ABOUT THE SPEAKER
Kang Lee - Developmental researcher
Kang Lee has devoted his career to understanding the development of social cognition and behavior.

Why you should listen

With an international team based at the University of Toronto, Kang Lee investigates the neurological and social basis of emerging social behaviors in young children. His two­-pronged research focuses first on how and when children develop the capacity to lie, to detect liesand to feel guilty about it afterwards.

The second focus of Lee's research is facial recognition, which has led to revelations of when children develop the ability to distinguish races ­­and has helped explain why some people occasionally see Jesus' face on a piece of toast.

More profile about the speaker
Kang Lee | Speaker | TED.com
TED2016

Kang Lee: Can you really tell if a kid is lying?

Kang Lee: Unaweza kujua kweli kama mtoto anadanganya?

Filmed:
8,673,675 views

Je watoto hawadanganyi vizuri? Unafikiri unaweza kugundua uwongo wao kwa urahisi? Mtafiti wa maendeleo Kang Lee amechunguza nini kinatokea kisaikolojia kwa watoto wanapodanganya. Wanafanya mara nyingi kuanzia umri mdogo wa miaka miwili, na hakika wanafanya vizuri kweli. Lee anaelezea kwanini tusherehekee wakati watoto wanaanza kudanganya na kuwasilisha teknolojia mpya ya kugundua uwongo ambayo siku moja itaonyesha hisia zetu zilizojificha.
- Developmental researcher
Kang Lee has devoted his career to understanding the development of social cognition and behavior. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
HiHujambo.
0
1112
1325
Habari
00:14
Let me askkuuliza the audiencewatazamaji a questionswali:
1
2461
2346
Ngoja niiulize hadhira swali:
00:16
Did you ever lieuongo as a childmtoto?
2
4831
2195
Ulishawahi kudanganya ukiwa mtoto?
00:19
If you did, could you please
raisekuinua your handmkono?
3
7050
2667
Kama uliwahi, unaweza
kunyanyua mkono tafadhali?
00:23
WowWOW! This is the mostwengi honestwaaminifu
groupkikundi of people I've ever metalikutana.
4
11145
3454
Wow! hili ni kundi la watu wakweli
kuliko wote niliowahi kukutana nao.
00:26
(LaughterKicheko)
5
14623
1957
(Kicheko)
00:28
So for the last 20 yearsmiaka,
6
16604
1709
Hadi sasa kwa miaka 20 iliyopita,
00:30
I've been studyingkusoma
how childrenwatoto learnkujifunza to tell liesuongo.
7
18337
3415
Nimekuwa nikisoma
jinsi watoto wanavyojifunza kudanganya.
00:33
And todayleo, I'm going to sharekushiriki with you
8
21776
2304
Na leo, nitawashirikisha
00:36
some of the discoveriesuvumbuzi we have madealifanya.
9
24104
2162
baadhi ya ugunduzi tulioupata.
00:38
But to beginkuanza, I'm going to tell you
a storyhadithi from MrMr. RichardRichard MessinaMessina,
10
26624
4925
Ila kwa kuanza, nitawaambia
hadithi kutoka kwa Bwana Richard Messina,
00:43
who is my friendrafiki and an elementarymsingi
schoolshule principalMkuu.
11
31573
3129
ambaye ni rafiki yangu na mkuu wa
shule ya msingi.
00:47
He got a phonesimu call one day.
12
35266
1561
Alipokea simu siku moja.
00:51
The calleryake saysanasema,
13
39279
1151
Aliyepiga akasema,
00:52
"MrMr. MessinaMessina, my sonmwana JohnnyJohnny
will not come to schoolshule todayleo
14
40454
3882
"Bwana Messina, mtoto wangu Johnny
hatakuja shuleni leo
00:56
because he's sickmgonjwa."
15
44360
1463
kwasababu anaumwa."
00:58
MrMr. MessinaMessina asksanauliza,
16
46498
1736
Bwana Messina akauliza,
01:00
"Who am I speakingakizungumza to, please?"
17
48258
2014
"Naongea na nani, tafadhali?"
01:02
And the calleryake saysanasema,
18
50788
1490
Na aliyepiga akasema,
01:04
"I am my fatherbaba."
19
52302
1665
"Mimi ni baba yangu."
01:05
(LaughterKicheko)
20
53991
2787
(Kicheko)
01:10
So this storyhadithi --
21
58227
1682
Sasa hadithi hii --
01:11
(LaughterKicheko)
22
59933
1532
(Vicheko)
01:13
sumskiasi up very nicelyvizuri
threetatu commonkawaida beliefsimani we have
23
61489
4310
inajumlisha vizuri sana
imani tatu zilizo zoeleka tulizonazo
01:17
about childrenwatoto and lyingkusema uongo.
24
65823
1859
kuhusu watoto na kudanganya.
01:20
One, childrenwatoto only come to tell liesuongo
25
68140
4631
Moja, watoto huja tu kusema uongo
01:24
after enteringkuingia elementarymsingi schoolshule.
26
72795
2268
baada ya kuingia shule ya msingi.
01:27
Two, childrenwatoto are poormaskini liarswaongo.
27
75552
2311
Mbili, watoto hawadanganyi vizuri.
01:29
We adultswatu wazima can easilykwa urahisi detectkuchunguza theirwao liesuongo.
28
77887
2857
Watu wazima twaweza kugundua uwongo wao.
01:32
And threetatu, if childrenwatoto lieuongo
at a very youngvijana ageumri,
29
80768
4038
Na tatu, kama watoto watadanganya
katika umri mdogo sana,
01:36
there mustlazima be some
charactertabia flawsdosari with them,
30
84830
2849
lazima watakuwa na makosa
kitabia,
01:39
and they are going to becomekuwa
pathologicalpathological liarswaongo for life.
31
87703
4049
na watakuja kuwa
wagonjwa wa kudanganya maishani.
01:44
Well, it turnsinageuka out
32
92720
2194
Hivyo inaonekana kwamba
01:46
all of the threetatu beliefsimani are wrongsi sawa.
33
94938
2298
imani zote tatu hazikuwa sahihi.
01:50
We have been playingkucheza guessingwanamteta gamesmichezo
34
98617
2710
Tumekuwa tukifanya mchezo wa kukisia
01:53
with childrenwatoto all over the worldulimwengu.
35
101351
2082
na watoto dunia nzima.
01:55
Here is an examplemfano.
36
103457
1486
Huu ni mfano
01:56
So in this gamemchezo, we askedaliuliza childrenwatoto
to guessnadhani the numbersnambari on the cardskadi.
37
104967
4365
Hivyo katika mchezo huu, tunauliza watoto
kukisia namba kwenye kadi.
02:01
And we tell them if they winkushinda the gamemchezo,
38
109958
2878
Na tunawaambia wakishinda mchezo,
02:04
they are going to get a bigkubwa prizetuzo.
39
112860
2157
watapata zawadi kubwa.
02:07
But in the middlekatikati of the gamemchezo,
40
115525
1477
Lakini katikati ya mchezo,
02:09
we make an excuseudhuru and leaveshika the roomchumba.
41
117026
2760
tunatoa udhuru na kutoka kwenye chumba.
02:13
And before we leaveshika the roomchumba,
42
121763
1934
Na kabla ya kutoka kwenye chumba,
02:15
we tell them not to peekPeek at the cardskadi.
43
123721
2936
tunawaambia wasichungulie kwenye kadi.
02:19
Of coursebila shaka,
44
127518
1416
Bila shaka,
02:20
we have hiddensiri cameraskamera in the roomchumba
45
128958
2161
tuna kamera zilizofichwa katika chumba
02:23
to watch theirwao everykila movehoja.
46
131143
1795
kuangalia kila hatua yao.
02:26
Because the desirehamu
to winkushinda the gamemchezo is so strongnguvu,
47
134216
3417
Kwasababu haja ya kushinda
mchezo ni kubwa sana,
02:29
more than 90 percentasilimia of childrenwatoto will peekPeek
48
137657
3486
zaidi ya asilimia 90 ya watoto
watachungulia
02:33
as soonhivi karibuni as we leaveshika the roomchumba.
49
141167
1437
mara tutakapotoka chumbani.
02:34
(LaughterKicheko)
50
142628
2000
(Kicheko)
02:37
The crucialmuhimu questionswali is:
51
145044
1986
Swali la msingi ni:
02:39
When we returnkurudi and askkuuliza the childrenwatoto
52
147054
2748
Tutakaporudi na kuuliza watoto
02:41
whetherkama or not they have peekedpeeked,
53
149826
2309
Kama wamechungulia au la,
02:44
will the childrenwatoto who peekedpeeked confesskukiri
54
152159
3052
watoto waliochungulia watakiri
02:47
or lieuongo about theirwao transgressionmakosa?
55
155235
2578
au watadanganya kuhusu makosa yao?
02:51
We foundkupatikana that regardlessbila kujali
of genderjinsia, countrynchi, religiondini,
56
159525
4773
Tuligundua kwamba bila kujali
jinsia, nchi, au dini,
02:56
at two yearsmiaka of ageumri,
57
164934
1579
katika umri wa miaka miwili,
02:59
30 percentasilimia lieuongo,
58
167188
1927
asilimia 30 hudanganya,
03:01
70 percentasilimia tell the truthukweli
about theirwao transgressionmakosa.
59
169139
3809
asilimia 70 husema ukweli
kuhusu makosa yao.
03:04
At threetatu yearsmiaka of ageumri,
60
172972
2138
Katika umri wa miaka mitatu,
03:07
50 percentasilimia lieuongo and 50 percentasilimia
tell the truthukweli.
61
175134
3474
asilimia 50 hudanganya na asilimia 50
husema kweli.
03:11
At fournne yearsmiaka of ageumri,
62
179302
1899
Katika umri wa miaka minne,
03:13
more than 80 percentasilimia lieuongo.
63
181225
1947
zaidi ya asilimia 80 hudanganya.
03:16
And after fournne yearsmiaka of ageumri,
64
184334
2451
Na baada ya miaka minne,
03:18
mostwengi childrenwatoto lieuongo.
65
186809
1389
watoto wengi hudanganya.
03:21
So as you can see,
66
189180
1363
Hivyo unaweza kuona,
03:22
lyingkusema uongo is really a typicalkawaida partsehemu
of developmentmaendeleo.
67
190567
3463
kudanganya ni sehemu halisi
ya kuendelea.
03:26
And some childrenwatoto beginkuanza to tell liesuongo
68
194054
2790
Na baadhi ya watoto huanza kusema uwongo
03:28
as youngvijana as two yearsmiaka of ageumri.
69
196868
2439
wakiwa na umri mdogo wa miaka miwili.
03:32
So now, let's take a closerkaribu look
at the youngermdogo childrenwatoto.
70
200438
3557
Hivyo sasa, tuangalie kwa ukaribu
watoto wadogo.
03:37
Why do some but not all
youngvijana childrenwatoto lieuongo?
71
205336
3813
Kwanini baadhi na sio wote
watoto wadogo hudanganya?
03:42
In cookingkupikia, you need good ingredientsviungo
72
210184
3329
Katika mapishi unahitaji viungo vizuri
03:45
to cookkupika good foodchakula.
73
213537
1613
kupika chakula kizuri.
03:47
And good lyingkusema uongo requiresinahitaji
two keyufunguo ingredientsviungo.
74
215793
4563
Na uongo mzuri unahitaji
viungo viwili vikuu.
03:53
The first keyufunguo ingredientkiambato
is theorynadharia of mindakili,
75
221109
4110
Kiungo kikuu cha kwanza
ni nadharia ya akili,
03:57
or the mind-readingakili ya kusoma abilityuwezo.
76
225243
1835
au uwezo wa kusoma- akili.
03:59
MindAkili readingkusoma is the abilityuwezo to know
77
227768
2078
Kusoma akili ni uwezo wa kujua
04:01
that differenttofauti people have
differenttofauti knowledgeujuzi about the situationhali
78
229870
4608
kwamba watu tofauti wana
ufahamu tofauti kuhusu hali fulani
04:06
and the abilityuwezo to differentiatetofauti
betweenkati what I know
79
234502
3801
na uwezo wa kutofautisha
kati ya ninachojua
04:10
and what you know.
80
238327
1223
na kile unachojua
04:11
MindAkili readingkusoma is importantmuhimu for lyingkusema uongo
81
239914
2247
Kusoma akili ni muhimu kwa kudanganya
04:14
because the basismsingi of lyingkusema uongo is that I know
82
242185
3847
kwasababu ya msingi wa kudanganya ni najua
04:18
you don't know
83
246056
1151
hujui
04:19
what I know.
84
247231
1151
ninachojua.
04:20
ThereforeKwa hivyo, I can lieuongo to you.
85
248406
1371
Hivyo, naweza kukudanganya.
04:23
The secondpili keyufunguo ingredientkiambato
for good lyingkusema uongo is self-controlkujidhibiti.
86
251070
4610
Kiungo cha pili muhimu
04:27
It is the abilityuwezo to controlkudhibiti your speechhotuba,
your facialusoni expressionkujieleza
87
255704
4623
Ni uwezo wa kudhibiti maneno yako,
kuonyesha hisia usoni
04:32
and your bodymwili languagelugha,
88
260351
1540
na lugha ya mwili,
04:33
so that you can tell a convincingkushawishi lieuongo.
89
261915
2078
ili kwamba unaweza kusema uongo thabiti.
04:36
And we foundkupatikana that those youngvijana childrenwatoto
90
264938
3726
Na tulikuta kwamba wale watoto wadogo
04:40
who have more advancedya juu mind-readingakili ya kusoma
and self-controlkujidhibiti abilitiesuwezo
91
268688
4856
walio na uwezo mkubwa wa kusoma akili
na uwezo wa kujidhibiti
04:45
tell liesuongo earliermapema
92
273568
2038
husema uwongo mapema
04:47
and are more sophisticatedkisasa liarswaongo.
93
275630
2816
na ni waongo wa kisasa.
04:51
As it turnsinageuka out, these two abilitiesuwezo
are alsopia essentialmuhimu for all of us
94
279887
5619
Kama inavyokuwa, uwezo huu wa aina mbili
ni muhimu pia kwetu sote
04:57
to functionkazi well in our societyjamii.
95
285530
2522
kuweza kufanya kazi katika jamii yetu.
05:00
In factukweli, deficitsdeficits in mind-readingakili ya kusoma
and self-controlkujidhibiti abilitiesuwezo
96
288848
4335
Ki ukweli, kushindwa kusoma akili
na uwezo wa kujidhibiti
05:05
are associatedkuhusishwa with seriousmbaya
developmentalmaendeleo problemsmatatizo,
97
293207
3559
vinahusianishwa na matatizo makubwa
ya ukuaji,
05:08
suchvile as ADHDKUKOSA UTULIVU and autismautism.
98
296790
2759
kama ADHD na usonji.
05:13
So if you discovergundua your two-year-oldmwenye umri wa miaka miwili
is tellingkuwaambia his or her first lieuongo,
99
301893
5177
Hivyo ukigundua mtoto wako wa miaka miwili
anakudanganya kwa mara ya kwanza,
05:19
insteadbadala yake of beingkuwa alarmedalishtuka,
100
307094
1984
badala ya kushtushwa,
05:21
you should celebratekusherehekea --
101
309102
1492
unatakiwa usherehekee--
05:22
(LaughterKicheko)
102
310618
1522
(Kicheko)
05:24
because it signalsishara that your childmtoto
has arrivedaliwasili at a newmpya milestonehatua muhimu
103
312164
5730
kwasababu inaashiria kwamba mtoto wako
amefikia hatua mpya
05:29
of typicalkawaida developmentmaendeleo.
104
317918
1635
ya ukuaji wa kawaida.
05:33
Now, are childrenwatoto poormaskini liarswaongo?
105
321085
3136
Sasa, watoto hawadanganyi vizuri?
05:36
Do you think you can easilykwa urahisi
detectkuchunguza theirwao liesuongo?
106
324878
2994
Unafikiri unaweza kugundua
udanganyifu wao kirahisi?
05:40
Would you like to give it a try?
107
328745
1678
Ungependa kujaribu?
05:42
Yes? OK.
108
330921
1480
Ndio? Sawa.
05:44
So I'm going to showonyesha you two videosvideo.
109
332425
2139
Sasa nitakuonyesha video mbili
05:47
In the videosvideo,
110
335024
1151
Kwenye video,
05:48
the childrenwatoto are going to respondjibu
to a researcher'sya mtafiti questionswali,
111
336199
3057
watoto watajibu maswali ya
utafiti,
05:51
"Did you peekPeek?"
112
339280
1482
"Ulichungulia?"
05:52
So try to tell me
113
340786
1554
Sasa jaribu kuniambia
05:54
whichambayo childmtoto is lyingkusema uongo
114
342364
1398
mtoto yupi anadanganya
05:55
and whichambayo childmtoto is tellingkuwaambia the truthukweli.
115
343786
2110
na mtoto yupi anasema ukweli.
05:58
Here'sHapa ni childmtoto numbernambari one.
116
346272
1719
Huyu ni mtoto namba moja.
06:00
Are you readytayari?
117
348991
1237
Uko tayari?
06:03
(VideoVideo) AdultWatu wazima: Did you peekPeek? ChildMtoto: No.
118
351006
1920
(Video) Mtu: Ulichungulia? Mtoto: Hapana
06:05
KangKang LeeLee: And this is childmtoto numbernambari two.
119
353619
2236
Kang Lee: Na huyu ni mtoto namba mbili.
06:09
(VideoVideo) AdultWatu wazima: Did you peekPeek? ChildMtoto: No.
120
357501
2192
(Video) Mtu: Ulichungulia? Mtoto: Hapana.
06:13
KLKL: OK, if you think
childmtoto numbernambari one is lyingkusema uongo,
121
361296
3587
KL: OK, kama unafikiri
mtoto namba moja anadanganya,
06:16
please raisekuinua your handmkono.
122
364907
1687
tafadhali inua mkono wako.
06:20
And if you think childmtoto numbernambari two
is lyingkusema uongo, please raisekuinua your handmkono.
123
368401
3552
Na kama unafikiri mtoto namba mbili
anadanganya, tafadhali inua mkono wako.
06:25
OK, so as a matterjambo of factukweli,
124
373593
2474
OK, kusema ukweli,
06:28
childmtoto numbernambari one is tellingkuwaambia the truthukweli,
125
376091
2937
mtoto namba moja anasema ukweli,
06:31
childmtoto numbernambari two is lyingkusema uongo.
126
379052
2029
mtoto namba mbili anadanganya.
06:34
LooksInaonekana like manywengi of you are terriblembaya
detectorsdetectors of children'swatoto liesuongo.
127
382124
3230
Inaonekana wengi wenu sio wagunduzi
wazuri wa uwongo wa watoto.
06:37
(LaughterKicheko)
128
385378
2478
(Kicheko)
06:39
Now, we have playedalicheza similarsawa kindsaina of gamesmichezo
129
387880
3384
Sasa, tumeshiriki kwenye michezo sawasawa
06:43
with manywengi, manywengi adultswatu wazima
from all walkshuenda of life.
130
391288
4625
na watu wazima wengi sana
kutoka sehemu zote za maisha.
06:48
And we showonyesha them manywengi videosvideo.
131
396714
2158
Na tunawaonyesha video nyingi.
06:51
In halfnusu of the videosvideo, the childrenwatoto liedwaliongozwa.
132
399347
2549
Katika nusu ya video, watoto walidanganya.
06:53
In the other halfnusu of the videosvideo,
the childrenwatoto told the truthukweli.
133
401920
3267
Katika nusu ya video nyingine,
watoto walisema ukweli.
06:58
And let's find out
how these adultswatu wazima performedalifanya.
134
406529
2857
Ngoja tuone
watu wazima hawa walifanyaje.
07:02
Because there are as manywengi liarswaongo
as truthukweli tellersramli,
135
410319
3855
Kwasababu kuna waongo wengi
kama wasema kweli,
07:06
if you guessnadhani randomlyrandomly,
136
414198
2399
ukikisia kwa kubahatisha,
07:08
there's a 50 percentasilimia chancenafasi
you're going to get it right.
137
416621
4070
kunauwezekano wa asilimia 50
ukapatia.
07:12
So if your accuracyusahihi is around 50 percentasilimia,
138
420715
3594
Hivyo ikiwa usahihi wako ni takriban
asilimia 50,
07:16
it meansina maana you are a terriblembaya detectordetector
of children'swatoto liesuongo.
139
424333
3441
inamaanisha wewe ni mgunduzi mbaya
wa uwongo wa watoto.
07:20
So let's startkuanza with undergradsundergrads
and lawsheria schoolshule studentswanafunzi,
140
428290
4529
Sasa tuanze na wanafunzi wa shahada
ya kwanza na wanafunzi wa sheria,
07:24
who typicallykawaida have
limitedmdogo experienceuzoefu with childrenwatoto.
141
432843
3672
ambao kwa ujumla
hawana uzoefu na watoto.
07:30
No, they cannothaiwezi detectkuchunguza children'swatoto liesuongo.
142
438038
1962
Hapana hawawezi kugundua uwongo wa watoto
07:32
TheirYao performanceutendaji is around chancenafasi.
143
440024
2214
Utendaji wao ni wa kubahatisha
07:34
Now how about socialkijamii workerswafanyakazi
and child-protectionulinzi wa mtoto lawyerswanasheria,
144
442262
5229
Sasa vipi kuhusu wafanyakazi za jamii
na walinda haki za watoto,
07:39
who work with childrenwatoto on a dailykila siku basismsingi?
145
447515
2674
wanaofanyakazi na watoto kila siku?
07:42
Can they detectkuchunguza children'swatoto liesuongo?
146
450213
2087
Wanaweza kugundua uwongo wa watoto?
07:45
No, they cannothaiwezi.
147
453624
1151
Hapana, hawawezi,
07:46
(LaughterKicheko)
148
454799
1045
(Kicheko)
07:47
What about judgesmajaji,
149
455868
1472
Vipi kuhusu majaji,
07:49
customsforodha officersmaafisa
150
457364
1800
maafisa forodha
07:51
and policepolisi officersmaafisa,
151
459188
1858
na maafisa polisi,
07:53
who dealtoa with liarswaongo on a dailykila siku basismsingi?
152
461070
2643
wanaokutana na wadanganyifu kila siku?
07:55
Can they detectkuchunguza children'swatoto liesuongo?
153
463737
1917
Wanaweza kugundua uwongo wa watoto?
07:58
No, they cannothaiwezi.
154
466800
1214
Hapana hawawezi.
08:00
What about parentswazazi?
155
468430
1186
Vipi kuhusu wazazi?
08:01
Can parentswazazi detectkuchunguza other children'swatoto liesuongo?
156
469640
3014
Wazazi wanaweza kugundua uwongo wa watoto
wengine?
08:05
No, they cannothaiwezi.
157
473898
1238
Hapana, hawawezi.
08:07
What about, can parentswazazi
detectkuchunguza theirwao ownmwenyewe children'swatoto liesuongo?
158
475821
3585
Inawezekana wazazi
kugundua uwongo wa watoto wao wenyewe?
08:13
No, they cannothaiwezi.
159
481208
1201
Hapana, hawawezi.
08:14
(LaughterKicheko) (ApplauseMakofi)
160
482433
3476
(Kicheko) (Makofi)
08:17
So now you mayinaweza askkuuliza
161
485933
1547
Hivyo sasa unaweza kuuliza
08:20
why children'swatoto liesuongo
are so difficultvigumu to detectkuchunguza.
162
488504
3632
kwanini uwongo wa watoto
ni vigumu kuugundua.
08:24
Let me illustratekuonyesha this
with my ownmwenyewe sonmwana, NathanNathani.
163
492958
3012
Ngoja niwaonyeshe hili
na mtoto wangu mwenyewe, Nathan
08:27
This is his facialusoni expressionkujieleza
164
495994
2169
Hii ni hisia za uso wake
08:30
when he liesuongo.
165
498187
1384
anapodanganya.
08:31
(LaughterKicheko)
166
499595
2206
(Kicheko)
08:33
So when childrenwatoto lieuongo,
167
501825
1602
Hivyo wakati watoto wanadanganya,
08:35
theirwao facialusoni expressionkujieleza
is typicallykawaida neutralneutral.
168
503451
3156
hisia za nyuso zao
ni za kawaida.
08:39
HoweverHata hivyo, behindnyuma this neutralneutral expressionkujieleza,
169
507123
3460
Ingawa nyuma ya hii hisia ya kawaida,
08:42
the childmtoto is actuallykwa kweli experiencinginakabiliwa
a lot of emotionshisia,
170
510607
3326
mtoto kiukweli hupitia
hisia nyingi,
08:45
suchvile as fearhofu, guilthatia, shameaibu
171
513957
3855
kama hofu, hatia, fedheha
08:49
and maybe a little bitkidogo of liar'smwongo wa delightfuraha.
172
517836
3096
na pengine raha ya kudanganya kidogo.
08:52
(LaughterKicheko)
173
520956
2702
(Kicheko)
08:55
UnfortunatelyKwa bahati mbaya, suchvile emotionshisia
are eitherama fleetingya kidunia or hiddensiri.
174
523682
4840
Bahati mbaya, hisia za aina hiyo
ni aidha za muda mfupi au zimejificha
09:00
ThereforeKwa hivyo, it's mostlyzaidi invisibleasiyeonekana to us.
175
528546
3099
Kwahiyo, ni ambazo hazionekani kwetu.
09:03
So in the last fivetano yearsmiaka,
176
531669
1359
Kwa miaka mitano iliyopita,
09:05
we have been tryingkujaribu to figuretakwimu out a way
to revealOnyesha these hiddensiri emotionshisia.
177
533052
3896
tumekuwa tukijaribu kutafuta njia
ya kuonyesha hisia hizi zilizojificha.
09:08
Then we madealifanya a discoveryugunduzi.
178
536972
1514
Kisha tukapata ugunduzi.
09:11
We know that underneathchini our facialusoni skinngozi,
179
539273
3185
Tunajua kwamba chini ya ngozi
za nyuso zetu,
09:14
there's a richtajiri networkmtandao of blooddamu vesselsvyombo.
180
542482
3394
kuna mtandao mkubwa wa mishipa ya damu.
09:17
When we experienceuzoefu differenttofauti emotionshisia,
181
545900
2417
Tunapopitia hisia tofauti,
09:20
our facialusoni blooddamu flowmtiririko changesmabadiliko subtlysubtly.
182
548341
2641
msukumo wa damu usoni hubadilika
bila kujua.
09:23
And these changesmabadiliko are regulatedhizo
by the autonomicautonomic systemmfumo
183
551613
3948
Na mabadiliko haya huendeshwa
kwa mfumo wa autonomiki
09:27
that is beyondzaidi our consciousFahamu controlkudhibiti.
184
555585
2169
ambayo ni nje ya uwezo wetu kudhibiti.
09:30
By looking at facialusoni blooddamu flowmtiririko changesmabadiliko,
185
558159
3823
Kwa kuangalia mabadiliko ya msukumo
wa damu usoni,
09:34
we can revealOnyesha people'swatu hiddensiri emotionshisia.
186
562006
2697
tunaweza kuonyesha hisia za watu
zilizojificha.
09:37
UnfortunatelyKwa bahati mbaya, suchvile emotion-relatedkuhusiana na hisia
facialusoni blooddamu flowmtiririko changesmabadiliko
187
565229
4778
Bahati mbaya, hisia hizo zinazohusiana
na mabadiliko ya msukumo wa damu usoni
09:42
are too subtlehila to detectkuchunguza by our nakeduchi eyejicho.
188
570031
2625
ni vigumu sana kugundua kwa macho yetu.
09:45
So to help us revealOnyesha
people'swatu facialusoni emotionshisia,
189
573632
3768
Hivyo kusaidia kuonyesha
hisia za watu usoni,
09:49
we have developedmaendeleo a newmpya imagingTaswira technologyteknolojia
190
577424
3034
tumeunda teknolojia mpya ya picha
09:52
we call "transdermaltransdermal opticalchore imagingTaswira."
191
580482
3149
tunaiita "tansderaml optical imaging"
09:56
To do so, we use a regularmara kwa mara
videovideo camerakamera to recordrekodi people
192
584679
3953
Kufanya hivyo tunatumia kamera ya video
ya kawaida kurekodi watu
10:00
when they experienceuzoefu
variousmbalimbali hiddensiri emotionshisia.
193
588656
3086
wanapokuwa na hisia mbalimbali
zilizojificha
10:04
And then, usingkutumia our imagepicha
processingusindikaji technologyteknolojia,
194
592385
4094
Na kisha, kwa kutumia teknolojia
ya usindikaji picha,
10:08
we can extractDondoa transdermaltransdermal imagesPicha
of facialusoni blooddamu flowmtiririko changesmabadiliko.
195
596503
5536
tunaweza kupata picha kupitia ngozi
za mabadiliko ya msukumo wa damu usoni.
10:16
By looking at transdermaltransdermal videovideo imagesPicha,
196
604475
4272
Kwa kuangalia video za picha
kupitia ngozi,
10:20
now we can easilykwa urahisi see
197
608771
1787
sasa tunaweza kuona kwa urahisi
10:23
facialusoni blooddamu flowmtiririko changesmabadiliko associatedkuhusishwa
with the variousmbalimbali hiddensiri emotionshisia.
198
611737
5631
mabadiliko ya msukumo wa damu usoni
yanayohusiana na hisia zilizojificha.
10:29
And usingkutumia this technologyteknolojia,
199
617944
1788
Na kwa kutumia teknolojia hii,
10:31
we can now revealOnyesha the hiddensiri emotionshisia
associatedkuhusishwa with lyingkusema uongo,
200
619756
4668
tunaweza kuonyesha hisia zilizojificha
zinazohusiana na udanganyifu,
10:36
and thereforekwa hiyo detectkuchunguza people'swatu liesuongo.
201
624448
2910
na kwahiyo kugundua uwongo wa watu.
10:39
We can do so noninvasivelynoninvasively,
202
627382
2439
tunaweza kufanya bila upasuaji,
10:41
remotelymbali, inexpensivelybila gharama,
203
629845
2539
kwa mbali, na gharama nafuu
10:44
with an accuracyusahihi at about 85 percentasilimia,
204
632408
3660
kwa usahihi wa takriban asilimia 85
10:48
whichambayo is farmbali better than chancenafasi levelngazi.
205
636092
2054
ambayo ni bora kuliko kubahatisha.
10:51
And in additionkuongeza, we discoveredaligundua
a PinocchioPinocchio effectathari.
206
639100
3790
Na kwa kuongezea, tumegundua
athari za Pinikio.
10:56
No, not this PinocchioPinocchio effectathari.
207
644336
2055
Hapana, sio athari za Pinokio huyu.
10:58
(LaughterKicheko)
208
646415
1007
(Kicheko)
10:59
This is the realhalisi PinocchioPinocchio effectathari.
209
647446
2122
Hizi ni athari za kweli za Pinokio.
11:01
When people lieuongo,
210
649592
1417
Wakati watu wanapodanganya,
11:03
the facialusoni blooddamu flowmtiririko
on the cheeksmashavu decreasesitapungua,
211
651033
3779
msukumo wa damu usoni
kwenye mashavu hupungua,
11:06
and the facialusoni blooddamu flowmtiririko
on the nosepua increaseshuongezeka.
212
654836
3261
na msukumo wa damu usoni
kwenye pua huongezeka.
11:11
Of coursebila shaka, lyingkusema uongo is not the only situationhali
213
659379
3507
Hata hivyo, kudanganya sio tukio pekee
11:14
that will evokekumfukuza our hiddensiri emotionshisia.
214
662910
2848
ambalo litaamsha hisia zilizojificha.
11:17
So then we askedaliuliza ourselvessisi wenyewe,
215
665782
1874
Hivyo basi tukajiuliza wenyewe,
11:19
in additionkuongeza to detectingkugundua liesuongo,
216
667680
2347
pamoja na kugundua uwongo,
11:22
how can our technologyteknolojia be used?
217
670051
2333
teknolojia yetu inaweza kutumikaje?
11:25
One applicationprogramu is in educationelimu.
218
673027
3546
Utumikaji wake mmoja ni kwenye elimu.
11:28
For examplemfano, usingkutumia this technologyteknolojia,
we can help this mathematicshisabati teachermwalimu
219
676597
4661
Kwa mfano, kwa kutumia teknolojia hii,
tunaweza kumsaidia mwalimu huyu wa hesabu
11:33
to identifytambua the studentmwanafunzi in his classroomdarasa
220
681282
2907
kutambua wanafunzi darasani kwake
11:36
who mayinaweza experienceuzoefu highjuu anxietywasiwasi
about the topicmada he's teachingkufundisha
221
684213
4745
wanapata woga mkubwa
kuhusu mada anayofundisha
11:40
so that he can help him.
222
688982
1509
ili iweze kumsaidia.
11:43
And alsopia we can use this in healthafya carehuduma.
223
691337
2740
Na pia tunaweza kuitumia katika huduma
za afya.
11:46
For examplemfano, everykila day I SkypeSkype my parentswazazi,
224
694101
3368
Mfano, kila siku natumia huduma ya
Skype kuwasilina na wazazi wangu,
11:49
who livekuishi thousandsmaelfu of milesmaili away.
225
697493
2082
wanaoishi maelfu ya maili mbali.
11:52
And usingkutumia this technologyteknolojia,
226
700178
1821
Na kwa kutumia teknolojia hii,
11:54
I can not only find out
what's going on in theirwao livesanaishi
227
702023
3482
Sio tu najua kinachoendelea
katika maisha yao
11:57
but alsopia simultaneouslywakati huo huo monitorkufuatilia
theirwao heartmoyo ratekiwango, theirwao stressshida levelngazi,
228
705529
6302
lakini pia sambamba na kuangalia mapigo
yao ya moyo na kiwango cha msongo,
12:03
theirwao moodhisia and whetherkama or not
they are experiencinginakabiliwa painmaumivu.
229
711855
3225
hali zao na kama wanapata
au hawapati maumivu.
12:07
And perhapslabda in the futurebaadaye,
230
715839
1810
Na pengine kwa siku za mbele,
12:09
theirwao riskshatari for heartmoyo attackkushambulia
or hypertensionshinikizo la damu.
231
717673
3289
hatari za mshtuko wa moyo au
shinikizo la damu
12:13
And you mayinaweza askkuuliza:
232
721701
1260
Na unaweza kuuliza:
12:15
Can we use this alsopia to revealOnyesha
politicians'wanasiasa emotionshisia?
233
723472
5481
Tunaweza kutumia hii pia
kuonyesha hisia za wanasiasa?
12:20
(LaughterKicheko)
234
728977
1540
(Kicheko)
12:22
For examplemfano, duringwakati a debatemjadala.
235
730541
1854
Kwa mfano, wakati wa mijadala
12:25
Well, the answerjibu is yes.
236
733220
1453
Kwakweli, jibu ni ndio.
12:27
UsingKutumia TVTV footagepicha,
237
735167
1944
Kutumia kipande kinachorushwa
kwenye TV,
12:29
we could detectkuchunguza
the politicians'wanasiasa heartmoyo ratekiwango,
238
737135
4046
tunaweza kugundua mapigo ya moyo
ya mwanasiasa,
12:33
moodhisia and stressshida,
239
741205
2046
hali na msongo,
12:35
and perhapslabda in the futurebaadaye,
whetherkama or not they are lyingkusema uongo to us.
240
743275
3578
na pengine katika siku za mbele.
iwe wanatudanganya au sivyo.
12:39
We can alsopia use this
in marketingmasoko researchutafiti,
241
747495
2996
Tunaweza pia kutumia hii
katika utafiti wa masoko,
12:42
for examplemfano, to find out
242
750515
1851
kwa mfano, kujua
12:44
whetherkama or not people like
certainfulani consumerwatumiaji productsbidhaa.
243
752390
4355
kama watu wanapenda au hawapendi
bidhaa fulani za matumizi.
12:49
We can even use it in datingdating.
244
757229
2238
Tunaweza hata kutumia kwenye miadi.
12:51
So for examplemfano,
245
759904
1160
Sasa kwa mfano
12:53
if your datetarehe is smilingkusisimua at you,
246
761088
2594
Ikiwa mliyeahidiana anakuonyesha tabasamu,
12:55
this technologyteknolojia can help you to determinekuamua
247
763706
2794
teknolojia hii inaweza kukusaidia kujua
12:58
whetherkama she actuallykwa kweli likesanapenda you
248
766524
2607
kama anakupenda kweli
13:01
or she is just tryingkujaribu to be nicenzuri to you.
249
769155
2175
au anajaribu tu kuonyesha wema kwako.
13:03
And in this casekesi,
250
771864
1695
Na kwa suala hili,
13:05
she is just tryingkujaribu to be nicenzuri to you.
251
773583
1876
anajaribu kuonyesha wema kwako.
13:07
(LaughterKicheko)
252
775483
2392
(Kicheko)
13:11
So transdermaltransdermal opticalchore imagingTaswira technologyteknolojia
253
779244
3709
Hivyo teknolojia ya transdermal optical
imaging
13:14
is at a very earlymapema stagehatua of developmentmaendeleo.
254
782977
2578
iko katika hatua za mwanzo za kuendelezwa.
13:17
ManyWengi newmpya applicationsmaombi will come about
that we don't know todayleo.
255
785579
4114
Matumizi mengi mapya yatakuja
ambayo hatuyajui leo.
13:22
HoweverHata hivyo, one thing I know for sure
256
790293
2778
Ingawa, kitu kimoja ninachojua kwa uhakika
13:25
is that lyingkusema uongo will never
be the samesawa again.
257
793095
3414
ni kwamba kudanganya
hakutakuwa kama zamani tena.
13:28
Thank you very much.
258
796533
1158
Asanteni sana.
13:29
XiXIè xiexie.
259
797715
1324
Asanteni.
(Makofi)
13:31
(ApplauseMakofi)
260
799063
3906
Translated by Leah Ligate
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Kang Lee - Developmental researcher
Kang Lee has devoted his career to understanding the development of social cognition and behavior.

Why you should listen

With an international team based at the University of Toronto, Kang Lee investigates the neurological and social basis of emerging social behaviors in young children. His two­-pronged research focuses first on how and when children develop the capacity to lie, to detect liesand to feel guilty about it afterwards.

The second focus of Lee's research is facial recognition, which has led to revelations of when children develop the ability to distinguish races ­­and has helped explain why some people occasionally see Jesus' face on a piece of toast.

More profile about the speaker
Kang Lee | Speaker | TED.com

Data provided by TED.

This site was created in May 2015 and the last update was on January 12, 2020. It will no longer be updated.

We are currently creating a new site called "eng.lish.video" and would be grateful if you could access it.

If you have any questions or suggestions, please feel free to write comments in your language on the contact form.

Privacy Policy

Developer's Blog

Buy Me A Coffee