ABOUT THE SPEAKER
Fahad Al-Attiya - Food security expert
Fahad Al-Attiya's job is to maintain food security in Qatar, a country that has no water and imports 90 percent of its food.

Why you should listen

Fahad Bin Mohammed Al-Attiya has his work cut out for him: His home, Qatar, has found itself a newly oil-rich country with an economy growing at an average rate of 15 percent a year, with a rapidly expanding population. That burst in population has been accompanied by a huge surge in water consumption. So what's so strange about that? -- Qatar has virtually no water. In comparison to Brazil's annual 1782 mm of rain, Qatar's annual rainfall is 74 mm.

Al-Attiya is the Chairman of Qatar’s National Food Security Programme, and he is tasked with making food secure -- and keeping it that way -- in a place that has no water and imports 90 percent of its food. He hopes that his program's innovations in sustainable agriculture, especially in arid regions, can help other countries deal with dwindling food supplies due to extreme climate change.

More profile about the speaker
Fahad Al-Attiya | Speaker | TED.com
TEDxSummit

Fahad Al-Attiya: A country with no water

Fahad Al-Attiya: Nchi isiyokuwa na maji

Filmed:
1,529,461 views

Fikiri kuhusu nchi ambayo ina umeme mwingi sana -- mafuta na gesi,Mwanga wa jua,upepo(na pesa) --lakini imepungukiwa na huduma muhimu kwa ajili ya maisha: Maji. Mhandisi wa miundo mbinu Fahad Al-Attiya anaongelea njia zisizotegemewa ambazo taifa dogo la Mashariki ya Kati la Qatar linatumia kutengeneza mfumo wake wa usambazaji wa maji.
- Food security expert
Fahad Al-Attiya's job is to maintain food security in Qatar, a country that has no water and imports 90 percent of its food. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:16
SalaamSalaam alaikumalaikum.
0
628
2916
Salaam alaikum
00:19
WelcomeKaribu to DohaDoha.
1
3544
1686
Karibuni Doha.
00:21
I am in chargemalipo of makingkufanya this country'sya nchi foodchakula securesalama.
2
5230
3402
Mimi ndio muhusika wa usalama wa chakula nchi hii.
00:24
That is my jobkazi for the nextijayo two yearsmiaka,
3
8632
2051
Hii ni kazi yangu kwa miaka miwili ijayo,
00:26
to designkubuni an entirenzima masterbwana planMpango,
4
10683
2416
kutengeneza mpango mkuu,
00:28
and then for the nextijayo 10 yearsmiaka to implementkutekeleza it --
5
13099
3533
na kwa miaka kumi ijayo kuupendekeza
00:32
of coursebila shaka, with so manywengi other people.
6
16632
2020
na watu wengine wengi,
00:34
But first, I need to talk to you about a storyhadithi, whichambayo is my storyhadithi,
7
18652
4647
Lakini kwanza,nahitaji kukuhadithia,hii ni hadithi yangu,
00:39
about the storyhadithi of this countrynchi that you're all here in todayleo.
8
23299
3868
kuhusu nchi hii mliyopo leo
00:43
And of coursebila shaka, mostwengi of you have had threetatu mealsmilo todayleo,
9
27167
3550
Kwa uhakika,wengi wenu mmekula milo mitatu leo,
00:46
and probablylabda will continueendelea to have after this eventtukio.
10
30717
4533
nahisi mtaendelea kula tena baada ya hii shughuli.
00:51
So going in, what was QatarKhatari in the 1940s?
11
35250
4433
Tuangalie sasa ni vipi Quatar ilikuwa katika mwaka 1940?
00:55
We were about 11,000 people livingwanaishi here.
12
39683
4200
Tulikuwa watu kama 11,000 tunaoishi hapa.
00:59
There was no watermaji. There was no energynishati, no oilmafuta, no carsmagari, nonehakuna of that.
13
43883
7016
Hakukuwa na maji.Hakukuwa an nishati,mafuta,magari,vyote hivo havikuwepo.
01:06
MostWengi of the people who livedaliishi here
14
50899
1395
Watu wengi walioishi hapa
01:08
eitherama livedaliishi in coastalpwani villagesvijiji, fishinguvuvi,
15
52294
2472
waliishi vijiji vya pwani,kuvua,
01:10
or were nomadsmajambazi who roamedwalivamia around with the environmentmazingira tryingkujaribu to find watermaji.
16
54766
5950
au walikuwa watu wa kuhamahama ambao walitembea kutafuta maji.
01:16
NoneHakuna of the glamourutazame that you see todayleo existedulipo.
17
60716
3402
Uzuri wote huu unauona haukuwepo.
01:20
No citiesmiji like you see todayleo in DohaDoha or DubaiDubai or AbuAbu DhabiDhabi or KuwaitKuwaiti or RiyadhRiyad.
18
64118
5148
Hakukuwa na jiji kama uonavyo leo Doha au Dubai au Abu Dhabi au Kuwait au Riyadh.
01:25
It wasn'thaikuwa that they couldn'thaikuweza developkuendeleza citiesmiji.
19
69266
2617
Haikuwa kwamba walishidwa kuendeleza miji.
01:27
ResourcesRasilimali weren'thawakuwa there to developkuendeleza them.
20
71883
2099
Malighafi hazikuwepo kuweza kuendeleza.
01:29
And you can see that life expectancymatarajio was alsopia shortmfupi.
21
73982
2833
Na unaweza kuona muda wa watu kuishi ulikuwa mfupi.
01:32
MostWengi people diedalikufa around the ageumri of 50.
22
76815
1902
Watu wengi walifariki katika miaka 50
01:34
So let's movehoja to chaptersura two: the oilmafuta erazama.
23
78717
3799
Twende sasa ukurasa wa pili:wakati wa mafuta.
01:38
1939, that's when they discoveredaligundua oilmafuta.
24
82516
3217
1939,hapo ndipo mafuta yaligundulika.
01:41
But unfortunatelykwa bahati mbaya, it wasn'thaikuwa really fullykikamilifu exploitedkunyonywa commerciallykibiashara
25
85733
4800
Kwa bahati mbaya,hayakutumika vya kutosha kibiashara
01:46
untilmpaka after the SecondPili WorldUlimwengu WarVita.
26
90533
2450
mpaka vita ya pili ya dunia.
01:48
What did it do?
27
92983
2134
Ilifanya nini?
01:51
It changediliyopita the faceuso of this countrynchi, as you can see todayleo and witnessshahidi.
28
95117
3300
Ilibadilisha muonekano wa nchi,kama unavyoona na kushuhudia.
01:54
It alsopia madealifanya all those people who roamedwalivamia around the desertjangwa --
29
98417
3732
Na ilifanya wale watu wote waliokuwa wakizunguka jangwa..
01:58
looking for watermaji, looking for foodchakula,
30
102149
3284
kutafuta maji,kutafuta chakula,
02:01
tryingkujaribu to take carehuduma of theirwao livestockmifugo -- urbanizeurbanize.
31
105433
4103
wakijaribu kuwatunza wanyama wao..wakaepata maendeleo
02:05
You mightnguvu find this strangeajabu,
32
109536
1964
Unaweza kuona ni ajabu,
02:07
but in my familyfamilia we have differenttofauti accentsmikazo.
33
111500
3849
lakini katika familia yangu tuna lafudhi tofauti.
02:11
My mothermama has an accentmkazo that is so differenttofauti to my fatherbaba,
34
115349
4000
Mama yangu ana asili ambayo ni tofauti na baba yangu,
02:15
and we're all a populationidadi ya watu of about 300,000 people in the samesawa countrynchi.
35
119349
5034
wote tupo idadi inayofikia watu 300,000 tunaoishi katika nchi moja.
02:20
There are about fivetano or sixsita accentsmikazo in this countrynchi as I speaksema.
36
124383
3534
Kuna lafudhi kama tano au sita katika nchi hii ninapoongea mpaka sasa.
02:23
SomeoneMtu saysanasema, "How so? How could this happenkutokea?"
37
127917
3816
Kuna mtu husema"Kivipi?Inawezekanaje kutokea?
02:27
Because we livedaliishi scatteredkutawanywa.
38
131733
1783
Kwa kuwa tuliishi tukiwa tumetawanyika.
02:29
We couldn'thaikuweza livekuishi in a concentratedkujilimbikizia way simplytu because there was no resourcesrasilimali.
39
133516
5152
Hatukuishi katika sehemu ya pamoja sana kwa sababu hatukuwa na malighafi.
02:34
And when the resourcesrasilimali camealikuja, be it oilmafuta,
40
138668
3811
Na malighafi zilipokuja,mafuta,
02:38
we startedilianza buildingkujenga these fancydhana technologiesteknolojia
41
142479
3054
tukaanza kutengeneza teknolojia ya hali ya juu
02:41
and bringingkuleta people togetherpamoja because we neededinahitajika the concentrationmkusanyiko.
42
145533
3650
na kuwaleta watu pamoja kwa sababu tulihitaji kukusanyika.
02:45
People startedilianza to get to know eachkila mmoja other.
43
149183
2384
Watu walianza kufahamiana.
02:47
And we realizedgundua that there are some differencestofauti in accentsmikazo.
44
151567
3949
Na tukagundua kulikuwa na tofauti ya asili.
02:51
So that is the chaptersura two: the oilmafuta erazama.
45
155516
2935
Hiyo ilikuwa ukurasa wa pili:wakati wa mafuta.
02:54
Let's look at todayleo.
46
158451
2115
Tuangalie leo.
02:56
This is probablylabda the skylineskyline that mostwengi of you know about DohaDoha.
47
160566
4726
Inawezekana hiki ndicho wengi mnachojua kuhusu Doha.
03:01
So what's the populationidadi ya watu todayleo?
48
165292
1391
Idadi ya watu ikoje leo?
03:02
It's 1.7 millionmilioni people.
49
166683
2250
ni watu milioni moja na laki saba.
03:04
That is in lesschini than 60 yearsmiaka.
50
168933
2699
Hiyo ni katika kipindi kisichozidi miaka 60.
03:07
The averagewastani growthukuaji of our economyuchumi is about 15 percentasilimia for the pastzilizopita fivetano yearsmiaka.
51
171632
5902
Wastani wa ukuaji w uchumi wetu ni asilimia 15 katika miaka mitano iliyopita.
03:13
LifespanLifespan has increasedimeongezeka to 78.
52
177534
2833
Tegemeo la kuishi limeongezeka hadi miaka 78.
03:16
WaterMaji consumptionmatumizi has increasedimeongezeka to 430 literslita.
53
180367
4809
Matumizi ya maji yameongezeka hadi lita 430.
03:21
And this is amongstmiongoni mwa the highestjuu worldwideduniani kote.
54
185176
3407
Na hii ndo takwimu kubwa duniani.
03:24
From havingkuwa na no watermaji whatsoeverchochote
55
188583
2167
Kutoka kutokuwa na maji
03:26
to consumingkuteketeza watermaji to the highestjuu degreeshahada, higherjuu than any other nationtaifa.
56
190750
5484
mpaka kutumia maji katika kiwango kikubwa duniani,kikubwa kuliko taifa lolote.
03:32
I don't know if this was a reactionmajibu to lackukosefu of watermaji.
57
196234
3766
Sijui kama hii ni matokeo ya ukosefu wa maji.
03:35
But what is interestingkuvutia about the storyhadithi that I've just said?
58
200000
6200
Lakini ni kipi kinachonifurahisha kwenye hadithi niliyosimulia?
03:42
The interestingkuvutia partsehemu is that we continueendelea to growkukua
59
206200
3183
Kinachofurahisha ni kwamba tunaendelea kukua
03:45
15 percentasilimia everykila yearmwaka for the pastzilizopita fivetano yearsmiaka withoutbila watermaji.
60
209383
6600
asilimia 15 kila mwaka kwa miaka mitano bila maji.
03:51
Now that is historickihistoria. It's never happenedkilichotokea before in historyhistoria.
61
215983
4950
Sasa hiyo ni historia.Haijawahi tokea kabla ya historia.
03:56
CitiesMiji were totallykabisa wipedkufutwa out because of the lackukosefu of watermaji.
62
220933
3933
Miji yote iliharibika kwa sababu ya ukoseu wa maji.
04:00
This is historyhistoria beingkuwa madealifanya in this regionkanda.
63
224866
2516
Hii ni historia iliyotengenezwa katika eneo hili.
04:03
Not only citiesmiji that we're buildingkujenga,
64
227382
1917
Sio miji tu ndo tunajenga,
04:05
but citiesmiji with dreamsndoto and people who are wishingwanaotaka to be scientistswanasayansi, doctorsmadaktari.
65
229299
5153
lakini miji yenye maono na watu ambao wanatamani kuwa wanasayansi,madaktari.
04:10
BuildKujenga a nicenzuri home, bringkuleta the architectmbunifu, designkubuni my housenyumba.
66
234452
3149
Kujenga nyumba nzuri,kuwaleta wasanifu majengo,kutengeneza nyumba yangu.
04:13
These people are adamant12Wakaifanya that this is a livablelivable spacenafasi when it wasn'thaikuwa.
67
237601
6199
Hawa watu wanaamini kwamba sehemu hii unaweza kuishi wakati ilipokuwa haiwezekani.
04:19
But of coursebila shaka, with the use of technologyteknolojia.
68
243800
1969
Lakini kwa sababu ya teknolojia.
04:21
So BrazilBrazili has 1,782 millimetersmilimita perkwa kila yearmwaka of precipitationprecipitation of rainmvua.
69
245769
6514
Brazil ina kiasi cha mvua kwa milimita 1782 kwa mwaka.
04:28
QatarKhatari has 74, and we have that growthukuaji ratekiwango.
70
252283
2851
Quatar ina 74,na tuna ukuaji kiasi hicho.
04:31
The questionswali is how.
71
255134
2016
Swali ni kivipi?
04:33
How could we survivekuishi that?
72
257150
3266
Tunawezaje kuendela hivi?
04:36
We have no watermaji whatsoeverchochote.
73
260416
2084
Hatuna maji kabisa.
04:38
SimplyTu because of this giganticgigantic, mammothmammoth machinemashine calledaitwaye desalinationkusafisha maji chumvi.
74
262500
6299
kwa sababu ya mashine kubwa ya kutoa chumvi kwenye maji.
04:44
EnergyNishati is the keyufunguo factorsababu here. It changediliyopita everything.
75
268799
4168
Nishati ni kitu kikubwa hapa.Imebadilisha kila kitu.
04:48
It is that thing that we pumppampu out of the groundardhi, we burnchoma tonstani of,
76
272967
4499
Ni ambacho kinakitoa toka ardhini,tunaunguza tani na tani,
04:53
probablylabda mostwengi of you used it comingkuja to DohaDoha.
77
277466
3000
wengi wenu mmekitumia kuja Doha.
04:56
So that is our lakeZiwa, if you can see it.
78
280466
2901
Hilo ni ziwa letu,kama unaweza kuona.
04:59
That is our riverMto.
79
283367
1849
Huo ni mto wetu.
05:01
That is how you all happenkutokea to use and enjoykufurahia watermaji.
80
285216
5342
Hivyo ndivyo inavotokea mpaka kutumia na kufaidi maji.
05:06
This is the bestbora technologyteknolojia that this regionkanda could ever have: desalinationkusafisha maji chumvi.
81
290558
6626
Hii ni teknolojia nzuri sana ambayo eneo hili linayo,kuondoa chumvi katika maji
05:13
So what are the riskshatari?
82
297184
2268
Je,hatari ni zipi?
05:15
Do you worrywasiwasi much?
83
299452
1550
Unaogopa sana?
05:16
I would say, perhapslabda if you look at the globalkimataifa factsukweli,
84
301002
3916
Naweza kusema,ukiangalia ukweli kiujumla,
05:20
you will realizekutambua, of coursebila shaka I have to worrywasiwasi.
85
304918
2591
utagundua,unatakiwa kuwa na mashaka.
05:23
There is growingkukua demandmahitaji, growingkukua populationidadi ya watu.
86
307509
2509
Kuna hitaji la kukua,ukuaji wa idadi ya watu.
05:25
We'veTumekuwa turnedakageuka sevensaba billionbilioni only a fewwachache monthsmiezi agoiliyopita.
87
310018
3249
Tumekuwa bilioni saba miezi michache iliyopita.
05:29
And so that numbernambari alsopia demandsmadai foodchakula.
88
313267
3492
Na hiyo idadi pia inahitaji chakula.
05:32
And there's predictionsutabiri that we'llvizuri be ninetisa billionbilioni by 2050.
89
316759
3208
Na kuna makisio kwamba tutakuwa bilioni tisa kwa mwaka 2050.
05:35
So a countrynchi that has no watermaji
90
319967
2856
Kwa hiyo nchi ambayo haina maji
05:38
has to worrywasiwasi about what happenshutokea beyondzaidi its bordersmipaka.
91
322823
3651
inakuwa na wasiwasi kipi kitachotokea nje ya mipaka yake.
05:42
There's alsopia changingkubadilisha dietsmlo.
92
326474
2332
Kuna kubadilisha ulaji.
05:44
By elevatingtulilenga kuinua to a higherjuu socio-economickijamii na kiuchumi levelngazi,
93
328806
4066
Kwa kuongezeka katika hali ya juu ya maisha,
05:48
they alsopia changemabadiliko theirwao dietchakula.
94
332872
2183
pia wanabadilisha ulaji wao.
05:50
They startkuanza eatingkula more meatnyama and so on and so forthnje.
95
335055
3000
Wanaanza kula kula sana nyama na vinginevyo.
05:53
On the other handmkono, there is decliningkupungua kwa yieldsmazao
96
338055
2353
Kwa upande mwingine,uzalishaji unaporomoka
05:56
because of climatehali ya hewa changemabadiliko and because of other factorssababu.
97
340408
2698
kwa sababu ya mabadiliko ya tabia ya nchi na sababu nyinginezo.
05:59
And so someonemtu has to really realizekutambua when the crisismgogoro is going to happenkutokea.
98
343106
5168
Na inatakiwa mtu atambue lini hili tatizo litakuja kutokea.
06:04
This is the situationhali in QatarKhatari, for those who don't know.
99
348274
3815
Hii ni hali hapa Quatar,kwa wale wasiojua.
06:07
We only have two dayssiku of watermaji reservehifadhi.
100
352089
3350
Tuna siku mbili tu za utunzaji maji.
06:11
We importkuagiza 90 percentasilimia of our foodchakula,
101
355439
2284
Tunaagiza asilimia 90 ya chakula chetu,
06:13
and we only cultivateKuza lesschini than one percentasilimia of our landardhi.
102
357723
3700
na tunalima chini ya asilimia moja ya ardhi yetu.
06:17
The limitedmdogo numbernambari of farmerswakulima that we have
103
361423
2449
Idadi ndogo ya wakulima ambayo tunayo
06:19
have been pushedkusukuma out of theirwao farmingkilimo practicesmazoea
104
363872
3534
wameondolewa katika taratibu zao za ulimaji
06:23
as a resultmatokeo of openkufungua marketsoko policysera and bringingkuleta the bigkubwa competitionsmashindano, etcna kadhalika., etcna kadhalika.
105
367406
5549
kwa sababu ya soko huria na ushindani, n.k.
06:28
So we alsopia faceuso riskshatari.
106
372955
3251
Kwa hiyo tunakumbana na hatari
06:32
These riskshatari directlymoja kwa moja affectkuathiri the sustainabilityuendelevu of this nationtaifa and its continuitymwendelezo.
107
376206
7183
Hatari hizi zimeathiri uendeleaji wa taifa hili
06:39
The questionswali is, is there a solutionsuluhisho?
108
383389
2518
Swali ni kwamba,je kuna suluhisho?
06:41
Is there a sustainableendelevu solutionsuluhisho?
109
385907
2182
Kuna ufumbuzi wa uhakika?
06:43
IndeedKweli there is.
110
388089
1984
Kiukweli upo.
06:45
This slideslide sumskiasi up thousandsmaelfu of pageskurasa of technicalkiufundi documentsnyaraka
111
390073
4033
Hii inaonesha nyaraka zipatazo 1000 za kiufundi
06:50
that we'vetumekuwa been workingkufanya kazi on over the pastzilizopita two yearsmiaka.
112
394106
2684
ambazo tulikuwa tunafanyia kazi katika miaka miwili iliyopita.
06:52
Let's startkuanza with the watermaji.
113
396790
1432
Tuanze na maji.
06:54
So we know very well -- I showedilionyesha you earliermapema -- that we need this energynishati.
114
398222
3769
Tunajua fika...niliwaonyesha mapema..kwamba tunahitaji hii nishati.
06:57
So if we're going to need energynishati, what sortfanya of energynishati?
115
401991
3098
Kwa hiyo kama tutahitaji nishati,ni aina ipi?
07:00
A depletabledepletable energynishati? FossilKisukuku fuelmafuta?
116
405089
2299
nishati inayoisha?mafuta ghafi?
07:03
Or should we use something elsemwingine?
117
407388
2395
Au tutumie kitu kingine?
07:05
Do we have the comparativekulinganisha advantagefaida to use anothermwingine sortfanya of energynishati?
118
409783
3339
Tunayo faida ya kulinganisha kutumia aina nyingine ya nishati?
07:09
I guessnadhani mostwengi of you by now realizekutambua that we do: 300 dayssiku of sunjua.
119
413122
4134
Nahisi wote mnafahamu kwamba tuna siku 300 za jua.
07:13
And so we will use that renewableinabadilishwa energynishati to producekuzalisha the watermaji that we need.
120
417256
5332
Kwa tunaweza tumia hii nishati kutupa maji tunayohitaji.
07:18
And we will probablylabda put 1,800 megawattsmegawati of solarjua systemsmifumo
121
422588
5401
Kwa hiyo tunaweza kuweka 1800 megawati za umeme jua
07:23
to producekuzalisha 3.5 millionmilioni cubicza ujazo metersmita of watermaji.
122
427989
2609
kuzalisha milioni 3.5 za ujazo za maji.
07:26
And that is a lot of watermaji.
123
430598
2024
Na hayo ni maji mengi.
07:28
That watermaji will go then to the farmerswakulima,
124
432622
2268
Hayo maji yataenda kwa wakulima,
07:30
and the farmerswakulima will be ableinaweza to watermaji theirwao plantsmimea,
125
434890
2237
na wakulima wataweza kumwagilia mazao yao,
07:33
and they will be ableinaweza then to supplyusambazaji societyjamii with foodchakula.
126
437127
4130
wataweza kuihudumia jamii kwa chakula
07:37
But in orderamri to sustainendelea the horizontalusawa linemstari --
127
441257
2117
Lakini kwa ajili ya kuhimili upande huu
07:39
because these are the projectsmiradi, these are the systemsmifumo that we will deliverkutoa --
128
443374
3331
kwa sababu hii ni mipango,hii ni mipango tunayotekeleza
07:42
we need to alsopia developkuendeleza the verticalwima linemstari:
129
446705
2634
pia tunatakiwa tuendeleze upande mwingine
07:45
systemmfumo sustenanceriziki, high-levelngazi ya juu educationelimu, researchutafiti and developmentmaendeleo,
130
449339
5318
kusimamia mifumo,elimu ya hali ya juu,tafiti na maendeleo,
07:50
industriesviwanda, technologiesteknolojia, to producekuzalisha these technologiesteknolojia for applicationprogramu, and finallyhatimaye marketsmasoko.
131
454657
5062
vinwanda,teknolojia,kutengeneza teknolojia kwa matumizi,na mwisho masoko.
07:55
But what gelsgels all of it, what enablesinawezesha it, is legislationsheria, policiessera, regulationskanuni.
132
459719
6133
Lakini kipi kinarahisha na kuwezesha,ni sheria,sera,utaratibu.
08:01
WithoutBila it we can't do anything.
133
465852
2233
Bila hivi hatuwezi kufanya chochote.
08:03
So that's what we are planningkupanga to do.
134
468085
1552
Kwa hiyo hiki ndicho tunachopanga kufanya.
08:05
WithinNdani ya two yearsmiaka we should hopefullykwa matumaini be donekufanyika with this planMpango
135
469637
3531
Ndani ya miaka miwili tunaweza kuwa tumekamilisha mipango hii
08:09
and takingkuchukua it to implementationutekelezaji.
136
473168
1967
na kuongelea kuitekeleza.
08:11
Our objectivelengo is to be a millenniumMilenia cityjiji, just like manywengi millenniumMilenia citiesmiji around:
137
475135
6700
Lengo letu kuu ni kuwa jiji la kimilenia,kama majiji mengine ya kimilenia
08:17
IstanbulIstanbul, RomeRoma, LondonLondon, ParisParis, DamascusDameski, CairoCairo.
138
481835
7135
Instanbul,Rome,London,Paris,Damascus,Cairo.
08:24
We are only 60 yearsmiaka oldzamani, but we want to livekuishi forevermilele
139
488970
4095
Tuna miaka 60 tu,lakini tunataka kuishi milele
08:28
as a cityjiji, to livekuishi in peaceamani.
140
493065
4561
kama jiji,kuishi kwa amani.
08:33
Thank you very much.
141
497626
1945
Asante sana.
08:35
(ApplauseMakofi)
142
499571
4079
(makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Fahad Al-Attiya - Food security expert
Fahad Al-Attiya's job is to maintain food security in Qatar, a country that has no water and imports 90 percent of its food.

Why you should listen

Fahad Bin Mohammed Al-Attiya has his work cut out for him: His home, Qatar, has found itself a newly oil-rich country with an economy growing at an average rate of 15 percent a year, with a rapidly expanding population. That burst in population has been accompanied by a huge surge in water consumption. So what's so strange about that? -- Qatar has virtually no water. In comparison to Brazil's annual 1782 mm of rain, Qatar's annual rainfall is 74 mm.

Al-Attiya is the Chairman of Qatar’s National Food Security Programme, and he is tasked with making food secure -- and keeping it that way -- in a place that has no water and imports 90 percent of its food. He hopes that his program's innovations in sustainable agriculture, especially in arid regions, can help other countries deal with dwindling food supplies due to extreme climate change.

More profile about the speaker
Fahad Al-Attiya | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee