mwenyewe,
63
219583
3351
Nilikutana tena na swali hili,
nijiweke wapi,
03:54
where do I put my bodymwili?
64
222958
1709
niuweke wapi mwili wangu?
03:57
And I thought to myselfMimi mwenyewe
65
225458
2643
Na nikawaza mwenyewe
04:00
that the MississippiMississippi DeltaDelta ya
was a placemahali where people with moneyfedha,
66
228125
3518
Kuwa Mississipi Delta
ni mahali ambapo watu wenye fedha,
04:03
people with opportunitynafasi,
67
231667
1892
watu wenye fursa,
04:05
those people leaveshika.
68
233583
1250
watu hao huondoka.
04:07
And the people who staykaa behindnyuma
69
235875
1434
Na watu wanaobakia
04:09
are the people who don't have
the chancenafasi to leaveshika.
70
237333
2500
ni watu ambao hawana fursa ya kuondoka.
04:12
I didn't want to be a personmtu who left.
71
240833
2268
Sikutaka kuwa mtu anayeondoka.
04:15
I wanted to be a personmtu who stayedwalikaa.
72
243125
2042
Nilitaka kuwa mtu anayebakia.
04:18
On the other handmkono, I was lonelypeke yake and tiredamechoka.
73
246333
2935
Kwa upande mwingine, nilikuwa mpweke
na mchovu.
04:21
And so I convincedwanaaminika myselfMimi mwenyewe
that I could do more changemabadiliko
74
249292
3458
Na hivyo nilijishawishi mwenyewe
kuwa ninaweza kufanya mabadiliko
04:26
on a largerkubwa scalekiwango if I had
a prestigiouskifahari lawsheria degreeshahada.
75
254125
3583
Kwa kiasi kikubwa kama ningekuwa
na shahada yenye heshima ya sheria.
04:31
So I left.
76
259541
1250
Hivyo nikaondoka.
04:34
ThreeTatu yearsmiaka laterbaadae,
77
262750
1601
Miaka mitatu baadaye,
04:36
when I was about
to graduateHitimu from lawsheria schoolshule,
78
264375
2393
Nilipokaribia kuhitimu
shule ya sheria,
04:38
my friendrafiki calledaitwaye me
79
266792
1726
rafiki yangu alinipigia simu
04:40
and told me that PatrickPatrick
had got into a fightkupigana and killedaliuawa someonemtu.
80
268542
4916
na kuniambia kuwa Patrick
amepigana na kuua mtu.
04:47
I was devastatediliyoharibiwa.
81
275333
2060
Nilitaharuki.
04:49
PartSehemu of me didn't believe it,
82
277417
2434
Sehemu ya mimi haikuamini,
04:51
but partsehemu of me alsopia knewalijua that it was truekweli.
83
279875
2667
na sehemu ya mimi pia iliamini kuwa
ni kweli.
04:55
I flewakaruka down to see PatrickPatrick.
84
283583
2000
Nilisafiri kwenda kumuona Patrick.
04:58
I visitedalitembelea him in jailjela.
85
286750
2708
Nilimtembelea gerezani.
05:02
And he told me that it was truekweli.
86
290542
3642
Na aliniambia kuwa ilikuwa kweli.
05:06
That he had killedaliuawa someonemtu.
87
294208
2393
Ya kwamba ameua mtu.
05:08
And he didn't want to talk more about it.
88
296625
2250
Na asingependa kuzungumzia suala hilo.
05:11
I askedaliuliza him what had happenedkilichotokea with schoolshule
89
299833
2018
Nilimuuliza nini kiliendelea kuhusu shule
05:13
and he said that he had droppedimeshuka out
the yearmwaka after I left.
90
301875
4143
na akasema aliacha shule mwaka mooja
baada ya mimi kuondoka.
05:18
And then he wanted
to tell me something elsemwingine.
91
306042
2642
Na alitaka kuniambia kuhusu kitu kingine
05:20
He lookedilionekana down and he said
that he had had a babymtoto daughterbinti
92
308708
3268
Alitazama chini akasema
ya kwamba amepata mtoto wa kike
05:24
who was just bornalizaliwa.
93
312000
1768
ambaye ndiye kwanza amezaliwa.
05:25
And he feltwalihisi like he had let her down.
94
313792
2583
Na anahisi kuwa amemuangusha binti yake.
05:30
That was it, our conversationmazungumzo
was rushedalikimbia and awkwardkufedheheshwa.
95
318625
3375
Hivyo ndivyo ilivyokuwa, mazungumzo yetu
yalikuwa ya haraka na mabaya.
05:35
When I steppedilipitiwa outsidenje the jailjela,
a voicesauti insidendani me said,
96
323417
5059
Nilipotoka nje ya gereza,
sauti ndani yangu iliniambia,
05:40
"Come back.
97
328500
1268
"Rudi.
05:41
If you don't come back now,
you'llutasikia never come back."
98
329792
3291
Usiporudi sasa, hutarudi kamwe".
05:48
So I graduatedalihitimu from lawsheria schoolshule
and I wentakaenda back.
99
336292
3583
Hivyo nikahitimu shule ya sheria na
nikarudi.
05:52
I wentakaenda back to see PatrickPatrick,
100
340833
1685
Nikarudi kumuona Patrick,
05:54
I wentakaenda back to see if I could help him
with his legalkisheria casekesi.
101
342542
2958
Nikarudi kuona kama ninaweza kumsaidia
na kesi yake ya sheria.
05:58
And this time,
when I saw him a secondpili time,
102
346917
3351
Muda huu,
nilipomuona kwa mara ya pili,
06:02
I thought I had this great ideawazo, I said,
103
350292
2267
Nilidhani nina hili wazo zuri,
nikamwambia,
06:04
"Hey, PatrickPatrick, why don't you
writeandika a letterbarua to your daughterbinti,
104
352583
3601
"Hey, Patrick, kwanini usiandike barua
kwa binti yako,
06:08
so that you can keep her on your mindakili?"
105
356208
3768
ili uweze kumuweka katika
fikra zako?"
06:12
And I handedmitupu him a penkalamu
and a piecekipande of paperkaratasi,
106
360000
3684
Nikampatia kalamu na
kipande cha karatasi,
06:15
and he startedilianza to writeandika.
107
363708
1625
na akaanza kuandika.
06:18
But when I saw the paperkaratasi
that he handedmitupu back to me,
108
366542
2809
Lakini nilipoiona karatasi aliyonipatia,
06:21
I was shockedalishtuka.
109
369375
1333
Nilipigwa na butwaa.
06:25
I didn't recognizekutambua his handwritingmwandiko wa mkono,
110
373000
2101
Sikuutambua mwandiko wake,
06:27
he had madealifanya simplerahisi spellingtahajia mistakesmakosa.
111
375125
2833
alikuwa amefanya makosa
machache ya matamshi.
06:31
And I thought to myselfMimi mwenyewe that as a teachermwalimu,
112
379167
2684
na nikawaza mwenyewe kama mwalimu,
06:33
I knewalijua that a studentmwanafunzi
could dramaticallykwa kasi improvekuboresha
113
381875
3476
Ninafahamu ya kuwa mwanafunzi
anaweza kufanya vizuri kwa kasi
06:37
in a very quickharaka amountkiasi of time,
114
385375
3059
Kwa muda mfupi sana,
06:40
but I never thought that a studentmwanafunzi
could dramaticallykwa kasi regressTumeishafanya.
115
388458
3667
lakini sikuwahi kuwaza kuwa mwanafunzi
anaweza kurudi nyuma kwa kasi.
06:46
What even painedhaina maumivu me more,
116
394375
1893
kilichoniumiza zaidi,
06:48
was seeingkuona what he had writtenimeandikwa
to his daughterbinti.
117
396292
3184
ni kuona kile alichokiandika
kwa binti yake.
06:51
He had writtenimeandikwa,
118
399500
1393
aliandika,
06:52
"I'm sorry for my mistakesmakosa,
I'm sorry for not beingkuwa there for you."
119
400917
4291
"Ninasikitika kwa makosa yangu,
ninasikitika kutokuwa pamoja nawe."
06:58
And this was all he feltwalihisi
he had to say to her.
120
406458
2834
Na hiki ndicho alichojisikia
anataka kusema naye.
07:02
And I askedaliuliza myselfMimi mwenyewe how can I convincekuwashawishi him
that he has more to say,
121
410250
4309
Nikajiuliza ni namna gani ninaweza
kumshawishi kuwa anaweza kumwambia zaidi,
07:06
partssehemu of himselfmwenyewe that
he doesn't need to apologizekuomba msamaha for.
122
414583
3417
ile sehemu yake ambayo
hahitaji kuomba radhi kwayo.
07:10
I wanted him to feel
123
418958
1268
Nilitaka yeye ajisikie
07:12
that he had something worthwhilethamani
to sharekushiriki with his daughterbinti.
124
420250
3958
kuwa anakitu cha thamani
kumshirikisha binti yake.
07:17
For everykila day the nextijayo sevensaba monthsmiezi,
125
425917
3184
Kwa kila siku kwa miezi saba iliyofuatia,
07:21
I visitedalitembelea him and broughtkuletwa booksvitabu.
126
429125
2684
Nilimtembelea na kumpelekea vitabu.
07:23
My totetote bagmfuko becameikawa a little librarymaktaba.
127
431833
3851
Mkoba wangu uligeuka kuwa maktaba ndogo.
07:27
I broughtkuletwa JamesJames BaldwinBaldwin,
128
435708
2060
Nilimpelekea James Baldwin,
07:29
I broughtkuletwa WaltWalt WhitmanWhitman, C.S. LewisLewis.
129
437792
4892
Nilipeleka Walt Whitman, C.S.Lewis.
07:34
I broughtkuletwa guidebooksvitabu vya lonely to treesmiti, to birdsndege,
130
442708
4810
Nilileta vitabu vya mwongozo wa miti,
wa ndege,
07:39
and what would becomekuwa
his favoritefavorite bookkitabu, the dictionarykamusi.
131
447542
3208
na kitabu alichotokea kukipenda zaidi,
kamusi.
07:43
On some dayssiku,
132
451667
1684
Kwa baadhi ya siku,
07:45
we would sitkukaa for hoursmasaa in silencekimya,
bothwote wawili of us readingkusoma.
133
453375
3792
tulikaa kimya kwa masaa,
wote wawili tukisoma.
07:50
And on other dayssiku,
134
458083
1851
Na siku nyingine,
07:51
we would readsoma togetherpamoja,
we would readsoma poetrymashairi.
135
459958
3518
tulisoma pamoja,
tulisoma mashairi.
07:55
We startedilianza by readingkusoma haikushaikus,
hundredsmamia of haikushaikus,
136
463500
3893
tulianza kwa kusoma haikus,
mamia ya haikus,
07:59
a deceptivelymtihani simplerahisi masterpieceMASTERPIECE.
137
467417
2892
ni kito rahisi na danganyifu.
08:02
And I would askkuuliza him,
"ShareKushiriki with me your favoritefavorite haikushaikus."
138
470333
2810
Na ningemuuliza,
"Nishirikishe haiku zako unazozipenda".
08:05
And some of them are quitekabisa funnyfunny.
139
473167
3059
Na baadhi yake ni za kufurahisha sana.
08:08
So there's this by IssaIssa:
140
476250
1851
Kuna hii ya Issa:
08:10
"Don't worrywasiwasi, spidersbuibui,
I keep housenyumba casuallykwa kawaida."
141
478125
3708
"Usijali, buibui,
ninaweka nyumba kikawaida."
08:14
And this: "NappedNapped halfnusu the day,
no one punishedkuadhibiwa me!"
142
482750
4542
Na hii: "Nimelala nusu ya siku,
na hakuna aliyeniadhibu!"
08:20
And this gorgeousnzuri one, whichambayo is
about the first day of snowtheluji fallingkuanguka,
143
488667
4434
Na hii nyingine ya kuvutia, inayohusu
siku ya kwanza barafu ilipodondoka,
08:25
"DeerKulungu lickinglicking first frostjalidi
from eachkila mmoja other'snyingine coatskanzu."
144
493125
4458
"Kulungu wakilamba baridi ya kwanza
kutoka kwenye koti la kila mmoja wao."
08:31
There's something mysteriousajabu and gorgeousnzuri
145
499250
3018
Kuna kitu cha ajabu na cha kuvutia
08:34
just about the way a poemshairi looksinaonekana.
146
502292
2642
kuhusu namna shairi linavyoonekana.
08:36
The emptytupu spacenafasi is as importantmuhimu
as the wordsmaneno themselveswenyewe.
147
504958
4625
Nafasi ya shairi ni muhimu
kama maneno yenyewe.
08:43
We readsoma this poemshairi by W.S. MerwinMerwin,
148
511375
2518
Tunasoma shairi hili lililoandikwa na
W.S.Merwin,
08:45
whichambayo he wrotealiandika after he saw
his wifemke workingkufanya kazi in the gardenbustani
149
513917
4226
ambalo aliliandika baada ya kumuona
mkewe akifanya kazi kwenye bustani
08:50
and realizedgundua that they would spendtumia
the restpumzika of theirwao livesanaishi togetherpamoja.
150
518167
3875
na akakumbuka kuwa wataishi maisha
yao yote yaliyobaki wakiwa pamoja.
08:55
"Let me imaginefikiria that we will come again
151
523167
2351
"Wacha nifikiri kuwa tutakuja tena
08:57
when we want to and it will be springspring
152
525542
3392
tutakapotaka na itakuwa wakati wa masika
09:00
We will be no olderwakubwa than we ever were
153
528958
3185
hatutakuwa na umri mkubwa
kuliko tulivyowahi kuwa
09:04
The wornhuvaliwa griefshali will have easedaliondoa
like the earlymapema cloudwingu
154
532167
3934
na majonzi yatakuwa mepesi kama
mawingu ya mapema
09:08
throughkupitia whichambayo morningasubuhi
slowlypolepole comesinakuja to itselfyenyewe"
155
536125
3768
ambayo kwayo asubuhi
huja yenyewe taratibu"
09:11
I askedaliuliza PatrickPatrick what his favoritefavorite
linemstari was, and he said,
156
539917
3392
Nikamuuliza Patrick mstari alioupenda
zaidi ni upi, na akasema
09:15
"We will be no olderwakubwa than we ever were."
157
543333
3542
"Hatutakuwa na umri mkubwa
kuliko tulivyokuwa."
09:20
He said it remindedalikumbushwa him
of a placemahali where time just stopsataacha,
158
548375
4434
Alisema inamkumbusha
mahali ambapo muda husimama,
09:24
where time doesn't matterjambo anymoretena.
159
552833
2935
pale ambapo muda haumaanishi
kitu chochote.
09:27
And I askedaliuliza him
if he had a placemahali like that,
160
555792
2059
Na nikamuuliza kama amewahi kuwa
na mahali pa jinsi hiyo.
09:29
where time lastsinachukua forevermilele.
161
557875
2393
pale ambapo muda hudumu milele.
09:32
And he said, "My mothermama."
162
560292
1666
Na akasema, "Mama yangu".
09:35
When you readsoma a poemshairi
alongsidesambamba na someonemtu elsemwingine,
163
563875
4309
Na pale unaposoma shairi
pamoja na mtu mwingine,
09:40
the poemshairi changesmabadiliko in meaningmaana.
164
568208
1875
shairi hubadilika katika maana.
09:43
Because it becomesinakuwa personalbinafsi
to that personmtu, becomesinakuwa personalbinafsi to you.
165
571333
4667
Kwa sababu huwa la kibinafsi kwa mtu huyo,
huwa la kibinafsi kwako.
09:49
We then readsoma booksvitabu, we readsoma so manywengi booksvitabu,
166
577500
2684
Halafu tulisoma vitabu,
tulisoma vitabu vingi sana,
09:52
we readsoma the memoirmemoir of FrederickFrederick DouglassDouglass,
167
580208
3143
tulisoma kumbukumbu za Frederick Douglass,
09:55
an AmericanMarekani slavemtumwa who taughtalifundishwa
himselfmwenyewe to readsoma and writeandika
168
583375
3601
Mtumwa wa Marekani aliyejifunza mwenyewe
kusoma na kuandika
09:59
and who escapedalitoroka to freedomuhuru
because of his literacykusoma na kuandika.
169
587000
3333
na aliyetoroka na kuwa huru
sababu ya kuelimika kwake.
10:03
I had grownmzima up thinkingkufikiri
of FrederickFrederick DouglassDouglass as a heroshujaa
170
591875
2643
Nimekua nikimfikiria Frederick Douglass
kama shujaa
10:06
and I thought of this storyhadithi
as one of upliftkuinua and hopetumaini.
171
594542
3208
na niliiona hii simulizi kama
iliyojaa matumaini na yenye kuinua
10:10
But this bookkitabu put PatrickPatrick
in a kindaina of panichofu.
172
598917
2833
Lakini kitabu hiki kilimuweka Patrick
katika hofu.
10:14
He fixatedimefungwa on a storyhadithi DouglassDouglass told
of how, over ChristmasKrismasi,
173
602875
5059
Alibakia katika simulizi aliyoielezea
Douglass jinsi ambavyo, katika Christmas,
10:19
mastersmabwana give slaveswatumwa ginGini
174
607958
3101
Mabwana waliwapa watumwa jini(pombe kali)
10:23
as a way to provekuthibitisha to them
that they can't handlekushughulikia freedomuhuru.
175
611083
3476
kama namna ya kuwaaminisha kuwa
hawawezi kuumudu uhuru.
10:26
Because slaveswatumwa would be
stumblingkujikwaa on the fieldsmashamba.
176
614583
2792
Kwa sababu watumwa waliweweseka
katika mashamba.
10:31
PatrickPatrick said he relatedkuhusiana to this.
177
619500
2000
Patrick alisema anajifananisha na hili.
10:34
He said that there are people in jailjela
who, like slaveswatumwa,
178
622333
3476
Alisema kuwa kuna watu gerezani ambao,
kama watumwa,
10:37
don't want to think about theirwao conditionhali,
179
625833
2226
hawataki kuwaza juu ya hali zao,
10:40
because it's too painfulchungu.
180
628083
1810
kwa sababu inawaumiza sana.
10:41
Too painfulchungu to think about the pastzilizopita,
181
629917
2184
Inaumiza sana kuwaza mambo ya nyuma,
10:44
too painfulchungu to think
about how farmbali we have to go.
182
632125
3333
inaumiza sana kuwaza
kuhusu umbali gani tunapaswa kwenda.
10:48
His favoritefavorite linemstari was this linemstari:
183
636958
2893
Mstari alioupenda sana ulikuwa huu:
10:51
"Anything, no matterjambo what,
to get ridOndoa of thinkingkufikiri!
184
639875
3601
"Chochote kile, bila kujali chochote,
kujiondoa katika kuwaza!
10:55
It was this everlastingmilele thinkingkufikiri
of my conditionhali that tormentedakiteseka me."
185
643500
5042
Ilikuwa ni huku kuwaza kusiko koma kuhusu
hali yangu ndiko kunako kipa mateso."
11:01
PatrickPatrick said that DouglassDouglass was bravejasiri
to writeandika, to keep thinkingkufikiri.
186
649958
3959
Patrick alisema Douglass alikuwa jasiri
kuandika, ili aendelee kuwaza.
11:07
But PatrickPatrick would never know
how much he seemedilionekana like DouglassDouglass to me.
187
655083
5560
Lakini Patrick hakufahamu kuwa alionekana
kufanana sana na Douglass kwangu.
11:12
How he keptimehifadhiwa readingkusoma,
even thoughingawa it put him in a panichofu.
188
660667
3750
Namna alivyoendelea kusoma,
ijapokuwa ilimuweka katika hofu.
11:17
He finishedkumalizika the bookkitabu before I did,
189
665250
3059
Alimaliza kitabu kabla yangu,
11:20
readingkusoma it in a concretesaruji
stairwayngazi with no lightmwanga.
190
668333
3709
akisoma katika ngazi za
zege zisizo na taa.
11:25
And then we wentakaenda on
to readsoma one of my favoritefavorite booksvitabu,
191
673583
2726
Halafu tukaendelea kusoma mojawapo
ya vitabu ninavyovipenda,
11:28
MarilynneMarilynne Robinson'sYa Robinson "GileadGileadi,"
192
676333
2185
Cha Marilynne Robinson's "Gilead,"
11:30
whichambayo is an extendedkupanuliwa letterbarua
from a fatherbaba to his sonmwana.
193
678542
4142
ambayo ni barua endelevu kutoka
kwa baba kwenda kwa mwanae.
11:34
He lovedkupendwa this linemstari:
194
682708
2351
Alipenda mstari huu:
11:37
"I'm writingkuandika this in partsehemu to tell you
195
685083
2185
"Ninaandika hii kwa sehemu kukuambia
11:39
that if you ever wonderajabu
what you've donekufanyika in your life ...
196
687292
3309
ya kwamba kama umewahi kujiuliza
kile umekifanya katika maisha yako...
11:42
you have been God'sWa Mungu graceneema to me,
197
690625
2018
umekuwa neema ya Mungu kwangu,
11:44
a miraclemuujiza, something more than a miraclemuujiza."
198
692667
3166
muujiza, kitu ambacho ni zaidi
ya muujiza."
11:49
Something about this languagelugha,
its love, its longinghamu, its voicesauti,
199
697375
5643
Kitu kimoja kuhusu hii lugha,
upendo wake, subira yake, sauti yake,
11:55
rekindledrekindled Patrick'sYa Patrick desirehamu to writeandika.
200
703042
2458
iliamsha shauku ya Patrick katika kuandika.
11:58
And he would fillkujaza notebooksmadaftari uponjuu notebooksmadaftari
201
706292
3101
Na alijaza daftari kwa daftari
12:01
with lettersbarua to his daughterbinti.
202
709417
3309
na barua kwenda kwa binti yake.
12:04
In these beautifulnzuri, intricatenje lettersbarua,
203
712750
2934
katika barua hizi nzuri na imara,
12:07
he would imaginefikiria him and his daughterbinti
going canoeingCanoeing down the MississippiMississippi riverMto.
204
715708
5976
alijiwazia yeye na binti yake
wakipanda mtumbwi katika mto Mississipi
12:13
He would imaginefikiria them
findingkutafuta a mountainmlima streammkondo
205
721708
2810
Alijiwazia yeye na binti yake
wakipata vijito vya milimani
12:16
with perfectlykikamilifu clearwazi watermaji.
206
724542
2166
vikiwa na maji masafi bila kasoro.
12:20
As I watchedaliangalia PatrickPatrick writeandika,
207
728042
2041
Nilipomtazama Patrick akiandika,
12:23
I thought to myselfMimi mwenyewe,
208
731250
2143
Nilijiwazia mwenyewe,
12:25
and I now askkuuliza all of you,
209
733417
2059
na sasa ninawaulizeni nyote,
12:27
how manywengi of you have writtenimeandikwa a letterbarua
to somebodymtu you feel you have let down?
210
735500
5292
ni wangapi wenu mmewahi kuandika barua
kwa mtu unayehisi umemwangusha?
12:34
It is just much easierrahisi
to put those people out of your mindakili.
211
742042
5083
Ni rahisi sana
kuwaweka hao watu nje ya fikra zako.
12:40
But PatrickPatrick showedilionyesha up everykila day,
facinginakabiliwa his daughterbinti,
212
748083
4643
Lakini Patrick alijitokeza kila siku,
akimkabili binti yake,
12:44
holdingkushikilia himselfmwenyewe accountablekuwajibika to her,
213
752750
2934
akijiwajibisha kwake,
12:47
wordneno by wordneno with intensekali concentrationmkusanyiko.
214
755708
3709
neno kwa neno kwa umakini wa hali ya juu.
12:54
I wanted in my ownmwenyewe life
215
762417
2541
Ningependa katika maisha yangu binafsi
12:58
to put myselfMimi mwenyewe at riskhatari in that way.
216
766042
3059
kujiweka katika hatari kwa namna hiyo.
13:01
Because that riskhatari revealsyaonyesha
the strengthnguvu of one'sya mtu heartmoyo.
217
769125
3625
Kwa sababu hatari hiyo inadhihirisha
nguvu za moyo wa mtu.
13:08
Let me take a stephatua back
and just askkuuliza an uncomfortablewasiwasi questionswali.
218
776625
4059
Ngoja nirudi hatua moja nyuma na niulize
swali ambalo linaleta wasiwasi.
13:12
Who am I to tell this storyhadithi,
as in this PatrickPatrick storyhadithi?
219
780708
3709
Mimi ni nani kusimulia simulizi hii,
hii simulizi ya Patrick?
13:18
Patrick'sYa Patrick the one who livedaliishi with this painmaumivu
220
786042
2976
Patrick ndiye aliyeishi kwenye
maumivu haya
13:21
and I have never been hungrynjaa
a day in my life.
221
789042
4166
na mimi sijawahi kukaa na njaa hata
kwa siku moja kwenye maisha yangu
13:27
I thought about this questionswali a lot,
222
795250
1768
Ninawaza sana kuhusu swali hili,
13:29
but what I want to say is that this storyhadithi
is not just about PatrickPatrick.
223
797042
3726
lakini ninachotaka kusema ni kuwa hii
simulizi sio tu kuhusu Patrick.
13:32
It's about us,
224
800792
1517
Inatuhusu sisi,
13:34
it's about the inequalitykutofautiana betweenkati us.
225
802333
2500
ni kuhusu tofauti kati yetu.
13:37
The worldulimwengu of plentymengi
226
805667
1416
Ulimwengu wa vingi
13:40
that PatrickPatrick and his parentswazazi
and his grandparentsbabu
227
808375
3643
ambao Patrick na wazazi wake
na mababu zake
13:44
have been shutfunga out of.
228
812042
1809
hawajawahi kuuona.
13:45
In this storyhadithi, I representkuwakilisha
that worldulimwengu of plentymengi.
229
813875
3083
Katika simulizi hii, mimi ninawakilisha
huo ulimwengu wa vingi.
13:49
And in tellingkuwaambia this storyhadithi,
I didn't want to hidekujificha myselfMimi mwenyewe.
230
817792
3809
Na katika kueleza simulizi hii
sikutaka kujificha mwenyewe.
13:53
HideFicha the powernguvu that I do have.
231
821625
2667
Kuficha nguvu ambazo ninazo.
13:57
In tellingkuwaambia this storyhadithi,
I wanted to exposewazi that powernguvu
232
825333
3560
Katika kueleza simulizi hii,
ninataka kuifichua nguvu hiyo
14:00
and then to askkuuliza,
233
828917
2392
halafu kuuliza,
14:03
how do we diminishkupunguza
the distanceumbali betweenkati us?
234
831333
2917
tunawezaje kuipunguza
umbali kati yetu?
14:08
ReadingKusoma is one way to closekaribu that distanceumbali.
235
836250
3601
Kusoma ni njia mojawapo ya kuipunguza
hiyo nafasi.
14:11
It givesanatoa us a quietutulivu universeulimwengu
that we can sharekushiriki togetherpamoja,
236
839875
4434
Kunatuma ulimwengu wa ukimya
ambao tunaweza kuushiriki pamoja,
14:16
that we can sharekushiriki in equallysawa.
237
844333
2250
ambao tunaweza kuushiriki kwa usawa.
14:20
You're probablylabda wonderingwanashangaa now
what happenedkilichotokea to PatrickPatrick.
238
848500
3101
Inawezekana unajiuliza sasa kuwa
ni nini kilitokea kwa Patrick.
14:23
Did readingkusoma savesalama his life?
239
851625
1708
Je kusoma kuliokoa maisha yake?
14:26
It did and it didn't.
240
854583
2125
Kuliyaokoa na hakukuyaokoa.
14:29
When PatrickPatrick got out of prisonjela,
241
857875
2893
Patrick alipotoka gerezani,
14:32
his journeysafari was excruciatingakitambua.
242
860792
2333
safari yake ilikuwa ya maumivu.
14:36
EmployersWaajiri turnedakageuka him away
because of his recordrekodi,
243
864292
3476
Waajiri hawakumkubali kwa sababu
ya historia yake,
14:39
his bestbora friendrafiki, his mothermama,
diedalikufa at ageumri 43
244
867792
3142
rafiki yake mpenzi, mama yake,
alifariki katika umri wa miaka 43
14:42
from heartmoyo diseaseugonjwa and diabeteskisukari.
245
870958
2476
kwa ugonjwa wa moyo na kisukari.
14:45
He's been homelesswasio na makazi, he's been hungrynjaa.
246
873458
2709
Alikuwa hana pa kuishi,
amekuwa hana chakula.
14:50
So people say a lot of things
about readingkusoma that feel exaggeratedchumvi to me.
247
878250
4542
Kwa hiyo watu wanasema mengi kuhusu kusoma
ambayo kwangu ninahisi wanazidisha chumvi.
14:55
BeingKuwa literatewanaojua kusoma na kuandika didn't stop him
formfomu beingkuwa discriminatedkuwawezesha againstdhidi.
248
883792
3976
Uwezo wa kusoma haukumzuia yeye
asitengwe na jamii.
14:59
It didn't stop his mothermama from dyingkufa.
249
887792
2625
Hakukumzuia mama yake asifariki.
15:03
So what can readingkusoma do?
250
891708
2375
Kwa hiyo kusoma kunaweza kufanya nini?
15:07
I have a fewwachache answersmajibu to endmwisho with todayleo.
251
895375
3958
Nina majibu machache ninapomalizia leo.
15:12
ReadingKusoma chargedkushtakiwa his innerndani life
252
900667
2750
Kusoma kulibadili utu wake wa ndani
15:17
with mysterysiri, with imaginationmawazo,
253
905083
3060
kwa mambo yaliyofichika na uwezo wa
kuwaza kwa picha.
15:20
with beautyuzuri.
254
908167
1250
kwa uzuri.
15:22
ReadingKusoma gavealitoa him imagesPicha that gavealitoa him joyfuraha:
255
910292
4333
Kusoma kulimpa taswira zilizompa furaha:
15:27
mountainmlima, oceanBahari, deerkulungu, frostjalidi.
256
915417
5559
milima, bahari, kulungu, theluji.
15:33
WordsManeno that tasteladha of a freebure, naturalasili worldulimwengu.
257
921000
4125
Maneno yenye ladha ya ulimwengu huru
na halisi.
15:39
ReadingKusoma gavealitoa him a languagelugha
for what he had lostpotea.
258
927625
3518
Kusoma kulimpa lugha kwa yale aliyopoteza.
15:43
How preciousthamani are these linesmistari
from the poetmshairi DerekDerek WalcottWalcott?
259
931167
4642
Ni jinsi gani yalivyo mazuri haya maneno
kutoka kwa mshairi Derek Walcott?
15:47
PatrickPatrick memorizedkukariri this poemshairi.
260
935833
2226
Patrick alilikariri hili shairi.
15:50
"DaysSiku that I have helduliofanyika,
261
938083
2101
"Siku ambazo nilizishikilia,
15:52
dayssiku that I have lostpotea,
262
940208
2268
siku ambazo nilizipoteza,
15:54
dayssiku that outgrowoutgrow, like daughtersbinti,
263
942500
3226
siku ambazo zinakuwa kupitiliza,
kama mabinti,
15:57
my harboringharboring armssilaha."
264
945750
1833
mikono yangu inayoshikilia."
16:00
ReadingKusoma taughtalifundishwa him his ownmwenyewe courageujasiri.
265
948667
2976
Kusoma kulimfundisha ujasiri wake
mwenyewe.
16:03
RememberKumbuka that he keptimehifadhiwa readingkusoma
FrederickFrederick DouglassDouglass,
266
951667
3309
Kumbuka kwamba aliendelea kusoma
Frederick Douglass,
16:07
even thoughingawa it was painfulchungu.
267
955000
2143
ijapokuwa ilikuwa ya kuumiza.
16:09
He keptimehifadhiwa beingkuwa consciousFahamu,
even thoughingawa beingkuwa consciousFahamu hurtshuumiza.
268
957167
3708
Aliendelea kuwa makini,
ijapokuwa kuwa makini kunauma.
16:14
ReadingKusoma is a formfomu of thinkingkufikiri,
269
962208
2560
Kusoma ni aina ya kutafakari,
16:16
that's why it's difficultvigumu to readsoma
because we have to think.
270
964792
4059
ndio maana ni vigumu sana kusoma
kwa sababu tunataka kutafakari.
16:20
And PatrickPatrick chosealichagua to think,
ratherbadala than to not think.
271
968875
4250
Na Patrick alichagua kutafakari,
badala ya kutokutafakari.
16:28
And last, readingkusoma gavealitoa him a languagelugha
to speaksema to his daughterbinti.
272
976000
3958
Na mwishoni, kusoma kulimpa lugha
ya kuongea na binti yake.
16:33
ReadingKusoma inspiredaliongoza him to want to writeandika.
273
981375
3226
Kusoma kulimpa shauku ya kutaka kuandika.
16:36
The linkkiungo betweenkati readingkusoma
and writingkuandika is so powerfulnguvu.
274
984625
4143
Muunganiko kati ya kusoma na
kuandika ni wenye nguvu sana.
16:40
When we beginkuanza to readsoma,
275
988792
2059
Tunapoanza kusoma,
16:42
we beginkuanza to find the wordsmaneno.
276
990875
2083
tunaanza kupata maneno.
16:45
And he foundkupatikana the wordsmaneno
to imaginefikiria the two of them togetherpamoja.
277
993958
4643
Na alipata maneno ya kutafakari
wao wawili wakiwa pamoja.
16:50
He foundkupatikana the wordsmaneno
278
998625
1708
Alipata maneno
16:53
to tell her how much he lovedkupendwa her.
279
1001958
2250
ya kumwelezea ni namna gani anampenda.
16:58
ReadingKusoma alsopia changediliyopita
our relationshipuhusiano with eachkila mmoja other.
280
1006042
3934
Kusoma pia kulibadilisha
mahusiano baina yetu.
17:02
It gavealitoa us an occasiontukio for intimacyurafiki,
281
1010000
2059
Kunatupa nyakati za kuwa karibu,
17:04
to see beyondzaidi our pointspointi of viewmtazamo.
282
1012083
2893
kuweza kuona zaidi ya mitazamo yetu.
17:07
And readingkusoma tookalichukua an unequalusawa relationshipuhusiano
283
1015000
2684
Na kusoma kulichukua mahusiano ya
kutokuwa sawa
17:09
and gavealitoa us a momentarykitambo kidogo tu equalityusawa.
284
1017708
2667
na kulitupa usawa wa muda mfupi.
17:14
When you meetkukutana somebodymtu as a readermsomaji,
285
1022125
2934
Ukikutana na mtu kama msomaji,
17:17
you meetkukutana him for the first time,
286
1025083
1976
unakutana naye kwa mara ya kwanza,
17:19
newlywapya, freshlyfreshly.
287
1027083
1708
kwa upya kabisa.
17:21
There is no way you can know
what his favoritefavorite linemstari will be.
288
1029875
3208
Hakuna namna unaweza kufahamu mstari
anaoupenda sana ni upi.
17:26
What memorieskumbukumbu and privatePrivat griefshali he has.
289
1034458
3208
Ni kumbukumbu zipi na huzuni zipi za
siri alizonazo.
17:30
And you faceuso the ultimatemwisho privacyFaragha
of his innerndani life.
290
1038833
4000
Na unakutana na sitara ya hali ya juu
ya utu wake wa ndani.
17:35
And then you startkuanza to wonderajabu,
"Well, what is my innerndani life madealifanya of?
291
1043666
3435
Na halafu unaanza kushangaa,
"Eti,utu wangu wa ndani umejengwa na nini?
17:39
What do I have that's worthwhilethamani
to sharekushiriki with anothermwingine?"
292
1047125
3250
Ni kitu gani nilichonacho cha thamani
cha kumshirikisha mwingine?"
17:45
I want to closekaribu
293
1053000
1333
Ninataka kufunga
17:48
on some of my favoritefavorite linesmistari
from Patrick'sYa Patrick lettersbarua to his daughterbinti.
294
1056208
4292
kwa mistari yangu ninayoipenda
kutoka kwa barua za Patrick kwa bintiye.
17:53
"The riverMto is shadowykivuli in some placesmaeneo
295
1061333
2768
"Mto una kivuli kwenye baadhi ya maeneo
17:56
but the lightmwanga shineshuangaza
throughkupitia the cracksnyufa of treesmiti ...
296
1064125
3268
lakini mwanga unaangaza
kupitia mianya ya miti...
17:59
On some branchesmatawi
hangpanga plentymengi of mulberriesmulberries.
297
1067417
3559
Kwenye baadhi ya matawi
muliberi nyingi zimening'inia.
18:03
You stretchkunyoosha your armmkono
straightsawa out to grabkunyakua some."
298
1071000
3458
Unanyoosha mkono wako
ili uweze kuyachukua baadhi".
18:08
And this lovelynzuri letterbarua, where he writesanaandika,
299
1076042
2434
Na barua hii ya upendo, anapoandika,
18:10
"CloseFunga your eyesmacho and listen
to the soundssauti of the wordsmaneno.
300
1078500
4351
"Fumba macho yako na usikilize
sauti ya maneno.
18:14
I know this poemshairi by heartmoyo
301
1082875
2184
Ninafahamu shairi hili kwa moyo
18:17
and I would like you to know it, too."
302
1085083
2834
na ningependa pia wewe ulifahamu."
18:21
Thank you so much everyonekila mtu.
303
1089375
1809
Ninawashukuruni nyote.
18:23
(ApplauseMakofi)
304
1091208
3292
(Makofi)
Translated by MIRIAM ELISHA
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Michelle Kuo - Teacher, writer, lawyer
Michelle Kuo believes in the power of reading to connect us with one another, creating a shared universe.

Why you should listen

Michelle Kuo is a teacher, lawyer, writer and passionate advocate of prison education. She has taught English at an alternative school for kids who were expelled from other schools in rural Arkansas, located in the Mississippi Delta. While at Harvard Law School, she received the National Clinical Association's award for her advocacy of children with special needs. Later, as a lawyer for undocumented immigrants in Oakland, Kuo helped tenants facing evictions, workers stiffed out of their wages and families facing deportation. She has also volunteered at a detention center in south Texas, helping families apply for asylum, and taught courses at San Quentin Prison. Currently, she teaches in the History, Law, and Society program at the American University of Paris, where she works to inspire students on issues of migrant justice and criminal justice. This fall, she is helping to start a prison education program in France.

In 2017, Kuo released Reading with Patrick, a memoir of teaching reading in a rural county jail in Arkansas. A runner-up for the Goddard Riverside Social Justice Prize and Dayton Literary Peace Prize, the book explores questions of what it is we owe each other and how starkly economic and racial inequality determine our life outcomes.

(Photo: Jasmine Cowen)

More profile about the speaker
Michelle Kuo | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee